text
stringlengths
1
1.32k
bada ya hapo alidai kuwa hakuona sababu ya yeye kuendelea kuwepo katika bodi hiyo kwani alihisi hana mchango wowote hivyo alitaka kujiuzulu
lakini baadaye alipata ushauri wa kutofanya hivyo kwa sababu kipindi chake kilikuwa kinakaribia kumalizika
bwana shirika alidai hakuwahi kuuona mkataba wa ujenzi wa majengo hayo isipokuwa alikuwa akiona mapendekezo ya kuongezeka kwa matumizi yaliyokuwa yakipelekwa katika bodi na menejimenti
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kwamba ni nani aliyekuwa akihusika moja kwa moja katika mapendekezo hayo shahidi bwana shirika alidai hakuna mtu maalumu aliyekuwa akihusika kwani yalikuwa yakiwasilishwa na menejimenti ya bot pia alidai bodi ilikuwa sahihi kuidhinisha matumizi hayo ya fedha na hakuna...
mshitakiwa katika kesi hiyo anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea leo
rais jakaya kikwete yuko nje ya nchi kwa ziara ndefu ya kikazi itakayomchukua takribani siku kumi ambako atahudhuria mikutano na kufanya mazungumzo rasmi katika nchi tatu tofauti huko amerika ya kaskazini na amerika ya kati
katika ziara hiyo rais kikwete ambaye aliondoka nchini usiku wa UNK jumapili novemba ishirini na mbili ataanzia katika nchi ya jamaika ambako atatumia siku tatu kuanzia jumanne ishirini na nne kutokana na mwaliko na waziri mkuu wa nchi hiyo bwana UNK bruce UNK
kwa mujibu wa taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ikulu rais kikwete ndani ya siku hizo tatu atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake bwana UNK atakutana kwa mazungumzo na gavana mkuu wa kisiwa cha jamaica UNK
patrick allen kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la jamaika pamoja na kutoa mhadhara maalum kwenye chuo kikuu cha west UNK kampasi kuu ya UNK
kwa mujibu wa taarifa hiyo baada ya jamaica rais kikwete atahudhuria mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola huko trinidad na tobago kitakachoanza novemba ishirini na saba ishirini na tisa baada ya kuhudhuria mkutano wa jumuia ya madola rais kikwete atatembelea cuba kuanzia novemba thebathini hadi d...
wakati wa ziara hiyo mheshimiwa rais kikwete atakutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake mheshimiwa rais raul castro ruz na kutembelea sehemu mbalimbali zinazohusiana na ushirikiano kati ya tanzania na cuba ilisema sehemu ya taarifa hiyo
ziara za jamaika na cuba zimetajwa ni kuwa ni muhimu kwa ajili ya kudumisha ushirikiano wa muda mrefu katika nyanja mbalimbali za maendeleo baina ya tanzania na nchi hizo mbili za amerika ya kaskazini
taarifa ilisema kuwa rais kikwete ni kiongozi wa tatu wa tanzania kutembelea jamaica kufuatia ziara za rais julius nyerere mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na nne na rais benjamin mkapa mwaka ishirini sifuri tano tanzania na jamaica zimekuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kirafiki na kindugu tokea miaka ya elfu moj...
