text stringlengths 1 1.32k |
|---|
hayo yalisemwa dar es salaam jana na katibu mkuu wa baraza hilo bwana oscar kikoyo wakati akizungumza na majira kuhusu mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi ambao umekuwa UNK |
alisema mradi huo ulitangazwa kuwa awamu ya kwanza kuwa ungeanza na barabara ya morogoro mwaka ishirini sifuri nane lakini UNK hadi kipindi hiki huku shida ya usafiri dar es salaam ikizidi kuongezeka |
sasa hivi tumeambiwa kuwa basi la kwanza litaanza kufanyakazi mwaka ishirini moja sifuri yaani kabla ya uchanguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani hivyo tunaomba watekeleze kama walivyopanga alisema bwana UNK |
alisema baraza UNK serikali kwa kuanzisha mradi huo na linaona kuwa ukikamilika tatizo la msongamano wa magari na abiria litakuwa limeisha na itasaidia kuharakisha maendeleo kwa wakazi wa dar es salaam |
hata hivyo alipongeza hatua ambazo zimeshaanza za kupanua barabara ya morogoro ambapo tayari watu wameshaanza kulipwa fidia kupisha upanuzi wake kwa ajili ya mabasi hayo |
bwana kikoyo alisema mradi huo ukikamilika utapunguza gari binafsi za watu kuingia mjini kutokana na usafiri wa uhakika ambao hautakuwa wa purukushani na utakuwa wa haraka kufika sehemu ambayo abiria UNK |
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi ametangaza kuwa ifikapo oktoba thebathini mwaka huu wamachinga wawe wameondoka katika maeneo yasiyo rasmi vinginevyo timuatimua itaanza upya |
bwana lukuvi alisema hayo dar es salaam katika mazungumzoa yake na watendaji wa manispaa ya ilala wakiwamo wenyeviti wa serikali za mitaa watendaji na madiwani juzi |
alisema biashara zote ambazo zinafanywa katika maeneo yasiyo rasmi yakiwemo maeneo ya barabara zinatakiwa kuondoshwa kabla ya tarehe hiyo ambayo imetangazwa kwa lengo la kufanya jiji kuwa tofauti na lilivyo hivi sasa |
jiji la dar es salaam limekuwa chafu sana kutokana na uzembe wa kusimamia sheria sasa wakati umefika kwa wakazi UNK na nitahakikisha jiji hili linakuwa safi na kufanana na halmashauri ya moshi ambayo imetumia sheria zake kuyaweka mazingira katika hali ya usafi |
alisema timuatimua hiyo UNK biashara zote zinazofanywa katika maeneo UNK zikiwemo biashara za maji ya kunywa ya chupa nguo miwa machungwa na aina ya zote za vyakula |
kwa mujibu wa bwana lukuvi shughuli hiyo ya timuatimua itafanywa na askari wa jeshi la polisi na wale wa jiji ambao UNK watakaokaidi kuondoka |
alisema UNK hiyo pia UNK wenye gereji katika maeneo yasiyo rasmi baa UNK muziki wa juu katika makazi ya watu vyoo UNK maji ya UNK UNK UNK barabarani kutupa taka ovyo UNK maeneo yasiyo rasmi |
naye kamanda wa kanda maalumu ya dar es salaam bwana UNK kova alisema jeshi lake limejipanga vizuri kwa kuwakamata na kuwafikisha watu wanaovunja sheria kwa kufanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi |
alisema shughuli hiyo haitakuwa nguvu ya soda kwani yeye hapendi kushindwa jambo hivyo machinga watakaokaidi amri yake UNK huruma kwa sababu mpango huo ni wa kuliweka jiji katika mazingira ya usafi |
siku chache baada ya wafuasi wa chama cha wananchi kutaka kumshambulia katibu mkuu wao maalim seif sharif hamad kwa kukubali kumtambua rais wa zanzibar amani abeid karume jumuiya za chama hicho zimetangaza kuunga mkono hatua inayoashiria muafaka mpya |
wakati jumuiya ya wanawake wa chama hicho zanzibar imeandaa maandamano ya kuunga mkono mazungumzo hayo ile ya vijana UNK maalim seif kwa hatua hiyo |
