text
stringlengths
1
1.32k
akizungumza na majira jana kaimu mwenyekiti wa tanroads bwana samwel nyatahe alisema kamati hiyo ilianza kufanya uchunguzi kwa wafanyakazi hao tangu ijumaa iliyopita ili kupata kumbukumbu za utendaji kazi wao
kamati inaendelea na uchunguzi wa majalada na kesho itakutana na wafanyakazi hao ili UNK malalamiko yao kabla ya kutoa uamuzi alisema bwana nyatahe hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroad bwana ephraem mrema aliwafukuza kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa kinyume na maagizo ya bodi hali ambayo UNK mkanganyiko ndani y...
kumekuwa na mgongano kati ya bodi ya tanroads bwana mrema na wizara baada ya mtendaji huyo bwana mrema kuitisha kikao cha wafanyakazi oktoba thebathini mwaka huu na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji UNK
waliokumbwa na sakata hilo ni mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge meneja mkoa wa morogoro bwana charles madinda meneja mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william ...
mchungaji wa kanisa la evangelical assemblies of god tanzania lililopo katika eneo la sakina mkoani arusha bwana UNK UNK anashikiliwa na polisi mkoani arusha baada kutaka kujiua kwa kutumia kamba
tukio hilo lilitokea saa chache baada ya mchungaji huyo kufunga ndoa lakini akadai kuwa mchungaji mwenzake aliyepaswa kufungisha ndoa hiyo alichelewa kufika katika shughuli hiyo na kumsababishia usumbufu kwa wageni waalikwa na mke wake huyo UNK wakifunga naye ndoa
kaimu kamanda wa polisi mkoani hapa bwana leonard paulo alisema kuwa ndoa hiyo ilipangwa kufanyika jumamosi saa nne sifuri sifuri UNK na kwamba ilichelewa hadi saa saba sifuri sifuri mchana
kitu ambacho UNK bwana UNK
kamanda alisema kuwa mchungaji aliyepaswa kufungisha ndoa hiyo bwana marko haule alichelewa kufika na alimkuta bwana harusi akiwa hana raha na alikubali UNK ndoa hiyo kwa shingo upande
siku iliyofuata mchungaji marko alifika nyumbani kwa bwana harusi ili kumuomba msamaha kwa UNK kinyume na matarajio yake kulitokea kutokuelewana kiasi cha kujibizana kwa maneno yasiyofaa
baada ya hapo bwana harusi alichukua kamba ya manila na kutaka kujiua kwa kujitundika chumbani kwake na ndipo raia wema walifika na kumuokoa
alipohojiwa na waandishi wa habari ni kwanini alifikia uamuzi wa kutaka UNK maisha yake alisema kuwa UNK na shetani ambaye anapaswa UNK
wakati huo huo mwanafunzi wa shule ya msingi ngurdoto aliyefahamika kwa jila la mbonea UNK amefariki dunia mara baada ya kuanguka kutoka katika trekta alilokuwa UNK
polisi wanamshikilia mmiliki wa trekta hilo charles mbise baada ya dereva wake aliyefahamika kwa jina la lameck victor kukimbia
mbunge wa zamani wa jimbo la morogoro kusini mashariki bwana UNK pawa amewaomba wanachama wa chama hicho kumchagua wakati utakapofika kwa kuwa bunge UNK sana
akizungumza na majira mjini morogoro bwana pawa alisema atagombea ubunge katika jimbo hilo na kwamba ana uhakika kuwa wakazi wa jimbo hilo UNK kuanzia kura za maoni kupitia ccm na baadaye katika uchaguzi mkuu kwa kuwa UNK na wanasikitika kukosa kwake kuwawakilisha katika kipindi UNK
kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa nina uhakika hawatafanya makosa na kwa kweli wamekuwa wananiambia UNK kweli jimboni nami pia UNK sana wananchi wangu wote na pia nataka wajue kuwa bunge nalo UNK zaidi kwani huwa UNK simu na wabunge wenzangu na wengine tunakutana wanatamani sana uwepo wangu na uwakilishi...
