text
stringlengths
1
1.32k
mabomu hayo ambayo ni mabaki ya yaliyolipuka katika kambi hiyo aprili ishirini na tisa mwaka huu na kusababisha vifo vya watu ishirini na sita na kuharibu nyumba sabini sifuri na mali nyingine yalianza kulipuliwa saa kumi jioni
awali gari ya matangazo ya halmashauri ya jiji ilipita katika mitaa mbalimbali ya mbagala na kutangaza kuwa ni bomu moja ndilo UNK na kuwataka wakazi hao UNK na kuendelea na shughuli zao kama kawaida
kutokana na tangazo hilo wananchi hao hawakuwa na wasiwasi wowote na waliendelea na shughuli zao kama kawaida
baada ya bomu kuwa hafifu wakazi hao walionesha dharau dhidi ya bomu hilo
hali iligeuka saa kumi kumi na tano jioni baada ya bomu la tatu kulipuka kwa kishindo kikubwa ndipo watu walianza kuzirai na wengine wakipiga kelele za kuomba msaada
saa kumi arobaini na tano jioni taarifa zilianza kumiminika katika kambi ya msalaba mwekundu iliyokuwa jirani na ofisi za kata ya mbagala kuu kutoka katika maeneo la mbagala kuu kijichi mgeni nani na kizuiani kuwa kuna watu UNK
hali hiyo ilimpa wakati mgumu mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo na watu wake wakiwa na magari ya halmashauri yaliyokuwa UNK misaada katika eneo hilo na kuondoka saa kumi arobaini na tano jioni huku akiwaacha watu wa msalaba mwekundu skauti na polisi wakihaha kuwahudumia watu waliozirai huku wakiwa na uhaba wa...
watu hao waliokuwa wamezirai walichukuliwa katika maeneo mbalimbali katika mitaa ya mji huo hali iliyowapa taabu msalaba mwekundu ambao walionekana kuchoka na wengine wakilaumu uamuzi UNK na mkuu huyo wa UNK
hata hivyo mmoja wa maofisa wa chama hicho aliamua kumpigia simu mkuu huyo na kuomba msaada wa magari lakini alijibu kuwa hakukuwa na gari yoyote ambayo ingefika kutoa msaada
wakizungumza na majira jana wakazi wa mbagala walilaani kitendo cha kutoa tangazo kuwa jeshi hilo UNK bomu moja lakini UNK zaidi
watu walijua kuwa leo UNK bomu moja lakini mabomu zaidi UNK
sasa hii ni siasa au UNK
alihoji bwana geoffrey UNK
alisema ipo haja ya serikali kuwa kutoa taarifa sahihi kwa wananchi wake kutokana na hali halisi ya matukio yake
akizungumza na majira kaimu mganga mkuu wa hospitali ya temeke bwana gilbert buberwa alisema wagonjwa hao walianza kufikishwa hospitalini hapo saa kumi thebathini mpaka sasa tumepokea watu sabini na sita kati yao ni watoto wawili wa jinsia tofauti kati ya hao UNK hakuna aliyekuwa na jeraha lolote wamezirai kwa mshituk...
mjumbe wa mtaa wa mbagala UNK bwana halfan hamis alisema serikali kuwa UNK kuwa kutakuwa na ulipuaji wa bomu moja kati ya yale yaliyosalia lakini tofauti na ilivyotangazwa mabomu yaliyolipuliwa ni manne
hadi tunakwenda mitamboni jeshi la polisi na jeshi la wananchi wa tanzania wakishirikiana na msalaba mwekundu walikuwa bado wanaendelea na shughuli ya kupeleka wagonjwa hospitalini
nao wanafunzi wawili abdul kondo wa shule ya msingi maendeleo na maria maganga wa shule ya sekondari ya mtakatifu anthony wameeleza jinsi milipuko ilivyotokea mpaka wao UNK UNK hapo
wakizungumza kwa nyakati tofauti abdul alisema bomu la mwisho kulipuka ndilo lililomfanya akawa katika hali hiyo ambapo baada ya kulipuka utumbo UNK moyo na kichwa kuuma na ghafla UNK
alisema aliaga nyumbani kwao anakwenda kumuona mama yake mkubwa ambaye yupo mbali na kambi hizo lakini alishangaa kujikuta UNK na dhahama hiyo
naye maria alisema wakati akiwa njiani alishangaa kuona nguvu UNK ghafla kwa kuanguka chini huku kichwa UNK ambapo baada ya muda alianguka chini na kujikuta yupo hospitalini
imeripotiwa na edmund mihale mercy james joyce ngowi na zahoro milanzi kampuni ya simu za mkononi zain imeshaanza kutayarisha vifaa mbalimbali ikiwemo kamera kwa ajili kusajili upya wateja wake
