text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mratibu wa tamasha hilo bwana fred kimiti alisema kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na watu wengi kujitokeza kununua bidhaa ambazo UNK bei kwa kiasi kikubwa |
kuna kampuni nyingi ambazo zimejitokeza kuomba nafasi za kuonesha bidhaa zao baada ya kuona mwamko wa watu kununua bidhaa katika tamasha hilo alisema |
alitaja baadhi ya kampuni na taasisi ambazo zimejitokeza kuleta bidhaa na huduma kuwa ni pamoja na dstv na hospitali inayotoa huduma ya macho |
kampuni ya business times limited inayochapisha na kusambaza magazeti ya business times majira spoti starehe na dar leo ndio mdhamini pekee wa tamasha hilo kwa upande wa vyombo vya habari |
kampuni hiyo imejitokeza kushiriki tamasha hilo ili kutoa nafasi kwa watanzania kujionea bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo |
taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo kwa vyombo vya habari jana ilieleza kuwa wananchi UNK banda la business times ltd watapata nafasi ya kujionea nakala za mwanzo za magazeti hayo likiwamo la business times ambalo ni kwanza binafsi kuchapishwa nchini mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nane aidha nakala za bei... |
msuguano wa uongozi ndani ya jumuiya ya wanawake tanzania umeelezwa kuchochewa na mgawanyiko uliopo baina ya wabunge ambao kwa siku za karibuni umesababisha uhasama mkubwa baina yao majira UNK |
habari zilizopatikana kutoka katika vyanzo mbalimbali zimeeleza kuwa harakati za mwenyekiti wa uwt bibi sophia simba kutaka UNK oa katibu mkuu wa umoja huo bibi hasna mwilima una mkono wa siasa za kuviziana ambazo sasa imekuwa za kawaida miongoni mwa wabunge |
katika siku za karibuni bunge la tanzania UNK katika makundi mawili moja UNK kupamba na ufisadi na jingine UNK watuhumiwa wa ufisadi UNK bibi simba ambaye hivi karibuni alieleza msimamo wake kwenye kamati ya maridhiano iliyoongozwa na mzee ali hassan mwinyi kuchunguza chanzo cha mpasuko |
vyanzo vyetu ndani na nje ya uwt vimeeleza kuwa siasa hizo zimeingia ndani ya jumuiya hiyo na kwa kuwa bibi husna anahusishwa na upande mwingine unaopambana dhidi ya ufisadi |
lakini umoja huo unadaiwa UNK mgogoro huo wa wabunge kutaka kuigawa jumuiya yao na jana makamu mwenyekiti wa uwt bibi asha bakari makame aliweka wazi msimamo kuwa uwt haitakubali kuona mgawanyiko wa wabunge unaingizwa katika jumuiya hiyo kwa vile kila chombo kina majukumu yake na badala yake UNK viongozi wa jumuiya wa... |
UNK mambo ya bungeni UNK katika jumuiya watuache tufanye kazi kwa kuleta maendeleo kwani uwt ndio UNK mkuu katika ccm alisema makamo huyo |
kauli hiyo ya bibi makame imekuja siku chache baada ya mbunge wa same mashariki bibi anne kilango ambaye ni miongoni mwa wabunge wanaopambana na ufisadi kuwataka wanachama wa uwt mkoani kilimanjaro kuwapuuza bibi simba na bibi mwilima kwa kuwa UNK baina yao ni suala la binafsi na si la jumuiya |
hivi karibuni katika kikao cha baraza kuu la uwt ilidaiwa kuwa uliandaliwa mkakati wa kumnggoa bibi mwilima hatua ambayo uwt imekanusha lakini UNK kiongozi huo alihojiwa na kujadiliwa kutokana na kutotekeleza baadhi ya mambo yaliyopitishwa na vikao vya jumuiya |