bwana pawa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mkoa wa morogoro alisema kabla ya kumaliza kipindi chake cha ubunge mwaka ishirini sifuri tano alikuwa anatoa burudani ya pekee bungeni kwa misemo iliyokuwa UNK mbavu wabunge na watu wengine UNK
anachofahamu yeye uongozi ni kupokezana vijiti na kwamba kama awali alikuwepo yeye sasa ni zamu ya bwana sameer lotto aliyeshinda mwaka ishirini sifuri tano na wakati ujao itakuwa zamu yake yeye au mtu mwingine na kwamba suala kubwa linalotakiwa kufanywa na yeyote atakayechaguliwa ni kuwaletea wananchi maendeleo na ku...
alisema zipo changamoto nyingi UNK bado UNK UNK wakazi wa jimbo hilo ambazo ni pamoja na kuwaongoza wananchi kuondokana na ujinga umaskini maradhi na kukosa mawasiliano mazuri ya barabara
kauli hiyo ya bwana pawa imekuja siku chache baada ya mbunge wa sasa UNK na gazeti hili UNK wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm katika jimbo hilo UNK kwa kuwa wataishia aibu kwa kuwa anaamini atashinda kutokana na mapenzi makubwa UNK nayo wananchi na wanachama wa ccm kwake
mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maeneo huru ya biashara daktari UNK meru ameshauri kaulimbiu ya kilimo kwanza UNK na kuitwa kilimo na viwanda vyake kwanza ili kuleta maana halisi UNK
daktari meru alikuwa akiwasilisha mada juu ya uhusiano kati ya kilimo na viwanda katika mchakato wa uzalishaji bidhaa na umuhimu wa kuuza bidhaa zilizopita viwandani katika kongamano la siku ya viwanda jijini dar es salaam
kwa kuuza malighafi nje ya nchi tunapoteza pesa ajira kwa watu wetu bidhaa utaalamu na mwisho tunakuwa soko la bidhaa za viwandani zilizotengenezwa kutokana na bidhaa zetu wenyewe hivyo ili UNK katika kilimo kwanza tuseme wazi kilimo na viwanda vyake kwanza alisema daktari meru
kongamano hilo la siku mbili lilianza jana na UNK leo likiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya viwanda UNK UNK kila novemba ishirini hapa nchini yanakwenda sambamba na maonesho ya viwanda katika viwanja vya karimjee
katika kongamano hilo wasomi mbalimbali waliotoa mada zao walikuwa na lugha moja wakitaka mapinduzi ya kilimo yanayotarajiwa kufikiwa kupitia kilimo kwanza yatafanikiwa iwapo yatakwenda sambamba na yale ya viwanda na ushirikiano wa dhati kati ya sekta ya umma na binafsi
akifungua kongamano hilo waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa kuna umuhimu wa kubadili mfumo na muundo wa kiuchumi miongoni mwa nchi za afrika ili kuongeza kasi ya ukuaji wa viwanda viweze kuongeza mchango wake kwa pato la taifa mpaka asilimia ishirini na tano badala ya asilimia kumi na tan...
nilazima tufanye kila linalowezekana kuzifahamu na kukabiliana na changamoto zilizopo ili kuchochea maendeleo ya viwanda afrika alisema bibi nagu
mwenyekiti wa baraza la kilimo tanzania bwana salum shamte alisisitiza ushirikiano wa dhati baina ya sekta ya UNK na binafsi katika kufanikisha nguzo kumi za kampeni ya kilimo kwanza
mpaka sasa asilimia sitini na tano ya malighafi inayotumika viwandani inatokana na kilimo bila kuwa na mapinduzi ya kilimo hakuna njia ya mkato kufikia maendeleo UNK
hivyo tunahitaji kuwa na viwanda vinavyozalisha nyenzo na kusaidia kilimo kama vile mbegu UNK kusindika na kuhifadhi alisema bwana shamte
hatimaye kundi la mahujaji lililokuwa UNK katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa takribani siku nne jana UNK baada ya kukamilisha taratibu za usafiri
wakizungumza na majira dar es salaam jana mahujaji hao walisema safari yao UNK jana baada ya taasisi ya taibah iliyokuwa na jukumu la kuwasafirisha kuwapatia tiketi
