text stringlengths 1 1.32k |
|---|
matengenezo ya njia za umeme |
bwana taiton alisema kampuni hiyo UNK heshima artumas tangu kupewa kandarasi ya kujenga na kufanya marekebisho ya njia hizo kwani imebadili mifumo ya miundombinu bila kuathiri watumiaji wa umeme |
kinachofurahisha ni kwamba kampuni hii ni ya mtanzania na hatukutarajia kukuta teknolojia kama hii katika nchi kama tanzania alisema bwana UNK |
mkurugenzi wa kampuni ya mc donald liveline bwana donald mwakamele alisema kampuni yake ina uwezo wa kufanya kazi katika njia za msongo mkubwa kuanzia kilovoti kumi na moja hadi hamsini sifuri umeme UNK kwa ajili ya matengenezo kwa siku nzima ni viwanda vingapi UNK au ni vitu vya nyumbani vingapi vinaweza kuharibika h... |
hivyo alisema kuwa iwapo kampuni na mashirika yanayozalisha umeme yatatumia teknolojia hiyo tatizo la kukatika umeme nchini linaweza kupungua labda tatizo libaki kwenye uzalishaji |
bwana mwakamele alisema kwa sasa baada yatoa mafunzo kwa vijana wa kitanzania na kujijengea uwezo kampuni hiyo inaanza kutoa huduma katika mashirika mbalimbali ya umeme katika nchi za afrika mashariki ambako teknolojia hiyo inahitajika |
kampuni ya mc donald liveline technology ni kampuni pekee inayotoa huduma kama hiyo katika ukanda wa afrika mashariki na kati |
halmashauri ya jiji la dar es salaam UNK kampuni ya east africa UNK campany ambayo iliundwa ili ijenge machinjio ya kisasa katika eneo gongolamboto dar es salaam baada ya kushindwa kutekeleza majukumu hayo kwa kipindi cha miaka minane |
kampuni hiyo iliundwa na manispaa zote tatu za jiji la dar es salaam kila moja ikichangia shilingi milioni hamsini sifuri kampuni ya nico iliyotoa shilingi milioni kumi sifuri na UNK moja ya ujerumani ambayo ilikuwa ichangie mashine za kiwanda hicho lakini ikashindwa na kukwamisha mradi huo |
hayo yalisemwa dar es salaam jana na naibu meya wa jiji hilo bwana ahmed mwilima katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ambapo walikubaliana kuivunja kampuni hiyo kutokana na kushindwa kufanya kazi hiyo |
tumefikia maamuzi haya katika kikao cha madiwani wa halmashauri wa jiji kutokana na kampuni hii ya ujerumani kushindwa kutimiza majukumu yake japo tulikuwa tunahitaji sana dar es salaam iwe na machinjio ya kisasa lakini imebidi UNK kampuni hii alisema bwana mwilima |
alisema kwa sasa halmashauri inafanya utaratibu wa kisheria ili kuona kama kuna madeni yanatakiwa kulipwa na baadaye kila mwanahisa achukue kilicho chake kutokana na alivyochangia na kiwanja cha eneo hilo kubaki mali ya jiji |
hadi sasa katika eneo hilo la ambalo machinjio UNK hakuna shughuli inayoendelea na tayari wananchi wamevamia eneo hilo na kulifanya mashamba |
wagonjwa thebathini na moja bado wamelazwa katika hospitali za manispaa jijini dar es salaam kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kipindupindu |
wagonjwa hao wamelazwa katika hospitali za temeke amana na kinondoni kwa nyakati tofauti na wanatokea sehemu mbalimbali za jiji |
akizungumza dar es salaam jana kaimu mganga mkuu wa hospitali ya temeke bwana gilbert buberwa alisema kuwa wagonjwa wapya hadi jana walikuwa kumi na moja badala ya kumi na tatu ambao walikuwepo awali |
alisema kuwa mpaka jana hakuna mgonjwa yoyote ambaye alifariki hivyo aliwataka wakazi wa jiji kuzingatia suala la usafi ili kuweza kukabiliana na ugonjwa huo |
taarifa iliyotolewa jana na kaimu mganga wa jiji daktari hawa kawawa ilisema kuwa takwimu zinaonyesha kuwa wilaya ya ilala bado inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi ikifuatiwa na temeke |
alisema kuwa ilala ina wagonjwa kumi na nne wakati na kinondoni ya mwisho kwa kuwa na wagonjwa sita |
