text
stringlengths
1
1.32k
akizungumza katika mahafali ya pili ya chuo kikuu cha UNK UNK jijini hapa juzi alisema maana ya kuwa na wasomi ni kupata ukombozi katika masuala sugu UNK watanzania na kuwafanya wabaki katika maisha magumu
alisema wahitimu wa cheti na shahada ya elimu katika lugha UNK na watakuwa na maana katika jamii iwapo tu wataitumia elimu hiyo kushiriki katika mchakato wa kuwapatia watanzania maisha bora na s kuwa chukizo katika jamii
alisema kuwa nchi inawategemea kutokana na elimu waliyoipata kwani wataweza kuisaidia jamii na si kuiweka mfukoni wapo UNK elimu zao mifukoni na kushindwa kuwa msaada katika jamii UNK
UNK kwani UNK vema kupata shahada na wengine vyeti lakini ukweli ni kuwa tunawasubiri katika maeneo yenu ya kazi
je UNK kama kweli elimu mliyopata UNK na si kuiweka mfukoni alisema askofu cheyo
aidha aliwataka wahitimu hao kuepuka kuitwa majina machafu yasiyofaa kuitwa wasomi kama ilivyo kwa viongozi wengi hapa nchi kwani kwa kufanya hivyo watapoteza dira ya usomi wao na kushindwa kuwa msaada kwa watanzania
kwa upande wake mkuu wa wilaya ya hai daktari UNK UNK aliutaka uongozi wa kanisa la UNK ambao ndio wamiliki wa chuo hicho kwa kushirikiana na watalaamu wao wa chuo kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika mtaala UNK ili kuwezesha wasomi wa chuo hicho kuwa mfano wa kuigwa
upande wa mashitaka leo unatarajiwa kuanza kutoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili waliokuwa mawaziri bwana basil mramba wa fedha na bwana daniel yonna wa nishati na madini
kuanza kusikilizwa kwa ushahidi huo kwa siku tano mfululizo UNK bwana mramba kukatisha mkutano wa bunge unaoendelea mjini dodoma
ushahidi huo utatolewa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu ambao ni bwana john utamwa bwana saul kinemela na bwana sam rumanyika
miongoni mwa mashahidi wanaotarajiwa kuoa ushahidi wao leo ni aliyekuwa naibu waziri wa fedha bwana abdisalaam issa khatib na wengine kumi na sita wakiwemo wataalamu mbalimbali waliohusika katika kutoa ushauri kwa washitakiwa kuhusu msamaha wa kodi kwa kampuni ya alex UNK
mashahidi wengine ni bwana godwin nyelo bibi maria kejo bibi betha soka bibi rehema kitambi bwana mustapha ismail bwana ludovick kandege bwana saddy kambona christine shekidele na makamishna wa nishati na madini bwana gray mwakalukwa na bwana bashir UNK
wengine ni bwana p kasera bwana agrey teemba bwana george kaindoa kesysia mbatia nakuwera senzia na bwana george tigiti
kwa mujibu wa maelezo ya awali na nyaraka zilizosomwa mahakamani bwana yonna alikaidi ushauri wa wataalamu mbalimbali kuhusu kuajiri kampuni hiyo ambayo ilipewa msamaha ya kodi na kusababisha hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba bwana mramba naye alidaiwa kutoa maelekezo ya kusainiwa kwa hati ya makubalino kat...
mshitakiwa mwingine katika kesi hiyo ni aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi bwana gray mgonja ambaye kama ilivyo kwa wenzake anadaiwa kutumia vibaya ofisi kwa kutoa UNK ya kodi kwa kampuni hiyo hatua iliyosababisha hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba kitendo cha serikali kuendelea kuzuia ripoti...
