text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mwakilishi huyo alisema bado ipo haja ya kuinua ubora wa elimu na kupunguza tofauti za uwezo wa kimapato ili watoto wote UNK nafasi ya kujiunga na elimu |
alisema watoto wenye ulemavu na wale wanaotoka katika makabila ya wafugaji UNK na wanaotoka katika familia zilizoathiriwa na vvu na ukimwi mara nyingi ndio ambao hushindwa kuhudhuria shuleni na idadi kubwa ya watoto hao UNK masomo kabla ya kuhitimu elimu ya msingi |
bwana laakkonen alisema hata hivyo kuna mabadiliko yanayokuja tanzania ambako wanafunzi wa kike ambao watapata ujauzito na kujifungua watakuwa na haki ya kurejea shuleni na kukamilisha elimu yao na kuongezeka idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya sekondari |
mkurugenzi mkuu wa unicef duniani bwana UNK veneman alisema UNK kusikia nchi nyingi UNK mkataba wa haki ya kuwahudumia mtoto |
bwana veneman akizungumza kutoka new york marekani jana alisema idadi ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano duniani imeshuka kutoka milioni kumi na mbili tano mwaka elfu moja na mia tisa na tisini hadi milioni nane nane mwaka ishirini sifuri nane ikiwa ni asilimia ishirini na nane na kati ya mwaka elfu moja na mia ... |
serikali ya oman imeahidi kuendeleza ushirikiano kati yake na tanzania katika nyanja mbalimbali ili kufikia ustawi wa wananchi wa nchi zote mbili |
hayo yalisemwa juzi usiku dar es salaam na balozi wa nchi hiyo nchini bwana yahya UNK al UNK alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya sherehe kuadhimisha miaka thebathini na tisa ya kumbukumbu ya sultan wa oman |
tuko katika mchakato wa kusaini mikataba miwili ambao mmoja utahusu masuala ya kodi na mwingine utahusu kupeana mazingira mazuri ya uwekezaji |
pia hivi karibuni tumetoka kusaini mkataba wa makubaliano kuhusu ushirikiano wa kibiashara kwa hakika tunafanya biashara vizuri alisema bwana al UNK |
akizungumzia masuala ya siasa za zanzibar hasa baada ya kuulizwa kwa kuwa oman imekuwa na mahusiano ya UNK na watu wa visiwa hivyo alisema kuwa wanategemea nchi hiyo itafanya uchaguzi wenye amani |
ingawa UNK sana na masuala ya ndani ya nchi huko zanzibar lakini tumekuwa UNK mkono juhudi za serikali ya zanzibar katika kuleta amani miongoni mwao |
bila shaka tunategemea watafanya uchaguzi wa amani |
pia alizungumzia juu ya utaratibu wa kubadilishana wanafunzi kati ya nchi yake na tanzania ambapo alisema kuwa katika utaratibu wa kuanzisha nafasi za masomo ili wanafunzi kutoka tanzania waweze kwenda kusoma oman |
akizungumzia juu ya mkutano wa copenhagen denmark juu ya mabadiliko ya tabia nchi balozi huyo alisema kuwa msimamo wa nchi yake ni kuona kuwa hatua madhubuti zinachukuliwa na jumuiya ya kimataifa ili kusaidia dunia kuepuka madhara ya mabadiliko yao |
askofu mkuu wa kanisa anglikana tanzania daktari valentino mokiwa ametangaza masharti anayopaswa kutimiza rais mstaafu bwana benjamini mkapa ili watanzania wamsamehe kutokana na kashfa zinazomwandama |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana askofu mokiwa alisema ili bwana mkapa hajajutia makosa yake na kuonesha moyo wa toba ili asamehewe |
alisema ili kiongozi huyo asamehewe serikali ya awamu ya nne inapaswa kuboresha huduma zote za jamii ikiwa ni pamoja na kukomesha mgawo wa umeme kuboresha vituo vya afya na kumaliza kero zote zinazowakabili watanzania |
kauli ya daktari mokiwa imekuja siku moja baada ya rais mkapa kukaririwa akisema tuhuma zote zinazomwandama na mambo yote yanayosemwa kuhusu utawala wake anamwachia mungu |
