text
stringlengths
1
1.32k
mwanazuoni profesa mwesiga baregu alilieleza majira kuwa rais ni binadamu wa kawaida hivyo kama ameshauriwa na wataalamu kupunguza ratiba ngumu ni bora afanye kazi za karibu ambazo si lazima asafiri umbali mrefu
hivi karibuni tulisikia maelezo ya daktari wake kuhusu afya yake tukaambiwa kuwa anapaswa kupata wasaa wa kupumzika tulitarajia itakuwa hivyo na badala yake angeweza kufanya kazi za karibu
rais ni binadamu wa kawaida UNK kuwa ni mzima kama hali hairuhusu awe hivyo UNK apumzike alisema profesa baregu
profesa baregu ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya siasa na ushirikiano wa kimataifa alisema ni ngumu kuona moja kwa moja tija zitokanazo na safari za rais kwa sababu hakuna taarifa za ziara hizo
alisema ni muhimu wananchi wakapewa taarifa za ziara za rais wao ikibidi kabla ya kuondoka na baada ya kurudi ili waweze kutoa tathmini iwapo UNK na kile UNK katika ziara hizo
wakati mwingine unaweza kufikiri rais kikwete ni waziri wa mambo ya nje kila baada ya siku chache unamsikia yuko nje
akirudi nyumbani atakwenda vijiji viwili vitatu kama vile kiinimacho halafu tena huyoo UNK
na UNK msafara wake UNK watu ishirini
tumefikia mahali nchi hii rais anapaswa kufanya kama mwalimu nyerere ambaye alikuwa akiwatembelea watu anapiga kambi kijijini na kujua kwa undani shida zao
si kila wakati kwenda nje kunaweza kuwa na tija kwa maslahi ya taifa alisema profesa baregu
cuba na aliongeza kuwa si vibaya ofisi ya rais UNK wananchi UNK nchi fulani ni kitu gani hasa
kwa sababu gharama anazotumia ni za walipa kodi
alisema kama ilivyo kwa waziri wa mambo ya nje UNK kutoa taarifa kwa rais anaporudi kutoka ziara rais naye anapaswa kufanya hivyo kwa wananchi ambao ndio waajiri wake
tumewahi kupata ripoti ya ziara za rais nje ya nchi mara moja nafikiri tunaambiwa ameenda kuomba lakini hatujui kama UNK kilipatikana na UNK wapi
pia ni vyema tukafanya uchambuzi wa nchi UNK nazo kama ni sahihi kwa sisi kuweza kuendelea
kwa upande mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahimu lipumba ambaye aliwahi kuchambua ziara hizo na kueleza kuwa hazina manufaa alisema rais kikwete ana hulka ya kupenda safari na kumfananisha na vasco da gama mreno wa zamani aliyekuwa maarufu kwa kusafiri na UNK wa nchi kadhaa
profesa lipumba alisema kwa kusafiri mara kwa mara rais kikwete anakwepa majukumu na kuwa hataki bugudha ya kukaa nchini na kufanya mipango ya kuendeleza nchi ikiwemo kutatua masuala kadhaa ambayo yamekuwa UNK serikali yake na chama cha mapinduzi
hivi karibuni tumesikia ripoti moja ikionesha kuwa katika taasisi zinazoongoza kwa UNK allowances ikulu iko juu ya zote sasa mojawapo ya njia za posho hizo ni hizo safari ambazo kwa kweli tija yake ni ndogo ukilinganisha na gharama UNK
kuna kazi zingine alipaswa kutumia wasaidizi wake mawaziri au wawakilishi wetu huko nje ya nchi yeye yuko safarini muda wote huku mambo UNK waziri wake wa utawala bora UNK mtu kwa kuuza dawa za kulevya alisema
profesa lipumba ambaye ni mchumi alisema safari za rais haziwezi kusaidia nchi kupunguziwa au kusamehewa madeni kwani hiyo inatokana na mipango ya nchi kupitia wizara zao za fedha na kuongeza kuwa anapaswa kubaki nyumbani kusaidia kutoa maamuzi magumu hasa juu ya vita dhidi ya ufisadi
ufisadi unaongezeka na hii ni moja ya vigezo ambavyo wafadhili wanatumia kutuongezea au UNK misaada sio safari za rais
kama safari hizo zitakuwa hazijengi kama hazisaidii vita dhidi ya rushwa na ufisadi mwingine
kwanza lazima ieleweke kuwa UNK ya namna hiyo UNK na rais bali watendaji wa serikali alisema
ampiga UNK UNK
polisi UNK wavunaji na edmund mihale siku moja baada ya waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kutangaza kuifungia kampuni ya upatu ya deci jeshi la polisi limemtia mbaroni mwenyekiti wa kamati ya dharura ya wanachama wa upatu huo mchungaji isaack kalenge kwa kuhutubia bila kibali katika eneo la ofisi za makao ...
