text
stringlengths
1
1.32k
waziri huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa umoja wa wanawake tanzania UNK pia mwenyekiti wa ipp reginald mengi kuwa ni UNK wa chadema akiwataka wabunge wa ccm wanaonufaika na misaada yake chini ya vicoba UNK chadema habari zaidi zilieleza kwamba kama vile bibi simba alikuwa anatoa taarifa za serikali alieleza kamati hiyo...
kamati ya mwinyi iliundwa na halmashauri kuu ya ccm kuchunguza chanzo cha mpasuko miongoni mwa wabunge na UNK mjini dodoma tangu mwanzoni mwa wiki kwa ajili ya kazi hiyo
wajumbe wengine ni makamu mwenyekiti wa ccm na kada wa ccm abdulrahaman kinana
baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa walihoji kama kauli za waziri simba ni msimamo wa ikulu au ni mawazo yake binafsi kwa kuwa inaaminika asingeweza kusema maneno hayo kwa uzito ule bila uhakika wa ikulu
habari kutoka katika kundi la wabunge vinara wa vita vya ufisadi zilieleza kwamba wameamua kukaa kimya kwanza kusubiri kundi linalodaiwa kuunga mkono ufisadi kumaliza kisha wataoa majibu kwa njia rahisi ili kuepusha mpasuko zaidi
kwa sasa hatutaki kuzungumza kitu chochote jana tulishambuliwa sana
UNK sana tena matusi ya nguoni UNK hata na watu ambao si wabunge lakini sisi kwanza tunashangaa ila kwa sasa tusubiri kwanza sisi tunajua wananchi wataoa jibu ambao ndio waathirika zaidi na ufisadi alisema mmoja wa wabunge hao
kikao hicho leo kinaendelea kwa siku ya tatu na bado haijulikani kama UNK au kitaendelea pia kesho huku ila upande UNK msimamo wake
kufuatia kuwepo kwa vitendo vya wizi wa fedha za mapato ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watendaji wa halmashauri ya wilaya ya bahi mkoani hapa halmashauri inatarajia kumpeleka mkaguzi wa mahesabu ya ndani katika vijiji hamsini na sita vya wilaya hiyo
lengo la kumpeleka mkaguzi huyo wa ndani katika vijiji hivyo ni kukagua vitabu vya mapato kwa watendaji wa halmashauri hiyo kwa lengo la kudhibiti ubadhirifu wa fedha
mkurugenzi wa halmashauri hiyo bibi beatrice UNK alitoa taarifa hiyo mjini hapa na kusema hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi ya watendaji wa kata wilayani bahi kuiingizia hasara halmashauri hiyo kutokana na kukusanya fedha chini ya malengo
alisema kuwa ili kuweza kudhibiti wizi huo ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watendaji hao mkaguzi huyo ataenda katika vijiji hivyo hamsini na sita kwa ajili yakufanya ukaguzi wa mahesabu ya mapato kwa watendaji hao
alifafanua kuwa halmashauri hiyo ya bahi hivi sasa imeanzisha utaratibu maalum wa kuwazawadia watendaji ambao watakuwa wakikusanya mapato yao vizuri ikiwa ni pamoja na kuwapa zawadi katika kukabiliana na tatizo hilo la wizi huo wa fedha za halmashauri hiyo
aliongeza kuwa kwa kuanza kutekeleza suala hilo wameshatoa jumla baiskeli tano na fedha taslimu shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri kila mmoja katika kata za UNK UNK UNK ambapo watendaji wake walikusanya mapato vizuri zaidi ya asilimia sabini na tano mkurugenzi huyo alisema kuwa katika mwaka huu wa fedha ishirini...
