text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mwenyekiti wa kamati ya dharura mchungaji isaac kalenge alisema jana kuwa tayari wameshafanya mazungumzo na kampuni ya uwakili ya brilliance law UNK ili kuishitaki kampuni hiyo kutokana na kukatisha mkataba wa na kushindwa kulipa fedha zao |
UNK na uongozi wa deci lazima utueleze ni kwa nini umefanya hivi |
haya si makubaliano yetu tuliambiwa kuwa tutapanda mbegu na tutavuna zaidi ya mara tatu lakini leo UNK lazima fedha hizi zirudi alisema mchungaji UNK |
mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo alisema uamuzi huo umetokana na kukosa fedha za kuwarudishia washiriki hao kutokana na kutokuwa na upandaji baada ya kusimamishwa na serikali |
kwa hili kaka kama umepanda na UNK mara moja tu itakuwa imekula kwako hivyo hutakiwi UNK |
hapa tunapokea watu ambao wamepanda na hawakuwahi kuvuna hata mara moja alisema mfanyakazi huyo wa kike |
hata hivyo chanzo ndani ya kampuni hiyo kimesema watu na taasisi mbalimbali za kidini tayari wameanza kurudishiwa mbegu walizopanda licha ya kuwa walishawahi kuvuna zaidi ya mara moja |
makanisa mawili tayari UNK shilingi milioni mia mbili na sitini wengine ni maaskofu kutoka makanisa mbalimbali ya kipentekoste |
chama cha wasafirishaji wa bidhaa nje ya nchi kimeitaka serikali kutoa mianya ya kuwawezesha wajasiriamali nchini kupata mikopo ili waweze kuendesha shughuli zao kiufasaha katika kukabiliana na tatizo la umasikini |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mwenyekiti wa sekta binafsi nchini bwana aloyce mwamanga wakati akifungua mkutano wa siku moja kwa wanachama hao na wadau mbalimbali wa biashara na masoko |
bwana mwamanga alisema kwa sasa wajasiriamali wengi nchini wanashindwa kuendelea kwa kutekeleza vizuri majukumu ya kazi zao kwa kukosa mahitaji UNK wanaomba kutoka katika mabenki |
kama serikali hii ina lengo la kuona maendeleo ya kila namna yanapatikana inatakiwa kuhakikisha kwanza inapunguza kiasi cha riba UNK na benki za biashara hapa nchini pindi mtu anapotaka kupewa mkopo UNK bwana UNK |
alisema kuwa kinachoonekana katika benki nyingi hapa nchini nafasi ya kupewa mikopo kwa wajasiriamali ni ndogo na yenye usumbufu mkubwa ambapo UNK watu na vikundi vingi kushindwa kutimiza malengo yao kwa kukosa mitaji |
kwa upande wake mwenyekiti wa UNK bwana isaack UNK alisema tatizo linalowafanya wajasiriamali wengi kushindwa kufikia malengo yao ni kutokana na ukiritimba uliotawala katika benki nyingi hapa nchini |
alisema kuwa kama serikali ina nia ya kuona wanaendelea haina budi kuanzisha chombo kitakachokuwa UNK moja kwa moja matatizo yao |
alisema kuwa hali hiyo ndiyo pekee UNK chama hicho na wajasiriamali kupiga hatua zaidi katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hii ambapo kwa sasa bado UNK |
taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa imekiri kukithiri na kuongezeka kwa vitendo vya rushwa nchini na sasa taasisi hiyo imeamua kutumia wasanii ili kuhamasisha wananchi kuepuka vitendo hivyo ambavyo ni hatari kwa maendeleo ya nchi na jamii kwa ujumla |
akizungumza na wawakilishi wa wasanii jijini dar es salaam mwishoni mwa wiki mwakilishi wa mkurugenzi wa elimu kwa umma takukuru makao makuu bwana jonathan semiti alisema wasanii wakitumiwa ipasavyo kuelimisha jamii kuhusu athari za rushwa jamii inaweza kuhamasika na kuachana na vitendo vya kutoa na kupokea rushwa |
bwana semiti alisema takukuru kwa kutambua uwezo na nguvu ya wasanii katika kuelimisha jamii imeamua kuwapa mafunzo ili wajue wajibu wao na namna ya kuzungumzia rushwa kisanii wakiamini jamii inaweza kuelewa kwa haraka zaidi na kubadilika kwa haraka |
