text
stringlengths
1
1.32k
mkurugenzi wa fedha wa benki kuu ya tanzania bwana julius andrew amesema malipo mengi makubwa yaliyofanywa katika ujenzi wa majengo mapacha ya benki hiyo yaliidhinishwa bila idhini ya bodi na aliyekuwa gavana marehemu daud balali
shahidi huyo watatu kwa upande wa mashitaka alidai hayo jana alipokuwa akitoa ushahidi katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu watatu linaloongozwa na bwana edson UNK
akiongozwa na mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana ben UNK shahidi alidai julai kumi na moja mwaka ishirini sifuri sita alikuwa miongoni mwa waliohudhuria kikao cha bodi ya wakurugenzi
alidai ajenda kuu ya kikao hicho ilikuwa kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo pacha ya bot ambapo menejimenti UNK
bwana andrew alidai baada ya kuwasilisha taarifa hiyo bodi UNK matumizi yaliyofanyika nje ya bajeti iliyopangwa na UNK
shahidi alidai malipo mengi makubwa UNK na bodi yaliidhinishwa na marehemu balali na mshitakiwa liyumba aliidhinisha malipo madogo madogo kulingana na utaratibu wa benki hiyo bila baraka za bodi
alidai maoni na mapendekezo ya kufanyika kwa malipo hayo nje ya bajeti UNK kwa meneja wa mradi bwana deogratius kweka UNK kwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba na kumalizia kwa gavana wa bot wakati huo marehemu balali
alidai malipo hayo yalifanyika bila kupata baraka za bodi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama za kodi ya vifaa vya ujenzi na sababu zingine za kitaalamu
akiendelea na ushaidi alikubaliana na wakili wa utetezi bwana majura magafu wakati akimuhoji kwamba uamuzi wa mwisho kuhusu ujenzi wa majengo hayo ni wa bodi na mshitakiwa liyumba hakuwa na uwezo wa kutoa uamuzi
UNK ya ushahidi huo upande wa mashitaka uliomba kuahirisha kesi hadi jumatatu na kwamba UNK maombi ya kuongeza idadi ya mashahidi badala ya kumi UNK awali
mahakimu walikubali maombi yao na kesi hiyo itaendelea kusikilizwa jumatatu
mshitakiwa katika kesi hiyo bwana amatus liyumba anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi
na hillary shoo singida mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake wa ccm mkoa wa singida bibi diana chilolo amesema madai kwamba misaada anayotoa mwenyekiti mtendaji wa kampuni za ipp bwana reginald mengi inalenga UNK njia kisiasa ni upuuzi usio na msingi
mwenyekiti huyo alitoa kauli hiyo juzi wakati akikabidhi kwa niaba ya bwana mengi hundi za misaada mbali mbali zenye thamani ya shilingi milioni mia moja na hamsini kwa vikundi mkoani hapa
hafla hiyo iliyofanyika viwanja vya ccm mkoa
watu wanaosema hayo ni kwamba hawajiamini katika uongozi wao na ni woga alisema bibi chilolo
vikundi UNK hundi hizo na thamani yake kwenye mabano ni kikundi cha wenye ulemavu cha faraja kikundi cha wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi uwt saccos mkoa wa singida na kikundi cha wanaoishi katika mazingira hatarishi
bibi chilolo alisema bwana mengi ni mtu safi ambaye si mwanasiasa na hana mawazo wala nia ya kuwania nafasi yoyote ya kisiasa
alisema misaada anayotoa kwa makundi ya watu yenye mahitaji kama wenye ulemavu yatima na masikini ni moyo wake wa kuunga mkono juhudi za serikali kusaidia makundi mbalimbali kuondokana na umasikini
ukiacha wadhifa wangu huu wa uenyekiti wa uwt mkoa mimi ni mbunge wa viti maalum mkoa na ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm sijawahi kusikia wala kuona dalili yoyote inayoashiria kuwa bwana mengi UNK au mwenye nia ya kuomba uongozi yeye ni mtu safi wa kusaidia watu wenye shida mbalimbali na kufanya biashara ...