na subira UNK morogoro moto mkubwa UNK hoteli ya kingstone iliyopo eneo la nane nane katika manispaa ya morogoro na kusababisha hasara kubwa ambayo bado haijaweza kufahamika mara moja
akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo jana mmiliki wa hoteli hiyo meja wa jwtz msabaha UNK alisema hoteli hiyo UNK usiku wa kuamkia jana majira ya saa tisa thebathini alfajiri
mmiliki huyo alisema moto huo ulianzia kwenye sehemu ya kaunta na baadaye kushika katika eneo lote la hoteli hiyo ambayo UNK kwa makuti hadi kwenda upande wa pili wa vyumba vya kulala wageni
alisema mara baada ya kuanza kuwaka kwa moto huo watu ambao hawakuweza kujulikana na ambao UNK kuwa ni vibaka walifika katika hoteli hiyo na kuiba vitu mbalimbali ambavyo alivitaja kuwa ni spika za muziki meza na viti na kusema thamani ya vitu hivyo bado UNK
kufuatia tukio hilo mkuu wa wilaya ya morogoro bwana said mwambungu ameteua kamati ya muda UNK kwa muda wa wiki moja kwa ajili ya kuchunguza chanzo cha moto katika hoteli hiyo na kusaidia uongozi wa wilaya pamoja na watendaji wengine kujua ni namna gani wataweza kuzuia majanga mengine ya moto yasije UNK
mkuu huyo wa wilaya alisema kamati hiyo itaongozwa na mkurugenzi wa manispaa hiyo mkuu wa polisi wilaya afisa usalama wilaya meneja wa tanesco mkoa mhandisi wa ujenzi wa manispaa hiyo pamoja na mkuu wa kikosi cha zimamoto
aidha mwambungu alitoa wito kwa wamiliki wa majengo na taasisi kubwa katika manispaa hiyo kuhakikisha wanaweka miundo mbinu ya umeme vizuri kwa kutumia mafundi wenye uhakika pamoja na kuita tanesco kwa ajili ya ukaguzi kabla ya kuanza kazi ili kuweza kunusuru majanga ya moto yanayojitokeza mara kwa mara
mahakama ya hakimu mkazi kisutu imeombwa UNK maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na ofisa ugavi wa wizara ya maliasili bibi UNK moshi kwa kuwa hayahusiani na makosa aliyoshitakiwa nayo mahakamani hapo
mbali na hilo pia mahakama imeombwa kutangaza kuwa shahidi wa upande wa mashitaka ambaye ndiye alikuwa mpelelezi wa kesi hiyo kutoka takukuru hana sifa za kutoa maelezo hayo kwa kuwa makosa yanayowakabili washitakiwa hayo hayahusiani na makosa ya rushwa
hayo yalijitokeza jana mahakamani hapo mbele ya hakimu mkazi bwana UNK sanga wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa kesi inayowakabili maofisa wa wizara ya maliasili ambao wanadaiwa kuiba shilingi milioni mia moja na kumi na tisa tano malumbano hayo ya kisheria yalijitokeza baada ya shahidi wa pili wa upa...
akipinga kupokewa kwa maelezo hayo wakili wa utetezi bwana hudson ndusyepo alisema kuwa maelezo hayo yanaonesha mshitakiwa UNK kwa makosa ya kutengeneza nyaraka kwa nia ya kumdanganya mwajiri wake tofauti na makosa yaliyoko mahakamani
alisema kuwa mbali na kumhoji kwa makosa mengine lakini shahidi huyo hana mamlaka ya kukamata wala kuchunguza makosa aliyoshitakiwa nayo mshitakiwa huyo kwa kuwa wenye mamlaka hayo ni polisi ambao UNK kwa sheria ya kanuni ya adhabu ambayo ndiyo ameshitakiwa nayo
kwa kuzingatia haya takukuru walitakiwa kuripoti polisi ili washughulikie suala hili kwani makosa yaliyoko mahakamani hapa hayahusiani na rushwa alisema bwana UNK
katika majibu ya upande wa mashitaka kuhusiana na pingamizi hilo walisisitiza kupokewa kwa maelezo hayo kwa kuwa lipo kosa linalohusiana na makosa ya rushwa ambalo liko kwenye sheria ya uhujumu uchumi
kutokana na malumbano hayo mahakama itatoa uamuzi wa kupokea maelezo hayo au la novemba ishirini na sita mwaka huu
washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni bwana elias mziray bwana david UNK na bwana joseph rweyemamu ambao wote kwa pamoja wanakabiliwa na makosa ya kula njama kuiba na kusababisha hasara ya shilingi mia moja na kumi na tisa mia tano na thebathini sifuri sifuri sifuri wakiwa waajiri wa wizara hiyo
jumla ya wanafunzi wa ishirini na tano wa jamii ya wafugaji wa kimasai wilayani kiteto katika mkoa wa manyara wamepatiwa hifadhi na serikali kusubiri matokeo ya mtihani wa darasa la saba ikihofia wanaweza kuolewa kabla ya matokeo hayo kutangazwa
akizungumza na majira ofisini kwake mkurugenzi mtendaji wa halmashuri ya wilaya ya kiteto bibi UNK lyimo amesema hifadhi hiyo imetokana na ombi maalumu la madiwani lililotolewa kwenye kikao kuhusu hifadhi hiyo
hadi sasa jumla ya wanafunzi ishirini na tano wa kike wa jamii ya UNK wamasai ambao wamemaliza mtihani tumewapa hifadhi shule moja ya msingi katika kata ya UNK alisema na kuongeza pamoja na hifadhi hiyo bado kuna haja ya kutazamwa upya jinsi ya kuisaidia jamii kuona umuhimu wa kusomesha watoto wao sio kweli kuwa wanas...
