text
stringlengths
1
1.32k
mbali na makada hao wengine waliokumbwa na adha hiyo ni pamoja na waziri wa nishati na madini bwana wiliam ngeleja katibu wa ccm mkoa wa kigoma bwana salum msabaha pamoja na mgombea ubunge kupitia chama hicho bibi lolensia bukwimba
mbali ya makada hao kuzomewa mkutano huo UNK na vurugu baada ya watu wanaosadikiwa wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo kukamatwa na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakidaiwa kusababisha vurugu hizo
baadhi ya watu waliokamatwa ni pamoja na kada wa chadema bwana mwita waitara ambaye kabla ya kujiunga na chama hicho alikuwa mwenyekiti wa uvccm mkoa wa tanga na watu wengine sita ambao UNK ndani ya gari la polisi lenye namba pt elfu moja na mia nne na tisini na nane na kupelekwa polisi katoro
hali hiyo ilisababisha kundi kubwa la watu kuvamia kituo cha polisi kutaka watu hao waachiwe kwa madai kwamba kukamatwa kwao ni uonevu kwani hawakuhusika na zomeazomea hiyo
bwana mkuchika UNK pia ni naibu katibu mkuu wa ccm taifa alikumbana na adha hiyo ya umati mkubwa kuzomea baada ya kutamba kuwa vyama vya upinzani UNK kuwa ccm haipendwi hapo katoro na jimbo zima la busanda jambo ambalo si kweli kutokana na wingi wa watu waliojitokeza katika mkutano huo kauli hiyo ilizua kelele za kuzo...
waache UNK kwani hao ni watu walioletwa na wapinzani UNK kwa vile hawajui UNK
sisi tuna hakika mgombea wetu atashinda kwa kishindo katika uchaguzi huu na vile vile ukimwona mtu UNK jua UNK tamaa alisema bwana mkuchika huku umati mkubwa ukizidi kumzomea
wakati bwana mkuchika akimnadi mgombea wa ccm bibi lolensia bukwimba kuwa ndiye UNK mshindi wa kiti cha ubunge jimbo la busanda watu hao walipiga kelele UNK mgombea wa chadema bwana magesa kuwa ndiye mshindi kwa kuimba magesa
magesa
magesa
naye waziri ngeleja alijikuta akitumia muda wake mwingi kuimba wimbo wa msanii profesa j katika kumnadi mgombea huyo usemao ndio mzee
na kusema kuwa ccm haiwezi kuahidi ahadi ambazo hazitekelezeki
kwa upande wake bwana tambwe hizza alisema wapinzani wanayatumia magazeti kukishambulia chama hicho na kudai ni uhuni kudai ccm haijafanya kitu chochote cha maendeleo wakati akisema hayo naye alikuwa UNK
naye bibi kilango alisema wanawake wana nafasi kubwa ya kuongoza vizuri iwapo watapewa nafasi hiyo kwa kuwa hata familia zinaongozwa na akina mama hivyo UNK mwanamke ana mdharau mama yake mzazi
yamekuwepo matukio kadhaa ya zomeazomea dhidi ya makada wa ccm kwenye kampeni hizo hali UNK hali ngumu kwa chama hicho katika kinyangganyiro hicho
mei saba mwaka huu makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius msekwa na makamu mwenyekiti mstaafu mzee john malecela walijikuta katika wakati mgumu UNK wakati UNK jukwani kwenye mkutano uliofanyika nyarugusu geita
mbali na wakongwe hao mgombea wa chama hicho bibi bukwimba na mumewe bwana UNK UNK UNK wakati UNK kwenye mkutano huo
dalili za hali mbaya katika mkutano huo zilianza mapema wakati viongozi hao wakiingia eneo la nyarugusu ambalo ni maalumu kwa wachimbaji wa dhahabu
viongozi hao UNK kwa alama za vidole viwili kila UNK alama ambayo hutumiwa na chama cha demokrasia na maendeleo
