text
stringlengths
1
1.32k
kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni sebastian masinde amesema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa kumi na moja jioni katika maeneo ya UNK
alisema kuwa gari UNK ni t mia tano na themanini na tisa UNK aina ya scania bus ikiendeshwa na bwana salum sheikh na alikuwa akitokea tabata kuelekea kigogo polisi
mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala na polisi wanaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo
jeshi la polisi mkoa wa arusha UNK watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi hatari akiwemo raia mmoja wa uganda wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la mauaji ya mfanyabiashara wa kampuni ya utalii john justine lililotokea sombetini mjini hapa juzi
pia jeshi hilo limefanikiwa kushika bastola moja aina ya UNK iliyotengenezwa UNK na risasi moja ikiwa UNK chini ya godoro huku namba zake zikiwa zimefutwa na kofia moja ya kufunika uso na macho wakati wakifanya uhalifu huo
UNK wa polisi mkoa wa arusha bwana leonard paul aliwataja walikamatwa akiwemo samson james maarufu kwa jina la kababaa wa unga ltd mjini hapa aliyeachiwa huru kwa rufaa mwaka jana baada ya kufungwa miaka thebathini jela mwaka ishirini sifuri tano kwa hatia ya wizi wa kutumia silaha
wengine ni daudi UNK mganda anayeishi wilayani monduli mkoa wa arusha wambura chacha mkazi wa sokoni one na ali ernest mparee mkazi wa UNK mjini moshi mkoani kilimanjaro
hata hivyo UNK majambazi mengine UNK kwa sababu ya UNK
pia jeshi hilo linamtafuta kwa udi na uvumba anayedaiwa kuwa jambazi sugu na ambaye pia anasadikiwa kuachiwa kwa rufaa mwaka jana baada ya kufungwa miaka thebathini mwaka ishirini sifuri tano kwa kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia silaha aliyemtaja kwa jina moja la oscar mkazi wa unga ltd mjini arusha
akizungumzia tukio la mauaji ya justine alisema kabla ya mauaji hayo kutokea awali watu wawili walifika nyumbani kwake eneo la sombetini saw UNK na UNK kama yupo na UNK hayupo waliondoka walirejea tena saa tatu usiku na kumshambulia kwa risasi na kufa papo hapo
walirejea usiku huo wakiwa wengi zaidi na kuutumia mwanya wa shemeji yake justine UNK mlango akienda dukani na kumshambulia kwa na kufa papo hapo kupora simu na shilingi sitini sifuri sifuri sifuri huku UNK matusi ya nguoni alisema kamanda
alisema baada ya tukio hilo walijipanga na kufanya UNK kali UNK kumshika kababaa aliyekiri kuhusika katika tukio hilo la mauaji na kuwataja wenzake ambapo aliongoza kikosi maalumu kuwasaka wenzake na kufanikiwa kumnasa mparee mjini moshi
katika tukio jingine jeshi la polisi mkoani hapa kwa kushirikiana na shirika la hifadhi za taifa na mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro katika kijiji cha UNK wilayani ngorongoro wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya g tatu namba mbili moja tatu sita tatu sifuri saba na risasi kumi na tatu UNK na mtu mmoja aliyetambuliwa ...
