text
stringlengths
1
1.32k
alisema scania hiyo ambayo ilikuwa imebeba maua ilikuwa kwenye UNK hivyo dereva wake alishindwa kuzuia kugonga land cruiser hiyo na kusababisha vifo huku abiria wengine wakijeruhiwa vibaya
majeruhi walipelekwa hospitali za UNK na mount meru kwa matibabu zaidi
aliwataja waliokufa kuwa ni bwana mathayo mushi mkazi wa UNK aliyekuwa dereva wa gari hilo ambaye pia ni dalali wa madini ya tanzanite bwana UNK mollel bwana omar makuka mkazi wa majengo bwana UNK UNK mkazi wa sakina pamoja na bwana frank UNK mkazi wa sakina wote wafanyakazi wa tanzanite one
waliojeruhiwa katika ajali hiyo ambao nao ni wafanyakazi wa tanzanite one ni bwana boni UNK mkazi wa UNK bwana UNK UNK mkazi wa majengo jacob peter bwana lucas massawe mkazi wa sanawari bwana david makame mkazi wa sombetini bwana gideon zacharia mkazi wa sakina bwana amani julius mkazi wa kambi ya fisi bwana UNK UNK p...
bwana matei alisema ajali ya pili kuwa ilitokea juzi saa nne usiku barabara kuu ya dodoma ambapo gari aina ya suzuki namba t mia mbili na thebathini na mbili UNK r UNK njia na kupinduka kutokana na UNK
gari hilo lilikuwa likiendeshwa na mtu aliyetajwa kwa jina la bwana UNK UNK ambaye alikufa papo hapo
mwingine aliyekufa ametajwa kuwa ni bwana UNK UNK
majeruhi wawili wa ajali hiyo UNK majina na wamelazwa hospitali ya mount meru na hali zao ni mbaya
chadema kuanza mashambulizi ya anga leo
ccm UNK helikopta tayari UNK
mjumbe ccm UNK orodha UNK cuf
UNK chadema wadai kupigwa kutekwa mjumbe wa nyumba kumi wa chama cha mapinduzi tawi la msasa kata ya busanda UNK orodha ya majina na namba za shahada za wapiga kura kwa chama cha wananchi baada ya karipio la tume ya uchaguzi kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai
akizungumza na waandishi habari jimboni busanda katibu wa tume ya uchaguzi ya cuf bwana maole kuchilingulo alimtaja mjumbe huyo kuwa ni bwana patrick UNK wa tawi namba kumi na tatu kijijini hapo
alisema kuwa mjumbe huyo alijisalimisha juzi kwa viongozi wa cuf kijijini hapo akiwa amekwisha UNK majina ya wapiga kura kumi na saba na namba za shahada zao kwa lengo la kutaka kupeleka kwa katibu mwenezi ccm wa kata hiyo
alipohojiwa mjumbe huyo alisema aliamua kujisalimisha mwenyewe kwa viongozi wa cuf baada ya kusikia karipio la tume ya taifa ya uchaguzi kwamba kuorodhesha majina na namba za shahada za wapiga kura ni kosa la jinai
alisema alikuwa hajui kuwa ni kosa na kudai kuwa walipewa maagizo hayo ya kuandikisha shahada na viongozi wao hivyo alikuwa katika hatua za mwisho ili aweze kukabidhi orodha kwa wakubwa wake kabla ya kutolewa tamko hilo la tume
tukio hilo la mjumbe huyo kujisalimisha kwa cuf limekuja siku chache baada ya diwani wa kata hiyo bwana alphonce matonange pamoja na wajumbe wengine wawili wa nyumba kumi kukamatwa wakiwa na majina na namba za shahada za wapiga kura kinyume cha sheria
licha ya kukamatwa makada hao waliachiwa huru jambo lililosababisha chadema kudai kususia kikao maalumu kilichoandaliwa na tume ya uchaguzi wakitaka maelezo toka kwa mkuu wa polisi wilaya kwa nini watu hao waliachiwa huru
wakati huo huo zikiwa zimebaki siku tano kufanyika uchaguzi jimbo la busanda vyama vya chadema na cuf UNK kuongeza nguvu zaidi huku mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe leo anaanza kutamba jimboni hapa kwa kutumia helikopta