hali hiyo inajitokeza ikiwa ni wiki ya mwisho ya mkutano wa kumi na saba wa bunge UNK kuwa utajadili na kuhitimisha suala hilo UNK na kamati teule ya bunge februari mwaka juzi
habari kutoka ndani ya kamati hiyo zinasema kutokana na serikali kuficha ripoti yake hadi sasa inaweza kusababisha kamati hiyo kujiondoa katika suala hilo au kutoa notisi ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ambaye ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni
chanzo chetu ndani ya kamati hiyo UNK majira kuwa imepanga kukutana leo kama mkutano kati ya wabunge wa ccm na kamati ya mzee mwinyi itamalizika mapema au kesho jumanne kwa lengo la kujiweka sawa kuhusu masuala mbalimbali wakati ikisubiri kupokea na kujadili taarifa hiyo ya serikali
kwa muda mrefu kamati hiyo imekuwa inasubiri taarifa hiyo bila mafanikio mara mbili serikali UNK kuwasilisha ripoti hiyo jijini dar es salaam na kuahidi kufanya hivyo dodoma kabla ya mkutano kuanza lakini hadi sasa haijafanya hivyo
ilielezwa kwamba kamati hiyo UNK na kitendo cha serikali UNK kuikabidhi taarifa hiyo mapema wiki iliyopita ili ijipange mapema kulijadili kwa ufasaha huku mmoja wa watuhumiwa katika taarifa hiyo mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana edward hosea akidaiwa kutaka kuwaziba midomo wabunge kwa k...
baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo walisema kwamba UNK ni kwamba wengi walioitwa kuhojiwa na takukuru ni wajumbe wa kamati hiyo na wale waliokuwa kwenye kamati teule UNK maovu ya richmond hivyo kuthibitisha kwamba serikali UNK kwa lengo la kuwaziba mdomo
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana willliam shelukindo hakupatikana jana kwa kilichoelezwa kuwa alikuwa kwenye mkutano wa kamati ya mwinyi
aliyekuwa mwenyekiti wa kamati iliyochunguza zabuni ya richmond daktari UNK mwakyembe aliahidi kutoa jibu leo kwa kuwa alikuwa safarini nje ya mji wa dodoma hadi jioni
hata hivyo habari kutoka ndani ya serikali zinaeleza kwamba taarifa hiyo UNK kwenye kamati hiyo kesho jumanne baada ya kukamilika na kwamba uenda UNK alhamisi au ijumaa
pia UNK kwamba iwapo kutakuwa na shughuli nyingi za bunge uenda mkutano UNK siku mbili ili kumaliza kabisa taarifa hiyo kama UNK kati ya serikali na bunge
kampuni ya smart holdings limited ya kukusanya ushuru katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi ubungo imekabidhi mikoba kwa halmashauri ya jiji la dar es salaam
kampuni hiyo inayomilikiwa na familia ya mbunge wa kuteuliwa na rais kingunge ngombale mwiru ilikabidhi shughuli hiyo usiku wa kuamkia jana baada ya mkataba wake wa miaka mitano kumalizika
halmashauri ya jiji UNK shughuli hiyo miezi minane baada wa waziri mkuu mizengo pinda kuagiza mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali kukagua hesabu za makusanyo ya fedha katika kituo hicho
pinda UNK uchunguzi huo machi mwaka huu baada ya kushangazwa kuona mazingira UNK kupatikana kwa kiasi kikubwa cha fedha lakini serikali UNK shilingi milioni moja tano pekee kwa siku
kampuni hiyo ilikuwa inakusanya ushuru wa magari yanayoingia wasindikizaji na UNK wa abiria pamoja na kodi za pango ya UNK
kampuni hiyo iliingia mkataba huo novemba moja mwaka ishirini sifuri nne baada ya kushinda zabuni ya kukusanya mapato ya ushuru na kodi za magari yote yanayoingia na kutoka kituo hicho
akizungumza jana dar es salaam mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana hassan khan alisema kuwa mkataba wao wa kukusanya mapato umeisha juzi saa sita usiku na kukabidhi kwa kaimu mkurugenzi wa jiji
kampuni hiyo imekuwa UNK ushuru wa mlango na kuilipa halmashauri ya jiji shilingi milioni mbili kwa siku kutokana na tathmini mbili za mwaka ishirini sifuri nne zilizofanywa na kampuni ya ushauri UNK UNK na ile ya wataalamu wa jiji UNK kati ya shilingi milioni moja nane milioni mbili kuhusu kodi za pango wafanyabiasha...
kutimiza lengo hili lilikuwa vigumu sana lakini kutokana na kampuni kuheshimu mkataba ilibuni njia mbalimbali za kutuwezesha kutimiza malengo ya mkataba na iliwekeza katika miundombinu ya ujenzi wa ofisi kujenga vizuizi kuweka milango ya kisasa na radio call aliongezea gharama za uendeshaji zimekuwa UNK kila siku laki...