meneja uhusiano wa zain bibi beatrice malya alitoa kauli hiyo dar es salaam jana baada ya kuulizwa na majira kuhusu tamko lililotolewa na mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano tanzania kuhusu usajili wa simu za mkononi
kuhusu usajili wa simu za mkononi sisi kama zain tumejiandaa kwa sababu tunaamini ni kitu kinachofanyika kwa nia njema alisema na kusisitiza kuwa hawatatumia muda mrefu kukamilisha kazi hiyo
naye ofisa uhusiano wa vodacom bwana UNK mtambalike alipoulizwa kuhusu suala hilo alisema lipo serikalini na kuongeza kuwa tangu mwanzo mpango huo UNK na wizara ya mambo ya ndani hivyo wao hawawezi kuzungumza lolote
akizungumza na wahariri wa habari dar es salaam juzi mkurugenzi mkuu wa tcra profesa john nkoma alisema mamlaka yake inaendelea na uandikishaji wa kadi za simu pamoja na simu ili kuweka usalama zaidi katika sekta ya mawasiliano hasa kwa UNK vibaya
viongozi wa ccm wanaoshindwa katika uchaguzi ndio wasioitakia mema jumuiya ya wazazi ya chama hicho kwa kuunga mkono mawazo ya kuivunja wakidhani ndio chanzo cha kushindwa kwao
hayo yalisemwa jana na kaimu mwenyekiti wa wazazi bwana athuman mhina alipokuwa akifungua mkutano wa makatibu wa wazazi wa mikoa uliofanyika dar es salaam kwa ajili ya kujadili masuala yanayoweza kufanikisha mkutano mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu
alisema hivi karibuni kamati kuu ya ccm ilikutana ikulu na baadaye dodoma hoja ziliibuka kutoka kwa baadhi ya viongozi wakihoji kuna haja gani ya kuendelea kuwa na shule za wazazi
wale waliokuwa wanasema hakuna haja ni UNK nao wanaoshindwa katika uchaguzi kisha wanadai jumuiya ya wazazi ndio iliyosababisha kushindwa kwao alisema
mwenyekiti alimpongeza mwanasiasa mkongwe bwana kingunge ngombale mwiru kwa kuitetea jumuiya hiyo walipokuwa dodoma ambapo alisema haiwezi kuvunjika kipindi hiki wakati ilishindikana alipokuwa hai mwalimu nyerere
rais jakaya kikwete kasema UNK jumuiya ya wazazi shule za wazazi UNK kamwe zinafanya vizuri hata matokeo ya kidato cha sita yanaonesha alisema na kuongeza hatakuwa tayari kubishana na mkubwa siasa haina madarasa bali ina uzoefu uwezo na ujuzi
bwana mhina aliwaasa makatibu kuwa wasikivu mkutano wao uwe wa kihistoria kusiwepo matusi kama yanavyokuwa katika jumuiya zingine wanapofanya mikutano yao
makatibu wa wazazi wa mikoa waliofika ni ishirini na tano kati ya ishirini na sita waliotarajiwa kuhudhuria mkutano huo na wakuu wa shule wote walihudhuria kikao hicho
kampuni ya changanyikeni residential complex ltd inayodaiwa kuiba mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje haikuwa na ofisi na badala yake ilikuwa ni ya mfukoni
mbali na hiyo pia kwa mujibu wa maelezo ya mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo bwana bahati mahenge usajili wake na ufunguaji akaunti ya kupitishia fedha ulifanyika kwa maelekezo ya ofisa wa benki kuu ya tanzania na mshitakiwa bwana manase UNK
hayo yalibainika jana mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam mbele ya jopo la mahakimu bibi sekela moshi bwana sam rumanyika na bwana lameck mlacha wakati wa usikilizwaji wa kesi ndani ya kesi
korti ilifikia hatua hiyo baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa kwa maelezo ya onyo ya mshitakiwa wa kwanza kwa madai wakati wa uchukuaji maelezo hayo UNK ili kushinikizwa kukubaliana na wizi huo
katika kuthibitisha mshitakiwa UNK upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi kwa ajili ya kuieleza mahakama namna mshitakiwa huyo UNK huduma wakati alipokuwa katika ofisi za uchunguzi wa kesi za epa maelezo ya mshitakiwa huyo yalichukuliwa na acp mataba ambaye ni shahidi wa nne aliyeeleza namna UNK maelezo hayo ambayo ...