kwa upande wa uhusiano wa tanzania na cuba UNK kuwa zimekuwa na uhusiano wa kirafiki kindugu na wa karibu mno kwa miaka mingi zikishirikiana kwa karibu katika masuala mengi likiwemo lile la ukombozi katika afrika
cuba pia imekuwa inatoa misaada katika nyanja za afya elimu kilimo na pia nchi hizo mbili zina tume ya kudumu ya pamoja ya ushirikiano
jamhuri ya cuba pia inaendesha vyuo viwili vya udaktari katika zanzibar na pemba ilisema taarifa hiyo
ng ombe zaidi ya thebathini sifuri sifuri wamekufa katika vijiji mbalimbali katika kata ya makuyuni wilayani monduli kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa ajabu unaoua mifugo hiyo ambao unadaiwa kuletwa na mifugo ya nchi jirani iliyoingizwa nchini kwa ajili ya kutafuta malisho
wananchi wengi katika kata hiyo wameiomba serikali iangalie namna ya kuwasaidia kwani wengi wao wamepoteza mifugo mingi ilihali nggombe wengine wanaendelea kufa kutokana na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huo UNK kwa jina la kienyeji kama UNK
wakizungumza na waandishi wa habari waliotembelea eneo hilo wananchi hao walisema kuwa ugonjwa huo umeibuka katika kipindi cha kuanzia mwezi wa tisa mwaka huu hadi sasa ambapo umekuwa ukisababisha zaidi ya mifugo watano kufa kwa mara moja katika kila boma kwa siku moja
baadhi ya wafugaji hao bwana abdilah UNK bwana omary said bwana yusuph abdi bwana UNK UNK bwana UNK ole mapii na bwana UNK UNK wameiomba serikali iwasaidie kwani hali hiyo imewafanya wawe masikini zaidi
kweli UNK sana hatuamini tumepoteza mifugo wengi kwa wakati mmoja tulikuwa tunategemea mifugo kupeleka watoto wetu shule na kupata chakula sasa inakufa hatujui tutafanyaje tunaomba serikali itusaidie alisema bwana abdilah UNK
wananchi hao wa vijiji vya mbuyuni UNK zaburi makuyuni na UNK juu pia wamewatupia lawama UNK wa mifugo wa wilaya hiyo ya monduli kwa kushindwa kutatua tatizo hilo kwa UNK wafugaji na badala yake wanashinda ofisini
bwana UNK ole mapii maarufu kama UNK mkazi wa kijiji cha zaburi ambaye ngombe wake zaidi ya hamsini sifuri wamekufa ameiomba serikali iangalie namna ya kuwasaidia akitolea mfano wa jinsi mifugo yake UNK na hadi sasa hajui cha kufanya
gazeti hili lilishuhudia idadi kubwa ya mizoga mizoga ya ngombe ikiwa imetapakaa katika maeneo mbalimbali ya vijiji hivyo hali iliyosababisha pia kuwepo kwa harufu mbaya ambayo inaweza kusababisha magonjwa ya milipuko endapo UNK katika maeneo hayo ya makazi ya watu
watumishi wawili wa manispaa ya kinondoni wamefikishwa mahakama ya wilaya ya kinondoni kwa tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri kutoka kwa mmliki wa baa ya UNK iliyoko sinza dar es salaam
mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana ronald manyiri aliambia mahakama mbele ya hakimu mkazi bibi sundi fimbo kuwa washitakiwa hao kwa pamoja walitenda kosa hili novemba kumi na sita na kumi na saba mwaka huu
washitakiwa hao hassan makono na catherine semvua wanatuhumiwa kufanya kosa hilo wakati wakitekeleza majukumu yao mbalimbali ambapo walibaini kuwepo kwa vinywaji ambavyo muda wake wa matumizi ulikuwa umekwisha
ilidaiwa kuwa baada ya kubaini kuwepo kwa vitu hivyo UNK mmliki wa baa hiyo bwana mabula masanja kuwapa shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri ili UNK hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufunga baa hiyo na kumnyangganya leseni
