text stringlengths 1 1.32k |
|---|
pia UNK watoto wawili aliokuwa UNK anna na UNK |
taarifa za awali zilisema kuwa marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi tangu kumi na nne mwaka huu na kulazwa katika tasisi ya moi kabla ya kugundulika kuwa ana ugonjwa wa kisukari na malaria |
waziri wa zamani wa nishati na madini bwana daniel yona ameieleza mahakama kuwa aliingia mkataba kati ya serikali na kampuni ya alex sterwart kutokana na maelekezo ya rais wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa aliyeagiza waendelee haraka na mchakato huo |
kauli hiyo ilitolewa na wakili wa utetezi bwana herbert nyange UNK mawaziri hao wa zamani bwana yona na bwana basil mramba wa fedha |
hayo yalijitokeza jana wakati akifanya mahojiano na shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka bwana nyelo godwin kuhusiana na mapendekezo aliyoyatoa kwa bwana yona ya UNK kazi kampuni hiyo kwa kuwa haikuwa wazi na ada yake ilikuwa ni kubwa |
mahojiano hayo yalifanyika katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu bwana john utamwa bwana sam rumanyika na bwana saul kinemela |
nyange je huyu waziri wako ndio alikuwa mwenye mamlaka ya mwisho je kama huyo mkubwa wake alisema ana haraka UNK ushauri wako wewe |
jibu endapo bwana yona alipewa maelekezo na mkubwa wake alistahili kufuata |
baada ya kutolewa kwa jibu hilo na shahidi huyo bwana nyange alikwenda mbali zaidi kwa kuonesha dokezo la bwana yona ambalo UNK rais mkapa akiomba ridhaa ya kuendelea na mchakato wa kuajiri kampuni hiyo na rais akajibu nakubali endeleeni haraka hata hivyo dokezo la bwana yona ambalo UNK kwa rais UNK bayana ushauri wow... |
awali shahidi huyo akihojiwa na bwana nyange ilikuwa kama hivi nyange shahidi UNK nini katika mchakato wa kupewa mkataba kampuni hiyo |
jibu nilishauri alex sterwart asipewe mkataba kwa kuwa hapakuwa na uharaka wowote na ada ilikuwa kubwa kuliko uzalishaji |
nyange je hiyo ada ya asilimia moja tisa ndiyo UNK kwenye kamati yenu |
jibu UNK ila tulifanya UNK wa gharama kutokana na hesabu UNK |
nyange kampuni gani ilishinda na UNK mapendekezo kwa UNK |
jibu alex sterwart ndio ilishinda kwa pointi tisini na mbili tisa na ndio UNK kwa gavana kuwa imeshinda japokuwa suala la kushinda ni tofauti na UNK |
nyange UNK nini baada ya kupeleka majibu ya ushindi wa kampuni hiyo kwake |
jibu alitakiwa kuiita kampuni hiyo ili UNK nayo namna ya kufanya kazi |
nyange wewe ulipinga ada hiyo kuwa ni kubwa je unaelewa kuwa ada za nchi zingine zilikuwa ni kubwa zaidi na tayari serikali ya tanzania ilikuwa imeshafanya utafiti huo |
jibu sina uhakika kama serikali ilifanya utafiti huo na ada hizo inategemea iko katika kitu gani |
nyange je UNK ya mkataba ilikuwa na tatizo gani |
jibu ada ya asilimia moja tisa ndio ilikuwa ni tatizo |
nyange je ni kweli kampuni hii UNK hasara yoyote |
jibu ndiyo kwa kuwa hapakuwepo na mabadiliko yoyote kwenye takwimu za uzalishaji wa madini |
nyange unajua sababu ya kampuni hiyo kuongezwa muda wa kufanya kazi |
je utakubaliana na mimi UNK kuwa kitendo cha baadhi ya kampuni kuficha nyaraka ndio ilisababisha hilo |
jibu inaweza ikawa ni moja sababu ya kuongezwa kwa mkataba |
