text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kauli hiyo imekuja siku chache baada ya daktari kawambwa kutembelea shughuli za maendeleo katika stesheni ya reli za tabora na mpanda na kuzungumza na abiria baada ya kushuhudia shehena ya mahindi katika ghala la serikali UNK kusafirishwa kwenda mikoa mbalimbali inayokabiliwa na njaa |
kutokana na kauli hiyo wafanyakazi walio katika vitengo mbalimbali trl makao UNK walisema kuwa kauli hiyo imewapa nguvu katika utendaji kazi wao |
walisema kuwa kauli kama hizo ndizo zinazotakiwa kutamkwa kama kiongozi wa serikali na sio kutegemea michango ya mawazo ya wengine |
mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa kuhofia uongozi alisema kuwekwa hadharani kauli ya serikali kutasababisha hata menejimenti ya trl kueleza bayana sababu za kuipa serikali notisi ya siku sitini huku wakitishia kusitisha ubia wao |
daktari kawambwa alikaririwa na gazeti moja akisema kuwa hadi sasa wanaendelea na mazungumzo na rites kuhusu utendaji wake na migogoro inayoendelea lakini hakuna mwelekeo mzuri wa makubaliano hayo kwani kumejitokeza baadhi ya maeneo kuwa UNK |
aliongeza kuwa endapo muafaka kamili UNK ndani ya mazungumzo hayo serikali itachukua jukumu la kurejesha kampuni hiyo trc na kuliendesha wenyewe ili kuepuka hasara na adha UNK mara kwa mara kwa abiria na wafanyakazi |
wakazi wa mabondeni katika eneo la jangwani wametakiwa kuhama ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea wakati wa mvua zinazonyesha na kuepukana na maafa na magonjwa ya mlipuko UNK kipindupindu |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama kuwa watu hao wanatakiwa kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa bwana william lukuvi ili kuepuka usumbufu katika kipindi cha mvua hasa zile za el nino UNK kunyesha wakato wowote |
wanatakiwa kuondoka eneo hilo kwa kuwa maji ya mvua zinazoendelea kunyesha yanaingia ndani hivyo ugonjwa wa kipindupindu unaweza kuenea kwa kasi sana alisema bwana balama |
baadhi ya wakazi wa eneo hilo walisema kuwa hawataondoka eneo hilo kwa bila fidia kwa sababu hawana mahali pa kwenda na wameishi hapo kwa miaka thebathini na mbili mkazi mmoja wa eneo hilo bwana UNK omary alisema kuwa kama kama serikali inawataka waondoke eneo hilo UNK fidia za nyumba na mali ili watafute eneo lingine... |
alisema sisi hapo UNK kwani hakuna mvua inayoweza kunyesha na kutuzuia kulala ndani ya nyumba zetu walidai wakazi hao |
rais jakaya kikwete atakuwa kuwa mgeni rasmi katika baraza la idd al hajj inayotarajia kufanyika nchini kote novemba ishirini na nane mwaka huu |
akizungumza dar es salaam jana na waandishi wa habari kaimu mufti wa tanzania sheikh ismail habibu alisema kuwa sherehe hizo zitafanyika kitaifa jijini dar es salaam |
alisema kuwa swala ya idd itafanyika katika msikiti wa UNK uliopo bakwata makao makuu kinondoni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kufuatiwa na baraza la idd saa tatu asubuhi |
sheikh habibu alisema kuwa UNK wa mwezi dhul hajj umeonekana novemba kumi na nane mwaka huu na kuashiria kuanza kwa mwezi mtukufu wa dhul hajj mfungo tatu |
bakwata inapenda kuungana na waislamu wote nchini katika kusherekea sikukuu ya idd al hajj na kuwataka waumini kutimiza nguzo za ibada alisema sheikh habibu |
aliwataka waumini nchini kusherekea sikukuu kwa amani na kuhakikisha inawalinda watoto wao ili wasipate majanga mbalimbali ambayo yanakuwa yanatokea katika kipindi cha UNK |