mchungaji huyo alishikiliwa kwa saa tano katika kituo cha polisi magomeni na kisha kuachiwa kwa dhamana saa kumi jioni
tukio hilo lilitokea saa tano kumi na tatu asubuhi wakati akihutubia umati wa washiriki wa upatu huo
dhahama hiyo ilimkuta mtumishi huyo wa mungu baada ya kuombwa na mwenyekiti wa chama cha siasa cha dp mchungaji christopher mtikila kutangaza ajenda UNK jumamosi katika mkutano wa washiriki wote utakaofanyika viwanja vya jangwani
awali mchungaji kalenge aliwatangazia washiriki kuwa kutakuwa na mkutano saa tano asubuhi hali iliyowapa hamasa ya kusikia nini UNK juu ya hatima ya fedha walizopanda katika kampuni hiyo
ilipofika saa tano sifuri sifuri mchungaji mtikila akiwa na mchungaji kalenge bila kujali tangazo lilitolewa na deci kupinga washiriki kutumia uwanja wa ofisi hiyo kama ukumbi wa mikutano aliwaita washiriki wote
mchungaji mtikila alimpa kipaza sauti mchungaji kalenge ili atoe ratiba ya mkutano wa jumamosi
tunasikia eti igp amewaagiza viongozi wa kampuni hii kwamba walipwe wanachama wapya
hiyo itakuwa ni kuleta machafuko makubwa na UNK serikali kwa kuwa yenyewe ilichelewa kuwahadharisha wananchi alisema mchungaji huyo
huku akiendelea kuhutubia ghafla ofisa wa jeshi hilo kutoka kituo cha urafiki aliyefahamika kwa jina moja la bwana bundala alimvamia na kumshika kisha UNK wote chini na kuanza UNK katika lindi la vumbi
baadaye polisi alifanikiwa kumdhibiti mchungaji huyo katika purukushani zilizodumu kwa dakika tano na kumuweka chini ya ulinzi hadi walipofika wenzake kutoka kituo cha magomeni
polisi hao zaidi ya kumi waliofika UNK tano ishirini na tisa wakiwa katika gari aina ya land rover defender namba t mia saba na sitini ady walifanya mazungumzo na mchungaji mtikila ambaye kwa muda wote alionekana kutoa ushirikiano kwa mwenzake aliyekuwa chini ya ulinzi kwa muda wote
kuwasili kwa askari hao kulizua hali ya woga katika eneo hilo na kuwaacha washiriki hao wa deci wakiwa katika wasiwasi mkubwa huku wakiwa na minonggono ya hapa na pale
wakiwa katika makundi madogo madogo kwa woga wa kukamatwa walikuwa wakisema ni mwisho wa serikali ya ccm kugawa fulana na kofia kisha wapewe kura katika uchaguzi badala yake wanatakiwa kuanzisha deci nyingine ili kumkomboa mtanzania
kundi lingine UNK wenzao kuwa na msimamo wa kijasiri katika kudai fedha hizo kutokana uongozi wa kampuni hiyo kutokuwa makini katika uamuzi wao
uchunguzi ulifanywa na majira umebaini kuwa washiriki hao UNK kufungua kesi makahama kuu kitengo cha biashara kupitia kampuni ya uwakili ya brilliance law chambers kudai mavuno yao
naye rehema mohamed anaripoti kuwa jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam litawachukulia hatua za kisheria wanachama wa taasisi ya upatu ya deci watakaofanya maandamano ama kukusanyika katika ofisi hizo kwa madai wanachochea uvunjifu wa amani kwa vile suala lao linashughulikiwa kisheria
akizungumza dar es salaam jana kamanda wa polisi wa kanda hiyo bwana suleiman kova alisema hatua hiyo inatokana na taarifa zilizozagaa kuwa kuna watu UNK suala hilo kisiasa na kuchochea mikusanyiko itakayosababisha maandamano
alisema kanda yake itasimamia suala hilo kwa lengo la kuhakikisha usalama katika jiji la dar es salaam
suala la deci tayari limeshaanza kushughulikiwa kisheria na serikali kuanzia wizara ya fedha benki kuu pamoja na viongozi wa deci ambapo hatma yake itatangazwa baadaye baada ya uchunguzi kukamilika
hatutapenda kuona mikusanyiko ya aina yoyote ikiendelea pale alisema bwana kova
kamanda kova alisema kama kuna watu wanataka kuandamana wafuate hatua za kisheria zinazohitajika na sio kuweka mikusanyiko kiholela katika ofisi hizo