serikali ya iran imeidhinisha mpango wa kujenga mitambo kumi ya UNK madini ya UNK licha ya mpango huo kupigiwa makelele na nchi za magharibi
kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali serikali hiyo UNK shirika UNK nishati ya nyuklia kuanza kazi katika maeneo matano wakati mitambo mingine mitano itaanza kazi katika kipindi cha miezi miwili ijayo
hatua hiyo imetokea siku kadhaa baada ya shirika la umoja wa mataifa la kudhibiti nguvu za atomiki kuikosoa iran kwa kuweka siri mitambo inayohusika na shughuli hizo
ikulu ya marekani white house ilisema hatua hiyo ni mwendelezo wa vitendo vya iran kukiuka majukumu yake bayana huku uingereza UNK taarifa hizo kuwa ni tatizo kubwa na la kusikitisha
uingereza ilisema kuwa hatua hiyo ya iran pia imelenga kuvunja azimio la umoja wa mataifa
kwa kipindi kirefu mataifa ya magharibi yenye nguvu yamekuwa yakisema kuwa iran inataka kujaribu koboresha silaha zake za nyuklia ingawa nchi hiyo imekuwa ikisema kuwa mpango huo ni kwa ajili ya amani
hata hivyo mtambo wa kwanza wa nyuklia ambao unajengwa katika eneo la UNK bado unaendelea na ujenzi huku mitambo mingine ikiwa bado ipo katika michoro ya ramani
inaelezwa kuwa chini ya mpango huo iran itaongeza uzalishaji kutoka tani iliyokuwa ikizalisha miaka iliyopita hadi kufikia uzalishaji wa tani thebathini sifuri kwa kila mwaka
mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere bwana joseph butiku amewataka vijana kuondoa mtandao na makundi yaliyopo serikalini ili kujenga nchi UNK maslahi ya wananchi
akizungumza jana dar es salaam katika kongamano la kujadili mustakabali wa taifa na kumbukumbu ya miaka kumi ya ya kifo cha baba wa taifa hayati julius nyerere alisema kuwa makundi yaliyopo sasa yalianza mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano katika kikao cha kamati kuu
bwana butiku alisema katika kikao hicho vijana walienda na ilani tofauti ya ccm ambapo walilazimisha maamuzi yao kuliko ya ccm UNK mtandao katika chama chenu na sasa UNK na katika mtandao huo hakuna mzee hata mmoja labda rais kikwete hivyo nendeni UNK alisema bwana butiku wakati akijibu hoja ya mjumbe wa halmashauri k...
unapotaka ubunge UNK una kiasi gani cha fedha badala ya kuulizwa UNK au UNK kuongoza alisema bwana nnauye
katika majibu yake aliyotoa huku UNK bwana butiku alisema mkishindwa kuondoa UNK UNK na UNK kusudi UNK kama mnavyotaka hadi UNK alisema bwana butiku
aliongeza kuwa katika makundi hayo wananchi wengi wamebaki hewani kwa kutojua chanzo chake kutokana na viongozi wengi kutofautiana
alisema kuwa baba wa taifa aliiacha tanzania ikiwa safi ambapo uroho wa mali za baadhi ya viongozi umesababisha nchi kuwa na takataka ambazo haziwezi kuondolewa mapema
hatuwezi kuwa na rais ambaye ni mtumwa tunatakiwa kumsaidia rais kuondokana na matatizo yaliyopo kwa UNK mafisadi na kuwaondoa kabisa katika uongozi UNK rais acheni kupiga majungu alisema bwana butiku
aliongeza kuwa viongozi wanaoleta mpasuko ndio hao wanaogombea pesa za kuleta maendeleo na mali nyingi kwa ajili ya maslahi yao wenyewe
kiongozi huyo alitoa ujumbe kwa wananchi nchi hii ukisema ukweli unaonekana mbaya na unaweza kufukuzwa kazi
ukisema kuwa kiongozi hafai UNK mabaya yake sio kuongea na kuwaacha watu bila suluhisho alisema
bwana butiku amewaomba viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini kuungana na kuwafundisha wananchi maadili ili kuyaenzi UNK baba taifa
hoja ya iliyotolewa na katibu wa fedha na uchumi wa chama cha mapinduzi bwana amos makala juu ya mpango wa kufanya harambee ili kukinusuru chama hicho dhidi ya fedha za kifisadi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri imekuwa wa msumari moto ndani ya chama hicho
moto wa hoja hiyo umesababisha katibu mkuu wa chama hicho bwana yusuf makamba kujitenga nayo na kulieleza gazeti hili kwa ufupi kuwa jambo hilo aulizwe aliyesema kisha alikata simu huku bwana makala aliyetoa hoja hiyo naye akiweka baya kuwa haikuwa kauli ya chama bali mapendekezo yake binafsi
tayari mpango huo UNK na chama cha wananchi ambacho kimedai kuwa ccm haina ubavu wa kukwepa michango ya matajiri iliyotokana na ufisadi na kwamba kauli hiyo ya bwana makalla ni propaganda za kuwahadaa wananchi ili chama hicho kionekane kinapiga vita ufisadi
taarifa ya cuf iliyokaririwa na gazeti hili jana ilisema mpango huo hautaweza kufanikiwa kwa kuwa miongoni mwa wanachama wa ccm wanatuhumiwa kuhusika katika ufisadi huku wengi wao wakiwa ni viongozi katika halmashauri kuu ya taifa na kamati kuu na hadi sasa hakuna ambaye amevuliwa madaraka au uanachama kutokana na kas...