alisema hatua ya kujitokeza kukemea na kulaani kwa nguvu zote mafisadi ni juhudi zake za kumuunga mkono rais jakaya kikwete na serikali yake katika vita dhidi ya watu wachache wenye uchu wa kutumia rasilimali ya nchi UNK
kutokana na ukweli huo ndugu zangu ninyi wenye kutawaliwa na hisia na woga wa kutokujiamini acheni mambo hayo UNK bwana mengi aendelee na kazi yake ya kusaidia makundi haya yanayohitaji misaada kutoka kwa watu wema alisistiza
UNK makundi UNK na misaada hiyo ya bwana mengi kuitumia vizuri kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imesema inatarajia kufungua benki ya wakulima tanzania UNK kutoa fedha na mikopo kwa wakulima nchini
hayo yalisemwa dar es salaam jana na daktari wa kilimo na mifugo manispaa ya ilala bwana UNK asenga wakati wa ziara ya ufunguzi wa mafunzo ya kilimo kwanza kata ya chanika
bwana asenga alisema mpango huo ni mikakati ya serikali iliyojiwekea kwa lengo la kuwakwamua wananchi wake wa mijini na vijijini kama UNK benki ya wanawake
miaka ya nyuma wakulima wa nchini walikuwa wakisaidiwa kwa asilimia kubwa na benki ya crdb ambayo kipindi lakini kipindi hichi serikali imejidhatiti kufungua benki ya wakulima kwani kilimo ni uti wa mgogo wa taifa letu alisema
alisema kuwa asilimia kumi ya bajeti ya serikali kila mwaka UNK kwa ajili ya wakulima ambapo fedha hizo UNK katika kila halmashauri za manispaa nchini
naye bwana jeremiah UNK alisema malengo ya kilimo kwanza kwa wakulima ni kuongeza uzalishaji kwa hekta kwa kutumia zana za kisasa kama vile matrekta ya UNK UNK pamoja na kufundisha wahandisi wa umwagiliaji
pia alisema wakulima na wafugaji wana majukumu ya utekelezaji wa dhana ya kilimo kwanza katika ngazi ya wilaya UNK kwenye utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kilimo ya wilaya chini ya mpango wa kitaifa wa uendelezaji wa sekta ya kilimo kampuni ya precision air imeendelea kupata mafanikio baada ya abiria wa ndani ku...
akizungumza dar es salaam jana mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana UNK UNK alisema kampuni hiyo imefanya maboresho kwa kununua ndege nne na kuongeza huduma za safari ndani na nje ya nchi hali iliyochangia kupata wateja wengi
kampuni hii imenunua ndege nne kutoka kampuni ya atr nchini ufaransa ambapo mpaka kufikia julai mwakani kampuni itakuwa na ndege mpya saba alisema na kuongeza tuko katika mchakato wa kuboresha huduma zetu ikiwa ni pamoja na kubadili vitendea kazi vya zamani kwa kuleta vipya pia safari za kigoma na tabora UNK kwa muda ...