mkurugenzi huyo alisema kwa kipindi cha miaka mitano UNK halmashauri ya jiji jumla ya shilingi bilioni tatu nane
yatakiwa UNK kuziba midomo wabunge
wabunge waapa UNK na serikali baadhi ya wabunge UNK kuwa iwapo kamati ya mwinyi UNK nao leo itakuja na sura ya kutaka UNK na serikali rais jakaya kikwete ajiandae ccm UNK mkononi mwake
wabunge hao wametoa onyo hilo kamati hiyo ikiwa tayari imekutana na kamati ya uongozi ya wabunge wa ccm chini ya waziri mkuu mizengo pinda na badaye kukutana tena na kamati ya uongozi ya bunge chini ya spika samuel sitta kwa nyakati tofauti kwa lengo la kupata picha na kujua uelekeo wa kikao cha leo cha wabunge wote w...
kamati hiyo iliundwa na halmashauri kuu ya taifa ya ccm kwa lengo la kuchunguza mahusiano baina ya wabunge na serikali yao hasa baada ya kauli ya za wabunge hao bungeni kuwakera viongozi wa serikali na wa chama hicho
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti jana baadhi ya wabunge walisema lengo la kamati ni kuwaziba midomo ili kuacha hoja za msingi zinazotakiwa kujibiwa na serikali kwa ufasaha badala yake wakubali kuburuzwa jambo ambalo limepitwa na wakati
hivi sasa tunasubiri majibu ya serikali kuhusu richmond huku takukuru inataka kutuziba midomo huku kamati ya mheshimiwa mzee mwinyi nayo inataka kutuziba midomo haya mambo UNK kwa makini wakati wa ccm UNK mkono mwa jk umefika kwanza kuwepo kwa kamati hii ni kuficha ukweli chanzo cha tatizo UNK lakini hawataki UNK UNK
chanzo cha tatizo ni kwamba kumejitokeza kundi dogo tu ndani ya ccm lenye nguvu ya fedha haramu lenye lengo la UNK au kukiendesha chama kama kampuni ya mtu binafsi inapotokea wenye uchungu na nchi kuona hilo na UNK kwa nguvu zote matokeo yake ni kuundwa kwa kamati badala ya kushughulikia chanzo cha tatizo alisema mbun...
mbunge mwingine machachari wa ccm alisema yeye kama mwakilishi wa wananchi anasikitishwa na hali iliyopo ndani ya ccm ya sasa ya kuacha hoja za msingi na kupoteza muda kwa lengo la kuficha ukweli
ninachoweza kuzungumza kwa sasa ni kwamba tunasubiri sana hiyo kamati ya wazee wetu kesho ila tunasikitika sana kwamba tunapoteza muda wa kulumbana badala ya kunggoa mzizi wa fitna tatizo linajulikana UNK ni kutokubali kuwa wawazi na UNK
hoja zinazotarajiwa kutawala mkutano ni pamoja na kuwepo kwa uhasama baina ya wabunge wa ccm vikao vya ccm kushindwa kushughulikia matatizo ndani na kuyaweka hadharani bungeni na bunge kutumika kama rungu la kupiga serikali pamoja
habari kutoka ndani ya kikao cha kamati na ile ya uongozi wa bunge zilieleza kwamba kulikuwa na mjadala mkali kuhusu hoja hizo huku baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakiweka wazi kwamba kinachotakiwa ni kushughulikia matatizo si watu
ilielezwa kwamba kikao hicho kilikuwa na mvutano mkali huku baadhi ya wajumbe UNK kamati hiyo kwamba iwapo UNK alama za nyakati uenda kikao cha leo kitakuwa kigumu zaidi na hata kuweza kuvunjika kwa kuwa wabunge wanatambua kuwa kilichopo nyuma ya kamati hiyo ni kutaka UNK
akiri kutoa vibali vya msamaha wa kodi akana kusababisha hasara ya UNK