katika kikao hicho ilidaiwa pia kuwa bibi simba UNK wajumbe kuwa bibi kilango ameandaa mawakili kumi kwa nia ya kumshtaki kwa tuhuma dhidi yake kuwa anauza dawa za kulevya UNK kutoa katika kamati ya mzee mwinyi jambo ambalo linaashiria kuwa mgogoro baina ya wabunge unazidi kujichimbia ndani ya uwt pamoja na maelezo ya... |
katibu mkuu wa uwt bado ni katibu na anaendelea na majukumu yake kama kawaida na hawezi kufukuzwa bila ya kupitia taratibu za vikao alisema bibi UNK |
hata hivyo alisema yeye na mwenyekiti wake walionesha busara kubwa katika kikao hicho licha ya baadhi ya wajumbe kuwa na jazba kwa vile mambo yote UNK kwa uwazi |
askari wa jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania private yusuph haji hussein UNK askari wenzake wawili praveti UNK masanja na praveti rashid hassan nawawi toka zanzibar kwa kuwapiga risasi |
kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na kurugenzi ya habari na uhusiano ya makao makuu ya jwtz dar es salaam tukio hilo lilitokea novemba ishirini na tatu mwaka huu saa moja jioni katika kijiji cha UNK kasulu mkoani kigoma ambako wanalinda mpaka wa tanzania na burundi |
siku ya tukio askari huyo alikuwa amepewa ruhusa ya kwenda benki mjini kasulu kuchukua mshahara wake na aliporejea aliwakuta wenzake wanne wakiwa wanakula chakula cha jioni na kuwaambia kuwa maskini anaishi muda mrefu kwa tabu nyingi na tajiri anaishi muda mfupi kwa raha nyingi |
baada ya kutoa kauli hiyo aliingia katika chumba cha silaha na kuchukua bunduki aina ya smg moja yenye nambari elfu sita na mia saba na sitini na risasi thebathini kisha kumpiga private masanja risasi mbili kichwani na moja mkono wa kushoto na kufa papo hapo |
kutokana na mauaji hayo askari wenzake walikimbilia porini na kumuacha UNK huyo ambaye aliingia tena katika chumba cha silaha na kuchukua risasi mia moja na ishirini na kisha kuchoma moto chumba chake na vyumba vya wenzake na kuelekea makao makao makuu ya UNK hicho UNK ulinzi |
akiwa njiani kiasi cha kilometa mbili askari huyo UNK mwaka ishirini sifuri mbili akitokea zanzibar alikutana na askari mwingine private nawawi na kumpiga risasi UNK kifo |
private nawawi alikuwa akitokea mjini kigoma ambako naye aliruhusiwa kwenda kuchukua mshahara wake |
baada ya tukio hilo mtuhumiwa UNK silaha hiyo na risasi tisini na mbili na kutokomea kusikojulikana |
risasi nyingine hamsini na moja hazijulikani zilipo |
hata hivyo taarifa hiyo haikueleza chanzo cha mauaji hayo na sasa jeshi la polisi nchini kwa kushirikiana na askari wa jwtz wanaendelea kumtafuta askari huyo |
na makumba mwemezi mahakama ya rufani tanzania jana imelitupa shauri la mapitio ya uamuzi wake ilioutoa katika kesi ya madai namba kumi na nane ya mwaka ishirini sifuri tano lililowasilishwa kwake na walalamikaji ambao walikuwa askari wa kikosi maalum cha kuzuia magendo cha zanzibar wakidai kulipwa shilingi mia moja n... |
akisoma uamuzi huo msajili wa mahakama ya rufani tanzania daktari ferdinand wambali alisema baada ya kupitia hoja za walalamikaji na kubaini hazina msingi kwani hazikuonesha kuwepo udanganyifu kutosikilizwa wala mahakama kukosa mamlaka ya kusikiliza |
walalamikaji walifungua kesi kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kmkm kuwaachisha kazi pamoja na kutowapa barua rasmi zinazoonesha kuachishwa huko |
