text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kamanda kova alisema watuhumia hao walienda kwa mfanyabiashara mmoja wa jijini wakidai wanauza madini ya dhahabu ndipo walipoingia mkataba wa UNK |
baada ya mfanyabiashara huyo kuoneshwa baadhi ya madini aliwakabidhi dola hamsini na saba sifuri sifuri sifuri na UNK mkataba wa kumletea madini yaliyobakia alisema kamanda kova |
alisema baada ya kukabidhiwa fedha hizo watuhumia waliacha namba zao za simu kwa madai kuwa watawasiliana UNK madini yaliyobaki lakini baadaye walizima simu hali iliyomlazimu mfanyabiashara huyo kutoa taarifa polisi |
aliongeza kuwa baada ya polisi kupata taarifa hizo walituma makachero ambao nao UNK kuwa ni wateja wa madini kuweka mtego uliofanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao |
baada ya kukamatwa watuhumiwa hao UNK katika ofisi UNK na kukutwa na vifaa mbalimbali wanavyotumia kutapeli ambavyo ni pamoja na mikataba mbalimbali ya UNK |
aidha aliwaomba wananchi mbalimbali waliowahi kutapeliwa kujitokeza kuwatambua watuhumiwa hao kabla ya kufikishwa mahakamani |
katika tukio lingine kamanda kova alisema watu UNK wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na vipande thebathini na tatu vya meno ya tembo yenye thamani ya shilingi saba mia tatu na tisini na tisa mia tano na thebathini na tano kinyume cha sheria |
alisema kuwa watuhumiwa hao bwana UNK UNK bwana hassan rashidi bwana salumu saidi na bwana UNK masaki walikamatwa eneo la mbagala UNK nje kidogo ya jiji la dar es salaam |
kampuni ya independent power tanzania limited imeshindwa kuweka baya siku ambayo UNK mitambo yake huku ikisisitiza kuwa bado inapashwa moto na kuendelea na ukaguzi ili kubaini kama iko salama |
akizungumza na waandishi dar es salaam jana meneja mkuu wa iptl daktari UNK subramaniam alisema kuwa kazi kubwa inayofanyika sasa ni kukagua kila injini ili UNK kama ziko salama |
kwa mujibu wa meneja huyo ukaguzi wa injini namba tano ilikamilika jana na wahandisi wa kitanzania na wanaendelea kukagua nyingine |
bwana subramaniam alisema kuwa mitambo hiyo itawaka siku yoyote baada ya kupatikana kwa mafuta na kumalizika kwa malipo yaliyokuwa UNK kwa ajili ya kulipia gharama za uendeshaji |
mitambo hiyo itawaka siku yoyote baada ya ukaguzi ambapo sasa injini namba tano imekwisha kukaguliwa nje na ndani na wahandisi kutoka tanzania na sasa wanakagua injini namba moja alisema daktari UNK |
alisema kuwa tayari wahandisi wawili wa wartisla wamewasili kwa ajili ya UNK mitambo hiyo na wengine watatu wanatarajiwa kuwasili leo ili kuongeza nguvu katika kuharakisha kazi hiyo |
vile vile jana walikuwa na kazi ya kukagua na kuhakiki ujazo wa mafuta UNK katika kampuni hiyo kwa ajili ya kuendeshea mitambo hiyo na hadi jana alasiri malori matatu UNK na UNK yakiwa na zaidi ya lita tisini sifuri sifuri sifuri alibainisha kuwa kila injini kati ya kumi zilizopo ikifanya kazi kwa saa ishirini na nne ... |
kwa mantiki hiyo mafuta UNK na serikali tani saba hamsini sifuri yanaweza kutumika kwa siku kumi na tano iptl UNK na serikali zaidi ya shilingi bilioni kumi na tano zimelipwa na serikali kwa ajili ya kulipia mafuta lita milioni saba tano yaliyonunuliwa kutoka katika kampuni ta total uendeshaji wa mitambo hiyo |
hundi tuliyopewa na serikali ni ya shilingi bilioni kumi na tano ambayo ni UNK ya kulipia mafuta kuwalipa wartisla na iptl hivyo siwezi kuanza kuwafafanulia kila mmoja amepata kiasi gani alisema bwana UNK mwanasheria wa wa serikali anayeshughulikia masuala ya UNK wa iptl alipoulizwa siku rasmi ya kuwashwa kwa mitambo ... |
