text
stringlengths
1
1.32k
mpango wa rais jakaya kikwete kuwa endapo atachaguliwa tena kuwa rais mwakani UNK mawaziri vijana UNK na kuelezwa kuwa analenga UNK karibu ili wamuunge mkono katika uchaguzi wa mwaka ishirini moja sifuri hiyo ni kampeni kwenye siasa tunasema anawakonyeza vijana ili wamuunge mkono katika uchaguzi mkuu lakini ukweli ni ...
alisema rais kikwete anafahamu kuwa katika uchaguzi ujao anahitaji kuungwa mkono na vijana ndiyo maana UNK mbinu ya kuwavuta karibu kwa ahadi ya kuwapa uongozi
akitoa mfano jinsi rais kikwete UNK ahadi zake profesa lipumba alisema mwaka ishirini sifuri tano aliahidi ajira za vijana na kuongeza mapambano dhidi ya ufisadi mambo ambayo alidai ameshindwa kuyatekeleza
anawakonyeza vijana ili wawe na matumaini kuwa watapata uongozi alitakiwa kuonesha ni jinsi gani UNK mapema kushika nafasi hizo alisema
kwa upande wake mwenyekiti wa tpp maendeleo bwana peter mziray alisema ahadi ya rais kikwete ya kuwapatia vijana uongozi hawezi kuitekeleza kwa kuwa na wenyewe UNK ufisadi wakiwa ndani ya ccm hao vijana UNK wapi
ndani ya chama hicho vijana wanajifunza ufisadi wengine wana digrii zenye matatizo sasa hao UNK madaraka UNK
alihoji bwana mziray
alisema kama ana mpango huo basi hata yeye UNK nafasi yake ya urais UNK vijana kwani amekuwa ndani ya serikali tangu awamu ya kwanza
tangu awamu ya kwanza alikuwa kiongozi ikafuata awamu ya pili na ya tatu vipindi vyote akawa waziri leo hii ni rais ana jipya gani
aliuliza bwana mziray
bwana mziray alisema anachoweza kufanya rais kikwete ni kuongeza idadi ya wanawake katika safu ya uongozi ili kuleta UNK
kwa upande wake mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema alisema kauli ya rais kikwete ni ya kuhamasisha vijana waunge mkono serikali yake
anawapa matumaini ili waishi kwa imani na tumaini jipya alisema
wakati wanasiasa hao UNK mpango huo wa rais kikwete umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi umepokea mpango huo kwa kicheko kwamba umedhihirisha jinsi alivyo na imani nao
katibu mkuu wa uvccm bwana martin shigela alisema rais kikwete anajua uwezo wa vijana hivyo kauli yake hiyo inatoa matumaini makubwa kwao
rais anajua alikuwa kiongozi wa vijana anaelewa vijana wana uwezo na elimu ya kutosha wanaweza kuongoza bila matatizo yoyote alisema na kuongeza tunapenda kuwa na uhakika wa taifa la kesho uhakika huo utapatikana kwa kuongeza vijana katika safu ya uongozi alisema
alisema vijana hawana mashaka na mpango huo wa rais kikwete
kwa upande wake mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm bwana nape nnauye alisema mpango huo wa rais ni mzuri na amekuwa nao tangu alipoingia madarakani lakini hoja si idadi ya vijana bali vijana wenye uwezo na uzalendo wa kweli kwa maneno na matendo yao
tangu aingie madarakani mtazamo wake umekuwa wa aina hiyo hivyo alichosema ni ahadi kuwa atafanya zaidi
UNK ni nzuri kama itatekelezwa kwani vijana wana haki ya kutoa mchango wao kwa maendeleo ya nchi yao leo na kesho UNK mpaka wamechoka ndo waanze kupewa dhamana alisema bwana nnauye
naye katibu wa uhamasishaji na chipukizi wa uvccm bibi esther UNK alisema mpango huo wa rais utaondoa dhana iliyojengeka kuwa maisha ni ndani ya siasa baada ya kustaafu
akizungumza na vijana wa nchi kadhaa za afrika rais kikwete alisema wale viongozi wa rika langu lazima waanze kuwaachia nafasi vijana tunahitaji wakuu wa wilaya vijana zaidi wakuu wa mikoa vijana zaidi na hata mawaziri vijana zaidi
ndivyo ilivyotokea kwetu tulipokuwa vijana
polisi dar es salaam UNK wananchi makampuni taasisi na wafanyabiashara kujihadhari na wimbi la utapeli wa kutumia majina ya viongozi wakiwemo mawaziri
kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema kumezuka wimbi la utapeli wa kupiga simu na kutapeli mamilioni ya fedha
mtu anapiga simu na kujifanya yeye ni waziri fulani na hata kuiga sauti yake na kusema ana shida ya fedha kiasi fulani kwa ajili ya ada safari au hata matumizi mengine na kisha huambiwa UNK huyo muhusika alisema bwana kova
