text
stringlengths
1
1.32k
uamuzi huo unatokana na ombi la upande wa utetezi ambalo liliwasilishwa na profesa leonard shaidi likitaka upande wa mashitaka kutoa nakala za maelezo ya awali ya washitakiwa hao yakiambatana na nyaraka zote zitakazotumika katika kesi hiyo
kutokana na ombi hilo malumbano makali ya kisheria yaliibuka katika pande zote mbili mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bibi fatuma masengi bwana john utamwa na bwana saul kinemela ambao baadae walichambua hoja hizo na kutoa uamuzi huo
kesi hiyo UNK katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo mbali na kuamuru upande wa mashitaka kuanika ushahidi wake pia kesi hiyo itasikilizwa mfululizo bila kuwepo ahirisho lolote UNK na kazi za ubunge wa mshitakiwa wa kwanza bwana mramba
uamuzi wa mahakama kuhusiana na ombi hilo ulieleza kuwa sio lazima upande wa mashitaka kutoa nyaraka zitakazotumika katika kuthibitisha kesi yao lakini unapaswa kuhakikisha washitakiwa hao wanaelewa maelezo yote ya awali katika kesi yao
mahakama ilisema kuwa maelezo ya awali ni pamoja na nyaraka zote hivyo upande wa mashitaka una wajibu wa kuelezea nyaraka hizo pamoja na maelezo kwa ujumla ili kuwafanya washitakiwa waelewe wanakabiliwa na kitu gani
ushahidi wa kushitukiza kwa washitakiwa ni kutowatendea haki na hayo siyo matakwa ya sheria washitakiwa wana haki ya kuelewa kila kitu wakati wa maelezo ya awali alisema bwana utamwa mwenyekiti wa UNK
katika uamuzi huo mahakama UNK katika uamuzi ya kesi mbalimbali zilizotolewa na mahakama ya rufaa tanzania na kuelezea umuhimu wa washitakiwa hao katika kuelewa maelezo yao ya awali ikiwa ni pamoja na nyaraka za vielelezo
mahakama ilisema kuwa ina wajibu wa kuhakikisha washitakiwa UNK kwa usawa tangu mwanzo wa kesi hiyo mpaka mwisho ili kuweza kufikia haki katika pande zote mbili
wakati upande wa utetezi UNK ombi lake ulitumia kifungu cha mia moja na tisini na mbili cha cpa kwa kusema kuwa upande huo una haki ya kupewa nyaraka hizo kwa UNK na nakala za maelezo ya awali
katika pingamizi la upande wa mashitaka lilisema kuwa sheria UNK kutoa nyaraka hizo bali wanaweza kuziwasilisha wakati wowote wakati kesi hiyo ikisikilizwa na hasa kwa nyaraka zinazosababisha ubishi kwa pande hizo
katika kifungu hicho mahakama ilisema kuwa kusoma maelezo mengine na kuficha baadhi ya vipengele ni kuwanyima haki washitakiwa hao na kufanya hivyo si matakwa ya sheria
kutokana na uamuzi huo upande wa mashitaka utalazimika kuelezea kila ushahidi UNK katika kesi yake dhidi ya washitakiwa hao ili waweze UNK
baada ya kusomwa kwa uamuzi huo mahakama hiyo ilikubaliana na pande zote mbili kuwa kesi hiyo UNK mfululuzo tangu julai ishirini hadi ishirini na nne mwaka huu na kuutaka upande wa mashitaka kuandaa mashahidi wa kutosha ili kuepuka kupoteza muda
