text stringlengths 1 1.32k |
|---|
wakizungumza kwenye ofisi za gazeti hili dar es salaam jana wakazi hao walisema ardhi yao ambayo ni ya kijiji chenye hekta tatu themanini sifuri inadaiwa kutaka kupewa mwekezaji na viongozi hao jambo ambalo UNK |
bwana UNK haule akizungumza kwa niaba ya wenzake alisema hawapo tayari kumuachia mwekezaji huyo kwani wana uwezo wa kumiliki na kuwekeza wenyewe katika eneo hilo |
tunashangaa kwa kitendo hicho ambacho ni cha UNK |
sasa leo hii wanataka kutuondoa katika ardhi yetu ambapo ndio makazi tunayoishi tuna mashamba pamoja na shule wanategemea tutaenda wapi alisema bwana haule |
walisema kuwa cha kusikitisha zaidi viongozi hao walidai rais jakaya kikwete alitoa agizo la kuchukuliwa kwa ardhi hiyo ili apewe mwekezaji jambo ambalo si la kweli |
kwa sasa tunakwenda kumuona rais kwani UNK malalamiko katika ofisi yake na UNK UNK mkuu wa mkoa ili UNK kwa umakini tatizo hilo |
lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea zaidi tunaambiwa tuvute subira wakati mkuu wa mkoa anafanya uchunguzi ili kupata ufumbuzi wa tatizo letu alisema bwana haule |
aliongeza kuwa UNK rais kikwete kuliangalia suala hilo kwa makini kwani kuna hatari ya damu kumwagika na lengo lao si machafuko kama hayo yatokee kama yale ya tarime |
na mwandishi wetu singida mbunge wa singida mjini bwana mohammed dewji amesikitishwa kutokana na shule na vijiji jimboni kwake kushindwa kulitumia trekta UNK shilingi milioni ishirini na tano dewji aliyasema hayo juzi mjini hapa wakati akizungumzia utekelezaji wa ahadi zake katika mkutano mkuu maalum wa ccm wilaya ya ... |
alisema amejitahidi UNK kila sekta kuanzia elimu afya kilimo michezo na hata burudani ambapo katika kilimo juhudi zake zilianza kwa kukabiliana na uhaba wa chakula baada ya kutoa msaada wa tani kumi sifuri zenye thamani ya shilingi milioni arobaini kuanzia pale nilijifunza mengi nikapata wazo la kutafuta ufumbuzi wa k... |
ni kutoa trekta UNK mashamba ya shule na vijiji ili mazao yatakayopatikana UNK katika maghala lakini trekta lile UNK hadi sasa alisema dewji |
mbunge huyo alisema mara baada ya kikao hicho UNK tena na madiwani ili wapate ufumbuzi juu ya matumizi ya trekta hilo ndani ya jimbo lao |
alisema UNK shilingi bilioni moja tano katika kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano na kuongeza kuwa anapata faraja kubwa kuchangia maendeleo ya jimbo lake |
kwa upande wa elimu mbunge huyo UNK watoto moja sifuri sifuri sifuri alisema anajivunia kujenga vyumba vya madarasa nyumba za walimu na maabara katika kila kata ikiwemo kuweka samani kwa gharama ya shilingi milioni mia tano na ishirini na moja kiasi kama hicho kinatarajiwa pia kutumika katika kuondoa tatizo la maji hu... |
alisema baada ya kufanikiwa kuongeza mara saba idadi ya shule za sekondari kutoka mbili hadi kumi na tano sasa ni zamu ya wana singida kujipanga kuhakikisha zinajengwa shule za kidato cha tano na cha sita |
na mwandishi wetu mtwara kampuni ya a to z textile mills limited ya arusha imeanza kusambaza vyandarua mia nne na sabini sifuri sifuri sifuri aina ya olyset vyenye dawa inayodumu kwa miaka mitano kwa mikoa ya lindi na mtwara |
mradi huo ambao ni wa serikali una lengo la kuwapatia watoto walio chini ya umri wa miaka mitano ambapo UNK katika kipindi cha kuanzia mwezi huu hadi katikati ya mwezi ujao |
