Story_ID stringlengths 8 8 | context stringlengths 445 11k | question stringlengths 12 113 | answers dict |
|---|---|---|---|
4710_swa | SOKO LETU
Soko ni eneo kubwa ambalo linajadiliana na watu, wachuuzi na wanunuaji bidhaa. Soko letu lina vitu kadha wa kadha kama vile nyanya, vitunguu, mayai na mengineyo. Kwa kweli wasemavyo wahenga likikatika moyo uhudi si pato. Wanunuaji bidhaa huja sokoni mwetu kununua vitu kadhaa. Mimi hushirikiana na mama yangu k... | Ni nini imewekwa kuzingira soko lao | {
"text": [
"Kiambaza"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Nini ni vitu vinavyotuzingira | {
"text": [
"mazingira"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Mazingira safi ni muhimu katika maisha ya nani | {
"text": [
"mwanadamu"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Ugonjwa wa cholera husababishwa na maji gani | {
"text": [
"machafu"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Nani hufurahia kuwaona wanyama | {
"text": [
"watalii"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Waajiriwa wengi hurauka saa ngapi | {
"text": [
"asubuhi na mapema"
]
} |
1576_swa | MADHARA YA KUCHAFUA MAZINGIRA
Mazingira ni vitu vinavyo tuzingira pahali tulipo kwa mfano miti, nyumba, na bahari. Mazingira ni pahali pazuri pakiwa pasafi. Hatufai kusema mazingira kuwa safi kwa maneno tu bali pia kwa matendo.Mazingira safi ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Iwapo tutawacha mazingira yetu yakiwa... | Mbona tunapaswa kufyeka nyasi ndefu | {
"text": [
"ili tuweze kuangamiza wanyama hatari"
]
} |
0003_swa |
Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Mar... | Asubuhi ilitupata pambajioi pa hospitali gani | {
"text": [
"Uguzwa"
]
} |
0003_swa |
Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Mar... | Mimi na ndugu yangu tuliratibiwa kufanyiwa nini | {
"text": [
"Upasuaji"
]
} |
0003_swa |
Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Mar... | Alitoa simu na kusakurasakura nini | {
"text": [
"Mitandaoni"
]
} |
0003_swa |
Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Mar... | Mtu mwenye figo moja haishi kwa zaidi ya miaka ngapi | {
"text": [
"Ishirini"
]
} |
0003_swa |
Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Mar... | Kwa nini hakuhisi chochote | {
"text": [
"Hakufanyiwa operesheni"
]
} |
0005_swa | Mpenzi yeyote wa lugha ashirafu ya Kiswahili mara nyingine huwa na matumaini makubwa, mara nyingine hukata tamaa kabisa kuhusu mustakabali wa Kiswahili. Ukitembea mijini, vijijini, pwani na bara na kuwasikia watu wakizungumza Kiswahili, utapata matumaini. Ukihudhuria makongamano ya Kiswahili ya walimu na wanafunzi unak... | Kina nani huharibu Kiswahili katika vyombo vya habari | {
"text": [
"Wanahabari"
]
} |
0005_swa | Mpenzi yeyote wa lugha ashirafu ya Kiswahili mara nyingine huwa na matumaini makubwa, mara nyingine hukata tamaa kabisa kuhusu mustakabali wa Kiswahili. Ukitembea mijini, vijijini, pwani na bara na kuwasikia watu wakizungumza Kiswahili, utapata matumaini. Ukihudhuria makongamano ya Kiswahili ya walimu na wanafunzi unak... | Nani hutetea lugha zao | {
"text": [
"Wazalendo wa mataifa mbalimbali"
]
} |
0005_swa | Mpenzi yeyote wa lugha ashirafu ya Kiswahili mara nyingine huwa na matumaini makubwa, mara nyingine hukata tamaa kabisa kuhusu mustakabali wa Kiswahili. Ukitembea mijini, vijijini, pwani na bara na kuwasikia watu wakizungumza Kiswahili, utapata matumaini. Ukihudhuria makongamano ya Kiswahili ya walimu na wanafunzi unak... | Wafaransa huzungumza lugha gani | {
"text": [
"Kifaransa"
]
} |
0005_swa | Mpenzi yeyote wa lugha ashirafu ya Kiswahili mara nyingine huwa na matumaini makubwa, mara nyingine hukata tamaa kabisa kuhusu mustakabali wa Kiswahili. Ukitembea mijini, vijijini, pwani na bara na kuwasikia watu wakizungumza Kiswahili, utapata matumaini. Ukihudhuria makongamano ya Kiswahili ya walimu na wanafunzi unak... | Kiswahili kinafunzwa katika nchi zipi maarufu duniani | {