UNK kupanua huduma ya safari zetu ili zifike sehemu nyingi zaidi UNK ndege aina ya UNK mia saba na thebathini na saba ambayo itafanya safari kati ya afrika kusini lubumbashi na lusaka alisema
meneja wa mawasiliano wa kampuni ya kusambaza vifaa vya maji bibi desta laiser amesema kushindwa kwa miradi mingi ya visima kunachangiwa wakandarasi na washauri wanaoshindwa kutoa ushauri sahihi katika ununuzi ya sampuli na mashine UNK
akizungumza katika semina ya wahandisi dar es salaam jana bibi desta laiser alisema ni makosa kutoa ushauri usio sahihi katika miradi hiyo kwani kunasababisha upotevu wa fedha za wahisani na serikali
tumeamua kutoa semina hii baada ya kugundua kuwa washauri na wahandisi wengi wa maji wamekuwa wakichangia kukwamisha miradi kwa kushindwa kutoa ushauri mzuri katika manunuzi ya vifaa alisema bibi UNK
alisema kampuni yake imeamua kutoa semina hiyo kwa wahandisi wa maji kutoka katika mikoa ya tabora singida dodoma arusha na dar es salaam ili kuwapa elimu itakayowasaidia kubaini makosa hayo
bibi laizer alisema kampuni yake imepata malalamiko kutoka katika maeneo mbalimbali ya vijiji kuhusu mashine UNK kwa ajili ya visima kuwa ni vibovu lakini baada ya uchunguzi walibaini kuna tatizo katika utoaji wa ushauri au takwimu za vipimo wakati wa manunuzi
kampuni hiyo UNK vifaa ikiwa ni pamoja na mita za maji mabomba vifaa vya umeme wa jua jenereta na kuchimba visima pia ilizindua pampu mpya na ya kisasa kwa ajili kuvuta maji katika kisima chenye urefu wa mita thebathini sifuri benki ya taifa ya biashara kupitia mpango wake endelevu wa kuchangia maendeleo ya jamii imet...
akizungumza wakati wa kukabidhi dar es salaam jana mhasibu wa nbc tawi la mbezi beach bibi UNK kibisa alisema benki ya nbc imejiwekea mikakati ya kuinua kiwango cha elimu nchini hasa katika shule za msingi na sekondari ambazo mara nyingi hukabiliwa na upungufu wa vitendea kazi
bibi kibisa alisema benki imetoa msaada huo wa vitabu ambao utawawezesha watoto kupata fursa ya kuazima vitabu kwa kujisomea wenyewe na UNK
sisi mpango wetu endelevu wa kuchangia maendeleo ya jamii hasa UNK katika kutoa misaada ya kimaendeleo inayolenga miradi ya kielimu yenye thamani ya kuanzia shilingi milioni mbili tano au zaidi ya hapo katika shule mbalimbali na tutaendelea kusaidia pale UNK alisema
akipokea msaada huo kwa niaba ya shule ya msingi wanafunzi na walimu wengine mwalimu mkuu wa shule hiyo bibi UNK UNK alitoa shukrani za kipekee kwa nbc kwa kuwapa vitabu ambavyo UNK kujifunza na kuinua kiwango chao cha elimu kwa ujumla
hatimaye watalaamu wa chuo kikuu cha kilimo sokoine wanatarajia kwenda kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini kama kuna mabomu yaliyosalia katika eneo la mbagala
mabomu hayo yalisambaa kutokana na milipuko iliyotokea aprili ishirini na tisa mwaka huu baada ya ghala ya kuhifadhia silaha la katika kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania lililoko mbagala kizuiani kulipuka na kusababisha vifo vya watu ishirini na sita kuteketeza nyumba mali na ulemavu wa kudumu kwa baadhi...
siku chache baada ya milipuko hiyo watalaamu wa chuo hicho walisema UNK kupeleka panya waliofuzu mafunzo ya kutambua mabomu kwa sababu wangeweza kuchanganyikiwa kutokana na harufu ya mabomu yaliyokuwa yanaendelea kulipuka
akizungumza dar es salaam jana na waandishi wa habari makamu mkuu wa chuo hicho profesa UNK monela alisema kwa sasa hali imetulia hivyo wataangalia uwezekano wa panya kufanya shughuli hiyo
kwa mwanzo panya UNK na UNK kwani bado kulikuwa na harufu fulani ya moshi wa mabomu kila mahali UNK kwa sasa tutajaribu kufanya hivyo alisema
napenda kusema kuwa uwezo wa panya hao ni mkubwa lakini wanafanya kazi ya kugundua bomu moja moja na kwa kufanya hivyo itasaidia kubaini mabomu yaliyosalia ili tuweze UNK na kuwaondoa hofu wakazi wa mbagala ambao kwa sasa wanakaa kwa hofu ya kulipuka kwa bomu alisema profesa UNK
profesa monela alikuwa anazungumzia maadhimisho ya miaka ishirini na tano ya chuo hicho yatakayofanyika novemba ishirini na tatu mwaka huu yakiambatana na maonesho ya wazi ambayo yatasaidia wananchi kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya kilimo mgeni rasmi akiwa waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi profesa jum...
