text stringlengths 1 1.32k |
|---|
suala la deci tayari UNK kushughulikiwa kisheria na serikali kuanzia wizara ya fedha benki kuu pamoja na viongozi wa deci ambapo hatma yake itatangazwa baadaye baada ya uchunguzi kukamilika |
hatutapenda kuona mikusanyiko ya aina yoyote ikiendelea pale alisema bwana kova |
kamanda kova alisema kama kuna watu wanataka kuandamana wafuate hatua za kisheria zinazohitajika na sio kuweka mikusanyiko kiholela katika ofisi hizo |
kampuni ya tanga UNK imeongeza uzalishaji wa UNK kutoka tani mia saba na hamsini sifuri sifuri sifuri hadi kufikia tani moja mia mbili na hamsini sifuri sifuri sifuri ikiwa ni mafanikio ya asilimia sitini na saba baada ya kumalizika kwa awamu ya kwanza ya mradi wa upanuzi wa mitambo yake |
akizungumza na waandishi wa habari walitembelea mitambo hiyo mipya juzi mkoani tanga mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana UNK fluehmann alisema kumalizika kwa mtambo huo kutasaidia UNK mahitaji ya bidhaa hiyo kwa tanzania kwani wanazalisha tani milioni tatu na mahitaji ya nchi ni milioni mbili kwa mwaka |
bwana fluehmann alisema mradi huo umegharimu dola za marekani milioni arobaini na sita mpaka kukamilika hali itayosaidia soko la afrika mashariki kwa ajili ya UNK wa uchumi |
mwaka jana tanga simenti ilichangia zaidi shilingi bilioni thebathini kwa ajili ya kodi na tunatoa sehemu ya faida tunayopata kwa ajili ya kuchangia huduma za kijamii alisema alisema kampuni inakabiliwa na changamoto za mgao wa umeme kwani mitambo yao inafanya kazi saa ishirini na nne hivyo ukataji wa umeme unachangia... |
bwana fluehmann alisema kampuni hiyo imeajiri wafanyakazi thebathini sifuri na wengine hamsini sifuri sifuri ni wafanyakazi wa nje ya kampuni wanaofanya kazi ya kuleta malighafi kwa ajili ya uzalishaji wa UNK |
kampuni hiyo UNK simenti nje ya nchini tani ishirini sifuri sifuri sifuri kwa mwezi tofauti na awali ambapo ilikuwa UNK tani kumi sifuri sifuri kwa mwezi ikiwa ni mafanikio ya utambo mpya ulioanza kazi novemba kumi na moja mwaka huu |
watanzania nchini wameshauriwa kuzalisha bidhaa bora na kwa wingi ili kukuza mitaji na uchumi katika hali itakayosaidia kupata soko la kimataifa |
hayo alisema meneja miradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya inayoshughulikia agenda mbalimbali za biashara bwana UNK UNK wakati wa warsha ya jumuiya ya afrika mashariki na UNK |
alisema UNK kuwa viwanda vilivyopo tanzania UNK bidhaa zao kwa wingi na kwa ubora unaotakiwa hali inayochangia bidhaa hizo kukosa soko la nje na kuzipa nafasi bidhaa za nje kuuzwa nchini |
alisema uchumi wa nchi unazidi kudidimia kutokana na miundombinu ya barabara kuwa UNK hali inayosababisha hata bidhaa UNK kufika pale panapotakiwa kwa wakati |
akitolea mfano wa bidhaa inayotengenezwa hapa tanzania na UNK kwa wingi kwenda katika mikoa mingine ni pamoja na kinywaji cha dodoma UNK inayotengenezwa dodoma lakini hata mkoani dar es salaam haifiki kwa sababu ya uchache wa bidhaa hiyo hali inayosababisha mikoa mingine kampuni ya UNK internation trading imesema wapo... |
akizungumza dar es salaam jana mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana stanley mdaki alisema kuwa kabla ya kuleta ngo mbe hao wa mkopo watatoa mafunzo ya jinsi ya kuwatunza nggombe hao kwa wakulima |
