text
stringlengths
1
1.32k
alisema ccm inashiriki uchaguzi huo ikiwa na rekodi ya kuongeza kura kwenye chaguzi zote ndogo zilizofanyika ikiwa ni pamoja na jimbo la tarime hata kama mgombea wake UNK
bwana hiza alisema katika uchaguzi huo mdogo wa tarime ccm iliongeza idadi ya kura zake kwa asilimia kumi na mbili tano ikilinganishwa na zile ilizokuwa imepata mwaka ishirini sifuri tano alivitaka vyama vya upinzania kuondokana na imani kuwa vitaweza kupunguza asilimia sabini na tisa mbili ya kura ambazo aliyekuwa mb...
alisema ccm inajivunia mafanikio ambayo imepata tangu serikali ya awamu ya nne UNK madarakani habari ambazo gazeti hili limepata kutoka kwa ofisa habari wa chadema bwana david kafulila zilisema helikopta hiyo ilitua katoro katika viwanja vya ccm saa saba mchana
alisema baada ya helikopta hiyo kupokelewa na wafuasi wa chama hicho ikiwa na mwenyekiti wake bwana mbowe ilimchukua mgombea ubunge wa chadema bwana magesa kisha kuelekea kwenye mikutano ya kampeni
kafulila aliliambia gazeti hili kuwa jana bwana mbowe alitarajia kufanya mikutano mitatu ya kampeni kwenye kata za rwamgasa UNK na jioni kumalizia UNK
alisema kuanzia leo bwana mbowe ataanza kuhutubia mikutano sita kwa kutumia helikopta hiyo huku katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa akiendesha kampeni za nchi kavu
wakati daktari slaa atakapokuwa akiendesha kampeni za nchi kavu kuna maeneo atakuwa UNK na mwenyekiti wetu na kufanya mikutano ya pamoja alisema
alisema kuanzia kesho kampeni za chini kwa chini zitapata msukumo mpya baada ya naibu katibu mkuu wa chadema bwana zitto kabwe kutua busanda na kuungana na daktari slaa
wakati bwana zitto atakapokuwa busanda daktari slaa atakuwa kata ya butundwe mwenyekiti wetu atakuwa UNK kwenye tarafa yoyote UNK inafaa na kufanya mikutano UNK
bwana kafulila alisema wakati viongozi hao wa kitaifa watakapokuwa UNK jimbo la busanda kwa usafiri wa anga na nchi kavu wabunge na wakurugenzi wa chama hicho watakuwa wakiendelea na kampeni za ndani kwa ndani
alisema wabunge pamoja na wakurugenzi wa chama watakuwa UNK kwenye maeneo na vituo vya kura
kila eneo UNK kituo cha kupiga kura tumeweka maofisa wetu kumi wanaoendelea na kampeni amesema
alisema kwa sasa chama chake kina uhakika wa kushinda na kazi iliyopo ni kuhakikisha UNK na mbinu za ccm za kutaka kuiba kura
uchaguzi huo UNK kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo marehemu rwilomba aliyefariki mapema mwaka huu nchini india alikokwenda kwa matibabu ya moyo
naye bwana malecela alibeza hatua ya chadema kupeleka helikopta hiyo na kueleza kwamba hatishwi na jambo hilo kwani hata chadema UNK helikopta kumi ccm itashinda
bwana malecela alisema vita UNK na inayotoa ushindi ni ile ya kupigana ardhini na si angani
falsafa ya wachina inasema vita bora ambayo inaweza kukupa ushindi ni ile UNK ardhini lakini sio ya ndege ambayo itapiga na kuondoka hivyo UNK helikopta ya bwana mbowe hata alete kumi busanda alisema
bwana malecela alisema UNK bwana mbowe kama angeimarisha mtandao wake wa chama kuanzia mabalozi wa nyumba kumi mashina matawi na ofisi za chama za vijiji kata wilaya mkoa na taifa na kuwa na viongozi na wanachama nchi nzima
badala ya kutumia helikopta na kupoteza fedha nyingi angeimarisha chama kuanzia kwenye mashina hadi ngazi ya taifa hapo ndipo UNK lakini kwenda kufanya kampeni huku huna hata viongozi wa mashina na matawi ama wanachama wa kutosha UNK nini
alihoji bwana malecela
uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda unatarajiwa kufanyika jumapili ijayo UNK wagombea wa vyama vinne vya ccm cuf udp na chadema taarifa hii imeandaliwa na yusuf mussa na reuben kagaruki mgonjwa victoria armu aliyebadili jinsi amefariki dunia jana asubuhi katika hospitali ya taifa muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya k...
