text
stringlengths
1
1.32k
katika kesi hiyo wakili wa upande wa utetezi bwana UNK alidai kuwa ushahidi wa ungamo na onyo uliotolewa na mshitakiwa huyo wa kwanza UNK kuungwa mkono na ushahidi mwingine huru na kuiomba mahakama hiyo kuwaachia huru washtakiwa hao kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka yake
jaji mjemas alisema hakubaliani na maelezo ya upande wa utetezi japo anaunga mkono hoja kwamba ushahidi wa ungamo na onyo wa mshitakiwa mmoja hauwezi kuwatia hatiani washitakiwa wenza mpaka UNK na ushahidi mwingine UNK mkono ushahidi huo
alisema katika kesi hiyo ushahidi wa onyo na ungamo la bwana mboje unaungwa mkono na ushahidi huru wa shahidi wa kwanza ofisa mtendaji wa kijiji cha nkindwabiye bwana UNK matongo na ushahidi wa mkemia wa mkuu wa serikali bibi gloria UNK aliyekuwa shahidi wa kumi na moja upande wa mashitaka
jaji huyo alisema pamoja na bwana mboje UNK ushahidi wake alioutoa kwa njia ya onyo na ungamo lakini maelezo ya shahidi wa saba upande wa mashitaka yameonesha kuwa mshitakiwa huyo alitoa maelezo kama hayo hata kabla ya kufikishwa katika kituo cha polisi na kwa mlinzi wa amani
kutokana na hali hiyo ni wazi kuwa mshitakiwa wa kwanza alikiri kwa hiari yake pasipo kulazimishwa wala kutumia nguvu na hii UNK na maelezo ya shahidi wa kwanza na wa saba kuwa alikiri mbele yao kuhusika na mauaji hayo UNK katika kijiji cha UNK walipokwenda kumkamata baada ya kubainika alitoroka katika kijiji cha nkin...
alisema ushahidi huo wa onyo na ungamo unaungwa mkono pia na ushahidi huru uliotolewa na mkemia wa mkuu wa serikali kuwa vinasaba vya marehemu vilivyokutwa katika panga na kisu vilivyotumika katika mauaji ya bwana wille UNK na vinasaba vya washitakiwa wote
kutokana na hali hiyo jaji mjemas alisema upande wa mashitaka umethibitisha kuwa washitakiwa walikula njama na kushiriki kumuua kwa pamoja marehemu lyaku wille na kwamba upande wa utetezi ulishindwa kuionesha mashaka mahakama kuwa washitakiwa UNK kosa hilo
jaji mjemas alisema kutokana na upande wa mashitaka kuthibitisha mashitaka yake bila ya kuacha shaka na kwa vile hapa nchini kuna adhabu moja tu ya mtu anayepatikana na hatia ya kosa la mauaji ambayo ni kifo UNK washitakiwa wote kwa pamoja adhabu ya kunyongwa hadi kufa na wanayo nafasi ya kukata rufaa iwapo hawakuridh...
