text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mahojiano kati ya wakili wa upande wa utetezi bwana mpaya kamara na shahidi huyo yalikuwa kama ifuatavyo |
wakili ulitumia nini kupima ukubwa wa sehemu ya jeraha alilokuwa nalo millya |
shahidi UNK UNK |
wakili UNK jeraha lina urefu gani |
shahidi nilikuta lina sentimita kumi na mbili wakili sentimita kumi na mbili za nini |
shahidi za urefu wa kuanzia juu kwenda chini |
wakili baada ya uchunguzi wako uvimbe unaosema ulikuwa shavuni unaonyesha ulisababishwa na nini |
shahidi unaonyesha alipigwa na silaha isiyo na makali |
wakili unamaanisha nini |
shahidi silaha isiyo na ncha inaweza kuwa mkono mbao au fimbo |
wakili wewe unaruhusiwa kujaza hiyo fomu pf tatu |
shahidi hapana ila UNK kwa niaba ya mganga mkuu |
baada ya UNK huo wakili anayemtetea ole sendeka bwana kamara alimueleza hakimu bwana james UNK kuwa wapo tayari kuleta vielelezo vyao kuwa mteja wao hana kesi ya kujibu |
kesi hiyo imeahirishwa hadi desemba nne itakapotajwa mahakamani hapo na kupangiwa tarehe ya kutoa uamuzi wa kujiridhisha endapo mshitakiwa huyo ana kesi ya kujibu au la |
mbunge wa moshi mjini bwana philemon ndesamburo amesema wakazi wa jimbo la moshi mjini hawadanganyiki na kauli ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango aliyetamba kumnggoa katika katika uchaguzi mwakani |
alisema hata kama mbunge huyo ataamua kupiga kambi kwa miaka mitano hana ubavu wa kuleta mabadiliko katika jimbo hilo na atashindwa kama rais mstaafu wa awamu tatu bwana benjamini mkapa aliyehamishia nguvu za chama na serikali jimboni humo ili shemeji yake bibi elizabeth minde ashinde |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana bwana ndesamburo alitoa kauli hiyo baada ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango kutangaza nia yake ya kupiga kambi katika jimbo la moshi mjini ili kuhakikisha ccm inachukua jimbo hilo mwaka ishirini moja sifuri mimi namwambia bibi kilango ajaribu bahati yake kwani mwa... |
alisema kuwa anashangazwa na kauli ya bibi kilango ya kudai kuwa yeye UNK kura na wana ccm jambo ambalo halina ukweli wowote wala hakuna sababu ya kutafuta mchawi kwani wapiga kura katika jimbo si mashabiki wa vyama kama UNK |
napenda bibi kilango atambue kuwa mimi UNK kura na wananchi wa moshi wasiokuwa wanachama wa chama chochote hao ndio wanaoniunga mkono na ndio UNK madarakani UNK mbali wanachama wa chama changu alisema |
alisema kuwa kama bibi kilango anaamua kuleta vita vya siasa moshi mjini yeye yuko UNK na anamkaribisha kwa nguvu zote katika mapambano hayo yasiyokuwa na tija na kumtaka atambue kuwa wananchi wa jimbo hilo hawadanganyiki na propaganda zake |
wananchi wa hili jimbo siyo watoto wadogo |
huu ni mkoa mwingine bwana achilia mbali watu hawa wakiamua jambo hawarudi nyuma kama yeye anadhani siasa zake za propaganda UNK stendi juzi ndizo UNK mawazo aendelee kwani hawa watu hawadanganyiki alisisitiza |
alisema kuwa kama bwana mkapa alishindwa kumnggoa madarakani mwaka ishirini sifuri tano baada ya UNK serikali na chama chake chote moshi anaamini hakuna mtu mwingine atakayeweza na kusisitiza kuwa bibi kilango ajaribu bahati yake labda anaweza kufanikiwa |
