text
stringlengths
1
1.32k
kauli ya daktari mokiwa imekuja siku moja baada ya rais mkapa kukaririwa akisema tuhuma zote zinazomwandama na mambo yote yanayosemwa kuhusu utawala wake anamwachia mungu
bwana mkapa alitoa kauli hiyo wakati akimkaribisha makamu wa rais daktari ali mohamed shein kufungua mkutano wa kujadili hali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi nchi jijini dar es salaam juzi
tuhuma zinazomkabili bwana mkapa ni pamoja na kutajwa kusajili kampuni ya anben anayoimiliki na mkewe mama anna na kufanya biashara akiwa ikulu
rais mkapa pia anatuhumiwa kushirikiana na aliyekuwa waziri wake wa nishati na madini bwana daniel yona kupitia kampuni ya tanpower resources kununua mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya shilingi bil
nne kwa bei poa ya shilingi milioni sabini sifuri na kulipa shilingi milioni sabini tu
tayari serikali imetangaza kurudisha mgodi huo
kiongozi huyo pamoja na serikali yake kujipatia mafanikio makubwa kiuchumi amekuwa akitajwa kutumia madaraka kwa kuiongezea mkataba kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ambayo mkaguzi mkuu wa hesabu za serikalia bwana ludovick utouh alisema ilikiuka sheria ya manunuzi ya mwaka ishirini sifuri nne askofu m...
mkapa angekiri makosa aliyofanya wakati wa uongozi wake angekuwa sahihi nikifikiri ukimya wake wa muda mrefu alikuwa anatafakari nini cha kuwambia watanzania lakini jibu lake limekuwa tofauti na matakwa ya watanzania kwani anasema tuhuma zote anamwachia mungu huko si kukiri alisema askofu mokiwa aliongeza kuwa alitara...
ameishauri serikali kuwachunguza viongozi walioko madarakani na wale walio nje kama ili wachukuliwe hatua kama wamekwenda kinyume taratibu za uongozi
kuna viongozi wengine wamekuwa wakipiga kelele majukwani kuhusu mkapa lakini hatujui usafi wao uko vipi bora tumeambiwa rais mkapa alinunua magodi wa kiwira na uko hapa tanzania kama ungekamilika ungeajiri watu wetu je hawa wanaojenga majumba nje tunawafanyaje kwani hayatusaidii
watanzania wanataka kujua kampuni ya kagoda na meremeta zinamilikiwa na nani
serikali ina maslahi gani kwa ticts hadi waikumbatie kiasi hicho
bado kuna trl inatusumbua na wahusika wapo
dawa katika vituo vya afya hakuna umeme wa uhakika hakuna na mambo mengine yasiyo na maslahi kwa watanzania
alisema askofu mokiwa
kwa upande wake daktari sengondo mvungi alisema huu si wakati wa kutafuta mchawi tugange yajayo kwani rais mkapa alikosa kutokana na makosa yaliyosababishwa na katiba
alisema katiba ya sasa inampa madaraka makubwa rais wa nchi hali ambayo inamfanya ajikute anaingia katika kashfa iwapo kila rais aliyepita atachuguzwa atakutwa na makosa ambayo yanatokana na mfumo wa katiba iwe kwa rais wa awamu ya pili alhaji ali hassan mwinyi bwana mkapa au rais jakaya kikwete
alisema kutokana na katiba nchi imekuwa na matatizo mengi yanayotokana na miundombinu ya utawala bora hivyo mambo mengi yanayofanywa ni ovyo kutokana na katiba na kushauri kubadilishwa katiba
naye mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro alisema kwa kuwa rais mkapa ametambua makosa yake naye ni binadamu ambaye si mkamilifu sasa amefungua ukurasa mpya na imekuwa fundisho kwa wengine watakaofanya makosa wakiwa madarakani
bwana kimaro ndiye aliyeibua hoja bwana mkapa kununua mradi wa makaa ya mawe kiwira kwenye mkutano wa kumi na moja wa bunge huku baadhi ya wabunge wakiunga mkono hoja hiyo na kushinikiza kiongozi huyo avuliwe kinga na kushitakiwa kwa kufanya biashara akiwa madarakani
UNK akaunti zake zote
viongozi wake UNK kutoka
yachunguza ziliko fedha zingine hatimaye serikali imetangaza rasmi kufuta shughuli za kupanda na kuvuna fedha zilizokuwa zikiendeshwa na kampuni ya development enterpreneurship for UNK
tamko hilo la serikali lilitolewa jana na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake dar es salaam ambapo alibainisha kuwa upatu huo ni kinyume cha sheria
serikali ilishatoa taarifa kuhusu UNK wa shughuli za deci ltd hii ni kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu sura ya kumi na sita ya sheria ya tanzania kama ilivyorekebishwa na sheria ya mabadiliko mbalimbali ya mwaka ishirini sifuri sita na ile ya michezo ya kubahatisha ya sura ya arobaini na moja ya sheria ya tanza...
