text
stringlengths
1
1.32k
kesi itaendelea kesho
wafanyabiashara wa viazi UNK katika wilaya ya njombe mkoani iringa wameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo chakula ushirika na masoko nchini kuwatafutia soko la zao hilo baada ya masoko kukataa ujazo ambao UNK na idara ya vipimo mkoani hapa
wakizungumza na majira wafanyabiashara hao walisema kufuatia utaratibu uliowekwa na halmashauri ya wilaya hiyo ya kuzuia ujazaji wa gunia kwa mtindo wa lumbesa badala yake wanatakiwa kujaza mtindo wa UNK hali iliyofanya wafanyabiashara kusuasua kununua viazi hivyo
bwana jordan mpinge ambaye ni mwenyekiti wa wafanyabishara wa viazi UNK wilayani humo alisema miaka miwili iliyopita kitengo cha vipimo cha serikali UNK marufuku kwa wafanyabishara kujaza gunia na UNK mtindo wa UNK
bwana mpinge alisema huo pia umesababisha wakulima kutopata faida kwani wanunuzi wamepungua tofauti na awali hali inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yao ikiwa ni pamoja na kukosa soko la uhakika kama ilivyozoeleka
alisema athari wanazopata kutokana na kutii kwa amri iliyotolewa na watu wa vipimo kutoka mkoani wafanyabiashara kutoka mikoa ya arusha tanga pamoja nchi jirani ya kenya wamekuwa wakipata soko la uhakika kwani wao bado wangali wanatumia ujazaji wa lumbesa ambao wanunuzi UNK
alisema upande wao hulazimika kukaa na mzigo zaidi ya wiki moja katika masoko ya dar es salaamu huku viazi vikiwa ndani ya gari wakisubiri wanunuzi ambao hata hivyo alisema ni wa kubahatisha na kusababisha viazi UNK vikiwa katika magari walitumia UNK
mkuu wa mkoa wa dodoma daktari james msekela UNK uongozi wa wilaya ya kongwa kuhakikisha wanasimamia sheria na kanuni za kilimo cha mtama
hayo aliyasema jana wakati akizungumza na viongozi wa wilaya hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani hapa kwa lengo la kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo hasa kilimo
daktari msekela alisema kuwa wilaya ya kongwa ni UNK mwa wilaya ambazo zimepata fursa ya kuwa na zana nyingi za kilimo hivyo ni lazima uongozi wa wilaya kwa kushirikiana na maofisa ugani wakashiriki katika kuendeleza kilimo
alisema mtama UNK zaidi dodoma hivyo juhudi nyingi hivi sasa zinaelekezwa katika zao hilo na wakulima wanatakiwa waelimishwe juu ya zao hilo ambalo linastahili katika mazingira ya ukame
alisema viongozi wa wilaya hiyo lazima wawe na tabia ya kujifunza kutoka kwa watu wengine lakini pia lazima maofisa ugani nao lazima wajenge tabia ya kuwa na ushindani
wajasirimali wenye ulemavu wa aina mbalimbali wamelalamikia bidhaa zinazotoka nje na kudai kuwa UNK soko la ndani hali inayowafanya kudidimia kiuchumi
akizungumza kwenye maonesho ya siku ya maadhimisho ya walemavu disemba tatu mwaka huu mlemavu mmoja alisema fenicha za ndani hazipewi kipaumbele ukilinganisha za nje
alisema serikali hununua fenicha zinazotoka nje ya nchi ambazo UNK kwa mbao halisi hali inayoleta hasara kwa UNK
mimi ni mwanzilishi wa keko fenicha na kazi yangu kubwa ni kuchonga lakini tatizo UNK ni soko fenicha zinazoingia sasa UNK hakuna anayetaka fenicha zetu za mbao halisi ambazo ndio imara alisema bwana salehe UNK maarufu kwa jina la UNK ambaye ni mlemavu wa miguu
