text
stringlengths
1
1.32k
mashindano ya uandishi wa insha ya jumuiya ya afika mashariki yalianza mwaka ishirini sifuri nne kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi wa nchi hizo kuelewa masuala yanayohusu jumuiya
mwenyekiti wa wazazi wa chama cha mapinduzi mkoa wa kilimajaro bwana thomas ngawaiya ametangaza rasmi kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini mwakani kwa madai kuwa jimbo hilo liko wazi kwa kuwa halina mbunge wa chama hicho
tamko hilo la bwana ngawaiya limekuja siku moja baada ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo bwana philemon ndesamburo kusema wakazi wa moshi mjini hawadanganyiki bali wanamkubali yeye kutokana na huduma UNK ambazo ccm haiwezi kutoa
kauli hiyo ya bwana ndesamburo ilikuwa ni majibu kwa mbunge wa same mashariki bibi anne kilango alitangaza kupiga kambi katika jimbo hilo ili kuhakikisha ccm inaibuka na ushindi katika jimbo hilo baada ya kuukosa kwa miaka kumi na tano mfululizo
wakati vumbi la malumbano UNK bwana ngawaiya alilieleza majira kwa njia ya simu jana kuwa UNK bwana ndesamburo anayetokea chama cha demokrasia na maendeleo
nina kila sababu ya kuwa mbunge katika jimbo la moshi mjini kwa sababu bwana ndesamburo kazi yake ni ya kufadhili badala ya kufanya kazi ya msingi ya uwakilishi wa wananchi katika ngazi za juu serikali alisema
alisema kuwa katika kipindi cha mwaka ishirini sifuri sifuri hadi ishirini sifuri tano alichokuwa mbunge wa moshi vijijini kupitia aliwatetea wakulima wa kahawa ambao walikuwa hawajalipwa kwa kipindi cha miaka kumi
kwa mujibu wa bwana ngawaiya mwaka ishirini sifuri moja wakulima hao walilipwa shilingi bilioni arobaini na mbili ambazo zilitoka european union kati ya hizo fedha shilingi bilioni kumi na mbili zilipelekwa lyamungo kwa ajili ya kufanyia utafiti wa kahawa kwa kutengeneza miche UNK na wadudu waka shilingi bilioni theba...
mambo niliyofanya kwa kipindi hicho ni makubwa nina imani nikipewa nafasi kwa upande wa moshi mjini nitafanya mambo makubwa zaidi hususan ya kuhakikisha kwamba vijana wanapata ajira na viwanda kumi na sita UNK UNK
ubunge kwa bwana ndesamburo kwake mwisho ni mwaka kesho wananchi UNK kwani nimepata mitaa thebathini na tisa katika jimbo hili na yeye amebaki na mitaa ishirini na moja hivyo ninaamini nitashinda alisema
bwana ngawaiya alisema kuwa anaamini kuwa wananchi wa moshi watamchagua kutokana na kujenga hoja wakati alipokuwa mbunge hadi kodi ya kichwa ya shilingi mbili sifuri sifuri sifuri hadi shilingi tatu sifuri sifuri sifuri waliyokuwa wanatozwa wananchi na kusababisha kukimbilia mashambani kufutwa
upelelezi wa kesi ya mauaji inayomkabili mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam masama msiba UNK kumuua mpenzi wake bado haujakamilika na mshtakiwa huyo ataendelea kusota rumande
kesi hiyo ilitajwa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam mbele ya hakimu mkazi bibi hilda lyatuu na UNK kwa mara nyingine hakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi za mauaji
mshtakiwa masama ambaye ni mwanafunzi UNK wa elimu katika chuo hicho anadaiwa kumuua kwa kitu chenye ncha kali mwanafunzi mwenzake bibi bertha mwarabu anayedaiwa alikuwa mpenzi wake
mwendesha mashtaka mkaguzi wa polisi benedict nyagabona alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea juni sita mwaka huu majira ya saa ishirini na moja arobaini na tano katika hosteli za mabibo zilizopo ubungu jijini dar es salaam kwenye chumba mia mbili na hamsini block c upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea na...
