text
stringlengths
1
1.32k
aidha alimtaka waziri kuhakikisha UNK katika halmashauri kuwa makini katika kuwatambua watu wenye taaluma hiyo ili kujiepusha na kuajili watu ambao ni wavamizi katika taaluma
alisema kazi ya uhandisi UNK na UNK wengi hiyo kama hawatakuwa makini wanaweza UNK watu UNK taaluma kazi UNK na taifa likapata hasara
na grace michael hatimaye kesi ya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni tatu nane katika akaunti ya madeni ya nje inayomkabili kada wa ccm rajab maranda na wafanyakazi wa benki kuu ya tanzania itaanza kunguruma juni kumi na sita hadi thebathini mwaka huu baada ya kupangiwa jopo la mahakimu watatu flora mutungi samwel karu...
hatua hiyo ilijulikana jana mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam wakati kesi hiyo ilipotajwa na kujua endapo UNK jopo la mahakimu wa kuisikiliza
kesi hii itasikilizwa kuanzia juni kumi na sita hadi thebathini mwaka huu na itakuja kwa ajili ya kutajwa mei kumi na nane mwaka huu
hivyo upande wa mashitaka hakikisheni mashahidi UNK alisema mgeta
washitakiwa katika kesi hiyo ni maranda farijala hussen ajay somani ambao wote ni wafanyabiashara ambapo wafanyakazi wa bot ni ester komu sophia UNK na iman UNK
awali washitakiwa hao walifikishwa kortini hapo wakidaiwa kati ya januari kumi na nane na novemba tatu mwaka ishirini sifuri tano walikula njama ya kuiba mabilioni ya fedha kutoka bot washitakiwa hao wanadaiwa kuiba shilingi bilioni tatu nane baada ya kughushi nyaraka za usajili wa kampuni na kudai wamehamishiwa deni ...
wakati huo huo kesi nyingine inayomkabili kada huyo ya wizi wa shilingi milioni ishirini saba mbili ambayo ilitakiwa UNK jana ilikwama kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kupata mashahidi
upande wa mashitaka ulikwama kupata mashahidi hao kama mahakama ilivyokuwa imeagiza juzi kutokana na ufinyu wa muda uliokuwa UNK
akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili mkuu wa serikali boniface stanslaus alisema wamefanya jitihada za kuwapata mashahidi ambao ni askari lakini kwa ufinyu wa muda wote wamekutwa kwenye majukumu mengine
kutokana na hali hii tunaomba kesi hii ije kesho tutakuwa na uhakika wa kuwa na mashahidi aliomba bwana stanslaus
hoja hiyo UNK na upande wa utetezi hivyo kuamriwa kusikilizwa kwa kesi hiyo leo
washitakiwa ni maranda farijala komu mwakosya na bosco UNK
upande wa mashitaka unatarajia kuita mashahidi kumi na mbili washitakiwa wanashitakiwa kwa wizi wa mamilioni hayo ambayo wanadaiwa kuyaiba kupitia kampuni ya rashhas ltd
mkuu wa majeshi mstaafu jenerali george waitara anatarajia kupanda mlima kilimanjaro kuanzia UNK sita mwaka huu akisindikizwa na jopo la viongozi kumi kutoka nje na ndani ya nchi
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana katika uzinduzi rasmi wa upandaji wa mlima UNK kwa mwaka huu mwenyekiti wa kampuni ya kj traders bwana joseph UNK alisema kuwa bwana waitara ataambatana na mkewe na waziri wa viwanda na biashara daktari marry nagu
wengine watakaoshiriki ni makamu wa rais wa chama cha kupanda milima china bwana li UNK
shamrashamra za UNK wapandaji zitafanyika siku moja kabla ya kuanza kupanda desemba sita katika wilaya ya UNK mkoani kilimanjaro na watatumia siku sita kupanda na kushuka