akitoa taarifa kwa waandishi wa habari dar es salaam jana ofisa uhusiano msaidizi wa muhimbili bwana jezza waziri alisema hali ya marehemu ilianza kubadilika usiku wa kuamkia jana na kufariki saa moja asubuhi
aliongeza kuwa mwili wa victoria umehifadhiwa chumba cha maiti hospitalini hapo kwani hadi anafariki hakuna ndugu wala jamaa aliyejitokeza kumwona
bwana waziri alieleza kuwa endapo ndugu wa mtu huyo anayesadikiwa kuwa mkazi wa mbezi beach dar es salaam hawatajitokeza taratibu za mazishi zitafanywa na halmashauri ya jiji la dar es salaam
alisema vipimo mbalimbali vilivyochukuliwa kwa mgonjwa huyo tangu hospitali ya mwananyamala hadi alipolazwa muhimbili vinaonesha alikuwa akitumia dawa za kulevya
marehemu huyo alikuwa kivutio kwa wakazi wa jiji la dar es salaam baada ya kufikishwa hospitali ya mwananyamala na polisi wa kituo cha kawe mei kumi na saba saa kumi na moja alfajiri ambapo ilidaiwa UNK ufukwe wa bahari ya hindi eneo la mbezi beach akiwa UNK
baada ya kufikishwa hospitali ulizuka utata wa kuandika jinsia yake lakini uongozi uliamua UNK wodi ya wanawake
hadi UNK chake madaktari UNK waandishi wa habari kumwona wala kufanya mahojiano naye kwa maelezo kuwa kufanya hivyo ni kukiuka kiapo na maadili ya taaluma ya tiba
hata hivyo baadhi ya watu waliodai kumwona alipofikishwa hospitali siku ya kwanza walisema victoria alikuwa na sura ya kiume mweupe akiwa ametoboa masikio na nywele zake zikiwa na asili ya kiasia huku matiti yake yakiwa yanaonekana kupandikizwa kwa kudungwa sindano
mmoja wa madaktari waliowahi UNK wakati wa uhai wake alidokeza kuwa marehemu huyo UNK kubadili jinsi yake kutoka ya kiume kwenda ya kike miaka michache iliyopita na kupandikizwa viungo hivyo nje ya nchi
alidai alionekana kuwa UNK kutembea na wanaume kwa muda mrefu kwa kutumia maumbile ya mbele na nyuma
moja ya mambo yenye utata hadi kifo chake ni pamoja na jina lake halisi ambalo hadi sasa inadaiwa anaitwa victoria armu huku wengine wakidai anaitwa abdallah UNK
pia taarifa za baadhi ya watu wanaodai majirani zake zilidai marehemu UNK na polisi bali alichukuliwa nyumbani kwake mtaa wa UNK mbezi beach baada ya kuzidiwa na kupiga kelele kuomba msaada
mwenye nyumba alipiga simu polisi ndipo walikwenda kumchukua na kumpeleka mwananyamala
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi amefanya ziara ya kushtukiza eneo la mbagala siku moja baada ya wakazi hao walioathiriwa na milipuko ya mabomu aprili ishirini na tisa mwaka huu kumtaka ajiuzulu kwa madai ya kushindwa kusimamia shughuli ya ugawaji misaada
akizungumza na waandishi wa habari katika kata ya mbagala kuu bwana lukuvi alisema uongozi wake unawafahamu vinara wa maandamano hayo bandia huku akimtaja mmoja wao kuwa ni mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala kizuiani bwana mashaka suleiman
tumegundua kuwa suala hili UNK na harakati za kisiasa ambapo jana walikuja watu mia tatu na kumi na nane kwa maandamano wakidai kupewa chakula na UNK ili UNK nyumba zao wote waliingia mitini alisema bwana lukuvi