waandishi wa habari wametakiwa kuandika kwa kina habari za uchunguzi ili kuiwezesha jamii kupata taarifa zenye usahihi na za kweli na kuepusha uwezekano wa vyombo vya habari kushitakiwa
mwito huo ulitolewa kwa waandishi wa habari dar es salaam juzi na mwandishi wa siku nyingi bwana fili karashani wakati akitoa mada katika semina ya siku mbili iliyoandaliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za uchunguzi
alisema ni lazima uandishi wa habari za uchunguzi UNK vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja kuziona pande zote zinazotajwa ili kuwatendea haki wahusika
ni lazima habari ya uchunguzi iwe na usahihi na ukweli na kuepuka uandishi usiozingatia matakwa ya uandishi wa habari alisema bwana karashani
huku akionesha mifano mbambali ya uandishi usiozingatia taaluma bwana karashani alisema waandishi wa habari wanatakiwa kujiamini kuondokana na woga na wawe na uwezo wa kuzungumza na watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi
kama wewe ni mwandishi wa habari mwoga basi kazi hii UNK bora UNK nayo na kwenda kuuza matenga ya nyanya alisema bwana karashani
aliongeza kuwa waandishi wa habari wanatakiwa kuifahamu kwa ufasaha lugha wanayoitumia ili kuepuka kutumia maneno yanayoweza kuleta mkanganyiko kwa jamii
uzinduzi wa siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia umeanza kwa simanzi miongoni mwa washiriki baada ya mwanamke mmoja kutoa shuhuda wa jinsi jinsi mtoto wake UNK akiwa na umri wa miezi miwili jijini dar es salaam
akisimulia mkasa huo bibi rachel kasuke mkazi wa iringa alisema alianza mahusiano ya kimapenzi mwaka ishirini sifuri sita na bwana abdul seleman ambaye alikuwa dereva wa magari makubwa
nilikuwa naishi iringa na bibi yangu nilipokutana na mwanaume huyo sikufahamu alipokuwa akiishi na tulikutana njiani alisema bibi kasuke katika ushuhuda wake UNK na waziri mkuu bwana mizengo pinda
alisema baada ya mwaka mmoja alipata ujauzito na kujifungua mtoto wa kike ambaye kwa sasa ana umri wa miezi nne akiwa iringa alikokuwa akiishi na bibi yake
ilipofika julai mwaka huu bwana seleman alimfuata kijijini kwao na kumleta jijini dar es salaam manzese midizini ili waweze kuishi pamoja kutokana na hali ya maisha na hakuwa na zaidi ya bibi yake ambaye alimruhusu kuja kumlea mtoto wake
baada ya mtoto kutimiza miezi mbili mama mkwe wake alimtembelea na kumweleza kuwa mtoto huyo alitakiwa kufanyiwa mila bila UNK aina ya mila UNK kufanyiwa
zilipita siku mbili UNK UNK kuwa ni mila gani hiyo lakini aliendelea UNK siku ya tatu nilipoingia ndani nilimkuta mume wangu akiwa UNK mtoto bila nguo mama mkwe alikuwa ameshika kiwembe na pamba alisema bibi kasuke aliongeza kuwa baada ya jitihada za kumwokoa mtoto huyo mikononi mwa mumewe kushindwa aliamua kukimbia n...
baada ya kufika kituo cha polisi magomeni alipokelewa na askari ambaye alimwelekeza kwa mkuu wa kituo kutokana na ukubwa wa tukio
mkuu wa kituo alimpatia askari sita na gari walipofika nyumbani walikuta mtoto pekee amefanyiwa UNK lakini mume na mama mkwe wake hawakuwepo ndani
polisi waliamua kumchukua mwenye nyumba kwa ajili ya uchunguzi na kumhifadhi bibi kasuke na mwanaye katika kituo cha polisi baada ya kukosa sehemu ya kuishi hadi alipokuja kuchukuliwa na chama cha wanasheria wanawake tanzania hadi leo
mfanyabiashara john UNK mkazi wa mbeya amekamatwa jijini dar es salaam kwenye kituo cha treni cha tazara akiwa na vipodozi UNK marufuku aina ya UNK vyenye thamani ya shilingi milioni mbili nane mwendesha mashtaka bwana basil pandisha alisema mbele ya hakimu UNK mzava wa mahakama ya wilaya ya temeke kuwa mshtakiwa alik...