mmoja wa viongozi kutoka baraza la sanaa tanzania bwana denis mango alisema wasanii kwa kutumia sanaa zao wanaweza kuliwezesha taifa kushinda vita dhidi ya mapambano ya rushwa kwani nguvu yao ni kubwa katika kuhamasisha jamii UNK kwa haraka na wepesi zaidi |
bwana mango alisema sanaa ina uwezo mkubwa wa kuigeuza jamii katika jambo lolote lile na kwamba lugha yake huwa nyepesi kueleweka hivyo endapo wasanii UNK vizuri katika mapambano hayo ya rushwa akasema ushindi wa kweli UNK |
naye mmoja wa waelimishaji kutoka takukuru makao makuu bibi renalda UNK aliwambia wasanii hao kuwa wajibu wao katika mapambano dhidi ya rushwa ni kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu athali za rushwa na madhara yake |
bibi renalda aliyataja baadhi ya madhara ya rushwa kuwa ni pamoja na wananchi kukosa imani na viongozi wao ukosefu wa huduma za jamii kuchaguliwa kwa viongozi wasiofaa pato la taifa kupungua kuwepo kwa matabaka ya watu kuongezeka kwa maambukizi ya vvu nchi kuendelea kuwa maskini na uovu kuongezeka |
bibi renalda aliyataja baadhi ya makosa ya rushwa kuwa ni pamoja na hongo rushwa katika mikataba rushwa katika manunuzi na zabuni rushwa katika UNK rushwa katika ajira kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri kumiliki mali UNK na kipato ufujaji na udanganyifu UNK wa mali ya umma kushiriki na kusaidia kutenda uovu matumizi ... |
katika hatua nyingine msanii maarufu na wa siku nyingi anayejulikana kwa jina la kisanii mhogo mchungu aliomba idara na taasisi za serikali na zisizo za serikali hasa jeshi la polisi kuwapa ushirikiano wasanii watakapoingia vitani kupambana na rushwa ambaye alisema ili kumtokomeza lazima UNK kama UNK bila kumtazama us... |
utafiti uliofanywa na taasisi ya ustawi wa jamii kwa wanafunzi wa elimu ya juu umebaini kuwapo kwa ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya ukimwi unaochangiwa na hali ngumu ya maisha inayowakabili wawapo katika mazingira ya shule |
utafiti huo ulifanyika julai mwaka huu na kubaini kuwapo kwa ufahamu mdogo wa namna ya maambukizi hayo ya virusi vya ukimwi ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapo kwa unyanyapaa kwa watu UNK kuwa na virusi miongoni mwao |
hayo yalisemwa na mratibu wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani bwana daud chanila wakati kizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni dar es salaam kuhusiana na siku hiyo |
UNK kilele cha maadhimisho hayo bwana chanila alisema kuwa kuna haja ya watu kutambua kuwa ukimwi ni hali ya kuwa na mchanganyiko wa magonjwa mengi mwilini na hivyo UNK na unyanyapaa |
bwana chanila alisema kuwa katika kuhakikisha wanapambana na maambukizi ya virusi vya ukimwi taasisi hiyo kwa kushirikiana na kituo kimoja cha ushauri nasaha wameunda na kuandaa sera ya ukimwi ya taasisi hiyo yenye kupinga maambukizi zaidi ya virusi |
tuna kituo cha ushauri nasaha ubao wa matangazo ya ukimwi lakini kubwa ni kuwafundisha vijana na waajiriwa juu ya uelimishaji rika alisema na kuongeza kuwa huo ni mkakati kamambe wa kupiga vita maambukizi zaidi ya vvu alisema |
mkuu wa mkoa wa shinyanga daktari yohana balele ameagiza kukamatwa mara moja kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kisesa wilayani meatu baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa wizi wa vifaa vya ujenzi wa sekondari moja ya kata |
mwenyekiti anayetuhumiwa kwa wizi wa vifaa hivyo alitajwa kuwa ni bwana sasa kishola ambaye awali alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa sekondari ya kata hiyo ya kisesa kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya chama cha mapinduzi oktoba ishirini na tano mwaka huu |
daktari balele aliyekuwa ametembelea kata hiyo wiki iliyopita kusikiliza kero zinazowakabili wananchi alitoa agizo la kukamatwa kwa kiongozi huyo baada ya kusikiliza malalamiko yaliyotolewa na wananchi wakidai wamegoma kuchangia shughuli za maendeleo baada ya watuhumiwa hao kutochukuliwa hatua zozote za kisheria |