mmoja wa maafisa wa taibah bwana ali saleh alisema kuwa kwa sasa mahujaji wote wana uhakika na safari yao baada ya taratibu zote kukamilika
aidha aliongeza kuwa taasisi hiyo ililazimika kuwarudishia fedha mahujaji saba kutoka familia mmoja ambao hawakupenda kusafiri kwa ndege tofauti wakihofia kupata usumbufu mbele ya safari
mmoja wa mahujaji UNK pesa ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini aliliambia majira kuwa UNK kuifikisha mahakamani taasisi hiyo baada ya kurejea kutoka makka kutokana na kuwasababishia usumbufu mkubwa
wakati huo huo baraza kuu la waislam tanzania linatarajia kuzindua mpango wenye lengo la UNK waislamu wengi zadi hasa wenye kipato cha chini kumudu gharama za kwenda kuhudhuria UNK ya takatifu hijja
akizungumza dar es salaam jana katika mkutano na waandishi wa habari uliolenga kutoa taarifa juu ya hali za mahujaji walioko makka na meddina kaimu katibu mkuu bakwata sheikh suleiman lolila alisema mpango huo UNK hivi karibuni baaada ya mufti kurejea kutoka UNK
katika mkutano huo kaimu mufti sheikh ismail makusanyo alieleza kuwa hali za mahujai walioko katika miji ya makka na meddina zinaendelea vizuri na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepata matatizo mpaka sasa
akizungumzia suala la mahujaji waliokwama dar alisema bakwata haina mamlaka ya UNK taasisi iliyosajiliwa kisheria kutoa huduma za kusafirisha UNK
hata hivyo aliongeza kuwa bakwata iko tayari wakati wowote kutoa msaada kwa taasisi hizo iwapo tu UNK msaada na si kwa kusikia kupitia vyombo vya habari
katibu mkuu wa chama cha maendeleo na demokrasia daktari UNK slaa amesema hawezi kuzungumza kuhusu kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ishirini moja sifuri kwa sasa kwani bado ni mbunge wa jimbo la karatu
kauli hiyo daktari slaa imekuja siku kadhaa baada ya baadhi ya vyombo vya habari UNK kuwa anatarajia kugombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao
mchakato wa kugombea kiti hicho ndani ya chadema ulianza kuzungumzwa baada ya mwenyekiti wa chama hicho bwana freeman mbowe ambaye aligombea mwaka ishirini sifuri tano kutangaza kugombea ubunge katika jimbo la hai mkoa wa kilimanjaro katika mchakato huo daktari slaa amekuwa akitajwa kuwania nafasi hiyo lakini chama hi...
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana daktari slaa alisema taarifa hizo ni propaganda na hazina ukweli wowote kwani iwapo atahitaji kufanya hivyo atafuata utaratibu na kanuni zilizowekwa na chama chake ili kumpata mgombea wa kiti hicho
yameandikwa mengi sana juu yangu kuhusu kugombea lakini katika habari hizo hakuna hata moja UNK kama nina nia ya kugombea au la jamani UNK chadema UNK mgombea wake kwa kufuata taratibu kanuni na sheria kama katiba inavyosema UNK UNK alisema daktari slaa
juzi gazeti moja lilimkariri mwenyekiti wa chadema mkoa wa kilimanjaro phillemon ndesamburo akihutubia wananchi wa karatu wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa akiwataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua mtu ambaye UNK badala ya daktari slaa kwa sababu chama kimeamua kumpa majukumu mengine
hata hivyo gazeti hilo lilidai kuwa kauli hiyo ilipingwa na umati wa watu waliohudhuria mkutano huo akiwemo mwenyekiti wa halmashauri ya karatu titus lazaro ambaye amekuwa akitajwa kutaka kumrithi daktari slaa
bwana lazaro alisema hadi sasa anaamini hakuna mtu wa kumrithi daktari slaa karatu hivyo ni bora UNK aendelee kuwa mbunge wa jimbo hilo na kuwa kitendo cha kuanza kutafuta mrithi wa daktari slaa sasa kunaweza UNK jimbo hilo ambalo limekuwa likinyemelewa na ccm hata hivyo UNK ulifanywa na majira tangu uchaguzi mkuu wa ...