hili ni tamko la serikali mpaka nakuja hapa ni kwamba tayari waziri mkuu makamu wa rais na rais mwenyewe wameridhika na uchunguzi na UNK deci isitishwe alisisitiza bwana mkulo
alisema iko mifano hai ambako mipango kama hii iliendeshwa na UNK na kuutaja wa UNK mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita tisini na saba na ule wa kenya ambako madhara makubwa UNK ikiwa ni pamoja na watu kupoteza maisha
alisema taarifa mbalimbali kupitia vyombo vya habari kuhusu deci kusitisha shughuli zake zimesababisha wasiwasi mwingi miongoni mwa wanachama na serikali imeamua kuchukua hatua kadhaa kukabili hali hiyo
hatua hizo ni pamoja na kuhakikisha maeneo yote ya shughuli za deci UNK sambamba na kuzuia pesa zote zilizopo kwenye akaunti za waendeshaji wa deci na deci yenyewe hadi hapo hatma ya shughuli za chombo hicho UNK
bwana mkulo alisema serikali inafanya jitihada za kujua ziliko fedha zingine ambazo hazipo kwenye mabenki na UNK kuhakikisha UNK salama
hatua nyingine ni kukusanya na kutunza kumbukumbu zote za wanachama ikiwa ni pamoja na kiasi UNK na UNK tangu deci ilipoanza shughuli zake hapa nchini
kuendelea na uchunguzi wa kina juu ya waendeshaji na wamiliki wote ikiwemo deci ltd iliyosajiliwa nchini kenya ambayo shughuli zake UNK na deci ltd kutokana na wamiliki wake kuwa wa kanisa hilo hilo la UNK
alisema serikali pia inaendelea na hatua ya kuhakikisha waendeshaji na wamiliki wote wa deci UNK nchini
alisema serikali itaendelea kuelimisha wananchi uelewa vyema kuhusu madhara ya upatu wa UNK bwana mkulo aliwataka wananchi wawe watulivu na kuepuka ushabiki na uchochezi unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani wakati wa kushughulikia suala hili
alisema madhumuni ya serikali kuchukua hatua hizo kwanza ni kukinga umma wa watanzania UNK kirahisi na watu UNK
alisema lingine ni kuhakiki kumbukumbu zitakazopatikana katika ofisi za deci ili kuwezesha kuweka mikakati ya kurudisha kwa wanachama chochote UNK
bwana mkulo alisisitiza kuwa deci ni kampuni ya kitapeli inayofanya shughuli za upatu ambazo ini kinyume cha sheria za nchi
alisema taasisi kadhaa zilithibitisha kutotoa leseni kwa deci ikiwa ni pamoja na mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana benki kuu ya tanzania wizara ya mambo ya ndani wizara ya biashara viwanda na masoko bodi ya michezo ya kubahatisha na wizara ya kilimo chakula na ushirika
alikiri serikali kupitia bot kuchelewa kuchukua hatua kutokana na uchunguzi wa kina walioufanya ili kupata ukweli namna deci UNK ikiendesha shuguli zake
deci ilisajiliwa januari ishirini sifuri saba na walijiandikisha kama kampuni ya kanisa kwa ajili ya kuwasaidia waumini la kipentekoste hivyo serikali awali haikuwa na wasiwasi nayo alisema