kaulimbiu ya mwaka huu ni kuwasaidia watoto yatima ambayo ina malengo makuu manne ambayo ni pamoja na kuadhimisha siku ya uhuru kuwasaidia watoto yatima hasa wanaoishi karibu na mlima kutangaza utalii wa ndani na UNK watanzania juu ya mlima kilimanjaro
mwaka jana watu ishirini na nne walishiriki kupanda mlima kilimanjaro akiwemo bwana waitara ambaye alipanda kwa saa tatu na kushindwa kuendelea kutokana na hali ya hewa na umri wake ikiwa washiriki kumi na moja ndio waliofika kileleni
bwana waitara ameahidi kwa mwaka huu lazima afike kileleni ili kulinda heshima ya nchi na chama cha wapandaji milima cha china
wakati huo huo kampuni ya bia ya serengeti kama mdhamini wa wapandaji wa mlima kilimanjaro kwa mwaka huu imetoa shilingi milioni kumi na mbili ikiwa kama kianzio cha maandalizi na mipango UNK
UNK majengo mapacha ya benki kuu ya tanzania bwana harold webb amedai fedha zote zilizoongezeka kinyume na mkataba wa awali zilitumika kwa ujenzi wa majengo hayo na hakuna aliyesababisha hasara
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati shahidi huyo wa saba upande wa mashitaka akitoa ushahidi dhidi aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki hiyo bwana amatus liyumba
bwana webb ambaye ni raia wa uingereza kitaaluma ni mkadiriaji majengo alidai mkataba wa awali wa ujenzi wa majengo hayo ulikuwa wa dola za marekani sabini na tatu sitini sifuri na baada ya mabadiliko na kazi kuongezeka gharama UNK na kuwa dola mia tatu na hamsini na saba mia sita na sabini na tano mia tano na sitini ...
alidai mabadiliko yote yalikuwa yakitoka kwa mteja wao ambaye ni bot na haikuwa kazi yake kujua kwa nini yalikuwa UNK
mkadiriaji huyo alidai hajawahi kupata maelekezo kutoka katika menejimenti ya bot kuhusiana na mabadiliko ya kazi alikuwa akipata maelekezo kutoka kampuni ya d s shahidi alipotakiwa kueleza kama alikuwa na mawasiliano binafsi ya mshitakiwa kuhusu mradi huo alidai hakuwa na mawasiliano yoyote na bwana liyumba
mshitakiwa katika kesi hiyo anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea kusikilizwa januari ishirini na sita mwakani na kabla ya hapo itakuwa inatajwa
mamlaka ya mapato nchini imetakiwa kuweka mikakati madhubuti UNK wigo wa ukusanyaji wa kodi ili kuhakikisha mapato stahili UNK kuiwezesha nchi kufikia lengo la kupata asilimia kumi na nane ya pato la taifa na kupunguza utegemezi kwa wahisani
katika kupanua wigo huo tra wanapaswa kuwa na mfumo mzuri utakaowawezesha kuorodhesha shughuli na biashara ikiwemo UNK maanani zile zinazofanywa na sekta isiyo rasmi ili ziweze kuchangia pato la taifa tofauti na ilivyo sasa
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo wakati wa maadhimisho ya nne ya siku ya mlipa kodi tanzania
bwana mkulo alisema ili kuhakikisha sekta isiyo rasmi yenye watu takribani milioni kumi na sita inalipa kodi kunahitajika kuwepo kwa mazingira bora ya kufanyia biashara ikiwemo UNK wa kodi
ni kweli kuwa mapato ya serikali yamekuwa yakiongezeka mwaka hadi mwaka tangu tuanzishe mamlaka hii kutoka shilingi bilioni mia moja na kumi na saba kwa mwezi mwaka ishirini sifuri tatu ishirini sifuri nne hadi shilingi bilioni mia nne na ishirini na moja septemba ishirini sifuri nane wakati tunatambua mafanikio hayo ...