UNK na majira kwa simu jana bwana makala alidai kuwa kauli hiyo aliyoitoa mjini songea yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi ambayo UNK katika vikao vya idara ya fedha ambayo yeye ni mkuu wake kwa ajili ya kupitishwa na kupelekwa katika vikao vya juu
alisema baada ya kuwasilisha mapendekezo hayo ndani ya vikao vya idara yake yatapelekwa katika sekretarieti ya kamati kuu na kujadiliwa na baadaye UNK katika vikao vya kamati kuu ambayo kimsingi ndiyo yenye maamuzi ya mwisho katika masuala ya uchaguzi
suala hili ni mapendekezo yangu na wala si kauli ya chama
bado ni nadharia tu UNK hata rais wetu jakaya kikwete alishawahi kuyasema kuwa lazima chama UNK kutafuta mapato kwa kutegemea jasho la wanachama badala kutegemea wafadhili
jambo hilo UNK mimi kama makala kwani ni mapendekezo yaliyotoka katika vikao vya idara yangu na sio kama chama
kama ingekuwa imeamuliwa na kamati kuu angezungumza mheshimiwa john chiligati na hata UNK mheshimiwa mkamba UNK kwani litakuwa limezungumzwa katika vikao vya maamuzi alisema katika mapendekezo yake juu ya mpango huo alipendekeza njia tatu michango ya UNK wenyewe harambee itakayofanyika katika ngazi ya taifa hadi wilay...
alisema mbinu hizo zinaweza kufanikiwa kwa kuwa chama hicho kina wanachama zaidi ya milioni nne hivyo kama kila mwanachama UNK shilingi hamsini sifuri UNK shilingi bilioni mbili na iwapo watachanga shilingi moja sifuri sifuri sifuri kwa kila mwanachama UNK shilingi bilioni nne hata hivyo bwana makalla UNK juu cuf kuwa...
cuf UNK sauti kwa hoja dhaifu ccm inajivunia ushindi mkubwa wa asilimia themanini na tano wa serikali za mitaa na wanachama wake UNK milioni nne mpango huu UNK kuchangisha fedha unawatia hofu cuf na wasioitakia mema ccm alisema na kuongeza tunasema mpango huu ni mzuri wenye uwazi na vyanzo safi vya kupata fedha
kauli ya cuf inatutia nguvu kwani UNK wa china mao UNK aliwahi kusema ukiona adui yako UNK jambo ujue hilo ni hatari liache mara moja lakini ukiona adui yako anabeza jambo hilo ni jema UNK
kwa kuwa cuf UNK jambo hili ni jema na pigo kwa cuf na wote UNK mema ccm tanzania imesaini mkataba ushirikiano wa biashara ya pamoja na hong kong ili kuwasaidia wakulima wa chai na kahawa ili waweze kuzalisha wa wingi na kuweza kusaidia kukuza uchumi
akizungumza jana katika hafla ya kusaini mkataba huo UNK wa bodi biashara ya nje bwana khalfan ramadhani alisema wafanyabiashara wa mazao ya chai wajitahidi kuhudhuria maonesho hayo yatakayofanyika machi mwakani
wachina UNK zaidi ya mara sita lakini tutumie njia hii kujifunza jinsi wanavyofanya biashara na mataifa mengine bodi ya biashara ya nje ipo tayari kuwasaidia watakaojitokeza kuhudhuria maonesho hayo alisema bwana UNK alisema watanzania wanatakiwa kufanya biashara ya kujinufaisha na UNK taifa ambapo wengi wao huridhika...
