text
stringlengths
1
1.32k
alisema ofisa huyo alikuwa akifuatilia nyendo za majangili hao usiku wa kuamkia aprili nane mwaka huu
bibi mwangunga alisema marehemu bwana UNK juma aliuawa na wanakijiji wa chimala kwa madai ndiye aliyekuwa jangili huku wakitambua jangili aliyekuwa akijihusisha na ujangili wilayani humo ndiye aliyekuwa akifukuzwa na askari huyo
alisema jangili aliyesababisha kifo cha askari huyo tayari UNK na jeshi la polisi huku watuhumiwa wengine wakishikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa uchunguzi zaidi
waziri huyo aliwataja watuhumiwa wanaoshikiliwa kuwa ni bwana nuru majid bwana issa athumani bwana faustin athumani bwana davis binamu na bwana geofrey UNK huku upelelezi wa kuwabaini wengine waliohusika na mauaji hayo ukiendelea
alisema hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la ujangili katika hifadhi ambapo majangili wamekuwa UNK wanyama na kuchukua baadhi ya bidhaa kutoka kwa wanyama hao ambazo zina soko kubwa ikiwemo meno ya tembo
mfanyabiashara bwana subhash patel amekana UNK za ufisadi zilizoelekezwa kwake na mwenyekiti mtendaji wa kampuni za ipp bwana reginald mengi kuwa ni mmoja wa mafisadi papa watano
akizungumza dar es salaam jana kupitia kwa ofisa uhusiano na mawasiliano wake wa UNK holdings limited inayoendesha viwanda na hoteli mbalimbali nchini bwana aboubakary mlawa alisema si mara ya kwanza kwa bwana mengi kumshutumu tena bila sababu yoyote ya msingi
alisema katika tuhuma zake nyingi bwana mengi amekuwa UNK na ufisadi katika mchakato wa kumpata mbia wa kushirikiana na serikali katika mradi wa makaa ya mawe ya UNK na wa chuma cha UNK iliyopo mkoani iringa
bwana mlawa alisema tuhuma nyingine zilizotolewa na bwana mengi kupitia moja ya chombo chake cha habari ni kuwa kampuni ya UNK steel mills limited inayomilikiwa na bwana patel ilitoa rushwa kwa wanakijiji na pia UNK gazeti UNK
napenda UNK umma kwa si bwana subhash patel wala kampuni yake yoyote iliyopewa mradi wowote katika eneo la makaa ya mawe ya UNK
UNK sisi mchakato wa kupata mbia au wabia kwa mradi huu unaendelea
hivyo habari hizi si kweli na ni uzushi mtupu
kilichopo ni kwamba moja ya kampuni zetu iitwayo UNK steel UNK public limited company ilishiriki katika zabuni namba pa sifuri sita nane ishirini sifuri nane UNK UNK sifuri moja ya aprili ishirini sifuri nane ya kutafuta mwekezaji wa ndani ambaye atakuwa na ubia na shirika la maendeleo la taifa katika kuanzisha na kue...
mchakato wa UNK bado unaendelea chini ya uenyekiti wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali
UNK shutuma hizi kwa undani utaona wazi kuwa zina nia ya kuingilia mamlaka zinazohusika katika kuwapata wawekezaji katika miradi hii miwili alisema bwana UNK
kuhusu kutoa rushwa kwa UNK alisema bwana patel hajawahi kufanya hivyo isipokuwa anatumia haki aliyonayo katika kusaidia wananchi wenye matatizo mbalimbali na kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ya kijamii nchini
alisema bwana patel ama kupitia kampuni zake mbalimbali amekuwa akitoa misaada ya maendeleo kwa makundi mbalimbali ya wananchi kama anavyofanya bwana mengi ambapo kwa mwaka jana pekee alitumia zaidi ya shilingi milioni themanini sifuri ambapo misaada hiyo alitoa hata mkoani kilimanjaro ambapo hana maslahi yoyote ya ki...