wakili UNK alisema wanakusudia kukata rufaa kupinga hukumu hiyo kutokana na jaji mjemas kuzingatia ushahidi mmoja ambao ni wa onyo na ungamo la mshitakiwa wa kwanza ambao kisheria UNK kuwatia hatiani washitakiwa wa pili hadi wa nne
rais jakaya kikwete amezindua huduma ya kusafisha damu katika hospitali ya taifa muhimbili na kusema kuwa kuanza kwake ni moja ya hatua kubwa kuelekea kuanzisha uwezo wa kufanya upasuaji wa moyo nchini
rais aliyasema hayo jana dar es salaam mara baada ya kuzindua jengo na mashine zitakazotumika kutoa huduma hiyo na kueleza kuwa hatua hiyo UNK huduma muhimu watanzania bila kulazimika kwenda nje ya nchi
rais kikwete alisema kuwa serikali inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa huduma za msingi kwa wananchi zinapatikana kwa haraka katika maeneo wanayoishi hivyo kuwepo kwa huduma hiyo kutapunguza mahitaji ya wagonjwa kusafirishwa nje ya nchi
alisema kuwa kutokana na uhalisia wa mahitaji uliopo serikali itaongeza fungu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa watanzania kupitia sekta ya afya
mbali na kuzindua huduma hiyo ya kusafisha damu rais pia alizindua huduma nyingine nne ambazo zinaifanya hospitali ya muhimbili kuwa moja ya vituo vya ufanisi katika huduma ya afya nchini na katika ukanda wa afrika mashariki
huduma hizo ni ile ya dharura huduma za kisasa za matibabu ya meno na kinywa vipimo vya huduma za utambuzi wa magonjwa ambavyo kwa mujibu wa waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari david mwakyusa vipimo hivyo ni vya kisasa vyenye uwezo wa kutoa majibu sahihi na ya kina zaidi kuliko x ray za kawaida
katika hospitali yoyote duniani idara ya huduma za dharura ina umuhimu wa pekee kwa sababu kucheleweshwa kwa matibabu au kutolewa matibabu yasiyo sahihi kwa wagonjwa mahututi UNK hospitalini kitendo hicho kitaamua kati ya kifo au kupona kwa mgonjwa alisema bwana mwakyusa
wabunge wawili machachari katika vita dhidi ya ufisadi wameomba watanzania kuwaombea ili wamalize vita hivyo salama na UNK wameapa kwamba licha ya UNK na UNK na ufisadi kamwe hawatarudi nyuma kwa kuwa mungu yuko upande wao
wabunge hao daktari harrison mwakyembe na bwana christopher ole sendeka wote kutoka ccm waliyasema hayo katika ibada maalumu ya kuchangia ujenzi wa kanisa la UNK UNK of god tanzania kongwa mkoani dodoma juzi
wabunge hao walisema UNK sana kutambua wazi kwamba watu UNK wako nyuma yao kwa maombi hivyo wamewatia moyo kutokata tamaa kwa kuwa mungu UNK kamwe
baba askofu wa kanda baba wachungaji mimi kwa jinsi UNK na kwa maneno UNK hapa UNK siku nilipopata ajali mbaya sana juzi nilirudi kuangalia lile gari nikawa najiuliza hivi kweli UNK kupona bila kuvunjika UNK
jibu hapa ni rahisi tu kwamba UNK kwa maombi yenu naamini kabisa kwamba mungu UNK katika ajali ile mbaya
vita vya ufisadi ni kubwa na UNK kweli lakini kwa maombi yenu tutashinda
nataka niwahakikishie kwa hali hii naamini tutashinda kabisa nami nataka niwahakikishie UNK nyuma mpaka mungu UNK kwa yuko pamoja nasi alisema daktari mwakyembe
alisema mungu UNK taifa la tanzania kuwa na rasilimali nyingi na kwamba kinachotakiwa kwa waumini wa dini mbalimbali ni maombi ili azidi kuwasimamia viongozi wenye uchungu na wananchi wa nchi hii na kuwatetea pale UNK vita na fitna
alisema mungu hapendi kuona tanzania pekee ikiwa inazalisha madini ya tanzanite huku ikiwa ya tano kwa kuuza madini hayo nyuma ya nchi jirani UNK jasho la watanzania
mimi leo UNK kweli ninachoweza kusema ni kwamba jamani endeleeni kutuombea vita hivi ni vigumu kweli lakini UNK tutashinda kwa kuwa mungu wetu hajawahi kushindwa alisema bwana sendeka
askofu wa kanda ya mpwapwa na kongwa ambaye pia ni mchungaji wa kanisa hilo askofu livingstone UNK alisema UNK daktari mwakyembe kutokana na sifa yake ya kuwa kinara wa vita vya ufisadi bila kurudi nyuma