naye msaidizi wa mkurugenzi mkuu wa baraza la maendeleo la biashara hong kong bwana raymond yip alisema kuwa mkataba huo utasaidia kuongeza pato la taifa kutokana na kilimo kuwa na umuhimu katika ukuaji wa uchumi
alisema ushirikiano wa biashara kati ya tanzania na hong kong umesaidia tanzania kupata dola za marekani milioni arobaini na tisa ikilinganishwa na uganda iliyopata dola za marekani milioni kumi na nane bwana yip aliwataka watanzania kujitokeza kushiriki maonesho hayo ili kupata kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa n...
tbl ambayo UNK katika soko la hisa la dar es salaam ina jumla ya hisa mia mbili na tisini na nne mia tisa na ishirini na nane mia nne na sitini na tatu zilizouzwa huku kila hisa ikiuzwa kwa shilingi moja mia saba na sitini hadi kufikia mwanzoni mwa wiki hii na mtaji wake katika soko ni bilioni mia tano na kumi na tisa...
mkurugenzi wa tbl bwana robin UNK anaamini kwamba kukua kwa faida kumetokana na kukua kwa ukubwa wa soko la bidhaa za tbl nchini pamoja na kuongezeka kwa bei ya bidhaa
kampuni yetu imeendelea kujikita katika kupanua uzalishaji ili kuendana na ukuaji wa mahitaji ya bidhaa zetu alisema katika taarifa yake
alisema kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu kampuni yake imewekeza kiasi cha shilingi bilioni hamsini na saba huku nyingine shilingi bilioni hamsini na tano zikiwa zimepangwa kutumiwa katika nusu ya pili ya mwaka unaoishia machi ishirini moja sifuri na makumba mwemezi mwili wa aliyekuwa wakili katika kesi ya abdallah zomb...
akizungumza nyumbani kwa marehemu dar es salaam jana msemaji wa familia bwana UNK wilson alisema awali walitarajia kusafirisha mwili wa marehemu kesho ambapo UNK jumapili lakini kutokana na ndege kujaa wamepangiwa aprili ishirini na nane ambapo ndege itafika nchini aprili thebathini alisema taratibu za mazishi zinaend...
marehemu maira ndiye aliyekuwa wakili katika kesi inayomkabili aliyekuwa kaimu kamanda wa polisi mkoa wa dar es salaam ambapo anatuhumiwa kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro pamoja na dereva teksi wa dar es salaam
kifo cha wakili wa zombe kimekuja siku chache baada ya kifo cha aliyekuwa mshitakiwa na shahidi muhimu katika kesi hiyo ya mauaji marehemu koplo rashid lema aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani
akimzungumzia wakili maira mkwe wa marehemu ambaye pia ni wakili katika kampuni ya membar law UNK bwana yassin membar alisema alikuwa UNK mwenye upendo na moyo wa kusaidia
ndugu wawili wenye asili ya kiasia bwana ajay soman na bwana UNK soman wanaokabiliwa na mashtaka sita likiwemo la wizi wa shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane katika akaunti ya madeni ya nje katika benki kuu ya tanzania wameachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti ya kutoa hati ya nyumba yenye tham...
washitakiwa hao walifikishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita tofauti
mashtaka yanayowakabili ni kula njama za wizi wa shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane UNK kufanya kati ya januari ishirini na nne na oktoba thebathini na moja mwaka ishirini sifuri tano katika shtaka la pili inadaiwa kuwa UNK aprili kumi na mbili mwaka ishirini sifuri tano jijini dar es salaam washitakiwa ...
washitakiwa hao wanadaiwa kuwa mnamo oktoba kumi na tano mwaka ishirini sifuri tano walitoa hati za uongo katika benki ya bot UNK kuwa kampuni ya urg ya uingereza UNK deni la shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane kampuni ya ruaha ya tanzania
shtaka la nne ni la kughushi ambapo inadai mnamo januari ishirini na nne mwaka ishirini sifuri tano jijini dar es salaam washitakiwa kwa pamoja hati za usajili namba elfu arobaini na tano na mia tatu na sitini na nane ya januari ishirini na nne mwaka ishirini sifuri tano iliyoonesha hati hizo ni halali na UNK na kutol...