alisema tangu kuanza kwa ugonjwa huo watu mia mbili na themanini na sita wameugua ugonjwa huo na wilaya ya temeke inaongoza kwa kuwa na UNK kumi sita ikifuatiwa na ilala ina wagonjwa kumi moja na kinondoni wagonjwa sabini na tisa umoja wa wanawake tanzania wa chama cha mapinduzi umevunja ukimya na kufafanua kilichotok... |
taarifa katika vyombo vya habari iliyotolea na kusainiwa na ofisa habari na mkuu wa idara ya organization siasa na mahusiano ya kimataifa bibi sarah msafiri ilifafanua kuwa kilichotokea ni baraza kuu UNK kwa utekelezaji wa baadhi ya maagizo ya vikao vilivyopita vya umoja huo |
kwa mujibu wa katiba ya uwt katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa jumuiya ya uwt hivyo baraza lilimtaka kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya maagizo ambayo UNK ipasavyo ilisema sehemu ya taarifa hiyo |
pia taarifa hiyo ambayo haikuweka bayana kama kulikuwapo na mpango wa kumnggoa bibi mwilima au la ilikanusha kuwapo kwa tofauti kati ya mwenyekiti wa taifa wa umoja huo bibi sophia simba na katibu mkuu wake bibi hasna mwilima kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari |
malumbano yanayotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kutokuelewana kwa viongozi wa juu wa uwt sio ya kweli bali ni mambo ya kiutendaji ambayo baraza kuu liliridhia yatekelezwe hivyo UNK kuhoji juu ya mambo hayo alisema bibi msafiri |
baraza kuu la uwt lilijadili na kutoa mapendekezo kwa chama juu ya utaratibu wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika kupitia nafasi za wanawake na kutoa wito kwa wanawake kuthubutu na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kugombea kwenye uchaguzi mkuu ujao |
wakurugenzi na mameneja sita wa wakala wa barabara nchini waliokuwa wamefukuzwa kazi wamerudishwa kazini ijumaa iliyopita baada ya bodi ya wakala hao wakurugenzi wa wakala wa barabara baada ya kamati iliyoundwa kukamilisha uchunguzi wa majalada ya wafanyakazi hao na kupita katika taasisi zote |
akizungumza na majira jana kaimu mwenyekiti wa bodi ya tanroads daktari samwel nyatahe alisema hatua hiyo ilifikiwa baada ya kufuatilia sheria na kanuni za utumishi wa umma iliyopitishwa oktoba kumi na sita mwaka huu ambapo nafasi za wafanyakazi hao zilitakiwa kujazwa kwa ushindani na uwazi |
wafanyakazi wote waliofukuzwa walirudishwa kazini pamoja na bwana mrema toka ijumaa iliyopita na baada ya UNK baina ya kamati iliyoundwa bodi ya tanroads na wizara ya miundombinu alisema daktari nyantahe akifafanua zaidi daktari nyantahe alisema kuwa badala ya kuwafukuza kazi wafanyakazi hao bwana mrema alitakiwa kutu... |
hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroads bwana ephraem mrema alipuuza maagizo ya bodi ya tanroads na kuwafukuza kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa bila kufuata taratibu za utumishi serikalini |
awali bwana mrema alitii agizo la kusitisha kuwafukuza lakini baadaye alibadili maamuzi akingganggania uamuzi wake wa awali wa kuwafukuza jambo ambalo UNK hali ya mkanganyiko ndani ya bodi ya tanroad na wizara ya miundombinu |
mgongano huo kati ya mrema bodi na wizara ulianza oktoba thebathini mwaka huu pale bwana mrema UNK kikao cha wafanyakazi na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji waandamizi na baadhi ya mameneja |
waliokumbwa na sakata hilo ni pamoja na mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge mkoa wa morogoro bwana charles madinda mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william shil... |
mwanazuoni maarufu wa siku nyingi nchini profesa issa shivji amesema kitendo cha vyama vya siasa kufadhiliwa na watu wachache wa ndani au je ya nchi ndio chanzo cha vyama hivyo kukosa sauti ya kukemea maovu na badala yake kufuata wanavyotaka wafadhili |
profesa shivji ambaye ni msomi wa fani ya sheria alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipozungumza na gazeti hili kwa njia ya simu juu ya faida za wanachama kufadhili chama badala ya kuwaachia wahisani au matajiri kukiendesha kwa fedha UNK |