kwa juhudi UNK zikiendelea hapa wanaweza kuwasha umeme ndani ya wiki hii lakini siwezi kusema au kutaja siku bwana UNK |
ataka pia chenge karamagi waachie nyadhifa zao ccm kimiti asema mpasuko unatokana na kukumbatia mafisadi daktari mahanga UNK kifua adai taarifa za kupikwa moto wa kikao kati ya wabunge wa ccm na kamati ya mwinyi uliendelea kuwaka mjini dodoma usiku wa kuamkia jana baada ya wabunge hao kutolewa hoja nzito za kuwabana w... |
kamati hiyo inayoongozwa na rais mstaafu wa awamu ya pili mzee ali hassan mwinyi ilikutana na wabunge hao ikiwa tayari imekutana na kamati mbili za uongozi moja ya ccm inayoongozwa na waziri mkuu bwana mizengo pinda na nyingine ya bunge iliyoko chini ya spika wa bunge bwana samuel sitta |
habari za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho kilichoanza saa mbili usiku hadi saa sita kumi usiku bila kumalizika zilieleza kwamba wabunge walimtaka mwenyekiti wa ccm taifa rais jakaya kikwete kuwaengua watuhumiwa wa ufisadi katika kamati kuu ya ccm na halmashauri pamoja na kuchukuliwa UNK zaidi kama njia ya kumaliza... |
mheshimiwa mwenyekiti tatizo letu kubwa ni kuacha maadili na miongozo ya chama chetu ni kwa nini tusikubali UNK na UNK |
kama hatutakubali kukosolewa na UNK UNK hiki chama bwana rostam lowassa karamagi na chenge wanatakiwa waondoke kwenye nyadhifa zao ndani ya chama wao ndio UNK dosari kilisema chanzo chetu UNK mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka akisema |
mbunge huyo alikuwa ni mchangiaji wa kwanza kati ya wachangiaji kumi waliochangia usiku wa UNK jana huku akitumia nukuu kadhaa za baba wa taifa mwalimu julias nyerere |
yule mheshimiwa sendeka alipasua ukweli alikuwa UNK UNK fulani UNK mwongozo wa ccm ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na moja na kuwaacha wajumbe hoi kwa kukumbuka mambo mazito ambayo ndiyo msingi wa ccm kilisema chanzo UNK ndani ya kikao hicho |
bwana sendeka aliripotiwa kuweka wazi kukerwa na kitendo cha ccm kuwa mkononi mwa wafabiashara wache wanaotaka kununua na kuweka mkononi mwao ccm huku wakitaka kutumia nafasi UNK nazo ndani ya chama hicho UNK kuwashughulikia wasema kweli |
mbunge UNK alimtaka mzee mwinyi kumfikishia salamu za live kwamba katibu wake mkuu wa chama ni tatizo tena alimtaja kwa jina bila UNK akiwa amekaa kuwa yeye UNK mafisadi na kukimaliza ccm kilisema chanzo chetu |
habari zilieleza kwamba mbunge wa sumbawanga bwana paul kimiti naye alipasua jipu kwa kuwekwa wazi jinsi UNK na madai ya UNK kwa mpasuko ndani ya bunge jambo ambalo UNK na kukumbatiwa kwa mafisadi huku UNK kuvuruga ccm ilielezwa kwamba bwana kimiti aliionya uongozi wa juu wa ccm kuhusu hatua za kukinusuru chama hicho ... |
mbunge wa longido bwana michael laizer naye ni moja kati ya wabunge UNK moto kwenye kikao hicho huku UNK kwamba bila suala la ufisadi kushughulikiwa kwa umakini uhasama utazidi miongoni mwa wabunge wa ccm kwa kuwa wanaopenda ukweli hawatakubali kuona baadhi UNK nchi na kukaa kimya |
kila mbunge aliyezungumza jana alikuwa akifanya tu marudio lakini ajenda kuu ilikuwa suala la ufisadi ndio chanzo cha mpasuko na uhasama kwa wabunge wa ccm kilisema chanzo chetu |
kikao hicho kilishindwa kumalizika jana baada ya mzee mwinyi kuweka wazi kwamba hakuna ukomo wa muda kwa mchangiaji kwa lengo la kutaka kila mmoja atapike kila alichonacho kama njia ya kumaliza mpasuko miongoni mwa wabunge wa ccm kwa upande wake naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari UNK mahanga ali... |