alisema ngo mbe hao wanauwezo wa kutoa lita sitini hadi tisini za maziwa kwa siku na UNK zaidi vijijini ili waweze kuongeza kipato cha wakulima ambao ndio nguzo ya taifa |
bwana mdaki alisema kuleta kwa ngo mbe hao hapa nchini kutasaidia serikali kujenga kiwanda cha kitaifa cha maziwa na hali hiyo itaongeza ajira kwa vijana |
kuwa kufikia mwaka ishirini moja tano watanzania wengi watakuwa UNK na nggombe hao hali itayosaidia umaskini kupungua nchini |
pia alisema desemba nane hadi ishirini na tatu mwaka huu watakuwa na maonesho ya kilimo kwanza ambayo yatakuwa yanatoa elimu kwa wakulima juu ya kilimo kwanza |
alisema kuwa asilimia kubwa ya watanzania hawana elimu ya kutosha ya kilimo kwanza kwahiyo elimu hiyo itasaidia kuongeza pato la mkulima na taifa kwa ujumla ambapo maonesho hayo yameandaliwa na UNK UNK corporation mwanasheria mkuu wa serikali jaji frederick werema ameitaka mamlaka ya mapato tanzania kuwabana wakwepa k... |
lakini ili waweze kutimiza majukumu yao kwa urahisi na kupata ushirikiano kutoka kwa walipa kodi alisema tra hawana budi kutoa elimu ya ulipaji kodi itakayowafanya wananchi kutimiza wajibu huo wa kisheria bila UNK |
jaji werema aliyasema hayo jana jijini dar es salaam alipokuwa akizindua taarifa inayohusu majumuisho ya kesi na maamuzi mbalimbali kuhusu mabishano ya sheria za kodi nchini kuanzia mwaka ishirini sifuri mbili ishirini sifuri nne jaji werema ambaye jana ilikuwa mara yake ya kwanza kutokea katika hadhara ya namna hiyo ... |
kwanza napenda kuwapongeza tra kwa majukumu yao hasa ya ukusanyaji kodi ambayo kwa hakika siyo kazi rahisi |
moja ya changamoto UNK ni kuwaelimisha walipa kodi ili wajue umuhimu wa wajibu huu |
inahitajika kuwepo na msimamo thabiti katika kushugulikia masuala yanayohusu ukusanyaji na ulipaji kodi ndiyo maana nawasihi tra kuhakikisha wanazingatia utawala wa sheria na uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao alisema |
aliongezea kusema kuwa mbali ya kuzingatia na UNK tra pia inapaswa kupunguza malalamiko ya walipa kodi |
kwa upande wake kamishna mkuu wa tra bwana harry kitilya alisema ripoti hiyo ina umuhimu wa pekee kwani itaisaidia mamlaka hiyo kutimiza malengo yake ya kutoa huduma bora inayoendana na uwajibikaji ili kuwezesha ulipaji kodi |
ripoti hii ya sheria UNK masuala ya kodi imekuja katika wakati mwafaka ambapo serikali inajipanga kuhakikisha UNK katika kupanga bajeti yake kwa kutumia vyanzo vyake vya ndani |
hii ni ripoti ya kwanza kabisa kuandaliwa na wataalamu wetu wa hapa nchini alisema bwana kitilya |
mwenyekiti wa bodi UNK ripoti hiyo bwana kibuta UNK alisema makusudi ya kuandaa taarifa hiyo ni kuhakikisha maamuzi ya kisheria yanayohusu malalamiko ya kisheria katika masuala ya kodi yanakuwa ya aina moja |
somo la maadili kwa watumishi wa afya limetakiwa kutolewa vyuoni na kuwekewa mitihani ambao mtahiniwa atalazimika kufaulu kabla ya kuhitimu ili aweze kufanya kazi yake kwa umakini zaidi |
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari david mwakyusa wakati akizindua baraza la wataalamu wa macho |
alisema kuwa ni bora maadili liwe somo UNK na kuwekewa mitihani ambao mtahiniwa UNK kabla ya kuhitimu ili aweze kufuata maadili ya kazi na kuwa na nidhamu ya hali ya juu |
ni utaratibu UNK kwamba wataalamu wa afya UNK kiapo UNK na kupewa nyeti vyao |
katika kiapo hicho UNK kufanya kazi kwa kufuata maadili yaliyowekwa na kwa nidhamu ya hali UNK alisema |