walemavu wengine walisema kuwa UNK kwao ni tatizo kwani kuna baadhi hawana ofisi hivyo wamekuwa wakiuza bidhaa kama maonesho UNK kwenye warsha na katika makundi mengine ya watu
baada ya kukagua mabanda ya wajasiriamali wenye ulemavu mbalimbali mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama alisema kuwa wafanye juhudi kutengeneza bidhaa bora ili kukabiliana na ushindani wa soko
waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora bibi sofia simba amesema bunge haliwezi kusimamia taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini kwa kuwa lina majukumu mengi yaliyo chini yake
bibi simba aliyasema hayo dar es salaam jana baada ya kufungua semina ya wadau waliopata ruzuku katika mfuko wa uadilifu uwajibikaji na uwazi
bibi simba alisema kuwa kazi ya kutunga sheria ni kubwa hivyo kama taasisi hiyo itakuwa chini yake ni sawa na kuiongezea mzigo
haiwezekani kila kitu kiwe chini ya bunge kila taasisi ina majukumu yake na itafanya kazi kama UNK bila kujali mtu yeyote alisema bibi simba
kauli ya bibi simba ilitokana na maswali ya waandishi wa habari juu ya mapendekezo ya baadhi ya wadau UNK kongamano la miaka kumi ya kifo cha baba wa taifa mwalimu julius nyerere kutaka taasisi hiyo iwe chini ya bunge
wadau hao walitaka takukuru iwe chini ya bunge kwa madai kuwa huenda ikashindwa kuchunguza baadhi ya viongozi wanaoiongoza taasisi hiyo katika utendaji wao wa kazi
walidai kuwa takukuru haitaweza kuchunguza mabosi wao kwa kuwa ndiyo vingozi wanaowaongoza hivyo kazi ya taasisi hiyo itakuwa haina maana
akizungumzia juu ya maadili ya viongozi bibi simba alisema kila kiongozi na mfanyakazi wa umma anatakiwa kuwa nayo yakienda sambamba na uadilifu
serikali inaendelea na UNK kazi yake ya kuhakikisha uwajibikaji wa watumishi wake unakuwa wa hali ya juu japo uadilifu wa watumishi ni hali ya mtu binafsi alisema bibi simba
aliwataka wadau waliopata ruzuku katika mfuko wa uadilifu uwajibikaji na uwazi kuzitumia fedha hizo kama ilivyopangwa ili kuelimisha jamii juu ya utawala bora
mshitakiwa bwana jonson lukaza anayekabiliwa na kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje amekiri kupeleka bot hati ya kutaka kulipwa zaidi ya shilingi bilioni sita akionesha kuwa walihamishiwa deni hilo na kampuni ya marubeni corporation ya japan
mshitakiwa huyo alikiri jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu UNK lyimo wakati wakisomewa maelezo ya awali ya mashtaka yanayowakabili yeye na mdogo wake bwana mwesiga UNK
mshitakiwa huyo alidai kwamba hana uhakika na tarehe iliyopo katika hati ya mashitaka novemba kumi na nne ishirini sifuri tano pia wote walikiri kwamba ni wakurugenzi wa kampuni inayodaiwa kuhusika ya kernel ltd ya tanzania na wanaishi dar es salaam
washtakiwa walikana maelezo mengine yote likiwamo la kukubaliana kuiba fedha bot kutengeneza hati ya kununua deni la zaidi ya shilingi bilioni sita ikionesha kampuni ya kernel UNK deni na kampuni ya marubeni kwa kiasi hicho
wakili timony kabla ya kuwasomea maelezo hayo aliwasomea hati mpya ya mashtaka ambapo alidai washitakiwa kwa pamoja wanatuhumiwa kufanya uhalifu kati ya mwaka ishirini sifuri tatu na ishirini sifuri tano katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa walikula njama kufanya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni sita na mshitakiwa w...
