text
stringlengths
1
1.32k
risasi nje nje asubuhi jeshi la polisi UNK majambazi wawili na UNK mmoja katika mapambano ya kurushiana risasi baada ya kuvamia duka la kubadilishia fedha la UNK bureau de change lililopo kariakoo
akizungumza dar es salaam jana kamanda wa polisi kanda maalum dar es salaam kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi bwana suleiman kova alisema majambazi hayo yakiwa na silaha yalivamia duka hilo saa mbili arobaini na tano asubuhi na kupora shilingi milioni kumi na mbili majambazi hayo yakiwa katika gari dogo aina ya c...
alisema katika tukio hilo polisi walifanikiwa kukamata silaha kubwa aina ya smg namba uc tatu tano saba mbili mbili moja tisa tisa tatu ambayo inatumia risasi thebathini pia polisi walifanikiwa kuokoa shilingi milioni saba nane zilizokuwa zimeporwa na majambazi hayo zikiwa kwenye mfuko mweusi wa UNK
kamanda kova alisema baada ya kupekuwa kwenye buti ya gari hiyo walikuta namba ya usajili iliyo halali ambayo ni t mia tano na sitini na mbili avr alisema katika tukio hilo askari kanzu mwenye namba d elfu nane na mia saba na tisini na tatu koplo godwin alijeruhiwa kwa risasi chini ya bega la kulia na kukimbizwa hospi...
pia mfanyabiashara wa duka la UNK ambalo liko karibu na lile ambalo uporaji huo ulifanyika bwana hillary thabit alijeruhiwa katika paja la mguu wa kulia
jeshi la polisi mkoa wa arusha linamshikilia mtoto wa miaka tisa aitwaye richard grayson mkazi wa shangarai ili kumshinikiza baba yake anayetuhumiwa kuhusika katika matukio ya ujambazi ambaye anadaiwa kukimbia kusikojulikana kujisalimisha
tukio hilo lilitokea juzi alfajiri majira ya saa kumi na moja baada ya askari polisi wakiwa na gari aina ya land rover defender kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa huyo ambapo UNK waliamua kuondoka na mtoto huyo
mtuhumiwa huyo grayson mollel jeshi hilo linadai kuwa linamtafuta kutokana na tuhuma za ujambazi zinazomkabili
hata hivyo halikuwa tayari kutaja baadhi ya matukio ya ujambazi ambayo mtuhumiwa huyo anadaiwa kuhusika nayo
akizungumza na majira jumapili kuhusiana na tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa arusha bwana basilio matei alisema kuwa taarifa za mtoto huyo kushikiliwa ili kumshinikiza baba yake kujisalimisha UNK kwake
mimi ndio kwanza nasikia kutoka kwenu lakini naahidi kufuatilia ili kujua ukweli wa tukio hilo kama kweli mtoto huyo alikamatwa na kulazwa rumande kwa kosa ambalo UNK baba yake UNK taarifa kamili alisema UNK
aidha mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi ya UNK wilaya ya arumeru anadaiwa kutiwa nguvuni na askari polisi wakiwa na silaha baada ya kuvamia nyumbani kwao eneo la shangarai wilaya ya UNK
hata hivyo askari hao baada ya kumchukua mtoto huyo UNK UNK baba yake alipo ambapo aliwaelekeza nyumba ya mama yake mdogo ambae ni mke mdogo wa baba yake anayeishi sanawari
hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo na ndipo walipoamua kumkamata na mama huyo pia
aidha mama huyo aliyefahamika kwa majina ya georgina grayson alikamatwa na kuswekwa rumande kama ilivyo kwa mwanae hatua ya mtoto huyo mwenye umri wa miaka tisa aliyekuwa ametoka hospitali ya wilaya ya west meru alipokuwa UNK kifua baada ya kuanguka kwenye mti UNK na wananchi kuwa jeshi la polisi UNK haki za mtoto
bibi neema florence ambae ni mkazi wa shangarai anasema kuwa mtoto huyo ni mdogo sana kulazwa mahabusu ya watu wazima tena kwa kosa alilofanya baba yake