alisema pamoja na serikali kuwapa hifadhi wanafunzi hao bado wazazi wana wajibu wa kusomesha kwa kuwa kufanya hivyo jamii itaendelea kubweteka kusubiri serikali ambayo hata hivyo UNK na watu tegemezi
bibi lyimo aliendelea kusema kuwa jamii ya wafugaji hao ina uwezo mkubwa wa kifedha kulingana na jamii zingine kutokana na shughuli zao za ufugaji hawana sababu ya kusubiri serikali UNK watoto wao
pamoja na kupatiwa hifadhi hiyo bado kuna kila sababu ya mzazi kumlinda mtoto huyo kwa kuwa bado yuko mikononi mwake na kama itabainika akapata mimba mzazi atawajibika kwa nafasi yake kisheria alisema akiwa hajafurahishwa na kitendo hicho
wanafunzi hao majira ilifuatilia kama wapo shuleni hapo na kubaini kuwa wengi wao wametoroka kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa kukaa bweni bila kazi wakati wakisubiri matokeo
wenzetu wametoroka hawapo hapa hata sisi tumechoka kukaa bila kazi wala UNK UNK UNK tunakula na kulala tu UNK hata hivyo kuna tatizo la uhaba wa chakula shuleni wazazi wametakiwa kuchangia na hawatakubali alisema mmoja wa wanafunzi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe
mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya ipp bwana regnald mengi amemshauri waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sophia simba kunyamaza kimya katika vita dhidi ya ufisadi kwa sababu akida kuwa siyo mwadilifu na kwamba hawezi kusimama kupinga vita dhidi ya ufisadi
vile vile amemshauri kabla UNK aombe ushauri kutoka taasisi za serikali kama vile usalama wa taifa badala ya kupotosha ukweli
bwana mengi alisema hayo jana dar es salaam wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake na baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi kwamba yeye si mwanachama wa chama hicho na hatoi misaada ya hali na mali kwa chama
bwana mengi alipotakiwa na waandishi wa habari aeleze alichodai ni uchafu wa bibi
simba alisema kuwa uko wazi na hakuna UNK ambapo alimtolea mfano uchaguzi wa jumuiya ya wanawake wa chama cha mapinduzi jinsi alivyokuwa UNK kinyume na maadili
ndugu wanahabari kuna msemo wa kiingereza usemao don t UNK with a fool because people may not know the UNK between you the fool wenye maana kwamba usibishane na mjinga kwa sababu watu wanaweza kushindwa kufahamu tofauti yako na huyo UNK
wakati mwingine UNK kujibu hoja UNK mtu UNK mambo kwa makusudi na kuanza kuropoka kwamba sitoi misaada kwa ccm hilo ni jambo UNK na watu binafsi na kwa malengo binafsi alisema
bwana mengi alisema kuwa viongozi wa ccm ambao ni waadilifu na wanaosimamia ukweli wanajua undani wa jambo hilo iwapo kama anachangia au la
kuhusu UNK wangu wa ccm napenda kuwaambia kwamba mimi ni mwanachama wa ccm tangu aprili kumi na nane mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na saba na kadi yangu ni namba b laki moja na elfu ishirini na nne na mia tano na tisini na tano iliyotolewa na tawi la kisutu wilaya ya ilala mkoa wa dar es salaam alisema huku UN...