ataka wapelelezi wakaangalie hansard na grace michael aliyekuwa waziri mwandamizi katika serikali ya awamu ya tatu bwana basil mramba amekiri kutoa vibali vya msamaha wa kodi katika kampuni ya alex UNK kutokana na kuridhiwa na ikulu
mbali na hiyo pia amekana kusababisha hasara kwa serikali ya tanzania ya shilingi bilioni kumi na moja saba na kusema kuwa hasara hiyo UNK na mkataba mbovu uliokuwa umeingiwa kwa maridhiano hayo
hayo yalisemwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam mbele ya hakimu mkazi bwana UNK UNK kupitia wakili wa mshitakiwa huyo bwana herbert nyange wakati wa usikilizwaji wa awali wa kesi hiyo
mteja wangu UNK hasara ya mabilioni hayo bali ni mkataba mbovu uliokuwa umeingiwa lakini pia asingeweza kufanya hayo bila ya ikulu kuridhia na kwa kuwasaidia wapelelezi wakaangalie hansard ya bunge ya mwaka ishirini sifuri nne alisema bwana nyange
hatua ya kusema hivyo ilitokana na upande wa mashitaka kusoma maelezo yote ya awali ya kesi hiyo ambapo washitakiwa walitakiwa kueleza ni mambo gani UNK na yapi UNK
kwa upande wa bwana mramba alikiri kushika nyadhifa ya juu katika serikali ya awamu ya tatu kama waziri wa fedha lakini pia kuandika barua kwa mshitakiwa wa pili bwana daniel yona aliyekuwa waziri wa nishati na madini kwamba shughuli ya kuingiza kampuni hiyo UNK wakati bajeti ya ishirini sifuri tatu sifuri nne ikiwa i...
mbali na hiyo pia bwana mramba alikubaliana na kuandika barua namba UNK m thebathini mbili ikitoa maelezo kwa gavana wa benki kuu ya tanzania kuwa UNK dola za marekani milioni moja kama fedha za awali katika kampuni alex UNK
kwa upande wa mshitakiwa wa pili bwana yona alikubaliana na vipengele vya majina yake na kushika wadhifa wa juu serikalini lakini UNK na maelezo ya kuandika barua ambayo bwana mramba alikiri kuandika kwake kuhusiana na fedha kupatikana kwenye bajeti ya nyongeza
hata hivyo mshitakiwa wa tatu ambaye alikuwa ni katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi bwana gray mgonja alikanusha maelezo yote na kukubaliana na wadhifa aliokuwa nao
maelezo UNK ni kupokea barua kutoka mamlaka ya mapato tanzania ikisisitiza kampuni hiyo ilipe kodi kulingana na sheria ya nchi
maelezo hayo yalidai kuwa bwana mgonja alimshauri bwana mramba kuendelea na zoezi la kusaini notisi za msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo
baada ya kumaliza kusomwa kwa maelezo hayo upande wa mashitaka uliiambia mahakama kuwa unatarajia kuita jumla ya mashahidi kumi na tatu na vielelezo mbalimbali kuhusiana na kesi hiyo
upande wa utetezi uliwasilisha ombi kuhusiana na bwana mramba kuruhusiwa kuhudhuria kikao cha bunge mpaka mei mosi mwaka huu ambapo mahakama ilikubaliana na ombi hilo
kesi hiyo itaanza kuunguruma mahakamani hapo mei kumi na nane mwaka huu
awali washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo wakidaiwa kutumia vibaya ofisi zao kwa kuidhinisha vibali mbalimbali vya msamaha wa kodi na hatimaye kuisababishia hasara serikali ya tanzania jumla ya shilingi bilioni kumi na moja saba tatizo la mgawo wa umeme nchini bado halijapatiwa ufumbuzi wa kudumu kutokana na ...