wachezaji amani simba mohamed banka na ramadhan waso UNK virago katika timu ya simba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri kuwa mkubwa
habari za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zilieleza jana kuwa wachezaji hao UNK baada ya kamati ya usajili kuwajadili kwa kina
chanzo hicho kilieleza kuwa uongozi wa timu hiyo UNK kutangaza juzi kuhusu kuachwa kwa wachezaji hao lakini ikaonekana UNK kocha mkuu patrick phiri ambaye yupo zambia kwa mapumziko mafupi
kilieleza kuwa licha ya wachezaji hao kuachwa lakini bado uongozi wa simba utaendelea kuwaheshimu kutokana na mchango wao tangu kujiunga na timu hiyo
uongozi wa klabu hiyo awali ulisema utafanya marekebisho makubwa katika kikosi cha timu hiyo ili ishiriki vyema kwenye michuano ya shirikisho
katika msimu ujao simba wanataka kujipanga kikamilifu katika suala la usajili ili waweze kuwa tishio katika michuano yote watakayoshiriki
alipoulizwa kwa simu jana akiwa njiani kwenda dodoma kwenye kombe la taifa kuhusu suala hilo mohamed banka alisema ahofii kuachwa na simba kwani tayari alifanya mipango na timu nyingine kwa ajili ya kujiunga nayo
banka alisema tayari alifanya mazungumzo na timu nyingine miezi miwili iliyopita na ndiyo maana ahofii hatua hiyo ya uongozi
mbona mimi niliwaambia UNK katika usajili kwa kuwa nimepata timu ya kuchezea ambayo tumekubaliana kila kitu sina wasi wasi kwa hilo alisema banka
mchezaji huyo kabla ya kutua simba aliachwa na yanga ambayo ilidai kiwango cha banka UNK lakini alipotua msimbazi UNK UNK
na stella aron baada ya jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam juzi kupambana kwa risasi ana kwa ana na majambazi huku mengine UNK na kutoroka tayari polisi limemtia mbaroni usiku wa manane dereva yohana haule mkazi wa keko UNK jijini dar es salaam
kamanda wa polisi mkoani humo bwana suleima kova amesema kuwa dereva huyo alikamatwa usiku wa kuamkia jana saa nane eneo la UNK akiwa UNK
alisema kuwa dereva huyo alikuwa akielekea mkoani songea ambako ndiko nyumbani kwao huku akiwa na nia ya kupanda UNK
kamanda kova alisema gari alilokuwa akiendesha dereva huyo lilikuwa gari ndogo aina ya corola nyeupe lenye namba t mia tisa na kumi apy ambayo ilikuwa ni feki
ndani ya gari hilo walikuta namba nyingine t mia tano na sitini na mbili avr ambayo ndiyo sahihi
kamanda alisema gari hilo linalomilikiwa na mzee UNK ambaye anatakiwa kufika polisi ili kutoa maelezo kuhusiana na matumizi yake gari hilo
UNK mmiliki wa gari hili afike kituoni ili aweze kuelezea mazingira ya matumizi ya gari hili ambalo lilikuwa linahusika UNK majambazi na kwenda kufanya uhalifu alisema kamanda kova
alisema kuwa kukamatwa kwa dereva huyo UNK shaka kwani kama angekuwa si mhalifu UNK kituoni na kutoa taarifa na si kukimbia kama ambavyo UNK
pia kamanda aliongeza kuwa polisi shujaa aliyejeruhiwa juzi d elfu nane na mia saba na tisini na tatu koplo godwin ambaye alijeruhiwa kwenye bega la kulia anaendelea vizuri
katika tukio la juzi polisi walifanikiwa kuokoa kiasi cha fedha shilingi milioni kumi na mbili nane katika duka la kubadili fedha UNK
majambazi hayo yaliingia katika duka la kubadilishia fedha lililopo mtaa wa livingstone na mchikichini na kumpora UNK wa duka hilo UNK UNK UNK UNK pochi yake ya iliyokuwa na fedha zaidi ya shilingi arobaini na nne sifuri sifuri sifuri na simu tatu pia katika tukio hilo polisi walifanikiwa kukamata bunduki iliyokuwa ik...