bwana lukuvi alisema hawezi kuruhusu watu UNK janga hili kwa manufaa ya kisiasa na serikali itahakikisha malipo yanafanyika kwa watu wote wanaostahili kwani pesa zinazotumika ni za walipa kodi
aliongeza kuwa haoni sababu ya kujiuzuru kwani shughuli ya kuwahudumia waathirika haina dosari yoyote na hajafanya kosa la kumlazimu kuachia ngazi na kusema kuwa kiongozi wa maandamano hayo atashughulikiwa ikiwa ni pamoja na kupewa onyo kali dhidi ya kitendo UNK
kuhusu matibabu kwa walioathirika bwana lukuvi alisema leo wataalamu toka manispaa zote tatu za jiji kinondoni ilala na temeke pamoja na madaktari bingwa wa macho kutoka hospitali ya taifa muhimbili watakwenda mbagala kuhakikisha waathirika wote wanatendewa haki kwa kupewa matibabu
bwana lukuvi aliweka wazi kuwa kwa sasa watoto wamepewa kipaumbele katika matibabu lakini mtu yeyote aliyeathirika na mabomu anatakiwa afike mbagala kuu au katika kituo chochote cha afya na atapata matibabu bure
mimi narudia tena mtu yoyote aliyeathirika kwa mabomu kama anahisi anasumbuliwa na ugonjwa wowote UNK katika kituo chochote cha afya kuwa ili UNK bila malipo alisema
kwa madai ya wenyeviti wa serikali za mitaa UNK na UNK wa nyumba UNK kutokana na mabomu kudai posho zao bwana lukuvi alisema yeye anawatambua maofisa kutoka mikoa ya nje wanaostahili kupewa posho huku wafanyakazi wengine wakifanya kazi hizo kama sehemu ya majukumu yao ya kila siku
hata hivyo uongozi wa manispaa ulikiri madai ya wenyeviti hao na kuahidi kuzifanyia kazi hundi za malipo yao ndani ya siku chache zijazo
aidha alisema kuwa shughuli ya kutafuta masalia ya mabomu bado inaendelea sambamba na uteketezaji mpaka hapo watakapojiridhisha kuwa yamekwisha
amewataka wananchi hao kutoa taarifa katika jeshi la polisi au jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania kama wataona chuma chochote UNK
bwana lukuvi pia alipokea msaada wa mabati mafuta ya kupikia saruji vitabu na vifaa vingine vyenye jumla ya thamani ya shilingi milioni thebathini kutoka katika kampuni ya simu za mkoni ya zain ikiwa ni sehemu ya msaada kusaidia shule ya msingi mbagala kuu na maendeleo
naye aliahidi kutoa shilingi milioni tano leo ili kufanikisha ujenzi na ukarabati wa majengo ya shule hizo
hali ya mgombea ubunge jimbo la busanda kwa tiketi ya chama cha mapinduzi bibi lolensia bukwimba imeeleza kuwa tete baada kuugua ghafla
akizungumza na majira jana asubuhi mjini katoro kaimu mkuu wa kitengo cha propaganda wa ccm bwana tambwe hiza alisema hali ya mgombea huyo si nzuri anasumbuliwa na UNK
mgombea wetu anaumwa homa lakini si kwamba atasitisha kampeni ataendelea hivyo hivyo japo anaumwa na leo atafanya mkutano wa kampeni katika kijiji cha kamena alisema bwana hiza majira UNK hali ya mgombea huyo jana jioni UNK kupitia bwana tambwe kuwa bado alikuwa ana UNK na homa na wakati huo walikuwa wakijiandaa kwa a...