bwana mengi alisema madai yote kwamba yeye si mwanachama au alijiunga na chama hivi majuzi kama inavyoelezwa na bibi
simba katibu wa ccm mkoa wa dar es salaam bwana shaaban nggenda na mwenyekiti wake bwana john UNK ni uongo uzushi na UNK wenye lengo la kudhoofisha juhudi za viongozi wa juu wa chama hicho na baadhi ya wanachama za kupiga ufisadi vita
alisema kuwa ameshangazwa na kauli ya bwana nggenda aliyoitoa juzi katika vikao vya chama dodoma kuwa katika ukaguzi wake alioufanya katika matawi ya kisutu hakuona jina lake wakati yeye ni UNK hai wa ccm alisema kuwa yeye na wenzake wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba chama kinaongozwa katika misingi yake ya ...
bwana mengi alisema kuwa wanaodai kuwa ndani ya ccm hakuna kiongozi msafi ni wazi kwamba UNK chama hicho hivi majuzi ambapo aliwashauri waondoke na kuwaachia chama chao kwa kuwa hawafahamu msingi wake imara
baadhi ya vyombo vya habari jana vilimkariri bibi simba akidai kwamba chama chao kilikuwa UNK bwana mengi kuwa ni kada wa ccm na kwamba tayari hata uamuzi wake wa kuamua kujiunga na chama hicho katika siku za hivi ulikuwa UNK
katika hatua ambayo haikutarajiwa waziri simba badala yake aliwataka wabunge wa ccm UNK na bwana mengi na kuunga mkono jitihada zake za kuchangia fedha za misaada katika maeneo mbalimbali nchini kufanya hivyo hivyo hata katika michango ya mabilioni iliyotolewa na rais jakaya UNK sehemu tofauti nchini
wabunge wapania kuendeleza mapambano
UNK asisitiza rostam anahusika richmond wabunge wengi mjini dodoma wamesikitishwa na hatua ya serikali kutowasilisha taarifa kuhusu kampuni ya richmond kama bunge UNK na kusema kuwa hatua hiyo inalenga kuzorotesha vita dhidi ya ufisadi
kinyume na matarajio ya wabunge na watanzania wengi serikali jana haikuweza kutoa maelezo kuhusu ripoti yake ambayo ilikataliwa na bunge katika mkutano wa uliopita kwa maelezo kwamba haikukidhi matarajio yao
wabunge waliohojiwa jana walisema hata hivyo kwamba wataendeleza mapambano dhidi ya ufisadi na kuhakikisha kwamba waliohusika katika kashfa hiyo wanachukuliwa hatua
suala hili UNK makusudi halafu mbaya zaidi UNK taarifa za kuridhisha mapema
haya ni UNK mabaya ya kodi za watanzania alisema mbunge mmoja ambay hakutaka kutaja jina lake
jana spika wa bunge samwel sitta kabla ya kumkaribisha waziri mkuu kuahirisha bunge alieleza kuwa ripoti ya richmond pamoja na ile ya ticts na trl zitatolewa katika mkutano wa bunge UNK
wakati huo huo kikao cha faragha kati ya wabunge wa ccm na wazee wa chama hicho chini ya rais mstaafu ali hassan mwinyi kilimalizika juzi saa sita na nusu usiku huku mtihani wa kumaliza mpasuko miongoni mwa wabunge ukizidi kuwa ngumu zaidi
dalili za wazi za kuota mizizi kwa mpasuko huo UNK na majibizano makali UNK kikao hicho kilichokaa siku tatu huku jana UNK kwa mbunge wa nzega bwana lucas selelii kutoa maelezo ambayo alidai ni ushahidi wa jinsi watuhumiwa wa ufisadi walivyohusika moja kwa moja na kashfa ya richmond
kuna shahidi mmoja aliyekuwa akiishi dar es salaam alituambia wazi kwamba nyumba alimokuwa UNK UNK na rostam na kwamba mwandishi mmoja aliyekuwa ikulu alisema alipewa kazi ya kuhakikisha richmond UNK vizuri wafanyakazi wa richmond walikuwa ni walewale wa UNK kampuni ya rostam sasa UNK nini kutohusika na richmond kilis...