aliongezea kuwa anasikitika kusema kwamba baadhi ya wataalamu hawafuati maadili na hili ni eneo linalohitaji kuangaliwa kwa umakini zaidi kwani mara nyingi tunapata taarifa za wagonjwa kudaiwa fedha na matumizi ya lugha chafu kwa wagonjwa hospitalini tabia hizi kwa wataalamu hazina nafasi katika ulimwengu wa leo alise... |
alilitaka baraza la wataalamu UNK kufanya kazi kwa umakini na kuelimisha wananchi ili watambue umuhimu wa kupima afya zao badala ya kununua miwani mitaani ambayo inahatarisha afya ya macho |
pia alilitaka baraza hilo kuweka utaratibu wa kuteua wasimamizi wa sheria husika mikoani na wilayani kwa lengo la kurahisisha shughuli za usajili utekelezaji na usimamizi wa sheria yenyewe |
na makumba mwemezi mahakama ya rufani tanzania jana imelitupa shauri la mapitio ya uamuzi wake ilioutoa katika kesi ya madai namba kumi na nane ya mwaka ishirini sifuri tano lililowasilishwa kwake na walalamikaji ambao walikuwa askari wa kikosi maalum cha kuzuia magendo cha zanzibar wakidai kulipwa shilingi mia moja n... |
akisoma uamuzi huo msajili wa mahakama ya rufani tanzania daktari ferdinand wambali alisema baada ya kupitia hoja za walalamikaji na kubaini hazina msingi kwani hazikuonesha kuwepo udanganyifu kutosikilizwa wala mahakama kukosa mamlaka ya kusikiliza |
walalamikaji walifungua kesi kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kmkm kuwaachisha kazi pamoja na kutowapa barua rasmi zinazoonesha kuachishwa huko |
akizungumza nje ya mahakama ya rufani mara baada ya uamuzi huo mwakilishi wa walalamikaji ambaye ni mlalamikaji wa kwanza abdallah ali mohamed alidai korti haikuwatendea haki |
pia aliomba bunge la tanzania pamoja na baraza la wawakilishi zanzibar kuwapa nafasi ya kuwasilisha vielelezo walivyonavyo kwani vyombo hivyo ndivyo wawakilishi wa wananchi |
naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga amewataka wananchi wa jumuiya ya afrika mashariki kujenga utamaduni wa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini mwao kwa kuwa zina ubora wa kutosha |
akizungumza dar es salaam juzi wakati alipotembelea maonesho ya nguvukazi daktari mahanga alisema kwa kufanya hivyo kutasaidia kuwainua kiuchumi wajasirimali wa ndani na kuleta maendeleo katika nchi zao |
daktari mahanga alisema ununuaji wa bidhaa za ndani pia utaondoa matatizo ya utafutaji wa masoko kwa wajasiriamali wengi UNK bidhaa zao |
katika mabanda ambayo nimetembelea bidhaa nyingi zimeonekana kuwa bora tena kushinda hata za nje UNK kununua ni vyema sasa wanajumuiya UNK utamaduni wa kuthamini kile UNK wenyewe ili wazalishaji wetu UNK kiuchumi alisema daktari mahanga |
aliwataka wajasiliamali hao kuhakikisha bidhaa zao UNK katika mashirika ya viwango kama vile tbs la tanzania yaliyopo nchini mwao ili kujihakikishia soko UNK |
maonesho hayo UNK wajasiliamali zaidi ya themanini sifuri kutoka nchi za jumuiya ya afrika mashariki ambazo ni tanzania kenya uganda na rwanda isipokuwa burundi ambao UNK |
akizungumza katika maonesho hayo jana waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki daktari UNK kamala alisema nchi za jumuiya hiyo UNK na kufanya tathmini ya maonesho hayo tangu UNK ili kuona mahali UNK kwa lengo la kuwasaidia |
kweli bidhaa ni nzuri lakini nyingi UNK kwa hiyo tutakaa nchi zote za afrika mashariki na kuona haja ya kuwawezesha zaidi ili kuzalisha bidhaa tofauti na ilivyozoeleka |
