text
stringlengths
1
1.32k
ulipwaji wa fidia ulianza oktoba kumi na tano mwaka huu UNK wakazi moja mia mbili na ishirini na moja UNK jumla ya shilingi kumi na nane sifuri tano nne mia tatu na arobaini na sita sifuri sifuri sifuri ikiwa ni fidia za majengo na mali zilizokuwa katika eneo hilo wakati wa udhamini ili kupisha upanuzi wa uwanja wa nd...
hata hivyo alisema shughuli hiyo UNK na wajanja ambao katika malipo yanayoendelea watatakiwa kwenda katika eneo zilipokuwa nyumba zao UNK
akizungumzia kesi nane za udanganyifu katika malipo ambazo upelelezi unaendelea bwana balama alisema kuwa baadhi yao UNK fedha katika hundi zao tofauti na inavyotakiwa kwa kuzidishiwa kiwango vitendo UNK kufanywa na watendaji waliofanya kazi hiyo ya UNK
aliwaomba wakazi UNK kuondoa mali zao katika eneo hilo ndani ya muda wa notisi waliopewa badala ya UNK nyumba zao kubomolewa kwa nguvu baada ya siku arobaini na tano za notisi kumalizika na hakutakuwa na mjadala mpya isipokuwa kuendelea na upanuzi wa uwanja huo
waziri mkuu bwana mizengo pinda ametoa siku tatu kwa mhandisi ya maji wilayani newala kutatua tatizo la maji ambalo ni kero kwa wananchi
ametoa kauli hiyo juzi wakati akijibu hoja za wakazi wa mji wa newala kuwa kabla hajaondoka mkoani humo jumanne apatiwe ufumbuzi kuhusu tatizo la maji katika wilaya hiyo
katika watu sita UNK maswali watano waligusia tatizo la maji na umeme katika mji huo jambo UNK bwana pinda na kusema haelewi ni kwa nini wananchi hao wanateseka wakati rais jakaya kikwete alihangaika kutafuta jenereta la kuwasha pampu za kusukuma maji kutoka chanzo cha mkunya wilayani humo lakini UNK UNK siku tatu zil...
rais kikwete amehangaika kutafuta jenereta hadi UNK kule UNK limekuja siku nyingi na hela za mafuta shilingi milioni thebathini zilikuwepo waliposikia waziri mkuu anakuja ndipo UNK alisema huku akishangiliwa na wakazi hao
alisema kwa jitihada za rais kama kweli injinia huyo alikuwa ana nia ya kuwasaidia wananchi hilo tatizo lilipaswa kuwa limeisha kwa asilimia kubwa sana
asubuhi wakati naenda kukagua chanzo cha maji cha mkunya UNK na mabango UNK maji ni mradi wa wakubwa
UNK UNK mkazi kuwa nataka aweke ratiba ya kugawa maji na UNK kwenye UNK vya maji ili watu wote wapate kwa bei nafuu alisisitiza
alisema mtaalamu mzuri ni yule mwenye kuhangaika usiku na mchana kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kumtaka mhandisi mkazi wa maji katika mradi wa maji makonde injinia bernard UNK atafute ufumbuzi wa tatizo la maji katika kijiji cha UNK
kabla UNK mkoa huu ninataka kujua hatua gani zimechukuliwa kutatua tatizo hili
wakati wa majumuisho tarehe ishirini na nne nitapenda kupata taarifa alisema waziri mkuu huku akishangiliwa na wakazi hao
alisema amepata taarifa kuwa wako watu wachache UNK maji na UNK katika visima vyao ili wayauze kwa wananchi wengine kwa shilingi hamsini sifuri kwa ndoo moja na wengine UNK maboza na kupita mitaani wakijifanya wasamaria wema kwa kuuza maji hayo kwa shilingi hamsini sifuri hadi sabini sifuri kwa ndoo moja
waziri mkuu ambaye jana alikuwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani mtwara alisema amejifunza mengi katika ziara ya mikoa ya lindi na mtwara na anaondoka akiwa na changamoto ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake umefikia wapi
