text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mchungaji kalenge alisema wanachama wana taarifa kuwa viongozi wa deci wameanza kurejesha fedha kwa wateja waliopanda hivi karibuni ambao hawajawahi kuvuna |
pia alisema zipo habari kwamba maaskofu wachungaji na vigogo wa serikali waliopanda fedha nyingi zaidi ya shilingi milioni kumi UNK fedha hizo na mavuno kinyemela |
hata mkutano huo na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa idara ya habari baada ya maofisa waandamizi wa idara hiyo kudai ulikuwa ukiwakashifu viongozi wa serikali |
waziri mkulo mwenyewe hakuweza kupatikana jana kuzungumzia madai ya wanachama hao wa deci naye edmund mihale anaripoti kuwa watu saba waliokuwa wanatarajia kunggoa mbegu zao katika kampuni ya deci wamenusurika kufa baada ya kutumbukia katika shimo UNK kwa ajili ya kutunzia maji jirani na ofisi hizo |
wateja hao waliokuwa miongoni mwa maelfu ya washiriki ya upatu waliofika kunggoa mbegu UNK katika shimo hilo baada ya UNK uliokuwa UNK kuzidiwa nguvu na kutumbukia |
watu hao ambao wote walikuwa ni wanawake waliokolewa wa watu waliokuwa jirani na shimo hilo |
shughuli hiyo ya kuorodhesha majina UNK na matukio ya hapa na pale ilianza saa mbili thebathini asubuhi na baadaye kusitishwa saa tatu hamsini baada ya kuonekana kwa dalili za vurugu kutokana na umati mkubwa uliojitokeza |
ofisi hizo UNK tena saa nne kumi baada ya polisi kutoka kituo cha magomeni kufika wakiwa katika magari aina ya land rover defender namba pt sifuri saba tano mbili t mia saba na sitini ady na t mia mbili na kumi na tatu UNK ambayo yalikuwa tayari kwa lolote ambalo lingetokea katika shughuli hiyo |
umati wa watu waliofika katika ofisi hizo ulisababisha msongamano wa magari UNK barabara ya morogoro na kwenda mabibo UNK ambayo yalionekana kupita kwa tabu |
pia watu wengi walizirai baada ya kukosa hewa kutokana na wingi wa watu waliofurika kwa ajili ya kujua hatma ya mbegu zao walizopanda |
majira UNK msichana mmoja wa shule ya sekondari UNK kwa kukosa hewa saa tano thebathini na nane lakini alipatiwa huduma ya kwanza na kuchukuliwa na mzazi wake UNK simu ya mkononi na msamaria mwema |
na gladness mboma katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti mtendaji wa kampuni za ipp bwana reginald mengi ameibuka na kudai nchi UNK kundi dogo la watu aliowaita mafisadi papa na wamejiandaa kutoa roho za UNK kwa gharama yoyote |
bwana mengi alitoa kauli hiyo jana dar es salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari na kueleza kuwa mafisadi hao UNK nchi pabaya kwani hawataki kuguswa |
aliwataja watu hao wakiwemo wafanyabiashara na wanasiasa na kueleza kuwa UNK nchi kwa kiasi kikubwa |
nia njema ya rais jakaya kikwete ya kupambana na mafisadi na aina zote za uovu UNK mafisadi na sasa UNK wanapambana na watu wote UNK rais kupambana nao kuwazuia wasiendelee kuitafuna nchi alisema bwana mengi |
bwana mengi alisema mafisadi hao wanatuhumiwa kuiba mabilioni ya fedha za wananchi na baya zaidi UNK pesa hizo nje ya nchi |
alisema wanaotuhumiwa UNK na karibu ya kila kashfa kubwa iliyoibuka hapa nchini |
jitihada kubwa za rais kikwete kuleta maendeleo na maisha bora kwa kila mtanzania UNK na wizi mkubwa wa rasilimali za taifa alisema bwana mengi na kuongeza bado watanzania wengi wanaandamwa na umasikini mkubwa hawajui hata mlo mmoja kwa siku UNK wapi bwana mengi ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu nchini alisema cha ... |
inavyoonekana nia ya mafisadi hao sasa ni kuvuruga nchi na si ajabu UNK mkono matatizo yanayotokana na kampuni ya kuvuna na kupanda mbegu deci na watanzania wakabaki UNK na wachungaji bila kujiuliza ni kina nani hasa wanachochea vurugu hizo alisema |
bwana mengi alisema deci imeleta matatizo makubwa katika nchi mbalimbali duniani ambapo UNK serikali ya albania na kwamba hatma yake ikiendelea kuchochewa na watu wapenda vurugu italeta matatizo makubwa hapa nchini |