bwana mkapa alitoa kauli hiyo wakati akimkaribisha makamu wa rais daktari ali mohamed shein kufungua mkutano wa kujadili hali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi nchi jijini dar es salaam juzi |
tuhuma zinazomkabili bwana mkapa ni pamoja na kutajwa kusajili kampuni ya anben anayoimiliki na mkewe mama anna na kufanya biashara akiwa ikulu |
rais mkapa pia anatuhumiwa kushirikiana na aliyekuwa waziri wake wa nishati na madini bwana daniel yona kupitia kampuni ya tanpower resources kununua mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya shilingi bil |
nne kwa bei poa ya shilingi milioni sabini sifuri na kulipa shilingi milioni sabini tu |
tayari serikali imetangaza kurudisha mgodi huo |
kiongozi huyo pamoja na serikali yake kujipatia mafanikio makubwa kiuchumi amekuwa akitajwa kutumia madaraka kwa kuiongezea mkataba kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ambayo mkaguzi mkuu wa hesabu za serikalia bwana ludovick utouh alisema ilikiuka sheria ya manunuzi ya mwaka ishirini sifuri nne askofu m... |
mkapa angekiri makosa aliyofanya wakati wa uongozi wake angekuwa sahihi nikifikiri ukimya wake wa muda mrefu alikuwa anatafakari nini cha kuwambia watanzania lakini jibu lake limekuwa tofauti na matakwa ya watanzania kwani anasema tuhuma zote anamwachia mungu huko si kukiri alisema askofu mokiwa aliongeza kuwa alitara... |
ameishauri serikali kuwachunguza viongozi walioko madarakani na wale walio nje kama ili wachukuliwe hatua kama wamekwenda kinyume taratibu za uongozi |
kuna viongozi wengine wamekuwa wakipiga kelele majukwani kuhusu mkapa lakini hatujui usafi wao uko vipi bora tumeambiwa rais mkapa alinunua magodi wa kiwira na uko hapa tanzania kama ungekamilika ungeajiri watu wetu je hawa wanaojenga majumba nje tunawafanyaje kwani hayatusaidii |
watanzania wanataka kujua kampuni ya kagoda na meremeta zinamilikiwa na nani |
serikali ina maslahi gani kwa ticts hadi waikumbatie kiasi hicho |
bado kuna trl inatusumbua na wahusika wapo |
dawa katika vituo vya afya hakuna umeme wa uhakika hakuna na mambo mengine yasiyo na maslahi kwa watanzania |
alisema askofu mokiwa |
kwa upande wake daktari sengondo mvungi alisema huu si wakati wa kutafuta mchawi tugange yajayo kwani rais mkapa alikosa kutokana na makosa yaliyosababishwa na katiba |
alisema katiba ya sasa inampa madaraka makubwa rais wa nchi hali ambayo inamfanya ajikute anaingia katika kashfa iwapo kila rais aliyepita atachuguzwa atakutwa na makosa ambayo yanatokana na mfumo wa katiba iwe kwa rais wa awamu ya pili alhaji ali hassan mwinyi bwana mkapa au rais jakaya kikwete |
alisema kutokana na katiba nchi imekuwa na matatizo mengi yanayotokana na miundombinu ya utawala bora hivyo mambo mengi yanayofanywa ni ovyo kutokana na katiba na kushauri kubadilishwa katiba |
naye mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro alisema kwa kuwa rais mkapa ametambua makosa yake naye ni binadamu ambaye si mkamilifu sasa amefungua ukurasa mpya na imekuwa fundisho kwa wengine watakaofanya makosa wakiwa madarakani |
bwana kimaro ndiye aliyeibua hoja bwana mkapa kununua mradi wa makaa ya mawe kiwira kwenye mkutano wa kumi na moja wa bunge huku baadhi ya wabunge wakiunga mkono hoja hiyo na kushinikiza kiongozi huyo avuliwe kinga na kushitakiwa kwa kufanya biashara akiwa madarakani |
wakati mji wa arusha ukiwa katika hekaheka ya ugeni wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki polisi mkoani hapa wamezima tukio la ujambazi UNK kufanywa chini ya uratibu wa mganga maarufu wa kienyeji wa jijini dar es salaam |