kwa sababu bado UNK haja ya mahitaji yetu ambayo nayo pia yanaongezeka mwaka hadi mwaka
tunatakiwa kupiga hatua nyingine zaidi ili kuhakikisha kuwa mapato yanaongezeka na kutuwezesha kupunguza kiasi cha utegemezi wa misaada ya wahisani mbalimbali alisema bwana mkulo
kamishna mkuu wa tra bwana harry kitilya alisema wakati wakiendelea kuboresha wigo wa kodi kwa wale walioko nje ya mfumo kwa sasa mamlaka hiyo imejipanga kupambana na tatizo la ukwepaji kodi linalosababishwa na walipa kodi wachache wasiokuwa waaminifu
UNK faraja ni kuwa walipa kodi wengi wanatambua wajibu wa kulipa kodi stahiki ili serikali yao UNK maisha bora na huduma muhimu UNK lakini wako wachache ambao si waaminifu wasiotekeleza wajibu wao
hatuna UNK nao hata kidogo
moja ya mikakati yetu katika mpango mkakati wa tatu ni kupambana na tatizo la ukwepaji kodi alisema bwana kitilya
naye mwenyekiti wa bodi ya tra daktari UNK UNK alisema katika kutekeleza mikakati mbalimbali ya utendaji ndani ya tra wamekuwa UNK umuhimu suala la uadilifu kwa kuchukua hatua za kinidhamu kwa watumishi wasiokuwa waadilifu ambao wamekuwa wakifanya hivyo kwa kushirikiana na vyombo vya dola kama takukuru na wadau wengin...
spika wa bunge bwana samuel sitta anatarajia kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule maalumu ya vipaji kwa watoto yatima jijini dar es salaam
taarifa iliyotolewa jana na kaimu mufti wa tanzania shekhe ismail makusanya ilisema shilingi milioni mia moja na ishirini zinatarajiwa UNK ili kumalizia majengo ya shule hiyo ya vipaji vya watoto hao iliyopo UNK kigamboni dar es salaam
katika hafla hiyo itakayofanyika desemba tano mwaka huu bwana sitta atashirikiana na kamishna mstaafu wa polisi alfred tibaigana kufanikisha michango hiyo
shekhe makusanya amewaomba wadau wa elimu na watanzania wote kwa ujumla kushiriki katika harambee hiyo ili watoto hao wapate sehemu ya kupata elimu mapema mwakani
tunaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kuchangia fedha za ujenzi huu ambao una manufaa makubwa kwa vijana wetu wanaoishi katika mazingira hatarishi kwani sisi ndio kama wazazi wao UNK hivyo tuliangalie suala hili na tuweze kushiriki kwa ukamilifu alisema mufti ismail
kaimu mufti huyo ametoa shukrani kwa sitta kwa kukubali kushiriki katika harambee hiyo licha ya kuwa na shughuli nyingi jambo UNK kuwa anajali maslahi ya umma katika suala la elimu ya vipaji kwa watoto yatima kwa ajili ya manufaa yao ya baadaye
ukaguzi na UNK ya mabasi ambayo UNK mikanda katika viti vya abiria ilianza jana kwa mabasi yaendayo mikoani
kamanda wa kikosi cha usalama barabarani bwana james kombe amesema shughuli hiyo imeanza baada ya kazi ya ufungaji mikanda kumalizika novemba ishirini na sita mwezi huu
alisema serikali ilitoa agizo hilo kwa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na daladala kufunga mikanda hiyo katika viti kwa hiari lakini kwa sasa wakati huo umeisha na jeshi la kikosi cha usalama barabarani UNK sambazwa UNK
kwa sasa tumejipanga vizuri na UNK UNK mabasi yote ambayo UNK mikanda na kuyafikisha kwa mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu ili UNK faini kwa kukaidi kufunga mikanda hiyo kwa hiari alisema bwana kombe