mitambo hiyo UNK na serikali kuwa ingekuwa tayari novemba mosi na kuingia megawati kumi sifuri za iptl na nyingine arobaini na tano za mtambo wa gesi asili unaojengwa kampuni la wartsla tegeta dar es salaam
akizungumza na gazeti hili ofisini kwake dar es salaam jana ofisa mkuu wa habari wa wizara ya nishati na madini bwana aloyce tesha alikili kutokuwashwa kwa mitambo hiyo kwa sababu bado umaliziaji mdogo wa kituo hicho cha tegeta cha kuunganisha umeme huo katika gridi ya taifa
bwana tesha alisema kuwa kwa ujumla ujenzi wa kituo hicho kimeshakamilika na sehemu iliyobaki ni kuunganisha nyaya hizo kwenye gridi ya taifa ili uweze kusambazwa kwa watumiaji jambo ambalo UNK wiki hii
ni kweli kituo cha tegeta bado UNK kutokana na ukamilishaji unaoendelea huko lakini naamini ndani ya wiki hii watamaliza kuunganisha katika gridi ya taifa na kama umekwenda huko nadhani umejionea hali halisi wewe mwenyewe alisema bwana tesha
akizungumzia kutokuwashwa kwa mitambo ya iptl alisema kuwa mitambo hiyo ni kweli bado UNK lakini serikali UNK majadiliano na kampuni hiyo katika kuwasha mitambo na kwa sasa kazi ya mwisho inafanywa na mfilisi pamoja na iptl ili kufanikisha kuwasha mitambo hiyo
bwana tesha alibainisha kuwa mbali na kutokuwashwa kwa mitambo ya iptl na kituo cha tegeta tatizo la mgawo wa umeme limepungua kutokana na kutengenezwa kwa mitambo ya kihansi hale pangani na ule wa songas ubungo na kunyesha kwa mvua katika baadhi ya maeneo
mmoja wa wahandisi wa wartsla bwana UNK UNK alisema bado ufundi unaendelea na mimi siwezi kusema lolote
hivi karibuni rais jakaya kikwete aliagiza kuwashwa kwa mitambo ya iptl kutokana na mgawo wa umeme UNK taifa na kusababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara kutokana na UNK kwa uzalishaji wa bidhaa viwandani
kutokana na kauli waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja UNK mitambo hiyo na kuahidi kuwa umeme UNK novemba mosi
malumbano kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi nchini yameibuka upya baada ya baraza la maaskofu wa makanisa ya kipentekoste kulitaka bunge kutokubali kupokea kujadili au kupitisha muswada au kanuni ya mipango yoyote inayohusu dini yoyote
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana mwenyekiti wa pct taifa askofu david batenzi alisema kuwa endapo mswada huo utapelekwa bungeni watanzania wa imani zingine watakuwa hawajatendewa haki
tunatoa ushauri suala hili UNK bungeni kwa sababu ni uvunjaji wa katiba ya nchi kifungu namba kumi na tisa kanuni ndogo ya sita endapo serikali UNK kulipeleka suala hilo bungeni imani nyingine zitakuwa UNK haki alisema
alisema kwa kuwa serikali imetamka bayana kuwa aina dini hivyo kitendo cha muswada huo kupelekwa bungeni serikali itakuwa na agenda ya siri ambayo inaweza kusababisha kuvunjika kwa amani na kuleta machafuko nchini
tukumbuke amani tuliyonayo tumeipata kwa mwasisi wa taifa ili marehemu mwalimu nyerere ambaye UNK kudai kuwa serikali aina dini lakini watu wake ndio wenye dini zao na wala UNK wala kusimamia dini yoyote alisema
bwana batenzi aliongeza kuwa ni vema watanzania UNK mwalimu nyerere kwa kufuata nyayo zake kwa muda wote kwani hakuwa na ubaguzi katika dini yoyote au kuifanya dini moja kuwa bora kuliko nyingine
hata hivyo alisema pct haiko kinyume na uanzishwaji wa mahakama ya kadhi kwa waislamu isipokuwa suala hilo UNK bungeni bali walimalize wenyewe kwa kushirikisha mabaraza yao
pia bwana batenzi alisema kuwa si sahihi kutumia fedha za walipa kodi wa tanzania ambao ni wafuasi wa dini mbalimbali na kuziingiza katika kutengeneza na kuendesha mfumo wa dini moja kama mahakama ya kadhi
alisema kuwa wanaamini bunge kazi yake ni kulinda na kutetea katiba ya nchi na wala si vinginevyo