alisema kuwa kama ccm UNK yote ambayo UNK wananchi wa moshi mjini hadi kuendelea kumchagua wafanye hivyo na kwamba anaamini utendaji kazi wake mzuri kwa wananchi ndio uliosababisha wananchi wa mkoa huo waendelee kumkubali na wala si vinginevyo |
bibi kilango aendelee kutafuta mchawi ccm kwani UNK UNK sana eti anapiga kambi kwa ajili ya kuninggoa mimi na kutafuta mchawi mbona anajisumbua UNK alisema kama bibi kilango anataka niende kwenye jimbo lake UNK nitakwenda UNK kweli kweli na vita hii anayodai kuianzisha itakuwa ni ya karne UNK hata kidogo alisema |
bwana ndesamburo alisisitiza kuwa ccm inashindwa UNK moshi mjini kutokana na ufisadi wao na kwamba kazi anazofanya kwa wananchi wa mkoa huo chama hicho tawala hakiwezi kuzifanya na ndio maana anakubalika licha ya kuwekewa UNK |
UNK wananchi wa moshi mjini juzi bibi |
kilango aliwaambia wanachama na viongozi wa ccm kuwa bwana ndesamburo ameshinda mara mbili mfululizo kutokana na matatizo ya wanaccm wenyewe na kuwataka UNK |
bibi |
kilango alisema kuwa atapiga kambi mkoani hapo kwani hawezi kukubali kuwa wanaccm ambao mchana wamevaa kijani lakini usiku wamevaa nguo nyingine |
mtoto wa rais jakaya kikwete ridhiwani kikwete UNK mahakamani fundi UNK na mkazi wa mikocheni a bwana omary said kwa kumtapeli shilingi milioni mbili |
mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo bibi lina msanga mwendesha mashitaka bibi batiseba UNK aliiambia mahakama kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo novemba tano mwaka huu huko mikocheni jijini dar es salaam |
bibi batiseba alidai kuwa mshitakiwa alipewa fedha hizo na bwana ridhiwani ambaye ni mwanasheria kwa lengo la kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukarabati nyumba yake lakini fundi huyo UNK kwa matumizi mengine na hakufanya UNK |
mshitakiwa ambaye amekana shitaka hilo UNK rumande kwa kukosa wadhamini |
kesi hiyo ambayo upelelezi wake unaendelea itatajwa tena desemba nane mwaka huu |
na glory mhiliwa arusha kesi inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka ambaye anashitakiwa kwa kumpiga mwenyekiti wa vijana wa ccm mkoa wa arusha bwana james UNK imeendelea kunguruma jana mahakama ya hakimu mkazi arusha ambapo mwendesha mashtaka wa serikali ameongeza mashitaka ya kutishia kwa bast... |
akisoma mashitaka hayo mwendesha mashtaka bwana agustine komba aliiambia mahakama mbele ya hakimu mkazi bwana james karayemaha kuwa UNK mashitaka mengine ambayo awali UNK |
alidai kuwa ole sendeka anatuhumiwa januari tisa mwaka huu wilayani monduli katika semina ya wazee wa kimasai ambayo iliandaliwa na mbunge wa mbulu bwana edward lowassa UNK kwa bastola na kumdhuru mwili bwana UNK |
hata hivyo mwendesha mashtaka huyo aliiomba mahakama kupanga tarehe ya kuanza kusikiliza kesi hiyo ambayo UNK kwa mara mbili baada ya upelelezi kukamilika |
mheshimiwa hakimu naomba tarehe kwa ajili ya kuanza kusikilizwa na kutolewa ushahidi ambapo upande wa upelelezi UNK |
tutaleta mashahidi kumi na tatu bastola iliyotumiwa na mshitakiwa kutishia fomu namba tatu UNK nayo mlalamikaji alisema mwendesha mashtaka |
aliwataja mashahidi watakaotoa ushahidi kuanzia mei ishirini na saba kuwa ni askari polisi wawili ambamo pia atakuwepo mkuu wa mkoa wa singida bwana vicent kone ambapo siku ya tukio alikuwepo kwenye semina hiyo |
hakimu karayemaha aliahirisha kesi hiyo mpaka mei ishirini na saba ambapo itaanza kusikilizwa |