mbali na mwenyekiti huyo wa chadema kufanya kampeni kwa kutumia helikopta kuzunguka jimbo zima pia timu nzima ya viongozi wa chama hicho wakiwemo zito kabwe na daktari wilbroad slaa nao watakuwa wakifanya mikutano ya kampeni katika maeneo mengine ya jimbo hilo
wakati timu hiyo ya chadema ikifanya hayo kwa upande wake chama cha wananchi nacho kitakuwa na kampeni za nguvu UNK na mwenyekiti wake profesa ibrahim lipumba
akizungumza na mwandishi wa habari hizi kamanda wa kampeni wa chadema bwana benson kigaila alisema kuwa bwana mbowe atakuwa jimboni leo akitumia helkopita na UNK kata saba
alizitaja kata UNK bwana mbowe na kuendesha mikutano ya kampeni kuwa ni kamena UNK chigunga katoro busanda na nyarugusu ambapo bwana zito na daktari slaa watakuwa katika tarafa za busanda na UNK
alisema lengo la kutumia helkopita hiyo ni kuhakikisha jimbo hilo linashikiliwa na chadema licha ya kwamba ccm wamekuwa wakitumia kila linalowezekana kuwapunguza nguvu kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo jeshi la polisi
wakati hali ya mambo ikionekana hivyo kwa upande wa chadema cuf wamesema sasa wameanzisha kampeni za kufa au kupona zinazoongozwa na mwenyekiti wake profesa lipumba
katibu wa tume ya uchaguzi ya cuf bwana kuchilingulo alisema kuwa mwenyekiti wa chama hicho ambaye juzi alipokelewa kwa maandamano yaliyoongozwa na punda katika mji mdogo wa katoro atafanya mikutano ya kampeni kuzunguka jimbo zima la busanda
alisema kuwa safu nzima ya chama hicho imejipanga kuhakikisha wananyakua jimbo hilo na kwamba profesa lipumba atakaa jimboni humo hadi matokeo ya uchaguzi UNK rasmi mara baada ya uchaguzi
kwa upande wao chama cha mapinduzi kimesema kuwa UNK na kampeni hizo za chadema kutumia helikopta kwa madai kuwa tayari chama chao kimekwisha shinda jimbo hilo na wala hakuna upinzani wa kutisha
mkuu wa kitengo cha propaganda wa ccm bwana tambwe hiza alisema kuwa chama hicho hakina haja ya kutumia helikopta kwa vile mgombea wao anakubalika kwa wananchi wote jimboni humo
alisema kuwa upepo kwa upande wa chama hicho ni mzuri huku UNK vyombo vya habari kuwa ndivyo UNK hali ya vurugu jimboni humo kwa kuandika habari UNK za upotoshaji dhidi ya chama hicho
uchaguzi wa ubunge jimbo la busanda ambao una wagombea wanne kutoka ccm chadema cuf na udp utafanyika jumapili ijayo mei ishirini na nne mwaka huu
katika tukio lingine makomandoo wa ccm maarufu kama janjaweed wanatuhumiwa kuwapiga wafuasi wawili wa chadema na kuharibu pikipiki yao kisha kutoweka nao kusikojulikana
wafuasi hao wa chadema wanaodaiwa kupigwa wakati wakipita katika eneo lililokuwa likifanyika mkutano wa kampeni wa ccm katika kata ya UNK wametajwa kuwa ni bwana chacha UNK na bwana lucas UNK
akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo kamanda wa polisi busanda ssp shaaban kimea alisema kuwa amepata taarifa za tukio hilo lililotokea jana saa saba mchana kijijini hapo
nimepokea taarifa na hivi ninavyozungumza nawe kikosi maalumu cha polisi tena wameenda watu wazito kufuatilia tukio hilo kijijini hapo alisema kamanda UNK
akizungumzia tukio hilo kamanda wa kampeni wa chadema bwana kigaila alisema wafuasi hao walikamatwa na makomandoo hao wa ccm mara baada ya kupita barabara ulipokuwa ukifanyika mkutano wa ccm alisema walikuwa safarini wakiwa na pikipiki yao wakielekea kijiji cha UNK na ndipo walikamatwa na makomandoo hao na kupigwa huk...
