text
stringlengths
1
1.32k
tunaishi kwa wasiwasi kama ndege inasikitisha alisema bwana UNK
alisema hii ni mara ya tatu kwa wakazi wa mbagala kukimbia bila mwelekeo hali iliyosababisha baadhi yao kupoteza maisha kwa mabomu kukimbia na wengine kunasa katika mto kizinga
hivi karibuni waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa daktari hussein mwinyi aliwataka wakazi wa mbagala kutulia wakati wataalam wa kutegua mabomu kutoka makao makuu ya jeshi walipofanya kazi ya kulipua mabomu UNK
hata hivyo shughuli hiyo iliendeshwa kwa saa kadhaa na hatimaye jeshi kutoa taarifa kwa wananchi kuwa hakuna mabomu yaliyosalia kwenye eneo la jeshi UNK
kutokea kwa mlipuko huo wa bomu UNK mwelekeo wa wakazi wa mbagala kwa mara nyingine hasa katika kipindi hiki ambacho bado wana kumbukumbu ya kupoteza maisha ya ndugu zao
aprili ishirini na tisa mwaka huu saa sita mchana jiji la dar es salaam na vitongoji vyake liligubikwa hofu na simanzi kufuatia milipuko mizito ya mabomu hayo iliyosababisha wakazi wake UNK
tukio hilo lilisababisha vifo vya watu ishirini na sita kati yao wakiwemo wanajeshi sita huku mamia wa wakazi wa eneo hilo wakibaki bila makazi baada ya nyumba zao kuteketea
balaa hilo lilikuja baada ya kulipuka ghala la silaha yakiwemo mabomu katika kambi ya jeshi jwtz iliyopo eneo la mbagala kizuiani
tafrani hiyo iliwafanya wakazi wa maeneo yote ya mbagala kukimbia huku na kule ilhali wafanyakazi katika ofisi zikiwemo zile za maeneo ya katika kati ya jiji wakitikishwa kwa vishindo vizito vya mabomu hayo ambapo mengine UNK kuruka na kutua maeneo ya mbali na kambi hiyo
ofisi mbalimbali jijini zilifungwa na wafanyakazi kuruhusiwa kurudi majumbani hususani wanaofanya kazi kwenye majengo marefu ya ghorofa kwa ajili ya usalama wao
katika maeneo ya mtoni kijichi baadhi ya watu walilazimika kukimbilia baharini na nusura baadhi yao wanase kwenye tope baada walipokuwa wakijaribu kuokoa roho zao kutokana na milipuko hiyo
tukio hilo lililokuwa kama vita ambalo liliwalazimu wakazi hao kuhaha huku na kule huku wengine wakiwa wamejeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao na baadhi yao kulazimika kuzikimbia nyumba zao kuhofia usalama wa maisha yao
tukio hilo lilisababisha maduka kufungwa watu kutembea mwendo mrefu kwa miguu kutokana na daladala nyingi kusimamisha huduma huku wanajeshi wakilazimika kusaidia kukusanya watoto waliokuwa wakitangatanga baada ya kusambatarishwa na kupotezana na familia zao
baadhi ya wakazi walilazimika kutoka na kukimbilia katika vituo vya polisi kwa ajili ya kujaribu kunusuru roho zao
mabomu hayo kadri muda ulivyokuwa ukienda yaliendelea kulipuka na kudondokea nyumba za watu
baada ya tukio hilo serikali ilitangaza kugharamia shughuli zote za mazishi ya kwa waliokufa huku ikitoa ubani wa shilingi milioni moja kwa kila familia UNK
hadi sasa shughuli ya kufanya tathmini kwa ajili ya kulipa fidia wakazi hao inaendelea na misaada mbalimbali ikitolewa kwa waathirika hao
mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi bibi anne kilango malecela leo anatarajia kuvamia jimbo la busanda mkoani mwanza kumsaidia mgombea ubunge wa chama chake
akizungumza jijini hapa jana bibi kilango alisema licha ya kutumwa na chama chake pia ameshawishika kwenda kumsaidia mwanamke mwenzake kwa kuwa yeye ana jimbo hivyo atampa mbinu za ushindi na namna ya kukabiliana na wanaume kwenye uchaguzi
mimi kama mwanamke mwenye jimbo nimeona UNK UNK moyo mwenzangu ni namna gani ataweza kupata ushindi ikiwa ni pamoja na kumpa mbinu za kuwashinda wanaume kwenye uchaguzi