chanzo chetu ndani ya chama hicho kimeeleza kwamba kwa kutumia wabunge watakaopatikana katika uchaguzi mkuu wa mwakani chama hicho UNK mtandao mkubwa ndani ya nchi na kujenga imani kwa wananchi na kujihakikishia kushika dola mwaka ishirini moja tano UNK wataka kulipwa mbegu zao
moto wasambaa matawi yote nchini mwandishi wetu tanga washiriki wa mchezo wa upatu uliokuwa ukiendeshwa na kampuni deci jijini tanga UNK mkutano wa dharura ili kutafuta uwezekana wa kuwafikisha mahakamani viongozi wa kampuni hiyo wakidai hawaoni matumaini ya kulipwa fedha zao
wakizungumza katika kikao cha dharura UNK nje ya ofisi za deci mabanda ya papa jijini tanga jana washiriki hao walielezea kuchoshwa na kwenda kila siku katika ofisi hiyo bila kupewa maelezo ya kuridhisha
baadhi ya washiriki waliokuwa katika kikao hicho walionekana kuwa na jazba kwa jazba UNK mahali wataifikisha deci mahakamani ili haki iweze kutendeka
serikali imeshatoa msimamo kuwa wake kuwa shughuli za deci UNK sheria
kwa nini sasa wao deci UNK serikali kuhusu uhalali wake ili kuondoa migongano hii ambayo mwisho wake ni mbaya alisema bibi UNK UNK mkazi wa UNK
katika kikao hicho washiriki hao wa deci UNK kikundi maalum kuelekea jijini dar es salaam ili kukutana na vongozi wa juu wa deci ili kujua hatma ya fedha walizopanda
aidha baadhi ya washiriki hao walisikika wakiendelea kulalamika juu ya hatma yao na wengine UNK katika eneo la mkutano kutokana na kukata tamaa
naye said mwishehe anaripoti kuwa ikiwa leo ni siku ya tano tangu ofisi za kampuni ya deci makao makuu UNK kufuli hali inaonekana kuendelea kuwa tata kutokana na uongozi wa kampuni hiyo kuendelea kukaa kimya bila kueleza kinachoendelea
baada ya tamko la waziri mkuu bwana mizengo pinda ambalo alilitoa kupitia vyombo vya habari kuhusu utata wa kampuni hiyo uongozi wa deci uliamua kufunga ofisi zake kwa madai kuwa watafungua baada ya kufanya mazungumzo na serikali
uchunguzi uliofanywa na majira jumapili umebaini kuwa washiriki wa deci waliokuwa wakipanda na kuvuna fedha zao wameanza kukata tamaa juu ya hatma yao huku wengine wakionesha kuwa na shauku ya kusikia kauli ya viongozi wao kama watawalipa fedha zao ama UNK
baadhi ya wanachama waliokuwa katika makao makuu ya deci mabibo dar es salaam walisema kuwa huu ni wakati wa kuonesha mshikamano hadi UNK kwa kuhakikisha watu UNK fedha zao badala ya kuendelea kusikia kauli za kusubiri kutoka kwa viongozi wao
hatuwezi kusubiri bila kujua ni lini muafaka utapatikana wao wafungue watu UNK kuchukua fedha zetu tuchukue haiwezekani kuacha fedha ikae sehemu ambayo inaanza kutia mashaka
binafsi nipo tayari wakati wowote kurudishiwa fedha zangu UNK kwa sababu UNK zaidi ya kuingia katika mtego alisema mmoja wa washiriki waliokuwa eneo hilo
mbali ya kauli ya mshiriki huyo pia kumekuwepo na mazungumzo ya kila aina kutoka kwa washiriki lakini wengi wao wakionesha wapo tayari kwenda kutoa malalamiko ili waweze kusaidia suala lao na kupatiwa ufumbuzi ikiwa ni pamoja na kurudishiwa fedha walizopanda na wengine wakisema wapo tayari kwenda UNK kudai haki yao
kwa mujibu wa taarifa za viongozi hao ambazo walizotoa wakati wameamua kufunga kwa sababu wanataka kufanya mazungumzo na serikali na baada ya hapo watafungua ili kuendelea na huduma
kwa bahati mbaya hawakuweza ni lini wataweza kufungua ofisi zao
tangazo ambalo lilikuwa UNK katika ofisi za deci kutoka kwa uongozi wa juu wa kampuni hiyo ulieleza kuwa washiriki wasiwe na hofu kwani fedha zao zipo mahali salama
pia walisema kuwa wanatarajia kuanzia kesho wanaweza kukutana na viongozi wa serikali na hasa wanatarajia kuonana na bwana pinda ili kuweza kufanya mazungumzo ya kina juu ya mwenendo mzima wa shughuli za deci kwa jana jioni eneo hilo la deci hali ilikuwa shwari kutokana na kukosa washiriki ambao wamekuwa wakishinda ha...