"text": [
"Marekani na ujerumani"
]
} |
0005_swa | Mpenzi yeyote wa lugha ashirafu ya Kiswahili mara nyingine huwa na matumaini makubwa, mara nyingine hukata tamaa kabisa kuhusu mustakabali wa Kiswahili. Ukitembea mijini, vijijini, pwani na bara na kuwasikia watu wakizungumza Kiswahili, utapata matumaini. Ukihudhuria makongamano ya Kiswahili ya walimu na wanafunzi unak... | Wachina huzungumza lugha gani | {
"text": [
"Kichina"
]
} |
0019_swa | NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. Waja haoni kuwa tofauti iliyopa baina ya viumbe hawa wawili ni ile ya kimaumbile tu na hivyo hapana haja ya... | ulimwengu huu umetawalwa na nani | {
"text": [
"wanaume"
]
} |
0019_swa | NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. Waja haoni kuwa tofauti iliyopa baina ya viumbe hawa wawili ni ile ya kimaumbile tu na hivyo hapana haja ya... | ubinafsi hufanyia nini jamii | {
"text": [
"huvunja jamii"
]
} |
0019_swa | NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. Waja haoni kuwa tofauti iliyopa baina ya viumbe hawa wawili ni ile ya kimaumbile tu na hivyo hapana haja ya... | Mtoto wa kike akimshinda waladi katika mashindano mbona waladi hukemewa | {
"text": [
"haifai msichana amshinde"
]
} |
0019_swa | NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. Waja haoni kuwa tofauti iliyopa baina ya viumbe hawa wawili ni ile ya kimaumbile tu na hivyo hapana haja ya... | Ni nini mzizi wa tabu zinazowakumba wanawake | {
"text": [
"Ndoa"
]
} |
0019_swa | NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. Waja haoni kuwa tofauti iliyopa baina ya viumbe hawa wawili ni ile ya kimaumbile tu na hivyo hapana haja ya... | mwanamke huchorwa vipi kwenye vipindi vionyeshwavyo katika runinga | {
"text": [
"huchorwa kama kiumbe muovu ambaye huvunja jamii"
]
} |
0021_swa | Bara la Africa lina nafasi bora zaidi ya mabara mengine ulimwenguni katika kujiendeleza kiuchumi. Hii ni kwa kuwa wengi wa raia wa nchi za Afrika huwa ni vijana. Asilimia kubwa ya watu katika kila taifa la Afrika huwa ni ya vijana wenye nguvu na nafasi bora zaidi ya kuendeleza uchumi. Hivyo sivyo katika mabara mengine ... | Bara ipi ina nafasi bora kujiendeleza kiuchumi?q | {
"text": [
"Afika"
]
} |
0021_swa | Bara la Africa lina nafasi bora zaidi ya mabara mengine ulimwenguni katika kujiendeleza kiuchumi. Hii ni kwa kuwa wengi wa raia wa nchi za Afrika huwa ni vijana. Asilimia kubwa ya watu katika kila taifa la Afrika huwa ni ya vijana wenye nguvu na nafasi bora zaidi ya kuendeleza uchumi. Hivyo sivyo katika mabara mengine ... | Raia wengi wa nchi za Afrika ni kina nani? | {
"text": [
"Vijana"
]
} |
0021_swa | Bara la Africa lina nafasi bora zaidi ya mabara mengine ulimwenguni katika kujiendeleza kiuchumi. Hii ni kwa kuwa wengi wa raia wa nchi za Afrika huwa ni vijana. Asilimia kubwa ya watu katika kila taifa la Afrika huwa ni ya vijana wenye nguvu na nafasi bora zaidi ya kuendeleza uchumi. Hivyo sivyo katika mabara mengine ... | Vijana wanaweza jikuza iwapo watasaidiwa kufanya nini? | {
"text": [
"Kupata maarifa"
]
} |
0021_swa | Bara la Africa lina nafasi bora zaidi ya mabara mengine ulimwenguni katika kujiendeleza kiuchumi. Hii ni kwa kuwa wengi wa raia wa nchi za Afrika huwa ni vijana. Asilimia kubwa ya watu katika kila taifa la Afrika huwa ni ya vijana wenye nguvu na nafasi bora zaidi ya kuendeleza uchumi. Hivyo sivyo katika mabara mengine ... | Njia moja maridhawa ya kuwaimarisha vijani ni gani? | {
"text": [
"Elimu na masoma"
]
} |