nina timu yangu ambayo kila baada ya miezi mitatu huwa inafuatilia maagizo UNK katika ziara ole wenu warudi na kukuta tatizo la maji kule mkunya halijaisha na maboza bado yanauza maji hapa mjini UNK
alisema anatambua mtihani mkubwa unaoikabili wilaya hiyo kuwa ni ubovu wa mfumo wa mabomba ya kusambazia maji kwani mengi yamechakaa na ndiyo maana akasisitiza kuwepo kwa mgao baina ya vijijini na mji wa newala ili watu wote wapate kidogo kidogo
katika mkoa wa mtwara wilaya yenye kiwango cha chini cha watu wanaopata maji safi ni newala ambapo asilimia ishirini tu ya wakazi wake wanapata maji safi
chama cha wazalishaji chumvi nchini UNK serikali kufuta kodi katika uingizaji wa madini joto na kuitoa kama ruzuku ili wazalishaji wadogo waweze kuichanganya vema na kupata chumvi yenye ubora unaokubalika kimataifa
mwenyekiti wa taifa wa UNK bwana habib nuru alisema juzi kwenye mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mjini hapa kuwa moja ya matatizo UNK wazalishaji wa chumvi nchini ni upatikanaji wa madini joto ambayo yana umuhimu mkubwa kabla chumvi UNK mtumiaji
madini joto UNK nchini UNK ushuru wakati fulani UNK serikali UNK sasa tunataka utaratibu huu uwe wa kudumu ili UNK wa madini joto haya kwenye chumvi ufikie viwango kwa wazalishaji mashambani alisema bwana UNK
matatizo mengine ni wingi wa kodi katika uzalishaji wa chumvi ambayo serikali katika ukusanyaji wa kodi UNK bidhaa hiyo kama madini mengine UNK ardhini wakati ni moja ya viungo vya chakula kwa UNK ya binadamu
akifungua mkutano huo katibu tawala wa mkoa wa tanga bwana paul UNK alikipongeza chama hicho kwa kubeba jukumu la kulinda afya za UNK kwa kusimamia ubora wa uzalishaji wa chumvi iliyowekwa madini joto kuwakinga watumiaji na UNK makubwa yatokanayo na ukosefu wa madini joto katika mwili wa binadamu
hata hivyo katibu tawala huyo alikiri kwamba mojawapo ya changamoto walizokuwa nazo ni kuhakikisha kwamba madini joto ambayo ni ghali katika soko la dunia lakini wanatakiwa kuwa na taratibu mbadala za kuyafikisha kwa wazalishaji wote nchini ambao wengi wao ni wazalishaji wadogo
rais jakaya kikwete ametakiwa kutoa nafasi za uongozi kwa vijana sasa na si kusubiri mpaka atakapochaguliwa tena awamu nyingine kwa kuwa ilikuwa ahadi yake kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri tano mwenyekiti wa nccr mageuzi bwana james mbatia aliyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kadi ya ...
bwana mbatia alisema rais kikwete anatakiwa kutimiza ahadi yake ya kutoa uongozi kwa vijana katika serikali kuanzia sasa ili kutoa fursa kwao kulitumikia taifa lao na kuleta mabadiliko katika sera za maendeleo ya taifa
hatuwezi kuendelea kusema vijana ni taifa la kesho wakati kuna baadhi ya wazee hawataki kuwaachia nafasi za uongozi
rais kikwete alipoingia madarakani vijana wengi walikuwa na matumaini makubwa ya kupata uongozi lakini hali imekuwa tofauti
akizungumzia viongozi UNK madaraka bwana mbatia alisema ni vyema UNK mfano wa UNK wao akiwemo mwalimu julius nyerere ambaye UNK madarakani akiwa na umri wa miaka sitini na tatu alisema wakati watanzania zaidi ya milioni kumi na sita ni maskini wa kutupwa wakiishi chini ya dola moja kwa siku viongozi waliopo madarakani...