akithibitisha tukio hilo kamanda wa polisi wilaya ya geita ssp shaaban kimea alisema mjumbe huyo alikamatwa jana saa saba mchana akiorodhesha majina ya watu hao
ni kweli tunamshikilia mjumbe huyo wa nyumba kumi wa ccm alikutwa akiorodhesha majina ya wapiga kura ili wapewe vyandarua
tunamshikilia katika kituo kikuu cha polisi geita na UNK ofisa upelelezi wilaya kuchunguza zaidi kwa nini mtu huyo alikuwa akifanya hivyo na kwa maelekezo ya nani wakati ni kinyume cha sheria UNK alisema kamanda huyo
tukio la kukamatwa kwa mjumbe huyo limekuja huku UNK malalamiko toka baadhi ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi huo vya chadema na cuf kuwa vitendo hivyo vinafanywa na ccm kwa lengo la kuwarubuni wapiga kura hao
akizungumza na majira katibu wa tume ya uchaguzi cuf bwana maole kuchilingulo alisema kuwa ccm imekuwa ikitumia mbinu hizo za ugawaji vyandarua chumvi magodoro kwa wapiga kura kinyume na sheria ya uchaguzi na kueleza kuwa hiyo ni rushwa
kutokana na hali hiyo msimamizi mkuu wa uchaguzi huo bwana dan mollel alipiga marufuku shughuli zote zinazofanywa na taasisi ama watu binafsi kugawa vitu ama vifaa kwa wapigakura wakati huu wa uchaguzi
katika hatua nyingine jeshi la polisi mkoani mwanza limeongeza askari wake wapatao arobaini jimboni busanda kwa lengo la kulinda amani wakati wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mei ishirini na nne mwaka huu
tumeongeza askari wengine arobaini ili kuimarisha ulinzi zaidi hasa siku ya uchaguzi ili kuhakikisha hakuna uvunjifu wowote wa amani UNK siku ya upigaji kura hivi sasa pana usalama wa UNK
alisema kaimu kamanda wa polisi mkoani mwanza bwana elias kalinga alipozungumza na majira kwa njia ya simu
katika hatua nyingine ccm imesema uamuzi wa kutumia au kutotumia helikopta kwenye kampeni hizo ulitarajiwa kufikiwa jana jioni baada ya kikao cha ndani ingawa tayari UNK taratibu za kupata chombo hicho
kaimu mkuu wa kitengo cha propaganda wa chama hicho bwana tambwe hiza alisema tayari wamekwisha fanya maandalizi kwa ajili ya kutumia helikopta hiyo kuanzia leo kinachosubiriwa ni maamuzi kutoka kwa wakubwa ndani ya chama hicho
kukamilisha maeneo kumi na tatu ambayo mgombea wetu UNK lakini bado tulikuwa tunasuburi maamuzi kutolewa katika kikao cha jioni ndipo ianze kupasua anga alisema bwana hiza
alisema uamuzi wa chama hicho kutumia helikopta UNK mkumbo bali unatokana na ukweli kuwa wanataka mgombea wao kufika maeneo yote yaliyobakia huku akitamba chama chake kushinda kwa zaidi ya asilimia tisini
kuhusu kuwa baadhi ya mikutano yao imekuwa UNK na watu wachache kutokana na mgombea wao kutokubalika kwa wananchi wengi bwana tambwe alikiri hali hiyo lakini alidai uchache wa watu unategemea na muda unaofanyika mkutano ingawa si yote
akizungumzia suala la makamu mwenyekiti mstaafu wa chama hicho bwana john malecela kuwaangukia wazee wa wakiwemo wafanyabiashara katika mji mdogo wa katoro ili kukisaidia chama alikiri na kusema ni jambo la kawaida kwenye kampeni kuzungumza na kila mtu ili kujihakikishia ushindi
katika hatua nyingine tume ya uchaguzi jimbo la busanda imetoa onyo kali kwa taasisi UNK kugawa vyandarua na magodoro kuwa hazitakiwi kufanya kazi hiyo wakati huu wa uchaguzi
kaimu msimamizi wa uchaguzi huo bwana jackson sombe alisema hayo katika mazungumzo na majira ofisini kwake na kwamba taasisi yoyote UNK ikifanya kazi hiyo itachukuliwa hatua kali za kisheria
pia alionya vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi huo kuacha mara moja kujihusisha na vitendo vya ugawaji vitu kama vile khanga chumvi UNK mazingira hongo kwa wapiga kura kuwa ni kinyume na sheria ya uchaguzi
wakati huo huo zoezi la kuwaapisha mawakala wanaoshiriki uchaguzi huo jana liliingia dosari baada ya baadhi mawakala kutoapishwa huku
katika kata ya katoro UNK kwa kutumia mwanga wa pikipiki na shughuli hiyo kumalizika saa mbili usiku
akizungumza na majira ofisa wa tume ya uchaguzi ya cuf bwana hussein UNK alisema kuwa zoezi hilo lilifanyika baada ya kuwepo upungufu wa fomu za viapo jambo walilodai huenda ni moja ya mizengwe ya chama tawala ccm alisema kuwa mawakala wengine watalazimika kuapa leo ingawa katika viapo hivyo hapakuwepo na mawakala tok...