walipora vitu hivyo baada ya mhasibu huyo kufungua ofisi hiyo na kuingia ndani UNK kuwa ni wateja
kutokana na tukio hilo ndipo polisi walipopata taarifa na kuanza UNK
majambazi hayo yalipita katika mtaa wa sikukuu na pemba ndipo walipokutana na polisi waliokuwa kwenye gari namba pt elfu moja na mia nne na arobaini na saba majambazi hayo kuona hivyo yalibadili mwelekeo na kuingia mtaa wa pemba kwa nia ya UNK
ilidaiwa kuwa wakati majambazi hayo UNK mtaa huyo ghafla walikutana na gari nyingine ya polisi yenye namba za usajili t mia mbili na ishirini na saba UNK na hivyo kushindwa kuendelea na safari yao
kutokana na UNK hiyo jambazi moja UNK juu ya UNK huku UNK kurushiana risasi na polisi na lingine kuingia katika mahakama ya mwanzo kariakoo
edmund mihale mjumbe wa nyumba kumi kwa tiketi ya chama cha wananchi tawi la kipande pwani bwana hamad bakari amejitoa katika uongozi huo kwa madai ya kutengwa katika ugawaji wa misaada ya waathirika wa mabomu
mjumbe huyo ambaye pia ni mmoja wa waathirika wa milipuko ya mabomu yaliyotokea hivi karibuni katika kambi ya jeshi la wananchi mbagala kizuiani na kusababisha vifo vya watu ishirini na sita na kuharibu mali za wakazi wa eneo hilo
misaada inayotolewa katika eneo hilo ni mahema magodoro UNK shuka vyandarua mchele unga mafuta ya kula sabuni na UNK
tayari gazeti hili UNK kuwapo kwa ubaguzi katika ugawaji wa misaada hiyo kutokana kutawaliwa na itikadi za kisiasa ujanja unaofanywa na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuandika majina ya watu wasio husika katika misaada hiyo
shutuma nyingi za kutumia mgongo wa siasa zimekuwa zikielekezwa kwa viongozi wa mashina na wajumbe wa chama cha UNK
akizungumza na majira jumapili juzi mjumbe huyo alisema UNK uamuzi huo kutokana ugawaji huo kutawaliwa na itikadi za kisiasa na ujanja unaotumiwa na baadhi ya viongozi wa nyumba kumi kujinufaisha
ndugu mimi ni UNK katika siasa hizi za vyama vingi lakini UNK hapa ni ubaguzi UNK nimekuwa nikibaguliwa kwa kuwa mimi niko katika chama cha cuf nimekuwa nikibaguliwa katika ugawaji huu wa misaada kama unavyoona nina kaya zaidi ya ishirini sifuri hawa wote kama amepata mchele basi maharage UNK kwa muda marefu sijui UNK...
alisema haoni sababu ya kuendelea kuwa na cheo hicho wakati huu wa maafa kwani uongozi ni kuwatumikia watu na hasa wakati wote wa raha na shida
alisema haitakuwa fahari kwake kuendelea kuwa kiongozi katika eneo hilo wakati itikadi ya chama chake inafanya watu wa eneo hilo kukosa misaada huku wengine wakiendelea kuipata na UNK
UNK wa rika tofauti wamekuwa wakilalamika kuhusu ugawaji wa misaada hiyo kutokana wengine kukosa kabisa na wengine kupata kidogo tofauti na ahadi ya zinazotolewa na serikali
tayari kwa nyakati UNK viongozi wa juu wa mkoa wa dar es salaam wamekiri kutokea kwa makosa hayo ya UNK wa misaada katika eneo hilo
wakati ikiwa imebaki takribani miezi kumi na saba kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwakani viongoni wa dini mbalimbali nchini wametaka kufanyika mabadiliko makubwa ya UNK katika kile walichodai kulinusuru taifa
aidha viongozi hao wamewataka wanasiasa kukaa chini na kutathmini mwelekeo mpya wa nchini kutokana na kuibuka mambo mbalimbali yanayotishia kuendelea kuwepo umoja wa kitaifa
walisema hali ya mambo ndani ya nchi si shwari ingawa wanasiasa wamekuwa hawataki kukubaliana na ukweli huo hivyo ni vema katiba UNK upya kabla ya uchaguzi ujao
wameshauri kufanyika marekebisho makubwa ya mifumo ya uchaguzi ndani ya vyama vya siasa hususani chama tawala ccm ili kuongeza wigo wa demokrasia UNK nafasi kwa wanachama kujitokeza na kugombea nafasi UNK woga wala vitisho
walidai mfumo wa sasa wa ccm UNK fursa wanachama wengi kujitokeza kugombea nafasi za uongozi wa juu wa chama hicho kwa hofu ya kile kinachodaiwa kukiuka taratibu za chama na kuonekana si mwenzetu kuna taratibu zinazowanyima demokrasia wale wanaotaka kugombea uongozi ndani ya ccm mfano hivi sasa yameibuka makundi ya wa...
