text stringlengths 1 1.32k |
|---|
maadhimisho hayo yatafunguliwa na UNK wa rais daktari ali mohamed shein jijini dar es salaam na baada ya hapo majadiliano ya jumla ya jumla juu matumizi ya bonde hilo kwa ajili ya nishati kilimo na rasilimali za maji UNK |
nchi UNK kwenye ushirikiano huo ni kenya ethiopia UNK burundi uganda drc djibout na tanzania UNK maadhimisho hayo |
katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji bwana christopher sai alisema jana kuwa kuwa watu hamsini sifuri wakiwamo mawaziri wa maji watalaamu mashirika ya umma binafsi na mabalozi kutoka nchi mbalimbali watashiriki |
alisema majadiliano hayo UNK na watalaamu wa kimataifa waliobobea katika masuala ya rasilimali za maji ili yaweze kutumika kwa usawa bila ya nchi moja kuona ina UNK zaidi ya kutumia zaidi ya nyingine |
ushirikiano wa nchi za bonde la mto nile ulianzishwa dar es salaam february ishirini na mbili elfu moja na mia tisa na tisini na tisa na sasa UNK miaka kumi mwaka huu ambapo kwa sasa kupitia maadhimisho haya tutakuwa na fursa nzuri ya kujadili na kuleta mahusiano mazuri zaidi katika utumiaji wa maji hayo tofauti na il... |
akifafanua zaidi alisema majadiliano hayo UNK katika kupanga njia za matumizi ya maji hayo kwa usawa uanzishaji wa miradi ya pamoja utunzaji wa mazingira na vyanzo vya UNK hilo |
alisema mto nile ni wa pili kwa urefu duniani baada ya UNK wa america kusini ukiwa na urefu wa kilomita sita sabini sifuri watu milioni mia moja na sitini hutegemea maji yake kwa jili ya kilimo nishati kunywa na matumizi mbalimbali |
bwana sai alisema tanzania kwa sasa inatarajia kutumia maji ya mto nile kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ukiachilia mbali mradi wa maji ya ziwa victoria ili kuongeza uzalishaji katika kilimo |
zikiwa zimesalia siku ishirini na nane kabla ya muda wa usajili wa namba za simu za mkononi kumalizika imefahamika kuwa simu zilizosajiliwa zimefikia milioni tano kati ya milioni kumi na tano na kufanya zile ambazo bado kuwa milioni kumi mkurugenzi mkuu mamlaka ya mawasiliano nchini professa john nkoma alibainisha hay... |
professa nkoma alisema mpaka sasa namba zilizosajiliwa na kuingizwa katika mtandao ni milioni tano na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka baada ya namba zote zilizosajiliwa kuingizwa kwenye mtandao |
shughuli ya kusajili namba hizo inafungwa mwishoni mwa mwezi huu baada ya kudumu kwa miezi sita na baada ya hapo namna zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa zitafungwa huku kila atakayekuwa UNK laini mpya atalazimika kusajili papo hapo |
kuhusu mkutano wa wadau wa sekta ya utangazaji profesa nkoma alisema utajadili makakati wa kuhama kutoka katika mfumo wa UNK kwenda dijitali ambapo wadau mbalimbali watapata fursa ya kutoa mchango wao UNK kufanikisha azma hiyo |
mkutano kama huu wa kila mwaka umekuwa UNK wamiliki na viongozi waandamizi kutoka vituo vya televisheni na redio hapa nchini na kualika wataalamu kutoka nje kuelezea uzoefu walionao alisema |
professa nkoma alisema baada ya kutangaza zabuni ya kurusha matangazo katika mfumo wa dijitali kampuni tatu zimeshinda zabuni hiyo ambapo kampuni moja wapo UNK leseni ya kuanza kurusha matangazo hayo baada ya mchakato kukamilika |
alizitaja kampuni hizo kuwa ni star media yenye ubia na shirika la utangazaji tanzania na star communication basic UNK ltd yenye ubia na kampuni za ipp media sahara communication na kampuni ya agape UNK yenye ubia na kampuni nyingine mbalimbali |
mfumo wa matangazo kwa njia ya UNK unalenga kuboresha programu na masafa ya utangazaji ambapo mpaka kufikia juni kumi na sita mwaka ishirini moja tano matangazo yote ya redio na televisheni UNK kwa mfumo huo kupitia kampuni moja UNK dhamana hiyo |