alisema kuwa mafisadi papa hao UNK rasilimali tu bali UNK pia muda badala ya wananchi kutumia muda katika shughuli za maendeleo wanajikuta wakiutumia kupambana nao |
bwana mengi alidai mafisadi hao wanatumia fedha walizoiba kuanzisha magazeti ya kujenga kiburi cha kudharau watanzania kuwatukana na kuwanyanyasa |
inakuwa ni kesi ya mwizi kumkimbiza na kumpiga UNK |
hata sasa hivi mafisadi hao wanaendelea kutumia uwezo wao wa kiuchumi uliotokana na wizi wa rasilimali za nchi kuwashawishi na kupata miradi mikubwa mikubwa kwa kutumia majina tofauti tofauti huku UNK kabisa kelele za wananchi kuhusu ufisadi wao alisema |
alisema watanzania UNK na ufisadi ni mamilioni wakiongozwa na rais kikwete lakini wachache waliojitokeza na wanajulikana kwa majina |
alieleza kuwa hata hivyo kuna tetesi kwamba mafisadi papa wamedhamiria UNK kabisa wapinga ufisadi UNK kwa majina |
alisema mafisadi hao ni lazima wajue kwamba iwapo wapambanaji hao wa ufisadi UNK kwa njia yoyote ndani au nje ya nchi UNK na watanzania |
alisema mafisadi hao wanafanya kila UNK kuhakikisha watanzania wanaopiga vita ufisadi wanaangamia kwa njia mbalimbali UNK sumu ajali au kwa kupigwa risasi ili kuondoa ushahidi |
watanzania mtasikia tu kwamba fulani amefia nje ya nchi na UNK kama kitu cha kawaida kumbe mafisadi ndio waliotekeleza azma yao ni lazima muwe macho kwani wanataka kuisambaratisha nchi alisema |
aliwataka watanzania kujiuliza mafisadi wanapata wapi ujasiri majigambo dharau nguvu za kuwatukana na kuwanyanyasa |
alisema mafisadi wote hususani wale wanaotuhumiwa kuwa mafisadi papa ni lazima UNK la sivyo UNK na kuitikisa nchi na kwamba ni lazima watanzania waone kwamba sasa nchi imefika mahali pa kusema imetosha |
bwana mengi alisema amejitoa UNK kupigana vita dhidi ya mafisadi na kubainisha kuwa yeyote UNK na hatua ya kuitwa fisadi papa aende mahakamani ili UNK kisheria |
na said mwishehe jeshi la polisi nchini limesema linafanya uchunguzi wa kina zaidi ili kubaini wanaojihusisha na mtandao wa kompyuta unajulikana kama ze utamu ambao unatumika kudhalilisha watu wakiwemo viongozi wa ngazi za juu |
hatua hiyo ya jeshi la polisi imetokana na kukithiri kwa picha mbalimbali za kudhalilisha kupitia mtandao huo |
siku za hivi karibuni mtandao huo umekuwa ukitumia nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kudhalilisha viongozi jambo ambalo ni kinyume cha ustaarabu na maadili ya jamii |
akizungumza na majira jana kwa njia ya simu mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa jeshi la polisi alisema kuwa mtandao huo umefikia mahali ambapo UNK tena na kazi inayoendelea sasa ni kuwasaka wahusika wake |
tumeona jinsi mtandao huo UNK viongozi wetu sisi kama jeshi la polisi UNK uchunguzi wa kina umeanza na muda sio mrefu mtasikia nini UNK kwa watu hao alisema ofisa huyo |
mbali ya kuchunguza wahusika jeshi hilo pia UNK kwa undani kupata wamiliki wa mtandao huo ambapo kutokana na vitendo vyake UNK tena |
tume ya mawasiliano tanzania imekiri kuwepo vitendo mbalimbali vya udhalilishaji kupitia mtandao huo na kuahidi kulishughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo |
tumeona hili tunachokifanya sasa tunakutana kikao cha dharura kujadili suala hilo kwa undani alisema mmoja wa maofisa wa tume hiyo aliyeomba kutoandikwa jina gazetini ambaye pia hakutaka kufafanua hatua UNK kudhibiti tatizo hilo |
wakizungumza na gazeti hili wananchi mbalimbali walilaani vikali kitendo kilichofanywa na mtandao huo na kutaka upigwe marufuku sambamba na wahusika wake kukamatwa mara moja popote walipo na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria |
sisi kama watanzania UNK vitendo hivi vya kipuuzi na fedheha kupitia mtandao huo viendelee vyombo vya dola UNK hatua za haraka kuwakamata wote wanaojihusisha na mtandao huo alisema mama aliyejitambulisha kwa jina la bibi hawa UNK |
mwananchi mwingine aliyeomba kutoandikwa jina mkazi wa upanga jijini dar es salaam alisema hatua iliyofikia na mtandao huo UNK na UNK kama vyombo vya dola UNK kuwanasa wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria hatimaye sakata la kampuni ya development entrepreneurship community initiative imechukua sura mpya ba... |
katika swali lake la kwanza la papo kwa papo kwa waziri mkuu jana asubuhi bwana rashid ambaye pia ni kiongozi wa upinzani bungeni UNK UNK za deci na matukio mengine mawili ya kuhamisha wafugaji toka bonde la ihefu mbeya pamoja na kufungwa uchimbaji UNK la kunduchi dar es salaam |
alisema matukio hayo ni dalili ya serikali kuwa na mfumo wa ukandamizaji kwa wananchi wake |
alisema wafugaji waliokuwa katika bonde la ihefu walikaa eneo hilo kwa muda mrefu hivyo UNK walipata madhara makubwa huku tatizo hiyo UNK kwa wale waliokuwa wakichimba kokoto kunduchi na sasa ni kampuni ya deci kufungiwa baada ya serikali kupitia benki kuu ya tanzania kuiruhusu mwaka ishirini sifuri saba akijibu swali... |
iliingia kiimani imani hivi ndio maana walipokwenda benki kuu walisema wana mtaji wa kukopesha akina mama lakini UNK kwamba hawaruhusiwi kuchukua amana yoyote kutoka kwa watanzania na kuambiwa kama wanataka kufanya kinyume cha hapo inawabidi warudi tena bot lakini waliingia kwenye upatu kimyakimya ndio maana imechukua... |
hata hivyo majibu hayo yalimfanya bwana UNK kuuliza swali la nyongeza akihoji uhalali wa waziri wa fedha bwana mustafa mkulo kujiingiza katika mtego na kuwa mgeni rasmi na kufungua tawi la deci wilayani kilosa |
mheshimiwa spika nina swali moja la nyongeza kama unavyosema waziri mkuu ni sahihi ni kwa nini waziri wa fedha aende kufungua tawi la deci kule kilosa alihoji |
akijibu swali hilo waziri mkuu alisema kwanza hilo silijui ninachojua ni kwamba si halali na hata kama alifanya hivyo sasa ni halali hapana lakini kama alienda basi na yeye alienda kama UNK japo alitakiwa awe wa kwanza kujua hilo alisema waziri mkuu |
naye edmund mihale kutoka anaripoti kuwa wanachama wa deci usiku wa kuamkia jana walijikuta UNK kukesha eneo la makao makuu ya mabibo dar es salaam kuwahi foleni ya kujiorodhesha kurejeshewa mbegu zao walizopanda |
wanachama hao walionekana wakiwa katika hali uchovu iliyotokana na usingizi huku wengine wakiwa wamekata tamaa baada ya kushindwa kujiandikisha au kupewa namba kutokana misururu mirefu ya kujiandikisha na kupewa namba |
mwanachama bwana edward moris alifika katika eneo hilo saa kumi alfajiri na kukuta tayari wanachama hao wamepanga msururu uliokuwa na watu zaidi ya tatu sifuri sifuri sifuri huku kukiwa hakuna huduma yeyote katika eneo hilo |
nimefika hapa tangu saa kumi lakini nimekuta wanachama UNK wakiwa wamelala bila hata ya kutojali kama kuna mvua |
lakini pamoja na kuwahi nimepata namba mbili mia nane na thebathini na tano hebu ona kuna watu wangapi mbele yangu kuanzia namba moja alisema bwana moris |
alisema wamekuwa UNK utaratibu wa foleni tangu juzi na hakuna fujo licha ya kutokuwa na ulinzi wa kutosha hadi ofisi hizo UNK saa kumi na mbili thebathini asubuhi |
majira ilishuhudia wanachama wakiwa katika foleni ndefu iliyokuwa na urefu wa mita sitini sifuri huku mvua kubwa ikinyesha na hakuna mwanachama UNK mvua hiyo |
pamoja na kuwepo kwa utaratibu mzuri ulipangwa lakini tayari malalamiko mbali miongoni mwa washiriki yameanza kutokea kutoka na UNK fedha zao kwa wale ambao tayari UNK nma wengine UNK UNK kampuni hiyo kwa kukiuka mkataba |
mwanachama bibi janet UNK ambaye alikuwa ni mfanyabishara ya UNK alisema alipanda mbegu katika kampuni hiyo tangu ishirini sifuri saba baada ya kuachana na UNK |
