text
stringlengths
1
1.32k
bwana musyoka akiwa nchini kwa ziara ya siku tatu alipokewa na mwenyeji wake bwana shein na kutembelea sehemu mbalimbali za jiji la dar es salaam jana na ikiwamo ubalozi wa kenya uliojengwa hivi karibuni na kugharimu shilingi sh
bilioni sita sita bwana musyoka alisema kutokana na ushirikiano huo serikali ya kenya UNK tanzania eneo la hekari kumi kwa ujenzi wa ubalozi wa tanzania eneo la UNK hill
aliongeza kuwa rais jakaya kikwete hawezi kusahaulika kwa wananchi wa kenya kwa kuchangia kuwasuluhisha mgogoro ambao ulitokea baada ya uchaguzi mkuu UNK kusababisha umwagaji damu
daktari shein alisema kiwango cha biashara kati ya nchi hizi mbili kimeongezeka kutoka dola za marekani milioni mia moja na kumi na saba saba mwaka ishirini sifuri tano hadi kufikia dola za marekani milioni mia mbili na kumi na nne mbili mwaka ishirini sifuri saba na ongezeko hili limetokea katika kipindi ambacho umoj...
leo bwana musyoka UNK zanzibar kabla ya kurejea nchini kenya
mali zaidi UNK kuandikishwa wakati askari wa jeshi la wananchi wa tanzania wakiendelea kuhaha usiku na mchana wakitafuta masalia ya mabonu katika maeneo yaliyokuwa karibu na ghala lililolipuka mbagala kizuiani tofauti za kisiasa zimeendelea UNK miongoni mwa viongozi wa serikali za mitaa ya kizuiani kibonde maji na UNK...
tofauti hizo zinazidi kukwamisha juhudi za ugawaji misaada UNK wa mali na misaada inayotolewa kwa waathirika wa mabomu hayo
uchunguzi uliofanywa na majira jumapili umebaini kuwa tofauti za kisiasa zinazidi kukithiri na kuna kila dalili za baadhi ya waathirika kukosa haki wanazostahili ikiwa serikali haitaingilia kati suala hilo
mvutano huo unaodaiwa kuelekea kuwaathiri waathirika wa mabomu hayo unachangiwa na viongozi wa serikali za mitaa zinazoongozwa na ccm na cuf kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari kutoka maeneo hayo kuna hali ya kutoaminiana kwa viongozi hao wa serikali za mitaa huku kila upande UNK mwingine kwa upendeleo
habari za ndani ambazo gazeti hili limezipata zinasema kuwa takwimu halisi ya nyumba zilizoharibiwa na mabonu hayo siyo sahihi na upotoshwaji huo ulichangiwa na tofauti za kisiasa
awali ilidaiwa kuwa nyumba zilizoathirika kutokana na milipuko ya mabomu iliyotokea aprili ishirini na tisa mwaka zilikuwa nne mia sita na thebathini na sita hata hivyo idadi hiyo imekuwa ikizidi kuongezeka hadi kufikia nyumba saba sifuri sifuri sifuri na inadaiwa kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa hawatoi takwimu za kw...
diwani wa kata ya mbagala kuu bwana anderson chale aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna uwezekano wa kuongezeka nyumba nyingine zaidi kutokana na malalamiko kutoka kwa wananchi wanaodai mali na nyumba zao nyingine kutofanyiwa tathmini
alisema hadi juzi kulikuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi wanaodai UNK na watu wanaofanya kazi ya uandikishaji mali na nyumba zilizoharibika
kufuatia hali hiyo tayari mkuu wa mkoa wa dar es salaama bwana william lukuvi ameagiza kurudiwa kwa tathmini ya nyumba na mali za wananchi zilizoharibika mara moja ili kuondoa malalamiko hayo
UNK watu wanaofanya kazi hiyo UNK wananchi hadi jumapili lengo ni kuhakikisha kila mtu UNK UNK na mali yake UNK na tathmini inafanyika alisema bwana lukuvi
gazeti hili UNK baadhi ya ya wamiliki wa nyumba kutoka katika mashina ishirini na tisa ya mtaa kijichi wakilalamikia nyumba zao kutofanyiwa uhakiki na kuoanisha suala hilo na itikadi za kisiasa
majina ya wanaolalamika suala hilo UNK kwa bwana anderson chale na mwakilishi wao ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja
mmoja wa maskauti UNK na wahudumu wa chama cha msalaba mwekundu ambao wamekuwa wakigawa misaada katika maeneo mbalimbali ya mbagala kuu alikiri kuwa wamekuwa wakipata wakati mgumu wakati wa kuandikisha au kugawa misaada katika mitaa ya kizuiani na kibonde maji ambapo kuna ngome za vyama vya ccm na cuf wakati leo imeba...