alisema UNK UNK matapeli hao UNK madereva wenye magari ya serikali yenye namba za bandia za stk na UNK kujifanya ni madereva wa mawaziri
alieleza kuwa matapeli hao hawapendi kukutana ana kwa ana na watoaji fedha kwa kuhofia kukamatwa hivyo ni vyema tahadhari UNK kwani inaharibu sifa za viongozi
katika tukio jingine polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za tuhuma za kuiba magari kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo ya UNK madereva kwa dawa za kulevya
bwana kova aliwataja watu hao kuwa ni bwana ibrahimu abdallah bwana hassani UNK bwana alfred masawe na mwanamke mmoja bibi happy ali mkazi wa UNK
mwanamke huyo hutumia mbinu mbalimbali kama dawa za kulevya baada ya kufanya hivyo huondoka na gari na kukimbia nalo na kuwapelekea wanaume ambao ni wezi wenzake alisema bwana kova
aidha bwana kova aliwatahadharisha wananchi hasa wanaume kuwa makini wakati wa kuwapa watu UNK
serikali imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya biashara ikiwa ni njia ya kuwajengea uwezo wafanyabishara wa kitanzania kushindana ndani na nje ya nchi
mazingira yanayopaswa kuboreshwa ni pamoja na na miundombinu kama vile umeme usafiri wa reli huduma za bandari maji na nyingine ambayo yatawasaidia wafanyabishara wa tanzania kujiandaa na soko la pamoja la nchi za afrika mashariki
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana shamsi vuia nahoda alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya viwanda afrika inayotarajiwa kuadhimishwa novemba ishirini mwaka huu
nawahakikishia kuwa serikali yenu itafanya kila linalowezekana kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya ya biashara
lazima tujenge mazingira ili hata soko la pamoja la jumuiya ya nchi za afrika mashariki likija tusiogope tudiriki na kututhubutu kushindana na wenzetu alisema bwana nahoda
kwa upande wake waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa sekta ya viwanda ina jukumu la kubadilisha uchumi kuwa wa kisasa unaojitegemea na kisha kuendeleza teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa sekta nyingine kama vile kilimo mifugo uvuvi na maliasili
katika kufikia azima hiyo ni lazima tufikie malengo ya kuhakikisha ukuaji wa sekta ya viwanda kufikia kumi na tano ifikapo ishirini moja sifuri mpaka sasa mchango wake ni tisa nne hali ambayo inaonesha kuwa juhudi zaidi na mikakati mipya inapaswa
serikali imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya biashara ikiwa ni njia ya kuwajengea uwezo wafanyabishara wa kitanzania kushindana ndani na nje ya nchi
mazingira yanayopaswa kuboreshwa ni pamoja na na miundombinu kama vile umeme usafiri wa reli huduma za bandari maji na nyingine ambayo yatawasaidia wafanyabishara wa tanzania kujiandaa na soko la pamoja la nchi za afrika mashariki
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana shamsi vuia nahoda alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya viwanda afrika inayotarajiwa kuadhimishwa novemba ishirini mwaka huu
nawahakikishia kuwa serikali yenu itafanya kila linalowezekana kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya ya biashara
lazima tujenge mazingira ili hata soko la pamoja la jumuiya ya nchi za afrika mashariki likija tusiogope tudiriki na kututhubutu kushindana na wenzetu alisema bwana nahoda
kwa upande wake waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa sekta ya viwanda ina jukumu la kubadilisha uchumi kuwa wa kisasa unaojitegemea na kisha kuendeleza teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa sekta nyingine kama vile kilimo mifugo uvuvi na maliasili
katika kufikia azima hiyo ni lazima tufikie malengo ya kuhakikisha ukuaji wa sekta ya viwanda kufikia kumi na tano ifikapo ishirini moja sifuri mpaka sasa mchango wake ni tisa nne hali ambayo inaonesha kuwa juhudi zaidi na mikakati mipya inapaswa
waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais daktari batilda burian amewataka wavuvi katika mwambao wa bahari ya hindi kuwa makini kutokana na ongezeko la maji baharini
daktari burian alitoa tahadhari hiyo jana wakati akizindua ripoti ya idadi ya watu duniani iliyotolewa na shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu
alisema kuwa pia ni vema wazazi wakawa makini na watoto wao kwa kuwakataza kwenda kuogelea katika maeneo hayo ya mwambao kutokana na maji kuongezeka baharini siku hadi siku ili kuepusha maafa
katika kipindi hiki ambacho mvua zimekuwa UNK katika maeneo mbalimbali ninawashauri watanzania kuhakikisha kwamba wanajenga nyumba imara ambazo haziwezi UNK na upepo UNK na mvua za el nino alisema
alisema madhara ya mabadiliko ya tabia nchi yanatokea kwa kasi tofauti na ilivyotarajiwa hadi kusababisha kuongezeka kwa kina cha bahari UNK maisha ya watu waishio mwambao wa bahari
daktari burian alisema kuwa maisha ya watu wanaoishi katika maeneo hayo wanakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kubadilika kwa hali hewa hivyo kuathiri kilimo walichokuwa UNK
zaidi ya asilimia sitini ya tanzania inakabiliwa na hali ya jangwa na kupungua kwa vyanzo vya maji kutokana kuadimika kwa kipindi cha mvua kwa kipindi kirefu jambo ambalo UNK tu maisha ya watu bali hali ya kijamii na kiuchumi kwa ujumla alisema
akitolea mfano maporomoko ya udongo yaliyotokea same athali UNK za mvua katika maeneo ya bagamoyo na kongwa daktari alisema kuwa hali hiyo imetokana na mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyosababishwa na uharibifu wa mazingira
waziri huyo alisema kuwa ripoti ya idadi ya watu duniani ya mwaka huu inakumbusha kwamba mabadiliko ya tabia ya nchi ni zaidi ya teknolojia inayozungumzia upunguzaji wa hewa chafu ya ukaa lakini pia inakumbusha kuwa na ubinadamu
mwakilishi wa UNK daktari UNK UNK alisema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza kupoteza mafanikio ya maendeleo yaliyopatikana katika miongo kadhaa iliyopita na hasa katika jitihada za kufikia malengo ya milenia ya maendeleo
hali hii inatokana hasa na tatizo la maji mvua kubwa mafuriko kupotea udongo wenye rutuba kukosekana kwa vyakula vya kutosha na hata UNK matatizo ya afya alisema
katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji bwana wilson mukama UNK mamlaka za majisafi na majitaka mijini kupambana na upotevu mkubwa wa maji yanayozalishwa na ili kufanikisha azma ya serikali ya kufikiwa lengo la kutoa maji safi kwa wakazi wa mijini kwa asilimia tisini ifikapo mwakani ishirini moja sifuri bwana muk...
katika taarifa zao mamlaka hizo zilisema zinakabiliwa na upotevu mkubwa wa maji UNK kutokana na wateja wao UNK huduma hiyo kinyemela kuharibu mita za maji na uchakavu wa mabomba akisisitiza suala la ubunifu bwana mukama alizitaka mamlaka hizo kuiga ubunifu uliofanywa na mamlaka ya majisafi na majitaka dodoma ambayo hi...
mita nyingine UNK kwa wajumbe ni ile yenye uwezo wa kusoma mita zilizofungwa umbali wa mita mia moja bila kubisha hodi ndani ya nyumba za wateja ambazo maofisa wa mamlaka wanatembea nazo pia kuweza kuuza maji kwa wateja na kutoa risiti na taarifa zake kufikishwa kwenye ofisi za mamlaka husika
kwa mujibu wa mkurugenzi wa duwasa bwana peter mokiwa mamlaka yake ilituma maofisa wake wawili kwenda afrika kusini kuona na kutafiti jinsi mita hizo zinavyofanya kazi na kujiridhisha kuwa ni vigumu kwa wateja kuzichezea au kuiba na kuziuza kwenye vyuma chakavu kwa vile ni plastiki akisisitiza matumizi ya teknolojia m...
alisema deni ambalo mamlaka zote za maji nchini UNK wateja wao sasa linafikia shilingi bilioni thebathini sakata la wakurugenzi na mameneja wa wakala wa barabara tanzania waliofukuzwa kazi limeingia katika sura mpya baada ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata hilo kushidwa kutoa majibu jana kama ilivyoahidiwa na kaim...
