text
stringlengths
1
1.32k
na gladness mboma wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia inatarajia kujenga chuo cha nelson mandela katika eneo la karangai mkoani arusha kitakachokuwa kikitoa mafunzo katika kiwango cha elimu ya juu ya sayansi
mwenyekiti wa kamati ya bunge ya miundombinu bwana godfey zambi aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mara baada ya wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia kuwasilisha taarifa kuhusu ujenzi wa chuo hicho
bwana zambi alisema kuwa pamoja na chuo hicho kutoa mafunzo ya sayansi kwa kiwango cha elimu ya juu pia UNK shahada ya uzamili na uzamivu wizara UNK kuwa kikosi kazi UNK na ujenzi wa kituo hicho maendeleo yake ni mazuri na ujenzi unatarajia kuanza mwaka ishirini sifuri tisa kumi alisema
alisema februari kumi na sita mwaka huu kamati yake UNK eneo la karangai ambapo kituo hicho kitajengwa walihoji mambo mbalimbali na kuitaka wizara iwasilishe taarifa katika kikao chao
wametuletea taarifa nzuri kuhusiana na chuo hicho na jinsi walivyojipanga na wametuambia kuwa kuna mradi mwingine unaoitwa sayansi UNK sector utakuwa unafanya tafiti mbalimbali zitakazosaidia nchi alisema
alisema kuwa kutokana na taarifa hiyo kuwavutia wabunge watahakikisha kwamba UNK serikali kusaidia ikiwa ni pamoja na kutafuta wafadhili mbalimbali wa UNK
rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa leo atakutana na wadau wa ukimwi jijini dar es salam na kuzungumzia suala la uongozi kwenye mazingira yenye rasilimali hafifu
pamoja na mambo mengine pia bwana mkapa UNK vyeti wafanyakazi waliomaliza mkataba wa miaka mitatu wa taasisi ya benjamin mkapa
mgeni rasmi katika mkutano huo UNK na wajumbe zaidi ya ishirini sifuri atakuwa makamu wa rais daktari ali mohamed shein ambaye atazindua kitivo cha wataalamu wa masuala ya ukimwi nchini
akizungumza na waandishi wa habari jijini jana mkurugenzi wa UNK bibi UNK senkoro alisema kuwa mkutano huo utahusisha majadiliano ya kitaalamu yenye lengo la kuboresha utoaji huduma na kutafuta mbinu za kuongeza watumishi wa masuala ya ukimwi pia waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa atatoa mada na ...
wataalamu wapya wa afya watapata ujuzi kutoka kwa wenye UNK wa kutoa huduma vijijini ili kusaidia sekta ya afya kupambana na maambukizi ya vvu aliongeza
ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kutesa jiji la dar es salaam kutokana na idadi ya wagonjwa wapya kuendelea kuripotiwa katika vituo vya afya na hospitali za wilaya
kutokana na hali hiyo manispaa za jiji zimeanza ukaguzi wa mazingira na maeneo ya biashara ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya afya ili kupunguza kuenea kwa ugonjwa huo
taarifa hiyo iliyotolewa dar es salaam jana na kaimu mganga mkuu wa mkoa bibi hawa kawawa ilisema kuwa kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa kila siku katika manispaa zote
kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa kila siku katika manispaa za wilaya zote ambapo kwa sasa kuna wagonjwa wapya kumi na saba ambao wametoka maeneo mbalimbali ya jiji alisema bibi kawawa
bibi kawawa alisema hakuna kifo hata kimoja na manispaa zote zinafanya ukaguzi wa usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji na kuwataka wananchi wazingatie usafi kama vile uondoaji wa taka UNK vyoo UNK maji ya kunywa
serikali UNK siku ya taifa ya kupanda miti kutoka januari mosi iliyokuwa UNK kila mwaka kuwa aprili mosi
naibu waziri wa maliasili na utalii bwana ezekiel maige alisema dar es salaam jana kuwa uamuzi huo umetokana na waraka namba moja wa waziri mkuu bwana mizengo pinda wa mwaka ishirini sifuri tisa kubadilisha siku ya taifa ya kupanda miti nchini
alisema kwa mujibu wa waraka huo kuanzia mwaka huu maadhimisho hayo yatakuwa yanafanyika kila aprili mosi lakini kila mkoa utaendelea kujipangia siku ya kupanda miti kutokana na majira ya mvua UNK
kubadilishwa kwa siku ya taifa ya kupanda miti mapendekezo ya rais jakaya kikwete UNK maadhimisho mwaka jana kuwa UNK kipindi ambacho sehemu nyingi nchini zitakuwa zimepata mvua