mheshimiwa mkuu wa mkoa kweli huko nyuma tulikuwa tunachangia sekondari yetu bila matatizo lakini hivi sasa tumegoma baada ya kukamata wezi wa vifaa vya ujenzi shuleni hapo lakini waliachiwa na mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote zile alieleza mmoja wa wakazi wa kata hiyo bwana nyasama adamu |
kutokana na maelezo hayo daktari balele alimtaka bwana adamu kuwataja wahusika wa wizi huo ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida alimtaja kwanza mwenyekiti wa serikali ya kijiji aliyekuwa amekaa meza moja na daktari balele pia watu wengine watatu ambao alisema awali walikamatwa na kuachiwa bila maelezo |
bwana adamu alivitaja vifaa vilivyoibwa katika shule hiyo na kukamatwa katika nyumba ya mmoja wa watuhumiwa hao kuwa ni pamoja na bati thebathini na tatu za geji ishirini na nane nyavu za madirisha na vyuma vya kutengenezea madawati ambavyo mpaka sasa vipo palepale vilipokamatiwa |
nakubaliana nanyi kuwa hilo ni tatizo sasa naagiza wahusika wote wakamatwe kwa kuanzia na aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi na wafikishwe katika vyombo vya sheria ili ukweli ubainike na mimi nitaleta tume ya kuchunguza matumizi ya fedha zenu kama zimeliwa na wahusika wataliwa na sheria alieleza daktari balele |
mkuu wa mkoa wa shinyanga daktari yohana balele ameagiza kukamatwa mara moja kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kisesa wilayani meatu baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa wizi wa vifaa vya ujenzi wa sekondari moja ya kata |
mwenyekiti anayetuhumiwa kwa wizi wa vifaa hivyo alitajwa kuwa ni bwana sasa kishola ambaye awali alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa sekondari ya kata hiyo ya kisesa kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya chama cha mapinduzi oktoba ishirini na tano mwaka huu |
daktari balele aliyekuwa ametembelea kata hiyo wiki iliyopita kusikiliza kero zinazowakabili wananchi alitoa agizo la kukamatwa kwa kiongozi huyo baada ya kusikiliza malalamiko yaliyotolewa na wananchi wakidai wamegoma kuchangia shughuli za maendeleo baada ya watuhumiwa hao kutochukuliwa hatua zozote za kisheria |
mheshimiwa mkuu wa mkoa kweli huko nyuma tulikuwa tunachangia sekondari yetu bila matatizo lakini hivi sasa tumegoma baada ya kukamata wezi wa vifaa vya ujenzi shuleni hapo lakini waliachiwa na mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote zile alieleza mmoja wa wakazi wa kata hiyo bwana nyasama adamu |
kutokana na maelezo hayo daktari balele alimtaka bwana adamu kuwataja wahusika wa wizi huo ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida alimtaja kwanza mwenyekiti wa serikali ya kijiji aliyekuwa amekaa meza moja na daktari balele pia watu wengine watatu ambao alisema awali walikamatwa na kuachiwa bila maelezo |
bwana adamu alivitaja vifaa vilivyoibwa katika shule hiyo na kukamatwa katika nyumba ya mmoja wa watuhumiwa hao kuwa ni pamoja na bati thebathini na tatu za geji ishirini na nane nyavu za madirisha na vyuma vya kutengenezea madawati ambavyo mpaka sasa vipo palepale vilipokamatiwa |
nakubaliana nanyi kuwa hilo ni tatizo sasa naagiza wahusika wote wakamatwe kwa kuanzia na aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi na wafikishwe katika vyombo vya sheria ili ukweli ubainike na mimi nitaleta tume ya kuchunguza matumizi ya fedha zenu kama zimeliwa na wahusika wataliwa na sheria alieleza daktari balele |
mkuu wa mkoa wa mbeya bwana john mwakipesile jana alikuwa mbogo kwa wakandarasi UNK barabara za jiji hilo na kuwaeleza kuwa hazina kiwango bali kinachofanyika ni wizi wa fedha za serikali zinazotolewa na wavuja jasho |