alisema sumatra itakuwa UNK faini kwa mabasi UNK mikanda kuanzia shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri sifuri na kuendelea ambapo shughuli hiyo inatarajiwa kuwa endelevu na baada ya kumaliza mabasi yaendayo mikoani UNK kwa daladala
mwalimu wa shule ya msingi UNK wilayani kiteto mkoani manyara bwana paulo charles amekufa papo hapo baada ya kupigwa risasi na mtu ambaye hakufahamika akiwa maeneo ya shule
kamanda wa polisi mkoani manyara bwana parmena sumary alisema tukio hilo lilitokea jumanne saa tatu usiku wakati mwalimu paulo charles akiwa maeneo ya shule alipopigwa risasi tumboni na kufa
chanzo cha kifo hicho hakijafahamika na jeshi la polisi wilayani kiteto linaendelea na uchunguzi na mwili wa marehemu UNK kwenda marangu moshi kwa mazishi
rafiki wa marehemu huyo bwana damson mhando alisema marehemu inadaiwa kupigwa risasi na UNK wake ambao UNK vibaya naye kabla ya kifo chake
mimi UNK kwa bwana paulo UNK na ndugu yake wa arusha UNK mzigo wake kutoka arusha nilipofika kiteto nikapata taarifa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alisema
alisema baada ya kwenda kijijini hapo alizungumza na watu mbalimbali wakiwepo majirani ambao walisema marehemu kabla ya kifo chake aliishi kwa mashaka na watu na siku mbili kabala ya kifo chake nyumba yake ilipigwa mawe nyakati za usiku na watu wasiojulikana
kwa upande wake afisa elimu wa wilaya ya kiteto bwana emmanuel mwagala alisema amesikitishwa na kifo cha mwalimu huyo na UNK kuwa alikuwa UNK na mzoefu wa kazi
timu ya taifa ya tanzania bara kilimanjaro stars jana ilianza vibaya michuano ya chalenji baada ya kufungwa bao mbili sifuri na timu ya taifa ya uganda the cranes katika mechi kali iliyopigwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa UNK
wakati kilimanjaro stars ikiangukia pua ndugu zao wa zanzibar zanzibar heroes walianza vyema michuano hiyo baada ya UNK uganda mabao nne sifuri katika mechi iliyochezwa saa nane mchana katika uwanja huo
bao la kwanza la uganda lilipatikana katika dakika ya pili ambalo liliwekwa kimiani na owen UNK baada ya kuunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na UNK UNK
baada ya kilimanjaro stars kufungwa bao hilo ilikuja na kulishambulia goli la wapinzani wake dakika za kumi na moja ishirini na moja na thebathini na mbili lakini UNK wake john boko kigi makasy na danny mrwanda walishindwa kufunga baada mipira kuokolewa na mabeki wa uganda
hata hivyo kilimanjaro stars ilipata pigo dakika thebathini na saba baada ya beki wake juma nyoso kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuunawa mpira makusudi wakati awali alikuwa na kadi ya njano
uganda UNK tamaa kilimanjaro stars baada ya kufunga bao la pili katika dakika ya themanini na nane lililofungwa na mike UNK baada ya kuunganisha mpira wa adhabu
kipindi cha pili ilifanya mabadiliko ambapo makassy shaban nditi na boko na wakaingia mrisho ngassa henry joseph na UNK tegete ambao kwa kiasi kikubwa UNK hali ya mchezo
katika mechi iliyopigwa saa nane mchana zanzibar heroes ilianza UNK bao lake la kwanza katika dakika ya kumi na sita lililofungwa na thomas moris baada ya kuunganisha kona iliyochongwa na nadir haroub canavaro bao la pili la zanzibar lilipatika dakika ya kumi na nane baada ya mchezaji wa burundi UNK hassan kujifunga a...