alisema walipofika kituo cha polisi cha chigunga hawakuweza kuwakuta jambo ambalo linawapa wasiwasi kuwa huenda vijana hao walikuwa UNK hivyo kutoa taarifa kwa mkuu wa polisi wilayani humo
alisema hali hiyo inachangiwa na polisi kufumbia macho ccm kwa kuwa ni chama tawala ndio maana vijana UNK UNK sheria mikononi licha ya kuwepo polisi katika mikutano ya kampeni inayoendelea jimboni humo
serikali imeamua kuanzia mwaka wa fedha ujao ishirini sifuri tisa kumi kupeleka moja kwa moja fedha katika wilaya husika badala ya utaratibu wa awali ambapo fedha hizo zilikuwa UNK ngazi ya mkoa
hatua hiyo ya serikali imekuja baada ya kipindi cha miaka ya hivi karibuni kupokea malalamiko kutoka baadhi ya wilaya kuhusu UNK wa fedha na mara nyingine kutopewa fedha kutoka katika ngazi ya mkoa kama zilivyo UNK na bunge
akifungua kikao kazi cha wakuu wa wilaya tanzania bara jijini dar es salaam jana naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa bwana aggrey mwanri alisema kuwa serikali imeamua kuanzisha vifungu katika ngazi za wilaya ili kuhakikisha usimamizi wa fedha za wilaya unafanywa na wakuu wa w...
ili kuongeza tija na ufanisi wa shughuli za serikali katika ngazi ya wilaya serikali imeamua fedha za wilaya ziende moja kwa moja ili wakuu wa wilaya na makatibu tawala wa wilaya ambao watakuwa maofisa wahasibu wasaidizi wote watakuwa wasimamizi wa fedha hizo na si watendaji wa kuandika vocha wala kusaini hundi alisem...
bwana mwanri alieleza kuwa tayari serikali imeshatoa mafunzo kwa makatibu tawala wa wilaya zote mia moja na kumi na nne na UNK katika kutekeleza majukumu ya uhasibu UNK kuanzia julai mosi mwaka huu
katibu wa wakuu wa wilaya tanzania bara kapteni mstaafu james yamungu wa maswa alieleza kuwa wilaya nyingi zimekuwa UNK kutekeleza mipango yake ya kuwaondolea wananchi wake umasikini kutokana na UNK wa fedha kutoka katika ngazi ya mkoa
pamoja na serikali kuamua kutupatia fedha zetu kupitia kwa makatibu wetu wa wilaya lakini pia na sisi wakuu wa wilaya tunataka serikali UNK katika mchakato wa uandaaji wa bajeti ya serikali ili UNK kazi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali UNK wilayani alisema bwana UNK
kikao kazi cha siku nne cha wakuu wa wilaya tanzania bara kimeandaliwa na ofisi ya waziri mkuu kwa kushirikiana na wizara ya fedha na uchumi lengo lake ni kuwawezesha wakuu wa wilaya hapa nchini kusimamia utekelezaji wa mipango na bajeti za wilaya
jumla ya mashahidi ishirini na nne wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje inayowakabili kada wa ccm bwana rajab maranda na mfanyabiashara bwana farijala hussein
hatua hiyo ilijulikana jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya usikilizwaji wa awali mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bibi fatuma masengi bwana benedict UNK na bibi catherine UNK
upande wa mashitaka ambao uliongozwa na wakili mwandamizi wa serikali bwana fredrick UNK kabla ya kuanza kwa hatua ya usomwaji wa maelezo ya awali uliiomba mahakama hiyo kuridhia ili UNK hati ya mashitaka kutokana na kuongezeka kwa shitaka moja