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya malaria mjini hapa juzi meneja wa mradi wa kupambana na malaria nchini daktari alex mwita alisema a to z imepewa jukumu la kutengeneza na kusambaza vyandarua hivyo kwa UNK na shirika lisilo la kiserikali la UNK tayari mpango huu UNK katika mkoa wa tanga na wilaya ya mpanda mko... |
tunatarajia kusambaza vyandarua milioni saba mbili kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano katika kipindi cha mwaka mmoja kuanzia sasa alisema |
naye meneja wa masoko wa a to z bwana sylvester kazi alisema kampuni yake kwa kushirikiana na wadau wengine imeshaanza kuainisha maeneo husika ambayo vyandarua hivyo UNK na wanatarajia kukamilisha lengo ndani ya muda UNK |
a to z ambayo ina ubia na kampuni ya kimataifa ya UNK UNK ya japan inaendesha kiwanda cha kisasa mkoani arusha ambacho kinazalisha chandarua ya olyset ambayo inatumia teknolojia ya UNK UNK dawa kwa muda wa miaka mitano |
wakati huo huo a to z imetoa msaada wa vyandarua kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo wa mkoani mtwara kama sehemu za kuadhimisha siku ya malaria duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini hapa |
na grace michael rais jakaya kikwete jana aliongoza mamia ya watanzania kuadhimisha miaka arobaini na tano ya muungano wa tanganyika na zanzibar ambapo rais wa zanzibar amani abeid karume alikwama kuungana katika maadhimisho hayo kutokana na ndege kukwama kutua katika uwanja vya zanzibar |
hatua ya kukwama kufika kwa rais huyo katika maadhimisho hayo ilijulikana uwanjani hapo baada ya mtangazaji kutoa tangazo UNK wananchi kuvuta subira kutokana na ndege iliyotoka bara kukwama kutua uwanjani huko ambako ilikwenda UNK |
jamani rais wa zanzibar UNK kidogo kufika katika viwanja hivi na hii inatokana na hali ya hewa ambayo imesababisha ndege iliyokwenda kumchukua kukwama kutua hivyo tusubiri kidogo alitangaza mtangazaji wa sherehe hizo |
hata hivyo jitihada za kumsubiri rais huyo zilikwama na UNK chochote kuhusiana naye bali rais kikwete aliingia uwanja wa uhuru saa nne ishirini na tano ambapo alitakiwa kuingia saa tatu sifuri sifuri asubuhi |
katika kuadhimisha sherehe hizo mizinga ishirini na moja ilipigwa na rais kikwete alikagua gwaride na baada ya hapo lilipita mbele yake kwa heshima ikiwa ni mwendo wa pole na haraka ikifuatiwa na kuruka kwa ndege za kivita ambapo UNK mbili kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya |
mbali na gwaride hilo pia kulikuwa na maandamano ya vijana waliozaliwa aprili ishirini na sita elfu moja na mia tisa na sitini na nne ambao kwa umoja wao walifika mbele ya rais kikwete na kurusha njiwa waliokuwa nao kila mmoja |
maandamano hayo pia UNK na waendesha pikipiki mia moja na hamsini kutoka tanzania bara na visiwani ambao nao UNK na UNK baiskeli kumi sifuri pia maonesho mengine yalikuwa ni ya kikosi ya cha polisi ambacho kinatumia mbwa katika kupambana na uhalifu mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya kukamata majambazi na kutegua mabom... |
mbali na hayo pia waasisi wa muungano ambao walishiriki katika kuchanganya mchanga wa bara na visiwani nao walipita mbele ya mgeni rasmi wakiwa wameshika UNK na chungu ambavyo UNK katika zoezi la muungano wa nchi mbili |