pia alisema hamiliki UNK wala hana hisa katika gazeti la sauti huru wala chombo chochote cha habari lakini hutangaza huduma zake na bidhaa zake kupitia vyombo mbalimbali vya habari vikiwemo vya bwana mengi
aliwataka wananchi watambue kuwa yeye ni mtanzania halisi aliyezaliwa na kukulia kijiji cha lugoba mkoani pwani na uwekezaji wake nchini UNK hivyo hawezi UNK fedha zake nje ya nchi kama UNK
bwana mlawa alisema UNK ni kuwa uhusiano uliopo kati ya wawili hao ni wa kibiashara tu ambapo maeneo mengi ya viwanda ambayo yalikuwa yakimilikiwa ama kuhusiana na bwana mengi UNK na kampuni UNK na bwana patel
kuhusu kwa nini bwana patel hakwenda mahakamani kama aliona UNK uongo na bwana mengi mwanasheria wake bwana deusdedit duncan alisema ni uamuzi wa mtu binafsi lakini bado UNK kama atakwenda au la
taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesisitiza kuwa UNK UNK umma kuwa hakukua na rushwa katika kashfa ya zabuni ya ukodishaji mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura ya kampuni ya richmond
akizungumza katika mkutano wa kamati za hesabu za mabunge ya afrika mashariki uliomalizika dar es salaam juzi mkurugenzi mkuu wa takukuru daktari edward hoseah alisema ili taasisi yake ili imtie mtu hatiani ni lazima iwe na ushahidi wa kutosha kuiridhisha mahakama kama wa kidhibiti nakala na maneno
kwa mujibu wa sheria ya kuzuia rushwa ya mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na moja na sheria ya ununuzi ya mwaka ishirini sifuri nne ambazo UNK UNK katika kuzuia rushwa zaidi ya jinsi ya kumtia mtu hatiani na kosa la jinai
wala sheria hizo UNK mtu hatiani kwa kufuata malalamiko ya watu hivyo UNK maelekezo ya sheria na lengo lilikuwa si kuisafisha richmond alisema daktari hoseah
alisema kwa kesi za rushwa kubwa ambazo takukuru tayari ina ushahidi wa kutosha kwa mujibu wa sheria husika UNK mpango wa kutoa taarifa rasmi kwa umma mwezi julai mwaka huu
daktari hoseah aliwaeleza wabunge kuwa takukuru katika kutimiza malengo ya mwaka huu tayari imekamilisha uchunguzi wa ndani wa kesi tano ila bado hatua ya mwisho ya uchunguzi wa nje ambapo ni tofauti na mwaka jana malengo yalifikiwa ya kuchunguza kesi kumi kubwa za rushwa
alisema wameamua kuweka malengo ya kesi tano mwaka huu kwa vile nyingi zinahitaji ushahidi wa nje ya nchi kama kesi ya richmond lakini lengo ni kufanikisha uchunguzi kwa muda muafaka
licha ya wabunge wengi kuonesha UNK vizuri daktari hoseah aliwahimiza wasome sheria UNK na kuwaeleza waandishi wa habari kuwa hawezi kuzitaja kesi hizo tano mpya za mwaka huu kwa kuzingatia kifungu cha thebathini na saba cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa UNK kutoa taarifa kwa umma kwa mtu ambaye bado uchungu...