aliongeza kuwa bakwata imeimarisha ulinzi kuhakikisha usalama ili kuzuia kosa lililotokea mwaka jana ambapo rais mstaafu wa awamu ya pili al haji hassan mwinyi alipigwa kibao |
watu UNK kutokana na makosa tumejipanga vizuri na tunaamini UNK salama kama kuna mwenye nia mbaya atakamatwa kabla ya kukamilisha azma yake alisema sheikh habibu |
makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius msekwa amesema kauli ya rais wa zanzibar amani karume juu ya kurejea kwa amani visiwani na kuundwa serikali ya mseto ndiyo kauli ya chama |
akizungumza dar es salaam jana mara baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano wa UNK wa kirafiki kati ya ccm na chama cha UNK cha cuba bwana msekwa alisema haoni cha kuongeza juu ya kauli za rais karume |
rais karume ni makamu mwenyekiti kama mimi hivyo sioni cha kuongeza katika yale aliyosema UNK hayo na huo ndio msimamo na kauli ya chama chetu alisema bwana msekwa |
vyombo vya habari jana vilimnukuu rais karume akisema kuwa hatimaye amani ya kweli imepatikana zanzibar na kwamba siasa za chuki uhasama zimefikia mwisho wake visiwani humo na kuwa hatma ya kisiasa ya zanzibar iko mikononi mwa ccm rais karume alitoa kauli hizo juzi katika viwanja vya kibandamaiti zanzibar wakati akiwa... |
alilazimika kutoa kauli hiyo kutokana na kuwepo na shauku kutoka kwa wananchi wakitaka kufahamu nini UNK wakati wa kikao cha siri kati yake na katibu mkuu wa cuf seif sharif hamad ikulu ya zanzibar siku chache zilizopita |
rais karume aliiambia hadhara hiyo kuwa pamoja na kuwa maalim seif ndiye aliyeomba wakutane naye lakini ccm kama chama UNK maazimio na kutangaza kuwa milango ya ikulu iko wazi kwa majadiliano yanayolenga kuleta suluhu |
bwana msekwa alimwambia balozi wa cuba nchini bwana ernesto diaz kuwa kumekuwa na migogoro ya kisiasa visiwani zanzibar kila baada ya uchaguzi mkuu lakini ana matumaini hali hiyo UNK tena baada ya viongozi hao UNK |
naye balozi diaz akizungumza baada ya utiaji saini wa makubaliano ya uhusiano wa kirafiki kati ya ccm na UNK aliipongeza ccm kwa juhudi zake za kukuza amani nchini na kuimarisha mahusiano kati yake na vyama vingine |
alisema tanzania ina historia ya muda mrefu ya uhusiano wa kirafiki kati yake cuba hasa kutokana na mchango wa mwalimu nyerere na harakati zake za kupinga ukoloni na UNK |
rais fidel castro na mwalimu nyerere wamekuwa karibu kwa muda mrefu katika kupigania uhuru wa nchi zao ni katika uhusiano huo tanzania ilimpokea na kumhifadhi kwa muda mwanaharakati wa cuba UNK UNK alisema |
ujenzi wa nyumba na uendelezaji makazi kwa kutumia teknolojia ya kati inayopatikana kwa urahisi ndani ya nchi UNK nchi zinazoendelea kutengeneza ajira kulinda viwanda vya ndani na kupunguza matumizi ya pesa za kigeni |
UNK suala la makazi linapaswa kupewa kipaumbele na watunga sera katika nchi husika na kuwajali watu wasiokuwa na uwezo kuliko ilivyo sasa ili nchi husika iweze kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi |
hayo yameelezwa na mkurugenzi mtendaji wa shirika la umoja wa mataifa UNK na makazi duniani profesa anna tibaijuka katika kitabu chake kiitwacho UNK UNK UNK and UNK UNK katika kitabu hicho ambacho UNK leo huko nchini denmark profesa tibaijuka amezungumzia uhusiano uliopo kati ya ujenzi wa nyumba na makazi bora UNK kuc... |
uzinduzi wa kitabu hicho utakwenda sambamba na UNK wa tuzo maarufu ya masuala ya mazingira iitwayo goteborg ambayo umaarufu wake unakaribiana na ule wa tuzo maarufu ya amani ya nobel |