0021_swa | Bara la Africa lina nafasi bora zaidi ya mabara mengine ulimwenguni katika kujiendeleza kiuchumi. Hii ni kwa kuwa wengi wa raia wa nchi za Afrika huwa ni vijana. Asilimia kubwa ya watu katika kila taifa la Afrika huwa ni ya vijana wenye nguvu na nafasi bora zaidi ya kuendeleza uchumi. Hivyo sivyo katika mabara mengine ... | Vijana wengi Afrika huoa na kupata familia baada ya kumaliza darasa lipi? | {
"text": [
"La nane"
]
} |
0162_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Uviko-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kundi la virusi vya Corona ambayyo hupatikana miongoni mwa hayawani na Insani. Kwa Insi, virusi vya corona husababisha magonjwa kama vile, homa ya kawaida isiyo na dalili kali na hata madhila wakati wa upumuaji. Mgonjwa wa vir... | Ugonjwa wa korona unafanana na nini | {
"text": [
"homa ya mafua"
]
} |
0162_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Uviko-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kundi la virusi vya Corona ambayyo hupatikana miongoni mwa hayawani na Insani. Kwa Insi, virusi vya corona husababisha magonjwa kama vile, homa ya kawaida isiyo na dalili kali na hata madhila wakati wa upumuaji. Mgonjwa wa vir... | Ugonjwa huu ulipatikana wapi | {
"text": [
"nchi ya China"
]
} |
0162_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Uviko-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kundi la virusi vya Corona ambayyo hupatikana miongoni mwa hayawani na Insani. Kwa Insi, virusi vya corona husababisha magonjwa kama vile, homa ya kawaida isiyo na dalili kali na hata madhila wakati wa upumuaji. Mgonjwa wa vir... | Mtu mwenye dalili za korona aelekee wapi | {
"text": [
"katika kituo cha afya"
]
} |
0162_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Uviko-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kundi la virusi vya Corona ambayyo hupatikana miongoni mwa hayawani na Insani. Kwa Insi, virusi vya corona husababisha magonjwa kama vile, homa ya kawaida isiyo na dalili kali na hata madhila wakati wa upumuaji. Mgonjwa wa vir... | Waimbaji walipata nini kutokana na Uviko - 19 | {
"text": [
"maudhui"
]
} |
0162_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Uviko-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kundi la virusi vya Corona ambayyo hupatikana miongoni mwa hayawani na Insani. Kwa Insi, virusi vya corona husababisha magonjwa kama vile, homa ya kawaida isiyo na dalili kali na hata madhila wakati wa upumuaji. Mgonjwa wa vir... | Kwa nini shule zingine zimefungwa | {
"text": [
"sababu ya uchumi mbaya na hasara iliyopatikana"
]
} |
0163_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MESTA ZAN ZA BARABARANI NCHINI KENYA.
Ajali ni tukio maalumu linalotumbulika na lisiletarajiwa Hutokea mahali fulani, muda bila sababu au makusudi dhahiri na husababisha madhara yaliyodhahiri kama mchana. Vifo ana ainati mnamo mwaka elfu mbili na Ishirini, kumeripotiwa visa vya ajali elfu mbili m... | Vifo ngapi barabarani viliripotiwa mwaka wa 2020? | {
"text": [
"2869"
]
} |
0163_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MESTA ZAN ZA BARABARANI NCHINI KENYA.
Ajali ni tukio maalumu linalotumbulika na lisiletarajiwa Hutokea mahali fulani, muda bila sababu au makusudi dhahiri na husababisha madhara yaliyodhahiri kama mchana. Vifo ana ainati mnamo mwaka elfu mbili na Ishirini, kumeripotiwa visa vya ajali elfu mbili m... | Kuna nini baada ya dhiki? | {
"text": [
"Faraja"
]
} |
0163_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MESTA ZAN ZA BARABARANI NCHINI KENYA.
Ajali ni tukio maalumu linalotumbulika na lisiletarajiwa Hutokea mahali fulani, muda bila sababu au makusudi dhahiri na husababisha madhara yaliyodhahiri kama mchana. Vifo ana ainati mnamo mwaka elfu mbili na Ishirini, kumeripotiwa visa vya ajali elfu mbili m... | Nani hutengeneza barabara? | {
"text": [
"Wahandisi"
]
} |
0163_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MESTA ZAN ZA BARABARANI NCHINI KENYA.
