text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mshitakiwa yuko nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili waliosaini dhamana ya shilingi milioni moja |
waziri wa fedha wa zamani bwana basil mramba amedaiwa kufahamu kilichokuwa kinaendelea katika ujenzi wa majengo pacha ya benki kuu ya tanzania lakini alishindwa kutoa uamuzi wa kumwajibisha gavana wa benki hiyo kwa sababu anateuliwa na kuwajibika kwa rais |
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati mkurugenzi wa shirika la ndege la precision bwana michale shirika akitoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumi... |
shahidi huyo wa nne kwa upande wa mashitaka aliwahi kuwa mkurugenzi wa bodi ya bot tangu mwaka ishirini sifuri mbili hadi januari ishirini sifuri sita kipindi chake kilipomalizika baada ya kuteuliwa na waziri wa fedha wakati huo bwana mramba |
shahidi huyo alidai kuwa katika vikao vya bodi kulikuwa na taarifa zilizokuwa zikiwasilishwa na menejimenti ya benki zikionesha kuongezeka kwa matumizi katika mradi na waliomba bodi kuidhinisha licha ya kuwa tayari matumizi hayo yalishafanyika |
shahidi alidai bodi haikuridhika na nyongeza ya matumizi katika mradi huo na walikuwa wakiidhinisha kwa sababu menejimenti ilikuwa ikitoa sababu mbalimbali |
alidai menejimenti iliiambia bodi kwamba isipoidhinisha malipo hayo hasara kubwa ingepatikana kutokana na jinsi mkataba na mkandarasi wa ujenzi wa majengo pacha ya bot ulivyokuwa |
mkurugenzi huo kwa kutoridhika kwake anadai aliamua kumtaarifu waziri mramba na kumuuliza kama wizara yake inafahamu na kuafiki matumizi hayo |
bwana shirika alidai kuwa waziri huyo alijibu kwamba anafahamu matumizi hayo lakini gavana wa bot ndiye mwenye maamuzi na anawajibika kwa rais kwani ndiye aliyemteua |
bada ya hapo alidai kuwa hakuona sababu ya yeye kuendelea kuwepo katika bodi hiyo kwani alihisi hana mchango wowote hivyo alitaka kujiuzulu lakini baadaye alipata ushauri wa kutofanya hivyo kwa sababu kipindi chake kilikuwa kinakaribia kumalizika |
bwana shirika alidai hakuwahi kuuona mkataba wa ujenzi wa majengo hayo isipokuwa alikuwa akiona mapendekezo ya kuongezeka kwa matumizi yaliyokuwa yakipelekwa na menejimenti katika bodi |
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kwamba ni nani aliyekuwa akihusika moja kwa moja katika mapendekezo hayo bwana shirika alidai hakuna mtu maalumu aliyekuwa akihusika kwani yalikuwa yakiwasilishwa na menejimenti ya bot pia alidai bodi ilikuwa sahihi kuidhinisha matumizi hayo ya fedha na hakuna mtu ali... |
bwana liyumba anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea leo |
shirika la umeme tanzania tawi la magomeni UNK kigogo mmoja wa chama cha mapinduzi kata ya magomeni makuti kwa kosa uharibifu wa miuondombinu ya shirika hilo na wizi wa umeme |
inadaiwa kuwa kigogo huyo alikuwa akitumia umeme wa tanesco kwa zaidi ya miaka miwili kinyume cha sheria ndipo wasamalia wema walipokwenda kutoa taarifa za wizi huo katika ofisi za shirika hilo tawi la magomeni |
ofisa usalama wa tanesco mkoa wa dar es salaam bwana henry UNK alisema baada ya kupokea taarifa hizo walifanya uchunguzi na kubaini wizi huo ambapo juzi walikwenda katika eneo la tukio na kunggoa mita iliyokuwa ikitumiwa na kigogo huyo katika eneo lake la biashara mtaa wa UNK magomeni UNK |