mshitakiwa wa kwanza aliwasilisha ombi la kusafiri nje ya mkoa wa dar es salaam kwa ajili ya kamati na vikao vya bunge katika mikoa ya arusha kilimanjaro na dodoma ambapo aliomba ruhusa yake ianze mei ishirini na nne hadi agosti ishirini na nne mwaka huu
kutokana na ombi hilo na kwa kuwa mahakama ilikuwa imepanga tarehe za kusikilizwa wa kesi hiyo ilikubaliana naye kwa masharti ya kuwepo mahakamani siku za kesi
walidaiwa kuwa mei ishirini na nane ishirini sifuri tano walisaini mkataba wa kuongeza muda wa uzalishaji wa madini na kampuni hiyo kinyume na sheria ya manunuzi na madini
shitaka la mwisho linawakabili washitakiwa wote inadaiwa kuwa kati ya mwaka ishirini sifuri tatu hadi ishirini sifuri tano kwa kutumia vibaya madaraka yao UNK hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba serikali
polisi UNK janjaweed wa ccm makomandoo wawili janjaweed wa chama cha mapinduzi UNK na polisi kwa tuhuma za kumpiga mfuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo hadi kuzirai huku UNK mbavu kwa madai ya kuwafundisha wenzake mbinu za kudhibiti wizi wa kura siku ya uchaguzi
mbali na wafuasi hao wa ccm kumpiga kijana huyo pia polisi wa kituo cha katoro UNK kugoma kumpokea kijana huyo alipofikishwa kituoni hapo usiku hali iliyomlazimu kurudi nyumbani hadi kesho yake UNK akiwa na viongozi wa chadema akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani mwanza bwana elias kaling...
ni kweli tukio hilo lipo UNK agiza vijana hao waliohusika kumpiga mfuasi huyo kutafutwa mara moja na uchunguzi zaidi ufanyika ili waweze kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila kujali itikadi za vyama kwa vile ni kosa
polisi hatutaki fujo za aina hii UNK busanda tunataka uchaguzi wa amani kabisa kwa kila mtu na uwe wa mfano kwa chaguzi zingine alisema kamanda huyo
alisema kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia juzi saa tano jirani na kituo cha mabasi madogo ya abiria mjini katoro na kwamba makomandoo hao walimpiga mateke na ngumi na kumwacha UNK
akizungumzia tukio hilo mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chadema bwana hemed UNK alisema alikuwa na kijana huyo muda mfupi kabla ya kupigwa na alifika mahali walipokuwa kwa lengo la UNK
alisema wakati UNK aliwapongeza na kuwaambia waongeze ulinzi kwenye kura UNK UNK huku makomandoo hao wa ccm wakiwa pembeni wakisikia maneno hayo
baadaye kiongozi huyo aliondoka ndipo makomandoo hao walimvamia na kuanza kumpiga na kumwacha akiwa UNK chini ambapo alipata msaada wa kumwagiwa maji na wanawake waliokuwa eneo hilo
alisema wanawake hao baada ya kumwagia maji na kijana huyo kupata nguvu UNK kituo cha polisi usiku huo huo lakini walipofika polisi waligoma kumpokea hadi kesho yake asubuhi UNK UNK rb namba UNK rb mia mbili na kumi na moja ishirini sifuri tisa wakati huo huo kampeni zinazofanya mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbo...