akizungumzia hatua ya bwana kafulila kujiunga na chama hicho bwana mbatia alisema kutoka chama kimoja cha mageuzi kwenda chama kingine cha mageuzi ni kuendeleza mageuzi kwa kuwa UNK wananchi walewale
akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa nccr mageuzi yenye namba laki mbili na elfu thebathini na saba na mia tisa na themanini na tatu bwana kafulila alisema dhamira yake ya kujiunga na chama hicho ni kuleta mapinduzi katika siasa na si UNK
alisema tangu akiwa mtoto amekuwa na ndoto ya kuleta mapinduzi katika mfumo wa siasa nchini kwa kutoa mchango katika ujenzi wa demokrasia ya kweli
alisema vyama vya upinzani vinatakiwa kukubali kukosolewa pale UNK ili kujenga maamuzi imara ikiwa ni pamoja na kufikia malengo yao ya kuwatumikia watanzania
ni vyema kuona kuwa mtu UNK anapinga hoja yako si wewe UNK hivyo basi UNK ili kukubaliana kwa pamoja alisema bwana kafulila
bwana kafulila ambaye alishatangaza azma yake ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kigoma kusini alisema amejiunga na chama hicho kwa ridhaa yake na ya wapiga kura wake na si shinikizo la mtu yeyote
alisema chama cha mapinduzi kimeshindwa kusimamia rasilimali za nchi katika kuleta maendeleo ambapo kumekuwa na ongezeko la umaskini kutoka asilimia kumi na moja mwaka ishirini sifuri tano mpaka kumi na mbili saba mwaka huu
sekta binafsi zimetakiwa kuwekeza katika miradi ya kupunguza gesi joto zinazotokana na takataka ili kujiongezea kipato na kushiriki katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya nchi
wito huo umetolewa na kaimu mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini bwana raymond mbilinyi wakati akifungua mkutano wa kuhamasisha uwekezaji katika miradi ya kupunguza gesi joto uliofanyika jijini dar es salaam mwishoni mwa wiki
kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi UNK dunia hivi sasa ni fursa pekee kwa sekta binafsi kuwekeza katika sekta hiyo ili iweze kushiriki kikamilifu katika kupunguza gesi joto na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya nchi alisema bwana UNK
bwana mbilinyi alisema kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi inayoendelea UNK dunia tic imeamua kuangalia na kuishawishi sekta binafsi kushiriki katika kuanzisha miradi ya kupunguza gesi joto
alisema nchi nyingi zimekumbwa na mabadiliko ya hali ya nchi ikiwemo tanzania hivyo dunia nzima imeanza kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na hali hiyo ikiwemo kuanzisha miradi itakayoweza kusaidia kukabiliana na hali hiyo
nchi nyingi zimekumbwa na mabadiliko ya hali ya nchi ikiwemo tanzania kama vile kule manyara mifugo inakufa kwa njaa kwa hiyo ni muhimu kuangalia ni jinsi gani tunaweza kukabiliana na hali hiyo alisema
alisema tayari tanzania ina mradi mkubwa mmoja ambao pia ni wa kwanza afrika kufikia katika hatua ya juu ya utekelezaji katika kupunguza gesi joto nchini
bwana mbilinyi UNK mradi huo ni ule wa dampo la mtoni ambao tayari kwa sasa hatua za awali zimekamilika na kinachosubiriwa ni fedha za utekelezaji
naye afisa mtendaji mkuu wa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais bwana UNK manyika alisema tanzania imejipanga na msimamo wake UNK katika mkutano unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni huko copenhagen denmark kuhusu njia za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa baada ya mkataba wa UNK mkutano huo wa copenhagen u...