kama hiyo haitoshi wanafunzi wa shule ya sekondari katika kijiji alichozaliwa mgombea wa chadema bwana finias magesa walijikuta UNK viboko sita kila mmoja na walimu wao baada ya kuzomea msafara wa mgombea wa ccm bibi bukwimba hivi karibuni
chama cha wananchi na chama cha demokrasia na maendeleo UNK kitendo kilichofanywa na makomandoo wa chama cha mapinduzi maarufu kama janjaweed kupiga watu ovyo kwa madai ya kuzomea mikutano ya kampeni za chama hicho na kueleza kuwa kitendo hicho ni uonevu wenye lengo la kuwanyima wananchi uhuru wa demokrasia
pia vyama hivyo UNK onyo kali kwa vyombo vya dola UNK katika uchaguzi huo kwa lengo la UNK vyama vya upinzani kwa kutumia mabavu ya kutaka wananchi kuichagua ccm hata kama UNK
tamko la vyama hivyo linatokana na hatua ya juzi kukamatwa wafuasi kumi na tatu wa chadema na kufikishwa katika mahakama ya wilaya ya geita jana huku wale wa ccm wakiachiwa bila masharti
miongoni mwa wafuasi waliokamatwa wakituhumiwa kufanya fujo katika mkutano huo uliofanyika katoro ni pamoja na kada maarufu wa chadema bwana waitara UNK
katika mkutano huo viongozi waandamizi wa ccm walikuwa wakizomewa kila UNK jina ccm UNK ni pamoja naibu katibu mkuu wa ccm ambaye pia ni waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika waziri wa nishati na madini bwana wiliam ngeleja kaimu mkuu wa propaganda wa ccm taifa bwana tambwe hizza mbunge wa same m...
ofisa uchaguzi wa cuf bwana hussein UNK jana akizungumza na majira alidai ccm haipendwi busanda ndio maana wamekuwa wakiwatumia makomandoo kama ili kuwatisha wananchi
alidai kuwa ccm imeleta vijana kadhaa toka jijini dar maarufu kama janjaweed ambao walikuwa UNK wananchi ovyo jambo ambalo ni kinyume cha sheria za uchaguzi inayosema kuwa kila mtu ana haki ya kusikiliza mkutano wowote bila UNK
alitaka vijana hao kumi na tatu waliokamatwa walipwe fidia kwa mujibu wa sheria kwa vile UNK usumbufu kwa ndugu jamaa na marafiki kwani wana haki kuhudhuria na kusikiliza mkutano wowote wa hadhara
naye katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa akizungumza kwa njia ya simu alisema haoni sababu ya ccm kulalamika kuwa inafanyiwa fujo kwa kuzomewa bali huo ni ujumbe kwamba wananchi wa jimbo hilo wanataka mabadiliko
katibu huyo alisema kuwa si kwamba UNK wafuasi wao kufanya fujo katika mikutano ya kampeni ya ccm bali hiyo inatokana na wao wenyewe kufanya maamuzi hayo baada ya kubaini hakuna jipya katika ccm licha ya kupewa ahadi hewa nyingi
alisema kitendo cha polisi kuwakamata wafuasi wa chama hicho ni cha uonevu UNK kuwapunguza nguvu lakini hawataweza kwa kuwa wamejiandaa kutwaa jimbo hilo kwa ushindi mkubwa kwa kuwa mgombea wao anakubalika kwa wananachi wote wa busanda
ni wale waliohitimu mafunzo sua wakati jiji la dar es salaam likiendelea UNK na milipuko ya mabomu UNK kwenye ghala la silaha la jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania imebainika kuwa panya waliofuzu mafunzo ya uteguaji mabomu katika chuo kikuu cha kilimo sokoine mkoani morogoro endapo watapelekwa eneo hilo wanaweza ...
kama harufu ya mabomu UNK kila mahali panya huyu hawezi kufanya kazi na huwa UNK kwa kiingereza tunasema UNK hayo yalisemwa dar es salaam jana na mkurugenzi kituo cha kudhibiti viumbe hai waharibifu profesa rhodes makundi alipozungumza na gazeti hili kwa njia ya simu alipotakiwa kutoa ufafanuzi baada ya gazeti hili to...