kwa kesi za mwaka jana ambazo UNK taarifa juu ya hali ya uchunguzi wake ni zile UNK bot UNK deep green rada na ile ya buzwagi ambayo dpp aliifunga baada ya kukosa ushahidi wenye vielelezo vya kutosha kuiridhisha mahakama
lakini hizi nyingine tano za mwaka huu siwezi kuzitaja hadharani kwa kuwa uchunguzi bado unaendelea na uchunguzi UNK taarifa zote UNK katika tovuti yetu alisema daktari hoseah
UNK huyo aliwahakikishia wabunge hao kuwa taasisi yake inayo nia ya dhati ya kupambana na kuzuia rushwa nchini kwa kuweka malengo ya kila kituo chake katika mikoa yote kiwe UNK uchunguzi wa kesi kumi na mbili za rushwa kwa mwezi
adaiwa kukwama kupanda jukwaani
ccm UNK mikutano mafichoni naibu katibu mkuu wa chama cha chadema bwana kabwe zitto amesema tingatinga la makamu mwenyekiti mstaafu wa ccm bwana john malecela limeshindwa kupanda jukwaani kwa kuwa UNK bajaj kwa kuanza mikutano ya mafichoni
alisema hayo juzi wakati akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye mkutano wa kampeni katika mji mdogo wa katoro jimboni hapa kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho bwana finias magesa
ccm hawana ubavu wa kupambana na chadema hata wabunge wao wanaojidai wanapambana na ufisadi ni waongo wakubwa
kama wanataka kupambana na ufisadi waondoke ccm kwa sababu hawawezi kupambana na ufisadi wakiwa ndani ya ccm alidai bwana zitto
alisema ccm imekuwa na mazoea ya kumtuma bwana malecela kwenye uchaguzi UNK na upinzani mkubwa na ndio maana akaletwa hapa kama tingatinga lakini amejikuta UNK kupanda jukwaani
bwana zitto ambaye pia ni mbunge wa kigoma kaskazini alidai moto wa chadema jimboni hapa bwana malecela hauwezi kwa kuwa ni bajaj UNK na ndio maana imeamua kufanya mikutano ya mafichoni na wanachama yenye lengo la kuiba kura
katibu huyo ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote alisema hata kama ccm watapeleka viongozi wao maarufu wakiwemo wabunge kama akina daktari harrison mwakyembe na bibi anne kilango jimboni hapa lakini UNK kuwa ngoma hawaiwezi kwa kuwa ni nzito
bwana zitto aliwaomba wananchi wa busanda kumchagua mgombea wa chama hicho ili waweze kupata nguvu zaidi bungeni ya kupambana na ufisadi nchini
naye faida muyomba anaripoti kutoka busanda kuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba na aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho bwana wilfred lwakatare na wabunge wengine sita wanatarajiwa kuwasili jimboni humo kwa lengo la kuongeza nguvu za kampeni kwa chama hicho
katibu wa tume ya uchaguzi wa cuf bwana maole kuchilingulo aliwaambia waandishi habari kuwa kufika kwa mwenyekiti huyo na wabunge hao kutaongeza hamasa kubwa zaidi kwenye uchaguzi huo
aliwataja wabunge UNK na profesa lipumba ni bwana omari ali mzee bwana mohamed mnyaa bibi mwanawetu UNK na bibi magreth sakaya
wengine kwa mjibu wa katibu huyo ni bibi nuhu bafadhili bwana salum abdallah na bibi UNK UNK na kwamba safu hiyo inatarajiwa kuingia busanda humo wiki hii kwa ajili ya kampeni
alisema kuwa lengo ni kuhakikisha wanapata ushindi wa kishindo katika jimbo hilo ikiwa ni pamoja na kudhibiti njama za wizi wa kura zinazodaiwa kutumiwa na chama tawala cha ccm kutokuwepo kwa hakimu mmoja kati ya watatu kwenye kesi ya wizi wa mamilioni ya fedha za epa inayomkabili kada wa ccm bwana rajab maranda na wa...