akizungumza nje ya mahakama ya rufani mara baada ya uamuzi huo mwakilishi wa walalamikaji ambaye ni mlalamikaji wa kwanza abdallah ali mohamed alidai korti haikuwatendea haki |
pia aliomba bunge la tanzania pamoja na baraza la wawakilishi zanzibar kuwapa nafasi ya kuwasilisha vielelezo walivyonavyo kwani vyombo hivyo ndivyo wawakilishi wa wananchi vigogo wa chama cha wananchi UNK naibu waziri kiongozi wa zanzibar bwana ali juma shamhuna na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana mohamed se... |
wakati hayo UNK makamu mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake tanzania bibi asha bakari makame ameongeza utambi kwenye kauli za mawaziri hao akisema suala la serikali ya mseto UNK |
hatuwezi tukasema UNK serikali ya mseto UNK kwa vile hii nchi imepatikana kwa mapinduzi na wenyewe bado wapo |
UNK wa chama hicho aliyezungumza na gazeti hili jana waliwataka wananchi kuwapuuza viongozi hao kwa vile hawawezi kumsaidia rais amani abeid karume |
mjadala huo baina ya viongozi wa cuf na ccm umekuja baada ya bwana shamhuna kukaririwa akisema kuwa zanzibar hahitaji UNK ya mseto bali kinachotakiwa ni kujenga utamaduni wa kukubali matokeo ya uchaguzi ya kushinda au kushindwa |
naye bwana khatib alisema katika suala la umoja hakuna haja ya ushirikiano na chama kingine kwa kuwa ccm yenyewe inaweza kuwaunganisha UNK wote |
kauli za viongozi hao ambazo zimetolewa katika kipindi ambacho wazanzibari wanashangilia mafanikio ya kihistoria yaliyofikiwa baina ya rais karume na maalim seif juu ya uwezekano wa kuwepo kwa serikali ya mseto UNK wana cuf na UNK huku wakiwa makini kukwepa kuingilia mazungumzoa yaliyopo |
kiongozi mmoja wa juu wa cuf na mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama hicho UNK majira kuwa rais karume ameonesha nia nzuri ya kujenga nchi pasipo uhasama lakini watu kama hao ni wa kupuuza kwani wamechoka na hawawezi kumsaidia rais |
kiongozi huyo ambaye alikataa jina lake kutajwa kwa sababu jukumu ya kuzungumzia makubaliano ya rais karume na cuf ni katibu mkuu wa chama hicho maalim seif sharif hamad alisema wao wanafuata maelekezo ya rais karume na siyo ya mtu mwingine kama bwana UNK |
kauli hiyo kiongozi huyo inaungwa mkono na mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba UNK majira kuwa yeye anaongozwa na kauli ya rais karume kwa kuwa hotuba yake ilikuwa ni nzuri yenye madhumuni ya kuwaunganisha wazanzibari |
kiongozi mwingine ambaye pia alikataa jina lake lisichapishwe gazetini alisema kauli iliyotolewa na viongozi hao wawili bwana shamhuna na bwana khatib haiwezi kuwakatisha tamaa wana cuf kauli hizo UNK tamaa wana cuf wanachama wetu wameridhika wanasikiliza UNK na katibu mkuu wetu na hawawezi kumsikiliza mtu mwingine al... |
kiongozi huyo alimshangaa bwana shamhuna kwa kutoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari wakati ana fursa ya kutoa ushauri wake katika baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi ya zanzibar au moja kwa moja kwa rais karume |
kwanza UNK ni wapi kwenye makubaliano kati ya rais karume na maalim seif walisema wamekubaliana kuunda serikali ya umoja wa kitaifa |
alihoji kiongozi huyo |