alisema UNK kiasi cha shilingi milioni tano nje ya kiingilio ni shilingi moja mia tatu na sabini na tano sifuri sifuri sifuri katika kipindi tofauti katika kipindi cha miaka miwili na ameweza kuvuna karibu kila mwezi hali iliyompa matumaini ya kuishi katika maisha ya pepo lakini alisema UNK kusikia uamuzi kampuni hiyo... |
na benedict kaguo tanga mlinzi wa kampuni ya ulinzi UNK ya jijini tanga amefariki dunia baada ya kujifyatulia risasi sehemu zake za siri |
mlinzi huyo bwana mbwana UNK mkazi wa UNK wilayani mkinga alichukua uamuzi huo aprili ishirini na mbili mwaka huu saa kumi thebathini alfajiri akiwa lindoni |
akiwa lindoni huku akiwa UNK bunduki ya UNK alichukua uamuzi huo wa kutisha kwa kujifyatulia risasi sehemu za siri na kufariki papo hapo |
hata hivyo uchunguzi wa awali umeonesha kuwa huenda marehemu UNK hakuwa makini kushika silaha hiyo hali iliyofanya UNK na kumuua |
kamanda wa polisi mkoa wa tanga kamishna msaidizi wa polisi bwana simon sirro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mlinzi huyo hakuwa makini na silaha yake jambo lililosababisha kifo chake |
kamanda sirro UNK maiti ya mlinzi huyo imehifadhiwa hospitali ya mkoa wa tanga UNK |
na edmund mihale kampuni development entrepreneurship for community initiative imezua biashara nyingine ya kuuza kadi zenye namba maalumu kwa ajili ya kujiorodhesha ili kunggoa mbegu |
uchunguzi uliofanywa na majira na kuthibitishwa na mmoja wa washiriki wa kampuni hiyo umebaini kuwa kadi hizo maalumu zilikuwa zikiuzwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa lengo la kuwawezesha wanachama hao kuwahi kuingia kwenye ofisi hizo ili kujiorodhesha kunggoa mbegu zao |
uchunguzi huo umebaini kuwa kadi iliyoanzia namba moja hadi ishirini sifuri ziliuzwa kwa shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri hadi thebathini sifuri sifuri sifuri kwa kadi moja |
kadi iliyoanzia namba ishirini moja hadi moja sifuri sifuri sifuri ilikuwa ikiuzwa shilingi tano sifuri sifuri sifuri hadi shilingi kumi sifuri sifuri sifuri kwa kadi moja |
kadi iliyoanzia namba moja sifuri sifuri moja hadi mbili sifuri sifuri sifuri iliuzwa kwa shilingi mbili sifuri sifuri sifuri hadi tatu sifuri sifuri sifuri huku kadi ilianzia namba mbili sifuri sifuri moja hadi tatu sifuri sifuri sifuri iliuzwa kwa shilingi moja sifuri sifuri sifuri hata hivyo uchunguzi huo ulibaini ... |
mshiriki bibi anna kassim ambaye alijitambulisha kuwa ni mfanyakazi serikalini alisema kutokana kushindwa kupata muda wa kutoka ofisini na kupanga foleni yuko tayari kununa kadi hiyo kwa shilingi sabini sifuri sifuri sifuri bibi anna alisema amewekeza fedha nyingi katika kampuni hiyo hivyo kiasi UNK kwa ajili kununuli... |
kaka nimesikia UNK kuhusu kuuzwa kadi naomba nami UNK nani anauza niko tayari kununua hata kwa shilingi sabini sifuri sifuri sifuri iwapo itaanzia namba moja hadi kumi sifuri kwani nimeshindwa kupanga foleni alisema bibi anna huku akionesha risiti UNK mbegu hizo |
mbali na kuuza kadi hizo biashara nyingine iliyojitokeza ni kuuza sehemu ya foleni kwa watu waliowahi na kupanga foleni mapema |
nafasi hiyo inauzwa shilingi hamsini sifuri hadi shilingi mbili sifuri sifuri sifuri kutokana na umbali kutoka msimamizi anayetoa kadi zenye namba |
katika hatua nyingine mwenyekiti wa kamati ya dharura ya washiriki wa deci mchungaji isaack kalenge alisema leo ameitisha mkutano mkubwa katika viwanja vya jangwani kwa ajili ya kujadili hatima ya fedha UNK katika kampuni ya deci akizungumza na majira kwa njia ya simu mchungaji kalenge alisema lengo la mkutano huo ni ... |
alisema moja ya agenda ni kujadili kauli ya waziri mkuu bwana mizengo pinda aliyoitoa katika kikao cha bunge wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kuwa kampuni hiyo ni ya kidini kwani UNK haki juu ya kampuni hiyo kwani imekuwa UNK watu wote bila kujali dini wala kabila |
