text
stringlengths
1
1.32k
wengine ni mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka moja ramadhan mohamed mkazi wa singida bwana pascal sungura bibi UNK pascal mkazi wa mwanza na matiku UNK mkazi wa dar
kamanda andengenye amesema majeruhi wote wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa morogoro kwa matibabu na maiti UNK katika chumba cha kuhifadhia maiti katika UNK hiyo ya mkoa
na mashaka mhando handeni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilayani hapa UNK na kusimamisha zoezi la usaili walioomba nafasi za ajira katika halmashauri ya wilaya ya handeni akidai kwamba mchakato mzima wa zoezi hilo UNK na mazingira ya rushwa na uwepo wa dalili za ukabila
hatua hiyo inafuatia malalamiko yaliyowasilishwa takukuru na baadhi ya waliomba ajira kufuatia matangazo mbalimbali UNK kwenye magazeti na mbao za matangazo ambao afisa mmoja wa halmashauri hiyo UNK majina yao bila kuzingatia sifa zao na taratibu za usaili wa awali UNK
baadhi ya watu walioomba ajira na kukatwa majina yao walisema kuwa baadhi ya wanzao walitakiwa chochote ili waweze kupewa upendeleo ikiwemo kuitwa kwenye usaili ambao ulipangwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia aprili kumi na nne hadi kumi na sita na UNK hao tayari wakiwa wamefika wilayani hapa wakitokea mikoa ya dar es...
mimi niliomba nafasi ya ugavi nina sifa zote zinazotakiwa lakini cha kushangaza walioitwa kwenye usaili hawana sifa na vigezo vinavyotakiwa hii inaonyesha ofisi ya utumishi iliyokuwa ikishughulikia zoezi hili imetumia mazingira ya yasiyoeleweka alisema mkazi wa dodoma
bwana UNK hashim aliyeomba nafasi ya maendeleo ya jamii akitokea wilayani handeni aliyezungumza na majira jumapili kwa njia ya simu alisikitishwa na hatua ya kusimamishwa kwa zoezi hilo akielezea kwamba limewatia hasara UNK ambao wametokea mbali na handeni na kwamba UNK kabla ya kufika kituoni
kamanda wa takukuru mkoa wa tanga bwana UNK UNK alipoulizwa jana juu ya hatua hiyo alikiri kusimamisha zoezi hilo lakini akasema kwa kuwa yupo nje ya ofisi UNK suala hilo jumatatu
bwana kimaro ambaye ni ofisa utumishi UNK suala hilo UNK matafaruku mkubwa alipoulizwa alisema suala hilo litazungumzwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo bwana UNK UNK
alisema tatizo kubwa katika zoezi hilo ni suala la kupendekeza majina kwa kutumia mfumo wa short UNK ambao UNK majina ya watu kutokana na namna UNK akitoa mfano kwamba sehemu iliyokuwa na watu ishirini UNK majina UNK pekee
wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania jana walitangaza uamuzi wa kutofanya kazi na mwekezaji kampuni ya rites kutoka nchini india hadi mkataba kati yake na serikali UNK
wafanyakazi hao wametoa tamko hilo ikiwa ni siku moja baada ya kumalizika notisi ya siku sitini iliyotolewa na mwekezaji huyo kuitaka serikali kutekeleza makubaliano ya mkataba wao juu ya uendeshaji wa kampuni hiyo
mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa reli tanzania bwana juma lema alibainisha jijini dar es salaam katika mkutano wa wafanyakazi hao kuwa hawako tayari tena kufanya kazi na mwekezaji huyo na hawamtambui kuanzia jana