bwana manyiri aliendelea kusema kuwa novemba kumi na saba mwaka huu saa kumi na moja jioni katika baa ya africa sana mshitakiwa hassan alipokea fedha hizo shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri kama walivyokuwa wamekubaliana
washitakiwa wote wawili walikanusha madai hayo na kurudishwa rumande kwa kukosa dhamana mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena desemba saba mwaka huu
askofu kiongozi wa kanisa la moravian tanzania mhashamu alinikisa cheyo ameonya tabia ya viongozi wa dini kugeuza mimbari za mahubiri kuwa sehemu ya kupiga siasa na hivyo kuwajeruhi waumini wanaotegemea hekima za mungu kutoka kwao
askofu cheyo ambaye pia ni askofu wa jimbo la kusini magharibi alitoa ujumbe huo wakati wa ibada maalumu ya kuwapa baraka wachungaji ishirini ambapo alisema viongozi wa dini wanapaswa kutubu mbele za mungu kwa UNK haki watanzania
alisema UNK ziliwekwa kwa ajili ya kutoa hekima na mafundisho UNK waumini mbinguni lakini ajabu ni kuwa watumishi UNK kuwa sehemu ya kupiga siasa na hivyo kuonekana wazi kuwa hasira ya mungu itashuka juu yao
ninyi leo UNK kazini ili mkafanye kazi ya mungu nendeni UNK kundi la mungu na si UNK kama ambavyo baadhi wamekuwa wakifanya kutokana na misimamo yao isiyo ya UNK ambayo imekuwa ikiishia kuleta UNK katika jamii alisema
aliwataka wachungaji hao na vingozi wa dini nchini kuhakikisha wanafanya kazi ya mungu kwa hofu kubwa huku UNK kutokana na kauli zao zinazotolewa wanapokuwa UNK wakihubiri injili ya mungu
baada ya mahubiri hayo mwenyekiti wa jimbo hilo mchungaji UNK UNK alisema kuwa ujumbe huo wa askofu hauwezi kupita bure bali kinachotakiwa ni kwa kila kundi na kiongozi wa kanisa kwenda katika eneo lake kwa ajili ya kutubu kutokana na dhambi ya kudharauliana na UNK ambayo alisema imefanywa na watu wengi
alisema kuwa kwa kufanya hivyo itapatikana na tanzania yenye upendo mkubwa yenye uwezo wa kudumisha amani na utulivu kinyume na hayo itakuwa ni kukaribisha uvunjifu wa amani
kaimu mkurugenzi wa wizara ya maliasili na utalii daktari ismail UNK amefikishwa mahakani akikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya ofisi na kuandaa ripoti ya uongo
mshitakiwa huyo alifikishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu bwana paul UNK
akisoma mashitaka mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana UNK nkya alidai mshitakiwa alitenda makosa hayo kati ya mei ishirini sifuri tano na machi ishirini sifuri nane inadaiwa katika mashitaka ya kwanza kwamba mei mbili ishirini sifuri tano mshitakiwa alitangaza mauzo ya magogo kinyume ...
katika mashtaka ya pili inadaiwa machi kumi na saba ishirini sifuri tisa katika ofisi za makao makuu ya takukuru wakati wa uchunguzi mshitakiwa alitoa ripoti ya uongo akionesha kulikuwa na tangazo la mnada wa mazao ya misitu na nyuki uliokuwa unatakiwa kufanywa na kampuni ya aqeel traders ltd huku akijua ni uongo
mshitakiwa alikana kutenda makosa hayo upelelezi wa kesi umekamilika na atasomewa maelezo ya awali desemba ishirini na tatu mwaka huu
mshitakiwa yuko nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili waliosaini dhamana ya shilingi milioni moja
waziri wa fedha wa zamani bwana basil mramba amedaiwa kufahamu kilichokuwa kinaendelea katika ujenzi wa majengo pacha ya benki kuu ya tanzania lakini alishindwa kutoa uamuzi wa kumwajibisha gavana wa benki hiyo kwa sababu anateuliwa na kuwajibika kwa rais
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati mkurugenzi wa shirika la ndege la precision bwana michale shirika akitoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumi...