mtu mmoja amekufa na wengine kumi na nne wamelazwa katika vituo vya kutibu ugonjwa wa UNK katika jiji la dar es salaam huku wilaya ya temeke ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa saba
kaimu mganga mkuu wa jiji la dar es salaam daktari hawa kawawa alisema hadi kufikia jana wilaya ya temeke ndiyo inaongoza kwa kuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa ina wagonjwa saba waliolazwa katika vituo vya afya wakati manispaa ya ilala ina wagonjwa wa nne na kinondoni mmoja
maeneo yaliyokumbwa na ugonjwa huo ni pamoja na pugu vingunguti tabata buguruni kipawa mchikichini jangwani na ukonga
maeneo mengine ni tandale manzese UNK na kunduchi kibaoni katika manispaa ya kinondoni wakati katika manispaa ya temeke ugonjwa huo upo mbagala kuu mbagala mission makangarawe na UNK
daktari kawawa alisema kuwa wananchi wanatakiwa kuweka mazingira safi wakati wa kipindi cha mvua ili ugonjwa huu usienee kwa kasi kwani maeneo UNK maji watu wanaweza kuathirika zaidi
aliwataka wakazi wa dar es salaam waache tabia ya kula ovyo katika maeneo ambayo siyo safi na kuepuka kula matunda yanayosambazwa mitaani kwani yanaweza kusababisha kuenea kwa ugonjwa huo
idara zinazohusika na takwimu nchini zimetakiwa kutoa taarifa kwa wakati muafaka badala ya kusubiri mwisho wa mwaka ili kuwezesha kufanyika kwa mipango mbalimbali ya maendeleo
wito huo ulitolewa dar es salaam juzi na katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi bwana ramadhan kijjah katika maadhimisho ya siku ya takwimu afrika ambayo huadhimishwa novemba kumi na nane kila mwaka
bwana kijjah alisema takwimu zinapotolewa kwa wakati muafaka zitasaidia UNK sera na watoa maamuzi kupanga mipango yao ya maendeleo UNK
bila takwimu hatujui tumetoka wapi tuko wapi na tunakwenda wapi takwimu zitasaidia kufanya uboreshaji ili kufikia malengo tuliyojiwekea iwapo zitatolewa kwa wakati muafaka alisema
alisema utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya millenia unategemea sana jinsi tunavyoweza kuandaa takwimu zetu
akizungumzia suala la vitambulisho vya utaifa
bwana kijjah alisema mpango huo utakapo kamilika utasaidia kupunguza tatizo la uhamiaji haramu
tunaingia katika jumuiya ya afrika mashariki wenzetu wana vitambulisho sisi hatuna itakuwa vigumu sana kumtambua mtanzania pasipo kitambulisho hicho alisema
alisema gharama zinazotumika kuandikisha wapiga kura kila mara zinaweza UNK iwapo kila mtanzania atakuwa na kitambulisho cha utaifa
aidha bwana kijjah alisema kuwa vitambulisho hivyo UNK kupunguza ufisadi kwa kuwa taarifa za kila mtanzania zikiwemo za kifedha UNK kupitia kitambulisho hicho
kwa upande wake kaimu mkurugenzi ofisi ya taifa ya takwimu bwana stanley UNK alisema UNK yake UNK changamoto nyingi katika ukusanyaji wa takwimu likiwemo suala la ubovu wa miundombinu na baadhi ya idara kukusanya takwimu UNK na matakwa yao tu