alisema mzigo huo ulijaa losheni zenye sumu ambayo inaleta madhara ya ngozi kwa binadamu
mshtakiwa amekana kosa hilo na dhamana yake iko wazi lakini amekosa wa wadhamini na kulazimika kwenda rumande mpaka UNK mdhamini huku kesi yake ikitarajiwa kutajwa desemba nane mwaka huu
wakati huo huo bwana joseph UNK mkazi wa kigamboni mji mpya amekamatwa kwa makosa manne likiwemo la uvuvi haramu
mwendesha mashtaka bwana isaya mwanga alidai mbele ya hakimu aziza UNK wa mahakama hiyo kuwa mkono wa sheria UNK mshtakiwa novemba kumi na tisa mwaka huu saa kumi na moja kumi na tano jioni katika maeneo ya buyuni temeke jijini dar es salam UNK makosa mbalimbali
katika kosa la kwanza anadaiwa kufanya shughuli ya uvuvi bila leseni pili kuvua kwa chombo ambacho UNK na kosa la tatu kupatika na vifaa vya mlipuko vya kuvulia samaki
mshtakiwa alikana makosa yote na licha ya dhamana yake kuwa wazi ikihitaji wadhamini wawili wenye mali isiyohamishika shilingi sh
milioni moja kila mmoja alirudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti
kesi hiyo itatajwa desemba tatu mwaka huu
kampuni taasisi mbalimbali na watu binafsi wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika tamasha la punguzo la bei na burudani linaloendelea katika viwanja vya mlimani city barabara ya sam UNK dar es salaam
tamasha hilo UNK kilele kesho linahusisha wadau kutoka sehemu mbalimbali likiwa na lengo la kuhamasisha wananchi kujenga tabia ya kununua bidhaa zinazopatikana katika maduka ya mlimani city
mratibu wa tamasha hilo bwana fred kimiti alisema kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na watu wengi kujitokeza kununua bidhaa ambazo UNK bei kwa kiasi kikubwa
kuna kampuni nyingi ambazo zimejitokeza kuomba nafasi za kuonesha bidhaa zao baada ya kuona mwamko wa watu kununua bidhaa katika tamasha hilo alisema
alitaja baadhi ya kampuni na taasisi ambazo zimejitokeza kuleta bidhaa na huduma kuwa ni pamoja na dstv na hospitali inayotoa huduma ya macho
kampuni ya business times limited inayochapisha na kusambaza magazeti ya business times majira spoti starehe na dar leo ndio mdhamini pekee wa tamasha hilo kwa upande wa vyombo vya habari
kampuni hiyo imejitokeza kushiriki tamasha hilo ili kutoa nafasi kwa watanzania kujionea bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo
taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo kwa vyombo vya habari jana ilieleza kuwa wananchi watakaotembelea banda la business times ltd watapata nafasi ya kujionea nakala za mwanzo za magazeti hayo likiwamo la business times ambalo ni kwanza binafsi kuchapishwa nchini mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nane aidha n...
msuguano wa uongozi ndani ya jumuiya ya wanawake tanzania umeelezwa kuchochewa na mgawanyiko uliopo baina ya wabunge ambao kwa siku za karibuni umesababisha uhasama mkubwa baina yao majira limeelezwa
habari zilizopatikana kutoka katika vyanzo mbalimbali zimeeleza kuwa harakati za mwenyekiti wa uwt bibi sophia simba kutaka kumg oa katibu mkuu wa umoja huo bibi hasna mwilima una mkono wa siasa za kuviziana ambazo sasa imekuwa za kawaida miongoni mwa wabunge
katika siku za karibuni bunge la tanzania UNK katika makundi mawili moja UNK kupamba na ufisadi na jingine UNK watuhumiwa wa ufisadi UNK bibi simba ambaye hivi karibuni alieleza msimamo wake kwenye kamati ya maridhiano iliyoongozwa na mzee ali hassan mwinyi kuchunguza chanzo cha mpasuko
vyanzo vyetu ndani na nje ya uwt vimeeleza kuwa siasa hizo zimeingia ndani ya jumuiya hiyo na kwa kuwa bibi husna anahusishwa na upande mwingine unaopambana dhidi ya ufisadi
lakini umoja huo unadaiwa UNK mgogoro huo wa wabunge kutaka kuigawa jumuiya yao na jana makamu mwenyekiti wa uwt bibi asha bakari makame aliweka wazi msimamo kuwa uwt haitakubali kuona mgawanyiko wa wabunge unaingizwa katika jumuiya hiyo kwa vile kila chombo kina majukumu yake na badala yake wawaache viongozi wa jumui...
tunalotaka mambo ya bungeni UNK katika jumuiya watuache tufanye kazi kwa kuleta maendeleo kwani uwt ndio muhimili mkuu katika ccm alisema makamo huyo
kauli hiyo ya bibi makame imekuja siku chache baada ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango ambaye ni miongoni mwa wabunge wanaopambana na ufisadi kuwataka wanachama wa uwt mkoani kilimanjaro kuwapuuza bibi simba na bibi mwilima kwa kuwa UNK baina yao ni suala la binafsi na si la jumuiya
hivi karibuni katika kikao cha baraza kuu la uwt ilidaiwa kuwa uliandaliwa mkakati wa kumnggoa bibi mwilima hatua ambayo uwt imekanusha lakini UNK kiongozi huo alihojiwa na kujadiliwa kutokana na kutotekeleza baadhi ya mambo yaliyopitishwa na vikao vya jumuiya
katika kikao hicho ilidaiwa pia kuwa bibi simba UNK wajumbe kuwa bibi kilango ameandaa mawakili kumi kwa nia ya kumshtaki kwa tuhuma dhidi yake kuwa anauza dawa za kulevya UNK kutoa katika kamati ya mzee mwinyi jambo ambalo linaashiria kuwa mgogoro baina ya wabunge unazidi kujichimbia ndani ya uwt pamoja na maelezo ya...