bwana mkulo alisema baada ya bot kukataa maombi ya deci ya kupewa kibali cha kukusanya fedha kwa wananchi kutokana na kutokuwa wametimiza masharti walikiuka maagizo ya bot na kuanza kukusanya fedha
alisema kuwa pamoja na bot kuita deci itoe mchanganuo wao namna UNK faida na riba kubwa bado UNK agizo hilo hadi leo
bwana mkulo alisema katika wasiwasi huo serikali kupitia chombo chake maalum cha kuchunguza fedha haramu ilibaini kuwa deci ilikuwa imekusanya fedha nyingi na kuweka kiasi kidogo benki nyingine zikiwa mikononi mwa UNK
hapa kuna utata mwingi kuhusu deci mambo yao mengi hayakuwa wazi waliomba kufanya kazi kama kampuni ya kanisa baadae UNK deci sasa hapa UNK kanisa deci na wamiliki kila mmoja ana akaunti yake alidai
aliongeza kuwa katika uchunguzi huo UNK kukuta mmoja wa wanahisa ambaye awali alikuwa na kiasi kidogo cha fedha lakini ghafla na kwa muda mfupi akaunti yake ina mamilioni yasiyo na ufafanuzi UNK
bwana mkullo alisema kuwa kiuchumi serikali haijapata hasara yoyote kutokana na deci isipokuwa hasara inaweza kuwa kwa wananchi ambao katika kurudishiwa fedha zao inawezekana wengine wakakosa kutokana na mfumo ulivyokuwa unatumika UNK faida UNK
aliwataka wananchi UNK kuwa na subira kwa kuwa hatua zitakazochukuliwa na serikali kwa wamiliki zitaonekana hivi karibuni kulingana na ukweli utakavyokuwa UNK
tamko la serikali UNK mijadala ya wiki kadhaa sasa ambayo iliibuka nchini kote ambako baadhi ya wanachama wa deci walizidi kuonesha imani yao kwa chombo hicho huku wakishinikiza UNK UNK shughuli zake
hivi karibuni waziri mkuu bwana mizengo pinda alikaririwa akisema upatu wa si lolote bali ni mchezo bali ni mchezo unaoendeshwa na wajanja wajanja na kuwatahadharisha wananchi kuepuka jambo hilo kwa manufaa ya mitaji yao
bwana pinda aliwataka wananchi kuzingatia onyo lililotolewa hivi karibuni na bot na soko la mitaji kuepuka upatu huo ili kuponya pesa zao
waziri mkuu alitoa kauli hiyo alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake jijini dar es salaam jana na kubainisha kuwa deci inaendeshwa kinyume cha sheria na kamwe serikali haiwezi kukaa kimya kuacha wananchi wake wahatarishe mitaji yao
nilipokaa na wataalamu nikawauliza kuhusu jambo hili wameniambia mfumo huu ni upatu
upatu unaendeshwa kwa kuchukua pesa kutoka kwa mtu mwingine bila kumlipa riba ila ni fedha inayolipwa kutokana na ongezeko la wateja wapya nikasema makubwa haya
mbona itatuletea mgogoro
alikaririwa akisema bwana pinda na kuongeza upatu unaoeneshwa na deci haujawahi kufanikiwa sehemu yoyote duniani ni mfumo uliojaa ujanja ujanja mwisho wa siku watu UNK alieleza waziri mkuu halmashauri ya wilaya ya mwanga mkoani kilimanjaro na manispaa ya arvidsjaur nchini sweeden zimefikia makubaliano ya kushirikiana ...