kwa upande wake katibu mkuu wa UNK taifa mchungaji brown mwakipesile UNK daktari mwakyembe kwamba kanisa hilo UNK mkono yeye UNK wote wanaopiga vita ufisadi na kumwombea afikishe salamu kwa wenzake kuwa mungu UNK hadi mwisho hivyo UNK
waumini hao pia walielezea kufurahishwa na kitendo cha mbunge wa singida kaskazini bwana lazaro nyalandu kutaka kuwasilisha hoja binafsi kuhusu bunge kuacha kujadili masuala yanayohusiana na dini
atangaza kamwe hawezi kujiuzulu nggo
adai wabunge UNK wasitake UNK
wakitaka wapige kura kukosa imani naye mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa daktari edward hoseah ameibuka na kuapa kuendelea kuwahoji wabunge wanaodaiwa kupokea posho mara mbili kwa kazi moja na kuweka wazi kwamba kamwe hatajiuzulu wadhifa wake na kama wakitaka wampigie kura ya kutokuwa na imani naye
mimi UNK kazi yangu
sina mpango wa kujiuzulu UNK kwa UNK na siyo kwa hisia tu
kama wanataka UNK kura ya kutokuwa na imani na mimi UNK usingizi kwa hilo kwani nimepewa kazi ya kuwatumikia watanzania wote alisema daktari hoseah daktari hoseah alitoa kauli hiyo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari akitolea ufafanuzi uchunguzi unaendelea dhidi ya wabunge wanaotuhumiwa kupokea mal...
akizungumza kwa kujiamini alisema kazi ya kuwachunguza wabunge kama ilivyo kwa watu wengine inaendelea UNK jukumu hilo na sheria sihitaji kibali cha mtu
alisisitiza kuwa hata kama akifukuzwa kazi takukuru huo hautakuwa mwisho wa maisha yake
kwa kile kilichoonekana wazi kushikilia msimamo wake na kuamini kile anachokifanya daktari hoseah alizidi kuwaambia wabunge siwezi UNK kamba shingoni na kujiuzulu ili UNK UNK
daktari hoseah aliendelea kuwaambia wabunge wanaodai kuwa taasisi yake UNK kwa kuwahoji akisema hapana hakuna kudhalilishana mbona watu wengine UNK
alisema kazi yake ndani ya taasisi hiyo ina ambayo ni kuchukiwa na siyo kazi ya kupendwa
hakuna kazi ngumu kama ya kumchunguza mtu UNK kiongozi waziri au mbunge
lakini hiyo ndiyo kazi UNK lazima UNK alisema
aliwataka wabunge wote kuitikia mwito wa kuhojiwa kwa kuwa sheria ni msumeno na kuwatahadharisha kwamba wasitake kufikisha suala hilo UNK
daktari hoseah anatoa kauli hiyo huku wabunge wakipinga hatua ya UNK na taasisi hiyo na tayari mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe akiwa ametangaza UNK taasisi hiyo kwa madai kuwa taratibu hazikufuatwa aliitwa kwa simu badala ya barua wanaofanya kazi hiyo ni watumishi wa ngazi za chini na kuwa suala hilo UNK ku...
alisema tuhuma za wabunge kuwa wanapokea posho mara mbili UNK takukuru na ofisi ya bunge aprili ishirini na sita mwaka huu
UNK barua na ofisi ya bunge tena kwa jina langu UNK UNK kazi tuhuma hizo sasa nitashangaa UNK alisema
wakati daktari hoseah anadai hivyo spika wa bunge anapinga kufahamu suala hilo huku katibu wa bunge daktari thomas kashililah akisema alipewa maagizo kutoka juu serikalini kuandika barua hiyo maelezo ambayo UNK na ya waziri mkuu mizengo pinda kuwa uchunguzi huo UNK na ofisi ya rais ikulu
abainisha kuwa hatua ya kuwahoji wa bunge imefikiwa baada ya taasisi yake kujiridhisha kuwa malalamiko yaliyopelekwa na ofisi ya bunge na baadhi ya wananchi ni ya kweli
kupokea posho mara mbili kwa kazi ambayo umetumwa kuifanya si sahihi alisisitiza bwana hoseah na kuonya waheshimiwa wabunge ninyi ndiyo kioo cha nchi hii
msipende kuvuruga amani UNK mtoe ushirikiano maana ninyi ndiyo UNK bendera ya kupambana na ufisadi
kuhusu madai kuwa takukuru kuwahoji wabunge imekiuka sheria inayohusu kinga madaraka na haki ya wabunge daktari hoseah alisema tunavyojua sisi kinga ya wabunge haihusu vitendo kama hivi UNK alisema na kufafanua kuwa kinga ya bunge inahusu kauli aliyoitoa bungeni au kwenye kamati yoyote ya bunge maandishi ya mbunge kwe...