mbali na kuahirishwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu UNK kesi hiyo mfululuzo kuanzia juni mosi hadi kumi na mbili mwaka huu baada ya kurejea kwa hakimu huyo bwana ignas UNK
kesi hiyo ilikwama kuendelea jana mbele ya mahakimu wawili ambao ni bibi addy lyamuya na bwana john utamwa ambapo upande wa mashitaka ulikuwa UNK mashahidi watatu
akiahirisha kesi hiyo bibi lyamuya alisema kutokana na sheria kuwataka kuisikiliza watatu UNK mpaka hakimu aliyeko arusha kwa ajili ya kusikiliza kesi zingine UNK
mashahidi hao ni bwana andrew mkapa kutoka ofisi ya msajili wa kampuni na majina ya biashara bwana UNK UNK kutoka benki ya nbc na ssp sifael mkonyi kutoka ofisi ya upelelezi na makosa ya jinai kanda ya dar es salaam
kesi hiyo ina washitakiwa watano ambao ni bwana maranda mkuu wa kitengo cha madeni bot bwana imani mwakosya msaidizi wa kitengo hicho bibi ester komu katibu wa bot bwana bosco UNK na mfanyabiashara bwana farijala hussein
wanashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo na kughushi nyaraka mbalimbali kwa ajili ya kujipatia usajili wa kampuni ya rashhas ltd ili kufanikisha wizi wa mabilioni ya fedha kwenye akaunti ya madeni ya nje
pia wanashitakiwa kwa kuiba shilingi milioni ishirini saba mbili kwa kutumia kampuni ya rashhas ltd ambayo ilidai UNK deni na kampuni ya general UNK ya india
rais jakaya mrisho kikwete jana amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa jamuhuri ya kiislam ya iran bwana UNK davoodi ambaye yuko nchini kwa ziara ya siku tatu
kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa dar es salaam jana na kurugenzi ya mawasiliano ya rais katika mazungumzo hayo bwana davoodi alimueleza rais kikwete kuwa iran ina nia ya kuendeleza na kupanua shughuli za kilimo nchini
mambo mengine yaliyozungumzwa na viongozi hao ni kuendeleza sekta ya biashara madini viwanda elimu gesi na masuala ya UNK
bwana davoodi alisema nchi yake itatoa misaada kwa tanzania na UNK deni la tanzania kwa iran ili kuiwezesha kupambana umasikini kupitia sekta ya kilimo
rais kikwete UNK bwana davoodi kuwa ili kufanikisha mazungumzo yao tanzania itaangalia kufungua ubalozi wake katika mji mkuu wa UNK ambapo itakuwa ni njia ya kukuza uhusiano kati ya nchi hizo mbili
kabla ya kuondoka nchini bwana davoodi anatarajia kusaini mikataba saba ama nane ya madini ikiwa ni pamoja na tanzania kupata huduma ya mikopo kutoka iran
taasisi ya deci iliyokuwa ikiendesha mchezo wa upatu imeanza kuorodhesha majina ya wanachama waliopanda februari ili kuwarudishia mbegu zao
wanachama waliopanda februari na hawajawahi kuvuna mbegu zao walifika ofisi za deci mabibo dar es salaam jana na risiti UNK na kupewa nyingine zenye namba mpya iliyopigwa UNK na kuambatanisha na ile ya awali kwa malipo ya baadaye
taarifa iliyotolewa na uongozi wa deci kwa wanachama wake mapema kabla ya shughuli hiyo kuanza UNK kuwa watakaohusika ni waliopanda februari tu lakini hali ilikuwa kinyume
walifika wanachama wengi wakiwemo hata wale ambao UNK na kudai UNK na kusababisha uongozi huo kulazimika kuwatangazia upya utaratibu uliopo kwa sasa
ndugu wanachama wetu UNK kuona idadi kubwa ya wateja wetu hapa tofauti na idadi tuliyonayo ndani lakini tumegundua muda mfupi baada ya kuangalia risiti zenu na kukuta waliovuna nao wamefika UNK
kwa kuwa UNK baadhi yenu bila kujua tutaendelea kuorodhesha na baadaye tutafanya uchambuzi na kuwabaini wanaostahili hivyo tutatoa ratiba baadaye siku ya kuchukua mbegu zao alisema mmoja wa viongozi wa deci aliongeza kuwa kwa waliovuna faida za mbegu zao UNK mbegu ya UNK ni heri kufanya UNK na kuwapisha wenzao kupata ...
uongozi huo ulisema UNK kufanya shughuli nzito ya kuchambua majina halali ili kutekeleza agizo la serikali la kukamilisha urejeshaji mbegu kwa wale waliopanda bila kuvuna kufikia juni
viongozi wa taasisi hiyo waligoma kuzungumzia malipo ya wanachama wao kwa madai hawakuwa tayari
hivi karibuni waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo alisema serikali itaendelea kushikilia akaunti za deci kwenye mabenki hadi uongozi wa deci UNK zilipo shilingi bilioni kumi na nne serikali imewataka mbunge wa igunga bwana rostam aziz na mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi kufunga midomo na kua...