profesa tibaijuka ni mmoja kati ya watu watatu UNK tuzo hiyo leo ikiwa ni ishara ya kutambuliwa kwa mchango wao hasa katika kutafuta suluhisho kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili mazingira hususani hali ya ukuaji wa miji na makazi holela |
taarifa kwa vyombo vya habari kutoka un habitat nairobi kenya ilisema profesa tibaijuka ametoa ushauri huo kwa kuangalia fursa zinazoweza kupatikana katika UNK katika ujenzi wa nyumba kwa sababu itatoa fursa ya kutumia teknolojia ya nyumbani na ile ya UNK pale UNK |
kwa sababu ya kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira na maendeleo duni nchi zinazoendelea zinapaswa kuzingatia teknolojia ya kati inayopatikana maeneo waliyonayo karibu katika kujitimizia mahitaji ya ujenzi wa makazi ambayo yanaongezeka kila siku |
faida ya kutumia teknolojia inayopatikana katika maeneo ya karibu ni kwamba UNK viwanda vya ndani inapunguza gharama kutunza fedha za kigeni inatumia njia rahisi zenye manufaa inatengeneza na kuimarisha nafasi za ajira ndani ya nchi UNK profesa tibaijuka akisema katika kitabu hicho |
katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana ban ki moon alisema kitabu hiki kina mchango mkubwa katika mdahalo uliopo hivi sasa duniani kuhusu mchango wa sekta ya nyumba katika maendeleo ya uchumi |
UNK mapendekezo yaliyomo yatasaidia kupatikana kwa ustawi mkubwa duniani kote kwa ajili ya watu wasiokuwa na uwezo waishio mijini |
kitabu hicho kimekuja wakati dunia nzima sasa inazungumzia namna ya kuwa na makazi bora kwa sehemu ya mijini ikiwemo ujenzi wa nyumba na miundombinu ili kukabiliana wimbi kubwa la uhamaji wa watu kutoka maeneo ya vijijini kwenda mijini |
UNK kuwa kwa mwaka ishirini sifuri saba pekee na kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia idadi ya wakazi wa mijini imezidi ile ya watu wa vijijini |
hivyo nchi zinazoendelea zina changamoto ya kuwekeza katika makazi bora kwa ajili ya watu bilioni moja walioko katika makazi holela |
mwanamke fatuma nassoro mkazi wa kisiwani kigamboni amelalamikia kitendo cha kuzuiwa na walinzi wa ikulu na wale wa taasisi ya wanawake na maendeleo inayoongozwa na mke wa rais mama salma kila anapokwenda kueleza matatizo yake |
kinachomsumbua bibi huyo ni kutaka kumwomba rais jakaya kikwete au mkewe mama salma UNK fedha za kulimia shamba lake la ekari tatu |
UNK kufika mara kwa mara kwenye ofisi za viongozi hao lakini sikupata msaada wowote kutokana na ugumu wa kuingia alilalamika |
akizungumza katika ofisi za majira jijini dar es salaam jana bibi nassoro alisema endapo viongozi hao UNK basi anaomba aonane na waziri wa kilimo chakula na ushirika bwana stephen wasira |
alisema shamba lake hilo limeshindikana kulimwa baada ya mume wake kufariki mwaka huu hivyo kufanya liendelee kukaa bila kulimwa wakati ndilo tegemeo kupata mazao ya chakula na kuuza ili kupata fedha za kujikimu kimaisha |
naomba ofisi husika UNK kuwaona viongozi hawa ili UNK shida yangu hiyo kwani shamba hili ndilo UNK na wajukuu wangu |
kitendo cha kukaa bila kulimwa kinasababisha UNK huku na kule alisema bibi nassoro |
gavana balali yalikuwa maji marefu kwake rais mkapa pekee angeweza kumwajibisha waziri wa fedha wa zamani bwana basil mramba amedaiwa kufahamu kilichokuwa kinaendelea katika ujenzi wa majengo pacha ya benki kuu ya tanzania lakini alishindwa kutoa uamuzi wa kumwajibisha gavana wa benki hiyo kwa sababu anateuliwa na kuw... |
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati mkurugenzi wa shirika la ndege la precision bwana michale shirika akitoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumi... |