alibainisha kuwa nia ya kukubali kuitambua serikali ya rais karume siyo kutaka kuunda serikali ya mseto bali kuwaunganisha wazanzibari |
mbona UNK ana wasiwasi |
UNK vya kutosha lengo letu siyo tupewe vyeo nia yetu ni kuwahudumia wananchi |
siasa siyo ukubwa alisema |
alisisitiza kuwa watu wanahitaji kushirikiana kujenga nchi hakuna sehemu rais karume na maalim seif walisema wamekubaliana serikali ya mseto |
kiongozi huyo alibeza kitendo cha bwana shamhuna kutoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari wakati rais ameonesha nia ya kujenga umoja |
akizungumzia kauli hiyo mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema alisema maalim seif alikubali kuitambua serikali ya rais karume kiungwana lakini waliyokubaliana UNK |
alisema kuwa rais karume aliwahi kutamka kuwa silaha za mapinduzi bado zipo na hadi sasa hajawahi kukanusha kauli hiyo |
aliwahi kusema kuwa uhuru haupatikani kwa karatasi hatujasikia akikanusha sasa hapa kuna mwafaka wa aina gani |
alisema bwana mrema |
alihoji kama muafaka wa maadishi UNK itawezekana vipi kwa makubaliano ya mdomo |
urafiki wao ni sawa na wa sungura na mbwa kamwe wanyama hawa hawawezi kujenga urafiki wa kudumu alisema |
kwa upande wake bibi makame aliwaeleza waandishi wa habari zanzibar kuwa suala hilo linahitaji kuzingatia taratibu za nchi UNK viongozi wanaweza kupigwa mawe iwapo wataamua bila ya kuzingatia matakwa ya katiba na pia ni vigumu UNK kwa njia ya mkato |
na kulwa mzee shahidi wa nane upande wa mashitaka katika kesi ya mauaji ya ubungo mrakibu wa polisi abdallah dunia amedai vocha iliyotumika UNK ndani ya gari la majambazi UNK kuwajua baadhi ya washitakiwa waliohusika katika tukio hilo |
bwana dunia alidai hayo jana mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji projest rugazia wakati akitoa ushahidi kwa kuongozwa na wakili wa serikali bibi UNK mushi |
shahidi alidai namba hiyo ya simu UNK na simu za baadhi ya washitakiwa aliomba kielelezo hicho cha vocha UNK na mahakama ilikubali |
pia alidai aprili ishirini na tatu ishirini sifuri sita siku tatu baada ya tukio la ubungo kutokea alipata taarifa kuwa mwanajeshi alihusika |
alimtaja mwanajeshi anayedaiwa kuhusika kuwa ni mt elfu saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike alikwenda nyumbani kwake kurasini shimo la UNK saa kumi alfajiri kumkamata lakini hawakukuta chochote UNK na tukio hilo |
alidai kambini kwa mshitakiwa walikuwa wakijua yuko shinyanga katika michezo lakini hakwenda kwa sababu UNK kutokuwa si za msingi |
akihojiwa na upande wa utetezi shahidi alikiri kwamba katika maelezo aliyoandika baada ya tukio kuna baadhi ya vitu UNK lakini katika ushahidi wake kortini alivieleza na vingine UNK katika kuandika |
washitakiwa katika kesi hiyo ni mashaka mahenge rashid lembresi john mndasha martine mndasha philipo mushi jackson issa haji UNK yassin juma hamisi mjata musa mustafa mt elfu saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike mt laki saba na elfu sitini na moja na mia sita na ishirini na moja emmanuel lameck UNK ... |
wanadaiwa aprili ishirini ishirini sifuri sita kwa makusudi walimuua evarist manyoni aliyekuwa mfanyakazi wa nmb tawi la wami na katika mashitaka ya pili walimuua askari d elfu sita na mia tatu na sitini na moja pc abdallah maro |