alisema taasisi hiyo haijavunja sheria inayohusu haki na kinga ya wabunge wala sheria nyingine
tuliyoyafanya wakati wa kutimiza wajibu wetu yapo ndani ya mamlaka chini ya sheria ya kupambana na kuzuia rushwa namba ya kumi na moja ya mwaka ishirini sifuri saba kupokea posho zaidi ya mara moja kwa kazi ile ile na mazingira hayo hayo UNK na sheria ya takukuru UNK sheria alisema daktari hoseah na kuongeza je wanata...
ndiyo kusema kinga ya wabunge UNK uwezekano wa kuhojiwa kabisa na UNK
kama hivyo ndivyo je ina maana sheria hiyo inawahusu watu wengine tu na wabunge UNK
alifafanua kuwa takukuru UNK vitendo vyote vya rushwa ukiwemo ukiukwaji wa matumizi ya fedha za umma
kuhusu madai kuwa mazingira ya kuwahoji wabunge hayaendani na hadhi yao daktari hoseah alisema hilo linaweza kuwa na ukweli kwa kiasi fulani kutegemea na mtazamo wa mtu lakini hayo ndiyo mazingira ya kufanyia kazi takukuru siku zote
aliiomba bunge kuipatia taasisi hiyo bajeti ya kutosha ili kuboresha mazingira hayo ya kazi
kuhusu tuhuma kuwa wabunge wamekuwa wakihojiwa na maofisa wadogo sana daktari hoseah alisema ofisa anayeshughulikia suala hilo ni ofisa UNK mkuu na amekuwa katika fani hiyo tangu mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na tatu alisema kwa umri alionao sasa anatarajia kustaafu mwakani hivyo ndiye mwenye umri kuwazidi waf...
aliwataka wabunge hao waiache taasisi hiyo ifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria
waheshimiwa wabunge naomba UNK kwa mfano
bunge letu lina sifa ya kuongoza mapambano dhidi ya ufisadi ambao ni pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma matumizi mabaya ya madaraka
tungependa suala hili UNK chanzo cha UNK heshima ndani na nje ya nchi ambayo bunge letu tukufu UNK alisema daktari hoseah
UNK ni kwa nini wabunge wengi wanaotakiwa kuhojiwa kwa kupokea posho mara mbili ni wale waliokuwa wajumbe wa kamati kuchunguza mkataba wa richmond daktari hoseah alijibu ni kawaida mtu UNK au kutuhumiwa UNK kuonekana anaonewa mbona mimi katika sakata la richmond UNK na kusemwa kwa miaka mitatu sijawahi kulalamika
alipoulizwa hatma ya taasisi na mashirika yanayodaiwa kutoa posho hizo kwa wabunge daktari hoseah alisema waliohusika nao hawatabaki salama hivyo nao lazima UNK
kuhusu madai yaliyotolewa na kiongozi wa upinzani hamad rashid mohamed aliyetaka pia rais kikwete achunguzwe daktari hoseah alisema anavyojua ni kuwa rais akiwa kwenye ziara yake ndani ya nchi UNK UNK
alisema katika ziara yake anaenda na magari yake walinzi UNK na kila kitu anaenda nacho
mbunge wa jimbo la simanjiro bwana christopher ole sendeka ameitaka serikali kutoa maelezo ya matumizi ya shilingi bilioni kumi zilizokusanywa kutokana na akaunti ya madeni ya nje kwenda wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi zimefanya kazi gani na kwa maeneo gani
bwana ole sendeka alitoa kauli hiyo jana wakati akiuliza swali la nyongeza kwa wizara hiyo huku akitaka kuelezwa kiasi hicho cha fedha kimefanya kazi gani kwa ajili ya kuwasaidia wananchi hasa maeneo ya wafugaji