kuhusu kutoapishwa kwa mawakala wanaoshiriki kwenye uchaguzi huo katika shughuli ya juzi kutokana na upungufu wa fomu maalumu za viapo kaimu msimamizi huyo wa tume ya uchaguzi alisema kuwa ni uhuni unaotokana na vyama vya upinzani kutowasilisha mawakala wao katika ofisi za tume hiyo kama UNK
UNK watuletee majina ya mawakala wao watakaoshiriki katika uchaguzi huo lakini UNK chama kimoja tu ccm vingine UNK kwa hofu kwamba mawakala wao UNK sasa huu ni uhuni tu hata hivyo bado wanao muda wa kufanya kazi hiyo ya kuwaapisha alisema bwana sombe na kusema kuwa suala la kuwapanga mawakala kwenye vituo ni la vyama ...
wakati huo huo mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe jana UNK polisi na kuwaeleza kuwa endapo UNK kwa nguvu jukwaani baada ya muda wa kuhutubia kumalizika hapatatosha kwani nguvu ya umma itafanya kazi yake
bwana mbowe alisema hayo wakati UNK mkutano wa kumnadi mgombea wake bwana finias magesa uliofanyika shule ya msingi nyarugusu polisi naomba UNK jukwani UNK ngoma yetu UNK na ccm kama UNK UNK na mkutano hapatatosha hapa alisema bwana mbowe
bwana mbowe alifika saa kumi na moja thebathini na tano jioni lakini hadi saa kumi na mbili ishirini alikuwa hajaanza kuhutubia
alipofika uwanjani hapo helikopta yake UNK hewani kwa dakika tano baada ya kushindwa kutua kutokana na umati uliofurika chini
baada ya umati huo wa watu kusogezwa na mgambo ndipo alitua lakini aliambiwa UNK tena sehemu hiyo ili UNK sehemu nyingine
akiwahutubia wakazi hao aliwataka UNK kwenye vituo vya kura baada ya kupiga mei ishirini na nne ila wakae umbali wa mita kumi sifuri alisema wakazi mia mbili na themanini sifuri sifuri sifuri wa busanda UNK umasikini na ccm iliyoshindwa kuwajengea sekondari za kidato cha tano na sita
mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi linalotaka UNK kwa maelezo ya onyo ya mshitakiwa katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje
uamuzi huo ulitolewa mahakamani hapo na jopo la mahakimu watatu ambao ni bibi sekela moshi bwana sam rumanyika na bwana lameck mlacha baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili pamoja na hoja za mawakili
uamuzi huo unatokana na pingamizi lililowasilishwa na wakili bwana majura magafu anayemtetea bwana bahati mahenge ambaye anadaiwa kuchota shilingi bilioni mbili mbili kutoka benki kuu ya tanzania kwa kutumia kampuni ya changanyikeni residential UNK
katika pingamizi hilo bwana majura magafu alidai mteja wake hakutendewa haki katika uchukuaji wa maelezo ya onyo na hiyo inatokana na kuteswa kwa kunyimwa chakula akishinikizwa kusaini maelezo ambayo hayakuwa yake
kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulisema kuwa kutokana na ushahidi wa upande wa mashitaka uliotolewa mahakamani hapo umeonesha kuwa mshitakiwa huyo hakupata mateso yoyote na badala yake maelezo hayo UNK kwa hiari yake na UNK misingi ya kisheria
kuhusiana na suala la kunyimwa chakula kwa shinikizo la kusaini maelezo ambayo alidai hakuyatoa mahakama ilisema kuwa hilo UNK kwani tayari kuna ushahidi wake unaoonesha kuwa alipelekewa chakula na ndugu zake nyakati za usiku hivyo isingewezekana kusaini kwa sababu ya kuzidiwa na njaa
aidha mahakama hiyo ilisema kuwa kitu kinachoonekana kwa mshitakiwa huyo kukaa rumande kwa muda wa siku tatu ni kutopatikana na kushindwa masharti ya dhamana ambayo yaliwekwa na tume hiyo
katika pingamizi hilo ambalo lilisababisha mahakama hiyo kusikiliza kesi ndani ya kesi upande wa mashitaka ulifanikiwa kuleta mashahidi wanne ambao walithibitisha bila kuacha shaka yoyote kuwa mshitakiwa huyo alipata huduma zote zikiwemo za chakula wakati akihojiwa na tume ya kuchunguza kesi za epa kwa upande wa utete...
