text
stringlengths
1
1.32k
aidha bwana mnyika ameonesha wasiwasi kutokana na kauli ya ccm kutumia bilioni arobaini katika uchaguzi mkuu ujao na kukitaka chama hicho UNK mchanganuo wa mapato na matumizi ya pesa hizo
alisema mwaka ishirini sifuri tano rais kikwete alichangisha pesa kupitia harambee kwa madai kuwa ni pesa safi kumbe za mafisadi wa epa na kuongeza kuwa kama kweli ccm imedhamiria kukusanya pesa safi katika uchaguzi ujao ni vyema UNK hatua watuhumiwa wote wa waliopora fedha za epa hasa kampuni ya UNK
si busara kutumia shilingi bilioni arobaini katika uchaguzi ambazo ni sawa na kutumia milioni ishirini sifuri kwa kila jimbo wakati ambapo wakina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma nzuri wakati wa kujifungua alisema
akizungumzia tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ruzuku bwana mnyika alisema chadema imekuwa ikipata hati safi kila UNK na kuongeza kuwa baraza kuu la chama hicho UNK mapendekezo kuwa mahesabu ya vyama vya siasa UNK na mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali
kwa kuwa daktari slaa aliwataja mafisadi na zitto kabwe ambaye anaendesha mapambano dhidi ya mafisadi anatoka chadema sasa wanataka kukifanya chama kionekane cha mafisadi ili kuwachanganya wananchi alisema
alisema kuwa mtu yeyote mwenye tuhuma za msingi za ufisadi dhidi ya chama chake atoe mchanganuo wa ufisadi huo kama ambavyo chadema ilifanya kwa mafisadi wa ccm katika kongamano hilo ambalo linahusisha vijana hamsini kutoka katika mikoa ya kichama ya ilala temeke na kinondoni vijana hao walijadili taarifa za uchaguzi ...
katika hatua nyingine grace ndossa anaripoti kuwa bwana mnyika amesema chama hicho UNK kwa ukabila wala siyo cha mtu binafsi kama inavyoelezwa bali kinafuata taratibu sheria na kanuni za siasa
bwana mnyika aliyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha mambo leo kinachorushwa na radio times ya jijini dar es salaam
alisema kuwa watu wengi wamekuwa na UNK potofu kuwa chama ni cha mtu binafsi ambaye kinaongozwa kwa matakwa yake kitu ambacho siyo kweli wala UNK kwa ukabila
alisema kuwa ndani ya chama hicho kuna watu wa makabila mengi katika nafasi za uongozi na kwamba wanaosema UNK na wachaga UNK
tumekuwa tukipata malalamiko mengi kuwa chadema ni chama cha mtu binafsi siyo kweli
hii ni taasisi inayoshughulika na mambo ya siasa na ni chama makini ambacho UNK mtu wala kutazama kabila wala dini tunafanya kazi za kusaidia jamii alisema bwana mnyika
alisema kuwa chadema kiko salama na kitaendelea na oparesheni sangara nchi nzima ili kiweze kuwa na watu wengi na wamejipanga kushinda uchaguzi wa mwakani
chama cha wananchi UNK kauli ya chama cha mapinduzi ya kufanya harambee kwa wanachama wake nchi nzima kuchangia uchaguzi mkuu wa ishirini moja sifuri kwamba inashangaza kwa sababu chama hicho tawala hakiwezi kukwepa michango ya matajiri iliyotokana na ufisadi
kauli hiyo ya cuf imekuja siku moja baada ya ccm kupitia katibu wa fedha na uchumi wake wa ccm taifa bwana amos makala kutangaza kutumia mpango huo kutokana na chama hicho kutuhumiwa kufadhiliwa kwa fedha zilizopatikana kwa njia ya ufisadi katika uchaguzi mkuu uliopita
taarifa ya cuf kwa vyombo vya habari iliyotolewa na naibu naibu mkurugenzi uenezi na mahusiano ya umma bibi ashura mustapha ilisema kuwa ccm haina ubavu wa kuzikwepa fedha za mafisadi kwani ndizo zitakazotumika katika uchaguzi ujao na kuwa kauli hiyo ni propaganda za kuwahadaa wananchi ili chama hicho kionekane kinapi...
