text
stringlengths
1
1.32k
katika kesi hiyo marehemu alitiwa hatiani baada ya kubainika kuwa alitumia lugha za matusi ya nguoni kumkashifu mpinzani wake wa ccm kwenye mikutano ya hadhara wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri tano hadi mauti UNK kesi yake ya kupinga uamuzi wa mahakama ilikuwa ikiendelea kusikilizwa na mahakama...
akizungumza na majira jana kwa njia ya simu mwenyekiti wa tlp bwana augustino mrema alisema chama chake UNK kwa majonzi makubwa kifo hicho kwani marehemu alikuwa na historia nzuri katika utendaji wake ndani na nje ya bunge
mzee kabuye kila mbunge UNK alipokuwa bungeni na kutokana na rekodi yake nzuri wabunge walimchagua kuwa mbunge katika bunge la afrika akiwakilisha kambi ya upinzani alisema bwana mrema
bwana mrema alisema chama chake kitakutana kuandaa mazishi ya mbunge huyo UNK uwezekano wa kuahirisha uchaguzi kesho
pamoja na mambo mengi bwana kabuye atakumbukwa kwa kauli yake kwamba hakutoa rushwa hata kidogo kwenye uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano na ni mgombea pekee aliyefanya kampeni zake kwa UNK baiskeli
na reuben kagaruki kyaka hotuba iliyotolewa na mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana freeman mbowe imewatia huzuni wakazi wa wilaya ya kyaka waliojitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano wake wa oparesheni sangara baada ya kuwaeleza jinsi tanzania ilivyo nyuma kiasi cha kuzidiwa na uganda ambayo imekuwa k...
waganda UNK miaka thebathini iliyopita wakati wa vita vya kagera lakini leo hii wanatuzidi mbali kimaendeleo alisema bwana mbowe wakati akihutubia wananchi hao jana
alisema kwamba pamoja na kupigana vita na tanzania uganda imekuwa UNK vita na bwana joseph UNK na kwa nyakati tofauti imewahi kuingia kwenye migogoro ya kivita na rwanda na jamhuri ya kidemokrasi ya kongo lakini ipo mbele kimaendeleo
hebu UNK nani ni mtoto gani wa uganda anayesoma tanzania
alihoji bwana mbowe na kujibiwa na wananchi kuwa hakuna
leo hii UNK watoto wadogo wa UNK kusoma uganda halafu tuseme kwamba tuna serikali hapo
aliendelea kuhoji bwana mbowe
alisema ni jambo la kusikitisha kuona watoto wa tanzania UNK mpaka kwenda kusoma uganda wakati wao hawaji na UNK kwamba umakini wa serikali UNK kwa kuangalia maendeleo ya elimu
bwana mbowe alisema kwamba licha ya tanzania kuzidiwa kielimu na nchi UNK hata bidhaa zinazouzwa nchini kwa wingi zinatoka nje ya nchi
angalieni hapa kwenu kyaka bidhaa zote zinazouzwa hapa zinatoka uganda kuondoa bia na UNK alisema mwenyekiti huyo na UNK wananchi hao bidhaa zinazotoka uganda zinazouzwa hapa nchini wakati bidhaa zetu UNK kuuzwa huko
alisema kwamba alipofika UNK alivuka eneo la mpaka na kuingia eneo la uganda lakini hakuona bidhaa ya tanzania inayouzwa katika eneo hilo
katika mkutano huo bwana mbowe UNK kusikitishwa kwake na hatua ya mbunge wa jimbo la nkenge bwana kamara kujiunga na chama cha mapinduzi wakati wananchi walitarajia kwamba UNK kwa ajili ya kuwakomboa na umasikini
tulidhani kamara amesema kuja kuwatetea badala yake ameungana na mafisadi ccm wakati yeye hana historia ya kutoka kwenye familia wenye uwezo alisema bwana mbowe na kufafanua kwamba wakati UNK kwa wananchi kuwakataa watu UNK siasa kama UNK na kupanda kwenye majukwaa na kuanza kuimba mashairi huku UNK wananchi badala ya...