shahidi huyo wa nne kwa upande wa mashitaka aliwahi kuwa mkurugenzi wa bodi ya bot tangu mwaka ishirini sifuri mbili hadi januari ishirini sifuri sita kipindi chake kilipomalizika baada ya kuteuliwa na waziri wa fedha wakati huo bwana mramba
shahidi huyo alidai kuwa katika vikao vya bodi kulikuwa na taarifa zilizokuwa zikiwasilishwa na menejimenti ya benki zikionesha kuongezeka kwa matumizi katika mradi na waliomba bodi kuidhinisha licha ya kuwa tayari matumizi hayo yalishafanyika
shahidi alidai bodi haikuridhika na nyongeza ya matumizi katika mradi huo na walikuwa wakiidhinisha kwa sababu menejimenti ilikuwa ikitoa sababu mbalimbali
alidai menejimenti iliiambia bodi kwamba isipoidhinisha malipo hayo hasara kubwa ingepatikana kutokana na jinsi mkataba na mkandarasi wa ujenzi wa majengo pacha ya bot ulivyokuwa
mkurugenzi huo kwa kutoridhika kwake anadai aliamua kumtaarifu waziri mramba na kumuuliza kama wizara yake inafahamu na kuafiki matumizi hayo
bwana shirika alidai kuwa waziri huyo alijibu kwamba anafahamu matumizi hayo lakini gavana wa bot ndiye mwenye maamuzi na anawajibika kwa rais kwani ndiye aliyemteua
bada ya hapo alidai kuwa hakuona sababu ya yeye kuendelea kuwepo katika bodi hiyo kwani alihisi hana mchango wowote hivyo alitaka kujiuzulu lakini baadaye alipata ushauri wa kutofanya hivyo kwa sababu kipindi chake kilikuwa kinakaribia kumalizika
bwana shirika alidai hakuwahi kuuona mkataba wa ujenzi wa majengo hayo isipokuwa alikuwa akiona mapendekezo ya kuongezeka kwa matumizi yaliyokuwa yakipelekwa na menejimenti katika bodi
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kwamba ni nani aliyekuwa akihusika moja kwa moja katika mapendekezo hayo bwana shirika alidai hakuna mtu maalumu aliyekuwa akihusika kwani yalikuwa yakiwasilishwa na menejimenti ya bot pia alidai bodi ilikuwa sahihi kuidhinisha matumizi hayo ya fedha na hakuna mtu ali...
bwana liyumba anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea leo
shirika la umeme tanzania tawi la magomeni limemkamata kigogo mmoja wa chama cha mapinduzi kata ya magomeni makuti kwa kosa uharibifu wa miuondombinu ya shirika hilo na wizi wa umeme
inadaiwa kuwa kigogo huyo alikuwa akitumia umeme wa tanesco kwa zaidi ya miaka miwili kinyume cha sheria ndipo wasamalia wema walipokwenda kutoa taarifa za wizi huo katika ofisi za shirika hilo tawi la magomeni
ofisa usalama wa tanesco mkoa wa dar es salaam bwana henry UNK alisema baada ya kupokea taarifa hizo walifanya uchunguzi na kubaini wizi huo ambapo juzi walikwenda katika eneo la tukio na kunggoa mita iliyokuwa ikitumiwa na kigogo huyo katika eneo lake la biashara mtaa wa hedaru magomeni UNK
alisema mita hiyo aina ya UNK ilikuwa na namba moja mbili tatu sifuri sita saba saba sifuri ambayo kigogo huyo alidai kuuziwa na mfanyakazi wa tanesco tawi la magomeni
mtuhumiwa wetu tumemkamata leo na kumpeleka katika kituo kikuu cha polisi ambako tumefungua kesi yenye namba cd rb elfu kumi na mbili na mia nne na tisini na nne sifuri tisa na uzito wa kesi hiyo umepewa namba cd ir mia nne na sitini moja sifuri tisa malipo kwa ajili ya fidia ya umeme uliokuwa akitumiwa na mtuhumiwa y...