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi profesa jumanne maghembe amewataka walimu kuwahamasisha wanafunzi kujiwekea utamaduni wa kujisomea ili kuongeza misamiati ya lugha ya kiswahili |
akizungumza juzi dar es salaam katika hafla ya kuwazawadia wanafunzi walioshinda katika uandishi wa insha kuhusu faida za kombe la mataifa linalochezwa angola na la dunia dunia linalochezwa na jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa afrika |
alisema vijana UNK kuandaliwa mapema kuhusu shughuli zote za jumuiya ya afrika mashariki kwa kuwa ndio watakuwa walinzi wa jumuiya hiyo kwa miaka ijayo |
wanafunzi wanakuwa waoga kushiriki mashindano ya insha kwa kukosa ushauri wengi wao wanakuwa na uwezo lakini lugha UNK hivyo wanahitaji mtu wa UNK alisema profesa maghembe katika mashindano ya mwaka huu tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi za sadc ambapo mshindi wa kwanza allen UNK akitoka katika UNK ya maua... |
pia peter UNK wa shule ya sekondari tosamaganga mkoani iringa ameshika nafasi ya tatu katika nchi za jumaiya ya afrika mashariki na kuifanya tanzania kuwa mshindi wa kwanza |
akizungumza baada ya kupokea zawadi mkuu wa shule ya sekondari ya tosamaganga bwana julius UNK alisema mashindano hayo UNK wanafunzi uwezo wa kujieleza na kujifunza lugha nyingine |
mashindano ya uandishi wa insha ya jumuiya ya UNK mashariki yalianza mwaka ishirini sifuri nne kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi wa nchi hizo kuelewa masuala yanayohusu jumuiya |
mwenyekiti wa wazazi wa chama cha mapinduzi mkoa wa kilimajaro bwana thomas ngawaiya ametangaza rasmi kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini mwakani kwa madai kuwa jimbo hilo liko wazi kwa kuwa halina mbunge wa chama hicho |
tamko hilo la bwana ngawaiya limekuja siku moja baada ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo bwana philemon ndesamburo kusema wakazi wa moshi mjini hawadanganyiki bali wanamkubali yeye kutokana na huduma UNK ambazo ccm haiwezi UNK |
kauli hiyo ya bwana ndesamburo ilikuwa ni majibu kwa mbunge wa same mashariki bibi anne kilango alitangaza kupiga kambi katika jimbo hilo ili kuhakikisha ccm inaibuka na ushindi katika jimbo hilo baada ya kuukosa kwa miaka kumi na tano mfululizo |
wakati vumbi la malumbano UNK bwana ngawaiya alilieleza majira kwa njia ya simu jana kuwa UNK bwana ndesamburo anayetokea chama cha demokrasia na maendeleo |
nina kila sababu ya kuwa mbunge katika jimbo la moshi mjini kwa sababu bwana ndesamburo kazi yake ni ya kufadhili badala ya kufanya kazi ya msingi ya uwakilishi wa wananchi katika ngazi za juu serikali alisema |
alisema kuwa katika kipindi cha mwaka ishirini sifuri sifuri hadi ishirini sifuri tano alichokuwa mbunge wa moshi vijijini kupitia aliwatetea wakulima wa kahawa ambao walikuwa hawajalipwa kwa kipindi cha miaka kumi |
kwa mujibu wa bwana ngawaiya mwaka ishirini sifuri moja wakulima hao walilipwa shilingi bilioni arobaini na mbili ambazo zilitoka UNK union kati ya hizo fedha shilingi bilioni kumi na mbili UNK lyamungo kwa ajili ya kufanyia utafiti wa kahawa kwa kutengeneza miche UNK na wadudu UNK shilingi bilioni thebathini UNK kute... |
mambo niliyofanya kwa kipindi hicho ni makubwa nina imani UNK nafasi kwa upande wa moshi mjini nitafanya mambo makubwa zaidi hususan ya kuhakikisha kwamba vijana wanapata ajira na viwanda kumi na sita UNK UNK |