Ajali ni tukio maalumu linalotumbulika na lisiletarajiwa Hutokea mahali fulani, muda bila sababu au makusudi dhahiri na husababisha madhara yaliyodhahiri kama mchana. Vifo ana ainati mnamo mwaka elfu mbili na Ishirini, kumeripotiwa visa vya ajali elfu mbili m... | Ajali haina nini? | {
"text": [
"Kinga"
]
} |
0163_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MESTA ZAN ZA BARABARANI NCHINI KENYA.
Ajali ni tukio maalumu linalotumbulika na lisiletarajiwa Hutokea mahali fulani, muda bila sababu au makusudi dhahiri na husababisha madhara yaliyodhahiri kama mchana. Vifo ana ainati mnamo mwaka elfu mbili na Ishirini, kumeripotiwa visa vya ajali elfu mbili m... | Sheria zipi zinafaa kuwekwa? | {
"text": [
"Za baraste ili kupunguza ajali"
]
} |
0164_swa |
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa UVIKO 19 ni maradhi tandaru yanayosababishwa na virusi vya corona· Ugonjwa huu unasambaa haraka kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Hadi kufikia leo tarehe ishirini na tatu Februari, idadi ya wagonjwa waliothibitishia ulimwenguni ni milioni mia moja kumi ... | Ugonjwa wa Uviko 19 husababishwa na virusi gani | {
"text": [
"korona"
]
} |
0164_swa |
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa UVIKO 19 ni maradhi tandaru yanayosababishwa na virusi vya corona· Ugonjwa huu unasambaa haraka kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Hadi kufikia leo tarehe ishirini na tatu Februari, idadi ya wagonjwa waliothibitishia ulimwenguni ni milioni mia moja kumi ... | Familia zinalala njaa kwa kukosa nini | {
"text": [
"fedha"
]
} |
0164_swa |
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa UVIKO 19 ni maradhi tandaru yanayosababishwa na virusi vya corona· Ugonjwa huu unasambaa haraka kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Hadi kufikia leo tarehe ishirini na tatu Februari, idadi ya wagonjwa waliothibitishia ulimwenguni ni milioni mia moja kumi ... | Nini imesababisha kuzorota kwa uchumi | {
"text": [
"vifo"
]
} |
0164_swa |
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa UVIKO 19 ni maradhi tandaru yanayosababishwa na virusi vya corona· Ugonjwa huu unasambaa haraka kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Hadi kufikia leo tarehe ishirini na tatu Februari, idadi ya wagonjwa waliothibitishia ulimwenguni ni milioni mia moja kumi ... | Kina nani walioathirika zaidi | {
"text": [
"walalahoi"
]
} |
0164_swa |
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA UGONJWA WA CORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa UVIKO 19 ni maradhi tandaru yanayosababishwa na virusi vya corona· Ugonjwa huu unasambaa haraka kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Hadi kufikia leo tarehe ishirini na tatu Februari, idadi ya wagonjwa waliothibitishia ulimwenguni ni milioni mia moja kumi ... | Kwa nini waajiriwa walishindwa kutekeleza majukumu | {
"text": [
"kupigwa kalamu"
]
} |
0165_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kwenye dunia elimu ni msingi wa maisha, kwa ajili hiyo itabidi mtu ajikaze kisabuni asome ili kujikimu maishani kindakindaki. Waama, mchumia juani hulia kivulini. Kila uchao ni masomo hasa hilo somo ni nini? Somo ni mpango wa maf... | Ni nini msingi wa maisha katika dunia | {
"text": [
"elimu"
]
} |
0165_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kwenye dunia elimu ni msingi wa maisha, kwa ajili hiyo itabidi mtu ajikaze kisabuni asome ili kujikimu maishani kindakindaki. Waama, mchumia juani hulia kivulini. Kila uchao ni masomo hasa hilo somo ni nini? Somo ni mpango wa maf... | Masomo gani hupewa kipaumbele | {
"text": [
"ya kiakademia"
]
} |
0165_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kwenye dunia elimu ni msingi wa maisha, kwa ajili hiyo itabidi mtu ajikaze kisabuni asome ili kujikimu maishani kindakindaki. Waama, mchumia juani hulia kivulini. Kila uchao ni masomo hasa hilo somo ni nini? Somo ni mpango wa maf... | Mchumia juani hulia wapi | {
"text": [
"kivulini"
]
} |
0165_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kwenye dunia elimu ni msingi wa maisha, kwa ajili hiyo itabidi mtu ajikaze kisabuni asome ili kujikimu maishani kindakindaki. Waama, mchumia juani hulia kivulini. Kila uchao ni masomo hasa hilo somo ni nini? Somo ni mpango wa maf... | Wanafunzi wana msimamo hasi kuhusu masomo gani | {