alisema kuwa chama huendeshwa na kufadhiliwa na wanachama wenyewe kwa kujitoa kukitumikia kwa hali na mali bila kujali nani katoa nini na kiasi gani |
hali hii inatokana na shida ya mfumo mzima wa vyama jamii na nchi kukubali kufadhiliwa kupita kiasi hivyo kukosa nguvu ya kusimamia mambo ya msingi yanayohitajika katika jamii au wanachama alisema profesa shivji |
profesa shivji alisema ili watu wawe na uchungu na vyama vyao lazima washirikishwe katika UNK chama ili wawe na sauti wakati wa maamuzi ya kujenga taifa na kuondoa mvutano wa kimaslahi kati yao ili kujikita na kutatua matatizo UNK |
ni siku hizi tu vyama vimebadili mfumo wake lakini zamani wanachama wenyewe ndio waliokuwa wakishikana mashati kuendesha chama hapakuwa na mfadhili hata kidogo alisema |
upande wa mashtaka katika kesi ya shambulio la kudhuru mwili na kutishia kuua inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka umemaliza kutoa ushahidi wao jana kwenye mahakama ya hakimu mkazi mjini arusha |
mwendesha mashtaka ambaye ni wakili wa serikali bwana michael luena aliieleza mahakama hiyo kuwa mashahidi tisa pamoja na vielelezo vitatu vilivyowasilishwa mahakamani hapo UNK kukamilisha ushahidi wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo |
shahidi wa tisa kwa upande wa mashtaka bibi flora john mnzava ambaye ni afisa tabibu wa hospitali ya wilaya ya monduli aliyekuwa shahidi wa mwisho alisema mlalamikaji bwana james ole millya alipofika hospitalini alikuwa na majeraha katika shavu lake kwa upande wa kulia |
licha ya kuwa na alama shavuni pia alidai kuwa anasikia maumivu kiunoni ambayo aliyapata baada ya kusukumwa na kuanguka chini ambapo UNK matibabu na kumruhusu aondoke alisema bibi UNK |
shahidi huyo aliongeza kuwa yeye ndiye aliyepokea fomu ya polisi kwa ajili ya matibabu ambapo UNK na kuisaini baada ya kumpatia huduma ya matibabu bwana ole millya |
mahojiano kati ya wakili wa upande wa utetezi bwana mpaya kamara na shahidi huyo yalikuwa kama ifuatavyo |
wakili ulitumia nini kupima ukubwa wa sehemu ya jeraha alilokuwa nalo millya |
shahidi UNK UNK |
wakili UNK jeraha lina urefu gani |
shahidi nilikuta lina sentimita kumi na mbili wakili sentimita kumi na mbili za nini |
shahidi za urefu wa kuanzia juu kwenda chini |
wakili baada ya uchunguzi wako uvimbe unaosema ulikuwa shavuni unaonyesha ulisababishwa na nini |
shahidi unaonyesha alipigwa na silaha isiyo na makali |
wakili unamaanisha nini |
shahidi silaha isiyo na ncha inaweza kuwa mkono mbao au fimbo |
wakili wewe unaruhusiwa kujaza hiyo fomu pf tatu |
shahidi hapana ila UNK kwa niaba ya mganga mkuu |
baada ya UNK huo wakili anayemtetea ole sendeka bwana kamara alimueleza hakimu bwana james UNK kuwa wapo tayari kuleta vielelezo vyao kuwa mteja wao hana kesi ya kujibu |
kesi hiyo imeahirishwa hadi desemba nne itakapotajwa mahakamani hapo na kupangiwa tarehe ya kutoa uamuzi wa kujiridhisha endapo mshitakiwa huyo ana kesi ya kujibu au la |
mbunge wa moshi mjini bwana philemon ndesamburo amesema wakazi wa jimbo la moshi mjini hawadanganyiki na kauli ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango aliyetamba kumnggoa katika katika uchaguzi mwakani |
alisema hata kama mbunge huyo ataamua kupiga kambi kwa miaka mitano hana ubavu wa kuleta mabadiliko katika jimbo hilo na atashindwa kama rais mstaafu wa awamu tatu bwana benjamini mkapa aliyehamishia nguvu za chama na serikali jimboni humo ili shemeji yake bibi elizabeth minde ashinde |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana bwana ndesamburo alitoa kauli hiyo baada ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango kutangaza nia yake ya kupiga kambi katika jimbo la moshi mjini ili kuhakikisha ccm inachukua jimbo hilo mwaka ishirini moja sifuri mimi namwambia bibi kilango ajaribu bahati yake kwani mwa... |