aliendelea kama wanaona wameonewa kama wanavyodai basi waende mahakamani au tumieni kanuni kurudisha upya hoja ya richmond bungeni barua zote za wizara ya nishati na madini kila moja ina msisitizo wa kwa agizo la waziri mkuu lakini pia ile richmond iliyopo marekani ni ya UNK haijui hata kufunga balbu richmond llc haip...
ilielezwa kuwa mbunge huyo machachari aliweka wazi jinsi richmond UNK kwamba iliwahi kujenga uwanja wa taifa imetengeneza barabara ilijenga bomba la mafuta mambo ambayo katika uchunguzi UNK kuwa ya uwongo
awali mbunge wa igunga bwana rostam aziz alitaka kuundwa kwa tume huru kuchunguza ukweli wa taarifa ya richmond kwa maelezo kwamba taarifa hiyo UNK yeye aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa na watendaji wengine waliotajwa
kutokana na hali hiyo baadhi ya wabunge waliozungumza na majira kwa masharti ya kutotajwa majina kwa madai kwamba kikao hicho ni cha ndani walieleza UNK kwao na yaliyojiri katika kikao huku wakihofia hatma ya ccm kwanza nafikiri kama mimi ningekuwa sophia simba UNK yeye ni waziri wa utawala bora UNK kuzungumza yale UN...
mbunge mwingine alisema UNK huruma sana mwenyekiti wetu wa chama akisema ana mtihani mgumu sana wa kuchambua pumba na mchele
lakini ukweli UNK kama UNK maamuzi sahihi na bila kujali sura ya mtu tutakwenda pabaya zaidi kuwa UNK nguo sasa hatua za haraka zinahitajika alisema mbunge mwingine
wakati hayo yakiendelea vyanzo vya majira vilieleza kwamba waziri simba amesikitishwa na jinsi watu UNK mchango wake huku akiweka wazi kwamba hawezi kutukana mtu kwa kuwa yeye anajua umuhimu wa kuzingatia maadili ya ccm naye kulwa mzee anaripoti kuwa hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chama cha mapinduzi anayepinga u...
madai hayo yalitolewa na wakili maarufu nchini profesa abdallah safari alipokuwa akizungumza na majira kuhusiana na malumbano yanayoendelea kati ya wabunge na mawaziri kuhusu nani fisadi
profesa safari alisema UNK waziri ofisi ya rais sophia simba ni kweli na kwamba walioguswa UNK lakini ukweli utabaki pale pale
jana waziri huyo UNK kwenye kikao UNK na rais mstaafu ali hassan mwinyi UNK bwana edward lowassa na andrew chenge kwamba tuhuma za ufisadi dhidi yao UNK na kwamba mbunge wa same mashariki anne kilango ni UNK mumewe john malecela UNK na mafisadi wakati wa uchaguzi mwaka ishirini sifuri tano kama kuna viongozi ambao ni ...
alisema viongozi UNK kushughulikia vitu kama hivyo UNK wanashughulikia UNK na vilivyo katika uchunguzi
akizungumzia hilo shekhe ponda issa ponda alisema hali ni mbaya kwa upande wa serikali lakini ni nzuri kwa upande wa wananchi kwani sasa wanafahamu kuwa viongozi wote walioko madarakani si wazuri
alisema kutokana na hali iliyopo ni wazi kwamba viongozi waliopo madarakani wanaendelea kuwepo kutokana na mfumo uliokuwepo awali ambao unatakiwa kubadilishwa
shekhe ponda alisema bila kuwepo kwa mfumo huo viongozi wote wanaonekana hawana sifa za kuendelea kushika nyadhifa walizonazo
mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewaachia huru wanafunzi watano wa chuo kikuu cha dar es salaam ambao walituhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali baada ya upande wa mashitaka kushindwa kupeleka mashahidi wa kesi hiyo
uamuzi huo wa kuachiwa huru kwa wanafunzi hao ulitolewa jana mahakamani hapo na hakimu mkazi bibi victoria UNK ambaye kabla ya kufuta kesi hiyo alitoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka
mahakama ilitoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka ili waweze kuleta mashahidi lakini imeshindikana hivyo washitakiwa wanaachiwa huru kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuleta mashahidi wa kesi hii ilisema amri ya mahakama
wanafunzi UNK huru ni antony machibya UNK steven UNK UNK titus UNK na paul issa ambao walifikishwa mahakamani hapo januari ishirini na moja mwaka huu wakikabiliwa na makosa ya kufanya mkusanyiko usio halali chini ya sheria ya kanuni za adhabu kifungu cha sabini na nne ambapo mkusanyiko huo ulisababisha uvunjifu wa ama...