shtaka la tano ni la kutoa hati za uongo oktoba ishirini na tano mwaka ishirini sifuri tano katika benki ya UNK ambazo zilionyesha kuwa ni halali na zimesajiliwa na msajili wa kampuni ya ruaha UNK
shitaka la mwisho ni wizi shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane ambapo inadaiwa kati ya oktoba ishirini na saba na oktoba thebathini na moja mwaka ishirini sifuri tano washitakiwa kwa pamoja waliiba fedha hizo kutoka katika akaunti ya epa mbali na kesi hiyo pia washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi nyingine k...
kesi hiyo imeahirishwa hadi desemba saba mwaka huu itakapotajwa tena
kampuni ya tanzania UNK ltd imeahidi kuhudumia wafanyakazi wake watakaogundulika kuambukizwa virusi vya ukimwi
meneja raslimali watu na utawala wa tdl bwana ramadhani njenje alisema amefarijika kuwa asilimia tisini na saba ya wafanyakazi hao wamepima afya zao na kuwahimiza kuendelea na ujasiri huo
ni jukumu la kila mfanyakazi kujilinda na maambukizi ya vvu lakini UNK na kukutwa UNK kampuni itamsaidia na UNK siri alisema bwana UNK
meneja ufundi wa tdl bibi khadija madowili aliyemwakilisha meneja mkuu alisema mapambano dhidi ya ukimwi sehemu za kazi ni mpango ambao utaendelea kuhamasishwa ili wafanyakazi wote wawe na afya njema
bibi madowili katika maadhimisho hayo wafanyakazi hao UNK UNK kuwakumbuka wenzao waliofariki kwa ukimwi na kuzima baada ya kuwaombea dua
meneja mauzo wa tdl bwana charles fumbo alisema kiwanda hicho si kama UNK fedha kugharimia mapambano ya ukimwi kwa sababu lengo ni kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi wakiwa na ari hasa baada ya kujua hali ya afya zao
mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji wa mapambano ya ukimwi wa tdl bibi UNK sharrif alisema juzi kuwa ugonjwa huo UNK kama wafanyakazi hao na jamaa inayowazunguka UNK ngono UNK
katika maadhimisho hayo wafanyakazi wa tdl walipewa elimu ya kuepuka maambukizi kwa UNK vipeperushi kondomu na kuelimishwa kuepuka UNK
chuo kikuu cha st
john kimepanga kuanzisha mfuko wa udhamini kwa ajili ya kutoa msaada au mkopo wa ada kwa wanafunzi walioko katika makundi maalumu wanaosoma katika chuo hicho ili kuwawezesha watanzania wengi kutimiza ndoto zao za kuhitimu elimu ya juu
ili kutimiza adhima hiyo desemba nane mwaka huu chuo hicho UNK mfuko maalumu wenye lengo la kutoa udhamini kwa wanafunzi wasiokuwa na uwezo ambapo watu mbalimbali watachangia ili kuongeza kiwango cha pesa mbali na UNK na uongozi wa st
UNK
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mkurugenzi wa maendeleo na mipango wa st
john bwana UNK benedict alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya mpango huo wa kuwasaidia wanafunzi wanaosoma katika chuo hicho
kama mnavyojua gharama za masomo kwa wanafunzi wa elimu ya juu limekuwa ni suala gumu kiasi mpaka sasa serikali imekuwa ikijitahidi kadri ya uwezo wake lakini haiwezi kumudu UNK watanzania wote lakini tumedhamiria kutoa ushirikiano kwa serikali kwa kuanzisha mfuko huu wa ufadhili kwa wanafunzi
mfuko huu wa ufadhili UNK kuwasaidia wanafunzi wanaosoma katika chuo chetu walioko katika makundi maalumu ya walemavu maskini wa kipato wale wanaotoka katika jamii zilizoko nyuma ki elimu na wanawake ili kuleta usawa wa kijinsia alisema bwana benedict