ilieleza kuwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho wanatuhumiwa kuhusika katika ufisadi wengi wao ni viongozi katika halmashauri kuu taifa na kamati kuu na hadi sasa hakuna hata mmoja ambaye amevuliwa madaraka au uanachama kutokana na kashifa hiyo
cuf UNK watanzania kuwa ukiona mtu anafukuza mwizi UNK kidole mbele ambako hakuna mtu hali mwizi huyo yupo naye bega kwa bega utambue fika kuwa ana UNK ya karibu huyo mwizi au na wizi unaofanywa na mwizi huyo
hivyo njia pekee ya kuwatambulisha kuwa kwa sasa wananchi UNK ni UNK wagombea wote UNK na ccm katika uchaguzi mkuu mwakani ishirini moja sifuri na badala yake kuchagua chama mbadala chenye nguvu nchini ilieleza sehemu ya taarifa hiyo
cuf ilimtaka bwana makala kuweka bayana kwanza ni njia zipi chama chake UNK kujipatia fedha katika uchaguzi uliopita ambazo UNK kuwa ni za kifisadi ambazo UNK katika uchaguzi huu na kuwataja wanachama ambao misaada yao UNK kutokana na kuhusishwa na ufisadi
katika mpango wake ccm UNK kuhamasisha wananchi kuchangia chama chao kwa njia ya sms njia ambayo tayari chama cha demokrasia na maendeleo UNK UNK kukusanya mamilioni kupitia simu za mkononi na mtandao wa mawasiliano ya UNK
mfumo huo unaotumiwa na vyama vya siasa katika nchi zilizoendelea za bara la ulaya na marekani ulizinduliwa na mwenyekiti wa chadema freeman mbowe mara baada ya kutoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa chama hicho katika ukumbi wa shule ya sekondari mbezi beach jijini dar es salaam septemba mwaka huu
tanzania imeutaka umoja wa mataifa kuiomba radhi kutokana na ripoti ya kikundi cha wataalamu na wachunguzi wake kuituhumu kwamba inatoa silaha kwa kikundi cha waasi cha fdlr UNK dhidi ya raia wa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo na rwanda
akizungumza na waandishi wa habari mjini port of spain trinidad na tobago jana waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bwana bernard membe alisema tanzania UNK na kushangazwa na taarifa hiyo ambayo haina ukweli wowote na kuutaka umoja wa mataifa kuilaani UNK mbali taarifa hii na kuomba radhi
taarifa hii haina ukweli wowote na ni ya UNK
ni uongo uliotengenezwa UNK matope jina zuri la tanzania na serikali yetu
tanzania wala vyombo vya usalama havijatoa wala kusadia vikundi hivyo alisema bwana membe na kuongeza tanzania inachofanya ni kusaidia harakati za amani na usalama mashariki mwa congo kwa kumteua rais mstaafu bwana benjamin mkapa kuungana na viongozi wengine kutafuta amani na usuluhishi nchini humo na si vinginevyo al...
waziri membe amelazimika kutoa msimamo kufuatia taarifa za kuituhumu tanzania UNK kusambaa kwenye mitandao huku baraza la usalama la un likiwa UNK ripoti hiyo jumatano
taarifa hiyo ilisema kwamba tanzania ni miongoni mwa nchi ishirini na tano zikiwamo nyingine za marekani na ulaya ambazo UNK waasi hao kwa kuwapatia silaha na fedha na kuwa jumuiya ya kimataifa haijafanya chochote kuzuia misaada hiyo
taarifa hiyo iliendelea kusema kuwa mawasiliano ya simu UNK baina ya makamanda wa fdlr na viongozi wa juu wa tanzania na burundi
akifafanua jinsi tanzania inavyoshughulikia amani ya maziwa makuu bwana membe alisema tanzania UNK dola za marekani hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kugharamia mchakato wa amani na usuluhishi mashariki mwa congo chini ya bwana mkapa
pia alisema tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutafuta amani katika ukanda wa maziwa makuu kwa miaka kumi na tano na kwamba tangu mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na tisa hadi sasa tanzania imekuwa kimbilio la wakimbizi UNK vita na mauaji na itaendelea kufanya hivyo na si kuchochea vitendo vyovyote vya uvu...