kama mwanamke ambaye UNK na wanaume katika jimbo la same mashariki na UNK naelewa matatizo UNK wanawake wakati wa uchaguzi kwa kuwa mambo mengi mabaya UNK dhidi yao lakini naamini UNK mbinu atashinda alisema bibi kilango
bibi kilango ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanamke jasiri mwaka ishirini sifuri tisa nchini alisema kwa mfumo dume UNK hasa barani afrika kama mwanamke hatakuwa jasiri hawezi kupata hata ubalozi wa nyumba kumi
katika uchaguzi huo ccm imemsimamisha bibi lolensia bukwimba wakati chadema UNK bwana finias magesa
mahakama kuu ya tanzania imemwamuru mhariri wa gazeti la mwanahalisi bwana saed kubenea kumlipa fidia ya shilingi bilioni tatu mbunge wa igunga bwana rostam aziz kutokana na kuchapisha habari za uongo na chuki
uamuzi huo ulitolewa aprili thebathini mwaka huu na jaji robert makaramba ambaye mbali na UNK gazeti hilo kulipa fidia hiyo pia UNK kuomba msamaha katika ukurasa wa kwanza haraka iwezekanavyo
amri hiyo inatokana na kesi iliyofunguliwa na bwana aziz dhidi ya mhariri na wachapishaji wa gazeti hilo akidai fidia ya kiasi hicho cha fedha kutokana na kuchapishwa kwa habari za uongo zinazomhusu mbunge huyo
habari hizo UNK na gazeti hilo toleo la februari kumi na tatu kumi na tisa mwaka jana katika ukurasa wa kwanza zikiwa na kichwa cha habari richmond ya rostam aziz ikulu ndiye UNK nchini lowassa UNK kwa mujibu wa habari hiyo mlalamikaji huyo ni mmoja wa watu wanaoshiriki katika mambo mbalimbali ya kughushi lakini pia a...
alidai habari hizo UNK heshima katika nafasi yake ya ubunge lakini pia kama mfanyabiashara mkubwa nchini hivyo akaamua UNK kortini gazeti hilo akidai kulipwa fidia hizo
wadai wengine katika kesi hiyo wanaotakiwa kulipa fidia hiyo ni wachapishaji wa gazeti hilo kampuni ya hali halisi publishers limited na UNK kampuni za UNK limited na standard printers limited
akizungumza dar es salaam jana wakili wa bwana aziz bwana kennedy UNK ambaye amewaandikia wadaiwa akiwapa siku kumi na nne kulipa fidia hiyo alisema standard printers limited na mteja wake wanafanya mazungumzo ili kumalizana nje ya hukumu hiyo
hata hivyo akizungumza na majira kwa simu jana mhariri mtendaji wa mwanahalisi bwana saed kubenea alidai wamepokea uamuzi huo kwa masikitiko kwani UNK haki yao ya kikatiba ya kusikilizwa
alisema tayari wakili wake bwana mabere marando amekata rufani dhidi ya hukumu hiyo kuomba kurudishiwa haki hiyo ya kikatiba
hukumu imetolewa bila sisi kusikilizwa
UNK UNK mahakama ya rufani
wakili wetu jana alikwenda kukataa rufani ili UNK alidai na kuongeza kuwa bwana aziz hapaswi kutamba kwa ushindi mdogo aliupata kwani anaamini UNK mbele ya safari
rostam UNK ushindi alioupata huu bado kiduchu tuna hakika UNK mbele ya safari alitamba bwana kubenea
alisema gazeti lake litaendelea kufichua maovu bila woga na kwamba uamuzi wa kesi hiyo kamwe UNK nyuma
mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam imeutaka upande wa utetezi katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha kwenye akaunti ya madeni ya nje kuhakikisha mfanyabiashara maarufu bwana jeetu patel anahudhuria kortini siku UNK
hatua hiyo ilifikiwa jana baada ya mshitakiwa huyo kushindwa kufika wakati kesi ilipokuwa ianze usikilizwaji wa awali
kesi hiyo ipo mbele ya jopo la mahakimu watatu bibi grace mwakipesile bwana john UNK na bwana ruwaichi meela ambao UNK na kuutaka upande huo kuhakikisha mshitakiwa UNK siku ya UNK
mshitakiwa huyo alikwama kufika kortini hapo kutokana na kuwa na ahadi ya kuonana na daktari wa matatizo ya moyo kama alivyowahi UNK mahakama hiyo