meya wa manispaa ya arvidsjaur bwana jerry johansson alisema hivi karibuni wameridhishwa na mazingira ya wilaya ya mwanga na wameamua kuwekeza katika nyanja za viwanda vidogo vikiwemo vya kukoboa na kuanika kahawa afya uvuvi na elimu
alisema makubaliano hayo yatawawezesha wananchi wa wilaya ya mwanga kuwa na maendeleo ya kiuchumi na kujikwamua na umaskini yamefikiwa katika kikao cha pamoja UNK na mkuu wa wilaya hiyo bwana athuman UNK
bwana johansson aliongeza kuwa kutokana na mazingira ya wilaya hiyo kuna muhimu kuwepo pia na nishati ya upepo na jua ili kuwa na uhakika wa uzalishaji wa bidhaa na UNK ya mawasiliano ya UNK
naye mkuu wa wilaya ya mwanga bwana athumani mdoe aliipongeza manispaa ya arvidsjaur kwa kuja kuwekeza katika wilaya yake na kuwa kijiji cha UNK UNK kuwa cha uwekezaji wa viwanda vidogo kwa kutumia rasilimali zilizopo na mafunzo ya ufundi yatatolewa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya UNK
naye mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana UNK mamboleo amewataka wananchi kuwa tayari UNK na kuchangia miradi UNK na manispaa hiyo ya UNK
wajasiriamali wadogo na wakubwa walioko katika maeneo ya migodi ya dhahabu inayomilikiwa na kampuni ya barrick tanzania wametakiwa kutumia fulsa za kufanya biashara zinazotolewa katika migodi hiyo kwa lengo la kuwainua kiuchumi
changamoto hiyo ilitolewa hivi karibuni mjini kahama na ofisa maendeleo ya biashara wa barrick tanzania bwana UNK tenga kwenye semina kwa wafanyabiashara UNK fulsa za kufanyabiashara na migodi zilizopo na zitakazo endelea kutolewa
bwana tenga alisema migodi ya barrick imekuwa UNK fulsa mbalimbali kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa na kuwapa kipaumbele wale walioko maeneo ya migodi kwa lengo la kuwanufaisha na kuwainua kiuchumi lakini wamekuwa UNK
alisema barrick inapenda sana kufanya biashara na wajasiriamali waliopo maeneo yao ili mradi wawe UNK wajibu wao na taratibu na sheria za inchi zilizopo katika maswala ya biashara na ambazo ndiyo zimekuwa UNK UNK fulsa za kufanya biashara na migodi
alisema wajasiriamali wazawa wanaoishi maeneo ya migodi wataendelea kuwapa elimu mara kwa mara kwa njia ya semina ili waweze kufanya biashara katika migodi hiyo na kwa wale wanaofanya nao na kukiuka miongozo na maadili UNK UNK
awali mkuu wa wilaya ya kahama bwana bahati UNK akifungua semina hiyo aliwataka wajasiriamali hao kuzingatia fulsa zinazotolewa na barrick ili wanufaike kwa kufuata kanuni na UNK wawekezaji hao ambazo zinalenga kuwainua kiuchumi badala ya kukaa na kulalamika tu
vikundi vya wakulima wadogowadogo wa uzalishaji wa zao la kahawa wilayani hai mkoani kilimanjaro vimefanikiwa kupanda miche bora ya kahawa arobaini sifuri sifuri sifuri sifuri katika kipindi cha miezi kumi kwa lengo la kuunga mkono jitihada za serikali za kufufua kahawa
hayo yalibainishwa na mwenyekiti wa vikundi hivyo bwana UNK swai wakati wa uzinduzi wa umoja wa wakulima wa kahawa bora wilayani hai UNK katika kijiji cha UNK machame na kushirikisha vikundi thebathini na moja vya wakulima wa kahawa wilayani hapa
alisema kupitia vikundi hivyo wakulima wataweza UNK kahawa kwa asilimia kubwa ambapo ilionekana kudidimia na kufanikisha jitihada za kuwakwamua wakulima kiuchumi na kuwakomboa katika lindi la umaskini