katika dakika ya ishirini na tano suleiman kassim aliipatia zanzibar bao la tatu baada ya kupokea pasi ya hassan seif na bila ajizi UNK mpira kimiani na kuifanya zanzibar heroes kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao tatu sifuri zanzibar heroes ilifunga karamu ya magoli katika dakika ya sitini na sita ambapo beki wa t...
na mwandishi wetu rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi daktari amani abeid karume ametuma ujumbe rasmi wa serikali ya mapinduzi zanzibar kwenda mombasa kenya kushughulikia mazishi ya watu waliokufa kwenye ajali ya jahazi la amana wakati wakisafiri kutoka tanga kwenda pemba hivi karibuni
taarifa ya ikulu ya zanzibar iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na mwandishi wa habari wa rais karume bwana rajab UNK ilisema kiongozi huyo alipokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa ya vifo vya wananchi hao
wananchi hao UNK kufa maji baada ya jahazi hilo kuwaka moto na kuzama katikati ya bahari ya hindi
maiti wachache UNK na kuna taarifa miili zaidi inayosadikiwa ni ya abiria wa jahazi hilo imepatikana shimoni UNK
ujumbe wa smz unaongozwa na mawaziri wawili akiwemo waziri wa afya na ustawi wa jamii bwana sultan mohamed UNK waziri wa nchi ofisi ya waziri kiongozi bwana hamza hassan na daktari mmoja kushughulikia masuala hayo pamoja na mazishi ya maiti UNK
rais karume alisema tukio hilo ni msiba mkubwa kwa wananchi wote wa zanzibar
ametoa rambirambi kwa wafiwa na kumuomba mwenyezi mungu UNK waliofariki na awape UNK wanafamilia ndugu jamaa na marafiki wa marehemu
tayari smz UNK maofisa wake kushughulikia maafa hayo mjini tanga ambapo walitarajiwa kuonana na walionusurika na majeruhi na kuwapatia msaada UNK
kampuni ya simu ya zain imezindua huduma mpya ya mtandao wenye vifungu vidogo vidogo vya mahitaji vinavyokidhi wateja mbalimbali wa malipo ya awali na UNK
kuzinduliwa kwa huduma hiyo kunatokana na muunganisho wa zain kwenye UNK wa UNK UNK ambao ulizinduliwa hivi karibuni na zain ilikuwa ya kwanza kuunganishwa
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam wakati wa uzinduzi huo meneja masoko bwana costantine magavilla alisema huduma hiyo itawasaidia wateja kupata taarifa mbalimbali kama UNK mpira na kuwasiliana na ndugu kwa njia intaneti kwa gharama nafuu
tumeamua kuzindua huduma yenye vifungu vya maneno mbalimbali itakayowawezesha wateja kutumia mtandao mahali popote tanzania kwa bei rahisi zaidi na kutokana na wigo wa zain nchini asilimia kubwa ya watanzania watafaidika alisema
bwana magavilla alifafanua kwamba ili kupata huduma hiyo unatakiwa kutuma ujumbe kati ya kifungu kimoja cha neno kwenda namba mia mbili na thebathini na tatu kwa wateja wa malipo ya kabla kutoka kwenye simu zao za huduma na wateja wa baada watawasiliana na idara ya mauzo na UNK na huduma hiyo ambayo kwa mwezi ni shili...