bwana manyika alisema tanzania ni wadau muhimu katika mkutano huo na walipewa majukumu likiwamo la kujenga uwezo katika nchi zinazoendelea ili ziweze kushiriki UNK katika kupunguza mabadiliko ya hali ya nchi na tayari UNK kazi
jukumu jingine ni upunguzaji gesi joto kupitia sekta ya misitu ambalo tayari UNK msimamo wa kuisemea afrika
aidha aliwataka wadau wa miradi ya kupunguza gesi joto kwenda sanjari na maendeleo ya nchi kwa kuzingatia sheria za nchi na zile UNK mazingira na sera UNK
naye mtafiti wa masuala ya UNK kutoka shirika la umoja wa mataifa UNK mazingira nchini denmark daktari UNK ngara aliipongeza tanzania kwa kuwa mfano mzuri wa kwanza katika kuanzisha miradi ya kupunguza gesi joto na hasa katika mradi wa dampo la mtoni
wasomi katika nyanja za uchumi na siasa UNK juu ya ushirikiano wa soko la pamoja UNK ijumaa baina ya nchi wanachama wa jumuiya ya mashariki UNK nafasi ya tanzania ili iweze kunufaika na kuendeleza ustawi wa uchumi
wakizungumza na gazeti hili jana wasomi hao pamoja na kukubaliana na hatua hiyo ya kimaendeleo walitoa tahadhari kuwa tanzania kwa nafasi yake na eac kwa ujumla inapaswa kuchukua hadhari katika masuala kadhaa ili kudumisha malengo mazuri ya kuendeleza nchi hizo kiuchumi
profesa samwel wangwe alisema tanzania inapaswa kuwa makini na sehemu ambazo inapaswa kujizatiti na kuchagua masuala yapi yaanze kuingizwa na kufanyiwa kazi katika ushirikiano huo na mengine UNK ili nchi iweze kujipanga vizuri
alisema ili nchi iweze kushindana vizuri na kunufaika na fursa zitakazopatikana katika soko la pamoja ambapo kutakuwa na uhuru wa biashara na ajira ni muhimu nchi UNK maeneo ambayo yanahitaji kujipanga kwanza na hatimaye UNK baada ya muda ili UNK uwezo wa kushindana
kitu cha kwanza ni kwamba jambo hilo ni kitu kizuri ambapo kutakuwa na wigo mpana wa kufanya na kuendeleza biashara ingawa bado kuna watu wana wasiwasi na baadhi ya masuala kama vile ardhi ambayo bila shaka tunadhani UNK utaratibu mzuri ili UNK matatizo
kwa mfano hata katika muungano wetu hapa huwezi kutoka tu ukaenda kununua ardhi zanzibar lazima kuwepo na utaratibu fulani
lakini lazima tuangalie na kuchagua sehemu UNK kujizatiti na kujikita vizuri kwanza ili tuweze kushindana kweli UNK muda wa kujipanga kwanza
tuangalie skills zipi zianze zipi UNK
sio kwamba tujipange UNK hapana UNK wenzetu katika hili UNK miaka miwili au mitatu baada ya muda huo tunakuwa tumejiandaa kikamilifu alisema profesa wangwe
akizungumzia suala la mgawanyo wa uzalishaji wa bidhaa profesa wangwe ambaye alipata kuwa mwenyekiti wa kamati ya kukusanya maoni juu ya ama kuharakisha shirikisho la kisiasa la eac au la alisema hilo UNK lenyewe bila UNK kupangwa
alisema kama nchi mwanachama ana uwezo wa kuzalisha bidhaa fulani UNK vizuri kwa mfano tanzania inavyoweza kuzalisha ndizi huko bukoba au konyagi inapaswa kuendelea kuongeza ubora kwa kuwa kizuri UNK
kwa upande wake profesa ibrahim lipumba alisema kuna ulazima wa wananchi kushirikishwa kwa kuanzia na ngazi ya chini ili kila mmoja aweze kujua soko la pamoja ni kitu gani na namna gani litaweza kusaidia maisha ya mtu wa kawaida mpaka wa juu
pia alizungumzia suala la misingi imara ya kisiasa kwa kuepuka migogoro akisema kuwa hilo lina umuhimu mkubwa kwa sababu ndilo UNK mustakabali wa ushirikiano wa soko la pamoja baina ya nchi za eac na malengo mazuri UNK
mpaka sasa wananchi UNK ni kitu gani hasa kinaendelea sasa ili tuweze kupata ushirikiano na maridhiano ni vyema wananchi wakapewa taarifa juu ya masuala haya ili waweze kutoa ushiriki wao ipasavyo tukiwa tunasubiri hayo masuala ya free movement of labour na freedom of UNK