alisema katika mkutano huo UNK viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa wanasheria na UNK |
alikuwa akienda dar kugombea umakamu tlp alikuwa nje ya bunge kusubiri rufani kortini na benny kisaka kilosa mbunge wa jimbo la biharamulo magharibi mkoani kagera bwana phares kabuye amefariki kwa ajali ya basi akiwa safarini kutoka kagera kwenda dar es salaam kuhudhuria mkutano mkuu wa tanzania labour party uliopangw... |
katika mkutano huo bwana kabuye alikuwa ameomba kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi huo UNK kwa shauku na wanachama wengi wa chama hicho |
marehemu kabuye mbunge aliyesimamishwa wa tlp alifariki jana saa mbili asubuhi eneo la magubike wilayani kilosa morogoro |
katika ajali hiyo watu wengine wawili walikufa na wengine hamsini na nne kujeruhiwa |
ajali hiyo ilihusisha basi la rs investment lenye namba za usajili t mia tisa na thebathini na nne UNK UNK na kupinduka likiwa kwenye UNK |
spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samuel sitta amethibitisha tukio hilo na kueleza kusikitishwa kwake na kifo cha mbunge huyo ambaye hadi mauti UNK alikuwa UNK rufani yake mahakamani kupinga kuvuliwa ubunge na mahakama kuu kanda ya kagera |
abiria walionusurika walisema basi hilo liliserereka na kupinduka baada ya mtu aliyekuwa akiendesha anayedaiwa kuwa utingo kushindwa UNK |
walimweleza mwandishi wa habari hizi kuwa basi hilo lilikuwa katika mwendo na waliokaa sehemu ya mbele walisikia dereva aliyekaa pembeni UNK utingo huyo kushika breki haraka |
UNK na UNK basi hilo UNK upande wa pili wa barabara na kupinduka tairi zikiwa juu na kugeuka UNK |
dereva na utingo huyo walikimbia baada ya ajali hiyo na hawajulikani waliko |
bwana kabuye alifariki baada ya kufikishwa hospitali ya UNK wenzake wawili UNK eneo la tukio |
walioshuhudia ajali hiyo walisema bwana kabuye alifikishwa hospitalini hapo akiwa mzima akiongea lakini hali ilibadilika ghafla na kufariki dunia |
mwandishi wa habari hizi aliyefika hospitalini hapo alisema mbunge huyo aliumia sehemu ya kichwa na kifuani |
alisema baada ya ajali hiyo mkuu wa wilaya ya kilosa bibi halima UNK alifahamishwa kifo cha mbunge huyo na kufika hospitalini hapo kufuatilia tukio hilo |
naye john daniel kutoka dodoma anaripoti kuwa spika wa bunge bwana sitta amepokea taarifa za kifo bwana kabuye kwa huzuni kubwa |
akizungumza kwa njia ya simu akiwa safarini kuelekea dar es salaam bwana sitta alisema tayari katibu wa bunge ametuma gari kwenda kilosa kuchukua mwili wa marehemu |
alisema bunge UNK mwakilishi kwenye mazishi lakini taratibu zingine za kibunge UNK kwani marehemu UNK wadhifa huo na mahakama |
taratibu zingine za bunge haziwezi kukubalika lakini UNK suala hili kibinadamu alisema bwana sitta |
bwana sitta alimwelezea marehemu kabuye kuwa ni mtu UNK naye siku nyingi na kufanya kazi pamoja kuanzia miaka ya sabini |
naye mbunge wa rufiji profesa idrisa UNK alisema marehemu kabuye ameacha pengo kubwa kwani alikuwa mtetezi wa wananchi wake na alipenda watu bila kujali itikadi zao |
marehemu kabuye alizaliwa januari moja mwaka elfu moja na mia tisa na thebathini na nane wilayani biharamlo mkoani kagera na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi UNK kuanzia elfu moja na mia tisa na hamsini na tatu hadi elfu moja na mia tisa na hamsini na tano mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na s... |
alijiunga na shughuli za kisiasa mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na saba alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa wilaya ya biharamlo na mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tano alichaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya ccm hadi mwaka elfu moja na mia tisa na tisini mwaka ishirini sifuri tano ... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.