ilidaiwa kuwa katika mkusanyiko huo walikuwa na mabango ambayo yalikuwa na ujumbe UNK laiti nyerere UNK leo UNK machozi ya damu
kweli kikwete umesahau umasikini wa watanzania
ilisema sehemu ya bango hilo
sehemu nyingine ilisema kuwa hivi pinda kweli wewe ni mtoto wa mkulima wazazi wetu UNK huruma UNK vyuo vya umma vimeuzwa kwa matajiri yalisema mabango hayo
upande wa mashtaka katika kesi hiyo UNK kuita mashahidi sita kutoka jeshi l polisi ambao ni ssp gervas mapunda sp nyangasa c elfu nane na mia saba na sabini na sita d UNK nyangasa pc hamis pc william na pc nsajigwa
serikali ya japan imesaini mkataba wa dola za marekani mia moja na sabini na tatu mia mbili na arobaini na nane kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji mkoani iringa na ujenzi wa kituo cha afya mkoani dodoma
mkataba huo ulisainiwa jana dar es salaam kati ya balozi wa japan bwana hiroshi nakagawa na wenyeviti wa miradi hiyo
bwana stephano mgina alisaini mkataba wa mradi wa maji wa kijiji cha mlangali na UNK wilayani ludewa mkoa wa iringa wenye thamani ya dola za marekani themanini na nane mia tisa na arobaini na moja msaada huo kwa ajili ya ujenzi wa matangi mawili na kusambaza bomba katika vijiji hivyo
mkataba wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha mkonze manispaa ya dodoma wenye thamani ya dola za marekani themanini na nne thebathini saba ulisainiwa na bwana yona wami
fedha hizo kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha matibabu na mapokezi ambapo watu kumi sifuri sifuri sifuri UNK
balozi nakagawa alisema sekta ya afya ni muhimu na serikali ya tanzania inajitahidi kwa nguvu zote kuhakikisha wananchi wanapata huduma inayostahili
pia alisema mradi wa maji wa mlangali utasaidia kuwapatia maji safi na salama wakazi saba themanini sifuri wa vijiji hivyo na kupunguza magonjwa ya kuhara na mengine yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama
balozi aliiomba kamati ya maji kuhamasisha wananchi kuchangia huduma hiyo na fedha UNK zifanye kazi UNK
akishukuru baada ya kusaini mkataba huo mwenyekiti wa mkonze bwana wami alisema watatumia fedha hizo kwa matumizi yaliyokusudiwa na si vinginevyo ili kuwapunguzia wananchi adha wanayokabiliana nayo
naye mwenyekiti wa mlangali bwana mgina alisema wananchi watashiriki kwa hali na mali katika kufanikisha mradi huo na fedha hizo zitatumika kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa
watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na sita kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya super UNK lenye namba t mia tisa na thebathini na tano UNK kugongana na fuso lenye namba t mia mbili na arobaini na tatu UNK maeneo ya dakawa barabara ya morogoro dodoma
kamanda wa polisi mkoa wa morogoro bwana thobias andengenye amesema tukio hilo lilitokea novemba tisa majira saa moja kumi na tano usiku maeneo hayo ya dakawa wilaya ya mvomero ambapo alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa madereva hao
andengenye amesema dereva wa basi hilo lilikuwa likitokea mwanza kwenda dar es salaam alikimbia baada ya tukio hilo na dereva wa fuso aliyefahamika kwa jina la bwana aron UNK mkazi wa kibaigwa anashikiliwa na polisi
amewataja watu waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni bibi UNK paschal mkazi wa mkoani mwanza bwana issa mwezi ambaye ni kondakta wa basi ambapo marehemu wawili bado hawajatambulika ambapo miongoni mwao mmoja ni mwanaume mtu mzima na mwingine ni mwanamke UNK kuwa na umri kati ya miaka kumi na saba na kumi na tisa kaman...