katika tukio hilo lililofananishwa na sinema askari wa kikosi cha pikipiki zaidi ya kumi kwa kushirikiana na askari kanzu iliwachukua zaidi ya saa tano kufuatilia nyendo za watuhumiwa na kufanikiwa kuwanasa wakiwa katika baa moja eneo la UNK huku moja ya risasi ya bastola yao ikiwa tayari UNK |
watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi sugu akiwemo mganga huyo wa kienyeji walinaswa wakiwa na bastola hiyo na risasi tisa rungu panga na tunguri wakiwa katika harakati za kuvamia kwa mfanyabiashara moja maarufu mjini arusha |
kwa mujibu wa shuhuda mmoja wa tukio hilo UNK na kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa arusha bwana leonard paul watu hao walikutwa katika baa ya zumbukuku wakiendelea na vinywaji kujiandaa na uvamizi huo na UNK |
kamanda paul lisema juzi jioni kuwa watuhumiwa hao pia walikutwa na gari aina ya toyota corolla t mia moja na hamsini na tatu any UNK kutumika katika uporaji huo na pikipiki aina ya UNK UNK mia mbili na hamsini t mia tatu na sabini na tano UNK ambayo huitumia kwa uchunguzi kabla ya kufanya uharamia wao |
waliokamatwa wakihusishwa na tukio hilo ni bwana UNK omari mkazi wa kibonde maji jijini dar es salaam anayesadikiwa kuwa ndiye mganga wao bwana frank UNK bwana fredy mkenya wote wa sombetini arusha bwana UNK mushi wa sakina na bwana UNK UNK wa makao mapya mjini hapa |
kuondoa huyo mganga hao wengine wanne UNK katika baa ya zumbukuku iliyopo kwa UNK wakijiandaa kufanya uvamizi huo baada ya kupata taarifa za UNK kutoka kwa timu yetu na kufuatilia nyendo zao kabla ya kuwatia mbaroni alisema kamanda paul |
wakulima wawili wakazi wa kijiji cha UNK kata ya UNK singida vijijini bwana UNK mathias na bwana joseph UNK wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja na kisha kumuua |
mwanamke huyo lucia UNK alipoteza maisha kutokana na kubakwa huku akiwa UNK mdomo kwa UNK UNK shingo hivyo kukosa pumzi kutokana ugomvi wa mashamba |
kamanda wa polisi mkoani hapa bibi celina UNK alisema tukio hilo lilitokea juzi saa kumi na mbili jioni huko katika kijiji hicho |
alisema siku ya tukio hilo kaka wa marehemu bwana peter petro mkulima wa kijiji hicho aligundua kuuawa kwa dada yake na chanzo cha mauaji hayo kinachosadikiwa kuwa ni ugomvi wa mashamba baina ya marehemu na watuhumiwa hao |
baada ya mwili wa marehemu kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya mkoa wa singida ilibainika kuwa alibakwa kubakwa na shingo yake ilikuwa UNK |
watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote mara baada ya upelelezi kukamilika |
kampuni ya UNK corporation ya malaysia inayomiliki mitambo ya kampuni binafsi ya kuzalisha umeme yenye asilimi sabini ya hisa katika kampuni hiyo imekubali mitambo yake kubadilishwa ili iweze kutumia gesi asilia badala ya mafuta |
taarifa hiyo imetolewa kwenye vyombo vya habari jana dar es UNK na wizara ya nishati na madini ilifafanua kuwa kampuni hiyo ilitoa ridhaa hiyo oktoba kumi na tatu mwaka huu ili yafanyike mabadiliko yaliyokusudiwa |
kutokana na makubaliano hayo mpango wa kubadilisha utaanza kutekelezwa sambamba na mradi wa kuongeza kuongeza miundombinu ya kusafirisha gesi asili kutoka kisiwani songosongo ili kukabili kuongezeka kwa mahitaji ya gesi hiyo katika jiji la dar es salaam |
mradi wa kusafisha na kusafirisha gesi asili uko kwenye mchakato unaoendeshwa na mdhibiti wa sekta za nishati na maji alisema sehemu ya taarifa hiyo |