kesi inaendelea leo |
waziri mkuu bwana mizengo pinda amezitaka mamlaka zinazosimamia ubora wa bidhaa nchini kutokuwa kikwazo cha wajasiriamali kuthibitisha ubora wa bidhaa zao |
mamlaka hizo ni pamoja na shirika la viwango tanzania na mamlaka ya chakula dawa tanzania |
bwana pinda aliyasema hayo dar es salaam juzi jioni wakati akizindua maonesho ya nguvukazi UNK yanayoshirikisha nchi zote za afrika UNK isipokuwa burundi |
bwana pinda alisema kuwa bidhaa nyingi UNK katika mabanda UNK hazina nembo ya mashirika ya viwango huku baadhi ya wajasiliamali wakionesha kukata tamaa katika uthibitishaji wa bidhaa zao |
kutokana na maelezo UNK kutoka kwa baadhi ya wajasiliamali hasa wazawa wameonesha kukata tamaa katika uthibitishaji wa bidhaa zao UNK tfda tbs na wengine kuwasaidia wajasiliamali hawa badala ya kuwa kikwazo kwao alisema bwana pinda katika hatua nyingine amewataka waandaaji wa maonesho hayo kuwa na mfumo wa kutoa mafun... |
pia alizitaka nchi washiriki kutenga sehemu maalumu ya wajasiriamali hao kuonesha bidhaa zao hasa katika msimu wa maonesho makubwa kama sabasaba |
akizungumza katika uzinduzi huo waziri wa kazi ajira na mendeleo ya UNK profesa juma kapuya UNK nchi za jumuiya hizo kutoweka ukiritimba mipakani kwa wajasiriamali wanaotaka kuvuka kwenda nchi jirani kufanya biashara katika nchi hizo |
profesa kapuya alisema ukiritimba huo UNK nyumba UNK ya kuwekwa kwa soko la pamoja katika jumuhiya hiyo na kurudisha nyuma juhudi za kujiletea maendeleo |
UNK pale mtu UNK mipakani watu UNK muda usiozidi nusu saa lakini utakuta wakati mwingine mtu UNK muda pasipo sababu za msingi na hii UNK kama changamoto kwetu alisema profesa kapuya |
wakazi wa jiji la dar es salaam wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari katika suala la usafi ili kusaidia kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu |
hatua hiyo imekuja baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kuongezeka kutoka tisa hadi thebathini na nane ambao wamelazwa katika hospitali za manispaa za wilaya ya temeke ilala na kinondoni |
akitoa taarifa za ugonjwa huo dar es salaam jana kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alisema wagonjwa kumi na tisa wametoka wilaya ya ilala na kumi na moja temeke |
mpaka sasa tuna wagonjwa thebathini na nane tumewapokea juzi asubuhi na wa zamani wanane wengi wao wametoka maeneo ya pugu vingunguti kiwalani segerea kiwalani kipawa ukonga ilala tabata UNK yombo vituka na kinyerezi ambao wanaendelea kupata matibabu alisema daktari kawawa daktari kawawa alisema ukaguzi wa maeneo ya b... |
tunaishukuru serikali kwa kutoa dawa hasa UNK kwani tumejitahidi UNK wagonjwa kadri inavyowezekana ndio maana hakuna kifo hata kimoja lakini wananchi UNK kuchukua tahadhari zaidi ili kumaliza tatizo hilo aliongeza |
aidha amewataka wananchi kuzingatia usafi UNK vyakula pindi UNK kupika kunawa mikono kabla ya kula na UNK chooni UNK maji ya kunywa na kila wanapopata dalili za kipindupindu ambazo ni UNK maji yenye rangi ya mchele na kutapika wawahi hospitali ili kupatiwa matibabu |
mwenyekiti wa chama cha tanzania labour bwana augustino mrema amesema kwa gharama yoyote ile atahakikisha jimbo la vunjo linakuwa mikononi mwake mwaka ishirini moja sifuri licha ya mbunge wa sasa bwana aloyce kimaro UNK |