bwana mataba alidai mshitakiwa alikiri kuhusika na wizi huo
kwa mujibu wa maelezo ya mshitakiwa ambayo UNK kortini yalidai yeye binafsi hakufahamu kama kampuni ilifunguliwa kwa kazi gani bali UNK na bwana manase ambaye alikuwa akishirikiana na ofisa wa bot bwana UNK katika mchakato mzima
maelezo hayo yalidai alishiriki kwenda ofisi za brela kwa ajili ya ujazaji fomu za usajili wa kampuni ambapo alitumia jina la samson mapunda na kuigiza saini kwa jina hilo
naye shahidi wa pili ambaye alikuwa mlinzi wa ofisi za wapelelezi wa epa koplo UNK alidai mshitakiwa alikuwa akipata huduma za kuoga katika ofisi hizo na chai wakati akitokea mahabusu ya oysterbay
alidai baada ya kupatiwa huduma hizo alimsikia mshitakiwa akisema kumbe ukiwa UNK na serikali na serikali UNK UNK hivi mie UNK hilo
hayo ni maneno ya bwana mahenge ambaye ni mshitakiwa aliyedai kuteswa kwa kunyimwa chakula ili akiri kuiba mabilioni hayo
bwana mahenge na wenzake bwana bahati mahenge bwana manase mwakale bwana davis kamungu bwana godfrey mosha na bibi eda mwakale wanadaiwa kuiba shilingi moja mia moja na themanini na sita mia tano na thebathini na nne thebathini tatu kesi inaendelea leo
mkazi wa mkuranga mkoani pwani bwana juma salum amemuua mke wake na mtoto kwa panga kisha kujinyonga kwa kitanzi cha waya wa simu baada ya kubaini mkewe ana uhusiano nje ya ndoa yao
akizungumza kwa simu kutoka kibaha jana kamanda wa polisi mkoa wa pwani bwana absalom mwakyoma alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku ambapo alimuua mke wake bibi asha ally na mtoto wake wa miezi minane maneno juma na kuwatupa shambani umbali wa meta thebathini kutoka nyumba waliyokuwa UNK
alisema baada ya kuwaua naye alikwenda kwenye shamba la baba yake mkubwa lililopo umbali wa meta arobaini sifuri na kujinyonga kwa kutumia waya UNK juu ya mti wa UNK
bwana mwakyoma alisema kabla ya kutokea mauaji hayo majirani walisikia kelele za mwanamke huyo lakini UNK kwenda kutoa msaada kwa kuwa UNK mwanaume huyo alikuwa ana matatizo ya akili
alisema baada ya kelele kupungua majirani walijitokeza kujua kilichotokea ambapo hawakukuta mtu na ndipo walipoanza kuwasaka maeneo mbalimbali ya nyumba yao
aliongeza kuwa jana saa tisa alasiri wanakijiji hao walifanikiwa UNK maiti hizo tatu katika mashamba hayo na ndipo walipotoa taarifa polisi
kamanda mwakyoma alisema siku moja kabla ilidaiwa kulifanyika kikao nyumbani kwa bwana salum na wana familia yake ambapo walikuwa wana ugomvi akimtuhumu mke wake kutembea nje ya ndoa ambapo mke huyo alikiri kisha kuomba samahani na walikubaliana kuyamaliza
alisema cha kushangaza mwanaume huyo kumbe alikuwa bado na kinyongo moyoni na ndipo alipoamua kutimiza azma yake kwa UNK familia yake
maiti walifanyiwa uchunguzi na daktari na kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya mazishi
mkazi wa kijiji cha UNK kata ya nyahongo wilaya ya rorya mkoani mara bwana magori kitera UNK mwenzake bwana charles waryoba kwa kuidharau kamati ya ardhi ya kijiji hicho kwa kuendelea kumtishia na kukata miti ambayo ni vielelezo vya mpaka vilivyowekwa na kamati hiyo
akizungumza ofisi za majira dar es salaam jana bwana kitera alidai licha ya kulifikisha tatizo hilo la mpaka katika kamati ya kijiji hicho na bwana waryoba kukiri kwa maandishi kutonggoa vielelezo vya mpaka huo lakini amekuwa akiendelea UNK
mwaka ishirini sifuri saba UNK katika kamati ya ardhi ya kijiji na bwana waryoba alikiri na kuomba msamaha kwa kutorudia tena UNK vielelezo vya mpaka huo
UNK na kamati ya ardhi iliridhia msamaha huo na kukubali kwenda kuweka UNK vya mpaka alidai bwana UNK