ukiwauliza wanaofanya hivyo UNK chama kina utaratibu kwa rais kuongoza vipindi viwili
pamoja na kauli hizo wapo wanachama wengi UNK pembeni kupinga jambo hilo
wanataka kugombea lakini wanaogopa UNK
hii ni hatari kwa demokrasia na uhai wa chama chenyewe alisema mmoja wa viongozi wa dini alipozungumza na majira jumapili kwa sharti la kutoandikwa jina gazetini
kiongozi alisema endapo ccm inataka kuendelea kujenga mshikamano ndani ya chama hicho ni sharti iwe na demokrasia ya kweli itakayowapa wanachama nafasi ya kujitokeza na kugombea uongozi wa juu wa chama wakati wowote na katika mazingira yoyote bila woga
alipinga kwa nguvu utaratibu wa chama hicho sasa UNK rais vipindi viwili na kueleza kuwa utaratibu huo UNK demokrasia ndani ya chama
alishauri inapomalizika miaka mitano wanachama wawe huru kuchukua fomu na kuomba nafasi hiyo jambo alilosema kwanza litampa changamoto kiongozi aliyeko madarakani kuhakikisha anafanya vizuri katika miaka yake mitano ili kujihakikishia ushindi wa kipindi cha pili
alidai kuwa uchaguzi ndani ya ccm unafanywa kwa mazoea na kudai kuwa jambo hilo limechangia viongozi kujisahau kwa kuamini kwamba UNK na chama chao katika mazingira yoyote yale kwa utaratibu unaruhusu hivyo
kiongozi mwingine maarufu wa madhehebu ya kikristo nchini aliyeomba kutoandikwa jina gazetini alisema dunia ya sasa UNK na taratibu UNK demokrasia kwa walio wengi na kuishauri ccm kubadili mfumo wao wa uchaguzi
alieleza kusikitishwa kwake na msimamo wa hivi karibuni uliwekwa bayana na wazee wa chama hicho wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa dodoma mzee pancras UNK kutamka kuwa chama hicho UNK rais kikwete kwenye uchaguzi ujao
sipingi hata kidogo rais kikwete kutetea nafasi yake ndani ya ccm mwakani lakini kauli za namna hii UNK wanachama wengine wenye nia ya kuomba nafasi hiyo waogope na kurudi nyuma hata kama ndani ya nafsi zao UNK kugombea alisema kiongozi huyo
aliongoza kuwa ccm ina watu wengi wenye uwezo
mwaka ishirini sifuri tano walijitokeza wagombea kumi na moja rais kikwete akaibuka mshindi
wagombea hao wote walikuwa na uwezo wa kuongoza nchi chama UNK na kuridhika kwanini inapomalizika miaka mitano rais aliyeko madarakani apigiwe debe UNK wapingane kwa UNK
alisisitiza alizidi kufafanua kama ccm inaona mgombea wao ni wa vipindi viwili haina sababu kufanya mkutano mkuu wa chama baada ya miaka mitano kuteua jina la mgombea
kufanya hivyo ni kuchezea raslimali za chama
kwanini katiba ya ccm isitamke kuwa mkutano mkuu utafanyika baada ya miaka kumi
kuitisha mkutano wa kuteua mgombea baada ya miaka mitano huku UNK ni mmoja ni kupoteza muda na rasilimali za chama
hivi wewe mwandishi UNK
wale wagombea kumi UNK na rais kikwete mwaka ishirini sifuri tano ni kweli wanaafiki kwa moyo mweupe utaratibu wa vipindi viwili
nenda UNK mmoja mmoja na atakayesema hivyo nadhani ana kasoro au aligombea kwa kujifurahisha alisema
kiongozi huyo alisema endapo ccm UNK utaratibu huo bunge UNK haraka na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi ili kuruhusu wagombea binafsi wa UNK
hii itawapa nafasi wanaogopa kupingana na taratibu za chama kujiengua na kugombea
kiongozi huyo alisema kama ccm itazidi UNK demokrasia ya uchaguzi ndani ya chama kwa imani kwamba wanachama wote wanaafiki taratibu za sasa UNK uhai UNK hicho kikongwe nchini