ubunge kwa bwana ndesamburo kwake mwisho ni mwaka kesho wananchi UNK kwani nimepata mitaa thebathini na tisa katika jimbo hili na yeye amebaki na mitaa ishirini na moja hivyo ninaamini nitashinda alisema |
bwana ngawaiya alisema kuwa anaamini kuwa wananchi wa moshi watamchagua kutokana na kujenga hoja wakati alipokuwa mbunge hadi kodi ya kichwa ya shilingi mbili sifuri sifuri sifuri hadi shilingi tatu sifuri sifuri sifuri waliyokuwa UNK wananchi na kusababisha kukimbilia mashambani UNK |
upelelezi wa kesi ya mauaji inayomkabili mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam masama msiba UNK kumuua mpenzi wake bado haujakamilika na mshtakiwa huyo ataendelea kusota rumande |
kesi hiyo ilitajwa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam mbele ya hakimu mkazi bibi hilda lyatuu na UNK kwa mara nyingine hakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi za mauaji |
mshtakiwa masama ambaye ni mwanafunzi UNK wa elimu katika chuo hicho anadaiwa kumuua kwa kitu chenye ncha kali mwanafunzi mwenzake bibi bertha mwarabu anayedaiwa alikuwa mpenzi wake |
mwendesha mashtaka mkaguzi wa polisi benedict nyagabona alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea juni sita mwaka huu majira ya saa ishirini na moja arobaini na tano katika hosteli za mabibo zilizopo UNK jijini dar es salaam kwenye chumba mia mbili na hamsini block c upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea na mt... |
waandishi wa habari wametakiwa kuandika kwa kina habari za uchunguzi ili kuiwezesha jamii kupata taarifa zenye usahihi na za kweli na kuepusha uwezekano wa vyombo vya habari kushitakiwa |
mwito huo ulitolewa kwa waandishi wa habari dar es salaam juzi na mwandishi wa siku nyingi bwana fili karashani wakati akitoa mada katika semina ya siku mbili iliyoandaliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za uchunguzi |
alisema ni lazima uandishi wa habari za uchunguzi UNK vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja kuziona pande zote UNK ili kuwatendea haki wahusika |
ni lazima habari ya uchunguzi iwe na usahihi na ukweli na kuepuka uandishi usiozingatia matakwa ya uandishi wa habari alisema bwana karashani |
huku akionesha mifano UNK ya uandishi usiozingatia taaluma bwana karashani alisema waandishi wa habari wanatakiwa kujiamini kuondokana na woga na wawe na uwezo wa kuzungumza na watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi |
kama wewe ni mwandishi wa habari mwoga basi kazi hii UNK bora UNK nayo na kwenda kuuza UNK ya UNK alisema bwana karashani |
aliongeza kuwa waandishi wa habari wanatakiwa kuifahamu kwa ufasaha lugha UNK ili kuepuka kutumia maneno yanayoweza kuleta mkanganyiko kwa jamii |
uzinduzi wa siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia umeanza kwa simanzi miongoni mwa washiriki baada ya mwanamke mmoja kutoa shuhuda wa jinsi jinsi mtoto wake UNK akiwa na umri wa miezi miwili jijini dar es salaam |
akisimulia mkasa huo bibi rachel kasuke mkazi wa iringa alisema alianza mahusiano ya kimapenzi mwaka ishirini sifuri sita na bwana abdul seleman ambaye alikuwa dereva wa magari makubwa |
nilikuwa naishi iringa na bibi yangu nilipokutana na mwanaume huyo sikufahamu alipokuwa akiishi na tulikutana njiani alisema bibi kasuke katika ushuhuda wake UNK na waziri mkuu bwana mizengo pinda |