"text": [
"ya kiufundi"
]
} |
0165_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kwenye dunia elimu ni msingi wa maisha, kwa ajili hiyo itabidi mtu ajikaze kisabuni asome ili kujikimu maishani kindakindaki. Waama, mchumia juani hulia kivulini. Kila uchao ni masomo hasa hilo somo ni nini? Somo ni mpango wa maf... | Mbona masomo ya kiufundi yawe ya lazima | {
"text": [
"ili tufaulu katika maisha yetu"
]
} |
0166_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio maalumu linalotambulika, lisilotarajiwa geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au maksudi dhahiri lakini husababisha madhara yaliyo wazi hasa vifo. Kuna aina nyingi za ajali, kwa mfano kuna ... | Ajali husababisha madhara gani | {
"text": [
"Vifo"
]
} |
0166_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio maalumu linalotambulika, lisilotarajiwa geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au maksudi dhahiri lakini husababisha madhara yaliyo wazi hasa vifo. Kuna aina nyingi za ajali, kwa mfano kuna ... | Ni ajali za wapi zimeripotiwa kufika milioni moja nukta tatu tano | {
"text": [
"Barabarani"
]
} |
0166_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio maalumu linalotambulika, lisilotarajiwa geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au maksudi dhahiri lakini husababisha madhara yaliyo wazi hasa vifo. Kuna aina nyingi za ajali, kwa mfano kuna ... | Nani wavalie helmeti ili kujikinga kutokana na ajali | {
"text": [
"Waendeshaji pikipiki na abiria wao"
]
} |
0166_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio maalumu linalotambulika, lisilotarajiwa geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au maksudi dhahiri lakini husababisha madhara yaliyo wazi hasa vifo. Kuna aina nyingi za ajali, kwa mfano kuna ... | Ni nani hupokea hongo kutoka kwa utingo na dereva barabarani wakiwa na magari mabovu | {
"text": [
"Askari fisadi"
]
} |
0166_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio maalumu linalotambulika, lisilotarajiwa geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika muda na mahali fulani bila sababu au maksudi dhahiri lakini husababisha madhara yaliyo wazi hasa vifo. Kuna aina nyingi za ajali, kwa mfano kuna ... | Ni zipi mojawapo ya sababu zinazochangia ajali barabarani | {
"text": [
"Giza usiku na mvua kubwa"
]
} |
0167_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kuanzia mwaka wa sitini na tatu hadi wa themanini, vyuo vya kiufundi vilishamiri na kutia foro Kenya nzima. Vyuo ya kiufundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama maganlali. Vyuo hivi vilikuwa vikitoa shahada ya ngazi mbalimbali kwa... | Ni katika sehemu gani vyuo vya kifundi vilishamiri na kutia fora | {
"text": [
"Kenya nzima"
]
} |
0167_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kuanzia mwaka wa sitini na tatu hadi wa themanini, vyuo vya kiufundi vilishamiri na kutia foro Kenya nzima. Vyuo ya kiufundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama maganlali. Vyuo hivi vilikuwa vikitoa shahada ya ngazi mbalimbali kwa... | Vyuo vya kifundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama nini | {
"text": [
"Maganlali"
]
} |
0167_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kuanzia mwaka wa sitini na tatu hadi wa themanini, vyuo vya kiufundi vilishamiri na kutia foro Kenya nzima. Vyuo ya kiufundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama maganlali. Vyuo hivi vilikuwa vikitoa shahada ya ngazi mbalimbali kwa... | Wanaotaka kujiendeleza huenda wapi | {
"text": [
"Katika vyuo vya diploma"
]
} |
0167_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kuanzia mwaka wa sitini na tatu hadi wa themanini, vyuo vya kiufundi vilishamiri na kutia foro Kenya nzima. Vyuo ya kiufundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama maganlali. Vyuo hivi vilikuwa vikitoa shahada ya ngazi mbalimbali kwa... | Chuo cha ufundi cha Mombasa kimegeuzwa kuwa nini | {
"text": [
"Chuo kikuu"
]
} |