unajua kuna kitu ambacho wengi hawajui kuhusu sababu iliyowafanya watuhumiwa wa ufisadi wawe na furaha kwamba hawakuhusika na richmond mpaka taarifa UNK bungeni ndipo UNK kuna sehemu ya taarifa ya richmond iliibwa kwa spika na UNK wao UNK kwamba wamepona sasa walipofika bungeni UNK kilisema chanzo chetu |
ilielezwa kwamba chanzo cha kauli ya naibu waziri huyo inatokana na kuibwa kwa sehemu ya taarifa ya kamati teule ya bunge katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere dar es UNK katika mzigo wa spika wa bunge bwana samwel sitta alipokuwa safarini kwenda nje ya nchi hivyo kuamua kuchukua taarifa hiyo i... |
wakati aliyekuwa waziri mkuu bwana UNK alipokuwa UNK februari saba mwaka ishirini sifuri saba bungeni mjini hapa alitoa kauli sawa na ya naibu waziri huyo huku ikielezwa kwamba alisema hivyo kutokana na imani kwamba kile sehemu ya taarifa aliyopelekewa baaada ya UNK katika mzigo wa spika ndio ilikuwa taarifa sahihi |
unajua ile taarifa UNK na kupigwa kopi kisha kurudishwa muda mfupi kabla ya spika kuondoka ilikuwa kama hadithi walienda wakaa na kufanya na sherehe kwamba wao UNK bila kujua kwamba walichukua ka kipande tu ya taarifa tena sehemu ya mapendelezo tu sasa hiyo ndio chanzo cha hizi kauli za UNK kilisema chanzo chetu |
kikao kati ya wabunge na wazee hao iliendelea tena jana kuanzia saa kumi na moja jioni huku wabunge kadhaa wakiwa wameapa kufa na mafisadi na kusisitiza kwamba hatma ya ccm kuimarika au kupasuka inategemea matokeo ya kikao hicho |
uchunguzi wa majira ulibaini kwamba kabla ya kikao hicho kuanza jana jioni wabunge kadhaa walikuwa wakifanya mazungumzo ya UNK na wazee hao kwa awamu huku kila kundi ilijaribu kujitafutia hoja za msingi kutetea upande wao |
majira ilishuhudia vikao vya makundi vikiendelea ndani ya eneo la bunge na nje ya bunge huku upande wa watuhumiwa wa ufisadi pia wakiwa wanaonesha wasiwasi wa kutokubali kuzungumza wala kupoke simu UNK kwa hofu ya kuhojiwa |
mwandishi wa habari hizi alipiga simu za UNK vya watuhumiwa hao karibu wote zikiita bila kupokelewa kwa awamu jambo ambalo uenda inaweza UNK ukweli kuhusu taarifa hizo za kundi hilo kutotaka kupokea simu za watu UNK kwenye simu zao |
katibu mkuu mpya wa wizara ya mambo ya ndani bwana mbarak abdulwakil amesema atahakikisha UNK wahamiaji haramu UNK wafanyabiashara wa china wanaofanya biashara bila kufuata sheria za uwekezaji katika maeneo mbalimbali ya nchi |
akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya ikulu jana bwana abdulwakil alikiri kuongezeka kwa wafanyabiashara hao na kwamba wamekuwa kero kwa wafanyabishara ndogo UNK hapa nchini |
si vizuri kila UNK akiingia nchi apewe kibali cha kufanya biashara bila kuangalia uwezo wake wa UNK kwani wengi wamekuwa wakifanya biashara ambazo zinafanywa na wazawa alisema bwana abdulwakil bwana abdulwakil aliyekuwa naibu katibu mkuu ofisi ya makamu wa rais aliteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani ya n... |
wakati huo huo rais jakaya kikwete UNK bwana UNK mtupa kuwa msaidizi wa rais masuala ya sheria uteuzi ulianza tangu novemba tatu mwaka huu |
bwana mtupa ambaye alikuwa mkurugenzi wa msaidizi wa katika wizara ya mambo ya katiba na sheria anachukua nafasi ya bwana george UNK aliyeteuliwa kuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali |
rais jakaya kikwete ameutaka uongozi wa mamlaka ya bandari tanzania kuhakikisha UNK huduma za kuhudumia mizigo bandarini |
rais kikwete alitoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa kibiashara ulioandaliwa na jarida la the UNK dar es salaam jana |
mkutano hupo ulikuwa na lengo la kujadiliana na serikali jinsi ya kuunda sera mbadala katika kukabiliana na athari za msukosuko wa uchumi |
rais kikwete alilazimika UNK uongozi wa tpa mara alipoulizwa swali juu ya uboreshwaji wa shughuli za bandari hiyo ili kujua kama maazimio yaliyowekwa mwaka jana na mkutano kama yametekelezwa |
rais kikwete alijibu kuwa nimetembelea zaidi ya mara tatu katika bandari ya dar es salaam na UNK na baadhi ya uendeshaji wake hasa katika ucheleweshaji wa mizigo na msongamano wa makontena UNK kuhakikisha UNK haraka utendaji wao kutokana na umuhimu wa wake katika uchumi hivyo kwa kuwa wahusika wapo naomba mkurugezi wa... |
mkurugenzi wa masoko wa tpa bwana UNK kinunda alisimama kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa tpa na kusema kuwa ufanisi katika kuondoa mizingo UNK kutoka siku ishirini na tatu za awali hadi kumi na sita lakini haujafikia kiwango kilichokuwa kimepangwa cha siku kumi kutokana na sababu ambazo ziko nje wa uwezo wa bandari |
bwana kinunda alisema kuwa kuna sababu kuu nne ambazo zinasababisha kuchelewa kwa shughuli za bandari ikiwa ni pamoja na mlolongo mrefu wa ukamilishaji wa nyaraka za mizigo hivyo kulazimu mizigo kukaa bila sababu |
alisema kuwa vizuizi vya barabarani ikiwemo UNK pia ni sababu mojawapo UNK UNK wa mizigo na vituo vya kutoza ushuru vimekuwa UNK msongamano na adha kubwa |
aliongeza kuwa vituo vya polisi na mipakani navyo vimekuwa UNK UNK wa kusafirisha mizigo hivyo kulazimu wasafirishaji kukaa zaidi ya siku arobaini njiani hasa wanaokwenda tunduma |
miundombinu pia imetajwa kuwa kikwazo kikubwa hasa usafiri wa reli kutokana na kutegemewa kwa zaidi ya asilimia themanini ya mizigo husafirishwa kwa kutumia reli na asilimia iliyobaki kwa barabara huku nayo ikiwa na changamoto nyingi |
aidha alisema kuwa UNK wa bidhaa nao huwa kikwazo kutokana na kuchelewa kuchukuwa mizigo yao huku wakijua kuwa siku za mizigo kukaa bandari ni siku saba kwa mizigo ya ndani na wiki mbili kwa mizigo ya nje |
polisi mkoani rukwa wanamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuiba mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja katika kijiji cha kirando wilayani nkasi katika mwambao wa ziwa tanganyika |
kamanda wa polisi wa mkoa wa rukwa bwana isunto mantage alisema tukio hilo limetokea juzi saa tatu asubuhi wakati UNK mussa mkazi wa kitongoji cha isaba kilichoko kwenye mwambao wa ziwa tanganyika alikamatwa na polisi |
kamanda mantage alifafanua kuwa siku ya tukio mtuhumiwa akiwa kwenye maeneo ya soko la kirando akitokea mjini sumbawanga alimkuta mama wa mtoto huyo bwana elizabeth musa akiwa amembeba mwanaye huku akiwa anapanga mkaa wa biashara |
mtuhumiwa huyo alimshawishi mama wa mtoto kuwa si vyema kuendelea kupanga mkaa akiwa amembeba mtoto mgongoni kwani vumbi la mkaa linaweza kumdhuru na hivyo alimwomba amsaidie kumshika na mama wa mtoto akakubali ushauri huo |
alisema mapema mtuhumiwa huyo alijitambulisha kwa mama huyu kuwa ni mtoto wa baba yake mdogo na kwa vile watoto wa baba yake huyo mdogo hawafahamu UNK |
wakati akiendelea na biashara zake za mkaa mtuhumiwa huyo UNK na mtoto |
baada ya kutomuona mama huyo alikimbilia kwenye kituo kidogo cha polisi cha kirando kutoa taarifa na msako ukaanza mara moja |