wakati huo huo tcra imebaini kuwepo kwa kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kupitia mtandao wa UNK bila kibali cha mamlaka hiyo katika wilaya ya loliondo na kuahidi kuchukua hatua za kisheria pale uchunguzi utakapokamilika |
hata hivyo hakuitaja kampuni hiyo kwa madai kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya utangazaji kwa kuwa uchunguzi bado unaendelea |
wakati baadhi ya wakazi wa mpwapwa dodoma waishio dar es salaam wamemtaka mbunge wa jimbo hilo bwana george lubeleje kutogombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa ishirini moja sifuri kwa madai ameshindwa kuleta maendeleo katika kipindi cha miaka ishirini yeye amesema hayo ni mawazo yao na mchezo wa siasa |
wakizungumza na majira dar es salaam juzi mwenyekiti wa umoja huo bwana jeremia chakwe amesema azimio hilo UNK hivi karibuni katika kikao chao kilichofanyika manzese UNK top dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mia mbili na hamsini bwana chakwe alisema katika kipindi cha miaka ishirini bwana lubeleje akiwa mbunge wa j... |
akizungumza na majira kwa simu jana bwana lubeleje alisema kikundi cha watu wachache hakina uwezo wa kumshawishi UNK tena nafasi hiyo kutokana na ukweli kwamba jimbo hilo limepiga hatua kubwa ya maendeleo tofauti na madai yanayotolewa na umoja huo |
hiki ni kipindi kigumu kwa wanasiasa hasa waliofanya mambo makubwa ya maendeleo katika majimbo yao ya uchaguzi jimbo langu la mpwapwa lina zaidi ya wakazi sitini sifuri sifuri sifuri ambao wamekuwa UNK siku hadi siku lakini bado nimefanikiwa kumaliza kero za wananchi wengi wa jimbo langu alisema bwana UNK |
alisema mbali ya changamoto hizo za kisiasa suala zima la miundombinu ya barabara jimboni maji afya na sekta elimu UNK na kuimarishwa zaidi ambapo jimbo hilo lina jumla ya shule za sekondari ishirini na sita anaongeza kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi kugombea ubunge katika jimbo analotaka ambapo wapiga kura ... |
bwana lubeleje aliongeza kuwa hivi sasa kuna mradi mkubwa wa maji uliopo mpwapwa mjini UNK shilingi bilioni nne saba ambao utekelezwaji wake umekamilika kwa asilimia sabini na unatarajiwa kukamilika aprili ishirini moja sifuri mradi huo unafadhiliwa na shirika moja la ufaransa kutokana na juhudi zake pamoja na serikal... |
maelezo hayo ya bwana lubeleje yanaonekana si lolote kwa bwana chakwe UNK wapiga kura katika jimbo la mpwapwa wameanza kuichukia ccm kwa sababu mbunge wake ameshindwa kutatua kero zao kama kuboresha miundombinu ya barabara huduma bora za afya katika hospitali za kata umeme na maji ambayo ni tatizo la muda mrefu linalo... |
alisema ili imani ya wapiga kura iweze kurudi kwa chama hicho na jimbo hilo kuendelea kushikiliwa na ccm bwana lubeleje anapaswa kutumia UNK kutangaza kutogombea katika uchaguzi mkuu ujao ili kupisha wagombea wengine wenye nia na uwezo wa kutatua kero za wananchi katika kipindi kifupi |
alisema tamko la umoja huo UNK malalamiko ya wananchi wa jimbo hilo dhidi ya mbunge wao kwa madai ya kushindwa kutatua kero za msingi na kumtaka aige mfano wa mbunge wa dodoma mjini bwana ephraim madeje ambaye ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo |
nchi za afrika zimetakiwa kuwa na msimamo mmoja kabla ya kufanyika kwa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi copenhagen denmark wiki mbili zijazo ili UNK nchi tajiri UNK hali ya hewa |
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais daktari batilda burian wakati akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi dar es salaam |