mwenyekiti huyo alisema kitendo cha serikali kushindwa kutoa ufafanuzi na uamuzi wowote baada ya kupokea notisi hiyo kimedhihirisha udhaifu na woga dhidi ya mwekezaji huyo na ndio maana wamechukua uamuzi wa mwanzo wa UNK
hali hii inazidi kuongeza utata wa hatma ya kampuni hiyo kwani ni muda mrefu sasa tangu mvutano huo uanze pamoja na mwekezaji huyo kuonesha kasoro kadhaa serikali imekuwa ikipinga kuchukua uamuzi mzito katika suala hilo
hakuna sababu kuendelea kuogopana huku wananchi waliokuwa wakitegemea huduma ya usafiri wa treni kuzidi kusota stesheni kila siku kutokana na udhaifu wa mwekezaji
reli ya kati ni kongwe iliyojengwa enzi za ukoloni leo hii watanzania walipaswa kuona UNK na kufikia kiwango cha kuendeshwa kwa umeme lakini maamuzi UNK yanazidi kuirudisha nyuma na huduma zake kuwa na taswira ya enzi ya UNK
serikali ifike mahali iseme inatosha na kuachana na mwekezaji huyu na kutangaza zabuni upya kuwapa nafasi wawekezaji wengine wenye uwezo kuendesha kampuni hiyo
serikali UNK huruma wananchi UNK kila siku kwa kukosa usafiri na ikubali kuchukua maamuzi UNK
rais wa zamani wa jamhuri ya afrika ya kati bwana UNK felix patasse ambaye alirejea nchini humo kutoka uhamishoni mwezi uliopita amekutana na UNK oa madarakani na kisha kutangaza kuwa UNK kiti hicho tena kwenye uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwakani
bwana patasse alikutana na rais UNK UNK juzi ambaye UNK oa madarakani mwaka ishirini sifuri tatu ikiwa ni baada ya kukalia nafasi hiyo kwa muda wa miaka kumi naweza kuthibitisha kuwa nitakuwa mgombea kwenye uchaguzi wa rais mwaka ishirini moja sifuri bwana patasse alieleza katika taarifa yake
ningependa kumshukuru kiongozi wa nchi ambaye UNK tujadiliane kuhusu matatizo yanayokabili nchi aliongeza katika taarifa hiyo
yeye na mimi tumeipokea kwa mikono miwili hali hiyo kwa sababu UNK wazi na inaeleweka kila mmoja UNK mwenzake vizuri jambo ambalo nilikuwa UNK wakati UNK nchini iliongeza sehemu ya taarifa hiyo ya bwana UNK
bwana patasse sabini na mbili alirejea nchini oktoba thebathini mwaka huu akiwa ni baada ya miaka saba ya kuishi uhamishoni nchini UNK
UNK nchi hiyo kuanzia mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tatu hadi machi ishirini sifuri tatu wakati UNK na jenerali UNK
mwishoni mwa mwezi agosti mwaka huu rais huyo wa zamani ndipo alipotangaza kuwa UNK nchini humo kwa ajili ya uchaguzi mkuu
mwezi juni mwaka huu bwana patasse alitimuliwa ndani ya chama chake cha central african people s UNK movement ambacho UNK waziri mkuu wa zamani bwana martin UNK kuwa mgombea wake wa kiti cha urais
serikali imeanzisha sensa ya kupata idadi halisi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kujua chanzo chake
naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto bibi lucy nkya alisema katika maadhimisho ya miaka ishirini tangu ufikiwe mkataba wa haki ya mtoto na umoja wa mataifa jana kuwa sensa hiyo imekwishaanza kwa wizara yake kushirikiana na shirika la kimataifa lisilo la kiserikali