maandamano ya wanawake hao yamepangwa kufanyika jumapili na kupokewa na makamu mwenyekiti wa chama hicho machano khamis ali yakiwa na ujumbe wa kuwaeleza wafuasi hao faida ya muafaka huo |
mkurugenzi wa uenezi na mawasiliano ya umma bwana salim bimani aliwaambia waandishi wa habari jana matayarisho yote yameshakamilika na mzungumzaji mkubwa atakuwa maalim seif sharif hamad |
lengo kubwa ni kuunga mkono mazungumzo ya viongozi ambayo yamesaidia cuf kuondosha mpasuko wa kisiasa siku nyingi na sasa wazanzibari wameamua kuungana na kusahau tofauti zao alisisitiza bwana bimani |
alisema mbali na maandamano hayo viongozi wa kitaifa wameanza kufanya ziara za kutembelea majimbo na kukutana na wanachama ili waweze kuwafahamisha sababu zilizofanya baraza kuu la uongozi wa cuf kumtambua rais karume |
maandamano hayo yataanzia uwanja wa komba wapya kupitia mikunguni na UNK viwanja vya UNK |
wakati hayo UNK zanzibar jijini dar es salaam sekretarieti ya vijana wa cuf imetoa pongezi kwa bwana hamad kwa hatua aliyofikia |
mwenyekiti wa sekretarieti hiyo bwana mohamed UNK alisema kuwa hiyo ni njia muafaka ya kufikia suluhisho la amani visiwani humo |
kitendo cha kukutana kwa maalim seif na rais karume na hatimaye cuf kuitambua serikali ya rais karume ni ishara njema ya kulimaliza tatizo la zanzibar alisema bwana UNK |
aliongeza kuwa matatizo ya kisiasa visiwani zanzibar yamefikia katika hali mbaya sana na ni viongozi pekee wanaotakiwa kuchukua hatua madhubuti za kumaliza tatizo hilo |
watu wamekuwa wakipigwa mara kwa mara kujeruhiwa vibaya kukamatwa na UNK haki yao ya msingi ya kuandikishwa kupigwa kura |
vijana wa chama cha cuf tunaamini matatizo haya na mengine yatamalizika kutokana na kitendo cha cuf kuitambua serikali ya rais karume na tunatoa wito kwa wanachama wote kwa ujumla kutoa nafasi kwa viongozi wetu wafikishe mwisho hatua waliyoanza ili kumaliza kabisa mtafaruku wa kisiasa zanzibar alisema |
novemba tano mwaka huu rais karume alikutana na maalim seif kuzungumzia mpasuko wa kisiasa wa zanzibar ambayo UNK zote mbili zilisema ni ya mafanikio makubwa |
mwenyekiti wa ccm rais jakaya mrisho kikwete ametakiwa kuchukua maamuzi magumu UNK chama hicho kabla ya matokeo yake UNK mwaka ishirini moja sifuri rai hiyo imetolewa na kada wa chama hicho wa muda mrefu bwana UNK ole molloimet alipozungumza na majira juu ya hali ya kisiasa ndani ya chama hicho na kulaani kauli ya kat... |
ukimya wa mwenyekiti unaendelea UNK katika utawala wake kwa kuwa hakuna UNK bali malumbano ya muda mrefu yasiyo na tija kwa wananchi huku UNK mambo ya msingi kwa wananchi |
alimtaka mwenyekiti huyo UNK haya UNK kidole viongozi waovu kwa kuwa wanaonekana kubinafsisha ccm ambayo ni chama cha wakulima wafanyakazi |
akizungumzia kauli ya bwana makamba alisema mimi ni kada wa ccm wa muda mrefu tumekuwa UNK na UNK wa chama hiki mwalimu nyerere |
yeye hakuwa na kauli ya UNK hii hata siku moja na ndio maana hata leo hii tunaendelea kumuenzi yale yote mazuri aliyoyafanya alisema ole molloimet |
alisema kauli hiyo inaonyesha ni ya kibabe yenye utovu mkubwa wa nidhamu kisiasa sio ya wana ccm UNK upotoshaji ambayo inaonyesha kuwa chama hicho ni cha watu wachache kwa maslahi yao waliyopo madarakani |
alisema ccm UNK mtu uongozi na ndio maana kuna demokrasia ambayo inatakiwa kuzingatiwa kwa kauli za bwana makamba hazina mafunzo ya kuiga kwa kizazi kijacho |