kauli mbiu ya mwaka huu ni uimarishaji wa mfumo wa takwimu za raia uzazi na vifo katika kusaidia maendeleo ya taifa na malengo ya millenia afrika ambapo idara mbalimbali wa takwimu zilishiriki
hukumu dhidi ya washitakiwa kumi na moja wanaokabiliwa na kesi ya wizi wa mamilioni ya fedha za benki ya nbc ubungo itatolewa desemba kumi na saba mwaka huu
uamuzi huo ulitolewa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa kwa ajili ya kupangwa siku ya hukumu
mwanzoni mwa mwezi huu pande zote zinazopingana UNK ushahidi na kuwasilisha majumuisho ya kesi ambapo upande wa mashitaka uliiomba mahakama kuwaachia huru washitakiwa watatu baada ya kupitia ushahidi kwa makini na kuona hakuna ushahidi wa kuweza kuwatia hatiani
miongoni mwa walioombewa kuachiwa huru ni hussein masoud UNK kuwa UNK mashtaka baada ya UNK polisi UNK dawa za kulevya UNK nazo
wengine ni UNK UNK na martin mndasha kwa sababu ya kukosa ushahidi
maombi hayo yaliwasilishwa na wakili wa serikali bwana edgar luoga alipofanya majumuisho ya kesi mbele ya hakimu UNK khaday anayesikiliza kesi hiyo
alidai katika mashahidi wote ishirini waliofika mahakamani hakuna UNK kuwa washitakiwa walihusika katika wizi huo
wakili huyo aliomba mahakama UNK hatiani washitakiwa wengine tisa waliobakia kwa sababu walikiri kuhusika na walisaidia kupatikana kwa silaha zilizotumika siku ya tukio pia mashahidi wote waliwatambua washitakiwa kwa kuwa wakati wa uhalifu huo UNK nyuso zao
kesi hiyo ilifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza juni ishirini sifuri sita ambapo ramadhani abdulrahaman na wenzake kumi wanadaiwa kupora shilingi mia moja na sitini na nane mia tano na sabini na saba mia mbili na sabini na tano themanini na nne mali ya benki nbc upungufu wa umeme katika gridi ya taifa umepungua ku...
upungufu huo uliotokana na kuharibika kwa moja ya mitambo ya kampuni ya songas ubungo na ile ya kihansi na hale na kusababisha kero kubwa kwa watumiaji wa nishati hiyo na kupanda wa bidhaa h
meneja mawasiliano wa tanesco bibi badra masoud alisema jana kuwa makali ya mgawo wa umeme UNK kutokana na ongezeko hilo la umeme kwenye gridi ya taifa
alisema hali hiyo imetokana na kuongezeka kwa uzalishaji katika mitambo iliyokuwa imeharibika ya kihansi mtera hale na songas hivyo kusababisha upungufu wa megawati kushuka kutoka megawati mia moja na hamsini hadi hamsini
hata hivyo hakuwa tayari kubainisha muda ambao mgao wa umeme utaendelea kuwaathiri wateja wa shirika hilo bali alisema hadi sasa megawati zinazopatikana katika gridi ya taifa ni zaidi ya hamsini sifuri mkurugenzi mtendaji wa shirika la makazi la umoja wa mataifa profesa anna tibaijuka wiki ijayo atakabidhiwa tuzo ya m...