0167_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Kuanzia mwaka wa sitini na tatu hadi wa themanini, vyuo vya kiufundi vilishamiri na kutia foro Kenya nzima. Vyuo ya kiufundi vya ngazi ya chini vilijulikana kama maganlali. Vyuo hivi vilikuwa vikitoa shahada ya ngazi mbalimbali kwa... | Mbona vijana wanahofia kujiunga na taalumu hizi | {
"text": [
"Kwa sababu wana fikira kuwa ni za sulubu"
]
} |
0168_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Wengi mungeuliza ya kwamba ajali ni nini? Kwa upande wangu, ningewajibu kuwa ajali ni tukio linalodhuru na lililotokea kwa bahati mbaya. Kuna aina ainati za ajali. Kuna zile za kuanguka kwa kujikwaa, zile za barabarani, za angani na za bahari... | Ni nini hutukia Kwa bahati mbaya | {
"text": [
"Ajali"
]
} |
0168_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Wengi mungeuliza ya kwamba ajali ni nini? Kwa upande wangu, ningewajibu kuwa ajali ni tukio linalodhuru na lililotokea kwa bahati mbaya. Kuna aina ainati za ajali. Kuna zile za kuanguka kwa kujikwaa, zile za barabarani, za angani na za bahari... | Ajali zilizokidhiri nchini Kenya ni za wapi | {
"text": [
"Barabarani"
]
} |
0168_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Wengi mungeuliza ya kwamba ajali ni nini? Kwa upande wangu, ningewajibu kuwa ajali ni tukio linalodhuru na lililotokea kwa bahati mbaya. Kuna aina ainati za ajali. Kuna zile za kuanguka kwa kujikwaa, zile za barabarani, za angani na za bahari... | Ni nini chanzo cha kwanza cha ajali | {
"text": [
"Barabarani"
]
} |
0168_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Wengi mungeuliza ya kwamba ajali ni nini? Kwa upande wangu, ningewajibu kuwa ajali ni tukio linalodhuru na lililotokea kwa bahati mbaya. Kuna aina ainati za ajali. Kuna zile za kuanguka kwa kujikwaa, zile za barabarani, za angani na za bahari... | Ni ujenzi wa nini huzuia ajali | {
"text": [
"Matuta"
]
} |
0168_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Wengi mungeuliza ya kwamba ajali ni nini? Kwa upande wangu, ningewajibu kuwa ajali ni tukio linalodhuru na lililotokea kwa bahati mbaya. Kuna aina ainati za ajali. Kuna zile za kuanguka kwa kujikwaa, zile za barabarani, za angani na za bahari... | Ni Kwa vipi matuta hupunguza ajali | {
"text": [
"Dereva hupunguza mwendo"
]
} |
0169_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ulimwenguni mmekithiri ajali zinazosababisha vifo na ulemavu katika jamii. Kwa hivyo ni muhimu tujue maana ya ajali. Ajali ni tukio la ghafla lenye madhara. Ajali hutokea popote. Si jikoni, si uwanjani, si darasani, si njiani, si chumbani, s... | Ni nani wanafaa kupokonywa leseni | {
"text": [
"madereva wasiojali wengine"
]
} |
0169_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ulimwenguni mmekithiri ajali zinazosababisha vifo na ulemavu katika jamii. Kwa hivyo ni muhimu tujue maana ya ajali. Ajali ni tukio la ghafla lenye madhara. Ajali hutokea popote. Si jikoni, si uwanjani, si darasani, si njiani, si chumbani, s... | madereva wasioheshimu haki za binadamu hufanya nini | {
"text": [
"huendesha magari kishaghalabaghala"
]
} |
0169_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ulimwenguni mmekithiri ajali zinazosababisha vifo na ulemavu katika jamii. Kwa hivyo ni muhimu tujue maana ya ajali. Ajali ni tukio la ghafla lenye madhara. Ajali hutokea popote. Si jikoni, si uwanjani, si darasani, si njiani, si chumbani, s... | Ni vipi askari wanaweza kupunguza ajali | {
"text": [
"kwa kutumia teknolojia"
]
} |
0169_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ulimwenguni mmekithiri ajali zinazosababisha vifo na ulemavu katika jamii. Kwa hivyo ni muhimu tujue maana ya ajali. Ajali ni tukio la ghafla lenye madhara. Ajali hutokea popote. Si jikoni, si uwanjani, si darasani, si njiani, si chumbani, s... | mbona kamera ziwekwe kwa milingoti kando iliyo ya barabara | {
"text": [
"Ili zinase nambari za magari yanayokiuka sheria za uendeshaji"
]
} |
0169_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ulimwenguni mmekithiri ajali zinazosababisha vifo na ulemavu katika jamii. Kwa hivyo ni muhimu tujue maana ya ajali. Ajali ni tukio la ghafla lenye madhara. Ajali hutokea popote. Si jikoni, si uwanjani, si darasani, si njiani, si chumbani, s... | ajali husababisha nini | {
"text": [
"vifo na ulemavu"
]
} |