kamanda mantage alisema kuwa baada ya msako mkali mtuhumiwa alikamatwa akiwa na mtoto huyo katika kitongoji hicho cha isaba UNK mwendo wa saa nne kwa boti kutoka katika kijiji cha UNK |
mbunge wa igunga bwana rostam aziz amepata mpinzania katika kinyangganyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri baada ya bwana bakari nyorobi kutangaza azima yake ya kuwania nafasi hiyo kupitia chama cha mapinduzi |
bwana nyorobi alitangaza azima yake hiyo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari dar es salaam jana ambapo alisisitiza kuwa uamuzi huo ni wake mwenyewe na hakuna mtu aliyemtuma ili UNK bwana rostam |
nimeamua kuwania nafasi hii kwa sababu katika jimbo letu mambo mengi yapo yapo sihitaji kuyataja mnayajua yanayoendelea |
igunga ni ya UNK wenyewe na hivyo basi maendeleo ya igunga UNK na UNK mwenyewe mwenye uchungu wa maendeleo na eneo lake alisisitiza bwana nyorobi ambaye ni mganga wa tiba asili |
mmoja wa wapambe wa bwana nyorobi aliyejitambulisha kwa jina la bwana edward haule alisema mwelekeo wa sasa wa serikali ni kutenganisha biashara na siasa hivyo kuwa na fursa ya kupata nafasi hiyo kutokana na mbunge wa sasa wa jimbo hilo kuwa mfanyabiashara |
alisema mbunge wa igunga ana mambo mengi ya kufanya pia ni mfanyabiashara hivyo wameona atafutwe kijana wa kuchukua nafasi yake kwani mkakati wa serikali ni kutenganisha siasa na biashara |
bwana nyorobi alidai kuwa amekuwa kwenye siasa kwa miaka kumi na mbili hivyo UNK na ana uwezo wa kuwatumikia wana igunga |
alitaja kati ya mambo UNK kuwa ni vitendo vya ufisadi na muda wote amekuwa mstari wa mbele UNK vita |
hata hivyo hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa undani pale UNK na waandishi wa habari |
alisema akiwa mtaalamu wa tiba za asili pindi akichaguliwa kuingia bungeni atatumia taaluma yake kueleza namna ya kukabiliana na vitendo vya mauaji ya albino |
waziri mkuu mizengo pinda ametetea kitendo cha tume ya taifa ya uchaguzi kuchoma moto shahada za wapiga kura na kukataa UNK tume maalumu kuichunguza badala yake UNK chama cha wananchi kwenda mahakamani kama wana shaka |
waziri mkuu alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la kiongozi wa upinzani bwana hamad rashid mohamed katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo ambapo alisisitiza kwamba katika mazingira halisi ya sasa serikali na cuf haviwezi kufikia muafaka juu ya suala hilo kwa kuwa kila moja UNK mwenzake hivyo upand... |
kwa mujibu wa sheria ya nec walichofanya ni kwa kutimiza tu sheria pale UNK ombe tume ina ofisi mbili moja ya ugavi na nyingine ya masuala ya daftari la kudumu la wapiga kura taarifa nilizopewa ni kwamba walikusanya kadi zaidi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri za watu mbalimbali wengine walifariki na wengine UNK m... |
katika mazingira ya kuviziana kila siku haihitaji tume maalumu na mimi nitasema hizo shahada zako si za kweli mimi nadhani nendeni tu mahakamani UNK UNK ushahidi lakini katika hali hii UNK na UNK jibu alisema bwana pinda |
alisema hakukuwa na mizengwe yoyote katika utekelezaji wa shughuli hiyo kwa kuwa UNK sheria za nec na kwamba katika mazingira ya kawaida haikutarajiwa kuwa viongozi wa vyama vya siasa wangeweza kufika eneo hilo kwa kuwa ilikuwa ni utendaji wa kawaida wa nec katika swali lake la nyongeza bwana mohamed alisema kwa kuwa ... |
wiki iliyopita bwana mohamed UNK waziri mkuu swali hilo na yeye akaahidi kufuatilia na kutoa jibu baadaye |