alifafanua kuwa kwa kuwatumia vibarua chini ya UNK wa kamati ya ardhi ya kijiji walipanda miti ambayo UNK kati ya shamba la bwana waryoba na kiwanja chake anapoishi
pia alieleza kuwa baada ya muda mfupi alishangaa kuona bwana waryoba UNK na kukata michongoma iliyowekwa na kamati ya ardhi ya kijiji hicho kuwa mpaka
bwana kitera alionesha barua ya uthibitisho ya mtendaji wa kata ya nyahongo tarime ya julai ishirini na sita ishirini sifuri saba ambayo inaonesha kuwa bwana waryoba akikiri kutonggoa vielelezo vya mpaka uliowekwa na kamati ya ardhi ya kijiji hicho inayotekeleza majukumu ya serikali
mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu imewataka wamiliki wa pikipiki aina ya bajaj nchini kuhakikisha zinakuwa na mikanda ili kuwalinda abiria na ajali zinazotokea mara kwa mara
akizungumza dar es salaam jana UNK mkuu wa sumatra bwana israel UNK alisema kuanzia sasa abiria na madereva wa bajaj wanatakiwa kufunga mikanda ili kuwalinda na ajali za mara kwa mara kwa pikipiki hizo za magurudumu matatu
alisema wamiliki wa bajaj na madereva wao wanatakiwa wanunue mikanda hiyo kwa ajili ya abiria wanaotumia usafiri huo na kuhakikisha UNK abiria si zaidi ya watatu tu
dereva wa bajaj anatakiwa awe na leseni ya daraja c tatu ndipo ataruhusiwa kubeba abiria pamoja na UNK bima ili abiria wanapopata ajali waweze kulipwa alisema bwana UNK
mkurugenzi huyo alisema pia madereva wa pikipiki za kawaida wanatakiwa kubeba abiria mmoja na ni lazima dereva na abiria wake wavae kofia za kuwakinga na ajali
naye kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi bwana james kombe alisema atatoa mafunzo kwa wamiliki madereva wa bajaj na wa pikipiki za kawaida ili waweze kufuata kanuni na sheria za barabarani vizuri
alisema mafunzo hayo yatatolewa ili kuwakumbusha alama za barabarani na jinsi ya kutumia sheria na kanuni zilizowekwa
UNK kombe alisema lazima madereva wote wawe na bima wafunge mikanda wao na abiria pia wazingatie UNK kwa mwendo kasi
aliwahadharisha madereva wa bajaj kuwa ni mwiko kupakia zaidi ya abiria watatu ili waweze kuondokana na ajali zinazotokea mara kwa mara na kuongeza kuwa kuanzia septemba mosi magari yote na pikipiki ambazo zitakuwa hazina leseni bima vidhibiti mwendo na mikanda UNK na UNK
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi amesema milipuko ya mabomu mbagala itaendelea kuwepo mpaka shughuli ya kusaka mabomu itakapokamilika katika eneo hilo
akizungumza na majira ofisini kwake dar es salaam jana bwana lukuvi alisema kazi ya kutafuta mabomu na vyuma UNK katika mlipuko wa aprili ishirini na tisa mwaka huu kwa ajili ya UNK itaendelea mpaka watakapojiridhisha kuwa yamekwisha
alisema shughuli hiyo itahakikisha usalama wa baadaye kwani kama UNK kwa sasa inaweza kuleta madhara makubwa siku zijazo
milipuko UNK kutokea haina madhara kwani iko katika usimamizi wa kitaalamu wa kuteketeza masalia ya mabomu yaliyoruka umbali mkubwa bila UNK na yako katika makazi ya watu alisema bwana lukuvi
bwana lukuvi alisema watu wasiwe na hofu kutokana na milipuko hiyo na kabla ya kuteketeza watakuwa wanatoa taarifa mapema kwa ajili ya tahadhari ili kama kuna mtu ana matatizo ya mshtuko au presha aondoke karibu na eneo la UNK mabomu
hata hivyo bwana lukuvi amewataka waathirika wa mabomu hayo kuacha tabia ya kubweteka kwa kuacha kwenda katika maeneo yao ya kazi kwa kusubiri misaada inayoendelea kutolewa kwani tathmini kwa sehemu kubwa UNK
UNK wale wasio na nyumba wakiendelea kukaa kwenye maeneo hayo kwani UNK kuondoka na kwenda kupanga sehemu zingine kwa kuwa UNK vyakula vya kutumia kwa mwezi mzima alisema bwana lukuvi