pia inadaiwa novemba kumi na nne ishirini sifuri tano mshitakiwa jonson alipeleka bot hati hiyo ya kughushi ya kuhamisha deni wakitaka kulipwa
mashtaka mengine inadaiwa walijipatia kiasi hicho cha zaidi ya shilingi bilioni sita kwa njia ya udanganyifu desemba saba mwaka ishirini sifuri tano kabla kesi kuahirishwa hadi januari sita mwakani itakapotajwa upande wa utetezi uliomba washitakiwa waruhusiwe kusafiri nje ya dar es salaam na mahakama ilikubali
kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo februari ishirini na mbili hadi ishirini na sita mwaka huo
mkazi wa mbagala kibonde maji bwana juma UNK amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya temeke kwa tuhuma za kukutwa na vifaa mia moja na hamsini vya kulipulia mabomu kinyume cha sheria
mbele ya hakimu mkazi bibi fatuma kiwanga ilielezwa na mwendesha mashitaka wa polisi bwana UNK kombe kuwa mtuhumiwa alikamatwa novemba ishirini na tisa mwaka huu saa kumi na moja jioni maeneo ya UNK mjimwema dar es salaam akiwa na vifaa hamsini vya kulipulia mabomu pamoja na waya zake
pia mshitakiwa inadaiwa alikutwa na vifaa vingine kumi sifuri visivyo na waya na mifuko ishirini na tano ya mbolea aina ya urea inayosadikiwa kutumika kutengenezea milipuko hiyo kinyume cha sheria
mshtakiwa alikana makosa hayo na kwenda rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili wanaofanya kazi serikalini au katika mashirika UNK na kila mmoja asaini dhamana ya shilingi milioni kumi upelelezi haujakamilika na kesi iliahirishwa hadi desemba ishirini na moja mwaka huu
watu wanane wamekufa kwa kipindupindu huku watu mia tano na sitini na nne wakiwa tayari wameugua ugonjwa huo katika wilaya zote za dar es salaam tangu UNK novemba kumi na mbili mwaka huu
ugonjwa huo ambao hutokana na uchafu na kuwapata watu wasiozingatia kanuni za afya umeendelea kujichimbia dar es salaam na kuhatarisha maisha ya wakazi wake
kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alisema jana kuwa ugonjwa huo kitu ambacho UNK kwa kuwa UNK katika wilaya zote alisema daktari kawawa na kufafanua kuwa hadi jana ilala walikuwa wamefikia wagonjwa mia mbili na hamsini na tatu temeke mia mbili na ishirini na kinondoni tisini na moja pamoja na idadi ya wago...
kwa mujibu wa daktari kawawa majengo ya kuishi mia nne na arobaini na sita UNK na kati ya hayo thebathini na sita hayakuwa na vyoo imara hivyo wamechukuliwa hatua za kisheria wakati katika majengo ya kufanyia biashara ndogo ndogo themanini UNK kwa kutofuata kanuni za afya
watu hamsini na sita wamefikishwa katika mabaraza ya kata kwa kukiuka sheria na kanuni za afya na kutozwa faini ya kati ya shilingi tano sifuri sifuri sifuri hadi shilingi ishirini na tano sifuri sifuri sifuri kesi iliyofunguliwa na wafanyakazi wa kampuni ya ssb dhidi ya mmiliki wake bwana said salim bakharesa imeingi...