akizungumza nje ya mahakama hiyo |
mbunge huyo aliwashukuru wananchi wa jimbo lake waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kujua hatma ya kesi yake ambapo aliwataka kuendelea na kazi za ujenzi wa taifa kwa vile sheria itachukua mkondo wake |
nawashukuru sana naona ni vyema wakulima muendelee na kilimo na wafugaji muendelee na ufugaji |
UNK kuja mahakamani tuache sheria ichukue mkondo wake alisema sendeka |
licha ya ushauri wa daktari na ofisi binafsi ya rais jakaya kikwete kuwa kiongozi huyo apumzike baada ya kuishiwa nguvu na kukatisha hotuba mjini mwanza safari zake za ndani na nje ya nchi UNK kufanya zimezua upya mjadala huku akidaiwa UNK |
mjadala huo umeibuka wakati rais kikwete akiwa nje ya nchi kwa ziara ndefu itakayomchukua takribani siku kumi za kukutana na viongozi wa nchi na kufanya mikutano kadhaa katika nchi tatu tofauti |
safari ya sasa ya rais kikwete ambayo UNK katika nchi za jamaica UNK na tobago na cuba itakuwa ni mwendelezo wa ratiba ndefu ya kusafiri ndani na nje ya nchi kuanzia katikati ya oktoba siku hamsini na tatu baada ya kuishiwa nguvu huko katika uwanja wa kirumba mwanza wakati wa maadhimisho ya miaka kumi sifuri ya kanisa... |
masuala mawili ambayo kwa sasa yameibua mjadala huo wa mara kwa mara ni kuhusiana na hali ya afya yake kama UNK na UNK wake daktari peter mfisi oktoba saba mwaka huu pamoja na tija zinazotokana na safari za nje ya nchi ambazo zinatumia gharama kubwa |
baadhi ya watu waliozungumza na gazeti hili kuhusu iwapo ikulu UNK kazi taarifa yake kuwa ofisi binafsi ya rais ingepitia upya ratiba ya mkuu huyo wa nchi na ushauri wa madaktari wake wa kumtaka apumzike wameonesha wasiwasi juu ya utekelezaji wa suala hilo katika kulinda afya ya rais |
wamehoji pia kauli yake baada ya kupata nafuu kuwa alipata msukosuko wa kiafya kutokana na kazi nyingi na safari ndefu na ahadi yake kuwa UNK ubishi na kuanza kuwasikiliza washauri wake wanaotaka apumzike |
siku chache baada ya tukio la kuishiwa nguvu oktoba nne rais kikwete alianza safari ya kikazi mkoa wa mara alipofanya shughuli ya kuzima mwenge na kukagua miradi mbalimbali |
oktoba kumi na saba alikuwa kwenye harambee ya kiwanda cha tangawizi iliyoandaliwa na mbunge wa same mashariki bibi anna kilango na baadaye kufanya ziara siku sita katika mikoa ya iringa na mbeya kuanzia oktoba ishirini na sita rais pia aliongoza na kutoa mada kwenye kongamano la wadau wa maendeleo novemba tano na sit... |
novemba ishirini rais alipokea kombe la dunia katika uwanja wa taifa na siku iliyofuata akawa mkoani arusha katika maadhimisho ya miaka kumi ya jumuiya ya afrika mashariki |
siku UNK baadaye rais aliondoka kwenda safari ya jamaica UNK na tobago na kumalizia cuba inayoendelea sasa |
mwanazuoni profesa mwesiga baregu alilieleza majira kuwa rais ni binadamu wa kawaida hivyo kama UNK na wataalamu kupunguza ratiba ngumu ni bora afanye kazi za karibu ambazo si lazima asafiri umbali mrefu |
hivi karibuni tulisikia maelezo ya daktari wake kuhusu afya yake tukaambiwa kuwa anapaswa kupata wasaa wa kupumzika tulitarajia itakuwa hivyo na badala yake angeweza kufanya kazi za karibu |
rais ni binadamu wa kawaida UNK kuwa ni mzima kama hali UNK awe hivyo UNK apumzike alisema profesa baregu |