alifafanua serikali UNK kila mtu UNK nyumba pamoja na mali zake zilizoharibika
hivyo mtu kama alikuwa mpangaji asubiri fidia yake kwa upande wa mali zilizoharibika kulingana na tathmini iliyofanyika na haitafanya kinyume na utaratibu huo
alisema kuna udanganyifu mkubwa UNK kwani walitarajia kupata idadi ya nyumba nne hamsini sifuri zilizoharibika lakini mpaka sasa ziko zaidi ya saba sifuri sifuri sifuri wanaohitaji fidia hivyo watakuwa makini wakati wa fidia
watu wanadhani serikali ina hela za bure bure
ni bora watu kama hao UNK mapema kwani kuna mmoja alisema ana UNK na jokofu huku katika nyumba yake hakuna umeme
huo si uongo jamani
aliuliza kwa UNK bwana lukuvi
malalamiko walimu wa shule ya msingi mbagala kuu nao jana walidai serikali pamoja na chama cha walimu tanzania UNK kwa kushindwa hata kuwatembelea na kuwapa pole mbali na kutoa misaada ya hali na mali
mwalimu mkuu msaidizi bibi mary daniel alisema UNK kama wao siyo sehemu ya jamii wakati ni miongoni mwa waathirika wa mabomu hayo
alisema shule na nyumba za walimu hao ziko katika eneo ilipotokea milipuko hiyo na zimeathirika vibaya lakini serikali imekataa kuwapatia msaada wa aina yoyote kwa kigezo kuwa wao ni wafanyakazi
tunalia tunasikitika hakika UNK kwani kuathirika UNK dini kabila wala wadhifa wa mtu
hivyo nashangaa kwanini UNK misaada eti ni wafanyakazi huku katika eneo hili kuna wafanyakazi wengi wa serikali alisema bibi daniel
naye bibi anna UNK alisema siku yanatokea mabomu hayo walikuwa UNK na la kwanza kulipuka walidhani ni gurudumu la gari lakini UNK la pili kila mmoja alikimbia pamoja na wanafunzi na katika hekaheka ya kuvuka mto mzinga wao ndiyo UNK wanafunzi wao kuvuka mto huo hivyo kusababisha kutopoteza mwanafunzi kutokana na milip...
alisema nyumba zao zimeteketea zote lakini hata turubai la UNK UNK huku akidai ofisa mmoja wa bandari UNK misaada
pia alisema ni bora shule ikafungwa kwa muda kutokana na mahudhurio kuwa hafifu ambapo wanahudhuria wanafunzi ishirini tu kati ya kumi sifuri kwa kila darasa na hiyo imetokana na hofu ya wazazi kuwaruhusu kwenda kutokana na kuendelea kwa milipuko ya mabomu
hata sisi walimu UNK kisaikolojia kwani hata mtoto UNK kitu UNK na mishtuko na wengi wetu sasa wanasumbuliwa na macho UNK jambo ambalo UNK hapo awali alisema bibi UNK
misaada bwana lukuvi alisema wasamaria wema taasisi na kampuni mbalimbali zimeendelea kujitolea misaada ya hali na mali kwa ajili ya kuwasaidia waathirika hao
alisema walipokea mahema yenye uwezo wa kuhifadhi watu zaidi ya arobaini kutoka katika ofisi ya waziri mkuu unga sukari mablanketi na mchele vyenye thamani ya shilingi milioni kumi kutoka kampuni ya bia ya tanzania na chama cha msalaba mwekundu ambao pia bado wanaendelea na shughuli ya kuhudumia waathirika hao
ni jambo la kujivunia kwani misaada mingi imetolewa na watanzania zikiwemo familia zenye kipato cha chini na kampuni zilizopo ndani ya nchi yetu pamoja na baadhi kutoka watu wa nje alisema
hata hivyo bwana lukuvi alisema idadi ya waathirika wa mabomu waliofikishwa hospitalini imeendelea kupungua na kubaki kumi na moja kutoka watu themanini na mbili walioripotiwa juzi ikiwa wengi wao walikuwa na tatizo la mishtuko pamoja na presha
kada chadema UNK
wananchi UNK polisi jinamizi la kuzomewa limeendelea UNK chama cha mapinduzi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda unaoendelea baada ya makada wake akiwemo waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama hicho bibi anne kilango na mkuu wa kitengo cha propagan...