UNK hilo la serikali lilitolewa jana na waziri wa habari utamaduni na michezo kupitia naibu waziri wa wizara hiyo bwana joel bendera
bwana bendera alisema serikali haitakubali kusikia malumbano ya bwana aziz na bwana mengi ambayo yanalipeleka taifa mahali pabaya yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini na haitavumilia kuona vyombo vya habari vikichangia kuligawa taifa katika makundi na kudumaza maendeleo
alisema badala ya kulumbana wanatakiwa kuwasilisha madai na vielelezo vyao mamlaka husika ili hatua zinazofaa zichukuliwe na wananchi wapewe taarifa na vyombo hivyo
waziri alisema bwana mengi na bwana aziz wanatakiwa kuvitumia vyombo vyao vya habari kwa manufaa ya wananchi na si wao binafsi waelewe kuwa malumbano yao ni kutowatendea haki wengine ambao majina yao UNK lakini hawana vyombo binafsi ambavyo wangeweza kuvitumia kujieleza na kujitetea kama walivyofanya wao
alisema kuanzia sasa serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wamiliki wa vyombo vya habari ambao hawatazingatia taaluma sheria ya magazeti ya mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na sita na sheria ya utangazaji ya mwaka ishirini sifuri tatu katika kutekeleza kazi zao za kukusanya na kusambaza habari
serikali UNK na kitendo cha bwana mengi cha kuzungumzia kesi ambazo tayari ziko mahakamani sheria za nchi UNK mtu watu kuzungumzia ama kujadili suala lililopo mahakamani kwa kufanya hivyo UNK watuhumiwa hao na kuwatia hatiani bila kupewa nafasi ya kusikilizwa alisema
pia wahariri na wanahabari kwa ujumla wametakiwa kuwa makini katika kutimiza wajibu wao kwa taaluma na kuzingatia maadili ya kazi yao badala ya kuandika au kutangaza habari kulingana na matakwa ya mmiliki wa chombo husika
bwana bendera alisema kumekuwepo na matumizi mabaya ya vyombo vinavyomilikiwa na wafanyabiashara hao na wanafanya hivyo kwa manufaa yao kinyume na maelekezo ya sera ya habari na utangazaji ya mwaka ishirini sifuri tatu UNK kuwa chombo cha habari UNK kwa manufaa binafsi ya mmiliki bali umma
pia chombo cha habari UNK na maadili ya taaluma na jamii husika na UNK habari kwa misingi ya ubaguzi wa rangi kabila dini jinsia ulemavu au kuchochea UNK
alisema serikali imebaini malumbano yao UNK wananchi katika makundi mawili kila moja UNK mkono UNK
serikali inasisitiza mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi yanaendelea UNK wananchi wenye taarifa watoe kwenye vyombo vya dola UNK majukumu hayo ili hatua zichukuliwe serikali inawataka wafuate taratibu na sheria za nchi katika kuwasilisha hoja zao ili kuendelea kudumisha amani ya nchi yetu alisema
takribani wiki mbili sasa kupitia vyombo mbalimbali vya habari taifa UNK na malumbano yaliyojikita katika suala la ufisadi na mafisadi kati ya wafanyabiashara hao wawili wametumia vyombo mbalimbali vikiwemo UNK kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa fisadi
aprili ishirini na tatu mwaka huu bwana mengi alitaja kampuni na wafanyabiashara watano nchini akiwemo bwana aziz akiwaita mafisadi papa na siku chache baadaye bwana aziz naye alijibu na alimtaja bwana mengi kuwa fisadi nyangumi akimtuhumu kwa ufisadi
serikali UNK kutoa tamko haiwezi kuacha watu waendelee kulumbana lazima ifuate taratibu UNK kwani ikifanya hivyo UNK nani mwenye kichwa kizuri inatoa kitu UNK UNK hayo yaliyotangulia ni UNK ya kale alisema waziri bendera akijibu swali lililokuwa UNK kuwa serikali imechelewa kutoa tamko
diwani UNK akiorodhesha shahada wanafunzi sita wa shule ya sekondari butundwe mjini hapa UNK viboko sita kila mmoja na kupewa adhabu ya kufyeka huku wengine UNK adhabu hiyo baada ya kuuzomea msafara wa mgombea ubunge jimbo la busanda kwa tiketi ya chama cha mapinduzi
pia kutokana na tukio hilo wazazi wa wanafunzi hao UNK hadi shuleni hapo kuuona uongozi kwa lengo la kubaini kwa nini watoto wao walifanyiwa kitendo hicho UNK kuwa ni kinyume cha sheria
shule hiyo iko katika kijiji alichozaliwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema bwana finias magesa ambaye pia aliwahi kujitolea kujenga mabweni kwa ajili ya wanafunzi hao
tukio hilo lilitokea ijumaa saa kumi jioni wakati msafara wa kampeni za mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm bibi lolensia bukwimba UNK jirani na shule hiyo na wanafunzi kuzomea huku wakishika vichwani na kuonesha alama ya vidole viwili inayotumiwa na chadema hali hiyo ya kuzomea UNK mmoja wa makada wa ccm bwana oscar mag...