shahidi huyo wa nne kwa upande wa mashitaka aliwahi kuwa mkurugenzi wa bodi katika benki hiyo tangu mwaka ishirini sifuri mbili hadi januari ishirini sifuri sita kipindi chake kilipomalizika baada ya kuteuliwa na waziri wa fedha wakati huo bwana mramba |
shahidi huyo alidai kuwa katika vikao vya bodi kulikuwa na taarifa zilizokuwa zikiwasilishwa na menejimenti ya benki zikionesha kuongezeka kwa matumizi katika mradi na waliomba bodi kuidhinisha pamoja na kuwa tayari matumizi hayo yalishafanyika |
shahidi alidai bodi haikuridhika na nyongeza ya matumizi katika mradi huo na walikuwa wakiidhinisha kwa sababu menejimenti ilikuwa ikitoa sababu mbalimbali |
alidai menejimenti iliiambia bodi kwamba isipoidhinisha malipo hayo hasara kubwa ingepatikana kutokana na jinsi mkataba na mkandarasi wa ujenzi majengo pacha ya bot ulivyokuwa |
mkurugenzi huo kwa kutoridhika kwake anadai aliamua kumtaarifu waziri mramba na kumuuliza kama wizara yake inafahamu na kuafiki matumizi hayo |
bwana shirika alidai waziri alijibu kwamba anafahamu matumizi hayo lakini gavana wa bot ndiye mwenye maamuzi na anawajibika kwa rais kwani ndiye aliyemteua |
bada ya hapo alidai kuwa hakuona sababu ya yeye kuendelea kuwepo katika bodi hiyo kwani alihisi hana mchango wowote hivyo alitaka kujiuzulu |
lakini baadaye alipata ushauri wa kutofanya hivyo kwa sababu kipindi chake kilikuwa kinakaribia kumalizika |
bwana shirika alidai hakuwahi kuuona mkataba wa ujenzi wa majengo hayo isipokuwa alikuwa akiona mapendekezo ya kuongezeka kwa matumizi yaliyokuwa yakipelekwa katika bodi na menejimenti |
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kwamba ni nani aliyekuwa akihusika moja kwa moja katika mapendekezo hayo shahidi bwana shirika alidai hakuna mtu maalumu aliyekuwa akihusika kwani yalikuwa yakiwasilishwa na menejimenti ya bot pia alidai bodi ilikuwa sahihi kuidhinisha matumizi hayo ya fedha na hakuna... |
mshitakiwa katika kesi hiyo anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea leo |
rais jakaya kikwete yuko nje ya nchi kwa ziara ndefu ya kikazi itakayomchukua takribani siku kumi ambako atahudhuria mikutano na kufanya mazungumzo rasmi katika nchi tatu tofauti huko amerika ya kaskazini na amerika ya kati |
katika ziara hiyo rais kikwete ambaye aliondoka nchini usiku wa UNK jumapili novemba ishirini na mbili ataanzia katika nchi ya jamaika ambako atatumia siku tatu kuanzia jumanne ishirini na nne kutokana na mwaliko na waziri mkuu wa nchi hiyo bwana UNK bruce UNK |
kwa mujibu wa taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ikulu rais kikwete ndani ya siku hizo tatu atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake bwana UNK atakutana kwa mazungumzo na gavana mkuu wa kisiwa cha jamaica UNK |
patrick allen kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la jamaika pamoja na kutoa UNK maalum kwenye chuo kikuu cha west UNK UNK kuu ya UNK |
kwa mujibu wa taarifa hiyo baada ya jamaica rais kikwete atahudhuria mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola huko trinidad na tobago kitakachoanza novemba ishirini na saba ishirini na tisa baada ya kuhudhuria mkutano wa jumuia ya madola rais kikwete atatembelea cuba kuanzia novemba thebathini hadi d... |
wakati wa ziara hiyo mheshimiwa rais kikwete atakutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake mheshimiwa rais raul castro ruz na kutembelea sehemu mbalimbali zinazohusiana na ushirikiano kati ya tanzania na cuba ilisema sehemu ya taarifa hiyo |