profesa baregu ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya siasa na ushirikiano wa kimataifa alisema ni ngumu kuona moja kwa moja tija zitokanazo na safari za rais kwa sababu hakuna taarifa za ziara hizo |
alisema ni muhimu wananchi wakapewa taarifa za ziara za rais wao ikibidi kabla ya kuondoka na baada ya kurudi ili waweze kutoa tathmini iwapo UNK na kile UNK katika ziara hizo |
wakati mwingine unaweza kufikiri rais kikwete ni waziri wa mambo ya nje kila baada ya siku chache unamsikia yuko nje |
akirudi nyumbani atakwenda vijiji viwili vitatu kama vile kiinimacho halafu tena UNK UNK |
na UNK msafara wake UNK watu ishirini |
tumefikia mahali nchi hii rais anapaswa kufanya kama mwalimu nyerere ambaye alikuwa akiwatembelea watu anapiga kambi kijijini na kujua kwa undani shida zao |
si kila wakati kwenda nje kunaweza kuwa na tija kwa maslahi ya taifa alisema profesa baregu |
cuba na aliongeza kuwa si vibaya ofisi ya rais UNK wananchi UNK nchi fulani ni kitu gani hasa |
kwa sababu gharama UNK ni za walipa kodi |
alisema kama ilivyo kwa waziri wa mambo ya nje UNK kutoa taarifa kwa rais anaporudi kutoka ziara rais naye anapaswa kufanya hivyo kwa wananchi ambao ndio waajiri wake |
tumewahi kupata ripoti ya ziara za rais nje ya nchi mara moja nafikiri tunaambiwa ameenda kuomba lakini hatujui kama UNK UNK na UNK wapi |
pia ni vyema tukafanya uchambuzi wa nchi UNK nazo kama ni sahihi kwa sisi kuweza kuendelea |
kwa upande mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahimu lipumba ambaye aliwahi kuchambua ziara hizo na kueleza kuwa hazina manufaa alisema rais kikwete ana hulka ya kupenda safari na kumfananisha na vasco da gama mreno wa zamani aliyekuwa maarufu kwa kusafiri na UNK wa nchi kadhaa |
profesa lipumba alisema kwa kusafiri mara kwa mara rais kikwete anakwepa majukumu na kuwa hataki bugudha ya kukaa nchini na kufanya mipango ya kuendeleza nchi ikiwemo kutatua masuala kadhaa ambayo yamekuwa UNK serikali yake na chama cha mapinduzi |
hivi karibuni tumesikia ripoti moja ikionesha kuwa katika taasisi zinazoongoza kwa UNK allowances ikulu iko juu ya zote sasa mojawapo ya njia za posho hizo ni hizo safari ambazo kwa kweli tija yake ni ndogo ukilinganisha na gharama UNK |
kuna kazi zingine alipaswa kutumia wasaidizi wake mawaziri au wawakilishi wetu huko nje ya nchi yeye yuko safarini muda wote huku mambo UNK waziri wake wa utawala bora UNK mtu kwa kuuza dawa za kulevya alisema |
profesa lipumba ambaye ni mchumi alisema safari za rais haziwezi kusaidia nchi kupunguziwa au kusamehewa madeni kwani hiyo inatokana na mipango ya nchi kupitia wizara zao za fedha na kuongeza kuwa anapaswa kubaki nyumbani kusaidia kutoa maamuzi magumu hasa juu ya vita dhidi ya ufisadi |
ufisadi unaongezeka na hii ni moja ya vigezo ambavyo wafadhili wanatumia kutuongezea au UNK misaada sio safari za rais |
kama safari hizo zitakuwa hazijengi kama UNK vita dhidi ya rushwa na ufisadi mwingine |
kwanza lazima ieleweke kuwa UNK ya namna hiyo UNK na rais bali watendaji wa serikali alisema |
UNK UNK UNK |
polisi UNK wavunaji na edmund mihale siku moja baada ya waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kutangaza kuifungia kampuni ya upatu ya deci jeshi la polisi limemtia mbaroni mwenyekiti wa kamati ya dharura ya wanachama wa upatu huo mchungaji isaack kalenge kwa kuhutubia bila kibali katika eneo la ofisi za makao ... |