UNK unajua kampuni hiyo ilibaini upotevu wa dola za marekani mia moja na sitini kutoka kwa kampuni za uchimbaji madini mbili |
jibu sijui ila nafahamu kufichwa kwa baadhi ya nyaraka za kampuni hizo |
nyange kwa nini sasa unasema haikufanya kazi yoyote |
jibu kampuni hiyo UNK baadhi ya makubaliano kama kuwafundisha watanzania namna ya ufanyaji kazi wake ili utaalamu huo waendelee nao |
mbali na mahojiano hayo pia kuliibuka malumbano ya kisheria kati ya pande zote mbili kuhusiana na nyaraka mbalimbali ambazo upande wa utetezi walitaka kuzitumia katika kumfanyia mahojiano shahidi huyo bila nyaraka hizo kujulikana mahakamani hapo hali iliyomfanya bwana nyange kuomba kuondoa hoja za kutumia vielelezo hi... |
hata hivyo kesi hiyo ililazimika kuahirishwa mpaka leo kutokana na muda wa mahakama kumalizika lakini pia kutoa nafasi kwa mahakimu na pande zote kujiandaa zaidi |
visa vya ufisadi mikakati ya kumalizana kisiasa na madai ya baadhi ya viongozi kunyimwa mafuta vimetawala mjadala baina ya wabunge na kamati ya mzee mwinyi mjini dodoma |
kamati hiyo jana usiku UNK wabunge wote wa ccm juu ya chanzo cha mfarakano baina yao ikiwa ni siku ya pili baada ya kukutana na kamati ya uongozi ya ccm na ile ya uongozi ya bunge na kuelezwa mambo mazito UNK UNK |
katika vikao vya awali katibu mkuu wa ccm bwana yusuf makamba alilazimika kukatisha kikao hicho baada ya kupatwa kile alichoeleza kuwa ni kizunguzungu hivyo kuondoka kwenda kupumzika huku kikao kikiwa UNK |
hata makamba UNK ukweli mpaka akashindwa kusema ghafla akaonekana kama mgonjwa nadhani kisukari UNK kidogo kutokana na kupewa vidonge vyake hadharani kilisema chanzo chetu |
katika kikao hicho mmoja wa wajumbe ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm alianza kwa kutaka kuwakandamiza wabunge hali iliyosababisha UNK kumbana na kuweka mambo hadharani hali iliyosababisha hata waziri mkuu mizengo pinda kukubali baadhi ya changamoto |
habari kutoka ndani ya kamati hizo zilisema kuwa maneno mazito UNK mzee mwinyi na ujumbe wake ulisababisha rais huyo mstaafu kufuta machozi kutokana na mambo aliyoambiwa wazi kuwa ndio chanzo cha mpasuko |
kamati hiyo iliundwa na halmashauri kuu ya taifa ya ccm ikijumuisha mzee mwinyi kama mwenyekiti akiwa na wajumbe wawili makamu mwenyekiti wa ccm pius msekwa na kada wa chama hicho abdulrahaman kinana |
wakati mzee mwinyi UNK kufuta machozi kutokana na yale aliyoambiwa wazi kuwa ni chanzo cha mpasuko miongozi mwao baadhi ya wabunge waliozungumza na majira walisema wanasubiri kikao cha jana ili kupasua ukweli na kuonya kuwa hawatakubali kuburuzwa wala kuyumbishwa kuficha ukweli kwa kulinda baadhi ya watu |
chanzo cha majira ndani ya vikao vilivyotangulia hali ilikuwa tete kwa upande wa watu UNK kwa ufisadi na kwamba wajumbe UNK kwa majina kama chanzo cha tatizo ndani ya bunge |
UNK ukweli tuliwaambia hakuna mpasuko ndani ya ccm wala kwa wabunge wa ccm isipokuwa kuna kuficha ukweli ndio maana wanaotaka ukweli wamekasirika watu walilia mzee mwenyewe UNK machozi wazi kilisema chanzo chetu ndani ya kikao hicho |
ilielezwa kwamba mjumbe moja aliweka wazi jinsi mafisadi UNK ccm na kutoa mfano wa moja za chaguzi ndogo ambapo aliyekuwa makamu mwenyekiti wa ccm john malecela aliwai kuwekewa mafuta kiduchu kwenye gari na kunyimwa posho kama sehemu ya kumkomoa kutokana na msimamo wake wa kuwa mkweli na kupinga ufisadi ndani ya ccm b... |