katika kipindi chote tangu uhuru tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutetea amani afrika hivi tutapata nini kuingilia amani ya nchi jirani na rafiki kama kongo na rwanda alihoji bwana membe
kwa upande mwingine bwana membe ametoa changamoto kwa umoja wa mataifa kuieleza tanzania zilikotoka silaha hizo na UNK kwani UNK katika taarifa ya kikundi hicho
waziri membe aliongeza kuwa tanzania haina maduka ya kuuza silaha za kivita na wala UNK na kwamba silaha kama hizo zipo mikononi mwa vyombo vya usalama pekee
nataka kumhakikishia kila mmoja kuwa hii UNK na wala haitatokea kamwe
serikali UNK vyombo vyake vya usalama kufanya hivyo na hata hivyo hakuna taarifa kutoka vyombo vya usalama kwamba UNK na silaha
na hii ndio sababu UNK niseme taarifa ya kikundi hicho ni uongo uliotengenezwa dhidi ya tanzania
UNK umoja wa mataifa na kila mmoja kuilaani taarifa hii alisisitiza bwana membe
bwana membe alikuwa katika ujumbe wa rais mjini port of spain trinidad na tobago kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa jumuiya ya madola uliomalizika jana
watu mia nne na hamsini na nane UNK ugonjwa wa kipindupindu tangu uliingia katika mkoa wa dar salaam novemba kumi na mbili mwaka huu
hayo yalisemwa jana dar es salaam na kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alipokuwa anatoa takwimu ya idadi ya wagonjwa kwenye hospitali za UNK
alisema kuwa wilaya ya temeke imekuwa na jumla ya wagonjwa mia moja na themanini na nne ilala mia moja na themanini na nne wakati kinondoni imefikisha tisini hadi sasa
kama watu UNK kufanya usafi katika maeneo yao na kutii masharti ya kutokula vyakula UNK maeneo ambayo si salama kipindupindu UNK alisema daktari kawawa
alisema kuwa kati ya wagonjwa hao wawili wameshafariki mmoja kutoka temeke na mwingine ilala
wagonjwa wamekuwa UNK na wanapopata nafuu UNK kurudi majumbani lakini hadi jana kulikuwa na wagonjwa ishirini na tisa waliolazwa katika wilaya zote
katika wilaya ya ilala wagonjwa wametoka vingunguti pugu na kariakoo wakati katika wilaya ya temeke wanatoka mbagala kuu mbagala sabasaba temeke azimio kigamboni UNK na mtoni huku wilaya ya kinondoni wanatokea mabibo na UNK
wananchi wa mitaa ya zavala mgeule na nyeburu kata ya chanika ilala dar es salaam wamedai kuwa hawako tayari kuachia mashamba na nyumba zao wapewe wakazi wanaohamishwa kipawa bila kulipwa fidia
kutokana na mgogoro huo wananchi hao wameunda kamati ya watu kumi kuonana na waziri mkuu bwana mizengo pinda kueleza kilio na kile walichodai ni dhuluma UNK kufanyiwa na serikali
katika mkutano wao uliofanyika juzi waasisi wa mitaa hiyo wenyeviti wa mitaa na viongozi wa zamani wa ccm walikataa kufanya makubaliano na serikali kuhusu kutoa ardhi au kuidhinisha malipo kwa ajili ya fidia
mwenyekiti wa mtaa wa mgeule bwana agrey UNK mwenyekiti wa mtaa wa zavala bwana mohamed ramadhani na mwenyekiti wa zamani wa ccm bwana ali UNK UNK mbele ya kikao hicho kuwa hawajawahi kupata taarifa ya serikali kuhusu kupimwa viwanja kwa ajili ya watu wa UNK
malipo ya fidia ya serikali kwa ajili ya kupimwa viwanja vya watu wa kipawa ilitolewa kwa watu wa pugu UNK na UNK wananchi wa mitaa ya mgeule zavala na nyeburu ambao sasa UNK ardhi yao