naibu waziri maige alisema waraka huo umeagiza kuwa kazi ya kupanda miti UNK na wadau wote na kuagiza wizara mikoa wilaya halmashauri za jiji manispaa za miji midogo tarafa kata vijiji na mitaa kuandaa programu za utekelezaji mapema iwezekanavyo
waraka huo umemtaka kila kiongozi ahakikishe upandaji miti unatekelezwa na kusimamiwa ipasavyo kwenye eneo lake na kiongozi atapimwa kwa juhudi zake za kuhamasisha kutekeleza na kusimamia wananchi kupanda miti alisema naibu waziri maige
alisema maofisa misitu walioko mijini mikoani wilayani na vijijini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu aina ya mbegu na miche inayofaa katika eneo husika na kushauri utayarishaji vitalu vya miche kwa wakati
alisema waziri mkuu pinda katika waraka huo pia ametahadharisha kuwa kupanda miti pekee UNK kukabiliana na jangwa kama hatua za makusudi za kutunza na kulinda uoto wa asili UNK
alisema waziri mkuu pinda pia alisema halmashauri zote zihakikishe UNK miti kando kando ya barabara zote nchini
bwana maige alisema mbali ya wizara yake kukabiliwa na uchache wa maofisa misitu lakini itasimamia kikamilifu uharibifu wa misitu unaofanywa na baadhi ya wananchi kukabiliana na tishio la jangwa
wawekezaji kutoka brazil wanatarajia kuwasili nchini mwaka ishirini moja moja kuwekeza katika uchimbaji wa gesi maeneo ya kilwa mkoani lindi
balozi wa brazil nchini bwana UNK luz aliyasema hayo jana dar es salaam wakati akizungumza na mwenyekiti mtendaji wa ipp bwana reginald mengi
bwana luz alisema kuwa tayari wawekezaji hao UNK dola milioni moja kwa ajili ya kuchimba gesi katika maeneo hayo
UNK ofisi katika nchi mbalimbali za afrika ikiwemo tanzania kwa ajili ya kuangalia jinsi gani UNK hasa katika masuala ya gesi na kilimo cha nafaka zinatumika kuzalisha mafuta ya kuendeshea mitambo mitambo na magari
hata hivyo alisema kuwa wawekezaji wengi wa brazil wanaogopa kuwekeza nje ya nchi yao kwa sababu ya soko kubwa walilonalo kwao lakini serikali nchini humo imekwishaanza kuwashauri waende kuwekeza nje
UNK waziri wa viwanda na biashara aje tanzania ili aweze kukutana na kuongea na baadhi ya wizara kuangalia maeneo ambayo tunaweza kusaidia alisema
mtoto benson UNK mkazi wa kijiji cha UNK kata ya mashati wilayani rombo mkoani kilimanjaro ameuawa kwa kuchinjwa kisha muuaji akanywa damu yake
mtuhumiwa wa mauaji hayo ni agrey joseph mkazi wa kijiji hicho ambaye sasa anatarajiwa kupimwa akili ili kuandaa taratibu za kumfikisha katika vyombo vya sheria kwa tuhuma za mauaji
kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro bwana lucas ng hoboko alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano ishirini asubuhi kijijini humo
akizungumza na majira mmoja wa wananchi aliyeshuhudia tukio hilo bibi asteria tesha alisema tukio hilo si la kawaida na kwamba wananchi walimpiga mtuhumiwa na kumjeruhi vibaya
alisema siku ya tukio mtuhumiwa alikwenda nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na kuwakuta watoto watatu akiwamo marehemu na kumkamata kisha kuanza kumchinja kama UNK
mtuhumiwa alikuwa ameshika panga na alikwenda nyumbani kwa wazazi wa mtoto wakati hawapo na kumlaza chini mtoto na kumchinja kikatili kisha kuanza kunyonya damu alisema
alisema wakati wa tukio walisikia kelele za watoto lakini UNK walikwenda kuangalia ndipo UNK mtuhumiwa kamshikilia mmoja wa watoto huku akimnyonya damu baada ya UNK
UNK mtuhumiwa amepiga magoti huku kamshikilia marehemu akimnyonya damu tulipiga kelele kuomba msaada kwa wanaume ili UNK alisema
mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya huruma wilayani rombo ukisubiri taratibu za mazishi huku mtuhumiwa akitarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote
matukio ya mauaji ya kikatili yameendelea kukithiri mkoani humo ambapo hivi karibuni mtu mmoja UNK mushi mkazi wa kibosho kindi wilayani moshi vijijini alimuua UNK mushi na kisha kula utumbo na UNK
hata hivyo katika tukio hilo lililotokea novemba mosi mwaka huu mtuhumiwa huyo UNK na polisi alidaiwa kuwa mgonjwa wa akili
mgogoro uliopo kati ya serikali na kampuni binafsi ya umeme ni kikwazo kwa serikali kubadili matumizi ya mitambo hiyo kutumia gesi katika kufua umeme badala ya mafuta kama ilivyo sasa