lengo la kuunda umoja huu ni kuwaunganisha wakulima pamoja na kwamba baada ya kuvuna kahawa yao wataweza kuiuza wenyewe bila kupitia kwenye vyama vya ushirika kama ilivyo sasa na kila mmoja ataweza kujifunza namna ya kulima kahawa bora ambayo itamsaidia kuongeza pato lake alisema bwana swai
bwana swai alisema kupita vikundi hivyo kila mwanachama amepewa shamba la majaribio ili kuweza kutambua mbinu na njia za kupanda na kuitunza kahawa hiyo ambayo UNK na wadudu na kwamba mche mmoja wa kahawa una uwezo wa kuzalisha kilo tatu kwa mara moja
kwa upande wao baadhi ya wakulima hao walisema kuwa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali za kufikia malengo ya kuzalisha kahawa bora ikiwemo ukosefu wa pembejeo za kutosha sanjari na upatikanaji wa maji ya umwagiliaji
serikali ikifanikiwa kudhibiti bidhaa kutoka nje wakulima wa tanzania watanufaika kwa kuuza malighafi zao katika kampuni mbalimbali nchini
hayo yalisemwa hivi karibuni na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya bia ya tanzania bwana anold kileo wakati UNK kituo kipya cha kuuzia vinywaji hivyo katika eneo la UNK mkoani hapa
alisema kampuni nyingi hapa nchini UNK vinywaji kwa kutumia mazao ya wakulima kama vile zabibu na ulezi na hivyo kampuni za nje ya nchi UNK bidhaa zao nchini kiholela UNK juhudi za mkulima kupata faida
alisema bidhaa kutoka nje ya tanzania UNK nchini hutumiwa na kampuni kutengeneza bidhaa zao kwa kusema bidhaa zao UNK kutoka nje ya nchi na kuacha mazao asilia yanayozalishwa na mkulima wa tanzania ambayo huwa na ubora zaidi
bwana kileo alizitaka kampuni UNK vinywaji nchini kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini tanzania kwani zina ubora ambao husaidia mkulima katika kuondokana na umaskini wa kipato
wakati wakazi wa magomeni kota wakisubiri waongezewe miezi mitatu ili watafute nyumba za kupanga jitihada mbalimbali zinafanyika kumuona waziri mkuu bwana mizengo pinda
mwenyekiti wa kamati ya wakazi wa magomeni kota bwana nkurumah munjoli alisema katika mkutano wa wakazi hao jana dar es salaam kuwa wamegundua njia ya kupata msaada ni kumuona waziri mkuu pinda
bwana munjoli aliwaambia wakazi hao kuwa kitendo cha kukatiwa umeme na kutakiwa kuondoka bila maombi yao kufanyiwa kazi wameona ni unyanyasaji ambao wamekilalamikia kituo cha sheria na haki za binadamu na taratibu za kwenda mahakamani UNK
alisema kwa sababu sekeseke la kuhamishwa UNK utaratibu wa makubaliano kati yao na manispaa ya kinondoni wameanza kuandikisha watoto ambao UNK pasipo sababu kwa vile manispaa ya kinondoni UNK wazi kimaandishi kuhusu makubaliano ya pande mbili hizo
tulitaka tutambuliwe kama wapangaji wanunuzi na tulipwe fedha za kukodisha nyumba wakati tukisubiri ujenzi wa nyumba za maghorofa ya kisasa kutoka shilingi mia saba na ishirini sifuri sifuri sifuri ya mwaka ishirini sifuri sita lakini pamoja na maneno mazuri ya mdomo hatujui ukweli wake alisema bwana UNK
wakazi wa magomeni kota wapatao thebathini sifuri sifuri sifuri ambao wamekata tamaa ya kupewa kipaumbele cha kuendelea kuishi eneo hilo jumapili iliyopita walimlalamikia diwani wa kata ya ndughumbi kupitia ccm bwana charles mgonja kuwa hana msaada kwao
nyumba mia sita na arobaini na nne za kota magomeni hazina umeme baada ya shirika la umeme tanzania tawi la magomeni kukata huduma hiyo kushinikiza wananchi hao wajiandae kuhama kupisha ujenzi wa nyumba za kisasa
mwenyekiti wa wazazi wa chama cha mapinduzi mkoa wa kilimajaro bwana UNK ngawaiya ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuthibiti watu UNK chinichini kama mchwa kwa ajili ya kutaka UNK nchi kwa kutumia fedha zao