alisema kauli hiyo inakatisha tamaa wanachama wa ccm na kujiona kuwa hawana chao bali chama ni cha akina makamba na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi ambao UNK kujiuzulu badala yake wamekuwa UNK ang UNK |
chama kimekuwa kichaka cha baadhi ya watu kuficha maovu yao ambao UNK wakidhani wananchi UNK na kujipa moyo kuwa wao ndio wasemaji wakuu kuliko wenye chama |
maamuzi ya chama ni kauli za wanachama wakiongozwa na katiba na si kauli isiyokuwa na maadili kama ya bwana mkamba kwa wanachama ambao ni waadilifu na wenye uwezo mkubwa kimaamuzi kuliko yeye alisisitiza ole molloimet |
akizungumza na majira jana bwana makamba alisema kauli yake haikuwa na lengo baya bali alitaka UNK watoto kwenye mahafali kuwa UNK nchi yao kwa kuwa muda wake UNK |
bwana makamba hivi karibuni alikaririwa akisema wanaotaka UNK wasubiri amalize miaka minne iliyosalia kwenye maisha ya binadamu ambayo ni miaka sabini na tano wakati yeye amefikisha sabini na moja kada huyo alitolea mfano malumbano UNK muda mrefu yasiyo na tija kwa wananchi ya viongozi UNK kuitana mafisadi huku wengin... |
alisema maadili ya uongozi UNK na hao hao walioko madarakani kwa kuheshimu pesa kuliko utu na hata baadhi ya wanaoingia madarakani hasa wanasiasa lengo lao ni kuchuma pesa tu |
wakati zimebaki siku kumi na tano za wakazi wa magomeni kota kuondolewa katika nyumba hizo wameomba waongezewe miezi mitatu ili watafute nyumba za kupanga |
mbali ya maombi hayo mkutano wa wakazi hao uliofanyika jana dar es salaam UNK mwenyekiti wa kamati yao bwana lucas UNK na kumlalamikia diwani wa kata ya ndughumbi kupitia ccm bwana charles mgonja kuwa hana msaada kwao |
mkutano huo UNK na jazba baada ya nyumba zao zote mia sita na arobaini na nne za kota magomeni kukatiwa umeme wiki iliyopita huku kukiwa hakuna majibu sahihi kuhusu hatma yao waliazimia kuchanga shilingi kumi sifuri sifuri sifuri kila mkazi za kumlipa mwanasheria UNK kisheria kuhusu UNK yao |
bibi mwajuma hamisi ambaye hoja yake ya kuomba kuongezwa miezi mitatu waendelee kuishi magomeni kota kupitishwa wakazi hao pia waliomba malipo ya mwaka ishirini sifuri sita ya shilingi mia saba na ishirini sifuri sifuri sifuri UNK kwa sababu thamani ya fedha hizo UNK |
makamu mwenyekiti wa kamati hiyo bwana nkurumah munjoli UNK kuwatuliza wakazi hao UNK diwani kujibu tuhuma UNK kwake na wakazi hao |
diwani mgonja UNK kwa wananchi hao alisema hakuwa anahudhuria vikao vya wakazi wa UNK kota kwa sababu hajawahi kupata taarifa rasmi za kimaandishi na kuwepo kwake jana ni utashi wake akitokea hospitali kupata matibabu |
UNK UNK wakazi wa magomeni kota katika kipindi hiki kigumu ambacho ufumbuzi wake utatokana maamuzi ya kikao cha baraza la madiwani wa manispaa ya kinondoni UNK ili suala hilo |
kwa hili mimi UNK mawe lakini UNK kwa sababu asilimia tisini na tisa ya kura zangu zimetokana na ninyi wale UNK UNK inawezekana kutokana na mawazo yao lakini hii ni kazi ngumu sana alisema diwani mgonja |
wakazi hao pia walisema wana wasiwasi na viongozi wa juu wa manispaa ya kinondoni kutoa maamuzi bila kujali ni wapangaji wa nyumba hizo kutoka mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na suala lao linahitaji maafikiano ya kimaandishi na si kuweka mabango na kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari |
jeshi la polisi nchini limekabidhiwa vifaa vitendea kazi na kampuni mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi sifuri kwa ajili ya kusaidia juhudi za jeshi hilo katika kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa wananchi na mali zao |