profesa makundi alisema kwa vile panya hao wana uwezo mkubwa wa kunusa harufu ya mabomu hata ambayo yapo chini sana ardhini inakuwa vigumu kwao kufanya kazi kama kuna uchafuzi wa mazingira uliosababishwa na mabomu yaliyokwisha UNK
panya hawa UNK kutafuta mabomu makubwa na UNK protocol ya kisayansi ya kufanya hivyo alisema profesa makundi
aliongeza kuwa hadi sasa wana taarifa zinazotoa picha kamili juu ya mabomu UNK mbagala
mwanzoni mabomu yalilipuka toka kwenye ghala milipuko ya sasa hivi inatokana na aidha jwtz kulipua mabomu ambayo mwanzoni UNK ili kuondoa hatari kwa wananchi au labda yale ambayo UNK yalipo na kulipuka baadaye alisema
alisema panya buku wanaotambua mabomu ya kutegwa ardhini wanaweza kutumika tu kama wataalamu watapata picha kamili na kuwafanyia majaribio ya kitaalamu panya hao kwenye eneo la tukio ili kuona tabia ya panya inabadilika au la kutegemea mazingira mapya UNK eneo la tukio
kwa uzoefu tulio nao sidhani kuwa panya waliofunzwa kutambua mabomu ya kutegwa ardhini wanaweza kuwa suluhisho la muda mfupi eneo la mbagala alisema
alisema sua haina panya wenye digrii za UNK
panya buku wote waliofunzwa na kuhitimu wako kazini huko msumbiji na kazi yao sasa UNK dunia nzima kama tekinolojia mpya na yenye asili ya tanzania alisema
alisema panya wote thebathini ambayo UNK mafunzo hayo wapo nchini msumbiji wakiendelea na kazi ya uteguaji mabonu na waliopo sua kwa sasa bado wapo mafunzo na wanatarajia kuhitimu baada ya miezi sita
ni kweli chuo chetu kimefanya utafiti wa kina na UNK na utafiti huu wa kuboresha teknolojia ya kutumia panya buku kugundua mabomu UNK ardhini ambayo UNK na kuua au kujeruhi watu na kuwafanya wapoteze viungo vya mwili baada ya milipuko alisema profesa makundi
alisema kwa bahati nzuri tanzania hakuna eneo lenye matatizo ya mabomu ya kufukiwa ardhini
utafiti wetu umelenga hasa nchi za jirani kama msumbiji angola jamhuri ya kidemokrasi ya kongo ambazo kwa sababu za kihistoria na kijamii zimekuwa na migogoro ya kisiasa na kijamii iliyosababisha kukosekana amani alisema
alisema panya mmoja ana uwezo wa kugundua mabomu ardhini kwenye eneo lenye mita ishirini sifuri za mraba kwa siku moja
profesa makundi alisema panya hao hawajapelekwa mbagala kwa sababu hakuna vita bali kumetokea ajali ambayo UNK
alifafanua kuwa wataalamu wa kituo cha UNK na UNK project UNK kwa undani uwezekano wa kuwatumia panya kutatua janga la mabomu ya mbagala ambapo mambo makuu mawili yalijitokeza yanayohusiana na uwezo wa panya kwenda mbagala kutafuta mabomu yanayoendelea kulipuka
alisema panya buku wa kugundua mabomu ya ardhini UNK na kuhitimu kutafuta na kugundua mabomu UNK ardhini kwa kutumia njia mbili
alisema njia ya kwanza ni ya kutembea wakiwa wanaongozwa na mtaalamu UNK kwenye eneo UNK kuwa na mabomu ardhini na mara UNK harufu ya bomu toka ardhini anaonesha ishara ya kuchimba hilo eneo
mmoja wa watafiti ambaye alizungumza na gazeti hili kwa sharti la jina lake kutochapishwa gazeti alisema panya wana faida katika kazi ya uteguaji mabomu
alitaja faida hizo kuwa ni urahisi kuwafunga na kuwasafirisha wakiwa wengi na kuwapeleka maeneo yaliyoathirika na mabomu kama ilivyo mbagala kwa sasa kuliko wanyama wengine wanaoweza kufanyakazi hiyo