wajumbe walipanda joto na kusema machafu UNK na UNK mzee mwinyi kwamba UNK ukweli wajiandae kuzika ccm kilisema chanzo chetu kingine |
habari zaidi kutoka ndani ya kikao zilieleza kwamba wajumbe walimwomba mzee mwinyi kumshauri rais jakaya kikwete kukubali kushughulikia tatizo ndani ya ccm bila kuogopa mtu hata kama alichangia kumpa msaada wa kisiasa katika kugombea urais mwaka ishirini sifuri tano watu hawaogopi walisema wazi chanzo cha tatizo ni se... |
habari zaidi zilieleza kwamba suala la kampeni chafu katika baadhi ya UNK kwa lengo la kuwaangusha baadhi ya wabunge pia liliibuka kama mfano wa hali halisi huku baadhi ya vigogo wakituhumiwa kuwakumbatia mafisadi kwa kuwasaidia kuwapa mbinu za kukabiliana na wale wanaopinga ufisadi |
wasema hana hadhi ya kupigiwa kura ya kukosa imani |
UNK bungeni kimya azungumza na spika sitta siku moja baada ya mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa daktari edward hoseah kuonesha jeuri kwa wabunge kuwa hatajiuzulu na ataendelea kuwahoji wakitaka wampigie kura ya kukosa imani naye wao UNK kuwa hana hadhi ya UNK kura hiyo |
wabunge waliozungumza na majira kwa nyakati tofauti walisema kwamba anajitafutia makuu kwa kujilinganisha na rais wakati hawezi kufikia cheo hicho kutokana na utendaji wake hafifu |
walisema bunge haliwezi kushughulika na watendaji wadogo kama yeye badala yake UNK na mkuu wake ambaye ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na waziri mkuu |
kauli hizo za wabunge tofauti na kwa nyakato tofauti UNK kuwa kauli za daktari hoseah UNK nyongo huku wakieleza kuwa mkuu huyo wa takukuru hajui madaraka ya bunge hasa kwa kauli yake kuwa wabunge UNK usingizi na wakipenda wampigie kura ya kutokuwa na imani naye |
bunge ni mhimili mkubwa sana si ndogo kama UNK huyo hoseah tunaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais waziri mkuu na spika hawa watu wadogo kama akina hosea UNK bosi wake waziri mkuu kwamba ondoa huyu au ondoka wewe lakini hatuwezi kushuka mpaka kwake yeye si size yetu alisema mmoja wa wabunge machachari wa ccm... |
kile kitendo cha hoseah kuweka wazi kwamba masuala ya wabunge hayamnyimi usingizi ni dalili ya wazi ya dharau kwa wabunge lakini sijui kama anajua maana ya bunge mle ndani kuna waziri mkuu kuna waziri wake maana yake ni kwamba UNK hata hao na kuwatukana wote kwa UNK hivi UNK mkuu wako wa kazi kwamba UNK usingizi ni UN... |
huyo hosea anataka aidha kuchonganisha bunge na serikali au ametumwa na watu fulani kwa lengo la kutaka UNK rais la pili anajitafutia umaarufu kwa kutaka bunge UNK mkurugenzi wa takukuru kwenye orodha ya watu wanaoweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na bunge hili haliwezi yeye ni mtu mdogo sana alisisitiza mbunge ... |
mbunge huyo UNK serikali pia kushindwa kumchunguza daktari hoseah na takukuru kwa kitendo cha UNK tata ya richmond na UNK kuwa haina dosari wakati kamati teule ya bunge iligundua dosari kila kona ya zabuni hiyo |