alisema mita hiyo aina ya UNK ilikuwa na namba moja mbili tatu sifuri sita saba saba sifuri ambayo kigogo huyo alidai kuuziwa na mfanyakazi wa tanesco tawi la magomeni |
mtuhumiwa wetu tumemkamata leo na kumpeleka katika kituo kikuu cha polisi ambako tumefungua kesi yenye namba cd rb elfu kumi na mbili na mia nne na tisini na nne sifuri tisa na uzito wa kesi hiyo umepewa namba cd UNK mia nne na sitini moja sifuri tisa malipo kwa ajili ya fidia ya umeme uliokuwa akitumiwa na mtuhumiwa ... |
alisema kitengo chake kitaendelea kufanya kazi usiku na mchana ili kuwabaini wananchi wanaotumia umeme wa tanesco kwa njia wa wizi au kuharibu miundombinu ya shirika hilo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria |
meneja uhusiano wa tanesco bibi badra masoud aliahidi kufuatilia jambo hilo na kulitolea ufafanuzi badaye lakini akasema wananchi wanaotumia umeme kinyume cha sheria wanachangia kulifanya shirika hilo kukosa mapato |
wakati tahadhari ya mvua za el nino UNK wakazi wa eneo la bonde la mpunga msasani wilayani kinondoni wameingiwa na wasiwasi mkubwa juu ya usalama wa mali na maisha yao kutokana na kutokamilika kwa mfereji UNK na serikali |
eneo hilo limekuwa likijaa maji kila mvua UNK na kuleta usumbufu mkubwa ambao unatarajiwa kuongeza pindi mvua za el nino UNK lakini mamlaka husika hazijakamilisha mfereji UNK waziri mkuu bwana mizengo pinda alipotembelea eneo hilo |
akizungumza na majira ofisini kwake dar es salaam jana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni bibi lucy UNK alisema licha ya juhudi zinazofanywa na manispaa hiyo kusafisha mifereji hali katika bonde hili bado si ya kuridhisha |
tunajitahidi sana kutoa tope na mchanga lakini baada ya siku mbili tu mifereji hiyo UNK tena kutokana na mchanga na uchafu unaoletwa kwa wingi na maji kutoka maeneo mengine alisema |
alisema kuwa manispaa haina fedha za kutosha kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo bali kinachofanyika sasa ni kushirikiana na wakazi wa eneo hilo katika kusafisha mifereji ili kuruhusu maji kupita |
hata hivyo wahandisi wa manispaa kwa kushirikiana na wahandisi wa mkoa wameshafanya tathmini ya mradi wa ujenzi wa mfumo imara wa majitaka mahali hapo ambapo tayari UNK mapendekezo katika ofisi ya waziri mkuu alisema |
kwa upande wake mhandisi wa manispaa hiyo bwana faustine mosha alisema kinachofanyika sasa ni kusafisha mifereji katika bonde hilo wakati wakisubiri majibu ya mapendekezo yao |
eneo hili ni mkondo wa maji kutoka mwananyamala kijitonyama na makumbusho jambo ambalo linafanya shughuli ya UNK mitaro kuwa ngumu alisema |
aidha manispaa inaendelea kuhamasisha wakazi wa eneo hilo kuhama ili kuepuka athari zinazoweza kuwapata kutokana na mvua za UNK zinazotarajiwa kunyesha mwaka huu |
na rabia bakari ukata ndani ya jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi ndiyo UNK kufanyika uchaguzi wa jumuiya hiyo licha ya wagombea kuchujwa miezi sita iliyopita |
akizungumza kwa simu dar es salaam jana katibu wa itikadi na uenezi wa ccm kapteni mstaafu bwana john chiligati alisema hivi sasa wapo katika maandalizi ambapo baada ya maandalizi hayo kukamilika uchaguzi huo UNK |
uchaguzi mkuu katika jumuiya ya wazazi upo katika maandalizi UNK hivi karibuni utafanyika alisema kapteni mstaafu huyo ambaye pia ni waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi |
akitaja maandalizi hayo alisema kuwa ni pamoja na UNK usafiri kwa wajumbe wanaotoka sehemu mbalimbali nchini |
unajua wajumbe wengi wanatoka mikoani wanahitaji usafiri kula na kulala |
hivyo ni lazima kuwe na maandalizi ya kutosha ili kuweza kufanikisha uchaguzi huo |
pia ccm haina mpango kabisa wa kutaka kuivunja jumuiya ya wazazi naomba nieleweke hivyo alisema bwana chiligati |
awali ilidaiwa jumuiya hiyo ilishindwa kufanya uchaguzi mwaka jana kama UNK nyingine za umoja wa wanawake na umoja wa vijana kwa vile kaimu mwenyekiti wake bwana athuman mhina alikuwa mgonjwa |
bwana mhina ambaye UNK nafasi hiyo baada ya kusimamishwa na hatimaye kuondolewa kwa aliyekuwa mwenyekiti bwana UNK maregesi kwa muda mrefu alikuwa mgonjwa ambapo kuna wakati alilazwa katika hospitali ya taifa muhimbili |
mbali ya bwana mhina wagombea wengine waliopitishwa kuwania uenyekiti ni bwana abdallah bulembo na bibi esther UNK |
hatimaye mtuhumiwa wa kesi ya unyanyasaji mtoto anayedaiwa kumfunga UNK kwa mnyororo chooni bwana venance mwaipopo ameachiwa kwa dhamana baada ya kusota rumande kwa takriban miezi miwili |
mtuhumiwa huyo mkazi wa vijibweni kigamboni dar es saalam aliachiwa jana baada ya kupata wadhamini walioweka ahadi ya shilingi hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kila mmoja |
kesi ya mshitakiwa huyo iko katika mahakama ya mwanzo temeke mbele ya hakimu bibi rose UNK |
katika shtaka la kwanza bwana mwaipopo anadaiwa kumfanyia ukatili binti huyo kinyume na kifungu mia moja na sitini na tisa cha kanuni ya adhabu kwa kumfunga na mnyororo UNK |
shtaka la pili ambalo ni mbadala ni na shitaka la kwanza ni la kumzuia mtoto huyo isivyo halali kinyume na kifungu cha mia mbili na hamsini na tatu cha kanuni ya adhabu |
mshitakiwa yupo nje kwa dhamana ya watu wawili na bondi ya kiasi cha pesa shilingi laki tano kila mmoja |
kesi hiyo itaanza kusikilizwa tena januari ishirini na saba mwakani |
tukio hilo lilitokea septemba ishirini na sita nyumbani kwao vijibweni kabla ya kupata msaada kutoka kwa majirani waliomsikia akilia kuomba msaada baada ya kufungiwa chooni na mnyororo na wazazi wake ambaye ni baba yake mzazi na mama mlezi na kwenda sehemu isiyojulikana |
baada ya muda watu walisikia kelele na kukusanyika kwa lengo la kumsaidia ikiwa pamoja kutoa taarifa polisi hatimaye polisi walifika kumsaidia na kumpigia simu bwana mwaipopo na kufika nyumbani kwake na kukuta watu wakiwa UNK |
polisi walimkuta binti huyo akiwa amekaa kwenye tundu la choo walimchukua na kumpeleka kituo cha polisi |
waziri mkuu bwana mizengo pinda ameshangazwa na teknolojia ya kutengeneza njia ya umeme mkubwa bila kuzima nishati hiyo alipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya artumas katika ziara yake mkoani mtwara bwana pinda UNK vijana wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi ya kurekebisha nguzo katika njia ya msongo wa thebathini... |
wakati wa ziara hiyo ambayo aliongozana na mkewe mama tunu bwana pinda alionyesha UNK kama kweli kazi hiyo ilikuwa ikifanyika bila ya kuzima umeme |
jamani hii si hatari vijana hawa wanaweza kufa |
UNK kufanya kazi bila ya kuzima umeme |