bwana mrema alitoa kauli hiyo jana dar es salaam wakati akikanusha kuhusika na kuzomewa kwa mbunge bwana kimaro kama UNK na vyombo vya habari akilalamika jana badala yake akasema sababu UNK mikakati ya kupeleka maji katika jimbo hilo |
alisema kuwa wananchi walikuwa wakisubiri kwa hamu kupata taarifa za maji badala yake mbunge wao alitaka kuwasimamisha viongozi wa tlp UNK ili UNK kitu ambacho UNK hasira za wananchi na kuanza kumzomea |
bwana mrema alisema kuwa kama bwana kimaro angekuwa ametekeleza yale yote aliyokuwa UNK wananchi wakati wa kampeni mwaka ishirini sifuri tano UNK na hivyo akamtaka UNK yeye kwamba ndiye aliyetuma watu UNK |
UNK kuna tatizo kubwa sana la maji na wananchi walitegemea katika mkutano huo ambao bwana kimaro alikuwa ameambatana na bibi |
anna kilango UNK mikakati aliyofikia kuhusu suala la maji badala yake UNK mada nyingine alisema |
bwana mrema alisema kuwa operesheni safisha anayodai kuifanya bwana kimaro vunjo ni kurubuni viongozi wa tlp ambapo juzi katika mkutano UNK viongozi hao wa mitaa na vitongoji bwana abel shirima wa kilema chini na bwana steven tumbo wa UNK cha makame chini wasimame na kutangaza UNK lakini waligoma na ndipo alipoanza ku... |
kwa taarifa yake mimi ndiye mgombea wa jimbo hilo mwakani piga UNK UNK na kuhakikisha kwamba UNK kwa gharama yoyote |
hata kama anasema kuwa UNK kwa miaka ishirini bila ya mafanikio lakini sijawahi kuzomewa kama yeye UNK kila mara anapokuwa akifanya mkutano alisema |
alisema kuwa wananchi ndio wanaojua alichokifanya kwa kipindi cha miaka ishirini na siyo bwana kimaro hivyo akamtaka aeleze alichokifanya kwa kipindi chote cha uongozi wake na siyo kumnadi mrema |
mimi sina wasiwasi yeye apige kelele na kumwaga UNK lakini ninachotaka akae akitambua ni kwamba mimi ndiye mbunge wa vunjo mwakani na nimejipanga ipasavyo na ninaamini ninakubalika kwa vijana wanawake na wazee alisisitiza |
bodi ya usajili wa wahandisi imepokea majina mawili wahandisi ambao wanatakiwa kufutwa kutokana na kushindwa kufanya kazi zao kwa mujibu wa taaluma kwenye halmashauri mbalimbali nchini |
msajili wa bodi hiyo bwana steven mlote ameyasema hayo alipozungumza na majira kuhusu kauli ya waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bibi celina kombani aliyoitoa kwenye maadhimisho ya siku ya wahandisi nchini kuwa bodi iwafute usajili wahandisi wanaofanya kazi chini ya viwango katika halmashauri |
tumepokea majina mawili japo alisema ana majina mengi ya wahandisi wanaoshindwa kufanya kazi kitaaluma katika halmashauri mbalimbali na kusabisha serikali kupoteza fedha kwa miundombinu inayojengwa bila viwango na kuharibika baada ya muda mfupi |
na sisi hatuwezi kuwafukuza mara moja lazima kwanza UNK kama ni kweli alisema bwana UNK |
alisema kwa sasa bodi UNK watu kuwachunguza wahandisi hao kuangalia taaluma zao shule na vyuo UNK na mazingira ya kazi kama walikuwa na vitendea kazi vya kutosha vya kufanyia kazi ili kubaini uzembe uliopo |
bwana mlote alisema wanafanya hivyo kabla ya kuchukua uamuzi wa UNK katika usajili kwa lengo la kuwatendea haki huenda walishindwa kutimiza majukumu yao kutokana na kukosa vitendea kazi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.