hali hiyo inamaanisha kuwa serikali haitaweza kuepuka gharama kubwa za kuzalisha umeme kwa mafuta mazito wakati matumizi ya gesi yangeweza kupunguza gharama kwa kiasi kikubwa lakini ufanisi wa kuzalisha UNK UNK
hayo yalisemwa jana dar es salaam na kamishna wa wizara ya nishati na madini bwana UNK mrindoko alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwa amewasilisha mada juu ya mstakabali wa hali ya umeme nchini katika kongamano la maadhimisho ya siku ya viwanda katika ukumbi wa karimjee
kwa kweli kama mnavyojua umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi unatumia gharama kidogo ukilinganisha na ule unaotumia mafuta kama iptl sasa UNK kwa nini UNK ili kupata hiyo nafuu nitawaambia kuwa ni kwa sababu ya mgogoro uliopo baina ya serikali na iptl umesababisha kushindwa kubadili mitambo ile itumie gesi
mnajua kuwa tumeomba kutumia mitambo ile kuzalisha umeme kwa sasa lakini hatuwezi kwenda kwa undani zaidi mpaka kubadili matumizi yake
pia kitu kingine UNK kutumia gesi ni mfumo wa kusafirisha gesi kuileta bado sio mzuri
hivyo tumeamua UNK tatizo la miundombinu hiyo kwanza alisema bwana UNK
kauli hiyo ya bwana mrindoko imekuja wakati jana kampuni hiyo imeanza kuzalisha megawati arobaini baada ya kuwasha mashine ya nne kati ya kumi zinazofanyiwa kazi ili kuzalisha megawati kumi sifuri iwapo mitambo hiyo itawashwa yote itakuwa inatumia lita hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri za mafuta kila siku sawa na sh...
akizungumzia suala la mtambo mpya wa tegeta unaotarajiwa kuingiza megawati arobaini na tano kwa kutumia gesi asilia bwana mrindoko alisema kwa sasa wanafanya UNK lakini ukiondoa masuala juu ya matengenezo na utaalamu yanayoweza kujitokeza tunategemea kuwasha mtambo ule mwisho wa mwezi huu au mapema mwanzoni
makadirio hayo ya muda wa kukamilika kwa mtambo huo yanazidi kuwakanganya watanzania hasa wakikumbuka tamko la awali la waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja UNK UNK huo na ule wa iptl UNK novemba mosi jambo ambalo UNK
katika kuonesha kuwa suala la umeme wa uhakika na wenye gharama nafuu ni la muhimu kwa nchi inayotaka kukuza uchumi waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu UNK suala hilo
naomba kusisitiza hili na kamishna akiwepo hapa suala la umeme wa uhakika na wenye gharama nafuu ni kilio cha walio wengi nchini
kutokuwa na umeme wa uhakika na gharama kuwa juu ni moja ya sababu za kuongeza gharama za uzalishaji alisema bibi nagu
pia aliongezea kuwa suala la kilimo kwanza na kusema kuwa linapaswa kufanyiwa kazi na watu wote na sio suala la watu wachache
suala la masoko kwa bidhaa za wakulima ni muhimu sana katika kilimo kwanza kutakuwa hakuna haja ya mkulima kuzalisha vitu kwa wingi kama anajua kuwa baada ya matumizi yake UNK UNK UNK badala ya kuuza
ndiyo maana tunakutana hapa ili UNK katika kuboresha sera mikakati au UNK sera mbalimbali kumsaidia mkulima alisema bibi nagu
kongamano juu ya mchango wa sekta binafsi katika kampeni ya kilimo kwanza lilifanyika kwa siku mbili tangu jumatatu
siku ya jana mada zilizokuwa UNK kwa hamu ni mikakati ya serikali juu ya hali ya umeme nchini athari za mgogoro wa uchumi kwa tanzania na mfuko wa kusisimua hali ya uchumi nchini na suala la mswada wa sheria ya ajira
serikali imewataka walimu wa shule za msingi waliojiendeleza na kuhitimu katika ngazi za stashahada shahada na shahada za uzamili kujiorodhesha kwa makatibu tawala wa mikoa wakurugenzi na wakurugenzi watendaji wa halmashauri zote nchini ili UNK kufundisha katika shule za sekondari kuanzia januari mwakani
hatua hiyo ya serikali imekuja baada ya kubaini kuwepo kwa walimu waliojiendeleza na kuhitimu katika ngazi hizo lakini wanaendelea kufundisha katika shule za msingi jambo ambalo ni kinyume na maendeleo ya mtumishi
akizungumza na waandishi wa habari ikulu jana katibu mkuu kiongozi bwana phillemon luhanjo alisema tayari ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa tanzania bara imetangaza orodha ya walimu kwa kila halmashauri ikionesha viwango vya elimu kwa kila walimu hadi novemba thebathini ambapo mwezi ujao walimu...