alisema baada ya mwaka mmoja alipata ujauzito na kujifungua mtoto wa kike ambaye kwa sasa ana umri wa miezi nne akiwa iringa alikokuwa akiishi na bibi yake |
ilipofika julai mwaka huu bwana seleman alimfuata kijijini kwao na kumleta jijini dar es salaam manzese UNK ili waweze kuishi pamoja kutokana na hali ya maisha na hakuwa na zaidi ya bibi yake ambaye alimruhusu kuja kumlea mtoto wake |
baada ya mtoto kutimiza miezi mbili mama mkwe wake UNK na kumweleza kuwa mtoto huyo alitakiwa kufanyiwa mila bila UNK aina ya mila UNK kufanyiwa |
zilipita siku mbili UNK UNK kuwa ni mila gani hiyo lakini aliendelea UNK siku ya tatu nilipoingia ndani nilimkuta mume wangu akiwa UNK mtoto bila nguo mama mkwe alikuwa ameshika kiwembe na pamba alisema bibi kasuke aliongeza kuwa baada ya jitihada za kumwokoa mtoto huyo mikononi mwa mumewe kushindwa aliamua kukimbia n... |
baada ya kufika kituo cha polisi magomeni alipokelewa na askari ambaye alimwelekeza kwa mkuu wa kituo kutokana na ukubwa wa tukio |
mkuu wa kituo alimpatia askari sita na gari walipofika nyumbani walikuta mtoto pekee amefanyiwa UNK lakini mume na mama mkwe wake hawakuwepo ndani |
polisi waliamua kumchukua mwenye nyumba kwa ajili ya uchunguzi na kumhifadhi bibi kasuke na mwanaye katika kituo cha polisi baada ya kukosa sehemu ya kuishi hadi alipokuja kuchukuliwa na chama cha wanasheria wanawake tanzania hadi leo |
mfanyabiashara john UNK mkazi wa mbeya amekamatwa jijini dar es salaam kwenye kituo cha treni cha tazara akiwa na vipodozi UNK marufuku aina ya UNK vyenye thamani ya shilingi milioni mbili nane mwendesha mashtaka bwana basil pandisha alisema mbele ya hakimu UNK mzava wa mahakama ya wilaya ya temeke kuwa mshtakiwa alik... |
alisema mzigo huo ulijaa losheni zenye sumu ambayo inaleta madhara ya ngozi kwa binadamu |
mshtakiwa amekana kosa hilo na dhamana yake iko wazi lakini amekosa wa wadhamini na kulazimika kwenda rumande mpaka UNK mdhamini huku kesi yake ikitarajiwa kutajwa desemba nane mwaka huu |
wakati huo huo bwana joseph UNK mkazi wa kigamboni mji mpya amekamatwa kwa makosa manne likiwemo la uvuvi haramu |
mwendesha mashtaka bwana isaya mwanga alidai mbele ya hakimu aziza UNK wa mahakama hiyo kuwa mkono wa sheria UNK mshtakiwa novemba kumi na tisa mwaka huu saa kumi na moja kumi na tano jioni katika maeneo ya buyuni temeke jijini dar es salam UNK makosa mbalimbali |
katika kosa la kwanza anadaiwa kufanya shughuli ya uvuvi bila leseni pili kuvua kwa chombo ambacho UNK na kosa la tatu kupatika na vifaa vya mlipuko vya kuvulia samaki |
mshtakiwa alikana makosa yote na licha ya dhamana yake kuwa wazi ikihitaji wadhamini wawili wenye mali isiyohamishika shilingi sh |
milioni moja kila mmoja alirudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti |
kesi hiyo itatajwa desemba tatu mwaka huu |
kampuni taasisi mbalimbali na watu binafsi wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika tamasha la punguzo la bei na burudani linaloendelea katika viwanja vya mlimani city barabara ya sam UNK dar es salaam |
tamasha hilo UNK kilele kesho linahusisha wadau kutoka sehemu mbalimbali likiwa na lengo la kuhamasisha wananchi kujenga tabia ya kununua bidhaa zinazopatikana katika maduka ya mlimani city |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.