msimamo huo aliutoa juzi wakati wa kikao cha kamati ya bodi ya barabara mkoa wa mbeya baada ya kupokea taarifa ya ujenzi na ukarabati wa barabara za jiji lakini yeye akahoji ubora wake kutokana na kuonekana hazina viwango UNK |
katika kikao kilichopita UNK ile barabara inayokwenda kwangu UNK itaonekana vema baada ya miezi sita lakini cha ajabu hadi sasa hakuna kilichofanyika pale na kinachoonekana ni wizi mtupu wenye ufisadi tena UNK mbele ya macho yangu alisema |
alisema kuwa inasikitisha kuona fedha za serikali UNK bila ya kuheshimiwa katika ujenzi wa barabara mbovu kama hizo na kisha watalaamu wa jiji UNK na kuona kuwa ni halali hivi ninyi UNK jinsi ambavyo barabara ile UNK na kiwango na hata asiyejua utalaamu huo anaweza kutambua kuwa hapo kuna wizi alisema |
alipotakiwa kufafanua kaimu mhandisi wa jiji bwana masalu UNK alisema kuwa wawe na subira kwa kuwa mtindo wa ukarabati wa barabara hizo matokeo ya ubora huonekana mwishoni |
alisema kwa sasa mtu UNK anaweza kusema kuna wizi mkubwa unaofanyika kutokana na kuonesha vumbi lakini wao kama watalaamu UNK onyo hilo la bwana mwakipesile wanalifanyia kazi kwa maslahi ya mkoa wa mbeya |
pia bwana mwakipesile alionya tabia ya wakala wa barabara nchini kupenda kufanya kazi wilayani bila ya kuwashirikisha wahandisi wa wilaya ambapo alisema kuwa wao ndio wenyeji na hivyo kinachotakiwa ni kuhakikisha UNK heshima yao |
afisa wa polisi kutoka makao makuu ya polisi dar salaam sp UNK amepewa siku saba askari mwenye cheo cha UNK na |
e elfu sita na mia saba na sitini na saba pc mesiaki kumlipa shilingi milioni hamsini sifuri kwa kumwambia ni mgonjwa wa akili na kampuni ya mawakili ya kimale mjini arusha kuanzia tarehe ishirini na nne novemba ishirini sifuri tisa kujibu tuhuma za kumwambia askari polisi akizungumza na gazeti hili pc mesiaki alisema... |
UNK sana afisa huyu kuniambia kuwa ni mgonjwa wa akili hivyo nimeamua kulifuatilia suala hili kisheria |
anapaswa UNK fidia ya shilingi milioni hamsini sifuri kwa UNK kutokana na kauli yake hiyo alisema pc UNK |
tayari kampuni ya uwakili ya kimale ya mjini arusha imetoa notisi ya siku saba kuanzia novemba ishirini na nne ishirini sifuri tisa kumtaka afisa huyo wa polisi kumlipa mlalamikaji kiasi hicho la sivyo atafikishwa mahakamani |
gazeti hili lilipowasiliana na sp UNK kuhusiana na shutuma hizo alidai yeye si msemaji wa suala hilo bali aulizwe kamanda wa polisi mkoani arusha na yeye hawezi kusema lolote kwa chombo cha habari kuhusiana na suala hilo |
kaimu kamanda wa UNK mkoani hapa bwana leonard paul alisema kuwa hawezi kusema lolote kwani suala hilo ni mambo ya ndani ya jeshi |
kampuni ya uwekezaji ya chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo UNK saini ya mkataba wa kibiashara na chama cha pamoja cha wafanyabiashara cha comoro kuuziana mazao ya kilimo ikiwa ni moja ya njia za kutekeleza adhma ya kilimo kwanza |
hatua hiyo ya kutiliana saini ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini dar es salaam kati ya kaimu mwenyekiti wa kampuni ya tccia investiment ltd kwa upande wa tanzania bwana gideon kaunda na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pamoja ya wafanyabiashara wa comoro bwana said chaihane |
akizungumza katika hafla hiyo bwana kaunda alisema tukio hilo la kutiliana saini ya kibiashara ya mazao ya kilimo ni la kihistoria baina ya nchi hizo mbili na lengo kubwa ni kutekeleza adhma ya falsafa ya kilimo kwanza |
tukio hili ni la kihistoria baina yetu na comoro na kwamba lengo kubwa ni kufanya biashara inayotekeleza UNK ya falsafa ya kilimo kwanza alisema bwana UNK |