inabidi rais awe makini na watu kama hoseah anaweza kutaka tu kuvuruga takukuru ili akitoka aiche katika hali mbaya ya kiutendaji ili baadaye ionekane kwamba alikuwa anafaa kumbe ni mbinu za kuficha ubovu wake ni kesi ngapi takukuru inachunguza lakini hili la wabunge na posho tu UNK kwenye vyombo vya habari kuna nini ... |
kwa upande wake mbunge wa mbinga mashariki bwana gaudence kayombo alisema suala hilo imefika pabaya na kwamba kinachotakiwa sasa ni viongozi wakuu kuingilia kati kulimaliza kabla ya kuleta athari kubwa zaidi |
mimi nafikiri sasa wakubwa wakutane kumaliza suala hili wakikaa pamoja nina uhakika linaweza kwisha tu badala ya kuendeleza malumbano hatuwezi kufika kwa mfumo huu hayo ndio maoni yangu mimi alisema bwana kayombo |
alipoulizwa maana ya watu wakubwa UNK kukutana na kukaa pamoja na kumaliza suala hilo alisema analenga kuazia spika wa bunge samuel sitta daktari hosea na waziri mkuu mizengo pinda |
kwa upande wake mbunge wa mpanda kati bwana said UNK alisema japo yeye si mwana ccm lakini UNK rais kikwete kuwa macho kwa kuwa kiongozi huyo ana ajenda yake ya siri inayolenga UNK ili wananchi UNK serikali yake na bunge |
spika wa bunge sitta alisema hawezi kusema lolote kwa sasa kwa kuwa kufanya hivyo UNK malumbano yasiyo na tija kwa watanzania maskini wanaotaka viongozi wao watumie muda wao kubuni mbinu mbalimbali za kuwakwamua kutoka katika hali duni ya maisha badala ya kupoteza muda na mambo ya ovyo |
alipotakiwa kutoa mwongozo zaidi kuhusu kanuni za bunge na jinsi bunge UNK kumwondoa daktari hoseah bwana sitta alisema wewe mwandishi naamini ni mzoefu wa masuala ya bunge UNK unajua naomba tu uelewe hivyo alisisitiza |
kwa mujibu wa kanuni za bunge chini ya kinga na madaraka ya bunge iwapo mbunge analalamikiwa kwa kukiuka sheria akiwa anatekeleza shughuli za bunge mhusika anatakiwa kuwasilisha taarifa hiyo kwa spika wa bunge ambaye UNK malalamiko hayo kweye kamati ya maadili ambayo kazi yake ni kuchunguza kujadili na kutoa mapendeke... |
iwapo kamati hiyo UNK makosa kwa mbunge spika UNK taarifa kwa mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ndiye huchukua hatua kwa mujibu wa sheria kulingana na uzito wa kosa lenyewe |
mwanasheria mkuu wa serikali ndiye anao uwezo wa kuamua kumkabidhi mbunge husika kwenye yenye uwezo wa UNK |
hata hivyo tayari takukuru imeeleza UNK wake kuwa itaendelea kuwahoji wabunge kwa kuwa hakuna aliye juu ya sheria |
mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini bwana william shellukindo alisema yeye hawezi kuzungumza lolote kwa sasa kwa kuwa anasubiri taarifa ya serikali na moja kati ya watu wanaotakiwa UNK ni pamoja na mtendaji mkuu wa takukuru mimi kwa sasa hapana hivi sasa mimi nasubiri tu taarifa ya serikali kwanza kuhus... |
wakati huo huo daktari hosea jana alitinga katika eneo la bunge mjini hapa na kufanya mazungumzo ya muda mfupi na bwana sitta na bwana pinda huku akikataa katakata kuzungumza na waandishi wa habari |
majira UNK kutoa ufafanuzi wa sababu UNK kusema lolote kwa wanahabari alisema kwa sasa sina lolote labda ukija dar wasiliana na huyu msaidizi wangu tutazungumza tu lakini hapa hapana alisisitiza huku UNK |
hakuna habari zilizotolewa kuhusiana na mazungumzo ya viongozi hao na daktari hoseah huku spika sitta akisema alikuja tu kusalimia kidogo na mwandishi wa waziri mkuu bwana said nguba akisema kuwa hata hakujua kama kiongozi huyo UNK na bosi wake |