alisikika akiuliza bwana pinda na kujibiwa na uongozi wa artumas kuwa kazi hiyo inawezekana kwa kuwa wanatumia vifaa maalumu na ujuzi ili kuzuia hatari yoyote |
katika tukio hilo ilielezwa kuwa tanzania inaweza kuokoa mabilioni iwapo teknolojia hiyo ya kufanya kazi katika njia kuu za umeme bila kuzima UNK |
meneja mkuu wa artumas group bwana richard taiton alisema teknolojia hiyo inayotumiwa na kampuni ya mc donald liveline inasaidia kuwaondolea usumbufu wateja wa mikoa kusini wakati UNK na kati |
matengenezo ya njia za umeme |
bwana taiton alisema kampuni hiyo UNK heshima artumas tangu kupewa kandarasi ya kujenga na kufanya marekebisho ya njia hizo kwani UNK mifumo ya miundombinu bila kuathiri watumiaji wa umeme |
UNK ni kwamba kampuni hii ni ya mtanzania na UNK kukuta teknolojia kama hii katika nchi kama tanzania alisema bwana UNK |
mkurugenzi wa kampuni ya mc donald liveline bwana donald mwakamele alisema kampuni yake ina uwezo wa kufanya kazi katika njia za msongo mkubwa kuanzia kilovoti kumi na moja hadi hamsini sifuri umeme UNK kwa ajili ya matengenezo kwa siku nzima ni viwanda vingapi UNK au ni vitu vya nyumbani vingapi vinaweza kuharibika h... |
hivyo alisema kuwa iwapo kampuni na mashirika yanayozalisha umeme UNK teknolojia hiyo tatizo la kukatika umeme nchini linaweza kupungua labda tatizo libaki kwenye uzalishaji |
bwana mwakamele alisema kwa sasa baada yatoa mafunzo kwa vijana wa kitanzania na kujijengea uwezo kampuni hiyo inaanza kutoa huduma katika mashirika mbalimbali ya umeme katika nchi za afrika mashariki ambako teknolojia hiyo UNK |
kampuni ya mc donald liveline UNK ni kampuni pekee inayotoa huduma kama hiyo katika ukanda wa afrika mashariki na kati |
halmashauri ya jiji la dar es salaam UNK kampuni ya east africa UNK UNK ambayo iliundwa ili ijenge machinjio ya kisasa katika eneo gongolamboto dar es salaam baada ya kushindwa kutekeleza majukumu hayo kwa kipindi cha miaka minane |
kampuni hiyo iliundwa na manispaa zote tatu za jiji la dar es salaam kila moja ikichangia shilingi milioni hamsini sifuri kampuni ya nico iliyotoa shilingi milioni kumi sifuri na UNK moja ya ujerumani ambayo ilikuwa UNK mashine za kiwanda hicho lakini ikashindwa na kukwamisha mradi huo |
hayo yalisemwa dar es salaam jana na naibu meya wa jiji hilo bwana ahmed mwilima katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ambapo walikubaliana kuivunja kampuni hiyo kutokana na kushindwa kufanya kazi hiyo |
tumefikia maamuzi haya katika kikao cha madiwani wa halmashauri wa jiji kutokana na kampuni hii ya ujerumani kushindwa kutimiza majukumu yake japo tulikuwa tunahitaji sana dar es salaam iwe na machinjio ya kisasa lakini imebidi UNK kampuni hii alisema bwana mwilima |
alisema kwa sasa halmashauri inafanya utaratibu wa kisheria ili kuona kama kuna madeni yanatakiwa kulipwa na baadaye kila mwanahisa achukue kilicho chake kutokana na UNK na kiwanja cha eneo hilo kubaki mali ya jiji |
hadi sasa katika eneo hilo la ambalo machinjio UNK hakuna shughuli inayoendelea na tayari wananchi wamevamia eneo hilo na kulifanya mashamba |
wagonjwa thebathini na moja bado wamelazwa katika hospitali za manispaa jijini dar es salaam kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kipindupindu |
wagonjwa hao wamelazwa katika hospitali za temeke amana na kinondoni kwa nyakati tofauti na wanatokea sehemu mbalimbali za jiji |