na peter masangwa mtwara waziri mkuu bwana mizengo pinda amesema kuwa taifa linakabiliwa na changamoto kubwa katika kutafakari kwa makini kuhusu juhudi UNK katika kupambana na malaria
UNK kila tu ajiulize iweje ugonjwa unaotibika na kuzuilika uendelee kuongoza katika idadi ya vifo ndani ya jamii mbali na mikakati iliyopo ya kupambana na janga hili
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya malaria duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani mtwara bwana pinda alisema kuwa wengi wa watu UNK na malaria na kufariki ni watoto wenye umri usiozidi miaka mitano wakifuatiwa na kundi la wajawazito
bwana pinda alisema kuwa uchumi wa nchi UNK kwa sababu UNK hupunguza nguvu kazi ya taifa na hivyo kuathiri uzalishaji wa nchi kwani inakadiriwa kuwa tanzania hupoteza asilimia tatu nne ya pato lake kutokana na tatizo hili ikiwa ni pamoja na gharama UNK na zisizoonekana moja kwa moja
ugonjwa huu unaifanya jamii kupata usumbufu mkubwa katika kuwatunza wagonjwa wa malaria na kwenye mashule wanafunzi wengi hukosa masomo kutokana na kuumwa na ugonjwa huu kwa kipindi cha masomo alisema bwana pinda
alisema kuwa ugonjwa wa malaria hauna mipaka hivyo mikakati ya kupambana nao inahitaji ushiriki wa wadau wote na si tu katika bara la afrika peke yake bali ulimwenguni kote
bwana pinda alisema kuwa katika kupambana na malaria serikali imehakikisha kuwa huduma zote za kinga na tiba zinapatikana na kwamba huduma hizi UNK wananchi wote kwani juhudi za kugawa vyandarua vyenye UNK vya muda mrefu zinaendelea hapa nchini
alisema kuwa pamoja na kutumia vyandarua vinavyotolewa na serikali wananchi wanao wajibu wa kushirikiana na serikali kupambana na mbu wanaoeneza malaria kwa kuwaangamiza na hii ni pamoja na kuondoa mazalio yake kufukia UNK na kusafisha UNK
naye waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa amesema kuwa serikali imedhamiria kujenga hospitali maalum kwa kanda ya kusini na kwa mwaka huu imetenga shilingi arobaini sifuri milioni kwa ajili ya mradi huo pamoja na hospitali ya mkoa UNK UNK UNK na vifaa ili iwe hospitali ya rufaa ambapo UNK na shirik...
UNK mwakyusa amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto katika vituo vya afya ili kupatiwa huduma ya afya mapema mara dalili UNK kwani UNK mara nyingi UNK mpaka homa UNK kuwa kali UNK ambalo ni hatari sana
na edson kamukara aliyekuwa mkuu wa dar es salaam bwana abbas kandoro jana alikabidhi ofisi hiyo kwa mkuu mpya na kutangaza kuwa tume UNK kuchunguza kifo cha dereva teksi imebaini kuwa polisi walimuua kimakosa hakuwa UNK
bw
kandoro ambaye amehamishiwa mwanza kikazi alisema kutokana na malalamiko ya wakazi wa kimara UNK yaliyojitokeza alilazimika kuunda tume kubaini kama dereva huyo UNK mwapi aliuawa katika tukio la ujambazi
alisema tume hiyo iliyoongozwa na kamanda wa mgambo wa jiji ilianza kazi machi ishirini na saba mwaka huu na kuwahoji mashahidi ishirini na mbili wakiwamo madereva teksi wenzake askari waliohusika katika tukio la mauaji na wakazi wa kimara
kwa mujibu wa mkuu huyo wa mkoa tume hiyo ilibaini kuwa marehemu alikuwa UNK tu kuwa ni jambazi lakini hakuwahi kujihusisha na vitendo vyovyote vya UNK
hivyo basi tume UNK kuwa marehemu mwapi aliuawa kwa makosa kwa kupigwa risasi na polisi wakimtuhumu kuwa jambazi alisema bwana kandoro
aliongeza kuwa tayari amekabidhi ripoti hiyo kwa mwanasheria mkuu wa serikali ili achukue hatua zaidi dhidi ya wahusika wa mauaji hayo
marehemu mwapi aliuawa machi ishirini na nne mwaka huu kwa eneo la kimara stop UNK kwa kupigwa risasi na polisi kwa tuhuma kuwa ni jambazi na alizikwa nyumbani kwao njombe mkoani iringa aprili tatu awali UNK nyaraka mkuu mpya wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi UNK tangu dodoma bwana kandoro alimweleza kuwa ...
tuna UNK kila kona ya miji ziko baa na gereji bubu zimejengwa maeneo yasiyoruhusiwa msongamano wa magari na miundombinu duni na UNK kubwa ya wakazi walijenga maeneo yasiyoruhusiwa alisema bwana kandoro katika hatua ya pekee bwana kandoro alimweleza bwana lukuvi kuwa anamkabidhi migogoro kadhaa ya viwanja akitaja eneo ...