kutokana na hatua ya uamuzi huo mahakama UNK maelezo ya mshitakiwa huyo na kuyafanya ni moja ya ushahidi katika kesi hiyo
maelezo hayo UNK moja kwa moja kuwa alihusika katika kutenda makosa hayo na yeye ndiye mkurugenzi wa kampuni iliyochota fedha hizo bot washitakiwa katika kesi hiyo ni bwana bahati mahenge bwana manase mwakale bwana davis kamungu bwana godfrey mosha na bibi eda mwakale ambao wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi moja mia m...
washitakiwa katika kesi ya kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja inayowakabili aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba na meneja mradi bwana UNK kweka jana walibaki hoi baada ya mahakama kushindwa kutoa uamuzi wa kuwaachia huru au la
washitakiwa hao walitarajia kusomewa uamuzi huo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu mkazi bibi warialwande lema kama ilivyokuwa imepangwa awali
baada ya washitakiwa hao kupanda kizimbani huku wakiwa na shauku ya kujua nini mahakama UNK ghafla walibaki katika mshangao mkubwa baada ya mahakama kusema haikuwa tayari kwa uamuzi hivyo itatoa uamuzi huo mei ishirini na saba mwaka huu
mahakama hiyo ilitakiwa kutoa uamuzi wa kuwaachia huru washitakiwa hao na kuwaondolea mashitaka dhidi yao au la kwa kutumia hoja mbalimbali zilizowasilishwa na pande zote mbili wakati wa usikilizwaji wa ombi la upande wa utetezi ambalo lilitaka mahakama kuwaachia huru mara moja washitakiwa hao kutokana na mapungufu ka...
kwa mujibu wa hoja za upande wa mashitaka zilizowasilishwa kuhusiana na ombi hilo upande huo ulikiri kuwa hati hiyo ina upungufu wa kisheria kama upande wa utetezi ulivyokuwa ukidai
upande wa utetezi ulisema kuwa vifungu vya sheria vilivyotumika katika kuwashitaki washitakiwa hao havioneshi makosa ya washitakiwa
hata hivyo hakimu lema amekuwa akiahirisha mara kwa mara kesi hiyo hasa katika nyakati za kutoa uamuzi kuhusiana na maombi mbalimbali na kuwafanya washitakiwa hao waendelee kusota rumande
mahakama hiyo UNK ombi hilo mei sita mwaka huu na kupanga kutoa uamuzi wake jana lakini bibi lema aliahirisha tena kesi hiyo kwa madai kuwa hakuwa tayari kutoa uamuzi huo
awali upande wa utetezi uliwasilisha ombi la kufutwa kwa mashitaka hayo kutokana na muda wa siku sitini kumalizika bila ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo ombi ambalo lilitupwa na mahakama hivyo kuanza kusikilizwa kwa ombi hili
washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo wakikabiliwa na makosa ya matumizi mabaya ya ofisi ambapo kati ya mwaka ishirini sifuri moja na ishirini sifuri sita walitumia madaraka yao vibaya kwa kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi ya wakurugenzi hivyo kusababisha hasara kwa serikali ya shil...