baadhi ya washiriki walifika eneo hilo asubuhi ambapo kila walipofika walikaa na baada ya kuona kimya walikuwa wakiondoka baada ya kujadiliana wenyewe kwa wenyewe
wakati hali ikiwa hivyo katika makao makuu ya deci jijini dar es salaam mikoani washiriki hao wameendelea UNK ili hatma ya fedha zao UNK
wakati huo huo thompson mpanji anaripoti kutoka mbeya kuwa kufuatia ofisi za kampuni ya deci kufungwa nchi nzima baadhi ya washiriki ambao ni wafanyakazi katika serikali na mashirika ya watu binafsi wenye dhamana ya kutunza fedha UNK kukumbwa na matatizo makubwa kazini kutokana na kile walichodai kujiingiza katika mch...
wakizungumza na majira jumapili baada ya kutembelea katika ofisi za kampuni hiyo tawi la mbeya zilizoko maeneo ya forest ya zamani jijini mbeya baadhi ya washiriki hao walisema kuwa kuna baadhi ya washiriki wenzao ambao ni wahusika na utunzaji wa fedha katika maeneo yao ya kazi walitumia nafasi hiyo kwa kuchukua fedha...
kibaya zaidi waliendelea kuingiwa na tamaa na kuchukua fedha nyingi za ofisi ili waendelee kuvuna na sasa ofisi zimefungwa huduma hiyo haieleweki UNK lini kwa hiyo pesa UNK kwa ajili ya shughuli za kiofisi hakuna kwa hiyo wataishia jela alisema mmoja wa washiriki UNK kwa jina moja la UNK
mbunge wa UNK na rais bwana kingunge ngombale mwiru amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi waliopewa za ukamanda wa vijana wa mikoa na wilaya nchini UNK kuwa wamepewa tiketi ya kugombea ubunge kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao
bwana kingunge ametoa ufafanuzi huo siku chache baada ya UNK makamanda wa vijana mkoani mbeya na kitendo hicho kudaiwa ni hatua ya UNK vijana hao kuwania ubunge na kuwanggoa wabunge wa sasa wanaotajwa machachari katika vita ya ufisadi
UNK vijana hao mwezi mmoja uliopita bwana kingunge anadaiwa kutamka kuwa kuwa kipindi hiki ni cha vijana na kuwa utafiti unaonyesha kuwa katika bunge lijalo kutakuwa na mabadiliko makubwa kwani asilimia arobaini ya wabunge watakaoingia watakuwa ni sura mpya
kauli hiyo iliyobeba baadhi ya magazeti ilitoa UNK tofauti kwa vijana wa umoja huo hapa nchini kusababisha wengi wao kujipanga na wengine kujitokeza kuwania nafasi za kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali
lakini ghafla jana akizungumza wakati UNK kamanda wa vijana wa ccm mkoa wa morogoro bwana mustapha mkulo makamanda na manaibu wao wa wilaya za mkoa huo bwana kingunge alisema dhana hiyo ya UNK ukamanda na ubunge ni potofu na UNK miongoni mwa wanachama wa chama hicho
juzi tu nilikuwa mbeya
UNK makamanda kama hawa
baada ya kutoka nikaona kwenye vyombo vya habari kingunge UNK njia ya ubunge sasa UNK nani UNK pale anawania UNK
UNK hakuna hata mmoja UNK naye
sasa nanyi tambueni hii si tiketi ya ubunge fanyeni kazi UNK na hizi nafasi za ubunge UNK bado wanastahili kuwa nazo hadi itakapofika wakati alisema aliyewahi kuwa mshauri wa rais wa masuala ya kisiasa
bwana kingunge ambaye pia ni naibu kamanda mkuu wa vijana taifa alisema kamwe si malengo ya chama hicho kuwapatia nyadhifa hizo makamanda wake kwa lengo la kuwapa tiketi ya kuwania ubunge kama inavyotafsiriwa na baadhi ya makamanda na wanaccm bali lengo lake ni kuwapatia nafasi za kuwashauri na kuwaongoza vijana ili k...