na juddy ngonyani sumbawanga polisi mkoani rukwa inamshikilia john UNK mkazi wa kitongoji cha UNK kilichopo katika kijiji cha UNK kata na mamba tarafa ya UNK wilayani mpanda kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na moja pamoja na kutishia kuua kwa silaha huku akikutwa akimiliki silaha kinyume ch... |
kamanda wa polisi mkoa wa rukwa bwana isunto mantage alidai kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa la kwanza aprili kumi na saba majira ya saa saba usiku katika kitongoji hicho kwa kuvamia nyumba ya mwanamke huyo kisha kuvunja mlango wa nyumba hiyo na kuingia ndani na kumbaka mama huyo |
alidai kuwa akiwa UNK mama huyo mama huyo alipiga kelele za kuomba msaada na kisha majirani wakiwa njiani kuelekea katika nyumba ya mama huyo kwa lengo la kutoa msaada ndipo mtuhumiwa huyo alianza kukimbia na wananchi kuanza kumkimbiza hadi katika nyumba yake |
kamanda mantage alidai kuwa alipofika katika nyumba yake aliingia ndani na kutoka na bunduki moja aina ya UNK na kuanza kuwatishia wananchi hao ili wasiweze UNK |
alisema kuwa licha ya kuwatishia wananchi hao waliweza kumkamata na kumfikisha katika kituo kidogo cha polisi kilichopo katika kijiji cha UNK |
siku moja kabla ya bunge kupitisha UNK wa sheria ya mtoto ya mwaka ishirini sifuri tisa wanaharakati kutoka kituo cha msaada wa kisheria na asasi nyingine zisizopungua thebathini wametinga bungeni kuitaka serikali kuongeza vipengele vya kuifanya sheria hiyo UNK matakwa ya jamii |
vipengele hivyo ni malengo muhimu na misingi ya mwelekeo wa sheria misingi ya maslahi bora kwa mtoto na mfumo wa usimamizi na utekelezaji wa sheria yenyewe |
lakini mapendekezo hayo UNK mwamba kwani kamati isingeweza UNK serikalini kutokana na muda |
akiwasilisha mapendekezo yao kwa kamati ya bunge ya maendeleo ya jamii katika ukumbi wa pius msekwa juzi jioni mkurugenzi mtendaji wa UNK bwana clement mashamba alisema juzi ilikuwa mara ya pili kuwasilisha vipengele hivyo lakini hadi havikuonekana kwenye muswada uliowasilishwa bungeni |
vipengele hivyo vitatu muhimu vyote hapo awali asasi hizo zilikubaliana na serikali UNK kwenye nyongeza ya UNK wa sheria hii ya mtoto ya mwaka ishirini sifuri tisa lakini tunashangaa havionekani wazi alisema bwana mashamba |
alisema iwapo sheria hiyo UNK vipengele hivyo UNK malengo yanayokusudiwa na jamii hivyo mtoto ataendelea kukosa haki zake kama ilivyo sasa |
alisema vipengele hivyo ndio msingi ya mwelekeo wa sheria husika na kumjengea mtoto misingi na maslahi bora na mfumo wa utekelezaji wa sheria yenyewe |
hii itawezesha kutafsiri malengo na madhumuni ya sera katika mikakati na programu UNK katika ngazi za taifa halmashauri na jamii alisema bwana mashamba |
waziri mkuu bwana mizengo pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika misa maalumu ya toba kwa jamii ya kabila la wameru inayofanyika kesho kumuomba mungu kuwaondolea kile UNK ni laana iliyopo katika kabila hiyo |
askofu mkuu wa kanisa la international UNK church la sakila wilayani arumeru bwana UNK isangya alisema misa hiyo inajumuisha madhehebu yote yanayotoa huduma za kiroho katika halmashauri ya meru |