profesa tibaijuka ambaye ni mmoja wa watanzania wanaoshikilia nyadhifa za juu katika jumuiya za kimataifa atapokea tuzo hiyo mnamo novemba ishirini na nne mwaka huu mjini goteborg sweden
kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari UNK saini na afisa habari wa un habitat bibi UNK hassan profesa tibaijuka atakuwa mmoja wa watu watatu ambao watapokea tuzo hiyo kutokana na mchango wao katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazokabili mazingira hususani ukuaji wa miji UNK kwa kasi duniani
mwaka huu tuzo hiyo imelenga zaidi masuala ya changamoto zinazosababishwa na ukuaji wa miji duniani kwa kuwa nusu ya watu wote duniani wanaishi katika miji na majiji huku idadi hiyo UNK kuongezeka kwa theluthi mbili ndani ya miongo mitatu ijayo
zaidi ya kuchafua mazingira ukuaji wa miji pia unachangia kwa kiasi kikubwa miji ndiyo iko katika hatari kubwa ya kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa pindi yanapotokea ilisema sehemu ya taarifa hiyo
wengine UNK tuzo hiyo pamoja na profesa tibaijuka ni UNK UNK kutoka UNK na soren UNK kutoka denmark
washindi waliopita wa tuzo hiyo ni aliyekuwa makamu wa rais wa marekani al UNK na UNK UNK UNK
na benedict kaguo tanga jeshi la polisi mkoani tanga limewatia mbaroni nahodha na mmliki wa jahazi la amana pemba UNK kwa moto na kuzama baharini wakati UNK kutoka tanga kwenda zanzibar usiku wa aprili kumi na nne mwaka huu na kusababisha vifo vya watu kadhaa
jahazi hilo lenye namba za usajili z mia saba na thebathini na tatu linalomilikiwa na bibi UNK salehe suleiman UNK na nahodha wake bwana ngwali haji ali mkazi wa pemba UNK katikati ya bahari ya hindi na kusababisha vifo vya abiria ambao hadi sasa idadi kamili haijafahamika UNK wengine
akizungumza jana na majira makao makuu ya polisi mkoa wa tanga kaimu kamanda wa polisi wa polisi bwana simon mgawe alisema UNK na nahodha huyo UNK polisi juzi jioni
kamanda mgawe aliongeza kuwa katika maelezo ya awali nahodha wa jahazi hilo alisema chanzo cha ajali ni hitilafu iliyotokea kwenye injini na kusababisha magodoro yaliyokuwa ndani kushika moto kisha jahazi lote kuteketea na UNK
hata hivyo nahodha huyo hakutaja idadi kamili ya abiria UNK kwani chombo hicho ni maalum kwa ajili ya kusafirisha mizigo
kamanda mgawe alisema watuhumiwa hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili
katika hatua nyingine serikali ya mapinduzi ya zanzibar imewataka abiria wa vyombo vya usafiri majini kutumia vilivyosajiliwa kisheria ili linapotokea tatizo iwe rahisi kwa waathirika wa kupata haki stahiki
naibu katibu mkuu ofisi ya waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana UNK abdallah hamisi alitoa rai hiyo juzi alipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa wa tanga kujua kiini cha ajali hiyo
alisema hadi sasa hawajapata taarifa zozote za kupatikana miili ya watu hao na kuwataka wananchi kukata tiketi wanaposafiri kwa kutumia vyombo vilivyosajiliwa kisheria ili kupunguza uwezekano wa kupoteza haki zao
viongozi wa smz wako tanga kutathmini ajali hiyo
maadhimisho ya miaka ishirini mkataba wa kimataifa wa haki ya mtoto unafanyika leo duniani wakati tanzania ikiwa imetekeleza mkataba huo kwa bunge la kupitisha sheria ya haki ya mtoto hivi karibuni
mwakilishi wa unicef nchini bwana UNK laakkonen alisema jana dar es salaam kuwa wakati dunia ikiadhimisha kufikiwa mkataba huo uliofikiwa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini tanzania inajivunia mafanikio kuzingatia haki ya mtoto ya kuishi afya watoto wenye ulemavu na kuwakinga na maambukizi ya vvu bwana laakkonen al...
alisema tanzania pia imepiga hatua katika utekelezaji wa haki ya mtoto ya kupatiwa elimu ya msingi bila malipo ulioanza mwaka ishirini sifuri moja na watoto wanaotoka kwenye familia duni kiuchumi kuandikishwa shuleni