mtafiti huyo alionesha kushangazwa kwake na jinsi serikali UNK kimya na kushindwa kuona umuhimu wa kuleta panya waliopo msumbiji kuja kufanyakazi ya kutegua mabomu
hatujui ni kwa nini serikali UNK maombi kwa mkuu wa chuo kuomba panya wa kushiriki kwenye kazi hiyo alisema mtafiti huyo
alisema faida nyingi ya kutumia panya hao ni kwa sababu wanapatikana hapa tanzania na sio gharama kuwakamata na kuwapatia mafunzo
udogo wa panya huwafanya kuwa karibu zaidi na ardhi kuliko mbwa inaeleza sehemu ya taarifa iliyotolewa na sua na kuongeza panya ana upeo mdogo wa kuona lakini ana uwezo zaidi wa kunusa na kutambua mazingira yake alisema mtafiti huyo na kuongeza kuwa udogo wa panya unawafanya wawe karibu na ardhi hivyo ni rahisi kutamb...
alisema uzuri wa panya buku UNK na sua kutambua mabomu unatokana na wanyama hao kuishi UNK hivyo kutumika hata chini ya ardhi linakuwa sio jambo gumu kwao
wataka walipwe madeni yao yote mwezi huu
UNK serikali UNK haki za binadamu chama cha walimu tanzania UNK kuwapeleka ikulu kwa rais jakaya kikwete walimu wote wa mkoa wa dar es salaam ambao wanadai malimbikizo ya mishahara yao endapo serikali itashindwa kuwalipa hadi kufikia mwisho wa mwezi huu
walimu wote waliopo dar es salaam cwt itawapeleka ikulu ili rais jakaya kikwete UNK jukumu la kuwatunza kwa kuwa yeye ndiye mwajiri mkuu hadi pale watakapokuwa UNK
hatua hiyo ilitangazwa dar es salaam jana na katibu mkuu wa cwt bwana ezekiah oluoch kwenye mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake
bwana oluoch alitoa mwongozo kwa walimu waliopo mikoani kuhakikisha nao wanakwenda kupiga kambi kwenye ofisi za wakuu wa wilaya hadi pale UNK madai yao
ili kufanikisha mkakati huo bwana oluoch alisema walimu wote wa mkoa wa dar es salaam watakutana makao makuu ya cwt UNK mwishoni mwa mwezi huu ili kuwekeana mikakati ya utekelezaji wake
mbali na kutangaza hatua hiyo chama hicho kimechukua uamuzi wa UNK serikali kwa tume ya haki za binadamu na utawala bora na shirika la kazi duniani kwa kushindwa kutekeleza ahadi yake ya kulipa madeni yote ya walimu kama ilivyokuwa UNK
chama hicho pia UNK serikali kwa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia spika wa bunge bwana samuel sitta na kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi tanzania
chama kinaamini kuwa taasisi hizo zina uwezo wa kuishinikiza serikali kuzingatia haki za binadamu kwa kuwapa walimu mishahara yao kwa wakati alisema
alifafanua kuwa walimu walio wengi walianza kazi julai ishirini sifuri nane wamekuwa kazini kwa muda wa miezi kumi na moja bila kulipwa mishahara yao na wengine kutolipwa hata fedha za kujikimu ambazo hulipwa pale mtumishi anapokuwa amefika katika kituo chake cha kazi
alisema kutokana na adha hiyo baadhi ya walimu hasa wale wa shahada wameamua kuacha kazi na kukimbilia kwenye shule binafsi UNK mishahara midogo kuliko serikalini lakini inapatikana kwa wakati
chama kimekuwa na majadiliano na serikali tangu mwaka jana kuhusu hoja za walimu hao lakini majibu yanayotolewa ni kuwa urasimu wa serikali ndio kikwazo alisema bwana oluoch