alisema kuwa nchi za afrika zinatakiwa ziwe na msimamo mmoja ili ziweze kubana nchi tajiri zinazozalisha hewa ya ukaa kabla ya mkutano mkutano huo |
ili kukabilina na hali hii ya mabadiliko ya tabia nchi wananchi pamoja na jamii wanatakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti na kuacha UNK mifugo mingi kupita kiasi katika eneo alisema daktari burian |
alisema kuwa tayari serikali UNK dola za marekani milioni tatu tano kwa ajili ya kujenga ukuta wa mto pangani na wakazi wa pwani walioathiriwa na maji ya chumvi yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi |
pia alisema wamepokea dola za marekani milioni tatu kutoka japani kusaidia meneo ya longido pwani na njombe kukabilina na tatizo hilo |
alisema euro UNK |
mbili mbili zitasaidia kujenga vituo katika vijiji sita tanzania bara na visiwani ili wananchi waweze kupatiwa elimu jinsi ya kutunza mazingira na kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa |
serikali imetoa onyo kali kwa wakazi na wafanyabiashara katika eneo la wilaya ya ilala wanaoendelea kukiuka sheria na taratibu za utunzaji wa mazingira kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao |
uamuzi huo wa kuwachukulia hatua kali za kisheria umefikiwa baada ya kipindi cha elimu ya utunzaji wa mazingira kuisha huku kukiwa hakuna mabadiliko ya kuridhisha hata katikati ya jiji la dar es salaam |
mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama alivieleza vyombo vya habari hatua zinazochukuliwa na serikali ya wilaya yake kuzuia uchafuzi wa mandhari ya mji na kujikinga na ugonjwa hatari wa kipindupindu |
wananchi waache tabia ya uchafu tabia ya kula au kunywa vitu na kutupa tupa ovyo watu wanakula maembe machungwa ndizi miwa na kisha wanatupa barabarani wengine wanauza vyakula sehemu ambazo hazijathibitishwa na wataalamu wa afya tunawataka kuanzia sasa wafuate taratibu za manispaa ya ilala |
tumetoa elimu vya kutosha UNK waache mazoea hayo UNK kuwa watasikia sasa muda huo umekwisha wote wanaokiuka tutawafikisha mbele ya sheria UNK wakitamba na kuidharau serikali kuwa haitafanya jambo lolote kwa kuwa wamezoea kusikia ikisema bila kuchukua hatua alisema bwana balama |
bwana balama alisema kuwa hatua hizo za kisheria pia UNK watumishi wazembe wa manispaa ya ilala ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa chanzo cha kuendelea kwa uchafuzi wa mazingira ya mji |
alisema anao ushahidi jinsi wafanyakazi wa manispaa hiyo UNK katika kuvunja kanuni za usafi na kuwaruhusu wafanyabiashara kuendelea kufanya shughuli zao katika maeneo yasiyoruhusiwa hivyo amewataka kuacha mara moja na kuwataka kila mmoja atimize majukumu yake kadri UNK UNK |
nimezungumza leo asubuhi na wenzetu wa manispaa kwa kweli tumeazimia kuwa kila mmoja UNK sehemu ya kufanyia kazi ili UNK sehemu hiyo ni chafu na hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa basi mtumishi huyo anapaswa kuwajibika |
akizungumzia hatari ya mvua za el nino alisema pia nitumie fursa hii kuwakumbusha wale wenzetu wanaokaa mabondeni kama jangwani na wale UNK kandokando ya mifereji kuhama mara moja ili kujiepusha na athari zinazoweza kujitokeza pindi mvua kubwa UNK UNK |
sakata la wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania la kudai mshahara wao wa mwezi novemba mwaka huu limefikia hatua ya kutangazwa mgomo nchini nzima sambamba na kusitisha huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo |
mgomo huo ambao UNK kutangazwa jana ulitokana na kauli ya mkurugenzi mtendaji wa trl bwana hundi al UNK kwa katibu wa chama cha wafanyakazi wa reli bwana UNK rwegasira kuwa hana matarajio ya kuwalipa mshahara wao jana |
kutokana na kauli hiyo bwana rwegasira aliwaeleza wafanyakazi ambao walipendekeza mkurugenzi huyo afunge virago na kuondoka kuelekea kwa watetezi wake waliotajwa ni wizara ya miundombinu |