akiwasilisha ombi la kuahirishwa wakili wa upande wa utetezi bwana mpaya kamala alidai walipata taarifa kutoka kwa mshitakiwa inayoeleza sababu za kutofika mahakamani
tunaomba kuahirisha kesi kwani tumepata barua ambayo inaeleza kuwa mshitakiwa ana ahadi ya kuonana na daktari wake hivyo tunaomba ipangwe tarehe nyingine aliomba bwana UNK
kutokana na maombi hayo pande zote mbili zilikubaliana kusikiliza kesi hiyo mei ishirini na nane mwaka huu ambapo washitakiwa UNK maelezo ya awali
awali bwana patel aliwasilisha ombi kortini akidai kushauriwa na hospitali ya hindu mandal kwenda india kuonana na mtaalam wa moyo hatua UNK na kutakiwa kuonana na madaktari wa nchini
mshitakiwa huyo na wenzake wanakabiliwa na kesi ya wizi wa shilingi bilioni mbili sita kupitia kampuni ya bencon international ltd ya tanzania na matsushita electric trading company ya japan
wengine katika kesi hiyo ni bwana devendra patel na bwana amit UNK
serikali inathamini kazi zinazofanywa na wauguzi hivyo kuwataka UNK kuwa ni chanzo cha mabadiliko ikiwemo kila mmoja kukemea maovu ya mwenzake na kutoa taarifa ili wasiotaka kubadilika wachukuliwe hatua
waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma bibi hawa ghasia aliyasema hayo jana dar es salaam wakati akizindua mradi wa kuboresha na kuimarisha maadili kwa wauguzi tanzania
hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wateja wa huduma za afya kuhusu ubora wa huduma zinazotolewa na UNK
malalamiko haya yanasababishwa na ukosefu wa uadilifu upendo na uwajibikaji kwa baadhi ya watoa huduma wetu wakiwemo wauguzi na wakunga alisema
alisema maadili ya uuguzi UNK tabia ya wema upole huruma UNK na heshima katika kujali uhai na maisha ya mgonjwa na jamii kwa ujumla na muda wote wanatakiwa kulinda maisha ya watu na kuhifadhi siri na taarifa wanazopata wakati wa kutoa huduma
bibi ghasia alisema kwa kuzingatia kuwa wauguzi na wakunga ni zaidi ya asilimia sitini ya watoa huduma za sekta ya afya ni wajibu wa kila mmoja kutoa mchango mkubwa unaohitajika kufikia malengo ya milenia na kuinua hali ya afya za akina mama na kuzuia vifo vyote vinavyoweza kuepukika
serikali inafanya kila jitihada kuongeza idadi ya wataalamu wa huduma za afya na vituo vya kutolea huduma hadi katika ngazi ya kijiji
leo UNK mwito kuwa ni wajibu wa kila muuguzi kuchukia ukiukwaji wa maadili na kuwa mwadilifu kwa umma wa watanzania alisema
alisema serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote kuanzia ngazi ya chini ili mpango wa kuboresha elimu ya maadili kwa wauguzi uwe wa mafanikio
benki ya dunia imesema kutokana na mtikisiko wa uchumi duniani imedhamiria kusaidia watu wasio na ajira na wasiokuwa na elimu ya kutosha
akizungumza dar es salaama jana mkurugenzi wa benki hiyo bwana john UNK alisema ili jambo liweze kufanikiwa UNK kuwepo na uwazi na uwajibikaji katika jamii na sekta binafsi ili kupata maendeleo katika jamii UNK
UNK programu ya tanzania ya ushindani kwa sekta binafsi UNK mazingira ya biashara na kuimarisha uwezo wa sekta binafsi katika kukabiliana na ushindani kwenye masoko ya kanda na ya kimataifa alisema bwana UNK
alisema sekta binafsi UNK ina mchango mkubwa katika kutoa ajira nzuri na kuongeza kipato kwa watanzania
alisema benki yake itaboresha ukusanyaji kodi na kuimarisha uwezo wa mamalaka ya mapato tanzania katika kubuni na kutumia sera endelevu za kodi ambazo zitasaidia kuongeza mfumo mzuri kukusanya mapato bila UNK shughuli nyingine
naye ofisa mradi wa uwazi na uadilifu katika viwanda bwana UNK rwechungura alisema unalenga kuweka uwazi katika mapato ya serikali