taarifa hiyo ambayo UNK na mtu yeyote lakini ikiwa na nembo rasmi ya serikali ilikuwa inafafanua habari zilizoandikwa na vyombo vya habari likiwamo gazeti hili UNK kamishna wa nishati bwana bashir mrindoko akisema kuwa mgogoro uliopo mahakamani kati ya serikali na iptl ndio unakwamisha mitambo hiyo kubadilishwa na kua... |
kuhusu UNK kwa mitambo ya iptl kutumia gesi asili badala ya mafuta ni suala la kihistoria |
sababu ya msingi siku za nyuma UNK kubadilishwa kwa mitambo hiyo ilikuwa ni kwa wenye mitambo kutotoa ridhaa ya kufanyika mabadiliko yaliyokusudiwa UNK sehemu ya taarifa hiyo |
kukubali kwa iptl kubadili mitambo hiyo kunaweza kuwa ni mwanza wa serikali kupunguza gharama za kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila siku zinatumika lita hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kupata megawati kumi sifuri endapo kila lita inauzwa shilingi moja ishirini sifuri kila siku mitambo hiyo UNK shilingi... |
umeme unaozalishwa wakati wa majaribio ya kituo hicho unaingizwa kwenye gridi ya taifa na kufikia novemba kumi na tisa mwaka huu jumla ya megawati ishirini na sita zimekuwa zikizalishwa na kuingizwa kwenye UNK |
kwa mujibu wa taarifa hiyo mchakato wa majaribio ya kuzalisha unatarajiwa kuendelea hadi kukamilisha megawati arobaini na tano mwisho wa mwezi huu |
hata hivyo taarifa hiyo ya wizara inapingana na iliyotolewa na shirika la umeme iliyosema kwamba kinachofanyika sasa kwenye mtambo wa tegeta ni majaribio ya kiufundi na kwamba bado mtambo huo haujaanza kufanyakazi na umeme wake UNK rasmi kwenye gridi ya taifa |
barua pepe iliyotumwa juzi kwa gazeti hili na meneja mawasiliano wa tanesco badra masoud ilisema taarifa za kuanza kufanya kazi rasmi na umeme wa mtambo huo kuingia katika gridi zitatolewa baadaye baada ya majaribio ya kiufundi kukamilika na mtambo huo kuanza kazi rasmi na si vinginevyo |
mtambo wa umeme unaotumia gesi wa tegeta una injini tano na kila moja inakadiriwa kuzalisha megawati nane saba na leo jumatano novemba kumi na nane injini tatu zinatarajiwa kufanyiwa majaribio ilisema |
na israel mwaisaka mtafaruku mkubwa umezuka ndani ya kikao cha kamati ya maadili ya chama cha mapinduzi wilayani kyela uliosababisha polisi kuingilia kati na kumwokoa katibu wa chama hicho wilaya bibi maria UNK |
polisi walichukua hatua hiyo baada ya bibi mwambanga kupokea kipigo kutoka kwa wanachama hao UNK kuwa ni kibaraka wa baadhi ya wanasiasa huku wajumbe wengine UNK makonde wao kwa wao |
kikao hicho cha kamati ya maadili UNK makatibu kata wa chama hicho wa kata za kyela mjini UNK UNK UNK UNK songwe UNK na diwani wa kyela mjini bwana UNK mahenge wakidaiwa kuwa UNK mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe kwenye kikao cha halmashauri kuu ya ccm wilaya kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti bwana japhet ... |
kwa mujibu wa mmoja wa watuhumiwa hao ugomvi uliibuka baada ya wao kuhoji hatua ya kuitwa peke yao bila pande zote zinazohusika kwenye mvutano huo |
baada ya suala hilo kuzua mtafaruku mkubwa polisi walifika eneo hilo la ofisi ya ccm wilaya kumwokoa katibu huyo aliyekuwa akipokea kipigo huku wajumbe wa kikao hicho UNK kila mtu na njia yake kwa hofu ya kukamatwa na polisi |
mwenyekiti wa ccm wilaya bwana japhet mwakasumi alipotakiwa kuzungumzia sakata hilo alisema kwa muda huo akili yake ilikuwa haijatulia hadi hapo baadae |
naye mwandishi grace michael anaripoti kuwa katika kile kinachoonesha kuwa hali si shwari katika majimbo mengi ndani ya ccm kuelekea uchaguzi mkuu mwakani mbunge wa ukonga daktari makongoro mahanga ameonya dhidi ya tabia ya wana ccm UNK |