alisema madai ya walimu UNK kupatiwa ufumbuzi licha ya viongozi wa cwt kukutana na waziri mkuu na katibu mkuu wa wizara husika
aliongeza kuwa pamoja na cwt kumwandikia rais kikwete ambaye ndiye mwajiri mkuu tangu januari tisa mwaka huu hadi sasa chama UNK majibu kutoka kwake
chama kilitoa muda wa siku tano kwa serikali kuwashughulikia walimu UNK hadi hadi sasa hakuna kilichofanyika alisema
alisema majibu ambayo chama hicho kilipata kutoka kwa naibu waziri wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi bibi mwantumu mahiza yalikuwa ya kejeli kwa cwt badala ya kutoa majibu ambayo UNK suala hilo ufumbuzi
alisema jambo la kushangaza ni kuona uhakiki unaofanyika sasa jijini dar es salaam kwa ajili ya kujua wanaodai unachukua muda mrefu kutokana na UNK hiyo kutokuwa na semina elekezi
tathimini ya cwt inaonesha kuwa wizara inahitaji msukumo mkubwa wa rais au waziri mkuu ambaye aliahidi kuwa walimu wote watalipwa madeni yao ndani ya mwaka huu wa fedha UNK siku arobaini na tano kama UNK fedha zao kwa muda uliobaki basi itaonekana kauli za serikali zilikuwa za kisiasa na pengine zililenga UNK walimu h...
kwa muda mrefu cwt imekuwa kwenye mvutano wa kudai madeni ya walimu na serikali hadi kufikia hatua ya kuitisha mgomo wa walimu nchi nzima
hatua hiyo UNK serikali kukimbilia mahakama kuu divisheni ya kazi kuomba izuie mgomo huo
mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba leo anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni katika mji mdogo wa katoro jimbo la busanda utakaoanza kwa mapokezi makubwa
akizungumza na waandishi habari jimboni busanda katibu wa tume ya uchaguzi bwana maole kuchilingulo alisema kuwa profesa lipumba amefika jijini mwanza jana saa tano asubuhi kwa ndege ambapo alianza kwa kufanya mkutano na viongozi wa chama hicho mkoani humo
alisema kuwa mara baada ya kikao hicho maalumu mwenyekiti huyo atafika wilayani geita ambapo UNK kisha kuzungumza na viongozi ngazi ya wilaya ikiwa ni pamoja na wanachama kwa ujumla
baadaye profesa lipumba atafanya mkutano mkubwa wa kampeni katika mji mdogo wa katoro wenye lengo la kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho bwana oscar UNK UNK
katibu huyo wa tume ya uchaguzi wa cuf alisema kuwa kabla ya mkutano huo kuanza wanachama na wapenzi wa chama hicho na wananchi wa katoro watafanya maandamano makubwa ya kumpokea profesa lipumba
alisema chama hicho kina imani kubwa na wananchi wa jimbo la busanda ambapo alisema wanatarajia ushindi wa kimbunga katika uchaguzi huo UNK vyama vinne vikiwemo ccm chadema udp na cuf yenyewe
ujio wa mwenyekiti huyo wa cuf taifa kunalenga kuongeza nguvu za mapambano ili kuhakikisha wanatwaa jimbo hilo lililoachwa wazi na marehemu bwana faustine kabuzi rwilomba aliyefariki kwa maradhi ya moyo nchini india
uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mei ishirini na nne taasisi isiyokuwa UNK kiserikali ya utu mwanamke imesema kwamba iko katika mikakati ya kutokomeza matatizo ya ugonjwa wa fistula unaowakabili wanawake nchini kwa kushirikiana na wizara ya afya na shirika la umoja wa mataifa la utafiti na madawa afrika