katibu mkuu wa uwt bado ni katibu na anaendelea na majukumu yake kama kawaida na hawezi kufukuzwa bila ya kupitia taratibu za vikao alisema bibi makame
hata hivyo alisema yeye na mwenyekiti wake walionesha busara kubwa katika kikao hicho licha ya baadhi ya wajumbe kuwa na jazba kwa vile mambo yote UNK kwa uwazi
askari wa jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania private yusuph haji hussein amewaua askari wenzake wawili praveti UNK masanja na praveti rashid hassan nawawi toka zanzibar kwa kuwapiga risasi
kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na kurugenzi ya habari na uhusiano ya makao makuu ya jwtz dar es salaam tukio hilo lilitokea novemba ishirini na tatu mwaka huu saa moja jioni katika kijiji cha manyovu kasulu mkoani kigoma ambako wanalinda mpaka wa tanzania na burundi
siku ya tukio askari huyo alikuwa amepewa ruhusa ya kwenda benki mjini kasulu kuchukua mshahara wake na aliporejea aliwakuta wenzake wanne wakiwa wanakula chakula cha jioni na kuwaambia kuwa maskini anaishi muda mrefu kwa tabu nyingi na tajiri anaishi muda mfupi kwa raha nyingi
baada ya kutoa kauli hiyo aliingia katika chumba cha silaha na kuchukua bunduki aina ya smg moja yenye nambari elfu sita na mia saba na sitini na risasi thebathini kisha kumpiga private masanja risasi mbili kichwani na moja mkono wa kushoto na kufa papo hapo
kutokana na mauaji hayo askari wenzake walikimbilia porini na kumuacha UNK huyo ambaye aliingia tena katika chumba cha silaha na kuchukua risasi mia moja na ishirini na kisha kuchoma moto chumba chake na vyumba vya wenzake na kuelekea makao makao makuu ya kiteule hicho UNK ulinzi
akiwa njiani kiasi cha kilometa mbili askari huyo aliyeajiriwa mwaka ishirini sifuri mbili akitokea zanzibar alikutana na askari mwingine private nawawi na kumpiga risasi UNK kifo
private nawawi alikuwa akitokea mjini kigoma ambako naye aliruhusiwa kwenda kuchukua mshahara wake
baada ya tukio hilo mtuhumiwa UNK silaha hiyo na risasi tisini na mbili na kutokomea kusikojulikana
risasi nyingine hamsini na moja hazijulikani zilipo
hata hivyo taarifa hiyo haikueleza chanzo cha mauaji hayo na sasa jeshi la polisi nchini kwa kushirikiana na askari wa jwtz wanaendelea kumtafuta askari huyo
na makumba mwemezi mahakama ya rufani tanzania jana imelitupa shauri la mapitio ya uamuzi wake ilioutoa katika kesi ya madai namba kumi na nane ya mwaka ishirini sifuri tano lililowasilishwa kwake na walalamikaji ambao walikuwa askari wa kikosi maalum cha kuzuia magendo cha zanzibar wakidai kulipwa shilingi mia moja n...
akisoma uamuzi huo msajili wa mahakama ya rufani tanzania daktari ferdinand wambali alisema baada ya kupitia hoja za walalamikaji na kubaini hazina msingi kwani hazikuonesha kuwepo udanganyifu kutosikilizwa wala mahakama kukosa mamlaka ya kusikiliza
walalamikaji walifungua kesi kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kmkm kuwaachisha kazi pamoja na kutowapa barua rasmi zinazoonesha kuachishwa huko
akizungumza nje ya mahakama ya rufani mara baada ya uamuzi huo mwakilishi wa walalamikaji ambaye ni mlalamikaji wa kwanza abdallah ali mohamed alidai korti haikuwatendea haki
pia aliomba bunge la tanzania pamoja na baraza la wawakilishi zanzibar kuwapa nafasi ya kuwasilisha vielelezo walivyonavyo kwani vyombo hivyo ndivyo wawakilishi wa wananchi vigogo wa chama cha wananchi UNK naibu waziri kiongozi wa zanzibar bwana ali juma shamhuna na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana mohamed se...