daktari mahanga amewataka badhi ya wanachama wenye nia ya kugombea udiwani na ubunge kuacha mara moja tabia ya kupitapita kwa wananchi na kuchafua majina ya viongozi waliopo madarakani kwa lengo la kujipatia umaarufu kisiasa |
alidai mbali ya kuchafua majina ya vingozi pia wanakwamisha utekelezaji wa ilani ya ccm kwa kuwachanganya wananchi na kupoteza mwelekeo wao wa kushirikiana na viongozi katika shughuli mbalimbalia za maendeleo |
akifungua semina ya jumuiya ya wazazi katika kata ya ukonga dar es salaam juzi daktari mahanga alisema ni vyema wanachama wa ccm wakatumia muda huu kuweka mikakati ya namna chama hicho UNK na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa |
wapo baadhi ya wana ccm ambao tayari wameanza UNK wagombea wao kwa wananchi ili kufanya kampeni za ubunge mwakani UNK watu kujitokeza kugombea kwani ni haki yao kidemokrasia lakini ni lazima kanuni na taratibu za uchaguzi za ccm UNK kwa maana ya muda wa kuanza kampeni hizo alisisitiza daktari mahanga |
alisema kuwa tatizo kubwa UNK na wagombea hao ni kupita kwa wananchi huku wakitoa kashfa kwa viongozi ambao bado wako madarakani UNK kuacha mara moja tabia hiyo na kujikita katika kumaliza kero za wananchi zilizobaki katika kipindi hiki |
daktari mahanga alisema kuwa vitendo vya UNK kwa sasa UNK kukwama kwa utekelezwaji wa ilani ya ccm ambapo kiongozi aliyepo madarakani anatakiwa kushirikiana na wananchi wake katika utekelezaji huo |
kuanza kuvutana kwa sasa ni kupoteza dira kwani uchaguzi ni mwakani hivyo ni bora UNK kwanza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sio kuweka nguvu katika uchaguzi ambao muda wake bado lakini wanaotumia jina la mbunge kusaka udiwani hilo nalo pia ni tatizo linaloweza UNK na wanachama wangu haya mambo tuyaache kwanza... |
naye mjumbe wa kamati ya utekelezaji bwana ahmad UNK alisema kuwa vitendo vya watu kupita kwa wananchi huku UNK majina ya viongozi si sahihi hivyo aliwataka wanajumuiya hiyo kuwa makini na watu hao |
hawa UNK na viongozi wetu tunatakiwa kuwa makini zaidi na sio kusikiliza maneno ya watu bila kuangalia wamefanya nini ndani ya jamii yetu wanatakiwa kuja kwa hoja lakini si kwa kashfa kwa kiongozi aliyepo na UNK UNK na madhara makubwa yatatokea ndani ya chama chetu alisema bwana UNK |
tanzania UNK masharti ya kuonesha jinsi misaada ya wafadhili UNK na ilivyojipanga kushughulikia masuala ya utawala bora hasa mapambano dhidi ya ufisadi ili iendelee kunufaika na misaada ya wahisani |
masharti hayo yalitolewa jana na mwenyekiti mwenza wa nchi wafadhili bwana UNK dorst dar es salaam wakati wa kongamano la mwaka juu ya masuala ya sera ya taifa katika kutimiza malengo ya maendeleo ya millenia na mpango wa kupambana na kupunguza umaskini tanzania na zanzibar mbele ya waziri wa fedha na uchumi mustapha ... |
bwana dorst alisema ufisadi na usimamizi mbovu wa fedha za umma vimeendelea kuwa kikwazo cha maendeleo kiuchumi na kijamii na akaweka msimamo kwamba wahisani wengine wanapata shida kuchangia wakihofia matumizi mabaya ya misaada hiyo |
alisema kwa kuwa shughuli za maendeleo nchini zimekuwa UNK na mfuko wa pamoja wa kuchangia bajeti za nchi ambao pia UNK na ufisadi na usimamizi mbovu wa fedha za umma |
suala la rushwa UNK sana wadau wa maendeleo hadi kwa walipa kodi wetu nchini kama UNK kuwa tanzania inapokea misaada wa jumla kwa bajeti na UNK kwa mwaka uliopita jinsi watanzania UNK madhara ya rushwa katika maendeleo ya taifa na mkakati wa kupunguza umaskini alisema |