waasisi hao ni bibi sifael mushi ambaye kwa kipindi hicho alikuwa na umri wa miaka ishirini na tisa bwana hassan omar mzee aliyekuwa na miaka kumi na sita pamoja na bibi hadija abbas rashid ambaye naye alikuwa na umri wa miaka kumi na sita kutokana na hali ya mvua kuongezeka baadhi ya vikundi vya ngoma UNK nafasi ya k... |
maadhimisho hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo mama maria nyerere makamu wa rais daktari mohamed ali shein waziri kiongozi wa zanzibar shamsi vuai nahodha waziri mkuu bwana mizengo pinda na wengine |
na suleiman abeid shinyanga askari mmoja wa kike wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wilayani bukombe mkoani shinyanga bibi mwajuma rajab anadaiwa kukatisha masomo ya kijana mmoja wa kiume bwana kulwa william au kwa jina lingine wilfred UNK |
kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kijana huyo anadaiwa kushindwa kufanya mitihani yake ya kumaliza kidato cha nne mwaka jana baada ya kuleweshwa penzi la trafiki huyo licha ya kushauriwa na wenzake kutoacha masomo |
kijana huyo alifikia uamuzi wa kukatisha masomo januari baada ya kuvunja ghafla safari ya kwenda shuleni nchini uganda akiwa kituo cha mabasi mjini ushirombo kitendo ambacho kiliwashangaza wenzake |
bibi mwajuma alikiri kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanafunzi huyo lakini alikanusha madai ya kumkatisha masomo yake kwani mwenyewe ndiye aliyeanza kumtaka kimapenzi mwishoni mwa mwaka ishirini sifuri sita alisema wakati huo UNK ombi hilo na hakufahamu kama ni mwanafunzi kwani alimuona kama kijana wa kawaida wa mit... |
mwanzoni mwa mwaka ishirini sifuri saba ndipo UNK ombi lake na kuanza naye uhusiano wa kimapenzi |
ni kweli mimi na kulwa tuna uhusiano na hivi sasa ni UNK |
lakini si kweli kwamba UNK masomo huyu ni kijana mkubwa tu na alikuwa UNK sekondari kama inavyodaiwa mimi nafahamu UNK kompyuta uganda alisema bibi UNK |
alisema januari mwaka jana baada ya likizo yake ya miezi mitatu bwana kulwa UNK mizigo yake na UNK kuwa anakwenda chuoni kuendelea na masomo |
hata hivyo alisema alishangaa kumuona bwana kulwa akirejea ghafla nyumbani akiwa na mizigo yake na alipomuuliza sababu alieleza kuwa ameamua kutokwenda chuoni baada ya baba yake anayeishi wilayani kahama kumpigia simu kuwa alikuwa na matatizo katika biashara zake |
alisema bwana kulwa kama alivyodai mwenyewe aliombwa na baba yake arejee nyumbani ili amsaidie kazi zake za biashara na kama ni masomo UNK kuendelea nayo baadae |
bibi mwajuma alisisitiza kuwa hiyo ndiyo sababu ya bwana kulwa kuacha kuendelea na masomo na siyo sababu ya kuleweshwa penzi alilokuwa UNK |
naye bwana kulwa alikana kukatisha masomo sababu ya mwanamke na si mwanafunzi wa sekondari kwani UNK kidato cha nne mwaka ishirini sifuri tano katika shule ya UNK wilayani sengerema mkoani mwanza |
UNK chuo UNK UNK kompyuta nchini uganda kuwa ni kampala international UNK na hivi sasa anafanya mipango ya kuendelea na masomo yake nchini iwapo atapata chuo cha mafunzo hayo jijini mwanza |
na edmund mihale washiriki wa mchezo wa upatu wa development enterpreneurship for community intiative wamewataka viongozi wa kampuni hiyo kutoa kauli itakayowapa matumaini ya kurudishiwa mbegu zao |
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti jana makao makuu ya deci yaliyopo mabibo dar es salaam walisema UNK uongozi wa kampuni hiyo kwa kushindwa kuweka wazi mambo yanayowahusu washiriki katika kampuni hiyo |