lakini alidai kuwa katika juhudi za kuendeleza maeneo mapya wamejikuta kwenye migogoro na wakazi wa kipawa kwembe na tabata dampo hatua UNK kuwa ni vyema wakazi hao UNK haki zao za malipo kabla ya UNK
kuhusu msongamano wa magari jijini alisema kuwa walikuwa kwenye mazungumzo wa wawekezaji binafsi wenye uwezo wa kujenga barabara za juu ili wajenge na watakuwa UNK fedha yao kupitia kwenye kutoza ushuru
kwa upande wake bwana lukuvi alisema kuwa anaifahamu dar kwa kiasi kikubwa kwa vile amekuwa mkazi tangu mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nne hivyo aliwaomba wajipange kuangalia vipaumbele kwa vile muda wa serikali ya awamu ya nne UNK unakaribia
asema tlp peke yake haitaweza na said mwishehe mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema UNK rais jakaya kikwete pamoja na serikali yake kusaidia katika mazishi ya aliyekuwa UNK wa biharamulo magharibi mkoani kagera marehemu phares kabuye ambaye amefariki kwa ajali ya basi juzi wilayani kilosa
hata hivyo wakati mbunge huyo amekufa wakati akienda kuhudhuria mkutano wa mkuu wa tlp bwana mrema amesema ni lazima mkutano huo ufanyike kwa sababu itakuwa sehemu ya kumuenzi na wakati huo huo kukinusuru chama UNK na msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa
bwana mrema akizungumza na majira jumapili jana kwa njia ya simu dar es salaam alisema msiba wa mbunge huyo umekuja katika kipindi kigumu ndani ya chama hicho kwa sababu wapo katika harakati za kufanya mkutano mkuu huo ambao unatarajia kufanyika leo
alisema wakati mkutano huo UNK kufanyika tayari amemuomba rais kikwete kuhakikisha anafanya jitihada za kusaidia kifedha ili kufanikisha mazishi ya bunge huyo kwa sababu miundombinu yao ya kifedha UNK wao kufanikisha mazishi hayo bila kupata msaada
alisema binafsi ameguswa na msiba huo mzito kwa chama na watanzania kwa kuwa alikuwa mbunge machachari na UNK kusimama katika ukweli wakati wote hivyo lazima mazishi yake yawe na heshima zote
pia alisema mbali ya rais kikwete pia ameomba msaada kutoka kwa wabunge wote ambao watashirikiana kwa pamoja katika kusaidia msiba huo bila kujali ni mbunge wa chama gani kwa sababu msiba huo ni wa watu wote
alisema ameomba msaada kwa rais kwa sababu chama chake hakiko katika hali nzuri kifedha
marehemu kabuye alikuwa ni miongoni mwa wanachama waliomba kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti katika uchaguzi huo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na wanachama wa chama hicho pamoja na watanzania wengine lakini hakufanikiwa kutimiza ahadi yake kutokana na kupatwa na kifo
bwana mrema alisema kwa hali hiyo ni vema marehemu kabuye UNK kwa kufanya mkutano huo ambao marehemu alikuja anakuja kushiriki na kwa bahati nzuri ni mkutano ambao umepata baraka zote ikiwa ni pamoja na mahakama UNK UNK ufanyike
pia alisema mbali ya kumuenzi marehemu kabuye kwa kufanya mkutano huo unalenga kukifanya chama kiendelee kuwa hai kwa sababu bila mkutano huo kitafutwa kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa kutokana na uongozi uliopo sasa UNK muda wake
msajili UNK muda wa miezi mitatu kufanya mkutano mkuu kwa sababu viongozi waliopo sasa wamemaliza muda wao na tukisema UNK chama kitafutwa kwa sababu siku UNK na msajili zimebaki tano mwisho wetu ni aprili thebathini na moja mwaka huu alisema
bwana mrema aliongeza katika mazingira ya aina hiyo unaweza kuona mambo UNK lakini pia bado kuna umuhimu wa kuendelea na mkutano na ninawashauri wanachama wenzangu kumaliza hilo ambalo nalo lina UNK wake ndani ya chama ingawa mambo yote mawili ni ya kwao
kwa hali hiyo UNK mkutano tutaendelea na hapo tutaweza pia kufanikisha yote yaliyoko mbele yetu kama tlp tutajua mwenzetu anazikwa vipi lakini kwa upande mwingine chama kitaendelea kuwa salama alisema bwana mrema
na said mwishehe hali ya kukata tamaa kwa baadhi ya washiriki waliokuwa wamepanda mbegu zao kwa lengo la kuvuna jana kutoka kwenye mchezo wa upatu wa kampuni ya deci imeongezeka kutokana na kuona kama hakuna kinachoendelea zaidi ya kufanyiwa mchezo wa kuigiza hali ambayo imesababisha wengi kuona kuna kila dalili za ku...