askofu isangya aliwaeleza waandishi wa habari mjini hapa kuwa hali katika eneo la meru si shwari kwa muda mrefu sasa kutokana na chuki zilizopo mioyoni mwao kwa kila koo kujiona ni bora zaidi ya nyingine hivyo kuzuka kwa mapigano ya UNK mara |
alifafanua kuwa historia ya uhasama huo ilianzia mbali kwa kabila hilo kufikia hata kuwaua wamisionari miaka ya sabini walipofika kueneza dini katika kata ya UNK hivyo kudhihirisha laana ya mungu dhidi yao |
aidha alisema kuwa pia matukio ya miaka ya tisini ya mapigano baina ya wameru wenyewe kwa wenyewe na UNK nyumba yanazidi kudhihirisha kuwapo kwa laana hiyo ya mungu ndio maana viongozi wa kiroho wameamua kufanya sala hiyo ya toba ili mungu aondoe hali hiyo |
alisema kuwa serikali kwa upande wake imejitahidi kudhibiti hali ya vurugu katika maeneo ya meru lakini haina uwezo wa kuondosha chuki iliyoko mioyoni mwa jamii hiyo bali ni mungu pekee mwenye jukumu hilo na ndio msingi wa toba hiyo |
pia akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya misa hiyo ya toba mchungaji godfrey UNK alisema kuwa maandalizi yote ya misa hiyo yamekamilika |
mwalimu mmoja wa shule ya msingi luhala iliyoko wilayani kwimba UNK UNK kuuawa na watu wenye hasira wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake aliyekuwa UNK darasa la saba |
mwalimu huyo UNK wakati wa sherehe za mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa darasa la saba ambazo zilifanyika katika shule hiyo mapema wiki hii |
baadhi ya wanafunzi ambao walikuwa wakifuatilia mwenendo wa mwalimu huyo na UNK huyo UNK mwanafunzi huyo UNK taratibu kwenye mkusanyiko wa wenzake na kwenda moja kwa moja katika nyumba ya mwalimu huyo |
baada ya kujiridhisha na hatua hiyo wanafunzi hao walitoa taarifa wa mwalimu mwingine aliyekuwa akiongoza sherehe ambaye UNK shughuli zake na kufuatilia mwalimu huyo |
alipofika katika nyumba ya mwalimu huyo akiwa na wanafunzi na wananchi wengine ambao walikuwa wamealikwa katika sherehe hiyo UNK nyumba hiyo na kumlazimisha afungue mlango walipoingia ndani walimkuta mwanafunzi huyo akiwa chumbani kwa mwalimu |
sakata hilo UNK hasira baadhi ya wananchi na wanafunzi ambao walitaka kumchoma moto lakini aliokolewa na mkuu wa wilaya ya kwimba bwana christopher UNK UNK wananchi UNK sheria mkononi |
mkuu huyo wa wilaya alikemea vikali tabia ya baadhi ya walimu kujihusisha na vitendo vya kufanya mapenzi na wanafunzi wao hususani UNK mitihani ya darasa la saba jambo ambalo linasababisha wengi wao kupata ujauzito na kushindwa kuendelea na masomo |
polisi dar es salaam inawashikilia watu kumi na nne wakiwemo raia wa kigeni kwa tuhuma za kujipatia shilingi milioni sabini na nne kwa njia ya udanganyifu |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana kamanda wa polisi wa kanda maalum ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na askari wa kikosi maalumu baada ya kuweka mtego eneo la mikocheni karibu na kiwanda cha coca cola |
kamanda kova alisema watuhumia hao ni raia wa jamhuri ya kidemokrasia ya congo india na wengine kumi na mbili ambao ni raia wa tanzania wakiwemo na wanawake wawili |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.