habari za kuaminika ambazo gazeti hili limezipata kutoka kwa viongozi wa chama hicho waliopo busanda na dar es salaam zimesema kuwa maandalizi yote ya bwana mbowe kuanza kumnadi mgombea wake bwana finias magesa kwa helikopta yamekamilika
kamanda wa anga kuanzia keshokutwa ataanza kumnadi mgombea wetu kwa helikopta ambayo UNK kata zote kumi na tatu za jimbo kwa siku tano mfululizo kilieleza chanzo chetu cha habari kutoka busanda
chanzo hicho kilieleza kuwa mkakati ya chadema ni kuhakikisha kinaibuka na ushindi
kama unakumbuka wakati wa kikao cha kamati kuu kilichofanyika geita mwenyekiti wetu alituambia tumekuja busanda kushinda na sio kusindikiza mtu wala kufanya masihara
tumedhamiria kufanya hivyo kilisema chanzo chetu kutoka busanda UNK nukuu bwana mbowe
wakati wa kikao hicho bwana mbowe aliwaambia wajumbe wa kamati kuu kuwa ccm ipo UNK sawa na chadema hivyo aliwataka watumishi wa umma hasa vyombo vya usalama na dola kukaa pembeni ili washuhudie mpambano huo
habari zaidi zinaeleza kuwa bwana mbowe alikuwa aanze kutumia helikopta kumnadi mgombea wake kuanzia UNK mei ishirini lakini kutokana na nia ya chama chake kuhakikisha kinashinda helikopta itaanza kutumika kesho kutwa
tofauti na ilivyokuwa katika uchaguzi mdogo wa tarime ambapo ccm ilitumia helikopta mbili safari hii katika uchaguzi wa busanda ccm UNK helikopta
habari za uhakika ambazo gazeti hili limepata kutoka ndani ya ccm ni kuwa chama hicho UNK na utaratibu huo
wakati vuguvugu la uchaguzi huo likiwa limezidi kupanda wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesema matokeo ya uchaguzi huo ndiyo UNK kukubalika kwa utawala wa rais jakaya kikwete
kwa sasa ccm inajivunia kura UNK kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo marehemu kabuzi rwilomba katika uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano endapo chama hicho UNK kitakuwa kimepata pigo kubwa
akizungumza na waandishi wa habari mjini katoro hivi karibuni naibu katibu mkuu wa ccm bwana george mkuchika alisema katika uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano mbunge wa ccm UNK kura zaidi ya sitini sifuri sifuri sifuri ikilinganishwa na kura tatu sifuri sifuri sifuri alizopata mgombea wa chadema mkuchika alisema c...
wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kulingana na kura alizopata mbunge wa marehemu rwilomba katika uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano endapo ccm itashindwa kwenye uchaguzi huo itakuwa ni salamu mbaya kwa utawala wa rais kikwete
tuna tuna uhakika wa kushinda ukiona watu anaanza kufanya fujo basi amekata tamaa alisema
alikiri kuwa wanaozomea baadhi ya wafuasi wa chama chake ni UNK
wananchi UNK chadema kwa UNK kura alisema bwana mkuchika
akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika mjini katoro naibu katibu mkuu wa chadema zitto kabwe aliwaambia wananchi kuwa uchaguzi huo sio wa kunadi sera bali wanatakiwa kuutumia kuonesha kukubalika au kutokubalika kwa serikali iliyoko madarakani vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo ni ccm ni chadema united democratic par...
bwana zitto aliwaambia wananchi wa katoro kuwa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini sifuri tano rais jakaya kikwete aliwaahidi watanzania maisha bora hivyo kama wameridhika na utekelezaji wa ahadi hiyo basi wamchague UNK wa ccm alidai kuwa wakati rais akitoa ahadi hiyo idadi ya watanzania masikini ilik...