ombi hilo halikuwa na pingamizi lolote hivyo mahakama ilikubaliana naye na kuanza kusoma hati mpya ya mashitaka iliyokuwa na jumla ya mashitaka saba yakiwemo ya kula njama kughushi kuwasilisha hati za uongo pamoja na wizi
akisoma mashitaka hayo wakili wa serikali bwana oswald UNK alidai kuwa kati ya machi ishirini na mbili ishirini sifuri tano na juni kumi na tano ishirini sifuri sita washitakiwa hao walikula njama ya wizi wa jumla ya shilingi bilioni mbili mbili kutoka benki kuu ya tanzania
alidai kuwa machi ishirini na mbili ishirini sifuri tano washitakiwa hao walighushi hati ya usajili ya kampuni ya money UNK yenye namba mia moja na hamsini saba tatu moja wakionesha imesajili wa brela na wao ndio wamiliki wa kampuni hiyo
aidha ilidaiwa waliwasilisha hati hizo za usajili katika benki ya biashara ya afrika kwa lengo la kufanikisha ufunguaji wa akaunti ya kampuni hiyo
mbali na hilo pia washitakiwa hao walidaiwa kughushi mkataba wa makubaliano wa kuhamishiwa deni na kampuni ya ujerumani ya b UNK company limited katika kampuni yao ya money UNK
baada ya kughushi nyaraka hizo washitakiwa waliwasilisha nyaraka hizo bot wakionesha kuwa wamehamishiwa deni hilo la shilingi bilioni mbili mbili na kampuni ya ujerumani
ilidaiwa kuwa desemba saba ishirini sifuri tano washitakiwa hao waliiba jumla shilingi milioni mia sita na sitini mbili kutoka bot na baada ya hapo walijipatia UNK katika akaunti yao la shilingi bilioni moja sita hata hivyo washitakiwa walikana kutenda makosa hayo na baada katika maelezo ya awali walikubaliana na maji...
maelezo UNK nayo ni pamoja na kukiri kuhusika na wizi wa fedha hizo katika maelezo yao ya onyo ambayo UNK wakiwa polisi pamoja na kuhusika na makosa ya kughushi na kula kula njama ya wizi
kumalizika kwa hatua hizo mahakama ilizitaka pande zote mbili kukubaliana tarehe za kusikilizwa kesi hiyo ambapo wote kwa pamoja walikubaliana kusikiliza kesi hiyo mfululizo kwa muda wa siku kumi ambapo itaanza julai mosi hadi kumi mwaka huu
hatimaye mgonjwa aliyebadili jinsi yake UNK na kuanza kuongea baada ya kuhamishiwa hospitali ya taifa ya muhimbili kutoka mwananyamala akiwa mahututi
mgonjwa huyo ambaye alihamishiwa muhimbili juzi kutokana na hali yake kuzidi kuwa mbaya jana alipata nafuu na kuzungumza kwa mujibu wa ofisa uhusiano msaidizi wa hospitali ya muhimbili bwana jezza waziri
bwana waziri alikiri kuwa hospitali ya muhimbili ilimpokea mgonjwa huyo kutoka katika hospitali ya mwananyamala juzi saa saba mchana akiwa hajitambui na kulazwa katika wodi ya akina mama kibasila namba tatu kwa uchunguzi zaidi
UNK mgonjwa huyo mchana akiwa UNK alipewa huduma ya kwanza
leo ameanza kuongea na kutaja jina lake kamili ingawa anaongea kwa shida lakini amepata nafuu alisema bwana waziri
aliongeza kuwa awali alikuwa akijulikana kwa jina moja lakini jana aliweza kutaja jina lake kamili kuwa anaitwa victoria UNK
ilielezwa UNK kuwa na umri kati ya miaka arobaini na tano hadi hamsini na tano na ni mkazi wa mbezi beach jijini dar es salaam