ujumbe huo UNK kwake UNK lakini akaomba usalama wa menejimenti yake na magari yao matano wakati wa kutoka ndani ya ofisi zao baada ya juzi magari hayo kutolewa upepo na wafanyakazi |
baada ya maelezo hayo shangwe vigelegele na nyimbo zilitawala kwa kwa wafanyakazi ambao walijipanga mistari miwili kutoka ofisi hizo hadi barabara ya stesheni mtaa wa algeria UNK |
mbwembwe za wafanyakazi hao ziliendelea kwa kuyapamba magari kwa matawi ya miti na karatasi za zawadi na kuwekewa msalaba mkubwa UNK UNK ishirini sifuri saba kufariki ishirini sifuri tisa na utazikwa leo miundombinu au kesho india muda mfupi kabla ya safari kuanza huku kukiwa UNK mchango wa kununuliwa kufuli za kufung... |
bibi ruth aliwakutanisha trawu na menejimenti ya trl na kuelezwa kilichojiri hadi kufikia uamuzi huo ambao hakukubaliana nao na kusema ni kinyume cha sheria kuwaondoa bila kibali chochote kutoka wizarani |
alisema kuwa moja ya matatizo ambayo yangetokea kwa wakati huo ni mengi yakiwemo usalama duni kupotea kwa nyaraka za kampuni kukiuka sheria za mkataba na hata yeye asingepata cha kueleza kama kamanda wa reli |
viongozi wa trawu walianza kujibizana na kamanda huyo na yeye akatishia kutumia dola kuwatawanya ndipo bwana rwegasira alipotangaza rasmi mgomo nchi nzima huku akimpa masharti likiwamo la kufuatilia mishahara yao hadi UNK benki kuunganisha mabehewa na vichwa vyake ulinzi wa mali za kampuni kuhakikisha mkono wa heri kw... |
pia walimtaka kamanda huyo ambaye alizomewa na kuambiwa amepewa rushwa kuwatangazia kupitia vyombo vya habari kuwa mkataba umevunjwa ndipo watakaporejea kazini |
baada ya hapo bwana rwegasira aliwasiliana na vituo vyote vya treni nchini kusitisha huduma ya usafiri hapo hapo walipo ikiwemo treni UNK dar es salaam juzi saa kumi na moja jioni kwenda kigoma ambayo UNK kituo cha manyoni |
na grace michael upelelezi wa kesi inayomkabili mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya richmond tanzania bwana naeem gire ya kutoa taarifa za uongo kuhusiana na kampuni hiyo bado haujakamilika |
hatua hiyo ilijulikana jana mahakama ya hakimu mkazi mbele ya hakimu mkazi bibi warialwande lema wakati kesi hiyo UNK |
upande wa mashitaka uliokuwa ukiongozwa na wakili wa serikali bwana timoth vitalis uliiambia korti kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo ipangwe tarehe ya kutajwa wakati upande huo ukiendelea na uchunguzi zaidi |
kutokana na maombi hayo kesi iliahirishwa mpaka mei ishirini na sita mwaka huu |
awali mshitakiwa alifikishwa mahakamani hapo akidaiwa machi kumi na tatu ishirini sifuri sita kinyume cha sheria alighushi hati inayompa nguvu kisheria akionesha imetolewa na mwenyekiti wa kampuni hiyo wa marekani bwana mohamed gire UNK kuendesha shughuli za kampuni hiyo hapa tanzania |
alidaiwa kuwa kwa makusudi akiwa tanesco ubungo aliwasilisha hati UNK inayompa mamlaka ya kuendesha shughuli za kampuni hiyo |
anadaiwa kutoa taarifa za uongo kwa watumishi wa umma ambao walikuwa ni wajumbe wa bodi ya tenda kuwa richmond ilikuwa na uwezo wa kuzalisha megawati kumi sifuri za umeme kwa lengo la kuwashawishi wajumbe hao kuichagua kampuni hiyo |
pia anadaiwa kutoa taarifa za uongo kwa timu ya majadiliano ya serikali ambao ni watumishi wa umma kuwa kampuni ina uwezo wa kuzalisha umeme kwa lengo la kutoa ushawishi ili iweze kuidhinisha kampuni hiyo kufanya biashara hiyo hapa nchini |
katika shitaka la mwisho mshitakiwa alidaiwa juni ishirini sifuri sita akiwa dar es salaam aliwasilisha hati iliyosainiwa na bwana gire wa nchini marekani ikionesha kumpa mamlaka ya kuendesha biashara za kampuni ya richmond hapa nchini |