tunataka kuleta uwazi kwa serikali kutoa taarifa ya mapato yanayotokana na malipo ya leseni na kodi za wananchi
pia kampuni UNK nchini katika madini na sekta nyingine zinatakiwa kuwa wazi alisema
bwana rwechungura alisema serikali na kampuni binafsi hazina utaratibu wa kutangazia umma kuhusu mapato hayo na hakuna sehemu maalumu ambayo umma unaweza kupata taarifa za mapato
naye mkurugenzi mtendaji wa asasi za kiraia tanzania bwana john ulanga alisema changamoto UNK nayo ni kutokuwepo na uwazi katika utekelezaji hali inayosababisha wananchi kuwa na maoni tofauti
ni kufuatia lililolipuka juzi
mengine si rahisi kuonekana serikali imesema inaandaa mpango wa kutafuta masalia ya mabomu kwa kutumia satelaiti kwa vile kuna baadhi ya mabomu yapo ardhini na ni vigumu kuyaona kwa haraka
akizungumza dar es salaam jana waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa daktari hussein mwinyi alisema baada ya kuteketeza mabomu yaliyokuwa UNK vyombo vya usalama vinaendelea na jitihada ya kutafuta ambayo hayawezi kuonekana kwa haraka na satelaiti hiyo itakuwa ikizunguka juu na chini kuangalia
baada ya kuona zoezi ni gumu tumejaribu kuomba msaada sehemu mbalimbali na hivi sasa tunategemea kupata satelaiti kwa ajili ya kukagua mabaki hayo ya mabomu maana kuna yaliyokuwa ardhini alisema
hata hivyo waziri mwinyi hakufafanua kuwa msaada huo wa satelaiti unatoka sehemu gani kwa madai atalitolea ufafanuzi suala hilo pindi tu mpango mzima UNK
muda wowote kuanzia sasa tutaanza shughuli hiyo ya kutafuta mabomu kwa satelaiti kwa kuwa jambo hili ni la haraka sana na tutatoa taarifa wapi tunakopata msaada huo pindi tutakapokuwa na satelaiti hiyo mikononi aliongeza
pia alitolea ufafanuzi kuhusu bomu UNK juzi na kudai UNK lenyewe kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari UNK isipokuwa bomu lile UNK wakati wataalam UNK usalama na baada ya kuliona walitoa taarifa kwa wananchi wa eneo la karibu na UNK
ni bomu moja hatuwezi kutangaza nchi nzima isipokuwa UNK wakazi wa eneo hilo na kisha UNK alisema
wakati huo huo marekani na uingereza zimetoa msaada wa vifaa vya kijeshi kwa jeshi la ulinzi nchini vyenye thamani ya pauni milioni nne kwa ajili ya wanajeshi watakaokwenda kulinda amani darfur nchini sudan
akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya msaada huo kaimu balozi wa marekani bwana UNK andrew alisema wataendelea kuunga mkono utekelezaji kamili wa makubaliano ya amani katika jimbo la darfur
wanajeshi mia nane na sabini na tano wanatarajia kuondoka nchini mwishoni mwa mwezi ujao kwenda darfur na kati ya hao themanini sifuri ndio watakaofanya kazi ya kulinda amani na sabini na tano ni wanajeshi wahandisi ambao UNK kwa ajili kuweka mahema na kazi nyinginezo
mahakama kuu ya tanzania kitengo cha biashara imetupilia mbali pingamizi la kampuni ya kufua umeme ya dowans UNK kutupwa kwa maombi ya shirika la umeme tanzania UNK mahakama hiyo kuzuia uuzwaji wa mitambo yake
uamuzi huo ulitolewa jana mahakami hapo mbele ya jaji robert makaramba baada ya kupitia hoja za pande zote mbili zilizowasilishwa kwa njia ya maandishi mahakamani hapo
akitoa uamuzi huo jaji makaramba alisema kuwa hoja zilizowasilishwa na dowans zikitaka maombi ya tanesco UNK si za msingi na UNK mahakama hiyo
kutokana na hoja za dowans ambazo zinadai kuwa mahakama hii haina mamlaka ya kutoa uamuzi kuhusiana na maombi haya sio za msingi hivyo pingamizi hili UNK alisema jaji UNK
baada ya kutupwa kwa pingamizi hilo mahakama ilizitaka pande zote mbili kukubaliana tarehe kwa ajili ya kusikiliza pingamizi la tanesco dhidi ya dowans