bwana waziri alisema vipimo vya awali vilivyochukuliwa na daktari baada ya kufikishwa hapo UNK victoria alikuwa anatumia dawa kali ambazo bado zinafanyiwa uchunguzi ili kubaini ni za aina gani
mgonjwa huyo alisababisha utata kuhusiana na kubadili jinsi yake kutoka hali ya kiume na kuwa ya kike
jambo hilo liliibua maswali mengi kwa wakazi wa jiji
hata hivyo bwana waziri hakuweza kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu UNK huyo
uchunguzi uliofanywa na jopo la madaktari wa hospitali ya wilaya temeke katika shule ya msingi mbagala kuu umebaini wanafunzi wengi wanaodai UNK masikio na macho kutokana na mabomu wanafuata mkumbo na hawana matatizo hayo
akizungumza na majira jana mmoja wa wataalamu hao daktari laurent chipata alisema wanafunzi walioripotiwa awali kukumbwa na matatizo ya kusikia walikuwa wachache lakini baada ya kuanza shughuli hiyo wameongezeka UNK
daktari chipata alisema wakati wakiendelea na uchunguzi walibaini kuwa wanafunzi wengi hawana matatizo ya kusikia bali waligundua uchafu katika masikio yao ambapo alisema milipuko hiyo ilisababisha kuziba mawimbi ya sauti masikioni
ni lazima unielewe hapa kwenye sikio kuna utando uko kama nta inayofanya kazi ya kulinda sikio dhidi ya vumbi na wadudu hivyo baada ya milipuko kutokea UNK na kuwasababisha wanafunzi wengi kushindwa kusikia vizuri alisema daktari UNK
alieleza kuwa walioathirika na kushindwa kusikia kabisa ni wawili tu na mwalimu mmoja kati ya wanafunzi tisini na nane waliofanyiwa uchunguzi jana
mwalimu huyo na wanafunzi hao UNK kwenda hospitali ya taifa ya muhimbili kwa matibabu zaidi
naye bwana aloyce UNK mtalaamu wa magonjwa ya akili kutoka hospitali ya temeke alisema shughuli ya upimaji imekuwa ngumu kutokana na kila mwanafunzi kuibuka na kudai kuwa anasumbuliwa masikio huku wengine wakidai wanaumwa matumbo
alisema mbali na tatizo la kusikia amebaini watoto hao wanahitaji kupatiwa ushauri nasaha ili waondokane na fikra za kuwaza mabomu UNK kwa macho jambo ambolo ni gumu na linahitaji maandalizi na utaalamu wa hali UNK juu
watoto wengi wanafuata mkumbo na kujichanganya na wale walioandikishwa kufanyiwa uchunguzi hivyo kufanya idadi yao kuwa kubwa
wengi wao baada ya kupimwa walionekana hawana tatizo alisema bwana UNK
uchunguzi wa gazeti hili umebaini watoto wengi UNK kuripoti matatizo hayo na wazazi ama walezi wao kama njia ya kupatia misaada zaidi
mbali na uchunguzi huo wajumbe wa serikali za mitaa wameilalamikia serikali kwa kutowalipa posho zao shilingi tano sifuri sifuri sifuri kwa wiki sasa huku baadhi ya maofisa wakilipwa shilingi sitini sifuri sifuri sifuri kwa siku
bwana abdallah UNK ambaye ni mjumbe wa serikali za mitaa mbagala kuu alisema tangu kuanza shughuli ya kutathmini athari za milipuko hiyo wamekuwa pamoja na na maofisa hao lakini katika malipo wamesahaulika na kwa maelezo kwamba hundi za malipo yao UNK
tukienda kufuatilia fedha zetu wanatuambia hawajapata hundi za kutulipa huku wao UNK fedha nyingi tunashangaa hizo hundi za UNK wao wanazipata wapi
alihoji bwana UNK
alisema wajumbe hao leo wamepanga kususia shughuli za tathmini hiyo kwa kushinikiza kulipwa posho hizo