madhumuni ya taarifa hii ni kusisitiza na kuwasihi walimu wote ambao UNK hadi kufikia katika ngazi ya stashahada na hata shahada na uzamili kwenda kwa maofisa elimu UNK elimu ya sekondari UNK kutoa vyeti vyao kwa UNK hao alisema bwana UNK
alisema lengo la serikali ni kupunguza tatizo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari kwa kuwatumia walimu hao waliojiendeleza na kupata sifa na UNK zinazotakiwa
alisema uamuzi huo haulengi kusababisha upungufu wa walimu katika shule za msingi bali unalenga kuwapangia walimu hao kufundisha kulingana na viwango vya elimu yao kutokana na sera ya elimu
alisema kutokana na taifa kuwa na upungufu wa shule zilizojengwa na kwa nguvu ya wananchi serikali inaendelea kuwapandisha madaraja walimu wote wa shule za msingi UNK kwa sasa ili kufikia ngazi ya kufundisha katika shule za sekondari
bwana luhanjo alisema tayari mkoa wa dar es salaam UNK majina ya walimu waliohitimu katika ngazi hizo katika wilaya zake tatu
kwa upande wa wilaya ya ilala idadi wahitimu ikiwa katika mabano shahada stashahada mia moja na kumi na tano katika wilaya ya temeke shahada stashahada na kinondoni shahada na UNK
alisema kutokana na takwimu hizo walimu hamsini na saba wa shule za msingi wamepata shahada kutoka vyuo vikuu vinavyotambulika walimu ishirini na saba wanaendelea na masomo katika vyuo hivyo walimu mia nne na themanini na tano wamejiandikisha kupata stashahada ya elimu na walimu mia moja na thebathini na tano wanaende...
bwana luhanjo alisema shughuli hiyo itaenda sanjari na kufidia pengo la walimu katika shule za msingi UNK walimu hao kwa UNK na shule zenye walimu wengi ili kuwapeleka katika shule zilizo na upungufu jambo ambalo UNK na kuajiri walimu wengine
na thomas dominick mkuu wa mpya wa wilaya ya ilala bwana evance balama amewataka watendaji wanaofanya kazi kiujanja ujanja na UNK ipasavyo kwa wananchi wilayani humo kujiondoa serikalini UNK kazi zingine
hayo yalisemwa dar es salaam mwishoni mwa wiki na mkuu huyo wa wilaya wakati UNK kwa viongozi mbalimbali wa manispaa hiyo wakiwemo madiwani wenyeviti wa mitaa watendaji wa mitaa na baadhi ya viongozi wa ccm bwana balama alisema kuwa viongozi wote wanapaswa kuwajibika mbele ya wananchi na kuwaheshimu pia kuwatendea hak...
pia aliwataka viongozi hao kushirikiana na wananchi wao katika kutekeleza usafi wa mazingira ili kuiweka manispaa hiyo katika hali ya usafi zaidi
inatubidi tushirikiane na wananchi wetu sio kuwaachia UNK mambo kinyume na taratibu za usafi wa mazingira kama UNK UNK tunaweza kukumbwa na magonjwa ya mlipuko alionya bwana balama
aliwatahadharisha mabwana na mabibi afya wa manispaa hiyo kufanya kazi zao kikamilifu bila UNK wananchi
tujipange vizuri kutekeleza kanuni za usafi ambazo zitasaidia kuiweka manispaa yetu katika hali ya usafi zaidi nitashangaa kuona mkurugenzi UNK hatua watendaji wabovu ambao hawatekelezi wajibu wao alisema
aliongeza kuwa usafi ni jambo la kawaida na UNK UNK na viongozi wa ngazi za juu kuhusu suala hilo ndipo UNK wananchi wao mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewaachia huru waliokuwa wabunge wa chama cha wananchi kutoka pemba na mashehe waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma za kula njama kuwasilisha nyaraka za uongo na kughush...