alisema kitengo chake kitaendelea kufanya kazi usiku na mchana ili kuwabaini wananchi wanaotumia umeme wa tanesco kwa njia wa wizi au kuharibu miundombinu ya shirika hilo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria
meneja uhusiano wa tanesco bibi badra masoud aliahidi kufuatilia jambo hilo na kulitolea ufafanuzi badaye lakini akasema wananchi wanaotumia umeme kinyume cha sheria wanachangia kulifanya shirika hilo kukosa mapato
wakati tahadhari ya mvua za el nino UNK wakazi wa eneo la bonde la mpunga msasani wilayani kinondoni wameingiwa na wasiwasi mkubwa juu ya usalama wa mali na maisha yao kutokana na kutokamilika kwa mfereji UNK na serikali
eneo hilo limekuwa likijaa maji kila mvua zinaponyesha na kuleta usumbufu mkubwa ambao unatarajiwa kuongeza pindi mvua za el nino UNK lakini mamlaka husika hazijakamilisha mfereji UNK waziri mkuu bwana mizengo pinda alipotembelea eneo hilo
akizungumza na majira ofisini kwake dar es salaam jana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni bibi lucy UNK alisema licha ya juhudi zinazofanywa na manispaa hiyo kusafisha mifereji hali katika bonde hili bado si ya kuridhisha
tunajitahidi sana kutoa tope na mchanga lakini baada ya siku mbili tu mifereji hiyo UNK tena kutokana na mchanga na uchafu unaoletwa kwa wingi na maji kutoka maeneo mengine alisema
alisema kuwa manispaa haina fedha za kutosha kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo bali kinachofanyika sasa ni kushirikiana na wakazi wa eneo hilo katika kusafisha mifereji ili kuruhusu maji kupita
hata hivyo wahandisi wa manispaa kwa kushirikiana na wahandisi wa mkoa wameshafanya tathmini ya mradi wa ujenzi wa mfumo imara wa majitaka mahali hapo ambapo tayari UNK mapendekezo katika ofisi ya waziri mkuu alisema
kwa upande wake mhandisi wa manispaa hiyo bwana faustine mosha alisema kinachofanyika sasa ni kusafisha mifereji katika bonde hilo wakati wakisubiri majibu ya mapendekezo yao
eneo hili ni mkondo wa maji kutoka mwananyamala kijitonyama na makumbusho jambo ambalo linafanya shughuli ya kuzibua mitaro kuwa ngumu alisema
aidha manispaa inaendelea kuhamasisha wakazi wa eneo hilo kuhama ili kuepuka athari zinazoweza kuwapata kutokana na mvua za UNK zinazotarajiwa kunyesha mwaka huu
na rabia bakari ukata ndani ya jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi ndiyo UNK kufanyika uchaguzi wa jumuiya hiyo licha ya wagombea kuchujwa miezi sita iliyopita
akizungumza kwa simu dar es salaam jana katibu wa itikadi na uenezi wa ccm kapteni mstaafu bwana john chiligati alisema hivi sasa wapo katika maandalizi ambapo baada ya maandalizi hayo kukamilika uchaguzi huo utafanyika
uchaguzi mkuu katika jumuiya ya wazazi upo katika maandalizi yakikamilika hivi karibuni utafanyika alisema kapteni mstaafu huyo ambaye pia ni waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
akitaja maandalizi hayo alisema kuwa ni pamoja na UNK usafiri kwa wajumbe wanaotoka sehemu mbalimbali nchini
unajua wajumbe wengi wanatoka mikoani wanahitaji usafiri kula na kulala
hivyo ni lazima kuwe na maandalizi ya kutosha ili kuweza kufanikisha uchaguzi huo
pia ccm haina mpango kabisa wa kutaka kuivunja jumuiya ya wazazi naomba nieleweke hivyo alisema bwana chiligati