alisema kuwa anashangazwa na kauli ya bibi kilango ya kudai kuwa yeye anapigiwa kura na wana ccm jambo ambalo halina ukweli wowote wala hakuna sababu ya kutafuta mchawi kwani wapiga kura katika jimbo si mashabiki wa vyama kama UNK |
napenda bibi kilango atambue kuwa mimi ninapigiwa kura na wananchi wa moshi wasiokuwa wanachama wa chama chochote hao ndio wanaoniunga mkono na ndio UNK madarakani ukiachia mbali wanachama wa chama changu alisema |
alisema kuwa kama bibi kilango anaamua kuleta vita vya siasa moshi mjini yeye yuko UNK na anamkaribisha kwa nguvu zote katika mapambano hayo yasiyokuwa na tija na kumtaka atambue kuwa wananchi wa jimbo hilo hawadanganyiki na propaganda zake |
wananchi wa hili jimbo siyo watoto wadogo |
huu ni mkoa mwingine bwana achilia mbali watu hawa wakiamua jambo hawarudi nyuma kama yeye anadhani siasa zake za propaganda UNK stendi juzi ndizo UNK mawazo aendelee kwani hawa watu hawadanganyiki alisisitiza |
alisema kuwa kama bwana mkapa alishindwa kumnggoa madarakani mwaka ishirini sifuri tano baada ya kuamishia serikali na chama chake chote moshi anaamini hakuna mtu mwingine atakayeweza na kusisitiza kuwa bibi kilango ajaribu bahati yake labda anaweza kufanikiwa |
alisema kuwa kama ccm itatekeleza yote ambayo UNK wananchi wa moshi mjini hadi kuendelea kumchagua wafanye hivyo na kwamba anaamini utendaji kazi wake mzuri kwa wananchi ndio uliosababisha wananchi wa mkoa huo waendelee kumkubali na wala si vinginevyo |
bibi kilango aendelee kutafuta mchawi ccm kwani UNK UNK sana eti anapiga kambi kwa ajili ya kuninggoa mimi na kutafuta mchawi mbona anajisumbua UNK alisema kama bibi kilango anataka niende kwenye jimbo lake UNK nitakwenda UNK kweli kweli na vita hii anayodai kuianzisha itakuwa ni ya karne UNK hata kidogo alisema |
bwana ndesamburo alisisitiza kuwa ccm inashindwa UNK moshi mjini kutokana na ufisadi wao na kwamba kazi anazofanya kwa wananchi wa mkoa huo chama hicho tawala hakiwezi kuzifanya na ndio maana anakubalika licha ya kuwekewa UNK |
UNK wananchi wa moshi mjini juzi bibi |
kilango aliwaambia wanachama na viongozi wa ccm kuwa bwana ndesamburo ameshinda mara mbili mfululizo kutokana na matatizo ya wanaccm wenyewe na kuwataka UNK |
bibi |
kilango alisema kuwa atapiga kambi mkoani hapo kwani hawezi kukubali kuwa wanaccm ambao mchana wamevaa kijani lakini usiku wamevaa nguo nyingine |
mtoto wa rais jakaya kikwete ridhiwani kikwete UNK mahakamani fundi seremala na mkazi wa mikocheni a bwana omary said kwa kumtapeli shilingi milioni mbili |
mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo bibi lina msanga mwendesha mashitaka bibi batiseba UNK aliiambia mahakama kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo novemba tano mwaka huu huko mikocheni jijini dar es salaam |
bibi batiseba alidai kuwa mshitakiwa alipewa fedha hizo na bwana ridhiwani ambaye ni mwanasheria kwa lengo la kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukarabati nyumba yake lakini fundi huyo alizitumia kwa matumizi mengine na hakufanya UNK |
mshitakiwa ambaye amekana shitaka hilo amerudishwa rumande kwa kukosa wadhamini |
kesi hiyo ambayo upelelezi wake unaendelea itatajwa tena desemba nane mwaka huu |
na glory mhiliwa arusha kesi inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka ambaye anashitakiwa kwa kumpiga mwenyekiti wa vijana wa ccm mkoa wa arusha bwana james UNK imeendelea kunguruma jana mahakama ya hakimu mkazi arusha ambapo mwendesha mashtaka wa serikali ameongeza mashitaka ya kutishia kwa bast... |
akisoma mashitaka hayo mwendesha mashtaka bwana agustine komba aliiambia mahakama mbele ya hakimu mkazi bwana james karayemaha kuwa yameongezwa mashitaka mengine ambayo awali hayakuwepo |