alisema katika utafiti wa awali serikali imebaini kuwa sheria ya watoto ambayo imepitishwa na bunge hivi karibuni itawabana wazazi ambao wanajificha na kuwatuma watoto wao kuomba barabarani na kuwabana UNK watoto kwa ajira
naibu waziri huyo alisema maadhimisho hayo UNK tanzania ikiwa imefanikiwa katika sheria mpya ya mtoto kwa kutoa elimu ya msingi sekondari na kupunguza vifo vya watoto kwa kutoa huduma za afya
mwakilishi wa haki za watoto kutoa kituo cha UNK hussein cheyo alisema wanaomba serikali ianzishe mabaraza ya watoto kutoka ngazi ya mitaa wilaya mikoa na taifa ili kueleza matatizo UNK nayo
mwakilishi wa haki za watoto nchini bwana UNK nyange alisema ili elimu ya sheria ya haki ya watoto nchini UNK walengwa shirika lake litaendelea kutoa vipeperushi vya kutoa elimu kwa watoto
mmoja wa wadau wanaoshughulikia matatizo ya watoto nchini bwana geofrey mhagama aliomba serikali isaidie kuisambaza sheria mpya ya watoto kuanzia mahakama za mwanzo na mahakama kuu ili sheria hiyo ifahamike kwa watu wote na UNK kutumika ipasavyo
kampuni ya uwakili ya malegesi law chambers imewasilisha pingamizi la awali katika mahakama kuu ya tanzania ikitaka kufutwa kwa madai UNK mahakamani hapo na benki kuu ya tanzania ikitaka kulipwa zaidi ya shilingi bilioni moja
pingamizi hilo liliwasilishwa jana mahakamani hapo na mdaiwa huyo UNK na sababu nne zinazopinga kusikilizwa kwa madai hayo
sababu zilizowasilishwa ni kwamba malalamiko ya bot yaliyotolewa kwenye hati ya madai yamejaa tuhuma uzushi na UNK
pingamizi hilo lilidai kuwa mlalamikaji hana UNK la msingi kwa kuwa upotoshwaji unaolalamikiwa ni juu ya misingi ya sheria na mkataba UNK na pande zote mbili
sababu zingine ni kwamba mahakama hiyo haina mamlaka ya awali ya kusikiliza shauri hilo kwa mujibu wa taarifa za gazeti la serikali namba mia tano na kumi na tano ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na moja juu ya mishahara na kodi za mawakili
mbali na hayo pia pingamizi hilo linadai kuwa kutokana na upotoshwaji shitaka hilo linapaswa kutupiliwa mbali kwa kuwa UNK na kanuni ya sheria ya mwenendo wa makosa ya madai
kesi hiyo iko mbele ya jaji UNK shekhe ambayo imepangwa kusikilizwa kwa pingamizi hilo aprili saba mwaka kesho
awali bot ilifungua kesi hiyo mahakamani hapo ikiomba kulipwa na kampuni hiyo ya uwakili kiasi cha dola za marekani mia tisa na tisini na nane sifuri sifuri sifuri kutokana na udanganyifu katika mkataba waliokuwa wameingia kwa ajili ya ushauri wa kisheria katika kesi mbili zilizokuwa UNK bot polisi UNK vifo vya kutata...
kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni bwana mark kalunguyeye alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa tisa sifuri sifuri jioni maeneo ya boko bus UNK UNK maiti ya bwana jongo ikiwa imelala kitandani bila ya jeraha lolote mwilini
pia bwana kalunguyeye alisema baadaye jioni katika eneo la kunduchi beach ilikutwa maiti nyingine ya mwanaume aliyetambulika kwa jina bwana pascal msomaji ikiwa imelala kwenye UNK na kuharibika vibaya
bwana kalunguyeye alisema inadaiwa marehemu alifariki siku tatu nyuma na kwa taarifa za majirani marehemu hakuwa na maradhi yoyote ila inadaiwa alikuwa mnywaji mkubwa wa pombe za kienyeji
miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala na uchunguzi unaendelea UNK na vifo hivyo
wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi jana ilishindwa kuanza ugawaji wa samaki waliokamatwa kwa wavuvi haramu kutokana na kutokamilika kwa taratibu
naibu waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana james wanyancha alisema kuwa wamesitisha utaratibu wa ugawaji wa samaki hao kutokana na UNK kwa utaratibu wenye lengo la kuhakikisha kuwa samaki hao wanawafikia walengwa na sio kuwakuta wakiwa sokoni kwa malengo ambayo UNK
ni kweli tulitakiwa kugawa samaki hao leo lakini UNK kwa utaratibu ndio UNK maombi ya ugawaji wa samaki kwa kuwa wako watu wengi ambao UNK macho na sisi kama wizara lengo letu ni kuhakikisha wanawafikia walengwa bwana wanyancha alisema
awali taarifa zilizolifikia gazeti hili zilisema kuwa samaki hao UNK kutokana na kukosekana kwa UNK maalumu ya UNK kwa kuwa ni wakubwa lakini zilikanushwa na bwana wanyancha
naibu waziri alitoa wito kwa wananchi kutokuwa na wasiwasi kuhusu suala hilo ila waendelee kuwa na subira na UNK tena pindi taratibu hizo za ugawaji wa samaki hao UNK
samaki hao UNK baada ya kuvuliwa na wavuvi haramu katika bahari ya hindi na mahakama UNK kuwa samaki hao wauzwe kwa utaratibu wowote lakini wizara hiyo ikaamua kugawa bure taasisi kama hospitali shule magereza na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
mahakama ya wilaya ya ilala jijini dar es salaam imemhukumu mfanyabiashara bwana mohamed yusuph mkazi wa kariakoo kutumikia kifungo cha miaka thebathini jela baada ya kupatikana na hatia ya UNK mtoto wa miaka kumi na moja kabla ya hukumu hiyo kutolewa mahakama iliamuru mshitakiwa huyo kufungwa kifungo cha maisha kutok...
akitoa hukumu hiyo hakimu wa mahakama hiyo bibi janeth UNK alisema ametoa hukumu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ambao UNK hatiani mshitakiwa
awali ilidaiwa kuwa februari ishirini na moja mwaka jana maeneo ya feri mshitakiwa UNK mtoto wa miaka kumi na moja na kumsababishia maumivu makali
hatua madhubuti na nia makini ya kuzitekeleza zinahitajika kuchukuliwa sasa ili kuinusuru dunia na uchafuzi wa mazingira unaosababisha mabadiliko makubwa ya tabia nchi
endapo jumuiya ya nchi za kimataifa haitafanya hivyo sasa maisha ya binadamu na viumbe wengine yatakuwa hatarini kuanzia sasa na vizazi vijavyo
hayo yalisemwa juzi dar es salaam na balozi wa ufaransa nchini bwana jacques de labriolle katika siku ya asasi za kiraia juu ya mabadiliko ya tabia nchi iliyoandaliwa na ubalozi huo
balozi de labriolle alisema huu ni wakati mwafaka wa mataifa yote maskini na tajiri kuungana kuchukua na kutekeleza hatua madhubuti ili kuinusuru dunia na athari hasi zinazotokana na mabadiliko hayo UNK nayo kwa sasa
alisema kuwa umuhimu wa kuchukuliwa hatua hizo haraka iwezekanavyo ambazo ni pamoja na kuongeza kasi ya kufanya utafiti wa kisayansi kubadili misimamo katika uendeshaji wa shughuli za biashara na viwanda na kuhamasisha tabia ya utunzaji mazingira miongoni mwa wanajamii yanafanya mkutano wa copenhagen utakaofanyika maj...