katika majibu yake naibu waziri wa maendeleo ya UNK na uvuvi bwana james UNK alisema kuwa fedha zilizotokana na epa UNK kwenye ununuzi wa dawa za mifugo na kusambazwa kwa wananchi
alisema kuwa wizara yake ambayo ilipewa dhamana hiyo ilishatumia kiasi hicho cha fedha na tayari UNK ambapo usambazaji wa madawa hayo umeshafanyika na wananchi UNK dawa hizo na taarifa UNK
katika swali la msingi la mbunge wa viti maalumu bibi mkiwa UNK serikali ilitakiwa ieleze imeandaa mazingira gani ya kuwasaidia wavuvi wadogo kupata zana za kisasa bila vikwazo pia serikali imechukua hatua gani za kuvutia wawekezaji katika uanzishwaji wa viwanda vya kusindika samaki katika mikoa ya pwani
bwana wanyancha alisema kuwa katika kuwasaidia wavuvi wadogo serikali tayari imeandaa sheria ya uvuvi katika bahari kuu na
kumi na mbili ishirini sifuri saba na kanuni zake
kwa upande wa wawekezaji kuja kuwekeza katika viwanda vya kusindika samaki alisema kuwa kupitia tic na kupitia sera ya taifa ya uvuvi wawekezaji UNK kuwekeza katika viwanda vya UNK samaki ambapo hadi sasa viwanda ishirini na mbili UNK nchi nzima na kati ya hivyo vitano vipo ukanda wa bahari
hata hivyo alisema kuwa hadi sasa viwanda kumi na saba tayari vinafanya kazi na tayari wawekezaji wawili wamejenga viwanda vya UNK UNK ambavyo ni UNK fishnet ltd kilichopo mwanza na kiwanda kingine cha imara fishnet ltd
kilichopo dar es salaam
mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi UNK wilayani arumeru mkoa wa arusha UNK ombeni UNK UNK kwa panga baada ya kubakwa na vijana wawili kwa kile kilichodaiwa kuwa walitumwa damu ya kafara na mganga wa kienyeji
kaimu kamanda wa polisi mkoa wa arusha ssp leonard paulo alieleza kuwa tukio hilo lilitokea oktoba thebathini mwaka huu saa tano asubuhi katika kijiji hicho wakati binti huyo UNK na baba yake bwana ombeni UNK kumpelekea bibi yake mafuta ya taa na majani ya chai
kamanda alisema baada ya kumpelekea bibi yake vitu hivyo bibi yake naye alimpa kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na alipokuwa njiani akirudi nyumbani alipita karibu na wanapoishi watuhumiwa hao ndipo vijana hao walipomkamata na kumwingiza ndani ya nyumba alisema mwanakijiji mmoja
watuhumiwa hao ni frank michael na joseph UNK wote wafanyakazi wa mashambani na kwamba baada ya kumwingiza binti huyo UNK kwa zamu hadi alipoishiwa nguvu kisha kumchinja kwa panga ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mganga wao aliyewataka kufanya hivyo ili kufanikisha utajiri
baada ya kutekeleza unyama huo vijana hao UNK mwili wake hadi saa tano usiku kisha kwenda kuutupa kwenye shamba la mahindi lililopo karibu na wanapoishi ambapo siku ya pili yake wazazi wake UNK na kuanza msako sehemu mbalimbali ikiwemo kwa bibi yake ambapo walielezwa kuwa UNK siku UNK alisema bwana UNK
aliongeza kuwa baada ya kupata taarifa ya kupotea kwa binti huyo polisi kwa kushirikiana na wananchi wa eneo hilo walianza kumsaka ndipo UNK mzigo wa kuni jirani na nyumba ya vijana hao