ziara za jamaika na cuba zimetajwa ni kuwa ni muhimu kwa ajili ya kudumisha ushirikiano wa muda mrefu katika nyanja mbalimbali za maendeleo baina ya tanzania na nchi hizo mbili za amerika ya kaskazini |
taarifa ilisema kuwa rais kikwete ni kiongozi wa tatu wa tanzania kutembelea jamaica kufuatia ziara za rais julius nyerere mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na nne na rais benjamin mkapa mwaka ishirini sifuri tano tanzania na jamaica zimekuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kirafiki na kindugu tokea miaka ya elfu moj... |
kwa upande wa uhusiano wa tanzania na cuba UNK kuwa zimekuwa na uhusiano wa kirafiki kindugu na wa karibu mno kwa miaka mingi UNK kwa karibu katika masuala mengi likiwemo lile la ukombozi katika afrika |
cuba pia imekuwa inatoa misaada katika nyanja za afya elimu kilimo na pia nchi hizo mbili zina tume ya kudumu ya pamoja ya ushirikiano |
jamhuri ya cuba pia inaendesha vyuo viwili vya udaktari katika zanzibar na pemba ilisema taarifa hiyo |
ng ombe zaidi ya thebathini sifuri sifuri wamekufa katika vijiji mbalimbali katika kata ya makuyuni wilayani monduli kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa ajabu UNK mifugo hiyo ambao unadaiwa kuletwa na mifugo ya nchi jirani iliyoingizwa nchini kwa ajili ya kutafuta UNK |
wananchi wengi katika kata hiyo wameiomba serikali iangalie namna ya kuwasaidia kwani wengi wao wamepoteza mifugo mingi ilihali nggombe wengine wanaendelea kufa kutokana na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huo UNK kwa jina la kienyeji kama UNK |
wakizungumza na waandishi wa habari waliotembelea eneo hilo wananchi hao walisema kuwa ugonjwa huo umeibuka katika kipindi cha kuanzia mwezi wa tisa mwaka huu hadi sasa ambapo umekuwa ukisababisha zaidi ya mifugo watano kufa kwa mara moja katika kila boma kwa siku moja |
baadhi ya wafugaji hao bwana abdilah UNK bwana omary said bwana yusuph abdi bwana UNK UNK bwana UNK ole mapii na bwana UNK UNK wameiomba serikali iwasaidie kwani hali hiyo imewafanya wawe masikini zaidi |
kweli UNK sana UNK tumepoteza mifugo wengi kwa wakati mmoja tulikuwa tunategemea mifugo kupeleka watoto wetu shule na kupata chakula sasa inakufa hatujui UNK tunaomba serikali UNK alisema bwana abdilah UNK |
wananchi hao wa vijiji vya UNK UNK zaburi makuyuni na UNK juu pia UNK lawama UNK wa mifugo wa wilaya hiyo ya monduli kwa kushindwa kutatua tatizo hilo kwa UNK wafugaji na badala yake wanashinda UNK |
bwana UNK ole mapii maarufu kama UNK mkazi wa kijiji cha zaburi ambaye ngombe wake zaidi ya hamsini sifuri wamekufa ameiomba serikali iangalie namna ya kuwasaidia akitolea mfano wa jinsi mifugo yake UNK na hadi sasa hajui cha kufanya |
gazeti hili lilishuhudia idadi kubwa ya mizoga mizoga ya ngombe ikiwa UNK katika maeneo mbalimbali ya vijiji hivyo hali iliyosababisha pia kuwepo kwa harufu mbaya ambayo inaweza kusababisha magonjwa ya milipuko endapo UNK katika maeneo hayo ya makazi ya watu |
watumishi wawili wa manispaa ya kinondoni wamefikishwa mahakama ya wilaya ya kinondoni kwa tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri kutoka kwa mmliki wa baa ya UNK iliyoko sinza dar es salaam |
mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana ronald manyiri aliambia mahakama mbele ya hakimu mkazi bibi sundi fimbo kuwa washitakiwa hao kwa pamoja walitenda kosa hili novemba kumi na sita na kumi na saba mwaka huu |