kama mnavyojua UNK majuma UNK kabla ya mkutano wa copenhagen ambayo ni moja ya majukumu makubwa jumuiya ya kimataifa imejipatia ili kufikia maamuzi UNK kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi
mkutano huu ni moja ya mikutano ya kihistoria mabadiliko ya tabia nchi yanasababisha athari kubwa mno katika dunia hii kwa jamii nzima na malengo yetu ya kimaendeleo
uamuzi wa haraka unatakiwa kuamuliwa na kutekelezwa la sivyo dunia nzima itakuwa katika matatizo makubwa sasa na vizazi vijavyo hapo matatizo makubwa sasa na vizazi vijavyo baadaye alisema balozi de labriolle
alisema kwa sababu ya athari zinazotokana na mabadiliko hayo kuongeza umaskini kwa nchi zinazoendelea ufaransa na hata jumuiya ya nchi za ulaya kwa ujumla imedhamiria kuchukua msimamo imara huko copenhagen kwa kutilia maanani matatizo UNK nchi zote kutokana na suala la athari hizo
kwa sababu kila mmoja anahitaji kuona watoto wetu wakiishi katika mazingira mazuri na kupata maliasili wanazostahili hatuna budi kufikia makubaliano ya msingi huko copenhagen
nawahakikishia kuwa ufaransa pamoja na jumuiya ya nchi za ulaya zitakuwa na msimamo madhubuti kupigania hatua madhubuti alisema balozi de labriolle
aidha balozi de labriolle alisisitiza umuhimu wa asasi za kiraia katika kuleta msukumo wa kimaendeleo akisema kuwa asasi hizo kama vile mashirika yasiyokuwa ya kiserikali UNK kuwa mashahidi wa mabadiliko katika jamii bali washiriki wakubwa
aliahidi kutokana na kutambua muhimu na mchango wa asasi za kiraia ufaransa imekuwa ikitoa nafasi na kusikiliza maoni yao
mkutano wa copenhagen utakaofanyika baadaye mwaka huu unasubiriwa kwa hamu na jumuiya ya kimataifa ambapo njia za kukabiliana na mabadiliko tabia UNK
mkutano huo utafanyika huku kukiwa na kumbukumbu jinsi marekani UNK kutekeleza makubaliano ya mkutano wa kuhusu mazingira uliofanyika UNK japan
pia kumekuwepo na hali ya nchi tajiri UNK utayari pamoja na kuwa zinachangia kwa kiasi kikubwa kuathiri kwa mabadiliko ya tabia nchi duniani
gari la mahakama ya ardhi dar es salaam land cruiser hard top limeibwa kwenye maegesho ya tawi la chama cha mapinduzi kibamba juzi usiku
habari ambazo majira imezipata na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni bwana mark kalunguyeye zimesema walinzi wa ccm tawi la kibamba na dereva wa gari hilo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi
akisimulia tukio hilo bwana kalunguyeye alisema kuwa baada ya dereva kuegesha gari hilo juzi usiku alielekea nyumbani kwake na baadaye wezi walifika na kuwafunga kamba walinzi wa tawi hilo UNK kwa silaha UNK gari kwa funguo bandia na kuondoka nalo
alisema kuwa dereva wa gari hilo aligundua kuibwa kwa gari hilo asubuhi alipokwenda kulichukua na kupewa taarifa na walinzi kuwa limeibwa na majambazi
katika tukio lingine mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya nas jijini bwana hassan mohamed anashikiliwa na polisi kwa kumjeruhi kwa risasi mpita njia ambaye ni kondakta wa daladala bwana martin UNK
kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus sabasi alisema kuwa tukio hilo lilitokea jana saa kumi na mbili asubuhi maeneo ya tandika baada ya bunduki yake kufyatuka risasi wakati akiwa lindoni
huyu mlinzi baada ya kuamka leo asubuhi alisahau kama silaha yake ina risasi tisa na ndipo UNK kwa chini risasi moja kufyatuka na kumjeruhi mguuni mpita njia huyo alisema
kamanda alisema kuwa mlinzi huyo ambaye alikuwa akilinda kisima cha mafuta cha bwana UNK ahmed anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi na majeruhi amelazwa katika hospitali ya temeke
same kilimanjaro alhamisi novemba kumi na mbili ishirini sifuri tisa miili ya watu kumi na tisa kati ya ishirini na tano UNK kufariki kutokana maporomoko ya miamba na udongo kwenye vijiji viwili vya UNK na goha vilivyopo kata ya mamba myamba wilaya ya same mkoani kilimanjaro UNK leo katika maeneo mawili tofauti kwenye...
naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika mh
UNK mathayo na mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mama monica mbega ni miongoni mwa viongozi wa ngazi ya juu walioshiriki katika mazishi hayo ambayo ibada ya mazishi UNK na UNK UNK wa kanisa la sabato parokia ya same akisaidiwa na wachungaji tisa wa kanisa hilo kutoka mkoani kilimanjaro na makao makuu ya dayosisi ya sabato m...