mimi nimewahi kukamatwa wengine wamewekwa ndani na kufunguliwa mashtaka ya kudaiwa kuzuia serikali kufanya kazi lakini wananchi hawa hawajalipwa kitu na hakuna maandishi alisema mwenyekiti wa mtaa wa mgeule bwana UNK
wenyeviti hao waliwaambia wananchi hao kuwa mradi wanaoufahamu wa serikali ni upimaji wa viwanja ishirini sifuri sifuri sifuri ambao hauna mgogoro na wananchi hao lakini mradi wa upanuzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere UNK
serikali inayoheshimu watu haifanyi uhuni imefika mahala uvumilivu unakoma hatuwezi kuona tingatinga UNK nyumba zetu na kukanyaga matofali eti UNK fidia alipewa nani wakati tunajua waliolipwa fidia ni watu wa pugu UNK
alisema bwana ali UNK
awali mkutano huo uliwataka wakazi wote waliowahi kulipwa fidia kwa ajili ya kupimwa viwanja vya watu wa kipawa wajitokeze lakini hakuna aliyekiri kuchukua fidia hiyo katika umati huo wa wakazi zaidi ya wanachi ishirini sifuri UNK
ofisa tawala msaidizi wa rasilimali watu wa mkoa wa dar es salaam bwana UNK said alisema anachofahamu mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania iliwahi kuwalipa fidia wananchi hao na wanaolalamika ni wale walionunua viwanja karibuni
askari wa operesheni kipepeo wanaoendelea kudhibiti wa ujangili ndani na nje ya pori ya akiba la selous na hifadhi za taifa hapa nchini wamewatia nguvuni majangili kumi na moja yakiwemo sita yenye asili ya kiarabu
majangili hayo yalikamatwa huko kwenye eneo la pori la kimera katika wilaya ya mvomero mkoani morogoro kandokando mwa pori la akiba la selous wakiwa wamepiga kambi tayari uwindaji haramu
mkuu wa UNK maalumu za jeshi la polisi nchini naibu kamishna venance tossi anayeongoza operesheni kipepeo alisema jana kuwa majangili hayo yalikamatwa kutokana na taarafa za wananchi wa vijiji vinavyozunguka pori hilo waliotoa taarifa za kuwepo kwa majangili hayo
dcp tossi alisema kuwa wakati wa upekuzi kwenye kambi ya majangili hayo zilipatikana silaha tano za aina mbalimbali ikiwemo bastola moja na rifle nne na risasi mia mbili na kumi na tano kati ya hizo tisini ni za rifle na ishirini na tano za bastola
aliyataja majangili yaliyokuwa yamepiga kambi kwenye eneo hilo kuwa ni abdallah edha abdallah faraji mbaraka mohammed mbaraka UNK saidi mbaraka saidi na saidi edha abdallah wote wakiwa na asili ya kiarabu
wengine ni hamissi UNK hamissi mohammed UNK UNK mbaraka salum na rashidi urea ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya ya uhifadhi wa wanyamapori kwenye vijiji UNK pori la UNK
naye meneja wa hifadhi ya pori la akiba la selous bwana john UNK ambaye UNK na dcp tossi katika ukamataji huo amethibitisha kuwa majangili hayo hayakuwa na kibali chochote cha uwindaji kutoka kwa mkurugenzi wa idara ya wanyamapori nchini
majangili hayo yakiwa na magari matatu na majokofu kadhaa yenye barafu ya kuhifadhia nyama UNK kusimamisha mara moja shughuli za uwindaji katika eneo hilo tengefu la mapori ya akiba ya selous na kwenda kituo cha polisi kwa hatua zaidi
hadi sasa operesheni kipepeo inayoendeshwa kwa pamoja kati ya jeshi la polisi na idara ya wanyamapori nchini imewatia nguvuni majangili zaidi ya sabini na kukamata silaha mbalimbali
mfungwa UNK kifungo cha miaka kumi katika gereza la ukonga jijini dar es salaam bwana semayoga ernest UNK shahada ya kwanza ya sheria na chuo kikuu huria tanzania