akizungumza na majira jana bwana nyatahe alisema mchakato huo unaendelea baada ya kupata maelezo pande zote mbili ambapo kinachosubiriwa ni ushauri kati ya bodi na waliofukuzwa ili kubaini UNK kati ya bwana mrema bodi ya tanroads na wizara ya miundombinu
taasisi mbalimbali zinatakiwa kupitia mchakato mzima toka UNK wafanyakazi hao ili kupata ukweli na uhalali wao bila kupendelea wiki ijayo kila kitu kitakuwa tayari alisema na kuongeza kwa sasa hatupo tayari kutoa taarifa katika vyombo vya habari UNK wananchi tutatoa taarifa ya maamuzi hayo baada ya kuridhiana kwa pand...
hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroad bwana ephraem mrema alipuuza maagizo ya bodi ya tanroads na UNK kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa bila kufuata utaratibu za utumishi serikalini
awali alitii agizo la kusitisha UNK baadaye alibadili maamuzi yake na kuwafukuza ambayo UNK mkanganyiko ndani ya bodi ya tanroad na wizara ya miundombinu
sakata hilo liliingia katika sura mpya baada ya kuwa na mgongano kati ya bodi ya tanroads bwana mrema na wizara ya miundombinu ambapo oktoba thebathini mwaka huu bwana mrema aliitisha kikao cha wafanyakazi na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji waandamizi na baadhi ya mameneja
waliokubwa na sakata hilo ni pamoja na mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge mkoa wa morogoro bwana charles madinda mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william shill...
katibu mkuu wa chama cha UNK taifa bwana yussuf makamba amekerwa na kitendo cha chama cha wananchi kushinda UNK kimoja kati ya kumi na tano vilivyomo katika kijiji cha mdaula kata ya chalinze bagamoyo mkoani pwani
bwana makamba UNK baada ya kusikia taarifa hiyo ambayo kwake ni mbaya kwa kuwa eneo hilo ndiko anakotoka mwenyekiti wa ccm rais jakaya kikwete
hivi mwenye chama chake rais jakaya kikwete akifika hapa UNK kitu gani kutokana na makosa UNK na kupoteza kitongoji
alihoji
bwana makamba aliendelea kijijini kwangu wana ccm wenyewe walianza kujiuliza endapo watapoteza hata kitongoji kimoja nini UNK iweje hapa ambako ndiko alikotoka mwenye chama chake
bwana makamba ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa na rais alitoa kauli hiyo baada ya kusikia maelezo ya mwenyekiti wa ccm kata ya chalinze bwana nassa tamimu kuwa wameshinda kwa kishindo katika vitongoji kumi na nne lakini wakapoteza kimoja UNK na cuf katibu mkuu huyo aliyekuwa safarini kuelekea morogoro alisimama kwa d...
aliwataka wana ccm wa kijiji hicho kuwa karibu na mfanyabiashara bwana UNK suchak kwa kile alichoeleza kuwa amekuwa na mchango mkubwa wa kuhakikisha chama hicho UNK kwa kuwa na miradi
taarifa ya UNK wa kata bwana nassa tamimu imeeleza kuwa ndugu yetu suchak amekuwa mstari wa mbele katika UNK maendeleo chama hiyo ni faraja hivyo nawaomba watu kama hawa UNK vizuri kwani ni tunu tuliyopewa wana ccm alisema
kwa upande wake bwana suchak alisema kuwa ataendelea kujitolea kwenye shughuli mbalimbali za kimaendeleo ndani ya chama na katika jamii ikiwa na lengo la kuona kijiji hicho kinapiga hatua kuelekea katika maendeleo
polisi mkoani kilimanjaro wameua watu wawili na wengine wawili kutoroka katika kile walichoeleza yalikuwa majibizano ya risasi na majambazi walioteka baa na kuwapora wateja
waliouawa katika tukio hilo ni antony mandela maarufu kama mandeu mkazi wa UNK katika manispaa ya moshi na peter massawe maarufu kama mashaka mkazi wa rongai wilayani rombo
miili yao imehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya UNK
kamanda wa polisi mkoani humo bwana lucas ng hoboko alisema tukio hilo lilitokea jana saa nne sifuri sifuri usiku eneo la baa ya UNK iliyopo soweto mjini moshi ambako majambazi walikuwa wamevamia kuwateka wateja na kumjeruhi kwa risasi mtu mmoja bwana wilfred charles ambaye amelazwa katika hospitali ya mawenzi na hali...