bwana zitto alisema wakati tanzania inapata uhuru mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na moja asilimia kumi na tano ya watanzania walikuwa wakipata umeme
hata hivyo alisema idadi hiyo imepungua kwani wanaopata umeme kwa sasa ni asilimia kumi na mbili wakati huo huo mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba leo anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni katika mji mdogo wa katoro jimbo la busanda utakaoanza kwa mapokezi makubwa
akizungumza na waandishi habari jimboni busanda katibu wa tume ya uchaguzi bwana maole kuchilingulo alisema kuwa profesa lipumba amefika jijini mwanza jana saa tano asubuhi kwa ndege ambapo alianza kwa kufanya mkutano na viongozi wa chama hicho mkoani humo kabla ya kuunguruma jimboni humu
alisema kuwa profesa lipumba amepania kuiteka busanda
UNK mkono posho za wabunge maelfu ya wakazi wa wilaya ya karatu na mto wa mbu wilayani monduli jana walimpokea kwa maandamano makubwa mbunge wa jimbo la karatu daktari wilbrod slaa huku wakiunga mkono hoja yake kutaka mishahara na posho za wabunge UNK
wakazi hao walianza maandamano hayo katika mji wa mto wa mbu saa mbili asubuhi kwa vijana kujipanga barabarani wakiwa na UNK pikipiki na magari huku wakibeba UNK yenye ujumbe UNK
katika maandamano hayo asilimia kubwa ya waandamanaji walikuwa wamebeba mabango UNK baadhi yalikuwa na ujumbe usemao wabunge wa ccm UNK wananchi acheni njaa UNK iongezwe ya nini au mnataka kununua kura
maisha bora hayapo ccm daktari slaa kinara wa vita dhidi ya ufisadi na ccm kichaka cha mafisadi daktari slaa endelea na moyo wa ujasiri wa kupambana na mafisadi
maandamano hayo yaliongozwa na madiwani wote wa chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya karatu bwana titus lazaro na mwenyekiti wa chadema wilaya hiyo bwana thomas darabe ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo
mbunge huyo wa karatu alilazimika kufanya mikutano ya hadhara barabarani akiwa kwenye gari la wazi na bwana darabe katika maeneo ya manyara kibaoni na eneo la UNK
UNK waandamanaji hao daktari slaa aliwashambulia wabunge wa ccm kwa kumzomea kutokana na hoja yake ya kutaka posho na mishahara ya wabunge UNK
wananchi wangu nawapongeza kwa UNK na UNK kama mlikuwa UNK vyombo vya habari na bunge mliona jinsi UNK na wabunge wa ccm baada ya kuweka wazi maslahi yao UNK hata UNK bungeni lakini UNK kulalamikia malipo hayo aliahidi daktari slaa
alisema ni aibu wabunge wa ccm kudai kuwa mishahara yao ni midogo ukilinganishwa na wabunge wa nchi nyingine za afrika mashariki kwani walitakiwa kutazama hali za wananchi wao sio za wabunge wenzao
ni aibu wabunge wa watanzania kujilinganisha na wabunge wa nchi nyingine
wanapaswa kulinganisha hali za wananchi
je ni halali posho yao ya siku ni shilingi mia moja na thebathini na tano sifuri sifuri sifuri na mishahara ya milioni saba kwa mwezi
alihoji daktari slaa
alisema ataendelea kulalamikia mishahara na posho hizo kupunguzwa hadi mwisho wake UNK na maisha ya watanzania hata waajiriwa wa serikali
waulizeni walimu askari na wengine wengi kwa mwezi wanalipwa kiasi gani na sisi siku moja tu mia moja na thebathini na tano sifuri sifuri sifuri kweli hii ni haki
lazima wenzangu UNK mungu alisema daktari slaa
aliomba wananchi kushirikiana na chadema kushinikiza spika wa bunge la jamhuri ya muungano asiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa au kiongozi kwani haiwezekani UNK uwanjani akawa na timu yake
kama UNK bungeni hata spika anaungana na wabunge wa ccm UNK vita
hata UNK hoja ya ufisadi alipinga na kunizuia hata kuongea hapa hakuna mchezo UNK UNK mchezaji wa simba au yanga akawa mwamuzi wa mchezo wa simba na yanga alisema
alisema vita dhidi ya ufisadi ni ajenda ya chadema na wataendelea UNK wakati wote
alishangaa baadhi ya wabunge wa ccm kudai kuwa hoja ya ufisadi ni yao
katika mkutano wa UNK daktari slaa alisisitiza watanzania kuendelea kuwazomea viongozi wa ccm kila mahali kama ilivyo sasa katika jimbo la busanda kwani kuzomea si kosa la jinai
hawa ccm ni mafisadi UNK kila mahala hawawezi kuleta maisha bora na si kosa kuzomea kwani inaonesha UNK na mambo yao alisema