bwana benedict alisisitiza kuwa watanzania mbalimbali wanapaswa kuwa wadau wa elimu wanapaswa kuziba mwanya UNK na serikali katika kudhamini wanafunzi hivyo UNK kujitokeza kuchangia katika mfuko huo kama wanavyofanya katika masuala mengine ya kijamii
kwa upande wake afisa habari wa chuo hicho bwana karim meshack alisema wameamua kuanzisha mfuko huo wa udhamini kwa wanafunzi baada ya kugundua kuwa wanafunzi kati ya asilimia tano kumi wanashindwa kumaliza masomo yao chuoni hapo kwa kukosa karo
kama chuo tayari tumeweka fungu kwa ajili ya mfuko huo kwa sababu hauwezi kuomba msaada wa UNK bila kuwa na kiasi fulani
tunategemea mfuko huu uanze kufanya kazi januari mwakani alisema bwana meshack
hafla ya uchangiaji na uzinduzi wa mfuko huo inayotarajiwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali itafanyika mkoani dodoma ambako ndiko yaliko makao makuu ya chuo hicho
serikali imepanga kuhamishia huduma za mfuko wa afya ya jamii na ule wa utaratibu wa tiba kwa kadi kuwa chini ya mfuko wa bima ya afya nhif katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha ili kuimarisha mifuko hiyo na kuiwezesha kuhudumia watu wengi kwa ufanisi
mganga mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii daktari deo mtasiwa aliyasema hayo dar es salaam jana wakati akizungumza na ujumbe wa watu kumi na moja wakiwemo mawaziri wabunge wakurugenzi wa idara ya fedha uchumi mipango na sheria kutoka uganda
daktari mtasiwa alisema kuwa lengo ujumbe huo ambao unaongozwa na waziri wa afya wa uganda daktari UNK richard ni kujifunza kwa tanzania jinsi gani UNK bima ya afya nchini mwao
alisema kuwa mwaka ishirini sifuri moja mfuko wa afya ya jamii ambao kwa sasa huko chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii ulianzishwa ili kutoa huduma ya afya hasa vijijini ambapo ule wa tiba kwa kadi ulianzishwa mijini ambako kuna mwingiliano wa watu wengi
alisema tatizo kubwa ambalo UNK mifuko hiyo ni UNK usiokuwa imara na tatizo la upatikanaji wa dawa ambapo wananchama walikuwa wakienda hospitali lakini hawapati huduma UNK na michango yao
lakini kwa sasa matatizo hayo UNK ila tatizo lingine lililopo ni juu ya ongezeko kubwa la wanachama wapya ukilinganisha na kasi ya utoaji huduma alisema
alisema kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha kwamba kila mtu anajiunga na mfuko huo na kwamba wataweka utaratibu kwa wazee na watu wasiojiweza kifedha kupatiwa kadi za kutibiwa bure
akizungumzia ujumbe huo wa uganda daktari mtasiwa alisema kuwa aliueleza namna ambavyo tanzania ilianzisha mfuko huo changamoto UNK nazo na jinsi ambavyo na wao wanatakiwa kukabiliana nazo pindi UNK
daktari mtasiwa aliwashauri pia kuangalia ni jinsi gani UNK kiwango ambacho kila mwananchi ataweza UNK
daktari richard alisema kuwa wizara yake ina mchakato wa kuanzisha bima ya afya na tayari UNK muswada wa sheria bungeni mwaka ishirini sifuri sita wa kutaka kuanzishwa kwa mfuko huo na wanatarajia sheria hiyo kuanza kazi mwakani
alisema kuwa yeye na ujumbe wake umekuja tanzania kwa lengo la kujifunza namna ya kufanya mchakato wa kuanzisha mfuko wa bima ya afya nchini mwao ili watakaporudi waweze kuhamasisha wananchi na kuishauri serikali namna ya kuanzisha mfuko huo
nchi UNK bonde la mto nile zinatarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwa ushirikiano baina yake desemba sita hadi nane mwaka huu ili kujadili mafanikio na changamoto wanazokabiliana nazo