hata hivyo wakati katika makao makuu ya deci mabibo dar es salaam hali ilikuwa tete baadhi ya matawi mengine ya jijini asubuhi ya jana wananchi walijitokeza katika matawi hayo ili kuendelea kupatiwa risiti ambazo watazitumia wakati wa kurudishiwa mbegu zao
majira jumapili kwa upande wake lilifanya uchunguzi wa kazi ya utoaji risiti hizo katika eneo la mabibo ambapo kwa jana idadi ya washiriki waliofika kuchukua haikuwa kubwa kama siku mbili zilizopita na hiyo inatokana na kukata tamaa ya kulipwa
washiriki wengi waliokuwa wakifika kuchukua risiti hizo walionekana UNK na nenda rudi ambayo wamekuwa UNK tangu kuanza kwa sakata zima la kampuni hiyo baada ya serikali kuwatahadharisha wananchi juu ya utendaji kazi wa shughuli za deci wakizungumza na majira jumapili kwa nyakati tofauti baadhi ya washiriki hao walisem...
mkazi wa kimara UNK bibi asha msomi alisema kuwa yeye hakufurahishwa na kitendo cha kuona anapewa risiti hiyo kwa ajili ya kuja kuchukua fedha siku nyingine kwani majina ya walipanda yapo na wanafahamika hivyo kilichotakiwa ni kupewa mbegu zao
sioni sababu ya kupewa risiti ili tusubiri hadi UNK tena lini UNK nilichokuwa UNK ni kuona washiriki UNK mbegu
UNK fedha zetu ziko salama
binafsi naanza kukata tamaa na utendaji kazi wa deci na sioni kama kweli tunaweza kurejeshewa fedha zetu alisema
wakati huo huo stella aron anaripoti kuwa baadhi ya washiriki wa deci katika kituo cha gongo la mboto ambao jana walifika katika ofisi hizo kwa nia ya kuvuna mbegu zao kama ambavyo uongozi UNK awali wamedai uongozi wa deci unatafuta mbinu ya kukimbia na mbegu zao
washiriki hao ambao licha ya kuwepo kwa mvua waliamua kulowa kutokana na kuibuka kwa makundi mawili tofauti huku wengine wakidai kuwa uongozi UNK na wengine kuitupia lawama serikali
sasa imani ya kurudishiwa mbegu yangu imekwisha hapa inadhihirisha kuwa viongozi wana njama fulani na sisi kwanini UNK UNK mbegu zetu alafu washindwe kufanya hivyo alidai mshiriki mmoja ambaye alikuwa katika kundi mojawapo wakijadiliana namna ya kurudishiwa mbegu zao
pamoja na kuwepo kwa hali ya mvua washiriki hao jana walionekana kukata tamaa kabisa kutokana na kuwepo kwa tangazo UNK kuwa ndugu washiriki uongozi wa deci pamoja na tume inayosimamia urejeshaji wa mbegu unapenda kuwajulisha kwamba zoezi la ulipaji UNK mpaka hapo UNK tena samahani kwa usumbufu uliojitokeza kutoka dod...