umoja wa mataifa umetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti UNK tanzania kuwasaidia waasi wa jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa congo kuwa UNK wakati haijachapishwa rasmi |
pia umoja huo UNK na ripoti hiyo UNK kuwa ilitolewa na jopo la wataalamu walioteuliwa na kupewa mamlaka ya kutafiti iwapo maamuzi ya UNK vikwazo vikundi vya waasi vilivyoko drc UNK |
taarifa ya un UNK gazeti hili jana ilisema ripoti hiyo haipaswi kuhusishwa moja kwa moja na sekretarieti ya un wala mashirika yake yaliyopo nchini bali UNK na jopo hilo chini ya mwenyekiti wa kamati ya vikwazo vya drc ambayo kwa sasa inaongozwa na uturuki |
taarifa hiyo iliyosainiwa na afisa habari wa un bibi UNK UNK imekuja siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje bwana bernard membe kutoa tamko la kulaani ripoti hiyo kwamba ni ya uongo na kuitaka un kuiomba radhi tanzania |
ufafanuzi huo wa un unamaanisha kuwa bwana membe alilalamikia taarifa hiyo kabla ya kuchapishwa wala kujadiliwa na baraza la usalama la umoja huo hivyo kuondoa uhalali wake |
tayari chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa tamko la kumkosoa bwana membe UNK kujibu hoja moja moja na kuwaacha waliotajwa katika taarifa hiyo kuwajibika badala ya kufunika kombe UNK apite hata hivyo pamoja na un kujitenga na ripoti hiyo imesema baada ya kukamilika itajadiliwa na baraza lake la usalama |
kundi hilo wa wataalamu limekuwa likitoa taarifa mara kwa mara juu ya utafiti wao kuhusu masuala ya vikwazo vya silaha huko drc ripoti ya sasa ambayo imezua mjadala katika vyombo vya habari haijachapishwa wala kupitishwa rasmi ingawa hatua hiyo itafanyika hivi karibuni |
kwa hiyo kikundi hicho cha wataalamu UNK mamlaka ya kufanya utafiti wa mara kwa mara na kutoa mapendekezo katika taarifa ambayo UNK na kamati ya vikwazo na baraza la usalama ambako kikundi hicho kinawajibika ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo ya un nchini huku UNK kuwa wataalam hao UNK muda wao wa kufanya kazi kwa mwaka... |
un inafanya kazi kama kitu kimoja kwa UNK idara mifuko mashirika na mipango mbalimbali bado kuna umuhimu wa kutofautisha kati ya mihimili ya utendaji kama baraza la usalama na ile inayohusika na utekelezaji wa sera kama vile sekretarieti ya un na mashirika yake yaliyoko nchini UNK na serikali katika shughuli za kimaen... |
na zahoro mlanzi kocha mkuu wa timu ya yanga kostadic papic anatarajia kupata kikosi cha kwanza cha timu yake mara baada ya kuwasili kwa wachezaji wake kumi waliopo katika mashindano ya kombe la chalenji yanayoendelea nchini kenya |
mbali na hilo yanga imesema mpaka jana mchana mshambuliaji wao raia wa kenya boniface ambani UNK nchini kujiunga na wenzake kujindaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu ya tanzania bara na mashindano ya kombe la tusker |
akizungumza na gazeti hili dar es salaam jana msemaji wa timu hiyo UNK sendeu alisema timu yao inaendelea vizuri na maandalizi ya ligi kuu pamoja na kombe la tusker ila mpaka sasa papic hana wachezaji wa kikosi kwanza |
alisema kukosekana kwa wachezaji kumi ambao wana UNK na mataifa yao katika chalenji ndio sababu kubwa UNK kupata kikosi cha kwanza hivyo inabidi UNK mpaka mashindano UNK |
unajua kwa sasa UNK vigumu kocha wetu papic kupata kikosi cha kwanza kama unavyojua wachezaji wetu karibu kumi wapo kwenye chalenji hivyo UNK na kazi ya ziada kupata timu itakayoanza maana UNK wachezaji wote wapo fiti huko alisema sendeu |
mbali na hilo alizungumzia hatma ya UNK ambapo alisema mpaka jana mchana hana taarifa yoyote ya mchezaji huyo kama amekuja au la ila kwa mujibu wa mawasiliano waliyofanya ilitakiwa awasili juzi |