mchungaji huyo alishikiliwa kwa saa tano katika kituo cha polisi magomeni na kisha kuachiwa kwa dhamana saa kumi jioni |
tukio hilo lilitokea saa tano kumi na tatu asubuhi wakati akihutubia umati wa washiriki wa upatu huo |
dhahama hiyo ilimkuta mtumishi huyo wa mungu baada ya kuombwa na mwenyekiti wa chama cha siasa cha dp mchungaji christopher mtikila kutangaza ajenda UNK jumamosi katika mkutano wa washiriki wote utakaofanyika viwanja vya jangwani |
awali mchungaji kalenge aliwatangazia washiriki kuwa kutakuwa na mkutano saa tano asubuhi hali iliyowapa hamasa ya kusikia nini UNK juu ya hatima ya fedha walizopanda katika kampuni hiyo |
ilipofika saa tano sifuri sifuri mchungaji mtikila akiwa na mchungaji kalenge bila kujali tangazo lilitolewa na deci kupinga washiriki kutumia uwanja wa ofisi hiyo kama ukumbi wa mikutano aliwaita washiriki wote |
mchungaji mtikila alimpa kipaza sauti mchungaji kalenge ili atoe ratiba ya mkutano wa jumamosi |
tunasikia eti igp amewaagiza viongozi wa kampuni hii kwamba walipwe wanachama wapya |
hiyo itakuwa ni kuleta machafuko makubwa na UNK serikali kwa kuwa yenyewe ilichelewa kuwahadharisha wananchi alisema mchungaji huyo |
huku akiendelea kuhutubia ghafla ofisa wa jeshi hilo kutoka kituo cha urafiki aliyefahamika kwa jina moja la bwana bundala alimvamia na kumshika kisha UNK wote chini na kuanza UNK katika lindi la vumbi |
baadaye polisi alifanikiwa kumdhibiti mchungaji huyo katika purukushani zilizodumu kwa dakika tano na kumuweka chini ya ulinzi hadi walipofika wenzake kutoka kituo cha magomeni |
polisi hao zaidi ya kumi waliofika UNK tano ishirini na tisa wakiwa katika gari aina ya land rover defender namba t mia saba na sitini ady walifanya mazungumzo na mchungaji mtikila ambaye kwa muda wote alionekana kutoa ushirikiano kwa mwenzake aliyekuwa chini ya ulinzi kwa muda wote |
kuwasili kwa askari hao kulizua hali ya woga katika eneo hilo na kuwaacha washiriki hao wa deci wakiwa katika wasiwasi mkubwa huku wakiwa na minonggono ya hapa na pale |
wakiwa katika makundi madogo madogo kwa woga wa kukamatwa walikuwa wakisema ni mwisho wa serikali ya ccm kugawa fulana na kofia kisha wapewe kura katika uchaguzi badala yake wanatakiwa kuanzisha deci nyingine ili UNK mtanzania |
kundi lingine UNK wenzao kuwa na msimamo wa kijasiri katika kudai fedha hizo kutokana uongozi wa kampuni hiyo kutokuwa makini katika uamuzi wao |
uchunguzi ulifanywa na majira umebaini kuwa washiriki hao UNK kufungua kesi makahama kuu kitengo cha biashara kupitia kampuni ya uwakili ya brilliance law chambers kudai mavuno yao |
naye rehema mohamed anaripoti kuwa jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam litawachukulia hatua za kisheria wanachama wa taasisi ya upatu ya deci watakaofanya maandamano ama kukusanyika katika ofisi hizo kwa madai wanachochea uvunjifu wa amani kwa vile suala lao linashughulikiwa kisheria |
akizungumza dar es salaam jana kamanda wa polisi wa kanda hiyo bwana suleiman kova alisema hatua hiyo inatokana na taarifa UNK kuwa kuna watu UNK suala hilo kisiasa na kuchochea mikusanyiko UNK maandamano |
alisema kanda yake itasimamia suala hilo kwa lengo la kuhakikisha usalama katika jiji la dar es salaam |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.