kuna mgawanyiko ndani ya ccm wapo UNK kwa dhati kuwa rais aongoze vipindi viwili pia wenye UNK na hilo ni wengi zaidi
ili kuwapa haki walio wengi chama UNK bayana kuwa ruksa yeyote kujitokeza baada ya miaka mitano bila UNK ushindani mkali ndio UNK chama na kupunguza manungguniko yasiyo ya lazima alisema kiongozi huyo
imamu wa msikiti mmoja jijini ambaye naye aliomba kutotajwa jina alisema ccm ni chama imara na kitaendelea kushinda lakini UNK kutokana na baadhi ya viongozi kuheshimu kwa unafiki taratibu UNK nazo
ccm wanafanya vizuri ila hili la uchaguzi watu waruhusiwe kugombea kwa uhuru kamili kuwanyima nafasi kusubiri miaka kumi si sahihi
miaka kumi mawazo nayo UNK waachiwe wapingane alisema kiongozi huyo
aliendelea kusema hivi sasa nchi imegawanyika kuna malumbano ya kila namna dawa yake ni kupanua wigo wa demokrasia kila sehemu kwenye vyama vya siasa na kwingine kote
UNK watu UNK pembeni hapo nchi itakwenda vizuri
kiongozi huyo pia alishauri utaratibu mpya wa kupata wagombea nafasi za ubunge kwenye majimbo utumike kwa wagombea urais
alisema badala ya wagombea urais kupitia chama hicho kupigiwa kura na mkutano mkuu UNK nchi nzima na kupigiwa kura na wanachama wote waziri mkuu mizengo pinda amesema kazi ya kilimo inataka nidhamu ya hali ya juu ili maisha ya mtanzania yawe ni zaidi ya kula na UNK na kuweza kumudu mahitaji mengine ya kiuchumi
alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wakuu wa mikoa sita na wakuu wa wilaya zao kwenye mkutano wa majumuisho ya ziara zake katika mikoa hiyo uliofanyika juzi mjini sumbawanga
alisema wataalamu wakikaa kwa haraka na kuona kwamba watu wanakula na kulala watasema wana maisha bora lakini wanaotaka kujua ukweli wa mambo waende kumtazama mtu wa kijijini
sisi hapa tunaweza kubishana kuhusu kauli za wakubwa kwamba watanzania wanaishi chini ya dola moja kwa siku lakini ukitaka kuujua ukweli uende kumtazama mtu wa kijijini
huyu UNK utasema mbona anakula ugali na maharage kila siku ana nyumba ya kuishi lakini kikubwa hapa ni kipato cha mfukoni alisema
bwana pinda alisema nchi kama china na vietnam UNK mbali kwa sababu ya kuweka nidhamu katika kilimo na kuwataka wakuu wa mikoa na wa wilaya wapige marufuku watu kulima bila kufuata kanuni bora za kilimo
akichambua kipato cha mtanzania kwa kuangalia pato la mwananchi kwa mwaka ishirini sifuri saba waziri mkuu UNK vipato vya wakazi wa mikoa hiyo sita na nafasi zao kitaifa na kusema mkoa wa iringa ndiyo UNK katika kundi hilo kwa kuwa na wastani wa shilingi mia sita na kumi na saba mia nne na arobaini na nane alisema mko...
mkoa wa morogoro ni wa nne kwa wastani wa shilingi mia tano na ishirini sifuri moja nane huku ukishika nafasi ya tisa kitaifa na rukwa ni wa tano kwa kuwa na wastani wa shilingi mia nne na themanini na sita mia nane na thebathini na mbili huku ukiwa wa kumi na moja kitaifa wakati kigoma ni wa mwisho kwa kuwa na wastan...
serikali imeidhinisha matumizi ya silaha kali zaidi ili kuwakabili majangili wa wanyamapori wanaotumia silaha kubwa za kivita hivyo polisi kushindwa kukabiliana nao
akizungumza dar es salaam juzi waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mwangunga alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya aliyekuwa ofisa wa wanyamapori wilaya ya UNK kushambuliwa na majangili katika kijiji cha UNK mkoani lindi na kusababishiwa kifo