lakini pia suala la misingi imara ya siasa na demokrasia ni muhimu
migogoro hasa ya kisiasa UNK masuala mazuri
ukiangalia kenya bado kuna matatizo ya mungiki na wakimbizi wa ndani UNK hawana makazi nchini humo
hapa tanzania wazanzibar wamekuwa wakisema wazi kuwa mambo mengi yanayozungumziwa katika eac wao hawana ushirikishwaji wa moja kwa moja
hivyo ni muhimu tukawa na mifumo ya kidemokrasia inayolingana ili isije UNK malengo mazuri alisema profesa lipumba ambaye ni UNK wa masuala ya uchumi
profesa mwesiga baregu alisema zipo changamoto ambazo eac inapaswa UNK ili iweze kufanikisha malengo ya soko la pamoja ambapo alisisitiza suala la mgawanyo wa uzalishaji wa bidhaa kama ilivyokuwa katika jumuiya iliyokufa kwa kufuata makubaliano ya kampala
alisema uzalishaji ndio UNK biashara hivyo tanzania na eac kwa ujumla hazina budi kujikita katika sehemu hiyo kwa kuvipatia umuhimu viwanda na kilimo ili kujenga soko la bidhaa zao wenyewe
uzalishaji ndio UNK eac hapa UNK
ili tuweze kutumia soko kubwa la eac lazima UNK sisi wenyewe sio bidhaa za kutoka sehemu nyingine
ni vyema kujua nani UNK nini kulingana na uwezo wake
tukizungumzia hali ya siasa kama UNK hilo nalo lina umuhimu wake
ukiangalia rwanda wana katiba mpya kenya wamekuwa UNK bila kufika mwisho burundi bado uganda hali kadhalika hapa tuko nyuma pia
maana yake ni kuwa hatuna utamaduni wa kisiasa unaofanana kama wenzetu wa ulaya ambao majuzi wamesaini makubaliano ya lisbon kwa kuwa katiba zao zinaendana na ile UNK katika jumuiya alisema profesa baregu ambaye amebobea katika masuala ya siasa na uhusiano wa kimataifa
tahadhari hiyo ya wasomi hao imekuja siku chache baada ya wakuu wa nchi wanachama wa eac kutia saini itifaki ya makubaliano ya soko la pamoja ambapo inahusu UNK mbalimbali kama vile uhuru wa biashara ajira na UNK
akizungumza na waandishi wa habari mara bada ya wakuu wa nchi kusaini makubaliano hayo waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana UNK kamala alisema kuwa masuala mbalimbali yaliyoko katika itifaki hiyo yatakayoanza rasmi julai mwakani yatatekelezwa kulingana na sheria za kila nchi
akizungumzia masuala kadhaa kama vile ajira uhamiaji na umiliki wa ardhi alisema mbali ya kufuata sheria na taratibu za kila nchi husika bado nchi mwanachama ina uhuru wa kukubali au la
kusainiwa kwa itifaki hiyo kunafanya idadi ya masuala UNK katika mkataba wa eac mpya ambayo yamekwisha kusainiwa kufikia mawili kati ya manne kama inavyoelezwa katika kifungu cha tano cha mkataba huo
la kwanza lilikuwa ni ushuru wa UNK
wananchi wa makwalu na ndavindavi kata ya mtibwa katika wilaya ya mvomero wamekumbwa na hofu kiasi cha kushindwa kwenda shambani wakiogopa kundi la wafugaji wa asili ya kimang ati baada ya mwenzao bwana duseni mejaragili kuuawa na mkulima mmoja kwa kukatwa na jembe kichwani
tukio la mauaji hayo lilitokea UNK kumi na sita ishirini sifuri tisa baada ya mfugaji huyo kuingiza mifugo kwenye shamba la mkulima huyo na kula mazao yake na alipojaribu kumhoji mfugaji huyo alichampa fimbo mbili mbavuni zilizompa hasira naye akaamua kumkata na jembe kichwani na kufa
mwenyekiti wa kijiji cha kunke bwana joseph kihombo amekiri kuwepo kwa hofu miongoni mwa wananchi wake katika vitongoji vya makwalu ndavindavi na kunke wanaolima huko kutokana kundi la wafugaji kuingiza ovyo mifugo mashambani na kuharibu mazao na kuchafua kisima cha maji ya kunywa