akizungumza na gazeti hili jana msimamizi UNK jimbo la busanda bwana danny mollel alisema hali hiyo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani na kugharimu maisha ya watu na mali zao
hatuna ugomvi na watu wanaotumia ndege kufanya kampeni lakini kitendo cha kutumia ndege halafu kuingilia mikutano ya kampeni ya vyama vingine ni uvunjifu wa amani kwani mikutano hiyo itakosa ulinzi wa askari alisema bwana mollel na kuongeza matokeo yake watu wanaweza kuanzisha ugomvi na kuharibu mali za wananchi
kama watu hao wanataka wafuate utaratibu waje ofisini UNK ratiba ili tuweze kumaliza kampeni zetu vizuri katika hizi siku tatu zilizobaki alisema bwana UNK
bwana mollel amewaonya wanaume UNK wake zao shahada za kupigia kura kwa na kusema wanafanya kosa la jinai kwa kuwa binadamu wote ni sawa na wana haki ya kumchagua kiongozi wanayemtaka
aliwataka viongozi wa vyama kuwadhibiti wanachama wao wasifanye fujo siku za mwisho kuelekea uchaguzi na siku ya uchaguzi mei ishirini na nne kwani kufanya hivyo ni kuvunja amani na utulivu
naye waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo bwana john magufuli akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm bibi lolensia bukwimba kwenye kijiji cha msasa alisema wananchi wamchague mgombea huyo kwani anafaa na UNK mkubwa
alisema mtu kama bwana mbowe ambaye anapita juu kwa juu na helikopta huku akiwa ameongozana na mgombea wa chadema bwana finias magesa hawezi kujua matatizo yao yanayowakabili kama vile ubovu wa barabara gari UNK tairi iringa UNK
UNK taya UNK muhimbili
wanasiasa UNK hujuma wataka uchunguzi mbunge wa jimbo la kyela kwa tiketi ya chama cha mapinduzi daktari harrison mwakyembe amenusurika kufa baada ya gari alilokuwa UNK kutoka mbeya kwenda dar es salaam kuacha njia na kupinduka eneo la ifunda mkoani iringa
ajali hiyo ilitokea jana saa moja kumi asubuhi baada ya gari hilo toyota land cruiser namba t mia tatu na sitini na mbili ach kuchomoka tairi ya mbele likiwa kwenye mteremko wa mlima ihemi kuacha njia na kupinduka porini
daktari mwakyembe alikimbizwa hospitali ya mkoa wa iringa kwa matibabu na kulazwa wodi namba tano ya hosptali hiyo kabla ya kusafirishwa jana mchana kwa ndege kwenda hospitali ya taifa muhimbili dar es salaam kwa matibabu zaidi
mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa iringa daktari oscar UNK alisema hali ya mbunge huyo inaendelea vizuri ameumia taya baada ya kujibamiza dereva wake alitibiwa na kuruhusiwa
kamanda wa polisi mkoa wa iringa bwana advocate nyombi alithibitisha kutokea ajali hiyo na kueleza kuwa chanzo chake ni gari hilo kuingia kwenye shimo lililokuwa barabarani na kusababisha tairi la mbele kulia kuchomoka na kupoteza mwelekeo
gari hilo lilikuwa likiendeshwa na bwana joseph UNK
alieleza kuwa baada ya kuchomoka tairi liliyumba upande wa kushoto wa barabara kuacha njia na kugonga mti kabla ya kupinduka
kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo aliyejitambulisha kwa jina la isaya UNK makazi wa ifunda tairi hiyo UNK wakati dereva wa mbunge huyo akijaribu kuyapita magari mawili makubwa na kukuta shimo UNK kuchomoka tairi hiyo
kamanda nyombi aliwaambia waandishi wa habari kuwa daktari mwakyembe aliondoka juzi jioni saa mbili usiku jimboni kwake kyela na kulala makambako njombe kabla ya kuendelea na safari jana asubuhi
wakati huo huo waandishi wetu wanaripoti kuwa ndege UNK daktari mwakyembe iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere jana saa kumi jioni
ndege hiyo ndogo yenye namba tano h UNK inayomilikiwa na shirika la ndege ya tanzania ilitua huku mamia ya wanasiasa ndugu jamaa na marafiki wakisubiri kumpokea mgonjwa huyo
akizungumza na majira uwanjani hapo katibu wa bunge la jamhuri ya muungano daktari thomas kashililah alisema kuwa bunge limepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo na UNK matibabu ambapo wanatarajia atafanyiwa uchunguzi katika taasisi ya mifupa muhimbili na kama itabainika kuwa ameumia zaidi atapelekwa nje ya nchi ...