uongozi UNK kila siku tuko hapa lakini UNK kukutana na wasaidizi tu na ndiyo wanatupa habari za kusitishwa kwa shughuli zote za deci na wala si uongozi alisema mmmoja wa washiriki hao |
walisema UNK tamaa na ukimya wa viongozi wa kampuni hiyo kwani kila siku wamekuwa wakishinda katika ofisi hizo hali ambayo UNK kurudi nyuma kimaendeleo |
walisema kutokana na ukimya huo ambao ni kati ya serikali na viongozi wa kampuni hao wameshindwa kujua ni lini na nani UNK mbegu hizo |
washiriki hao walisema tangu kusimamishwa kwa shughuli za kampuni hiyo viongozi hao UNK nao kama ilivyokuwa awali |
majira ilishuhudia kundi dogo UNK katika ofisi hizo ili kujiorodhesha na kisha kurudishiwa mbegu hizo huku wakiwa katika hali kukata tamaa wengine wakiwa katika majadiliano ya hapa na pale |
akizungumza kwa njia ya simu jana mkurugenzi mtendaji kampuni hiyo bwana timoth ole loitinnggye alisema uongozi huo hauko tayari kusema lolote kwa kuwa mambo yote yanayohusu kurejeshwa au UNK kwa mbegu hizo yapo UNK mwa tume iliyoundwa na serikali |
ndugu kwa sasa sisi tuna kazi ya kuhakiki washiriki wetu na tupo makini kuhakikisha wale tu wanaostahili wanapata mbegu zao |
kwa hiyo siko tayari kuzungumza ni lini UNK mbegu alisema bwana ole loitinnggye |
na shukrani kawogo jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam linawashikilia watu wanne wanaotuhumiwa kuwa majambazi sugu nane kwa kutuhuma za kuiba kompyuta sita na gari namba stk hamsini mbili mali ya ofisi ya mkurugenzi wa mashitaka ya jinai |
gari hiyo ndiyo iliyokuwa imebeba kompyuta hizo siku ya tukio ambazo zilikuwa zinatakiwa kusambazwa katika ofisi za dpp zilizoko mikoani |
akizungumzia tukio hilo jana kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana UNK kova alisema lilitokea machi tano mwaka huu saa tatu usiku eneo la tabata UNK jijini |
alisema baada ya kutokea tukio hilo polisi walifanikiwa kumkamata dereva wa gari namba stk hamsini mbili bwana ally ramadhani ambaye anasadikiwa kushirikiana na majambazi hayo |
UNK dereva ambaye baada ya kubanwa aliwataja majambazi hao na hatimaye kufanikiwa kuwakamata baadhi kwani wengine wamekimbia pamoja na gari hiyo siku ya tukio alisema |
alisema sababu za kumkamata dereva huyo ilitokana na mazingira ya tukio kwani alitakiwa kulaza gari hilo eneo salama badala yake aliamua kulaza tabata ambapo muda mfupi baadaye majambazi yaliyokuwa na silaha yalitokea na kuondoka na gari hiyo |
kamanda huyo alisema kukamatwa kwake kulisaidia kufanyika msako ambao UNK kupatikana kwa kompyuta hizo ambazo UNK kwa dpp baada ya kesi kumalizika |
gari bado UNK hadi sasa |
aliongeza kuwa majambazi hayo ni sugu lakini watano kazi yao ni kuiba na kisha kupeleka kwa wenzao watatu ambao kazi yao ni kupokea mizigo ya wizi |
alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi kuwa kompyuta zilizoibiwa haina maana kwamba ni zile ambazo UNK na dpp bali ni nyingine mpya ambazo zilikuwa UNK UNK |
hata hivyo alisema kitendo cha dereva huyo kupaki gari katika maeneo yasiyokuwa salama ni makosa kwani alishauriwa kuweka eneo lolote la polisi |
mpango wa utafiti na elimu ya demokrasia umesema kupanda kwa gharama za maisha huduma mbaya za jamii rushwa viongozi wabovu ufisadi ukosefu wa ajira kudorora kwa kilimo na mikataba mibovu ndiyo mambo yanayokwamisha utendaji wa rais jakaya kikwete |