kamanda ng hoboko alisema majambazi hao walikuwa wanne wakiwa na bunduki aina ya short gun yenye risasi kumi na sita na bastola ambayo walikuta maganda matatu ya risasi zake katika eneo la tukio
wakati majambazi hao wakiendelea kuwapora wateja polisi walipata taarifa na kuwahi katika eneo la tukio na kukuta uporaji ukiendelea na kutoa amri ya kuwataka wahusika kujisalimisha lakini walikaidi na UNK askari risasi
kutokana na jeuri ya majambazi wale polisi nao walijibu na majibizano yaliendelea kwa muda kidogo ndipo polisi UNK kuwauwa wawili kati ya wanne
juhudi za kuwasaka waliokimbia zinaendelea alisema
kamanda ng hoboko aliwataja watu wawili wanaotafutwa wakihusishwa na tukio hilo kuwa ni UNK UNK mkazi wa UNK kibosho na mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la emmanuel maarufu kama UNK
bwana ng hoboko alisema watuhumiwa waliokimbia walitoroka na bastola moja na mali ndogo ndogo UNK eneo la tukio
uchunguzi wa awali wa polisi ulibainisha kwamba majambazi hao walikuwa wakishiriki katika matukio mbalimbali ya uhalifu mkoani humo ingawa pia polisi ilikuwa UNK mmoja wa majambazi hao UNK
baada ya kuuawa mandeu alikutwa na bunduki aina ya short gun namba mv elfu themanini na nane na mia moja na arobaini na tatu h ikiwa na risasi kumi na sita ambayo UNK novemba nne kwa mlinzi wa kiwanda cha sukari tpc UNK katika lindo lake alisema
mandeu pia anadaiwa kushiriki katika tukio jingine la ujambazi lililotokea novemba kumi na moja mwaka huu eneo la rongai UNK wilayani hai nyumbani kwa fabian victor ambaye UNK bunduki aina ya UNK namba elfu ishirini na tatu na mia tisa na sabini na tisa na risasi ishirini na tano za UNK
katika tukio hilo polisi UNK mmoja wa watuhumiwa ambaye ni abel UNK akiwa na silaha hiyo na alipohojiwa na alimtaja mandeu kwamba walishiriki pamoja katika tukio hilo alisema
kamanda ng hoboko alisema baada ya mandeu kubaini kwamba polisi UNK alipiga simu kituo cha polisi na kueleza kuwa ameacha ujambazi na kusalimisha silaha aina ya shortgun namba mia nane na kumi na mbili iliyokatwa kitako na mtutu ikiwa na risasi tisa
baada ya taarifa hiyo nilimwita mandeu ofisini kwangu ili tuzungumze lakini alikataa huku akisisitiza kuwa yeye si jambazi lakini UNK jana ni miongoni mwa watu UNK
huu ni ushahidi kuwa hakuacha ujambazi alisema
rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miaka mitatu jela iliyofunguliwa na mfanyabiashara deus mallya imeshindwa kuanza kusikilizwa jana kutokana na jaji aliyetakiwa kuisikiliza kesi hiyo kuwa mgonjwa
hukumu UNK ilitolewa machi kumi na nane mwaka huu na hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya dodoma bwana thomas simba UNK ya mshtakiwa huyo kupatikana na hatia ya makosa mawili kuendesha gari kwa mwendo kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa mbunge wa tarime chacha wangwe
mashtaka hayo UNK na ajali ilitokea julai ishirini na nane mwaka jana katika kijiji cha UNK kongwa ambapo wangwe na bwana mallya walipata ajali wakiwa njiani kuelekea dar es salaam na mbunge huyo kufa pale pale
bwana mallya alikata rufaa dhidi ya hukumu hiyo na sasa itasikilizwa januari nne ishirini moja sifuri na jaji mfawidhi wa kanda ya dodoma bibi mary UNK ambaye UNK jana kwa sababu ya maradhi
awali akizungumza mbele ya msajili wa mahakama hiyo bwana richard UNK UNK rufaa hiyo mwanasheria wa serikali bibi maria UNK aliomba mahakama ipange tarehe nyingine ya kuanza kusikiliza rufaa hiyo
akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama bwana godfrey UNK ambaye ni wakili wa bwana malya alisema rufaa ya mteja wake ilichelewa kuanza kutokana na kucheleweshwa kwa hati ya hukumu