mara baada ya kuambiwa tukio hilo mkuu huyo shule UNK mwalimu mmoja kuwachapa viboko wanafunzi wote lakini wengine waligoma hivyo kufanikiwa kuwachapa hao ambao wote ni wa kidato cha kwanza
baada ya hali hiyo jana wazazi wa wanafunzi hao waliandamana hadi shuleni hapo na kulazimika kuitisha kikao cha dharura na mkuu wa shule hiyo ambaye hata hivyo alikana kuagiza mwalimu kuwachapa viboko wanafunzi hao
alidai alichosema yeye ni kuwaonya wanafunzi UNK vyama vyovyote vya siasa lakini si kuwapiga wanafunzi kama alivyofanya mwalimu huyo ambaye anadaiwa kutoroka tangu siku ya tukio na hajulikani mahali alipo
hata hivyo mkuu huyo wa shule alilazimika kuwaomba msamaha wazazi wa wanafunzi hao na kuwa kitendo hicho UNK tena kufanywa na mwalimu yeyote shuleni hapo
katika hatua nyingine chadema UNK diwani wa kata ya busanda bwana alphonce matonange na makada wawili wa chama hicho wakidaiwa kuorodhesha majina na shahada za wapiga kura kwa lengo la UNK
akithibitisha tukio hilo kamanda wa polisi busanda ssp kimea alisema tayari watu hao wanashikiliwa katika kituo kikuu cha polisi mjini geita
alisema mbali ya diwani huyo wengine wanaoshikiliwa ni bwana abdallah ibrahim na bwana japhet UNK ambao walikutwa wakiwa na orodha ya majina zaidi ya ishirini pamoja na namba za shahada za wapiga kura
UNK watu hao watatu wakati tukiendelea na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo alisema kamanda huyo na kuongeza kuwa walikamatwa juzi saa mbili usiku
hali ya wasiwasi imeendelea tena kwa wakazi wa mbagala dar es salaam baada ya bomu lingine kulipuka kwenye kikosi cha jeshi cha mia tano na kumi na moja kj saa kumi na moja thebathini jioni jana na kuzua hofu kwa wananchi
kwa mujibu wa walioshuhudia mlipuko wa bomu hilo hali ya amani iliyokuwa imerejea baada ya maghala ya jeshi la wananchi wa tanzania kuteketezwa kwa moto wiki iliyopita UNK tena baada ya bomu lingine kulipuka
mkazi wa eneo hilo bwana charles kalumanga alisema wakazi wa mbagala walilazimika kukimbia na kuyaacha makazi yao huku wengine wakihoji iweje serikali UNK kurejea kwa amani bila kuwa na uhakika
huku UNK kutokana na kukimbia bwana kalumanga alisema wakazi wa mbagala wako tayari kuhama eneo hilo iwapo serikali UNK kuwa hali ya utulivu UNK wiki iliyopita UNK
alisema baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichosababisha hofu kwa wakazi wa mbagala wananchi UNK nyumba zao na kukimbia hovyo huku wengine wakiacha maduka yao yakiwa wazi
hivi tunavyoongea tuko eneo la sabasaba UNK hatuelewi bomu hilo UNK wapi