kampuni ya tanga UNK imeongeza uzalishaji wa sementi kutoka tani mia saba na hamsini sifuri sifuri sifuri hadi kufikia tani moja mia mbili na hamsini sifuri sifuri sifuri ikiwa ni mafanikio ya asilimia sitini na saba baada ya kumalizika kwa awamu ya kwanza ya mradi wa upanuzi wa mitambo yake
akizungumza na waandishi wa habari walitembelea mitambo hiyo mipya juzi mkoani tanga mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana UNK fluehmann alisema kumalizika kwa mtambo huo kutasaidia UNK mahitaji ya bidhaa hiyo kwa tanzania kwani wanazalisha tani milioni tatu na mahitaji ya nchi ni milioni mbili kwa mwaka
bwana fluehmann alisema mradi huo umegharimu dola za marekani milioni arobaini na sita mpaka kukamilika hali itayosaidia soko la afrika mashariki kwa ajili ya UNK wa uchumi
mwaka jana tanga simenti ilichangia zaidi shilingi bilioni thebathini kwa ajili ya kodi na tunatoa sehemu ya faida tunayopata kwa ajili ya kuchangia huduma za kijamii alisema alisema kampuni inakabiliwa na changamoto za mgao wa umeme kwani mitambo yao inafanya kazi saa ishirini na nne hivyo ukataji wa umeme unachangia...
bwana fluehmann alisema kampuni hiyo imeajiri wafanyakazi thebathini sifuri na wengine hamsini sifuri sifuri ni wafanyakazi wa nje ya kampuni wanaofanya kazi ya kuleta malighafi kwa ajili ya uzalishaji wa UNK
kampuni hiyo UNK simenti nje ya nchini tani ishirini sifuri sifuri sifuri kwa mwezi tofauti na awali ambapo ilikuwa UNK tani kumi sifuri sifuri kwa mwezi ikiwa ni mafanikio ya utambo mpya ulioanza kazi novemba kumi na moja mwaka huu
watanzania nchini wameshauriwa kuzalisha bidhaa bora na kwa wingi ili kukuza mitaji na uchumi katika hali itakayosaidia kupata soko la kimataifa
hayo alisema meneja miradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya inayoshughulikia agenda mbalimbali za biashara bwana UNK UNK wakati wa warsha ya jumuiya ya afrika mashariki na UNK
alisema imegundulika kuwa viwanda vilivyopo tanzania UNK bidhaa zao kwa wingi na kwa ubora unaotakiwa hali inayochangia bidhaa hizo kukosa soko la nje na kuzipa nafasi bidhaa za nje kuuzwa nchini
alisema uchumi wa nchi unazidi kudidimia kutokana na miundombinu ya barabara kuwa mibaya hali inayosababisha hata bidhaa UNK kufika pale panapotakiwa kwa wakati
akitolea mfano wa bidhaa inayotengenezwa hapa tanzania na UNK kwa wingi kwenda katika mikoa mingine ni pamoja na kinywaji cha dodoma UNK inayotengenezwa dodoma lakini hata mkoani dar es salaam haifiki kwa sababu ya uchache wa bidhaa hiyo hali inayosababisha mikoa mingine kampuni ya UNK internation trading imesema wapo...
akizungumza dar es salaam jana mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana stanley mdaki alisema kuwa kabla ya kuleta ngo mbe hao wa mkopo watatoa mafunzo ya jinsi ya kuwatunza nggombe hao kwa wakulima
alisema ngo mbe hao wanauwezo wa kutoa lita sitini hadi tisini za maziwa kwa siku na UNK zaidi vijijini ili waweze kuongeza kipato cha wakulima ambao ndio nguzo ya taifa
bwana mdaki alisema kuleta kwa ngo mbe hao hapa nchini kutasaidia serikali kujenga kiwanda cha kitaifa cha maziwa na hali hiyo itaongeza ajira kwa vijana
kuwa kufikia mwaka ishirini moja tano watanzania wengi watakuwa wamefaidika na nggombe hao hali itayosaidia umaskini kupungua nchini
pia alisema desemba nane hadi ishirini na tatu mwaka huu watakuwa na maonesho ya kilimo kwanza ambayo yatakuwa yanatoa elimu kwa wakulima juu ya kilimo kwanza
alisema kuwa asilimia kubwa ya watanzania hawana elimu ya kutosha ya kilimo kwanza kwahiyo elimu hiyo itasaidia kuongeza pato la mkulima na taifa kwa ujumla ambapo maonesho hayo yameandaliwa na UNK motors corporation mwanasheria mkuu wa serikali jaji frederick werema ameitaka mamlaka ya mapato tanzania kuwabana wakwep...