akizungumza dar es salaam jana kaimu mganga mkuu wa hospitali ya temeke bwana gilbert buberwa alisema kuwa wagonjwa wapya hadi jana walikuwa kumi na moja badala ya kumi na tatu ambao walikuwepo awali |
alisema kuwa mpaka jana hakuna mgonjwa yoyote ambaye alifariki hivyo aliwataka wakazi wa jiji kuzingatia suala la usafi ili kuweza kukabiliana na ugonjwa huo |
taarifa iliyotolewa jana na kaimu mganga wa jiji daktari hawa kawawa ilisema kuwa takwimu zinaonyesha kuwa wilaya ya ilala bado inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi ikifuatiwa na temeke |
alisema kuwa ilala ina wagonjwa kumi na nne wakati na kinondoni ya mwisho kwa kuwa na wagonjwa sita |
alisema tangu kuanza kwa ugonjwa huo watu mia mbili na themanini na sita wameugua ugonjwa huo na wilaya ya temeke inaongoza kwa kuwa na UNK kumi sita ikifuatiwa na ilala ina wagonjwa kumi moja na kinondoni wagonjwa sabini na tisa umoja wa wanawake tanzania wa chama cha mapinduzi umevunja ukimya na kufafanua kilichotok... |
taarifa katika vyombo vya habari UNK na kusainiwa na ofisa habari na mkuu wa idara ya organization siasa na mahusiano ya kimataifa bibi sarah msafiri ilifafanua kuwa kilichotokea ni baraza kuu UNK kwa utekelezaji wa baadhi ya maagizo ya vikao UNK vya umoja huo |
kwa mujibu wa katiba ya uwt katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa jumuiya ya uwt hivyo baraza lilimtaka kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya maagizo ambayo UNK ipasavyo ilisema sehemu ya taarifa hiyo |
pia taarifa hiyo ambayo haikuweka bayana kama UNK na mpango wa kumnggoa bibi mwilima au la UNK kuwapo kwa tofauti kati ya mwenyekiti wa taifa wa umoja huo bibi sophia simba na katibu mkuu wake bibi hasna mwilima kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari |
malumbano yanayotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kutokuelewana kwa viongozi wa juu wa uwt sio ya kweli bali ni mambo ya kiutendaji ambayo baraza kuu UNK yatekelezwe hivyo UNK kuhoji juu ya mambo hayo alisema bibi UNK |
baraza kuu la uwt UNK na kutoa mapendekezo kwa chama juu ya utaratibu wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika kupitia nafasi za wanawake na kutoa wito kwa wanawake kuthubutu na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kugombea kwenye uchaguzi mkuu ujao |
wakurugenzi na mameneja sita wa wakala wa barabara nchini waliokuwa wamefukuzwa kazi wamerudishwa kazini ijumaa iliyopita baada ya bodi ya wakala hao wakurugenzi wa wakala wa barabara baada ya kamati iliyoundwa kukamilisha uchunguzi wa majalada ya wafanyakazi hao na kupita katika taasisi zote |
akizungumza na majira jana kaimu mwenyekiti wa bodi ya tanroads daktari samwel nyatahe alisema hatua hiyo ilifikiwa baada ya kufuatilia sheria na kanuni za utumishi wa umma iliyopitishwa oktoba kumi na sita mwaka huu ambapo nafasi za wafanyakazi hao zilitakiwa kujazwa kwa ushindani na uwazi |
wafanyakazi wote waliofukuzwa UNK kazini pamoja na bwana mrema toka ijumaa iliyopita na baada ya UNK baina ya kamati iliyoundwa bodi ya tanroads na wizara ya miundombinu alisema daktari nyantahe akifafanua zaidi daktari nyantahe alisema kuwa badala ya kuwafukuza kazi wafanyakazi hao bwana mrema alitakiwa kutumia njia ... |
hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroads bwana ephraem mrema alipuuza maagizo ya bodi ya tanroads na kuwafukuza kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa bila kufuata taratibu za utumishi serikalini |
awali bwana mrema alitii agizo la kusitisha kuwafukuza lakini baadaye alibadili maamuzi akingganggania uamuzi wake wa awali wa kuwafukuza jambo ambalo UNK hali ya mkanganyiko ndani ya bodi ya tanroad na wizara ya miundombinu |
mgongano huo kati ya mrema bodi na wizara ulianza oktoba thebathini mwaka huu pale bwana mrema UNK kikao cha wafanyakazi na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji waandamizi na baadhi ya mameneja |
waliokumbwa na sakata hilo ni pamoja na mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge mkoa wa morogoro bwana charles madinda mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william shil... |
mwanazuoni maarufu wa siku nyingi nchini profesa issa shivji amesema kitendo cha vyama vya siasa kufadhiliwa na watu wachache wa ndani au je ya nchi ndio chanzo cha vyama hivyo kukosa sauti ya kukemea maovu na badala yake kufuata wanavyotaka wafadhili |
profesa shivji ambaye ni msomi wa fani ya sheria alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipozungumza na gazeti hili kwa njia ya simu juu ya faida za wanachama kufadhili chama badala ya kuwaachia wahisani au matajiri kukiendesha kwa fedha UNK |
alisema kuwa chama huendeshwa na kufadhiliwa na wanachama wenyewe kwa kujitoa UNK kwa hali na mali bila kujali nani UNK nini na kiasi gani |
hali hii inatokana na shida ya mfumo mzima wa vyama jamii na nchi kukubali kufadhiliwa kupita kiasi hivyo kukosa nguvu ya kusimamia mambo ya msingi UNK katika jamii au wanachama alisema profesa UNK |
profesa shivji alisema ili watu wawe na uchungu na vyama vyao lazima washirikishwe katika UNK chama ili wawe na sauti wakati wa maamuzi ya kujenga taifa na kuondoa mvutano wa kimaslahi kati yao ili kujikita na kutatua matatizo UNK |
ni siku hizi tu vyama UNK mfumo wake lakini zamani wanachama wenyewe ndio waliokuwa wakishikana mashati kuendesha chama hapakuwa na mfadhili hata kidogo alisema |
upande wa mashtaka katika kesi ya shambulio la kudhuru mwili na kutishia kuua inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka UNK kutoa ushahidi wao jana kwenye mahakama ya hakimu mkazi mjini arusha |
mwendesha mashtaka ambaye ni wakili wa serikali bwana michael UNK aliieleza mahakama hiyo kuwa mashahidi tisa pamoja na vielelezo vitatu vilivyowasilishwa mahakamani hapo UNK kukamilisha ushahidi wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo |
shahidi wa tisa kwa upande wa mashtaka bibi flora john mnzava ambaye ni afisa UNK wa hospitali ya wilaya ya monduli aliyekuwa shahidi wa mwisho alisema mlalamikaji bwana james ole millya alipofika hospitalini alikuwa na majeraha katika shavu lake kwa upande wa kulia |
licha ya kuwa na alama shavuni pia alidai kuwa anasikia maumivu kiunoni ambayo UNK baada ya kusukumwa na kuanguka chini ambapo UNK matibabu na kumruhusu aondoke alisema bibi UNK |
shahidi huyo aliongeza kuwa yeye ndiye aliyepokea fomu ya polisi kwa ajili ya matibabu ambapo UNK na kuisaini baada ya kumpatia huduma ya matibabu bwana ole millya |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.