0171_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ... | Ni nini sababu kuu ya ajali Kenya | {
"text": [
"mwendokasi"
]
} |
0171_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ... | Hapo awali ni nini kilisababisha ajali | {
"text": [
"ulevi na mihadarati"
]
} |
0171_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ... | Ni nini kinahitajika kwa magari kupunguza idadi ya ajali | {
"text": [
"vidhibiti mwendo"
]
} |
0171_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ... | ni wakati gani mtu huskia mlegevu anapoendesha gari | {
"text": [
"anapokunywa pombe"
]
} |
0171_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni kadhia lenye madhara mengi na hutokea ghafla. Ajali huwa haitokei kisadfa bali hutokea kwa sababu ya binadamu kupuuza mambo fulani. Ajali za barabarani husababishwa na kutofuata alama za barabarani, kutotia sheria za uendeshaji gari ... | ni vipi ajali za barabara zinaweza kupunguzwa | {
"text": [
"barabara ziwe katika hali nzuri na madereva kufuata sheria"
]
} |
0172_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Masomo ya kiufundi ni masomo ambayo yanapatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono viwandani au kujiajiri mwenyewe. Masomo haya huwafanya watu kuwa wabunifu katika kazi mbalimbali ambazo hupunguza fikira potovu kama vile uha... | mchelea mwana kulia hufanya nini | {
"text": [
"hulia mwenyewe"
]
} |
0172_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Masomo ya kiufundi ni masomo ambayo yanapatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono viwandani au kujiajiri mwenyewe. Masomo haya huwafanya watu kuwa wabunifu katika kazi mbalimbali ambazo hupunguza fikira potovu kama vile uha... | Ni kina nani huonekana kuwa wachafu | {
"text": [
"waashi"
]
} |
0172_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Masomo ya kiufundi ni masomo ambayo yanapatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono viwandani au kujiajiri mwenyewe. Masomo haya huwafanya watu kuwa wabunifu katika kazi mbalimbali ambazo hupunguza fikira potovu kama vile uha... | Mbona baadhi ya wanafunzi huwa wavivu | {
"text": [
"hawataki kujichokesha"
]
} |
0172_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Masomo ya kiufundi ni masomo ambayo yanapatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono viwandani au kujiajiri mwenyewe. Masomo haya huwafanya watu kuwa wabunifu katika kazi mbalimbali ambazo hupunguza fikira potovu kama vile uha... | mbona masomo ya kiufundi hayana mvuto | {
"text": [
"ni kwa sababu wanaoyafanya huonekana kuwa hawana elimu"
]
} |
0172_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Masomo ya kiufundi ni masomo ambayo yanapatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono viwandani au kujiajiri mwenyewe. Masomo haya huwafanya watu kuwa wabunifu katika kazi mbalimbali ambazo hupunguza fikira potovu kama vile uha... | masomo yapi hupatia watu ujuzi wa kufanya kazi kwa mkono | {
"text": [
"masomo ya kiufundi"
]
} |
0173_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Aghalabu ajali hujulikana kama tukio lenye madhara linalotokea kighafla katika barabara. Kuna ajali ya aina nyingi kama vile ajali za jikoni, za ofisini, za majini, za shuleni, za nyumbani na za barabarani. Ajali za barabarani hutokea mara kwa m... | Kuna rangi ngapi katika taa za barabarani | {
"text": [
"tatu"
]
} |
0173_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Aghalabu ajali hujulikana kama tukio lenye madhara linalotokea kighafla katika barabara. Kuna ajali ya aina nyingi kama vile ajali za jikoni, za ofisini, za majini, za shuleni, za nyumbani na za barabarani. Ajali za barabarani hutokea mara kwa m... | Rangi gani inamaanisha kusimama kwa magari | {
"text": [
"nyekundu"
]
} |
0173_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Aghalabu ajali hujulikana kama tukio lenye madhara linalotokea kighafla katika barabara. Kuna ajali ya aina nyingi kama vile ajali za jikoni, za ofisini, za majini, za shuleni, za nyumbani na za barabarani. Ajali za barabarani hutokea mara kwa m... | Mja anapaswa kulala kwa saa ngapi | {
"text": [
"nane"
]
} |