wanachama hao walivamia ofisi hizo majira ya saa mbili thebathini asubuhi huku ofisi hizo zikiwa zimefungwa kwa UNK makubwa
majira jumapili ilifika eneo la ofisi hiyo na kushuhudia umati wa washiriki hao wakiwa nje ya ofisi hiyo huku kukiwa na ulinzi mkali wa polisi wa kuzuia wananchi hao wasifanye vurugu
wanachama hao walitinga katika ofisi hizo wakidai kuwa mkurugenzi mtendaji wa deci mchungaji ole UNK alikuwepo kwa lengo la kuwahamasisha wanachama wake kuwa na moyo wa subira na kuwataka UNK risiti zao halisi ili uhakiki wa kurudishiwa fedha zao uweze kutekelezwa
kitendo hicho cha mkurugenzi hiyo kuwaambia UNK hao watoe vivuli vya risiti zao na zile halisi UNK ofisini kiliwakera washiriki hao na kusababisha kuwepo kwa vurugu kubwa wakidai viongozi hao wamekuwa wababaishaji na hivyo kwa sasa hawana imani nao tena na UNK UNK hivi sasa ni mbegu zao
hata hivyo wanachama hao walihoji ni lini fedha zao zitakuwa tayari na watarudishiwa kwani imekuwa muda mrefu sasa wakisubiri huku wakipewa majibu yasiyo UNK hali ambayo walisema kuwa imekuwa ni ya ubabaishaji sasa
hata hivyo polisi walifanikiwa kutuliza vurugu katika ofisi hizo na washiriki hao ilipofika majira ya saa nne thebathini waliondoka katika ofisi hizo huku wakiwa hawajaridhika na maelezo ambayo yalitolewa na viongozi wa kampuni hiyo
ni kuhusu uteuzi wa ma dc wakurugenzi
wengine UNK na daktari slaa kuhusu mishahara baadhi ya wabunge wamehoji uteuzi wa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali unaofanywa na uongozi wa juu kwa maelezo kwamba baadhi yao wanapewa nyadhifa hizo bila kuwa na uzoefu na hivyo kuwa kufanya kazi kama wanafunzi badala ya kuwa viongozi
pia wameitaka serikali kuhakikisha kwamba maboresho ya utumishi wa umma UNK wafanyakzi wa kima cha chini badala ya kuwainua vigogo huku watumishi wa chini wakiendelea kulipwa mishahara UNK kukidhi hata mahitaji ya muhimu ya kila siku ya mtanzania
wabunge hao walikuwa wakichangia mada katika semina UNK na ofisi ya rais menejiment ya utumishi wa umma kwa lengo la kueleza programu ya pili ya mabadiliko ya UNK wa umma ulioanza kutekelezwa januari mwaka huu hadi ishirini moja moja mtu anatoka shule anapewa ukuu wa wilaya anajua nini
badala yake yeye ndiye anaongozwa badala ya kuwa kuongoza watu ninyi utumishi UNK hili vizuri
kuna UNK mwingi sana serikali maamuzi ya wanachi UNK muda mrefu bila kutolewa maamuzi sasa mtuambie alisema bwana raynald mrope mbunge wa masasi ccm naye mbunge wa iramba mashariki bwana mgana msindai ccm alisema ma dc na wakurugenzi walikuwa wanapitia kwanza pale magogoni kujifunza utumishi wa utawala sasa ninyi utum...
akizungumzia maboresho ya hali ya maisha mbunge wa mbozi mashariki bwana godfrey zambi ccm alisema maboresho yanayoendelea serikali UNK UNK mtumishi wa kima cha UNK na badala yake UNK zaidi wale wa juu hivyo haiwezi kuwa na UNK
kama hayo maboresho yanayoendelea serikalini hayawezi kumsaidia mtumishi wa kima cha chini hayatakuwa na manufaa naona maboresho UNK sana huku juu badala ya wafanyakazi wa chini UNK UNK huku juu ili na wa chini nao wapate alisema bwana zambi
alisema licha ya maboresho hayo bado kuna tatizo kubwa la rushwa kwa baadhi ya watumishi hususan katika mikataba na huduma za chini na kuongeza kwamba suala la upandishwaji vyeo pia bado ni tatizo kubwa inayotakiwa kumulikwa zaidi katika programu hiyo ya pili
naye mbunge wa peramiho bibi jenista mhagama ccm aliitaka serikali kueleza mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya kwanza ikiwa ni pamoja na kuweka wazi iwapo wananchi wamekubali kwamba wanapata huduma bora kwa kuwa ndio walengwa na huduma za serikali zinazotolewa na watumishi wa umma
kwa upande wake mbunge wa kongwa bwana job ndugai ccm aliitaka serikali kuwa na utaratibu wa UNK viongozi wote baada ya kila awamu mpya inapoingia madarakani badala ya kazi hiyo kuishia katika ngazi za wilaya kwa maelezo kwamba baadhi ya watendaji wanakuwa wazito kwenda na kasi ya serikali mpya hivyo kukwamisha maende...