pia sketi nyekundu ambayo marehemu alikuwa amevaa kabla ya kifo chake ilionekana kabla ya kukuta mwili wake ukiwa hauna nguo hatua chache karibu na nyumba wanayoishi watuhumiwa hao
kamanda huyo alisema kuwa uchunguzi uliendelea ambapo walifanikiwa kupata habari za siri UNK vijana hao UNK UNK na begi lenye nguo na dawa za kienyeji panga ambalo lilikutwa na damu UNK kwa mchanga na katika mahojiano vijana hao walikiri kuua kwa sababu ya kupata utajiri
UNK mganga jafari jabiri mwenye majina mengine ya mramba na kawawa mkazi wa kijiji cha ishinde wilayani same kilimanjaro na kwamba walitumwa damu na mganga huyo
alisema baada ya kupata taarifa hizo UNK mbaroni mganga huyo pamoja na lundo la tunguri katika mabegi mawili zikiwa na dawa za kienyeji zinazofanana na zile zilizokutwa kwa vijana hao
serikali imeombwa kupeleka haraka chakula cha msaada katika wilaya ya ukerewe mkoa wa mwanza ili kunusuru watu wasife kwa njaa
ombi hilo lilitolewa jana na mbunge wa ukerewe daktari getruda mongela kwa makamu wa rais daktari mohamed shein aliyefanya ziara ya siku moja katika wilaya ya UNK
alisema baadhi ya wananchi UNK uji na wakati mwingine wanashinda na kulala njaa kutokana na tatizo la njaa linaloikabili wilaya hiyo
mkuu wa wilaya hiyo bibi UNK mlozi katika taarifa yake alisema katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita zao la mhogo ambalo ndilo chakula kikuu cha wakazi wa wilaya ya ukerewe UNK kwa magonjwa ya UNK kali na UNK UNK hali ambayo UNK uzalishaji wa chakula
alisema hivi sasa UNK wananchi kulima mazao mengine kama mtama na mahindi ili kukabiliana na hali hiyo
katika hatua nyingine bibi mlozi aliiomba serikali kuangalia uwezekano wa kutumia fedha ya kununua magari katika wilaya hiyo badala yake zitumike kununua boti zenye mwendo mkali zitakazo UNK kuwafikia na kuwapa huduma wananchi
alisema wilaya hiyo yenye visiwa thebathini na nane katika ziwa victoria inahitaji zaidi boti zenye mwendo mkali badala ya magari
akipokea taarifa hiyo daktari shein alisema serikali imepokea taarifa hizo na itatatua matatizo hayo mapema na itahakikisha hakuna mtu UNK na njaa
mwili wa aliyekuwa mbunge wa ruangwa mkoa wa lindi bwana UNK UNK tu UNK kesho katika ukumbi wa karimjee dar es salaam na kusafirishwa kwa ndege kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika keshokutwa kijijini kwao UNK
akizungumza na gazeti hili msemaji wa familia ya marehemu bwana andrew mapacho alisema kuwa mwili huo UNK kutoka hospitali ya taifa muhimbili na kuhifadhi katika hospitali ya jeshi lugalo ili kuweka ukaribu wa kufanyiwa UNK ya kifamilia mbezi beach UNK
bwana mapacho alisema kuwa kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa katibu wa bunge bwana thomas kashililah wabunge hamsini wa vyama vyote UNK kuagwa mwili huo na wengine UNK hadi mazishi
mbunge huyo alifariki dunia juzi usiku kutokana na ugonjwa wa kiharusi kisukari na malaria
ameacha mjane na watoto wanne lucy david gabriel na UNK