alidai kuwa ole sendeka anatuhumiwa januari tisa mwaka huu wilayani monduli katika semina ya wazee wa kimasai ambayo iliandaliwa na mbunge wa mbulu bwana edward lowassa alimtishia kwa bastola na kumdhuru mwili bwana UNK |
hata hivyo mwendesha mashtaka huyo aliiomba mahakama kupanga tarehe ya kuanza kusikiliza kesi hiyo ambayo UNK kwa mara mbili baada ya upelelezi kukamilika |
mheshimiwa hakimu naomba tarehe kwa ajili ya kuanza kusikilizwa na kutolewa ushahidi ambapo upande wa upelelezi UNK |
tutaleta mashahidi kumi na tatu bastola iliyotumiwa na mshitakiwa kutishia fomu namba tatu UNK nayo mlalamikaji alisema mwendesha mashtaka |
aliwataja mashahidi watakaotoa ushahidi kuanzia mei ishirini na saba kuwa ni askari polisi wawili ambamo pia atakuwepo mkuu wa mkoa wa singida bwana vicent kone ambapo siku ya tukio alikuwepo kwenye semina hiyo |
hakimu karayemaha aliahirisha kesi hiyo mpaka mei ishirini na saba ambapo itaanza kusikilizwa |
akizungumza nje ya mahakama hiyo |
mbunge huyo aliwashukuru wananchi wa jimbo lake waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kujua hatma ya kesi yake ambapo aliwataka kuendelea na kazi za ujenzi wa taifa kwa vile sheria itachukua mkondo wake |
nawashukuru sana naona ni vyema wakulima muendelee na kilimo na wafugaji muendelee na ufugaji |
UNK kuja mahakamani tuache sheria ichukue mkondo wake alisema sendeka |
licha ya ushauri wa daktari na ofisi binafsi ya rais jakaya kikwete kuwa kiongozi huyo apumzike baada ya kuishiwa nguvu na kukatisha hotuba mjini mwanza safari zake za ndani na nje ya nchi anazoendelea kufanya zimezua upya mjadala huku akidaiwa UNK |
mjadala huo umeibuka wakati rais kikwete akiwa nje ya nchi kwa ziara ndefu itakayomchukua takribani siku kumi za kukutana na viongozi wa nchi na kufanya mikutano kadhaa katika nchi tatu tofauti |
safari ya sasa ya rais kikwete ambayo UNK katika nchi za jamaica UNK na tobago na cuba itakuwa ni mwendelezo wa ratiba ndefu ya kusafiri ndani na nje ya nchi kuanzia katikati ya oktoba siku hamsini na tatu baada ya kuishiwa nguvu huko katika uwanja wa kirumba mwanza wakati wa maadhimisho ya miaka kumi sifuri ya kanisa... |
masuala mawili ambayo kwa sasa yameibua mjadala huo wa mara kwa mara ni kuhusiana na hali ya afya yake kama UNK na UNK wake daktari peter mfisi oktoba saba mwaka huu pamoja na tija zinazotokana na safari za nje ya nchi ambazo zinatumia gharama kubwa |
baadhi ya watu waliozungumza na gazeti hili kuhusu iwapo ikulu imefanyia kazi taarifa yake kuwa ofisi binafsi ya rais ingepitia upya ratiba ya mkuu huyo wa nchi na ushauri wa madaktari wake wa kumtaka apumzike wameonesha wasiwasi juu ya utekelezaji wa suala hilo katika kulinda afya ya rais |
wamehoji pia kauli yake baada ya kupata nafuu kuwa alipata msukosuko wa kiafya kutokana na kazi nyingi na safari ndefu na ahadi yake kuwa UNK ubishi na kuanza kuwasikiliza washauri wake wanaotaka apumzike |
siku chache baada ya tukio la kuishiwa nguvu oktoba nne rais kikwete alianza safari ya kikazi mkoa wa mara alipofanya shughuli ya kuzima mwenge na kukagua miradi mbalimbali |
oktoba kumi na saba alikuwa kwenye harambee ya kiwanda cha tangawizi iliyoandaliwa na mbunge wa same mashariki bibi anna kilango na baadaye kufanya ziara siku sita katika mikoa ya iringa na mbeya kuanzia oktoba ishirini na sita rais pia aliongoza na kutoa mada kwenye kongamano la wadau wa maendeleo novemba tano na sit... |
novemba ishirini rais alipokea kombe la dunia katika uwanja wa taifa na siku iliyofuata akawa mkoani arusha katika maadhimisho ya miaka kumi ya jumuiya ya afrika mashariki |
siku mbilia baadaye rais aliondoka kwenda safari ya jamaica UNK na tobago na kumalizia cuba inayoendelea sasa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.