kila baada ya uchaguzi mkuu serikali mpya UNK tunaona uteuzi wa mawaziri wakuu wa mikoa UNK wakurugenzi lakini makatibu tarafa watendaji wa kata wanabaki wale wale
nashauri serikali mpya inapoingia mchujo ufike mpaka chini kabisa kumaliza uozo wote kuna tatizo kule kumejaa uozo unaweza kupata kiongozi mzuri lakini kule chini kuna wazito UNK tuondoe uozo wote alisisitiza bwana UNK
naye mbunge wa karatu daktari wilbrod slaa chadema aliitaka serikali kueleza kama kanuni ya utumishi wa umma unaruhusu kuwepo kwa nyaraka zenye sura ya UNK za ufisadi au UNK ukweli katika majalada ya serikali na kuhoji kama anayetoa nyaraka hizo ndiye anafanya kosa au kuhifadhiwa katika majalada za serikali ndio kosa
baadhi ya wabunge pia walilalamikia sheria ngumu ya utumishi namba nane ya mwaka ishirini sifuri mbili kuwa inawalinda UNK na wanaofanya makosa hivyo kustahili kuondolewa katika utumishi lakini sheria hiyo inawapa haki ya kuendelea kuwepo bila kujali athari zake kwa taifa
akijibu hoja za wabunge katibu mkuu wa wizara ya menejiment ya utumishi wa umma bwana george UNK alisema wizara hiyo UNK mamlaka UNK wakuu wa wilaya na wakurugenzi na kuongeza kwamba inachofanya ni kutoa mafunzo ili kusaidia utendaji wao na kwamba serikali inatarajia kuanzisha chuo kwa ajili ya watumishi hao
kuhusu swali la daktari slaa la nani anayestahili haki kati ya utunzaji wa nyaraka za UNK za ufisadi na UNK nyaraka hizo bwana UNK alisema jibu iliyotolewa na waziri wa wizara hiyo wiki iliyopita bungeni inatosha
katika majibu yake waziri hawa ghasia alisema ni kosa kwa mtu yeyote kuwa na nyaraka za serikali za serikali na kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai na UNK sasa mbunge UNK hivyo atachukuliwa hatua za kisheria mra moja
na grace michael kampuni ya dowans imewasilisha pingamizi mahakama kuu ya tanzania kitengo cha biashara ikipinga maombi ya tanesco ya kuzuia kuuzwa kwa mitambo yake
pingamizi hilo liliwasilishwa hivi karibuni ambapo UNK kusikilizwa mbele ya jaji robert makaramba wa mahakama hiyo mwishoni mwa wiki
hata hivyo usikilizwaji wa pingamizi hilo ulikwama baada ya jaji huyo kuzitaka pande zote mbili kuwasilisha hoja zake kwa maandishi
kutokana na hali hiyo upande wa dowans ambao unawakilishwa na wakili bwana abduel UNK ulitakiwa kuwasilisha hoja zake aprili ishirini na nane mwaka huu ambapo wakili wa tanesco daktari alex UNK atatakiwa kuwasilisha hoja zake mei tano mwaka huu na endapo upande wa dowans utakuwa na nyongeza yoyote utawasilisha mei nan...
katika pingamizi hilo dowans inaomba mahakama kutupilia mbali maombi ya tanesco kwa kuwa imetumia kifungu kisichokubalika katika kuwasilisha maombi yake
kwa upande wa tanesco inaiomba mahakama kuzuia kampuni ya dowans kuuza mitambo yake kwa namna yoyote hadi shauri lililowasilishwa na kampuni hiyo kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa iliyoko ufaransa litakapotolewa uamuzi
pia tanesco inaiomba mahakama kuamuru dowans kuweka mahakamani asilimia kumi ya dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama dhamana ya gharama zitakazotumika katika kesi iliyopo ufaransa
inadaiwa juni ishirini na tatu ishirini sifuri sita tanesco iliingia makubaliano ya uzalishaji wa umeme wa dharura na kampuni ya richmond ambayo ilielekeza majukumu yake kwa kampuni ya dowans holding s a na baadaye dowans holding nayo ilielekeza majukumu yake kwa kampuni yake dada ya dowans tanzania ltd
baada ya mapitio ya makubaliano hayo na upungufu uliojitokeza juni thebathini mwaka jana tanesco UNK dowans ikieleza kuwa uhamishaji wa majukumu ya kiutendaji katika kampuni hizo haukuwa halali
novemba mbili mwaka jana dowans ilifungua kesi ikidai dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama gharama za huduma za umeme ambazo zilikuwa hazijalipwa
na zamzam abdul wakazi wa kijiji cha UNK kata ya UNK tarafa la ifakara wilaya ya kilombero mkoani morogoro wamemlalamikia mkuu wa wilaya hiyo bwana evarist UNK na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana mark UNK kwa kuwanyangganya ardhi yao kwa ajili ya kumpa mwekezaji