sisi tunasubiri taarifa za madaktari UNK kutegemea na hali yake kama UNK hapa au nje UNK lakini kwa sasa hatuna cha kuzungumza zaidi ya kumwombea apone haraka alisema daktari UNK
naye mbunge wa jimbo la lupa mkoani mbeya bwana victor mwambalaswa ambaye ni rafiki wa karibu wa daktari mwakyembe alisema wananchi wanapaswa kumwombea mbunge huyo ili apate nafuu haraka na UNK harakati zake za kupinga ufisadi
daktari mwakyembe ni mtu UNK karibu naye sana nimepokea taarifa hizi kwa majonzi na kwa sasa anaongea kwa taabu lakini kikubwa tunatoa mwito kwa watanzania wote tumuombee ili apone haraka kwani karibuni tutaanza vikao vya bunge na amekuwa kinara wa kupinga ufisadi alisema bwana mwambalaswa
aidha mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm bwana nape nnauye alisema kuwa kuna haja ya vyombo vya usalama kuchunguza kwa makini ajali hiyo ili watanzania waweze kuelewa chanzo cha ajali hiyo
alisema wiki ijayo mkutano wa bunge unaanza na yeye ni mtu muhimu katika vikao hivyo hasa katika bunge la bajeti kumkosa ni hasara kubwa kwani ni mpigania haki za wanyonge
vyombo vya usalama UNK kama kuna njama zozote zimefanyika UNK ili sheria ichukue mkondo wake alisema bwana nape
ajali ya daktari mwakyembe ambaye amekuwa kinara wa kundi la wabunge walio mstari wa mbele katika UNK dhidi ya ufisadi imepokewa kwa hisia tofauti huu baadhi ya wanasiasa wakidai imekuja wakati mbaya karibu na mkutano wa bunge la bajeti unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao mjini dodoma ambapo mwanasiasa huyo amekuwa ...
chati ya mwanasiasa huyo msomi wa sheria ilipanda zaidi pale UNK kuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge kuchunguza mchakato wa zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura UNK ushindi kampuni ya richmond
taarifa ya tume hiyo iliyowasilishwa bungeni februari sita mwaka jana ilipendekeza kuchukuliwa hatua kali wote waliohusika kwa njia moja ama nyingine na suala hilo
katika sakata hilo aliyekuwa waziri wa nishati na madini bwana UNK karamagi na mwenzake wa afrika mashariki daktari ibrahim msabaha waliachia ngazi sambamba na aliyekuwa waziri mkuu bwana edward lowassa ambaye tume hiyo ilimtaka UNK
aidha kamati hiyo iliitaka serikali kuacha utaratibu wa kutumia mawakala katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme
mbali ya ripoti kumpa umaarufu UNK maadui wengi ambao kwa njia moja ama nyingine UNK
hata hivyo daktari mwakyembe ameendelea kubainisha waziwazi kuwa ataendeleza mapambano dhidi ya vitendo vyote vya ufisadi na kamwe hatarudi nyuma
gazeti hili jumatatu iliyopita UNK habari ikieleza kundi la mafisadi kutenga kiasi cha shilingi bilioni mbili saba UNK wabunge wote wanaoonesha UNK kupinga ufisadi kwa kuhakikisha hawarudi tena bungeni baada ya uchaguzi mkuu mwakani
daktari mwakyembe alitajwa kuwa mmoja wa wabunge walio katika kundi la kwanza la utekelezaji wa mkakati huo wengine waliotajwa kwenye kundi hilo ni pamoja na spika wa bunge bwana samuel sitta bwana william shellukindo pamoja na bibi stella manyanya kundi la pili ni wabunge wanaoonesha waziwazi kuchukizwa na vitendo vy...
hao ni pamoja na bibi anne kilango malecela bwana lucas selelii na bwana christopher ole sendeka
kundi la tatu kushughulikiwa ni la wabunge wanaonekana kuwa karibu na kundi la kwanza na kuonekana kupinga ufisadi kwa kuunga mkono hoja za makundi hayo mawili na kushauriana kwa karibu mambo mbalimbali hawa ni pamoja na bibi hilda ngoye bwana godfrey zambi profesa mark mwandosya bwana victor mwambalaswa pamoja na bwa...