wakati hayo yakijiri makamu mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake tanzania bibi asha bakari makame ameongeza utambi kwenye kauli za mawaziri hao akisema suala la serikali ya mseto UNK
hatuwezi tukasema UNK serikali ya mseto UNK kwa vile hii nchi imepatikana kwa mapinduzi na wenyewe bado wapo
UNK wa chama hicho aliyezungumza na gazeti hili jana waliwataka wananchi kuwapuuza viongozi hao kwa vile hawawezi kumsaidia rais amani abeid karume
mjadala huo baina ya viongozi wa cuf na ccm umekuja baada ya bwana shamhuna kukaririwa akisema kuwa zanzibar hahitaji UNK ya mseto bali kinachotakiwa ni kujenga utamaduni wa kukubali matokeo ya uchaguzi ya kushinda au kushindwa
naye bwana khatib alisema katika suala la umoja hakuna haja ya ushirikiano na chama kingine kwa kuwa ccm yenyewe inaweza kuwaunganisha UNK wote
kauli za viongozi hao ambazo zimetolewa katika kipindi ambacho wazanzibari wanashangilia mafanikio ya kihistoria yaliyofikiwa baina ya rais karume na maalim seif juu ya uwezekano wa kuwepo kwa serikali ya mseto UNK wana cuf na UNK huku wakiwa makini kukwepa kuingilia mazungumzoa yaliyopo
kiongozi mmoja wa juu wa cuf na mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama hicho UNK majira kuwa rais karume ameonesha nia nzuri ya kujenga nchi pasipo uhasama lakini watu kama hao ni wa kupuuza kwani wamechoka na hawawezi kumsaidia rais
kiongozi huyo ambaye alikataa jina lake kutajwa kwa sababu jukumu ya kuzungumzia makubaliano ya rais karume na cuf ni katibu mkuu wa chama hicho maalim seif sharif hamad alisema wao wanafuata maelekezo ya rais karume na siyo ya mtu mwingine kama bwana shamhuna
kauli hiyo kiongozi huyo inaungwa mkono na mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba UNK majira kuwa yeye anaongozwa na kauli ya rais karume kwa kuwa hotuba yake ilikuwa ni nzuri yenye madhumuni ya kuwaunganisha wazanzibari
kiongozi mwingine ambaye pia alikataa jina lake lisichapishwe gazetini alisema kauli iliyotolewa na viongozi hao wawili bwana shamhuna na bwana khatib haiwezi kuwakatisha tamaa wana cuf kauli hizo UNK tamaa wana cuf wanachama wetu wameridhika wanasikiliza UNK na katibu mkuu wetu na hawawezi kumsikiliza mtu mwingine al...
kiongozi huyo alimshangaa bwana shamhuna kwa kutoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari wakati ana fursa ya kutoa ushauri wake katika baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi ya zanzibar au moja kwa moja kwa rais karume
kwanza tunamshangaa ni wapi kwenye makubaliano kati ya rais karume na maalim seif walisema wamekubaliana kuunda serikali ya umoja wa kitaifa
alihoji kiongozi huyo
alibainisha kuwa nia ya kukubali kuitambua serikali ya rais karume siyo kutaka kuunda serikali ya mseto bali kuwaunganisha wazanzibari
mbona UNK ana wasiwasi
UNK vya kutosha lengo letu siyo tupewe vyeo nia yetu ni kuwahudumia wananchi
siasa siyo ukubwa alisema
alisisitiza kuwa watu wanahitaji kushirikiana kujenga nchi hakuna sehemu rais karume na maalim seif walisema wamekubaliana serikali ya mseto
kiongozi huyo alibeza kitendo cha bwana shamhuna kutoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari wakati rais ameonesha nia ya kujenga umoja
akizungumzia kauli hiyo mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema alisema maalim seif alikubali kuitambua serikali ya rais karume kiungwana lakini waliyokubaliana UNK
alisema kuwa rais karume aliwahi kutamka kuwa silaha za mapinduzi bado zipo na hadi sasa hajawahi kukanusha kauli hiyo
aliwahi kusema kuwa uhuru haupatikani kwa karatasi hatujasikia akikanusha sasa hapa kuna mwafaka wa aina gani
alisema bwana mrema
alihoji kama muafaka wa maadishi UNK itawezekana vipi kwa makubaliano ya mdomo
urafiki wao ni sawa na wa sungura na mbwa kamwe wanyama hawa hawawezi kujenga urafiki wa kudumu alisema