bwana kaunda alisema kuwa mkataba huo UNK milango ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili na kwamba hiyo ni fursa pekee kwa wakulima wafanyabiashara kutumia fursa hiyo kuuza mazao ya kilimo |
alisema mazungumzo ya kuanza kufanya biashara ya mazao ya kilimo na comoro yalianza muda mrefu kutokana na ziara za kibiashara zilizofanywa na kampuni hiyo na ndipo UNK hiyo ya kibiashara |
bwana kaunda alisema licha ya kusaini mkataba huo tayari kampuni hiyo ya comoro imeagiza tani zaidi ya sita za vitunguu kwa kuanzia ikiwa kama ishara ya kufungua milango ya kibiashara hasa mazao yatokanayo na kilimo |
aliwataka wanachama wa tccia investiment ltd kuchangamkia fursa hiyo ya kibiashara ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na kampuni hiyo ili kutambua fursa za kibiashara zilizopo na kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo ili kukidhi haja ya mahitaji ya bidhaa za kilimo |
naye bwana UNK alisema mkataba huo ni sehemu tu ya kufungua milango ya kibiashara baina ya tanzania na kwamba lengo kuu ni kuongeza mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili |
huu ni mwanzo tu bali tunapenda kuongeza mahusiano zaidi ya kibishara kati yetu na tanzania na lengo letu ni kuongeza mahusiano na kuunga mkono juhudi ya serikali ya tanzania katika falsafa ya kilimo kwanza na kwa kutambua hili tumeamua kuanza kufanya biashara ya mazao ya chakula alisema bwana chaihane |
afisa mtendaji mkuu wa tccia investiment co |
ltd bwana donald UNK alisema hii ni hatua ya awali tu ya kibiashara na kwamba kwa upande wao wamejiandaa vya kutosha kukidhi mahitaji ya bidhaa za kilimo huko UNK |
na mwandishi wetu wakili moses maira aliyekuwa akimtetea ofisa wa zamani wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani dar es salaam bwana abdallah zombe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa mahenge morogoro na dereva teksi wa dar es salaam amefariki dunia |
taarifa ambazo gazeti hili lilizipata jana jioni zilieleza kuwa wakili hiyo maarufu UNK na mauti hayo akiwa nje kwa matibabu |
akizungumza na gazeti hili jana jioni kwa njia ya simu wakili mwenzake na rafiki yake bwana mabere marando alithibitisha kutokea kwa kifo hicho |
bwana marando alisema bwana maira alifariki usiku wa kuamkia jana mjini houston marekani alikokwenda kutibiwa kwa watoto wake |
alisema marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo na kisukari hali iliyosababisha afya yake kuyumba na kulazimika kwenda marekani kwa matibabu zaidi |
mipango ya kurejesha nchini mwili wa marehemu maira inaendelea kufanywa na wanawe nchi marekani itakapokamilika itafahamika ni lini UNK |
ni kweli mzee maira amefariki usiku wa kuamkia leo huko houston marekani alikokwenda kutibiwa kwa watoto wake |
alikuwa akisumbuliwa kisukari na presha magonjwa ya uzee alisema bwana marando na kuongeza muda huu ndio natoka nyumbani kwake lakini mipango zaidi itafahamika kesho kwani familia itakaa na kufanya maandalizi ya mazishi kesho tutajua zaidi |
bwana marando alisema msiba wa wakili huyo uko nyumbani kwake tabata karibu na hospitali ya UNK |
alimwelezea marehemu maira kuwa ni mmoja wa mawakili bora jijini dar es salaam na nchini kwa ujumla ambaye UNK kutokana na upeo wake wa masuala ya sheria |
madiwani wa halmashauri ya wilaya ya muheza wamesema UNK wa wagonjwa katika hospitali teule wilayani hapa linachangiwa na mji huo kukosa kituo cha afya hivyo wameshauri zahanati ya ubwari iongezwe majengo na kupewa hadhi ya kuwa kituo cha afya kupunguza tatizo hilo |
akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani mwishoni mwa wiki diwani wa kata ya UNK bwana makame seif alisema ipo haja ya kuongeza majengo ya zahanati hiyo ili itumike kuwatibia wagonjwa wenye shida ndogo ndogo kuliko wote kwenda kupata matibabu hospitali ya wilaya |