mbali na wabunge wapo wengine wasiopungua sita wanaodaiwa kuwa mstari wa mbele kukemea vitendo vya ufisadi bila woga
miongoni mwao ni bwana fredy mpendazoe bwana james lembeli na bwana aloyce kimaro ambao wote walengwa wa hasira ya mafisadi
habari hizo zilisema majimbo hayo tayari UNK milioni arobaini sifuri kila moja kwa ajili ya utekelezaji wa mkakati huo na kwamba mgawo wa kwanza wa fedha hizo tayari UNK jimboni kyela ambapo kata moja imepewa shilingi milioni tano hivi karibuni daktari mwakyembe na mwenyekiti wa ccm wilayani kyela bwana japhet mwakasu...
katika kikao hicho kilichofanyika jumapili iliyopita wajumbe wengi UNK makombora daktari mwakyembe na kudai kuwa tangu awe mbunge wa jimbo hilo ametengeneza makundi ndani ya chama huku akidaiwa UNK mwenyekiti wa chama wa wilaya ambaye ameonekana kuyumba katika maamuzi mbalimbali
walisema kufuatia hali hiyo ndani ya chama hicho kumekuwepo kutokuelewana na kujengeka uhasama mkubwa jambo linalowafanya baadhi yao kudai UNK na hawana haki hivyo kuamua kudai haki hiyo kwa kutumia nguvu kama walivyofanya viongozi hao wa kata
mmoja wa wajumbe hao bwana christopher UNK ambaye pia ni diwani wa kata ya UNK alisema kamati ya siasa UNK kufikia uamuzi wa kuwavua uanachama makatibu kata hao badala ya kukaa na kutafakari chanzo cha viongozi hao kuchukua uamuzi kuwapiga viongozi wao wa wilaya daktari mwakyembe kwa upande wake alijitetea na kupinga ...
alisema kana kwamba haitoshi mgawanyiko huko umewakumba hata wakazi wa kyela waishio dar es salaam
alisema binafsi hapendi kuona viongozi hao wanafikishwa mahakamani na kufungwa bali kilichopo ni chama kuchagua wazee wenye busara kwenda kuwaombea radhi makatibu kata hao kwa viongozi waliopigwa ili mambo hayo yaishe hata hivyo kikao cha halmashauri kuu ya ccm ya wilayani kyela juzi UNK adhabu ya kufutwa uanachama kw...
gladness mboma godfrida jola mjumbe wa baraza la wawakilishi zanzibar kwa tiketi ya chama cha wananchi bwana soud yusufu mgeni amefariki dunia katika hospitali ya taifa muhimbili jana alikolazwa akitibiwa ugonjwa wa kansa ya mapafu
ofisa uhusiano wa hospitali hiyo bwana jezza waziri alisema jana dar es salaam kuwa marehemu mgeni alifariki jana saa tatu hamsini asubuhi katika wodi ya UNK
mdogo wa marehemu bwana ayubu yusufu mgeni alisema maradhi UNK ndugu yake ghafla mwezi mmoja uliopita
aliondoka salama pemba kwenda kuhudhuria mkutano wa baraza la wawakilishi akiwa huko hali yake ilibadilika ghafla
marehemu alikwenda dar es salaam katika hospitali ya regency na kulazwa kwa muda wa wiki tatu kwa tatizo la pumzi alikuwa UNK kwa shida na madaktari waligundua kuwa alikuwa na tatizo la moyo alisema
alisema kuwa juzi UNK hospitali ya muhimbili
siku iliyofuata hali yake ilionekana kuwa nzuri na alianza kupumua vizuri na kuwapa matumaini lakini jana akiwa katika kipimo cha mwisho UNK ghafla na UNK
bwana ayubu alisema mwili wa marehemu UNK jana na anazikwa leo katika kijiji cha UNK chake chake pemba saa nne asubuhi
naye ali suleiman kutoka zanzibar anaeleza kuwa mkurugenzi wa habari na mahusiano ya umma wa cuf bwana salim bimani alithibitisha kutokea kwa kifo hicho
kwa sasa soud UNK katika dunia hii ndiyo kazi ya mwenyezi mungu
amefariki dunia katika hospitali ya muhimbili jijini dar es salaam alisema bimani
alisema kifo cha mwakilishi mgeni UNK pengo kubwa kwa cuf kutokana na uzoefu wake mkubwa katika masuala ya siasa
bwana mgeni ni miongoni mwa wajumbe wa baraza la wawakilishi mwenye uzoefu mkubwa katika shunguli za baraza
amekuwa mjumbe wa baraza hilo tangu mwaka elfu moja na mia tisa na themanini akiwa mwakilishi wa jimbo la vitongoji na waziri katika serikali ya rais idrisa abdul UNK
pia aliwahi kuwa waziri wa maji ujenzi nishati na ardhi na baadaye waziri wa kilimo na mifugo huku akiwa mjumbe wa halmshauri kuu ya chama cha mapinduzi
alifukuzwa katika chama cha mapinduzi kufuatilia kuchafuka kwa hali ya kisiasa ambayo ilisababisha kufukuzwa viongozi watendaji wakuu wa serikali na ccm wapatao nane akiwemo maalim seif shariff hamad mwanzoni mwa miaka ya elfu moja na mia tisa na themanini hadi anafariki dunia marehemu mgeni alikuwa mwakilishi wa jimb...