mbunge huyo wa karatu aliwataka watanzania kuzinduka kwani serikali ya ccm haiwezi kuwasaidia kukabiliana na umasikini kwa kuwa imeamua kuwakumbatia mafisadi
UNK mafisadi mara ya kwanza UNK kwenda mahakamani lakini hadi leo wameshindwa badala yake UNK wao kwa wao lakini haitoshi tunataka wafungwe alisema
katika kile kinachoonekana lala salama ya kampeni za ubunge jimbo la busanda wafuasi wa chama cha wananchi jana walifanya maandamano ya aina yake kabla ya mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa katoro UNK na mwenyekiti wa chama hicho profesa ibrahim lipumba
maandamano hayo yaliyoongozwa na mikokoteni ya punda magari pikipiki na baiskeli yalianza saa saba mchana huku waandamanaji wakiwa wamebeba bendera za chama hicho katika mkutano huo ambao awali ulionekana kuwa na watu wachache na kuongezeka kadri muda ulivyokwenda chama hicho kiliitaka serikali kuwashughulikia watu wo...
akihutubia mkutano huo profesa
lipumba alisisitiza kuwa chama chake kinataka kuona serikali UNK watu wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi wa aina yoyote ile na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria haraka
profesa lipumba aliyasema hayo sambamba na kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho bwana oscar ndallawa ambapo aliwataka wananchi wa busanda kumuunga mkono
kabla ya kuhutubia mkutano huo profesa lipumba alifungua tawi la chama hicho katika kijiji cha UNK
alisema mgombea cuf bwana oscar ndallawa ndiye mgombea pekee anayeweza kuondoa kero na mateso wanayopata wananchi wa busanda hususan michango ya sekondari UNK
aliongeza kuwa mgombea huyo ndiye anayejua matatizo waliyonayo wananchi wa jimbo hilo na kwamba atapambana na watu wanaotumia miradi ya ulinzi wa UNK vitega uchumi na mitaji ya kuwanyanyasa wanyonge
naye yusuph mussa anaripoti kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ya chama cha mapinduzi bibi anne kilango malecela amekiri kuwepo mafisadi ndani ya chama hicho lakini amesema kamwe watu hao hawatapata nafasi kuiteka ccm na serikali yake ya awamu ya nne
bibi kilango aliyasema hayo jana wakati akihutubia wananchi wa kijiji cha UNK alipokuwa akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm bibi lolensia bukwimba
alisema mafisadi hao watashughulikiwa na wanaccm wenyewe kwa kuwa ndani ya ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka ishirini sifuri tano inazungumzia jinsi UNK na ufisadi
alisema hata kama anayefanya ufisadi ni waziri bado UNK hadharani kwa maovu anayoyafanya hivyo aliwataka wananchi UNK ufisadi unaofanywa na baadhi ya viongozi wana ccm kuwa ni dira na sera ya chama hicho
ndani ya ccm ni kweli wamo mafisadi lakini hiyo ni tabia na tamaa ya kiongozi mmoja mmoja lakini hawafanyi hivyo kwa kuagizwa na chama
sisi tupo kwa ajili ya kupambana nao hata kama awe waziri UNK tu madarakani
alisema bibi kilango
aliwataka wananchi UNK na wanasiasa kuwa michango wanayoitoa kwa ajili ya shughuli za maendeleo yao ni makosa na uonevu ili wakatae kuchangia
aliwaasa kuwa hakuna serikali duniani ambayo wananchi wake hawachangii maendeleo na kusema miradi mingi ambayo UNK na UNK ilikwama kwa kuwa wananchi hawakuwa na uchungu nayo
upande wa mashitaka katika kesi inayowakabili waliokuwa mawaziri waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu bwana basil mramba na bwana daniel yonna wa UNK hati ya mashitaka na kuwaondolea shitaka moja
mabadiliko ya hati hiyo yalitakiwa kwenda sambamba na usikilizwaji wa awali wa kesi hiyo ambao ulikwama baada ya upande wa utetezi kuwasilisha ombi la kutaka kupewa nakala za maelezo hayo UNK na nyaraka mbalimbali zinazotarajiwa kutumika kama vielelezo
hayo yalifanyika jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bibi fatuma masengi bwana john utamwa na bwana saul kinemela
upande wa mashitaka uliokuwa ukiongozwa na wakili mkuu wa serikali bwana boniface stanslaus uliiomba mahakama hiyo kubadili hati ya mashitaka ya washitakiwa hao ambayo awali ilikuwa na mashitaka kumi na mbili hivyo kuondoa shitaka la tano na kufanya mashitaka hayo kubaki kumi na moja baada ya upande wa mashitaka kubad...