sherehe ya mfungwa huyo ambaye ni wa pili UNK shahada hiyo baada ya bwana haruna gombela UNK oktoba thebathini na moja ishirini sifuri saba itafanyika katika katika viwanja vya kikosi maalumu cha magereza ukonga
bwana ernest UNK kifungo cha miaka kumi nchini mauritius lakini kutokana na utaratibu wa kubadilishana wafungwa UNK nchini na kutokana na utaratibu wa kuhesabu saa ishirini na nne kuwa siku mbili UNK kifungo na anatarajia kumaliza kifungo chake agosti mwakani akiwa mwanasheria
kama ilivyokuwa kwa bwana gombela mfungwa huyo ambaye haijulikani alifungwa kwa kosa gani atafanyiwa mahafali ya pekee yake ikiwa ni mwezi mmoja baada ya wahitimu wenzake huru wa sheria kupata shahada zao oktoba ishirini na tisa mwaka huu
akizungumza na waandishi wa habari kamishna mkuu wa magereza bwana augustine nanyaro alisema kuwa mafanikio hayo yametokana na jitihada za urekebishaji wa wahalifu UNK na jeshi la magereza kwa kushirikiana na wadau mbalimbali nchini
dhana ya urekebishaji wa wahalifu UNK program mbalimbali zinazoandaliwa kwa ajili ya wafungwa ili kuwawezesha kubadili tabia ya uhalifu na kurejea kwenye jamii wakiwa raia wema program hizo ni pamoja na mafunzo ya elimu mafunzo ya stadi mbalimbali za ufundi mafunzo ya kiroho na utoaji nasaha kwa mfungwa mmoja mmoja au...
kwa upande wake makamu mkuu wa out profesa tolly UNK alisema kuwa shahada za wafungwa hao ni mwanzo katika kuwasaidia wafungwa kielimu kutokana na makubaliano maalumu yaliyofanyika baina ya chuo hicho na wizara ya mambo ya ndani kupitia jeshi la magereza
lengo kubwa la makubaliano hayo lilikuwa ni kurekebisha tabia za wafungwa kuwapatia taaluma na ujuzi ili waweze UNK na kuwapatia stadi za kuwawezesha kupambana na maisha baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao na kuwawezesha kutumia muda wao gerezani kwa manufaa zaidi kwa ajili yao na kuwasaidia wafungwa wenzao kujua...
aidha jeshi la magereza linatarajia kujenga maktaba kubwa na ya kisasa ya kujisomea katika gereza la ukonga itakayokuwa ikitumiwa na wafungwa na watumishi wote
kesi ya mauaji ya inayomkabili mgonjwa wa akili bwana devid UNK anayetuhumiwa kuwaua wagonjwa wenzake wawili na kuwajeruhi wengine watano ilitajwa tena na mahakama kuelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika hivyo mtuhumiwa kuendelea kuwa rumande
mbele ya hakimu bwana samweli UNK mwendesha mashtaka bwana musa gumbo alisema agosti kumi na moja ishirini sifuri nane katika wodi ya UNK hospitali ya taifa muhimbili mtuhumiwa UNK na kuwajeruhi wenzake kwa kutumia stendi ya kutundikia UNK
kwa mara ya kwanza mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka yake agosti kumi na tatu ishirini sifuri nane akiwa ndani ya gari la polisi huku akiwa uchi mshtakiwa huyo aliyeonekana UNK jana aliomba mahakama upelelezi wa kesi yake UNK haraka
kesi hiyo imeahirishwa mpaka desemba kumi na tano mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo
jumla ya shilingi bilioni arobaini na tano zinahitajika katika ukarabati wa kiwanja cha ndege cha sumbawanga kilichopo mkoani rukwa ili kukiwezesha kuwa na uwezo wa kuhudumia ndege kubwa aina ya atr arobaini na tatu taarifa iliyotolewa dar es salaam jana na waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa ilisema gharam...