kwa mujibu wa taarifa za awali baadhi ya majimbo UNK na makamanda waliosimikwa na bwana kingunge mkoani mbeya ni lile kyela la daktari UNK mwakyembe na rungwe magharibi ambalo kwa sasa liko chini ya profesa mark mwandosya
makada wa ccm waliosimikwa kuwa makamanda wa vijana wilaya za mkoa wa mbeya ni pamoja na laurent mwakajumulo ambaye anakuwa kamanda wa vijana wa mkoa wa mbeya kuchukua nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa mbeya nawab mullah aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo na naibu wake alikuwa ni profesa mwandosya
profesa mwandosya sasa UNK cheo kwa kuchaguliwa kuwa kamanda wa vijana wilaya ya rungwe uteuzi ambao umefanywa na kamati ya utekelezaji ya uvccm katika kila wilaya na kisha kuidhinishwa na kamati ya utekelezaji ya mkoa
mwakajumulo ambaye ni mtumishi wa benki kuu tanzania tawi la mbeya alishatangaza kugombea ubunge mwakani katika jimbo la rungwe magharibi kupambana na profesa mwandosya
makamanda wengine wa vijana wa wilaya waliosimikwa ni philemon msomba anayekuwa kamanda wa wilaya ya chunya
msomba UNK nia ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo la songwe kuchuana na mbunge wake wa sasa UNK UNK
kada mwingine ni elias mwakalinga ambaye anakuwa kamanda wa vijana wilaya ya kyela ambaye haikuweza kufahamika kama ana undugu na george mwakalinga anayeishi nje ya nchi ambaye pia anataka kugombea ubunge jimbo la kyela kupambana na daktari harrison mwakyembe
katika hafla hiyo ya jana bwana kingunge aliwaeleza vijana hao kuwa njia rahisi ya kufuatilia maendeleo ya vijana wa chama hicho kitaaluma katika vyuo vikuu sekondari na shule za msingi ili kuwaonesha kuwa wanatambua uwepo wao na ushiriki wao katika shughuli za kimaendeleo badala ya kuwaacha hadi pale wenyewe wanapopa...
awali katika taarifa yake mwenyekiti wa uvccm mkoa wa morogoro bwana jonas nkya alimweleza bwana kingunge kuwa jumuiya hiyo mkoa wa morogoro imekuwa ikiimarika siku hadi siku na hasa katika masuala ya uongozi kiuchumi na kijamii
wananchi wanaojihusisha na shughuli za kilimo wilaya ya ilala wametakiwa kutumia mpango wa serikali wa kilimo kwanza kuboresha kilimo uvuvi na ufugaji ili kuongeza uzalishaji wa mazao na kuondokana na hali duni ya maisha UNK
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama katika semina ya mafunzo elekezi kuhusu kilimo kwanza kwa wananchi wa kata ya msongola ambao wanajihusisha na kilimo cha zao la korosho na minazi
bwana balama alisema wananchi wa kata hiyo wanatakiwa kutumia zana za kisasa na dawa zinazohitaji kusaidia kuzalisha mazao bora ili kupata soko la uhakika na kukidhi mahitaji yao
wananchi wanaweza kuondokana na umaskini kama watatumia fursa mbalimbali ambazo serikali imejiwekea katika kuendeleza kilimo kuwa cha kisasa na kuzitumia pia benki kukopa fedha kuendeleza kilimo alisema bwana balama
alisema kampeni ya kilimo kwanza unalenga kuingiza nchi katika kilimo ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kutosheleza mahitaji ya nchi na kuachana na tabia ya kutegemea bidhaa kutoka nje ya nchi huku taifa likiwa UNK maliasili nyingi
ofisa kilimo na mifugo wa manispaa ya ilala daktari assenga severine alisema lengo la kilimo kwanza ni kuingiza wananchi katika kilimo uvuvi na ufugaji wa kisasa ili kuongeza uzalishaji unaokidhi mahitaji na kuwaondolea hali duni ya maisha
alisema pia kuanzisha na kuendeleza viwanda katika sekta ya kilimo ili kuongea thamani ya mazao na kupanua sekta ya uvuvi na mifugo