akitoa hoja hiyo dar es salaama jana wakili huyo bwana issa maige alisema kuwa wadai hao hawana ajira kwa mdaiwa na kuongeza kuwa waliingia mkataba na kampuni ya nasoro ltd
kwa upande wa wafanyakazi uliowakilishwa na wakili bwana thadei UNK ulipinga hoja hiyo na kudai kuwa washtakiwa wana mkataba na bwana bakharesa na kuwa hata vitambulisho vyao UNK na UNK
hakimu anayesikiliza kesi hiyo bwana rweyemamu aliwataka mawakili hao wakae pamoja ili UNK na kupeana baadhi ya vielelezo ambavyo vitasaidia katika uendeshaji wa kesi hiyo
wafanyakazi hao UNK na kumtaka wakili aliyekuja UNK bwana bakharesa kuwa mstaarabu baada ya hakimu kumtaka asome baadhi ya vielelezo vinavyoonesha madai ya wafanyakazi hao na yeye kudai hakuwa na muda
haiwezekani wakati sisi UNK kazini wewe unadai huna muda wa UNK vielelezo na kudai kuwa UNK UNK wewe kwani wewe ni nani
alihoji haji jongo mmoja wa wafanyakazi
mahakama hiyo ilishindwa kutaja tarehe ya kusikilizwa kesi hiyo baada ya kuona wafanyakazi hao UNK na kudai kuwa mawakili hao wafike ijumaa UNK tarehe ya kusikilizwa
wafanyakazi hao walifungua kesi hiyo machi mwaka huu ya kumlalamikia bwana bakharesa kuwakataza kufungua tawi la wafanyakazi kiwandani kwake na kukataa kuwatambua kama waajiriwa katika kampuni yake wakati wengi wao UNK zaidi ya miaka kumi upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha ...
hakimu anayesikiliza kesi hiyo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu bibi UNK lema alifikia hatua hiyo baada ya upande wa utetezi kulalamikia taarifa za kutokamilika kwa upelelezi zinazotolewa na upande wa mashtaka kila siku ya kesi
kesi hiyo ilitajwa jana na upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili wa serikali bwana timony vitalis ulidai UNK haujakamilika na hivyo kuomba kesi UNK
kutokana na ombi hilo wakili wa utetezi bwana alex mgongolwa aliiomba mahakama kutoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka ili siku inayofuata wawasilishe taarifa ulipofikia upelelezi kwani wamechoshwa na kila siku upelelezi bado hakimu lema alisema anatoa ahirisho la mwisho na siku ya kesi upande wa mashtaka UNK...
kesi hiyo iliahirishwa hadi februari kumi mwakani
bwana gire alifikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na mashitaka manne yakiwemo ya kughushi kuwasilisha hati ya uongo na kutoa taarifa za uongo kuhusiana na richmond
jeshi la polisi UNK na kuanza kuwasaka upya watuhumiwa wa mauaji waliotoroka mkono wa sheria baada ya kudaiwa kuwaua wafanyabiashara wa madini wa mahenge na dereva teksi mmoja wa manzese dar es salaam
katika utekelezaji wa zoezi hilo polisi wamesema watatangaza upya picha za watuhumiwa hao akiwamo saad UNK ambaye alidaiwa mahakamani kuwa ndiye UNK risasi wakati wa mauaji hayo
wengine ni frank mbutu na james UNK
mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai robert manumba alisema hayo jana dar es salaam katika mkutano wa mkuu wa polisi nchini igp said mwema na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali likiwamo la hatima ya watuhumiwa hao na kibarua cha aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdalah zombe
mpaka sasa upelelezi bado unaendelea tunataka kuzitoa tena upya picha katika vyombo vya habari tunaomba wananchi wenye taarifa za watuhumiwa hao watoe taarifa ili waweze kuchukuliwa hatua alisema
kauli hiyo ya dci imekuja wakati kuna agizo la mahakama kuu lililotolewa kwenye hukumu ya jaji salum masati kuwa polisi waendelee kuwatafuta UNK hasa wa mauaji hayo huku UNK akina zombe na UNK wanane kuwa hawakuwa na hatia