wakati huo huo rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi daktari amani abeid karume ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha marehemu mgeni
rais karume ameeleza masikitiko yake na kushitushwa na kifo cha mwakilishi huyo
alisema kwa niaba yake binafsi serikali na wananchi wa zanzibar anatoa mkono wa rambirambi kwa spika wa baraza la wawakilishi wajumbe na wafanyakazi wa baraza hilo familia ya marehemu ndugu marafiki na jamaa zake wote
rais karume ameeleza kuwa kifo cha marehemu mgeni ni msiba kwa wananchi wote wa zanzibar na marehemu atakumbukwa daima kwa utumishi wake kwa wananchi wa jimbo lake la wawi pemba na wananchi wa zanzibar kwa jumla
UNK subira na UNK wafiwa wote
kifo cha bwana mgeni kinakuwa cha pili katika baraza la wawakilishi kufuatilia kile cha mwakilishi wa ccm marehemu daud hassan daud aliyefariki dunia mwishoni mwaka jana
gladness mboma na godfrida jola mbunge wa jimbo la kyela kwa tiketi ya chama cha mapinduzi daktari harrison mwakyembe amesimulia ajali UNK juzi eneo la ifunda mkoani iringa wakati akitoka mbeya kwenda dar es salaam na kusema ni ya kawaida na haihusiani na hujuma zozote
akizungumza na waandishi katika wodi ya taasisi ya tiba ya mifupa muhimbili alikolazwa daktari mwakyembe UNK dereva wa lori lililokuwa nyuma ya gari lake ambalo alisema UNK dereva wake kupisha na alikubali lakini alishangaa lori hilo kugonga taa ya kushoto ya gari lake na kusababisha kupoteza mwelekeo baada ya kubaini...
alisema kuwa baada ya hapo alipoteza fahamu na hakuelewa kilichokuwa kinaendelea hadi UNK akiwa hospitalini
bwana mwakyembe alipotakiwa kueleza kama kuna hujuma kwenye ajali hiyo alisema ni ajali kawaida na kwamba UNK mungu na kuahidi kuzidi kuwatumikia wananchi wa jimbo la kyela hadi siku ya mwisho na kuwataka wasiwe na wasiwasi
naye ofisa uhusiano wa moi bwana almas UNK alisema kuwa hali ya daktari mwakyembe inaendelea vizuri tofauti na alipofikishwa hospitalini hapo juzi
alisema kuwa daktari mwakyembe baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulika kuwa ameumia sehemu ya shingo bega na maumivu ya mwili ya kawaida na kwamba bado anaendelea kufanyiwa vipimo zaidi
naye dereva wa daktari mwakyembe bwana joseph msuya ambaye alikuwa hospitalini hapo asubuhi jana akiwa na majeraha madogo mwilini alisema nyaraka mbalimbali kamera na mikanda iliyokuwa kwenye gari iliibwa na watu UNK