upande wa utetezi uliowakilishwa na profesa leonard shaidi uliwasilisha ombi la kutaka nyaraka zitakazotumika katika kesi hiyo UNK na nakala za maelezo ya washitakiwa hali iliyopingwa vikali na upande wa mashitaka
akiwasilisha ombi hilo profesa shaidi alisema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha mia moja na tisini na mbili cha cpa kinatoa maelekezo ya namna ya kupewa nyaraka hizo
akipinga hoja hiyo bwana stanslaus alisema kuwa sheria UNK wao kama upande wa mashitaka kutoa nyaraka hizo kwa upande wa utetezi hivyo hawaoni sababu ya kufanya hivyo
sheria iko wazi kuwa nyaraka ambazo zitakuwa hazina ubishani kwa pande zote mbili zitakuwa hazina sababu ya UNK ushahidi na kwa zile UNK na ubishani ndizo zitatolewa ushahidi na nyaraka hizo zinaweza kuwasilishwa hata kama kesi inaendelea alisema bwana stanslaus
akizungumzia nakala za maelezo ya awali aliiomba mahakama kuwapa muda ili kuandaa nakala za kutosha kwa pande zote mbili
kwa upande wa mahakama ilisema kuwa kutokana na malumbano makali ya kisheria jopo linaona ni busara kupata muda wa kwenda kupitia kwa makini vifungu vya sheria ili kufikia uamuzi wa haki hivyo uamuzi kuhusiana na maombi hayo ya nyaraka utatolewa alhamisi mahakamani hapo
walidaiwa kuwa mei ishirini na nane ishirini sifuri tano walisaini mkataba wa kuongeza muda wa uzalishaji wa madini na kampuni hiyo kinyume na sheria ya manunuzi na madini
shitaka la mwisho linawakabili washitakiwa wote ambapo wanadaiwa kuwa kati ya kipindi cha mwaka ishirini sifuri tatu hadi ishirini sifuri tano kwa kutumia vibaya madaraka yao UNK serikali hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba majina ya waliokufa UNK watu watano na wengine wawili wamekufa papo hapo huku kumi na ...
ajali ya kwanza ilitokea jana saa kumi na mbili asubuhi eneo la usa UNK baada ya gari aina ya lori scania namba UNK mia saba na arobaini na mbili c la kenya kugongana uso kwa uso na toyota land cruiser namba t mia tatu na sitini na sita UNK iliyobeba wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya tanzanite ya tanzanite...
katika ajali hiyo watu watano walikufa papo hapo na wengine tisa kujeruhiwa
kamanda wa polisi mkoa wa arusha bwana basilio matei alithibitisha kutokea ajali hiyo na kueleza kuwa balaa hilo lilitokea umbali mfupi kutoka kituo cha polisi cha wilaya ya arumeru cha usa UNK
alisema chanzo chake ni dereva wa scania aliyetajwa kwa jina la hamis maulid kujaribu kuyapita magari mawili yaliyokuwa mbele yake
huyu dereva wa scania ndiye chanzo cha ajali wakati alipokuwa UNK UNK
alikuwa akitokea moshi kuja arusha ndipo alikutana uso kwa uso na toyota land cruiser iliyokuwa ikitokea arusha kuelekea UNK kwenye machimbo ya tanzanite alisema bwana matei