akizungumza dar es salaam jana wakati wa hafla ya makabidhiano hayo waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana lawrence masha alisema vifaa hivyo UNK wakati muafaka ambapo jeshi la polisi limekuwa UNK na uhaba wa vitendea kazi ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikichangia jeshi hilo kushindwa kufanya kazi kwa UNK |
UNK jeshi la polisi nchini kwa jitihada kubwa wanazofanya katika kuwatambua wadau mbalimbali ambao wamekuwa wakishirikiana na jeshi hili na kuwa karibu na jamii katika utendaji kazi wao alisema bwana masha |
bwana masha aliwapongeza wadau mbalimbali ambao walichangia vifaa hivyo katika kutekeleza dhana jamii ya polisi na ulinzi shirikishi na kwamba huo ni mfano wa UNK kwa wadau wengine kuweza kushirikiana bega kwa UNK na jeshi hilo ili kuleta maendeleo nchini |
kampuni zilizotoa msaada huo ni pamoja na kampuni ya UNK UNK iliyotoa viatu pea hamsini sifuri aina ya buti UNK traders ambayo pia imetoa viatu pea ishirini sifuri vya kawaida na UNK ishirini sifuri ya UNK UNK tanzania iliyotoa kofia kumi sifuri sifuri za UNK na UNK internation iliyotoa mipira nane jezi za mpira wa mi... |
kampuni nyingine ni UNK enterprise iliyotoa UNK UNK mita kumi sifuri sifuri sifuri na vitabu vya kurekodi taarifa za uhalifu arobaini sifuri chama cha riadha tanzania UNK UNK na sare za mbio za riadha UNK traders iliyotoa UNK vitano mikanda ya filimbi hamsini sifuri na UNK hamsini sifuri open UNK waliotoa mahema mawil... |
waziri huyo amewahakikishia wadau hao kuwa misaada hiyo UNK bure bali itafanyiwa kazi kama UNK ili kupunguza vitendo UNK na kuimarisha hali ya UNK nchini |
mgogoro kati ya viongozi wa umoja wa vijana katika wilaya ya arumeru pamoja na wanachama wake umechukua sura mpya baada ya wanachama hao kumkataa katibu wa umoja huo wilaya bwana UNK saidi kwa madai kuwa hawana imani naye |
sambamba na hilo umoja huo ambao UNK mwishoni mwa wiki iliyopita ulimtaka katibu wa umoja wa vijana mkoa wa arusha bwana athumani shesha kutojihusisha na mgogoro huo kwa madai kuwa ni miongoni kati ya viongozi wanaochangia kuwepo kwa UNK huo |
kaitka kikao cha wanachama hao cha kutafuta suluhu wanachama hao walimvika madaraka kwa muda katibu wa umoja huo bwana UNK UNK huku wakimtaka katibu aliyekuwepo madarakani kutojihusisha na masuala ya umoja huo |
chanzo cha mgogoro huo ndani ya uvccm arumeru kinadaiwa kusababishwa na baadhi ya viongozi akiwemo katibu aliyesimamishwa pamoja na viongozi wengine wa ngazi ya mkoa na wanachama kumpitisha bwana UNK ole mendei kuwa kamanda wa vijana arumeru bila kufuata kanuni |
wanachama hao wakizungumza na majira kwa sharti la kutotajwa majina yao walidai kuwa licha ya UNK katibu huyo lakini pia wametaka katibu wa vijana mkoa bwana shesha kutoingilia masuala ya uvccm arumeru kwa kuwa alichangia kuvunja kanuni za uchaguzi huo |
UNK kamanda ole mendei na kumpitisha ni kamati ya utekelezaji ya wilaya na viongozi wa mkoa bila ya kutushirikisha sisi wanachama hii si kanuni waliofanya hivyo hatutaki UNK kwenye mpango wa kuleta UNK ndani ya uvccm alisema mmoja wa wanachama hao |
mwishoni mwa wiki iliyopita kulitokea vurugu kwenye kikao cha wanachama hao baada ya baadhi ya wanachama kudai kukiukwa kwa kanuni katika kumchagua kamanda wa ccm vijana mkoani humo |
kampuni ya simu za mkononi tigo imekabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mchezo wa promosheni ya tigo bingwa iliyokuwa UNK kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita |
zawadi zilizokuwa UNK katika mchezo huo kwa mshindi wa kwanza ni moja UNK tv nchi ishirini na sita mshindi wa pili ni UNK na mshindi wa tatu ni digital kamera ambapo washindi UNK wote ni wa mkoa wa dar es salaam |
akizungumza dar es salaam jana wakati UNK washindi zawadi zao ofisa uhusiano wa tigo jackson mbando alisema promotion hiyo imefanywa na tigo kwa ajili ya watanzania wanaotumia mtandao huo ambapo washindi waliofanikiwa kunyakuwa zawadi hizo ni jamal jumbe UNK mohamed na UNK UNK |
mbando alisema promotion hiyo ya tigo bingwa ilizinduliwa oktoba kumi na mbili mwaka huu na kufikia kilele chake novemba kumi na mbili na washindi hao kupatikana |
UNK fahari sana kuendesha promosheni hii ya kipekee kwa kuwa kila mteja wetu alipoamua kushiriki alijiwekea lengo la kushinda zawadi anayotaka kutoka kwetu alisema UNK |
alisema bado kampuni hiyo inaendelea kuwazawadia watanzania UNK mtandao huo kwa kupitia promotion ya UNK inayoendelea na kwamba UNK sasa wamefikisha zaidi ya washindi mia mbili na thebathini walioibuka na zawadi za shilingi milioni moja hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri na thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri wafa... |
wafanyakazi waliosimamishwa novemba kumi na nne mwaka huu ni mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa viwandani na taasisi za fedha tawi la cello bwana UNK UNK na mjumbe wa chama hicho bwana mohamed UNK |
wakizungumza na majira dar es salaam jana wafanyakazi hao walisema wameamua kufanya hivyo kutokana na uonevu unaofanywa wa na mmiliki wa kiwanda hicho kwa kuwa wamekuwa wakifanya kazi zaidi ya muda wa nyongeza kwa malipo duni tofauti na mikataba ya ajira UNK |
tumeamua kufanya hivi ili kuonesha umoja wetu kwani bila kufanya hivi hawa watu UNK wanasema eti viongozi waliosimamishwa UNK macho sisi ambao elimu yetu ni ya chini lakini si kweli kwani hata sisi tunaona kuwa UNK alisema mmoja wa UNK hao kwa hasira |
alisema wamekuwa UNK malipo ya muda wa nyongeza kwa zaidi ya miezi mitano lakini wanapokwenda kudai huambiwa kuwa hawastahili kulipwa kwani wamekuwa wakifanya kazi kwa UNK |
alisema wamekuwa wakifanya kazi kwa zaidi ya saa tisa kutoka saa mbili sifuri sifuri asubuhi hadi saa moja sifuri sifuri jioni bila kupumzika na zamu nyingine saa moja sifuri sifuri hadi mbili sifuri sifuri usiku hivyo kwa kuwa mwajiri wao ameshindwa kulipa nyongeza ya muda wa ziada walimtaka aongeze zamu nyingine ya ... |
meneja UNK wa kampuni hiyo bwana UNK UNK alipoulizwa na majira kuhusu madai ya wafanyakazi hao alisema hakuwa na habari hiyo na hakuwa na cha kusema |
wananchi UNK gari la polisi na reuben kagaruki geita vuguvugu la uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la busanda wilayani geita mkoani mwanza limeanza kupamba moto baada ya polisi wenye bunduki aina ya smg na mabomu ya machozi kuwashusha jukwaani viongozi wa kitaifa wa chadema waliokuwa UNK wananchi |
katika sakata hilo polisi nao walijikuta UNK na wananchi wenye hasira UNK kumwachia huru kijana mmoja aliyekamatwa na askari hao wakitaka kumpeleka kituoni |
tukio hilo lilitokea jana mjini hapa katika kijiji cha katoro baada ya msafara wa viongozi wa kitaifa wa chadema kuwasili kijijini hapo na kupokewa na umati wa watu pamoja na msafara ya pikipiki na magari |