hata hivyo idadi hiyo imeongezeka kutoka watu kumi na nane UNK jana na kufikia kumi na tisa leo baada ya kupatikana kwa mwili wa mwanamke mmoja aitwaye UNK UNK mwili ambao UNK kutoka kwenye kifusi cha udongo ndani ya nyumba UNK akiishi
aidha baada ya vikao mbalimbali vya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya na mkoa kwa kuwashirikisha ndugu wa marehemu imeamuliwa kuwa maiti zote zilizopatikana UNK kwa heshima zote katika viwanja vya makaburi ya pamoja kwenye vijiji hivyo
naye kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro acp lucas UNK UNK amesema kuwa bado vikosi vya uokoaji kutoka polisi mkoani tanga na wenzao wa kilimanjaro kwa kushirikiana na wananchi wa vijiji hivyo na maeneo UNK vimeendelea na zoezi la kutafuta miili mingine ya watu waliobaki ambao hadi sasa hawajulikani walipo
amesema UNK utafutaji wa miili hiyo lilianza tene mapema asubuhi leo baada ya kusitishwa kwa muda jana jioni kutokana na kuingia kwa giza
wakizungumza wakati UNK hayo mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mama monica mbega na naibu waziri wa chakula
kilimo na ushirika mh
mathayo wamesema kuwa taifa limepoteza nguvukazi kubwa kwa kuondokewa na idadi hiyo ya wanakijiji kwa pamoja
wananchi hao UNK baada ya kunyesha kwa mvua kubwa usiku wa kuamkia jana ambapo UNK miamba miti na mawe makubwa yenye UNK wa zaidi ya tani ishirini hadi arobaini UNK kutoa kwenye mlima manka kupitia kwenye nyumba za wananchi wa kijiji hicho mengine UNK na mengine UNK wasiweze UNK
vijiji hivyo vimejengwa kandokando ya milima hiyo UNK na milima ya UNK jambo ambalo UNK kusababisha mawe UNK kutoka katika milima hiyo kupoteza maisha ya viumbe wote waliopo kwenye eneo hilo
pamoja na wananchi hao pia mifugo zikiwemo nggombe zaidi ya ishirini mbuzi kondoo mbwa na paka pamoja na kuku pia wamepoteza maisha katika janga hilo la UNK
mbunge wa bariadi magharibi bwana andrew chenge amebaki peke yake kwenye kesi ya kusababisha vifo vya watu wawili kwenye ajali ya gari baada ya dereva wa bajaj bwana majid gharib aliyekuwa UNK naye kuachiwa huru
bwana chenge na bwana gharib walikuwa UNK katika kesi hiyo iliyosababisha vifo vya victoria george na beatrice UNK lakini jana upande wa mashtaka umeomba dereva huyo wa bajaj aachiwe chini ya kifungu tisini na nane
uamuzi wa kuachiwa huru kwa dereva huyo ulitolewa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni mbele ya hakimu mfawidhi bwana emilius mchauru baada ya wakili anayeendesha kesi hiyo bwana richard rweyongeza kuomba kuachiwa kwa mshitakiwa huyo
baada ya bwana chenge kubaki mshtakiwa pekee hatua inayofuata ni kusomwa kwa maelezo ya awali ya kesi hiyo na kuanza UNK
kesi itatajwa desemba kumi na tano mwaka huu kwa ajili ya kupanga tarehe ya kuanza kusikilizwa
bwana chenge UNK yuko nje kwa dhamana alifikishwa kortini machi thebathini mwaka huu kwa makosa ya kusababisha vifo vya watu wawili kutokana na uendeshaji gari kizembe tukio lililotokea machi ishirini na saba mwaka huu saa kumi thebathini alfajiri katika barabara ya haile UNK dar es salaam
pia UNK kwa kuendesha gari bila kuwa na bima jambo ambalo ni kosa kisheria
baraza la watumiaji usafiri wa majini na nchi kavu UNK serikali kupitia mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi kuharakisha kutekeleza mradi huo ili kuondoa msongamano wa magari na usumbufu wanaoupata abiria katika daladala