kuhusu ambani mpaka leo hii mchana hajafika ila kwakuwa siku haijaisha labda anaweza kuja jioni lakini mpaka sasa sina taarifa UNK kuhusu yeye mimi ninachojua alitakiwa aje jana alisema sendeu |
wakati huohuo sendeu alisema UNK kwa hamu kubwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa tawi la yanga mkoani mwanza kwani uchaguzi huo unafanywa kwa mujibu wa katiba yao |
timu za majeshi ya tanzania UNK medali mbili za dhahabu baada ya wanariadha wake sarah UNK na francis UNK kumaliza mbio za nusu marathon zilizofanyika juzi blantyre nchini malawi |
timu hiyo ambayo ipo nchini humo kushiriki mashindano ya jumuiya ya majeshi kwa nchi za kusini mwa afrika imekwenda na timu ya riadha soka na mchezo wa UNK ambapo jumla ya nchi kumi na mbili zinashiriki mashindano hayo |
kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari dar es salaam jana na mkurugenzi wa michezo wa jeshi la polisi tanzania jonas mahanga alisema medali hizo wamezipata kwa upande wa wanawake na wanaume |
alisema kwa upande wa wanawake nafasi ya pili ilikwenda kwa UNK william wa tanzania nafasi ya tatu ilikwenda kwa mzimbabwe nafasi ya nne ilikwenda kwa zambia na nafasi ya tano ilikwenda afrika kusini |
alisema kwa upande wa wanaume nafasi ya pili ilikwenda kwa mzimbabwe nafasi ya tatu ilichukuliwa na daniel sumuni wa tanzania nafasi ya nne imekwenda kwa paul sumaye wa tanzania na nafasi ya tano ilikwenda kwa UNK |
michuano hiyo UNK nchi za malawi zambia msumbiji lesotho zimbabwe swaziland botswana namibia afrika kusini tanzania na mauritius |
na kulwa mzee shahidi wa tisa upande wa mashitaka bwana dotto ally amedai aliwaona majambazi maeneo ya ubungo mataa wakiwa UNK gari nyeupe huku UNK risasi na aliwatambua baada ya kumvamia na kumpora gari |
bw |
ally alidai hayo jana mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji projest rugazia alipokuwa akitoa ushahidi katika kesi ya mauaji yaliyotokea ubungo dar es salaam aprili ishirini ishirini sifuri sita alidai siku ya tukio akiwa na gari aina ya toyota UNK eneo la ubungo mataa aliona gari aina ya UNK likiwa UNK na watu huku U... |
hali hiyo ilimfanya UNK gari na kurudi maeneo ya buguruni alikotoka aliamua kuruka UNK ili kukimbia risasi zilizokuwa UNK |
alifanikiwa lakini alipofika tabata UNK alilazimishwa kusimama |
shahidi alidai aliona gari ndogo kushoto kwake watu waliokuwa ndani ya gari hilo UNK kusimamisha lake katikati ya barabara na kwa kuwa walikuwa wameshika bunduki UNK |
mwingine alimtoa nje ya gari |
aliwataja washitakiwa hao kuwa ni wa nane yasini juma aliyevunja kioo kwa kitako cha bunduki na wa kumi na moja mt elfu sabini na saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike UNK mke wa bosi wake akiwa kifua wazi |
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kuhusu usahihi wa mahali UNK maelezo yake baada ya tukio alidai ni kituo cha urafiki |
bwana magafu UNK mwisho wa maelezo yake inaonesha alitoa kwa ocd ilala na si urafiki |
bwana ally alidai hayo ni makosa ya aliyekuwa UNK |
washitakiwa katika kesi hiyo ni mashaka mahenge rashid lembresi john mndasha martine mndasha philipo mushi jackson wangu haji hamisi yasin juma hamisi mjata musa mustafa mt elfu sabini na saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike wickliff angaruki rashid abdikadiri james chamangwana na hussein iddi |
inadaiwa aprili ishirini ishirini sifuri sita maeneo ya ubungo mataa dar es salaam washitakiwa walimuua aliyekuwa mfanyakazi wa nmb tawi la wami morogoro evarist manyoni na mashitaka ya pili walimuua kwa makusudi askari d elfu sita na mia tatu na sitini na moja pc abdallah maro |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.