naye askofu daktari mathew UNK alisema kitendo cha waziri mkuu bwana mizengo pinda kukubali kuundwa kwa kamati ndogo ya waislamu kwa ajili ya kufuatilia mswada huo kinaonyesha dhahiri kuwa kinaweza kuhatarisha amani
kama waziri mkuu amekubali kamati iundwe hiyo kamati ikimaliza kufanya kazi yake UNK makubaliano yake bungeni na UNK UNK bungeni UNK na baadaye unakuwa sheria hapo unaweza kusababisha UNK wa dini nyingine kutokubaliana alisema
kauli hiyo imekuja wakati kamati iliyoundwa na bwana pinda kushirikiana na timu ya mashehe wa baraza la waislamu tanzania linaendelea kujadili jinsi mahakama hiyo UNK na waislamu wenyewe
mtu mmoja anayedaiwa kuwa na upungufu wa akili amekamatwa na polisi mkoani kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua lariki peter mushi na kula sehemu ya viungo vyake
kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro bwana lucas ng hoboko alimtaja anayeshikiliwa kuwa ni thadei mushi anayedaiwa kuwa na umri kati ya miaka thebathini na tano na arobaini mkazi wa kibosho kindi wilaya ya moshi vijijini
kwa mujibu wa kamanda ng hoboko jumapili iliyopita saa nne sifuri sifuri asubuhi bwana lariki alikuwa ametoka kuchota maji na mtuhumiwa alimpiga kwa shoka kichwani na UNK alianza UNK kwa kisu na kunyofoa baadhi ya viungo vyake vikiwemo maini na UNK
baada ya kunyofoa vitu hivyo mtuhumiwa ambaye kwa mujibu wa historia yake ana matatizo ya akili alianza UNK viungo hivyo hadi wananchi walipofika na kumdhibiti alisema
alisema haijajulikana mapema mahali alipopata shoka hilo na kwamba tayari polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
wakati UNK viungo hivyo vya marehemu mtuhumiwa alikuwa na silaha pembeni mwake na hivyo ikabidi wananchi watumie nguvu ili kumdhibiti na UNK anya silaha alizokuwa nazo alisema
kamanda ng hoboko alisema baada ya kumdhibiti alipelekwa hadi UNK ya mkoa ya mawenzi ambako yuko chini ya ulinzi huku akipewa matibabu kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wananchi wakijaribu UNK
mwili wa marehemu upo katika hospitali ya rufaa ya kcmc alipokuwa amekimbizwa ili apate matibabu
kamanda ng hoboko alisema kuwa uchunguzi wa awali wa polisi unaonyesha kuwa mtuhumiwa ambaye huwa anaishi na mama yake ana upungufu wa akili na kwamba mara kwa mara huwa anamfanyia hata mama yake vurugu na kwamba alishawahi kuwekwa katika gereza la karanga moshi na pia kupata matibabu katika hospitali ya UNK na kwamba...
kamanda UNK aliwapongeza wananchi UNK mtuhumiwa kwa kufanya hivyo bila ya kuchukua hatua mikononi
mahakama kuu maalumu inayosikiliza kesi za mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi mkoani shinyanga jana imewahukumu watu wanne adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kumuua lyaku wille huko katika kijiji cha nkindwabiye wilaya bariadi
waliohukumiwa adhabu hiyo ni bwana mboje mawe bwana chenyenye kishiwa bwana sayi gamaya na sayi mafizi wote wakazi wa kijiji cha nkindwabiye wilayani bariadi mkoani shinyanga
akitoa hukumu hiyo jaji gadi mjemas alisema ameridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashitaka kuwa washitakiwa wote kwa pamoja walikula njama na kupanga kumuua kwa kukusudia bwana UNK
hii ni hukumu ya pili kutolewa kwa watu wanaodaiwa kuwaua albino baada ya hivi karibuni watu wengine watatu kuhukumiwa kunyongwa wilayani kahama mkoani humo
jaji mjemas alisema pamoja na ushahidi wa upande wa utetezi kuwa upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitisha mashitaka yake mahakamani hapo kwa kuwepo baadhi ya ushahidi uliokuwa UNK lakini kwa mujibu wa sheria ya ushahidi namba thebathini na tatu kifungu kidogo na inaonesha washitakiwa hao walitenda kosa UNK nalo
upande wa utetezi ulipinga kutiwa hatiani kwa washitakiwa namba mbili tatu na nne kwa vile ushahidi pekee uliotolewa mahakamani hapo ni ule wa ungamo na onyo la mshitakiwa wa kwanza bwana mboje mawe UNK washitakiwa wenzake hao kuhusika na mauaji hayo