tayari serikali imekata rufaa kupinga hukumu hiyo
akifafanua juu ya watuhumiwa hao dci manumba alisema kuwa wahalifu waliokimbia ndio hasa wanahusika katika mauaji hayo na kwamba pindi UNK ndipo ukweli kamili wa mauaji hayo UNK
akizungumzia hatima ya kibarua cha bwana zombe dci alisema UNK wakati UNK huru na mahakama UNK kurudi kazini kwa kutokuwa na hatia lakini bwana zombe aliomba kustaafu na wakati ombi linashughulikiwa ngazi za juu rufaa UNK dhidi yake
alisema kuwa wanachosubiri sasa ni rufaa na baadaye hatima yake katika utumishi UNK
mtoto pacha aliyenusurika kuzikwa akiwa hai baada ya kuzinduka muda mfupi kabla ya kuingizwa UNK amekufa
mtoto huyo ambaye alikuwa na umri wa siku moja aliibua hisia nzito kwa familia ya ally athuman baada ya madaktari wa hospitali ya temeke kudaiwa kuruhusu mazishi ya watoto wawili ambao ni mapacha lakini UNK UNK UNK hai
mtoto huyo alishangaza UNK baada ya kuonyesha dalili za uhai na kuamua kumkimbiza hospitali ya taifa muhimbili ambako jana asubuhi alifariki dunia
watoto hao mapacha UNK na mama aitwaye aisha jabir mkazi mbagala maji UNK ambaye alipelekwa jumamosi saa sita mchana kwa ajili ya mapumziko akiwa na ujauzito wa miezi saba
lakini hata hivyo hali yake ilibadilika ambapo juzi asubuhi alijifungua watoto wawili mapacha wa kiume ambapo madaktari waliokuwa UNK walidai kuwa wamefariki dunia
akizungumzia tukio hilo babu wa watoto hao balozi babu alisema kuwa mtoto huyo UNK kukimbizwa muhimbili kwa ajili ya matibabu kwa sababu ya kuchelewa gari la wagonjwa
amedai kuwa pia baada ya gari hilo kuwasili ilichukua zaidi ya masaa matatu ndipo mtoto huyo alipopelekwa hospitali ya muhimbili
kutokana na hali hiyo familia hiyo iliamua kwenda moja kwa moja kituo cha polisi changgombe kwa ajili ya kuandika maelezo kwa ajili ya hatua zaidi
hata hivyo mtoto huyo amefariki dunia jana asubuhi na mazishi yamefanyika jana mchana katika makaburi ya tambaza upanga
akizungumza na majira baba wa marehemu bwana ally athuman alisema kuwa baada ya kumalizika kwa taratibu za maziko wanatarajia kwenda polisi kufungua mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi
amesema kuwa wanachoamini wao ni kuwa uzembe ndiyo ulichangia kwa kiasi kikubwa kifo cha mtoto wao ambaye alikuwa UNK
gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta mganga mkuu wa hospitali ya temeke bibi aisha mahita alisema kuwa uchunguzi wa kina unaendelea dhidi ya tuhuma hizo na kuahidi kutoa taarifa zaidi
mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari anayetuhumiwa kufanya mauaji mkoani mwanza na UNK shinyanga amekamatwa na akiwa amevaa mavazi ya kike aina ya baibui akiwa katika harakati za UNK
kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga bwana daudi siasi amemtaja mwanafunzi aliyekamatwa kuwa ni daudi rashidi ambaye pia hutumia jina la athumani rashidi anayetuhumiwa kumuua mwanafunzi mwenzake jijini mwanza wiki iliyopita
kamanda siasi alisema mbali ya mwanafunzi huyo ambaye alikamatwa juzi katika kituo kikuu cha mabasi mjini shinyanga polisi UNK watu wengine watatu wanaodaiwa kushiriki katika mauaji hayo
wengine waliokamatwa ni nixon robert pia mwanafunzi wa sekondari anayetuhumiwa kushiriki kumpiga mwanafunzi aliyekufa bwana ally rashid mfanyabiashara wa mtaa wa rufiji mjini mwanza ambaye anadaiwa UNK wanafunzi hao na bibi margaret george mkazi wa UNK shinyanga aliyekuwa awapatie hifadhi