baada ya msafara huo kufika kijijini hapo viongozi wa kitaifa wa UNK wakiongozwa na mkurugenzi wa oganazesheni na mafunzo wa chama hicho bwana benson UNK walianza kupanda jukwaani kusalimia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kuwapokea |
wakati viongozi hao UNK na kusalimia wananchi ndipo walifika askari wakiwa ndani ya gari la polisi namba tp elfu moja na mia moja na hamsini na tano aina ya land UNK wakiongozwa na mkuu wa polisi wa wilaya ya geita bwana kimei na kuwataka viongozi hao washuke jukwaani kwa kuwa mkusanyiko huo haukuwa halali |
hata hivyo vingozi wa chadema waliendelea na ratiba yao ya UNK ndipo askari wa kikosi cha kutuliza ghasia akiwa na bunduki aina ya smg akiongozana na askari kanzu walipoenda moja kwa moja kwenye gari la matangazo la chama hicho lililokuwa likitumiwa kama jukwaa na kuwaamuru wateremke chini na kuondoka |
hata hivyo hatua hiyo ilipingwa na viongozi wa chadema wakidai hawafanyi mkutano wa hadhara bali wamesimama kusalimiana na wananchi waliojitokeza kuwapokea |
polisi UNK sisi hapa hatufanyi mkutano bali UNK UNK wananchi kwani chama chetu hakina tofauti na ccm alisema mkurugenzi wa kampeni na uchaguzi wa chadema bwana msafiri UNK |
hata hivyo polisi hao waliendelea na msimamo wao ambao ulionekana wazi kuwakera wananchi waliokuwa na shauku ya kuwaona viongozi wa kitaifa |
kufuatia hali hiyo wananchi walianza kuwatia moyo viongozi hao wa chadema wakidai kama waliweza kupambana na vitendo vya aina hiyo katika uchaguzi wa tarime ambapo walimwagwa askari wengi iweje waogope askari wachache |
baada ya viongozi wa chadema kutii amri ya polisi na kuanza kuwatangazia wananchi UNK ndipo polisi walimkamata kijana mmoja bwana safari UNK na kutaka kuondoka naye |
baada ya wananchi kuona hivyo walizingira gari la polisi na kuliweka katikati huku wakishinikiza aachiwe huru wakidai kuwa hakuna kosa lolote |
hata hivyo polisi walikataa kumwachia ndipo wananchi walianza kuvutana nao huku na wao wakijiandaa kufyatua hewani mabomu ya machoni |
baada ya wasiwasi kuzidi kuongezeka viongozi wa chadema waliwafuata polisi na kuwasihi UNK kijana huyo kwa kuwa siku zote mtutu wa bunduki haujawahi kuibuka na ushindi |
baada ya majadiliano ya muda mrefu polisi walikubali kumwachia kijana huyo hali iliyowafanya wananchi waanze kushangilia kwa kuimba nyimbo za UNK chama hicho |
wakati huo huo kamati kuu wa chadema inatarajia kumtangaza mgombea ubunge wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda kesho |
baada ya kutangazwa kwa mgombea huyo timu ya kampeni ambayo tayari imewasili mjini hapa itaenda kupiga kambi mkoani kagera kwa takribani siku tisa ikiendelea na mikutano yake ya operesheni UNK ikisubiri muda wa kampeni UNK |
kampeni katika jimbo hilo zinatarajia kuanza aprili ishirini na tisa mwaka huu ambapo chadema UNK kampeni zake mei mosi |
akizungumza na gazeti hili mkurugenzi wa oganazesheni na mafunzo bwana UNK alisema wanachama wawili wa chama hicho wamejitokeza kuwania nafasi hiyo |
aliwataja wanachama hao ambao jana walipigiwa kura za maoni kuwa ni bwana magesa finias na bwana nasoro bakari |
alisema taratibu zote za kampeni za chama hicho zimekamilika na kinachosubiriwa sasa ni UNK |
uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya ccm bwana kabuzi UNK |
hatma ya wakurugenzi na mameneja sita waliofukuzwa kazi katika wakala wa barabara tanzania itajulikana kesho baada ya kamati iliyoundwa kukamilisha uchunguzi wa majalada yao |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.