hata hivyo utafiti huo ulibainisha kuwa watanzania wengi waliohojiwa wanaonekana kuwa na imani na rais kikwete kuliko baraza lake la mawaziri na chama chake cha ccm mtafiti mkuu wa redet daktari UNK kiliani na makamu mwenyekiti wa mpango huo daktari benson bana waliwaambia waandishi wa habari dar es salaam jana kuwa m... |
alisema takwimu hizo UNK na utafiti wa oktoba ishirini sifuri sita na oktoba ishirini sifuri saba kutathimini uongozi wa rais kikwete tangu aingie madarakani ni kwamba asilimia ya wanaosema wanaridhika sana na utendaji wake inapungua kutoka sitini na saba mwaka ishirini sifuri sita hadi arobaini na nne mwaka ishirini ... |
katika orodha hiyo bunge liliibuka kidedea kwa asilimia serikali za mitaa jeshi la polisi mahakama baraza la mawaziri na taasisi ya kupambana na kudhibiti rushwa UNK mkia kwa kuambulia asilimia kumi na tatu nne tu |
alibainisha kuwa watu wengi bado hawaridhiki na jinsi serikali ya rais kikwete inavyoshughulikia matatizo kama migomo ya wanafunzi vyuo vikuu migomo ya walimu suala la epa na sakata la oic katika suala la imani kwa viongozi wa serikali rais kikwete aliongoza kwa kuwa na asilimia hamsini tatu akifuatiwa na waziri mkuu ... |
kuhusu utendaji wa rais amani karume na serikali yake visiwani zanzibar utafiti unasema kuwa ingawa katika matokeo ya mwaka ishirini sifuri sita ishirini sifuri saba alionekana kushuka katika matokeo ya ishirini sifuri nane amepanda kidogo kutoka asilimia thebathini na tano tano hadi arobaini na nne na joyce ngowi ser... |
fedha zitakazopatikana zitawekwa katika akaunti maalum kama UNK cha kesi hiyo inayoendelea ikihusisha meli hiyo ya kigeni |
akizungumza jana dar es salaam mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya udalali ya yono iliyopewa tenda na wizara ya maendelea ya mifugo na uvuvi bibi UNK kevela alisema samaki hao UNK mnada mei mbili mwaka huu |
baada ya kukamatwa meli hiyo haramu serikali yetu iliamua kuwahifadhi samaki hao kampuni ya bahari UNK ltd ili kusubiri maamuzi ya mahakama na kuamua kutafuta kampuni UNK kwa mnada ili UNK alisema bibi UNK na kuongeza fedha zitakazopatikana katika mnada huo UNK kwenye akaunti maalum kama kidhibiti cha kesi hiyo |
sasa tunafanya tathimini ya samaki hao baada ya kuteua kamati inayoshughulikia mnada huo |
alisema wameanza utaratibu wa kuwasiliana na wafanyabiashara mbalimbali ambao UNK na kuwauza kwa wafanyabiashara wadogo wadogo |
akizungumzia hali za samaki hao alisema hadi sasa wapo katika hali nzuri kwani wamehifadhiwa katika sehemu maalum |
na edmund mihale uongozi wa kampuni ya development enterpreneurship for community intiative umesema utaanza kurudisha mbegu baada ya zoezi la kuorodhesha na kuhakiki wanashiriki wanaostahili kulipwa UNK |
UNK na gazeti hili jana mkurugenzi mtendaji wa deci bwana timoth ole loitinnggye alisema kutokana na muda waliopewa na serikali kuwa mfupi watajitahidi kusimamia zoezi hilo kwa umakini zaidi na kwa muda mfupi |
unajua nguvu ya kuivunja deci ilikuwa kubwa mno nasi hatukuwa tumejipanga vizuri |
naweza kusema kuwa UNK masharti tuliyopewa na serikali kuorodhesha washiriki na tukimaliza nadhani tutaanza kurudisha mbegu alisema bwana ole loitinnggye |
alisema kwa sasa serikali imewataka kuhakiki wanachama wanaotakiwa kurudishiwa mbegu zao ndipo itoe utaratibu wa kufanya |