katika kikao nilichofanya nao nimewaambia kama walivyokuja kinyemela waondoke hivyo hivyo kabla sijachukua hatua za kisheria kuliko kuwatisha wananchi wasilime wakati mkoa umefanywa ghara la chakula
nimewauliza kwa nini wamekuja kwa wingi baada ya taarifa za kuuawa mwenzao wamesema wanatafuta nggombe wao sitini UNK na nilipowauliza sababu za kuvamia na mifugo mingi na kuharibu mazao na kuchafua kisima cha maji ya kunywa walinyamaza kimya alisema bwana kayombo
wakati huo huo wananchi wa mgongola wakiwemo wafugaji wenye asili ya kimasai wameweka pingamizi mahakamani kutokana na eneo lao lililotengwa kwa ajili ya mifugo kupewa vigogo na watu wenye uwezo kutoka nje ya mkoa watumie kwa kilimo cha mpunga kwa kisingizio cha kaulimbiu ya kilimo kwanza
mmoja wa viongozi wa wafugaji aliliambia majira kwamba vurugu nyingi na za mauaji kati ya wafugaji na wakulima zinasababishwa na viongozi wa chama tawala au wa serikali kukiuka ahadi zao wakati wa kampeni wakishapata UNK husahau ahadi zao alisema
mkuu wa jeshi la polisi mtaafu omary mahita amesema chuo kikuu cha kiislamu morogoro UNK kuajiri wahadhiri kwa imani za kidini bali UNK kigezo cha ubora wao
akizungumza katika mahojiano na majira wakati wa mahafari ya pili ya chuo hicho jana bwana mahita alisema kama uongozi wa chuo hicho utakubali kuajiri wahadhiri wazuri pasipo kujali imani zao za kidini elimu inayotolewa na chuo hicho itaendelea kuwa bora nchini
alisema kuwa kama uongozi wa chuo hicho utakuwa na msimamo wa kidini na kungganggania kuwa wahadhiri wake ni lazima wawe waislamu bila kuzingatia uwezo wao wa kufundisha malengo ya chuo hicho ya kutoa elimu bora yenye kuwawezesha wahitimu kumudu ushindani wa soko la ajira UNK
kama tunataka vijana wetu wapate elimu bora kama UNK na ili waweze kushindana na wahitimu wa vyuo vikuu vingine ni lazima uongozi usiangalie imani ya walimu na kama UNK imani ya kidini nadhani hatuwezi kufanikiwa alisema mahita
alisema ili kuweza kuajiri wahadhiri wa aina hiyo ni lazima waislamu kote nchini kukisaidia chuo hicho kwa hali na mali kwa kuwa wahadhiri wa aina hiyo wanapaswa kulipwa vizuri haki zao zote kuishi mahali pazuri na kuwa na vitendea kazi vya kutosha ikiwemo vifaa vya kufundishia na maabara za uhakika
mfanyabiashara wa temeke yombo bwana daniel UNK amefikishwa mahakamani akidaiwa UNK watu watatu UNK kuwatafutia ajira ndani ya jeshi la polisi
mshitakiwa huyo alifikishwa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni mbele ya hakimu bwana ferdnand UNK alidaiwa kuwa aprili ishirini na tatu mwaka huu eneo la hospitali ya magomeni UNK mohamed hassan shilingi sitini sifuri sifuri sifuri sifuri kwa makubaliano kuwa atampa kazi polisi
katika shtaka jingine mtuhumiwa huyo huyo anadaiwa kumtapeli bwana pius UNK shilingi sitini sifuri sifuri sifuri sifuri pia kwa ahadi ya kumpa ajira polisi
mtuhumiwa huyo pia alifikishwa mbele ya hakimu bibi hilda lyatuu akidaiwa kuomba shilingi milioni mbili tatu kutoka kwa bwana omari UNK akitumia njia hiyo hiyo kuwa UNK ajira katika jeshi la polisi jambo ambalo si kweli
wakati huo hu o mkazi wa tabata kimanga bwana peter john amefikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kuiba fedha katika mashine ya kutolea hela ambako alijipatia shilingi milioni nne sita kutoka kwenye akaunti ya mtu mwingine
wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania wameunga mkono kauli ya waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa kuwa serikali haitavumilia kukaa kimya na UNK mwekezaji katika kampuni hiyo rites kutoka india kufanya kazi anavyotaka huku ufanisi ukiendelea kudidimia