mtuhumiwa daudi UNK na abiria wenzake aliokuwa nao katika basi hilo kutokana na sauti yake kuwa ya kiume wakati mavazi aliyokuwa amevaa ni ya kike ikiwa ni baibui nyeusi iliyokuwa UNK uso wake wote na kuachia uwazi kidogo katika sehemu ya macho na hivyo kutoa taarifa polisi
baada ya kuwakamata UNK na wenzetu wa mwanza ambao baada ya kuwatajia majina ya daud na nixon waliwatambua kuwa ndiyo UNK kuhusiana na kesi ya mwanafunzi wa sekondari aliyeuawa kwa kipigo na sasa tunaandaa mipango ili kuwarejesha mwanza kujibu shtaka la mauaji alieleza kamanda UNK
hata hivyo kamanda huyo alisema kuwa polisi walikuwa na taarifa za siri zilizotolewa na raia wema mkoani mwanza kwamba wanafunzi hao na mtu UNK kuwaficha UNK shinyanga
kutokana na taarifa hizo na raia UNK mmoja wa watuhumiwa polisi walifanikiwa kuwanasa wakati UNK kwenye basi la kampuni ya mohamed trans mjini shinyanga
wamiliki wa daladala UNK uwanja wa uhuru na zisizokuwa na leseni wametakiwa UNK mabasi yao katika uwanja huo ili kuwawezesha wananchi wengi wa dar es salaam kushiriki maadhimisho ya miaka arobaini na nane ya uhuru kesho
pia kampuni ya majembe auction mart vijana wa kazi na mamlaka ya usafiri nchi kavu na majini ambazo tayari zimezua kiwewe kwa wamiliki na watumishi wa daladala korofi zimetakiwa kutoyakamata mabasi hayo ili kutoa usafiri wa kutosha kwa wakazi wa wilaya zote tatu kuhudhuria maadhimisho hayo
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi aliyasema hayo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya uhuru
siku hiyo magari UNK ya abiria UNK uwanja wa uhuru na UNK askari wa usalama barabarani sumatra na majembe auction mart kutoyakamata mabasi hayo pia mabasi ambayo hayana leseni ya kusafirisha abiria ndani ya jiji hili siku hiyo ruksa kufanya hivyo mwisho saa nane mchana alisema
bwana lukuvi aliwataka wakazi hao kujitokeza kwa wingi kushuhudia maadhimisho hayo akisisitiza kuwa vyema kwa wakazi wa dar es salaam kushuhudia maadhimisho hayo kupitia vyombo vya habari wakati wana uwezo wa kufika na kushiriki katika tukio hilo muhimu na la kihistoria
alisema milango ya uwanja itakuwa wazi kuanzia saa kumi na mbili sifuri sifuri asubuhi na kuongeza kuwa maadhimisho hayo UNK na vijana wa halaiki gwaride maalumu la majeshi ya ulinzi na usalama
maadhimisho hayo kitaifa yatafanyika dar es salaam kesho ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais jakaya kikwete
saba wanusurika kufa
wengine UNK na mwandishi wetu wanachama wa upatu wa deci UNK waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kuwa UNK kulingana na kauli zake kwani kwao alifungua tawi la deci akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam mwenyekiti wa kamati ya dharura ya wana deci mchungaji isaac kalenge alisema hawana imani na waz...
mchungaji huyo alidai kuwa kuna ujanja unaofanywa kati ya viongozi wa serikali na deci ili kuhakikisha wanachama hawapati fedha zao kwa kukaa vikao bila kuwashirikisha
kamanda wa polisi mkoa wa dar es salaam bwana suleiman kova anapaswa kujua kwamba wanachama wa deci sasa UNK kwamba fedha zao UNK na kampuni ya deci na ndiyo maana wanahitaji kukaa vikao ili watoe taarifa sahihi za uhalifu huo kwa vyombo vya usalama
kama hawatafanya hivyo wanachama UNK nafasi ya kutoa mawazo katika UNK ni hatari kwa viongozi wa deci kwani wanaweza kushambuliwa na aibu ikawa kwa serikali alidai