umoja wa wanawake wa wilaya ya ilala jijini dar es salaam UNK chama cha kukopa na kuweka ya wilaya hiyo kwa ajili ya kuinua kipato cha wanawake ikiwa ni pamoja na kujiajiri wenyewe
akizungumza katika uzinduzi huo hivi karibu mbunge wa viti maalum mkoa wa dar es salaam bibi janeth UNK alisema wanawake wajasiriamali wa mkoa wa dar es salaam hawana budi kujiunga na kuanzisha saccos yao ili waweze kujulikana na kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu
alisema dar es salaam kuna wanawake wengi wajasiriamali hivyo wakitumia vyema nafasi walizonazo wanaweza kujitangaza kwa kupitia katika saccos au vikundi mbalimbali ili waweze kufahamika serikalini na kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu
naomba nitoe mwito kwa wanawake wote nchini pamoja na vijana wajasiriamali kujiunga na saccos au vikundi mbalimbali vya uzalishaji mali ili iwe rahisi kupatiwa mikopo yenye gharama nafuu na serikali alisema bibi UNK
alisema serikali haina uwezo wa kupita kwa mtu UNK na kumpatia mkopo hivyo suluhisho ni kuanzisha saccos ili wapate mkopo kwa urahisi
alisema kuwa pia amekubali maombi ya UNK ya kuwapatia kompyuta yenye thamani ya shilingi milioni moja tatu pamoja na kuwatoa semina inayohusu kilimo cha uyoga kwa ajili ya kuwatengenezea mazingira ya kufanya biashara mbalimbali
benki ya wananchi wa dar es salaam imesema itazidi kutoa huduma ya mkopo ya fedha kwa walengwa ambao ni wafanyabiashara wenye mitaji midogo ili kukidhi haja yao ya kuwa na miradi mikubwa
akizungumza hivi karibuni katika mafunzo ya UNK kwa wananchi UNK masharti ya mikopo dar es salaam meneja wa dcb tawi la tabata wilaya ya ilala bwana UNK ahmed alisema benki hiyo itaendelea kuwakopesha wateja wake kwa masharti nafuu
bwana ahmed alisema kwa sababu ya kuwa na mitaji midogo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakikimbia kulipa kodi ya mapato hivyo kupitia benki ya dcb UNK masharti ya kujiunga na urejeshaji kwa riba nafuu yenye ambayo ni asilimia mbili nne kwa mwezi huku mkopaji akibaki na akiba isiyopungua shilingi mia moja na hamsin...
wakopaji hao wanatakiwa kuwa wakazi wa dar es salaam ambao wanafahamiana kuaminiana kuheshimiana kuishi jirani na wawe wafanyabiashara ambao kwa hiari yao wenyewe wamekubaliana kuunda kikundi cha watu watano pia waunde ofisi yao nasi UNK shilingi laki tano alisema bwana ahmed
bwana ahmed alisema benki ya dcb inafanya biashara kwa kuzungusha pesa ya wananchi ambapo UNK fedha wananchi baada ya wakopaji wa mwanzo UNK
aliongeza kuwa kabla ya kukopeshwa fedha hizo lazima mkopaji awe UNK mafunzo ya mikopo UNK na benki hiyo mara moja kwa kila wiki kwa saa moja
kwa saa moja
bwana ahmed alisema benki yao ina matawi manne katika mkoa wa dar es salaam ambayo ni tawi la UNK eneo la mnazi mmmoja magomeni temeke na tabata lengo kuu ni kufanikisha biashara za wajasiriamali wadogo wanafanikisha kukua kwa biashara zao
na edmund mihale kampuni ya upatu ya deci imeanza kuandikisha majina ya washiriki wanaopaswa kulipwa ambao UNK kwa mara ya kwanza
kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa juzi washiriki walioweka fedha mwezi huu walitakiwa kujiandikisha jana na kuchukua fedha zao aprili ishirini na tano walioweka mwezi uliopita walitakiwa kujiorodhesha leo hadi aprili ishirini na nne watachukua fedha zao aprili ishirini na saba hadi thebathini na waliopanda februari wal...
ratiba hiyo inaonesha walioweka fedha januari ishirini sifuri tisa walitakiwa kujiorodhesha mei moja na mbili na nne hadi sita na kuchukua fedha zao mei nane hadi kumi na mbili waliopanda desemba ishirini sifuri nane walitakiwa kujiandikisha mei saba hadi tisa na mei kumi na moja hadi kumi na mbili mwaka huu na kuchuk...
wapo baadhi ya washiriki ambao wameanza kufikiria kuchukua sheria kutokana na kampuni hiyo UNK juu ya utaratibu huo mpya