alisema wanaamini kuwa ni muhimu kwa serikali kuendelea kuonesha juhudi zake za kupambana na rushwa zaidi hasa rushwa kubwa kwani hivi karibuni vyombo vya habari UNK kuwa tanzania imeshuka kwa nafasi ishirini na nne katika suala la uwazi wa kupambana na rushwa ya kimataifa |
hii UNK kwamba mtazamo wa watu katika mapambano dhidi ya rushwa nchini inazidi kuwa mbaya badala ya kuwa nzuri jambo ambalo linaweza kuwawia vigumu wadau wa maendeleo kuendelea kuisaidia tanzania alisema |
alisema jambo la kuangalia ni kwamba watanzania UNK kuwa na ujasiri wa kuhakikisha kuwa rasilimali zilizopo zinatumika kuboresha maisha yao badala ya raslimali hizo kupotea kutokana na rushwa |
akizungumzia suala la kilimo kwanza alisema kuwa sera hiyo inaweza kupunguza umaskini vijijini kama mpango huo UNK vema lakini kilimo pekee yake UNK mbadala wa punguza umaskini hivyo serikali inapaswa kuboresha sekta zingine kwa pamoja ili kuongeza thamani ya mazao |
ni jambo la msingi kukuza sekta nyingine pia kwani baada ya mazao kupatikana inatakiwa kuwepo mazingira bora ya biashara za ndani na za kimataifa pamoja miundombinu ya nishati na usafirishaji pamoja na viwanda alisema |
UNK kuonesha uwajibikaji katika maeneo hayo na matokeo yakaonekana ni wazi tutakuwa katika nafasi nzuri ya kujadili kuendelea kuchangia mpango wa maendeleo nchini UNK jina la mkukuta ii alisema bwana UNK |
akizungumza baada ya kauli hiyo waziri mkulo alikiri kwamba suala la rushwa nchini ni gumu kutokomezwa kutokana na kasi ndogo ya kushughulikia kesi za rushwa hizo ambazo ziko mahakamani |
waziri huyo alisema kuwa kesi hizo zimeongezeka kutoka hamsini na nane mwaka ishirini sifuri tano hadi moja mia tano na sabini na nane mwaka huu hata hivyo alishindwa kutoa sababu za kushindwa kushughulikia tatizo la rushwa kwa madai kuwa ni mapema mno |
bwana mkulo alisema kuwa mkukuta wa awamu ya kwanza unamalizika mwakani na kwamba hawataweza kuingia katika mkukuta wa pili hadi hapo UNK kwa wafadhili fedha za mkukuta wa kwanza UNK |
kwa wastani tunaweza kukiri kwamba tumeshindwa kuondoa umaskini hiyo yote inatokana na matatizo ya miundombinu ya barabara na kilimo japo sehemu UNK UNK na hilo UNK kwa wafadhili na kuahidi kuendelea kusaidia alisema |
alisema kuwa lengo la majadiliano hayo na wadau wa maendeleo ni kujaribu kuangalia jinsi serikali UNK malengo ya maendeleo ya millenia ya kupunguza umaskini duniani |
mkutano huo utafanyika kwa siku tano kujadili mafanikio ya UNK na mkukuta pamoja na kuangalia ni jinsi gani serikali UNK fedha za wafadhili katika kutoa huduma kwa jamii |
maeneo mengine yatakayojadiliwa ni kuendelea kukua kwa umaskini vijijini mazingira ya biashara changamoto za utoaji huduma sawa matumizi ya bajeti na utawala wa fedha katika mamlaka ya serikali kuu na serikali za mitaa |
askofu mkuu wa kanisa anglikana tanzania daktari valentino mokiwa ametangaza masharti anayopaswa kutimiza rais mstaafu bwana benjamini mkapa ili watanzania wamsamehe kutokana na kashfa zinazomwandama |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana askofu mokiwa alisema ili bwana mkapa hajajutia makosa yake na kuonesha moyo wa toba ili asamehewe |
alisema ili kiongozi huyo asamehewe serikali ya awamu ya nne inapaswa kuboresha huduma zote za jamii ikiwa ni pamoja na kukomesha mgawo wa umeme kuboresha vituo vya afya na kumaliza kero zote zinazowakabili watanzania |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.