hayo yalielezwa jana na afisa mwandamizi wa shirika hilo bibi UNK mwambingu wakati wa warsha ya siku moja kwa wanawake waamini wa kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania UNK wa azania front dar es salaam
bibi mwambingu alisema mpango wa mkakati huo UNK kwa akina mama vijijini kwa kupitia katika wilaya husika na UNK akina mama kujitokeza katika zahanati zilizo karibu mara wanapoona dariri zisizo za kawaida kimaumbile na hasa kwa wajawazito
pia alisema mkakati huo wa kitaifa mpaka sasa upo katika wilaya mbalimbali ishirini na nne na kuongeza kuwa UNK zinafanyika kupanua wigo wa mpango huo hasa kwenye maeneo yanayoonekana kuathirika zaidi na tatizo hilo
alisema wameanza kutoa elimu kwa filamu kwenye taasisi za kidini kutokana na taasisi hizo kuwa na ushawishi mkubwa kwa jamii pia mtandao wake kuwa mkubwa zaidi hivyo kuwa rahisi kuwafikia walengwa
katika warsha hiyo picha za video UNK kwa washiriki ili kujionea jinsi tatizo hilo UNK kukua na walipata fursa ya kuuliza maswali mbalimbali kuhusiana na fistula pia vipeperushi na makabrasha yalitolewa kwa washiriki ili kujifunza zaidi dariri na tiba zake
kampeni za chinichini kuelekea uchaguzi wa mwaka ishirini moja sifuri zimeanza mkoani iringa na tayari kuna habari kwamba baadhi ya wananchi wa mkoa huo UNK kwa nguo baiskeli na fedha ili UNK mwaka ujao
wanawania nafasi hizo wametajwa kuwa wanatoka vyama vya upinzani pamoja na wengine katika chama tawala cha ccm ambao wamepania kuwanggoa wanasiasa waliopo katika nafasi zao
katika jimbo la iringa mjini UNK na bibi monica mbega imebainika kwamba wapinzani wake UNK vipeperushi UNK wakazi wa jimbo hilo kubadilika na kuwapigia kura wagombea wengine
wanadai kuwa mbunge huyo wa amekuwa akiwadanganya wananchi kuwa UNK maendeleo na kwamba ahadi zake UNK hata moja na kuwa kutokana na udanganyifu huo inafaa kuwachagua wengine watakao UNK maendeleo
hata hivyo kutokana na kuwepo kwa malumbano ya jimbo hilo kukamiwa na wanaccm pamoja na vyama vya upinzani huenda UNK hali ngumu katika kampeni zake kwa mbunge mbega UNK UNK kuwa hana mpango wa kukabithi jimbo hilo
mbunge bibi monica mbega alipohojiwa kuhusiana na sakata hilo alisema kuwa anashangazwa na watu ambao UNK jimbo hilo na kuanza UNK wananchi kwa ahadi UNK kutekeleza
mbega aliongeza kuwa katika uchaguzi wa hapo mwakani atajitosa kwa nguvu zote na kuwa wasitegemee kulinyakua jimbo hilo kiurahisi na kuonya kuwa wanaofanya kampeni za chinichini waache mara moja kwani UNK wananchi wake
alisema kuwa yeye katika utendaji wake UNK kuwa ahadi UNK wananchi katika jimbo lake amezitekeleza na kuwa mpaka sasa yupo katika hatua za mwisho za shughuli mbalimbali kimaendeleo kwa wananchi wake
makamu wa rais jamhuri ya muungano wa tanzania daktari ali mohamed shein amemweleza makamu wa rais wa kenya bwana kalonzo musyoka kuwa uhusiano uliopo kati ya kenya na tanzania UNK kwa manufaa ya nchi hizi mbili
daktari shein alisema kuwa maeneo ya mipakani ndipo maovu mengi hufanyika yakiwemo UNK mpaka magendo wizi wa mifugo ujambazi wa silaha na vitendo visivyo halali na kwamba ni vitendo UNK mahusiano ya nchi UNK