washitakiwa hao hassan makono na catherine semvua wanatuhumiwa kufanya kosa hilo wakati wakitekeleza majukumu yao mbalimbali ambapo walibaini kuwepo kwa vinywaji ambavyo muda wake wa matumizi ulikuwa umekwisha |
ilidaiwa kuwa baada ya kubaini kuwepo kwa vitu hivyo UNK mmliki wa baa hiyo bwana mabula masanja kuwapa shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri ili UNK hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufunga baa hiyo na kumnyangganya leseni |
bwana manyiri aliendelea kusema kuwa novemba kumi na saba mwaka huu saa kumi na moja jioni katika baa ya africa sana mshitakiwa hassan alipokea fedha hizo shilingi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri kama walivyokuwa UNK |
washitakiwa wote wawili walikanusha madai hayo na kurudishwa rumande kwa kukosa dhamana mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena desemba saba mwaka huu |
askofu kiongozi wa kanisa la moravian tanzania mhashamu alinikisa cheyo ameonya tabia ya viongozi wa dini kugeuza UNK za mahubiri kuwa sehemu ya kupiga siasa na hivyo kuwajeruhi waumini wanaotegemea hekima za mungu kutoka kwao |
askofu cheyo ambaye pia ni askofu wa jimbo la kusini magharibi alitoa ujumbe huo wakati wa ibada maalumu ya kuwapa baraka wachungaji ishirini ambapo alisema viongozi wa dini wanapaswa kutubu mbele za mungu kwa UNK haki watanzania |
alisema UNK UNK kwa ajili ya kutoa hekima na mafundisho UNK waumini mbinguni lakini ajabu ni kuwa watumishi UNK kuwa sehemu ya kupiga siasa na hivyo kuonekana wazi kuwa hasira ya mungu itashuka juu yao |
ninyi leo UNK kazini ili UNK kazi ya mungu nendeni UNK kundi la mungu na si UNK kama ambavyo baadhi wamekuwa wakifanya kutokana na misimamo yao isiyo ya UNK ambayo imekuwa ikiishia kuleta UNK katika jamii alisema |
aliwataka wachungaji hao na vingozi wa dini nchini kuhakikisha wanafanya kazi ya mungu kwa hofu kubwa huku UNK kutokana na kauli zao zinazotolewa wanapokuwa UNK UNK injili ya mungu |
baada ya mahubiri hayo mwenyekiti wa jimbo hilo mchungaji UNK UNK alisema kuwa ujumbe huo wa askofu hauwezi kupita bure bali kinachotakiwa ni kwa kila kundi na kiongozi wa kanisa kwenda katika eneo lake kwa ajili ya kutubu kutokana na dhambi ya kudharauliana na UNK ambayo alisema imefanywa na watu wengi |
alisema kuwa kwa kufanya hivyo itapatikana na tanzania yenye upendo mkubwa yenye uwezo wa kudumisha amani na utulivu kinyume na hayo itakuwa ni kukaribisha uvunjifu wa amani |
kaimu mkurugenzi wa wizara ya maliasili na utalii daktari ismail UNK amefikishwa mahakani akikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya ofisi na kuandaa ripoti ya uongo |
mshitakiwa huyo alifikishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu bwana paul UNK |
akisoma mashitaka mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana UNK nkya alidai mshitakiwa alitenda makosa hayo kati ya mei ishirini sifuri tano na machi ishirini sifuri nane inadaiwa katika mashitaka ya kwanza kwamba mei mbili ishirini sifuri tano mshitakiwa alitangaza mauzo ya magogo kinyume ... |
katika mashtaka ya pili inadaiwa machi kumi na saba ishirini sifuri tisa katika ofisi za makao makuu ya takukuru wakati wa uchunguzi mshitakiwa alitoa ripoti ya uongo akionesha kulikuwa na tangazo la mnada wa mazao ya misitu na nyuki uliokuwa unatakiwa kufanywa na kampuni ya aqeel traders ltd huku akijua ni uongo |
mshitakiwa alikana kutenda makosa hayo upelelezi wa kesi umekamilika na UNK maelezo ya awali desemba ishirini na tatu mwaka huu |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.