upembuzi huo ilifanywa na washauri wa kampuni ya UNK UNK and UNK ya uingereza na UNK ya tanzania ambao UNK kuwa kiwanja hicho kitajengwa katika maeneo makuu matano
maeneo hayo ni pamoja na njia ya kurukia kwa kiwango cha lami yenye urefu mita moja mia saba na hamsini na upana mita thebathini kituo cha umeme jengo jipya la abiria viungio vya njia na maegesho ya ndege kubwa na ndogo
changamoto iliyopo sasa ni kwa serikali na mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania kutafuta fedha kutoka vyanzo mbalimbali ili kufanikisha UNK shughuli hiyo alisema
naye mwakilishi wa taa mhandisi white majura alisema kuwa kwa sasa shilingi mia mbili na thebathini mia mbili na tisini na sita mia tisa na sabini na nne zimetengwa kwa ajili ya kiwanja cha sumbawanga na mpanda
alifafanua kwamba shilingi milioni hamsini zitatumika kwa ununuzi wa gari aina ya pick up shilingi milioni kumi sifuri zitatumika katika matengenezo ya njia ya kuruka na kutua ndege na shilingi milioni themanini mbili ni gharama za uendeshaji wa viwanja
wakati huo huo daktari kawambwa alisema kuwa serikali itaanza kujenga barabara ya tunduma UNK hadi sumbawanga yenye urefu wa kilomita mia mbili na ishirini na nne tano katika mwaka huu wa fedha
alisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kutokana na makubaliano ya kampuni ya millenium challenge UNK tanzania na kampuni na UNK UNK kutoka UNK
tuna uhakika kufikia kati ya machi na aprili mwaka kesho tutakuwa tumeanza ujenzi wakati huu tupo katika harakati za kumpata UNK
mradi huu UNK na serikali ya marekani kupitia millenium challenge corporation pamoja na serikali ya tanzania alisema
watu wanne wamekufa na wengine ishirini kujeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao katika ajali za barabarani zilizotokea mwishoni mwa wiki
akizungumza na waandishi wa habari jana dar es salaam kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus sabasi alisema kuwa ajali ya kwanza ilitokea juzi saa saba mchana katika makutano ya barabara ya nyerere na UNK
katika ajali hiyo gari t mia moja na arobaini na mbili afc aina ya UNK pajero ikiendeshwa na bwana UNK mnyama mkazi wa uwanja wa taifa liligongana na toyota corolla t mia nane na ishirini na tatu UNK lililokuwa likitokea kimara kwenda uwanja wa ndege
alisema kuwa katika ajali hiyo abiria bibi joyce UNK anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka sitini hadi sitini na tano mkazi wa dodoma na mtoto christina wilson umri kati ya miaka miwili na minne walikufa papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa
katika tukio lingine kamanda wa polisi wa mkoa wa ilala bwana faustine shilogile alisema kuwa abiria ishirini walijeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili t mia moja na themanini na saba UNK aina ya toyota UNK pick up iliyokuwa ikitokea vingunguti kwenda viwan...
kamanda shilogile alisema kuwa katika ajali hiyo iliyotokea juzi walitibiwa katika hospitali ya amana na kuruhusiwa
madereva wa magari hayo UNK na kutelekeza magari katika eneo la tukio
naye msichana mwenye umri wa miaka miaka nane na kumi amekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari t mia nane na sitini na saba aina ya toyota corolla iliyokuwa ikiendeshwa na UNK UNK mkazi wa tabata UNK
kamanda shilogile alisema msichana huyo alikuwa akivuka barabara na aligongwa na gari hilo kwa kile kinachodaiwa ni mwendo kasi wa dereva dereva anashikiliwa na polisi wakati maiti imehifadhiwa katika hospitali ya amana
wakati huo huo emmanuel UNK mkazi wa kigogo amekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari wakati akivuka barabara ya kigogo kati