pingamizi hilo la tanesco linadai kuwa kiapo cha dowans kina makosa na UNK taratibu za sheria
kuhusiana na usikilizwaji wa pingamizi hilo pande zote mbili UNK kuwasilisha hoja zake kwa njia ya mdomo ambapo UNK mei ishirini na sita mwaka huu
awali tanesco waliwasilisha maombi mahakamani hapo wakiomba mahakama itoe zuio kwa dowans kuuza mitambo yake au itoe asilimia kumi ya dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama dhamana ya gharama ya mitambo hiyo
tanesco iliomba zuio hilo hadi shauri lililowasilishwa na kampuni ya dowans kwenye mahakama ya UNK ya kimataifa iliyoko paris ufaransa litakapotolewa uamuzi
kutokana na kuwasilishwa kwa maombi hayo dowans iliwasilisha pingamizi mahakamani hapo ikidai kuwa maombi hayo yaliwasilishwa mahakamani kwa kutumia kifungu kisichokubalika katika uwasilishaji wa maombi hayo
dowans ilikuwa ikipinga maombi ya tanesco kwa kuwa UNK kwa kutumia kifungu tisini na tano cha sheria ya mwenendo wa madai na ibara ya ishirini na tatu ya sheria ya kimataifa ya UNK ya biashara
hatua hizo UNK na tanesco UNK kuingia makubaliano ya usambazaji wa umeme wa dharura na kampuni ya richmond ambayo ilielekeza majukumu yake kwa kampuni ya dowans holding UNK na baadaye dowans holdings ilielekeza majukumu yake kwa kampuni dada ya dowans tanzania limited
kutokana na makubaliano hayo na kufanyika kwa mapitio ilibainika upungufu hatua iliyoifanya tanesco kuiandikia dowans kuwa uhamishaji wa majukumu yake kiutendaji haukuwa halali
novemba mbili mwaka jana dowans UNK kesi katika mahakama ya kimataifa ikidai kiasi cha dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama gharama za huduma za umeme ambazo zilikuwa hazijalipwa
ndege iliyokuwa imechukua mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi ccm bibi anne kilango malecela na kada mwingine wa chama hicho bwana abdulrahman kinana ikitokea dar es salaam kwenda mwanza imepata hitilafu angani na kulazimika kurudi dar es salaam
akizungumza kwa simu jana bibi kilango ambaye pia ni mbunge wa same mashariki alisema hitilafu hiyo ilitokea baada ya kusafiri mwendo mrefu na ndege hiyo ya UNK kulazimika kurudi dar es salaam
bibi kilango na bwana kinana walikuwa safarini kwenda busanda kupitia mwanza kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kumnadi mgombea kwa tiketi ya ccm bibi lolensia bukwimba kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo hilo
mwandishi wa habari hizi ambaye alikuwa uwanja wa ndege mwanza kuwasubiri wanasiasa hao ambao walipanga kuzungumza na waandishi baada ya kutua alifahamishwa na meneja wa precision air wa mwanza bwana peter dismas kuhusu hitilafu ya ndege hiyo iliyosababisha ishindwe kuendelea na safari
ni kweli ndege imepata hitilafu ikiwa angani na imebidi irudi kutua na kuahirisha safari
lakini abiria hao watapanda aidha ndege hiyo baada ya hitilafu hiyo kurekebishwa au nyingine kesho saa kumi na mbili asubuhi na watafika mwanza saa tatu asubuhi alisema bwana dismas
bibi kilango alisema licha ya kutumwa na chama chake pia ameshawishika kwenda kumsaidia mwanamke mwenzake kwa kuwa yeye ana jimbo hivyo atampa mbinu za ushindi na namna ya kukabiliana na wanaume kwenye uchaguzi
katika uchaguzi huo utakaofanyika mei ishirini na nne mwaka huu mchuano mkubwa ni kati ya bibi bukwimba na mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana finias magesa
vilio simanzi na majonzi vimetawala eneo la mbagala jana baada ya mabomu manne kulipuliwa katika kambi ya mbagala kizuiani wakati UNK na kusababisha watu sabini na sita kuzirai na wawili kuangukiwa na UNK