lakini ili waweze kutimiza majukumu yao kwa urahisi na kupata ushirikiano kutoka kwa walipa kodi alisema tra hawana budi kutoa elimu ya ulipaji kodi itakayowafanya wananchi kutimiza wajibu huo wa kisheria bila UNK
jaji werema aliyasema hayo jana jijini dar es salaam alipokuwa akizindua taarifa inayohusu majumuisho ya kesi na maamuzi mbalimbali kuhusu mabishano ya sheria za kodi nchini kuanzia mwaka ishirini sifuri mbili ishirini sifuri nne jaji werema ambaye jana ilikuwa mara yake ya kwanza kutokea katika hadhara ya namna hiyo ...
kwanza napenda kuwapongeza tra kwa majukumu yao hasa ya ukusanyaji kodi ambayo kwa hakika siyo kazi rahisi
moja ya changamoto UNK ni kuwaelimisha walipa kodi ili wajue umuhimu wa wajibu huu
inahitajika kuwepo na msimamo thabiti katika kushugulikia masuala yanayohusu ukusanyaji na ulipaji kodi ndiyo maana nawasihi tra kuhakikisha wanazingatia utawala wa sheria na uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao alisema
aliongezea kusema kuwa mbali ya kuzingatia na kuyashughulikia tra pia inapaswa kupunguza malalamiko ya walipa kodi
kwa upande wake kamishna mkuu wa tra bwana harry kitilya alisema ripoti hiyo ina umuhimu wa pekee kwani itaisaidia mamlaka hiyo kutimiza malengo yake ya kutoa huduma bora inayoendana na uwajibikaji ili kuwezesha ulipaji kodi
ripoti hii ya sheria UNK masuala ya kodi imekuja katika wakati mwafaka ambapo serikali inajipanga kuhakikisha UNK katika kupanga bajeti yake kwa kutumia vyanzo vyake vya ndani
hii ni ripoti ya kwanza kabisa kuandaliwa na wataalamu wetu wa hapa nchini alisema bwana kitilya
mwenyekiti wa bodi iliyoandaa ripoti hiyo bwana kibuta UNK alisema makusudi ya kuandaa taarifa hiyo ni kuhakikisha maamuzi ya kisheria yanayohusu malalamiko ya kisheria katika masuala ya kodi yanakuwa ya aina moja
somo la maadili kwa watumishi wa afya limetakiwa kutolewa vyuoni na kuwekewa mitihani ambao mtahiniwa atalazimika kufaulu kabla ya kuhitimu ili aweze kufanya kazi yake kwa umakini zaidi
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari david mwakyusa wakati akizindua baraza la wataalamu wa macho
alisema kuwa ni bora maadili liwe somo UNK na kuwekewa mitihani ambao mtahiniwa UNK kabla ya kuhitimu ili aweze kufuata maadili ya kazi na kuwa na nidhamu ya hali ya juu
ni utaratibu UNK kwamba wataalamu wa afya UNK kiapo wanapohitimu na kupewa nyeti vyao
katika kiapo hicho wanaahidi kufanya kazi kwa kufuata maadili yaliyowekwa na kwa nidhamu ya hali UNK alisema
aliongezea kuwa anasikitika kusema kwamba baadhi ya wataalamu hawafuati maadili na hili ni eneo linalohitaji kuangaliwa kwa umakini zaidi kwani mara nyingi tunapata taarifa za wagonjwa kudaiwa fedha na matumizi ya lugha chafu kwa wagonjwa hospitalini tabia hizi kwa wataalamu hazina nafasi katika ulimwengu wa leo alise...
alilitaka baraza la wataalamu UNK kufanya kazi kwa umakini na kuelimisha wananchi ili watambue umuhimu wa kupima afya zao badala ya kununua miwani mitaani ambayo inahatarisha afya ya macho
pia alilitaka baraza hilo kuweka utaratibu wa kuteua wasimamizi wa sheria husika mikoani na wilayani kwa lengo la kurahisisha shughuli za usajili utekelezaji na usimamizi wa sheria yenyewe
na makumba mwemezi mahakama ya rufani tanzania jana imelitupa shauri la mapitio ya uamuzi wake ilioutoa katika kesi ya madai namba kumi na nane ya mwaka ishirini sifuri tano lililowasilishwa kwake na walalamikaji ambao walikuwa askari wa kikosi maalum cha kuzuia magendo cha zanzibar wakidai kulipwa shilingi mia moja n...