UNK na majira dar es salaam jana bwana ngawaiya alionesha kukerwa na kupita katika maeneo mbalimbalia wakitoa misaada mikubwa ya fedha ambazo chanzo chake hakijulikani
alisema kuwa hali hiyo inasababisha watu hao kuwa na sauti kubwa kuliko serikali kutokana na fedha ambazo wamekuwa wakizitoa kama misaada kwa jamii bila kueleza kuwa zimetoka wapi
utashangaa mtu anatoa milioni ishirini sifuri hadi thebathini sifuri kwa jamii kama msaada lakini fedha hizo UNK UNK wapi hali hii UNK mashaka kabisa kwani serikali inatakiwa iwe UNK uhalali wake
UNK na kuota mizizi wataifikisha serikali pabaya alisema bwana ngawaiya
alisema kuwa watu hao wamekuwa wakitumia vyombo vya habari vibaya kwa kutangaza mambo yao na kwamba serikali UNK hatua mapema tanzania itaelekea pabaya
hawa watu wanapata fedha hizo kutoka nje ya nchi haiwezekani wawe wanatoa misaada ya mabilioni ya fedha kila mara kutoka mifukoni kwao nchi UNK sasa na watu wachache nasisitiza serikali kuwa macho na kufanya utafiti kuhusu vyanzo vya fedha vya watu hao alisema bwana ngawaiya bila kuwataja majina
bwana ngawaiya alihoji ukimya UNK na kitengo cha usalama wa taifa wakati nchi UNK na watu wachache na kufafanua kuwa kutokana na hali hiyo baadhi ya mataifa yameingia katika migogoro kutokana na hali hiuyo ya kutoa UNK ya kifedha lakini chanzo cha fedha hizo hakijulikani
katika hatua nyingine bwana ngawaiya alisema anashangazwa na baadhi ya viongozi wanaomsema vibaya rais wa awamu ya tatu bwana benjamini mkapa kuhusu mambo UNK kufanya katika kipindi cha uongozi wake wakati alifanya mambo mazuri
kama mkapa UNK kugombea tena baada ya kipindi cha miaka kumi baada ya kumalizika kwa uongozi wa rais kikwete watanzania wangemkubali na kumchagua kwa sababu kipindi anaingia madarakani UNK hata senti tano benki kuu ya tanzania lakini alikaa na kupanga mipango ambayo ni imara mpaka kukawepo kwa fedha za kutosha ambazo ...
alisema anashangaza na jinsi watu UNK UNK uchumi nyuma pamoja na UNK mambo mbalimbali bila kufikiria alipoingia madarakani ni mambo mangapi UNK
bwana ngawaiya alisema kuwa viongozi wanaotoa visingizio kwa ajili ya kumchafua mzee wa watu wamwache UNK
kambi ya ulipaji fidia kwa wakazi wa kipawa dar es salaam imefungwa rasmi mwishoni mwa wiki baada ya watu mia nane na sitini na moja kulipwa jumla ya shilingi bilioni kumi na tatu tano ba matukio manane ya udanganyifu wa malipo
baada ya kufungwa kwa kambi hiyo na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evance balama malipo kwa watu waliosalia yatafanyika kati ya novemba ishirini na sita na ishirini na nane katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam na baadaye hundi UNK na wadai wengine wataendelea kulipwa kwa utaratibu mpya
tumeamua kufunga kambi ya ulipaji baada ya kuona idadi ya watu imepungua hivyo kutokana na watu kutojitokeza hali inayoashiria pengine kumalizika kwa UNK lakini kazi hiyo itaendelea novemba ishirini na sita hadi ishirini na nane mwaka huu alisema bwana balama
alisema wakazi mia tatu na sitini wanaodai shilingi nne mia tano na thebathini na nane mia nane na sabini na mbili mia moja na kumi na nne ambao kati yao ishirini na tano ni wa UNK iliyofunguliwa kati ya oktoba ishirini hadi novemba kumi na tatu mwaka huu ambazo ziko mahakamani na kuwataka wanaodhani wana madai halali...