adai wamo wabunge makada wa chama
asema UNK sumu propaganda chafu
helikopta ya chadema UNK UNK
ccm nayo UNK kuagiza ya kwake wakati kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la busanda wilayani geita zikielekea ukingoni makamu mwenyekiti UNK wa chama cha mapinduzi bwana john malecela UNK kuwa chama chake UNK na mafisadi kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge na makada wake
kada huyo mkongwe alikiri kuwepo upinzani ndani na nje ya ccm na kubainisha kuwa baadhi ya wanaccm wenzao wakiwemo wabunge na makada wa chama hicho wanataka washindwe uchaguzi huo na wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kukidhoofisha chama hicho
baadhi ya mafisadi waliopo ndani ya chama ndio wanaoeneza propaganda kwenye vyombo vya habari ili ccm ishindwe lakini uongo UNK kuwa ukweli na kila siku utabaki kuwa uongo na ukweli utabaki kuwa ukweli alisema bwana malecela wakati kizungumza na waandishi wa habari jana katika kijiji cha nyarugusu
wakati bwana malecela akitoa kauli hiyo helikopta ya chama cha demokrasia na maendeleo jana saa saba mchana ilitua mji mdogo wa katoro jimboni busanda kuhamasisha kampeni za mgombea ubunge wa chama hicho bwana finias magesa
katika kile kinachoonekana ccm kuingiwa kiwewe kutokana na hatua hiyo kaimu mkuu wa kitengo cha propaganda wa ccm bwana tambwe hiza alisema chama chake kimejipanga kuagiza helikopta yake endapo mambo yatakuwa magumu katika UNK ya lala salama ya kampeni hizo
kama UNK muda UNK mgombea wetu hawezi kufika baadhi ya maeneo au kutokana na ugumu wa mawasiliano tutatumia helikopta ingawa UNK hivyo
bwana hiza alitoa kauli hiyo alipozungumza na na gazeti hili kwa njia ya simu akiwa mjini katoro muda mfupi baada ya helikopta ya chadema UNK
ninavyozungumza na wewe helikopta ya chadema imetua muda huu lakini haiwezi kusaidia chama hicho kunadi sera labda itakusanya watu ambao hawajawahi kuiona kwenda kuitazama alisema bwana UNK
alipoulizwa iweje leo ccm ianze kubadilika na kusema helikopta haisaidii chochote wakati chama chake UNK kuitumia katika uchaguzi mdogo jimbo la kiteto na tarime alijibu wale waliokuwepo kiteto wanafahamu wakati wa kampeni kulikuwa na mvua nyingi maeneo mengi yalikuwa UNK hivyo tukaamua kutumia UNK alisema bwana hiza ...
alipoulizwa kama nia ya ccm kupeleka helikopta busanda ni kutokana na ubovu wa miundombinu ambayo serikali ilishindwa kuitengeneza alijibu hiyo sio kweli ccm haiwezi kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja
alipoulizwa ni kwa nini chadema inaonekana kuwa na nguvu hasa maeneo ya miji kama katoro na rwamgasa bwana hiza alisema watu UNK mkono chama hicho ni wale waliotoroka makwao na kukimbilia mijini wakidhani kuwa serikali ya ccm itakuwa UNK fedha barabarani na wao UNK
hao ndio wanaolaumu na kuunga mkono upinzani lakini wale wenye shughuli zao bado ni wana ccm alisema kipindi kilichopita chama cha wananchi ndicho kilikuwa na nguvu maeneo ya mijini lakini kimeshindwa kuendelea kuyadhibiti maeneo hayo na matokeo yake UNK na chadema alisema cuf inataka kujikita maeneo ya vijijini ambap...