UNK |
co |
tz UNK UNK UNK |
UNK ni ya maelewano makubwa mazungumzo hayo kwa mujibu wa taarifa ya ikulu ya zanzibar UNK mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na haja ya kudumisha amani na utulivu nchini na maelewano na ushirikiano kati ya wananchi wote |
viongozi hao wamezingatia haja ya kuzika tofauti zilizopo ambazo zinachangia kuwatenganisha wazanzibari na kutoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa na wananchi kwa jumla kushirikiana katika kujenga nchi bila ya kujali itikadi zao za kisiasa |
viongozi hao walifafanua kuwa wananchi wakishirikiana na kujenga nchi kwa pamoja watapiga hatua kubwa zaidi za maendeleo |
katika mazungumzo hayo viongozi hao UNK umuhimu wa mchakato wa mazungumzo endelevu baina yao na vyama vyao kwa jumla |
akizungumza na gazeti hili jioni jana msaidizi wa maalim seif bwana ismail UNK alisema mazungumzo yamekuwa ya mafanikio makubwa na wameahidi kufanya kazi kwa pamoja ili kuleta umoja na ushirikiano kwa maslahi ya wananchi wa zanzibar |
wakati serikali ikitarajiwa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ishirini na tatu ya bunge kuhusu kashfa ya richmond jana iliwasilisha kwenye kamati ya bunge ya nishati na madini taarifa ya utekelezaji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe kiwira huku taarifa zote UNK kuwaka moto leo |
wakati taarifa ya kiwira UNK na kamati serikali imepata pigo baada ya taarifa yake kuhusu ticts kukataliwa na kamati ya bunge ya miundombinu kutokana na kutozingatia matakwa ya bunge na maslahi ya taifa |
habari za ndani zilieleza kwamba taarifa hiyo iliwasilishwa kwenye kamati hiyo jana mchana baada ya kipindi cha maswali na majibu na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo |
UNK taarifa ile na UNK lakini tumeona halifai kwa kuwa ina mapungufu mengi ambayo UNK kama tulivyotaka UNK na UNK UNK kwanza serikalini kilisema chanzo chetu ndani ya kamati hiyo |
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana william shellukindo alikiri kupokea taarifa ya UNK huku akikataa kueleza chochote kwa kuwa kanuni UNK kuzungumza masuala ya kamati kwenye vyombo vya habari kabla ya kuwasilishwa bungeni |
kuhusu richmond chanzo chetu kilisema kuwa serikali imeweka kiporo taarifa hiyo hadi leo kutokana na kile kilichodaiwa kuwa kanuni za bunge haziruhusu kamati moja kupokea taarifa mbili siku moja hivyo UNK ya kiwira na kuipa nafasi kupokea ya richmond leo |
adai ni mtendaji mzuri kivuli chake kinatisha watu |
asema chenge daktari hoseah ni watu safi hawana UNK |
UNK spika sitta kwa kuruhusu mijadala ya ufisadi UNK kwa wabunge wa ccm katika kikao kati yao na kamati ya mzee ali hassan kumezidi kutoa sura mpya zaidi baada ya waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sophia simba kuweka wazi msimamo wake wa kumtetea mbunge wa monduli bwana edward lowassa kuwa ni mwanaume shupavu habari z... |
mheshimiwa lowassa ni mwanaume shupavu ni mtendaji mzuri sana kivuli chake UNK watu hana hatia yoyote alionewa tu kisiasa |
makamba ni mchapa kazi na UNK sana ccm acheni mzee UNK kazi |
pia UNK lawama spika wa bunge samuel sitta kwa kuruhusu mjadala wa richmond epa na mijadala kuhusu ufisadi kwamba kwa kufanya hivyo haitakii mema serikali ya ccm kwa kuwa angeweza kuzuia |
ndio maana wajumbe wa nec walitaka kuchukua kadi yake ni busara tu za mwenyekiti UNK chanzo chetu UNK waziri huyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.