mheshimiwa mwenyekiti ni vizuri sasa ili kupunguza mzigo wa wagonjwa katika hospitali UNK ambayo inachukua wagonjwa kutoka wilaya nyingine ni vema sasa majengo ya ubwari UNK ili kupunguza msongamano pale teule hali ni mbaya sana wagonjwa wakati mwingine wanalala wawili wawili kwenye vitanda alisema diwani huyo |
katika hatua nyingine madiwani wa UNK hiyo wameagizwa kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari katika kata zao ili kuhakikisha wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu wanaingia kidato cha kwanza wote |
mwenyekiti wa halmashauri bwana bakari mhando alisema kuwa madiwani wanawajibika kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari na kuwahamasisha wananchi kushiriki ujenzi huo |
jaji salum massati ambaye alimwachia huru aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake wanane waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuua wafanyabiashara watatu wa madini wakazi wa mahenge na dereva teksi leo anatarajiwa kuwa miongoni mwa jopo la majaji UNK rufaa ya mwanamuziki ngul... |
mwanamuzi huyo nguli na watoto wake watatu UNK nguza nguza UNK and francis nguza wanapinga kifungo cha maisha UNK na mahakama ya hakimu mkazi kisutu na baadaye hukumu hiyo UNK na mahakama kuu ya tanzania |
mbali na jaji massati rufaa hiyo UNK jaji UNK kimaro na jaji mbarouk UNK |
babu seya na watoto wake walihukumiwa kifungo hicho mwaka ishirini sifuri nne baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kudhalilisha kijinsia watoto wa kike ilitolewa na hakimu bibi addy lyamuya ambaye kwa sasa UNK kazi |
maombi ya rufaa yaliyowasilishwa na aliyekuwa UNK wa babu seya bwana hubert nyange ambaye sasa amejitoa yanaonesha sababu kumi na tano za kupinga adhabu hiyo ikiwamo kwa nini jaji wa mahakama kuu hakuona kuwa hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alishindwa kutokuwa na upande na kuathiriwa na mtazamo hasi juu ya wateja wake |
babu seya na watoto wake walikata rufaa mahakama ya rufaa baada ya mahakama kuu chini ya jaji thomas mihayo kutupilia mbali rufaa yao |
nguza na watoto wake watatu walihukumiwa adhabu hiyo kwa kuwadhalilisha kijinsia wanafunzi wa kike maeneo ya sinza dar es salaam |
mmoja wa UNK alieleza mahakama jinsi watuhumiwa UNK kwa fedha soda na UNK kabla ya kufanyiwa kitendo hicho |
siku chache baada ya maafisa wawili wa chama cha demokrasia na maendeleo kutenguliwa nyadhifa zao na kujivua uanachama chama hicho UNK na kupinga madai kuwa UNK vijana kushika nyadhifa za uongozi na kudai hizo ni propaganda za ccm UNK |
akizungumza dar es salaam jana katika kongamano la baraza la vijana wa chadema kaimu katibu mkuu chadema bwana john mnyika alisema kuwa propaganda hizo UNK na ccm kwa nia ya UNK chama chake ili UNK imani kwa watanzania |
alisema wakati huu ambapo nchi inajiandaa kuingia katika uchaguzi mkuu hapo mwakani mengi UNK kuhusu chama chake ili kuonesha kuwa kuna mpasuko kama ilivyo kwa ccm hasa ukizingatia kuwa ccm UNK kimaadili na hivyo kuingiwa na hofu ya kushinda katika uchaguzi ujao |
chadema ni chama cha kizazi kipya sisi ndio UNK kaulimbiu ya vijana ni taifa la leo na si kesho kama ilivyokuwa awali sasa iweje UNK kwa kuwatenga vijana wakati ndio chama pekee chenye asilimia thebathini ya wabunge vijana hizo ni propaganda tu alisema |
alisema kuwa propaganda hizo zimeibuka baada ya kutenguliwa nyadhifa kwa waliokuwa maafisa wawili wa chama hicho kutokana na kwenda kinyume cha maadili ya chama |
kwa mujibu wa bwana mnyika si kila kijana anaweza kuongoza na kuwa wakati mwingine ni bora kuwa na waziri mzee kama daktari slaa kuliko kuwa na mawaziri vijana kama waliopo sasa ambao hawawezi kuongoza wizara |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.