awali ilidaiwa jumuiya hiyo ilishindwa kufanya uchaguzi mwaka jana kama UNK nyingine za umoja wa wanawake na umoja wa vijana kwa vile kaimu mwenyekiti wake bwana athuman mhina alikuwa mgonjwa
bwana mhina ambaye UNK nafasi hiyo baada ya kusimamishwa na hatimaye kuondolewa kwa aliyekuwa mwenyekiti bwana UNK maregesi kwa muda mrefu alikuwa mgonjwa ambapo kuna wakati alilazwa katika hospitali ya taifa muhimbili
mbali ya bwana mhina wagombea wengine waliopitishwa kuwania uenyekiti ni bwana abdallah bulembo na bibi esther UNK
hatimaye mtuhumiwa wa kesi ya unyanyasaji mtoto anayedaiwa kumfunga bintiye kwa mnyororo chooni bwana venance mwaipopo ameachiwa kwa dhamana baada ya kusota rumande kwa takriban miezi miwili
mtuhumiwa huyo mkazi wa vijibweni kigamboni dar es saalam aliachiwa jana baada ya kupata wadhamini walioweka ahadi ya shilingi hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kila mmoja
kesi ya mshitakiwa huyo iko katika mahakama ya mwanzo temeke mbele ya hakimu bibi rose kangwa
katika shtaka la kwanza bwana mwaipopo anadaiwa kumfanyia ukatili binti huyo kinyume na kifungu mia moja na sitini na tisa cha kanuni ya adhabu kwa kumfunga na mnyororo miguuni
shtaka la pili ambalo ni mbadala ni na shitaka la kwanza ni la kumzuia mtoto huyo isivyo halali kinyume na kifungu cha mia mbili na hamsini na tatu cha kanuni ya adhabu
mshitakiwa yupo nje kwa dhamana ya watu wawili na bondi ya kiasi cha pesa shilingi laki tano kila mmoja
kesi hiyo itaanza kusikilizwa tena januari ishirini na saba mwakani
tukio hilo lilitokea septemba ishirini na sita nyumbani kwao vijibweni kabla ya kupata msaada kutoka kwa majirani waliomsikia akilia kuomba msaada baada ya kufungiwa chooni na mnyororo na wazazi wake ambaye ni baba yake mzazi na mama mlezi na kwenda sehemu isiyojulikana
baada ya muda watu walisikia kelele na kukusanyika kwa lengo la kumsaidia ikiwa pamoja kutoa taarifa polisi hatimaye polisi walifika kumsaidia na kumpigia simu bwana mwaipopo na kufika nyumbani kwake na kukuta watu wakiwa UNK
polisi walimkuta binti huyo akiwa amekaa kwenye tundu la choo walimchukua na kumpeleka kituo cha polisi
waziri mkuu bwana mizengo pinda ameshangazwa na teknolojia ya kutengeneza njia ya umeme mkubwa bila kuzima nishati hiyo alipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya artumas katika ziara yake mkoani mtwara bwana pinda UNK vijana wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi ya kurekebisha nguzo katika njia ya msongo wa thebathini...
wakati wa ziara hiyo ambayo aliongozana na mkewe mama tunu bwana pinda alionyesha UNK kama kweli kazi hiyo ilikuwa ikifanyika bila ya kuzima umeme
jamani hii si hatari vijana hawa wanaweza kufa
UNK kufanya kazi bila ya kuzima umeme
alisikika akiuliza bwana pinda na kujibiwa na uongozi wa artumas kuwa kazi hiyo inawezekana kwa kuwa wanatumia vifaa maalumu na ujuzi ili kuzuia hatari yoyote
katika tukio hilo ilielezwa kuwa tanzania inaweza kuokoa mabilioni iwapo teknolojia hiyo ya kufanya kazi katika njia kuu za umeme bila kuzima UNK
meneja mkuu wa artumas group bwana richard taiton alisema teknolojia hiyo inayotumiwa na kampuni ya mc donald liveline inasaidia kuwaondolea usumbufu wateja wa mikoa kusini wakati UNK na kati