akisoma uamuzi huo msajili wa mahakama ya rufani tanzania daktari ferdinand wambali alisema baada ya kupitia hoja za walalamikaji na kubaini hazina msingi kwani hazikuonesha kuwepo udanganyifu kutosikilizwa wala mahakama kukosa mamlaka ya kusikiliza
walalamikaji walifungua kesi kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kmkm kuwaachisha kazi pamoja na kutowapa barua rasmi zinazoonesha kuachishwa huko
akizungumza nje ya mahakama ya rufani mara baada ya uamuzi huo mwakilishi wa walalamikaji ambaye ni mlalamikaji wa kwanza abdallah ali mohamed alidai korti haikuwatendea haki
pia aliomba bunge la tanzania pamoja na baraza la wawakilishi zanzibar kuwapa nafasi ya kuwasilisha vielelezo walivyonavyo kwani vyombo hivyo ndivyo wawakilishi wa wananchi
naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga amewataka wananchi wa jumuiya ya afrika mashariki kujenga utamaduni wa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini mwao kwa kuwa zina ubora wa kutosha
akizungumza dar es salaam juzi wakati alipotembelea maonesho ya nguvukazi daktari mahanga alisema kwa kufanya hivyo kutasaidia kuwainua kiuchumi wajasirimali wa ndani na kuleta maendeleo katika nchi zao
daktari mahanga alisema ununuaji wa bidhaa za ndani pia utaondoa matatizo ya utafutaji wa masoko kwa wajasiriamali wengi wanaozalisha bidhaa zao
katika mabanda ambayo nimetembelea bidhaa nyingi zimeonekana kuwa bora tena kushinda hata za nje UNK kununua ni vyema sasa wanajumuiya tukajenga utamaduni wa kuthamini kile UNK wenyewe ili wazalishaji wetu UNK kiuchumi alisema daktari mahanga
aliwataka wajasiliamali hao kuhakikisha bidhaa zao UNK katika mashirika ya viwango kama vile tbs la tanzania yaliyopo nchini mwao ili kujihakikishia soko UNK
maonesho hayo UNK wajasiliamali zaidi ya themanini sifuri kutoka nchi za jumuiya ya afrika mashariki ambazo ni tanzania kenya uganda na rwanda isipokuwa burundi ambao UNK
akizungumza katika maonesho hayo jana waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki daktari UNK kamala alisema nchi za jumuiya hiyo UNK na kufanya tathmini ya maonesho hayo tangu yameanzishwa ili kuona mahali UNK kwa lengo la kuwasaidia
kweli bidhaa ni nzuri lakini nyingi zinafanana kwa hiyo tutakaa nchi zote za afrika mashariki na kuona haja ya kuwawezesha zaidi ili kuzalisha bidhaa tofauti na ilivyozoeleka
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi profesa jumanne maghembe amewataka walimu kuwahamasisha wanafunzi kujiwekea utamaduni wa kujisomea ili kuongeza misamiati ya lugha ya kiswahili
akizungumza juzi dar es salaam katika hafla ya kuwazawadia wanafunzi walioshinda katika uandishi wa insha kuhusu faida za kombe la mataifa linalochezwa angola na la dunia dunia linalochezwa na jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa afrika
alisema vijana UNK kuandaliwa mapema kuhusu shughuli zote za jumuiya ya afrika mashariki kwa kuwa ndio watakuwa walinzi wa jumuiya hiyo kwa miaka ijayo
wanafunzi wanakuwa waoga kushiriki mashindano ya insha kwa kukosa ushauri wengi wao wanakuwa na uwezo lakini lugha UNK hivyo wanahitaji mtu wa UNK alisema profesa maghembe katika mashindano ya mwaka huu tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi za sadc ambapo mshindi wa kwanza allen UNK akitoka katika seminary ya...
pia peter emily wa shule ya sekondari tosamaganga mkoani iringa ameshika nafasi ya tatu katika nchi za jumaiya ya afrika mashariki na kuifanya tanzania kuwa mshindi wa kwanza
akizungumza baada ya kupokea zawadi mkuu wa shule ya sekondari ya tosamaganga bwana julius UNK alisema mashindano hayo UNK wanafunzi uwezo wa kujieleza na kujifunza lugha nyingine