lakini furaha ya washitakiwa hao ilitumbukia nyongo ghafla baada ya polisi waliokuwa mahakamani hapo kuwatia mbaroni upya na kuwapeleka kituo kikuu cha polisi
washitakiwa walioachiwa huru na kukamatwa tena ni khamis salehe na khalifa mohamed ambao walikuwa wabunge kutoka pemba
kwa upande wa mashehe ni abdul wakati khamis UNK na abdallah UNK pamoja na aliyekuwa mfanyakazi wa idara ya uhamiaji augustino haule
kesi hiyo ya mwaka ishirini sifuri sita iliondolewa jana mahakamani hapo na kuachiwa huru kwa washitakiwa hao mbele ya hakimu mkazi bibi UNK wambura baada ya upande wa mashtaka kuieleza mahakama kuwa hawana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo hivyo kuomba kuachiwa huru
washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo tangu mwaka ishirini sifuri sita ambapo walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ishirini na moja yakiwemo ya kula njama kuwasilisha hati za uongo kughushi vyeti vya ndoa kwa nia ya kujipatia visa za kusafiria nchini ujerumani
kesi hiyo ilitakiwa kuwa na mashahidi ishirini wa upande wa mashitaka lakini mpaka kesi hiyo UNK jana mahakamani hapo ni shahidi mmoja wa upande huo ndio alikuwa ametoa ushahidi dhidi ya washitakiwa hao
kitendo cha kukamatwa tena kwa washitakiwa hao kiliwafanya wafuasi wao kuanza kulalamika nje ya mahakama huku wakidai kuwa UNK haki kwa kitendo hicho kwa kuwa tayari mahakama UNK huru
mtanzania mmoja ambaye ni miongoni mwa mahujaji zaidi ya moja hamsini sifuri UNK nchini saudi arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hijja amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa madina na kutozwa fani ya UNK thebathini sifuri baada ya kukutwa na vitabu UNK kuhusika na mambo ya kishirikina
taarifa kutoka nchini saudi arabia kama UNK na mwandishi wetu bwana juma UNK UNK kuwa mtanzania huyo amepigwa faini hiyo ambayo ni sawa na dola ishirini sifuri za marekani baada ya kuonekana ni mgeni lakini kwa nchi ya saudia arabia UNK kufungwa kifungo cha mwaka mmoja jela au miezi sita
imedaiwa kuwa vitabu hivyo UNK kuwa ni vya kishirikina ni vile vya kuunga na vinavyotumiwa na watu ambao huitumia kuran vibaya na ambavyo huleta athari kwa jamii ikiwa ni pamoja na kumfanya mtu kupoteza akili
wakati huo huo mahujaji moja mia tano na tisini kutoka tanzania tayari UNK katika uwanja wa ndege wa madina na gida ambapo sasa njia za kuelekea katika mji mtakatifu zimefungwa
imeelezwa kuwa kutokana na hali hiyo mahujaji wote sasa UNK uwanja wa ndege wa gida watalazimika kwenda moja kwa moja makka kusubiri kutekeleza rasmi ibada ya UNK
akizungumza na gazeti hili jana katibu mkuu wa baraza la waislamu tanzania suleiman lolila alisema bakwata haina taarifa zozote kuhusiana na tukio hilo
mbona hizo taarifa sisi UNK
alihoji katibu huyo na kuongeza ndiyo kwanza nasikia kutoka kwako
sielewi kitu chochote kuhusiana na suala hilo alisema
katika hatua nyingine rehema mwakasese anaripoti kuwa hofu ya kulipuka kwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe kwa mahujaji wanaoshiriki ibada ya hijja UNK na mambo kuendelea kuwa shwari
awali kulikuwa na hofu kuwa huenda mlipuko wa ugonjwa huo UNK nchini humo kutokana na idadi kubwa ya mahujai kutoka nchi mbalimbali duniani ambao wanashiriki ibada hiyo
akizungumza na majira kwa njia ya simu kutoka madina saudi arabia kiongozi wa kundi la UNK sheikh abdallah amani alisema hadi sasa hakuna taarifa zozote za matatizo ya kiafya kwa mahujaji wa tanzania wala hofu ya kutokea kwa ugonjwa huo
sheikh abdallah alisema mahujaji wote wa tanzania wanaendelea vyema na maandalizi ya ibada hiyo ambapo kesho wanatarajia kuondoka kwenye mji wa madina kwenda makka ili kuanza rasmi ibada
kwa upande wake sheikh muharami juma doga amewaomba watanzania kuwaombea mahujaji wote waliopo nchini humo ili waweze kumaliza vyema ibada zao na hatimaye warejee nyumbani wakiwa salama