ratiba iliyotolewa na uongozi wa kampuni hiyo inaonesha siku na tarehe ya kuandikishwa kwa washiriki wanaotakiwa kunggoa mbegu unatarajia kumalizika juni mwaka huu |
mkurugenzi huyo amewataka washiriki hao kuheshimu utaratibu uliowekwa na kampuni hiyo hadi hapo serikali itakapotoa utaratibu mwingine |
majira lilishuhudia mamia ya washiriki hao wakiwa katika ofisi za kampuni hiyo huku wakiwa katika mijadala UNK |
wengi wakihoji ukimya wa viongozi wa kampuni hiyo |
hata hivyo makundi hayo yalianza kutawanyika baada ya mhudumu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja katika ofisi za deci makao makuu mabibo kuwatangazia washiriki waliokuwa wakiendelea kumiminika kuwa hawatatoa malipo kwani bado serikali inashikilia akaunti zao |
UNK malipo kwa sasa na UNK tunaanza kulipa lini kwani fedha zote UNK na serikali hadi shughuli zote za kujiorodhesha UNK na UNK siku ya kulipwa kama tutakuwa UNK fedha zetu UNK alisema mhudumu huyo |
baadhi ya washiriki waliozungumza na majira tayari wamekata tamaa kurudishiwa mbegu zao kwani awali uongozi UNK kuwarudishia kuanzia aprili ishirini na tano mwaka huu na baadaye kubadilishwa |
wamedai kuwa baada ya hapo uongozi ulidai kuwa ungeanza kuwalipa baada ya wiki mbili jambo ambalo wamedai kuwa lina mpango wa UNK ili UNK |
hivi karibuni benki kuu ya tanzania ilitoa tangazo na kutoitambua kampuni hiyo na kuwahadharisha wananchi kutojihusisha na kampuni hiyo kutokana na kuendesha shughuli zake kinyume cha sheria |
na reuben kagaruki biharamulo mazishi ya marehemu phares kabuye aliyefariki kwa ajali ya gari april ishirini na nne mwaka huu mkoani morogoro akiwa njiani kwenda kuhudhuria mkutano mkuu wa taifa yalifanyika jana kijijini kwao UNK mkoa wa kagera |
mwili wa marehemu UNK juzi jioni kwa ndege ya kukodi na kupokelewa na umati mkubwa uliojitokeza uwanja wa ndege kutoka wilayani hapo na UNK na viongozi wa taifa wa tlp ukiongozwa na mwenyekiti wao bwana mrema marehemu kabuye ameacha wajane wawili watoto sita na wajukuu watano |
ibada ya UNK nyumbani kwa marehemu kabuye ikiongozwa na mchungaji elias UNK wa kanisa la UNK |
miongoni wa viongozi wa serikali na vyama vya siasa waliohudhuria mazishi ni bwana augustino mrema wa tlp mbunge wa karagwe bwana UNK UNK mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe na viongozi wenzake zaidi ya thebathini waliomo mkoani kagera wakiendesha UNK UNK |
viongozi UNK i waliohudhuria ni pamoja na mbunge wa chato ambaye pia ni waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana john magufuli mkuu wa wilaya ya biharamulo bwana ernest UNK |
akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali bwana magufuli alisema kabuye alikuwa mchapa kazi na ameacha pengo kubwa bwana magufuli alitoa salaamu za rambirambi UNK na rais kikwete na kukabidhi familia ya marehemu shilingi laki tano alizotoa mwenyewe mfukoni kwake |
na edson kamukara serikali imejipanga kudhibiti kwa kufuatilia mienendo ya wasafiri katika viwanja vya ndege na mipakani ili kuzuia kuingia nchini ugonjwa wa mafua ya nguruwe |
msemaji wa wizara ya afya na ustawi wa jamii bwana nsachris mwamwaja aliwaambia waandishi wa habari dar es salaam jana kuwa ugonjwa huo huambukizwa kwa njia ya hewa kwa nguruwe na kirusi kiitwacho UNK a UNK |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.