0173_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Aghalabu ajali hujulikana kama tukio lenye madhara linalotokea kighafla katika barabara. Kuna ajali ya aina nyingi kama vile ajali za jikoni, za ofisini, za majini, za shuleni, za nyumbani na za barabarani. Ajali za barabarani hutokea mara kwa m... | Waendeshaji bodaboda wanashauriwa wavae nini | {
"text": [
"helmeti"
]
} |
0173_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NCHINI KENYA
Aghalabu ajali hujulikana kama tukio lenye madhara linalotokea kighafla katika barabara. Kuna ajali ya aina nyingi kama vile ajali za jikoni, za ofisini, za majini, za shuleni, za nyumbani na za barabarani. Ajali za barabarani hutokea mara kwa m... | Kwa nini adinasi waelimishwe sheria za barabarani | {
"text": [
"ili kupunguza ajali"
]
} |
0174_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio linalodhuru ambalo hutokea kwa bahati mbaya na halina kinga wala kafara. Kuna ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa mwezi wa mwisho wa mwaka. Ajali hiyo ilisababishwa na uwembamba wa baraste wakati vichukuzi k... | Ajali nyingi husababishwa na nini | {
"text": [
"Mwendo kasi wa juu wa magari"
]
} |
0174_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio linalodhuru ambalo hutokea kwa bahati mbaya na halina kinga wala kafara. Kuna ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa mwezi wa mwisho wa mwaka. Ajali hiyo ilisababishwa na uwembamba wa baraste wakati vichukuzi k... | Ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa ilisababishwa na nini | {
"text": [
"Kupishana kwa malori, bodaboda, baisikeli na bajaji kutokana na na wembamba wa barabara"
]
} |
0174_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio linalodhuru ambalo hutokea kwa bahati mbaya na halina kinga wala kafara. Kuna ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa mwezi wa mwisho wa mwaka. Ajali hiyo ilisababishwa na uwembamba wa baraste wakati vichukuzi k... | Ni kipi kitapunguzwa iwapo safari za usiku zitapigwa marufuku | {
"text": [
"Ajali"
]
} |
0174_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio linalodhuru ambalo hutokea kwa bahati mbaya na halina kinga wala kafara. Kuna ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa mwezi wa mwisho wa mwaka. Ajali hiyo ilisababishwa na uwembamba wa baraste wakati vichukuzi k... | Ni njia ipi bora ya kupunguza ajali | {
"text": [
"Madereva kuelimishwa athari za ajali kwa kupewa masomo kupitia mtandaoni"
]
} |
0174_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Ajali ni tukio linalodhuru ambalo hutokea kwa bahati mbaya na halina kinga wala kafara. Kuna ajali iliyofanyika mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa mwezi wa mwisho wa mwaka. Ajali hiyo ilisababishwa na uwembamba wa baraste wakati vichukuzi k... | Ni nini husababisha msongamano barabarani | {
"text": [
"Vyombo vya uchukuzi"
]
} |
0175_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Barabara! Duru yangu imenijuvya ya kwamba ajali ni tukio lenye madhara linalotokea ghafla bin vuu na haina kinga wala kafara. Ama kweli farasi huenda mbio hujulikana katika mashindano na katika ajali, ajali ya barabarani ndiyo ina peleka wen... | Walikuwa wapi na wenzake | {
"text": [
"kituo cha mabasi"
]
} |
0175_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Barabara! Duru yangu imenijuvya ya kwamba ajali ni tukio lenye madhara linalotokea ghafla bin vuu na haina kinga wala kafara. Ama kweli farasi huenda mbio hujulikana katika mashindano na katika ajali, ajali ya barabarani ndiyo ina peleka wen... | Matwana ngapi zilipita zikiyumbayumba | {
"text": [
"moja"
]
} |
0175_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Barabara! Duru yangu imenijuvya ya kwamba ajali ni tukio lenye madhara linalotokea ghafla bin vuu na haina kinga wala kafara. Ama kweli farasi huenda mbio hujulikana katika mashindano na katika ajali, ajali ya barabarani ndiyo ina peleka wen... | Ajali nyingi huwa za lini | {
"text": [
"Disemba"
]
} |
0175_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Barabara! Duru yangu imenijuvya ya kwamba ajali ni tukio lenye madhara linalotokea ghafla bin vuu na haina kinga wala kafara. Ama kweli farasi huenda mbio hujulikana katika mashindano na katika ajali, ajali ya barabarani ndiyo ina peleka wen... | Grown ilikuwa ikielekea wapi | {
"text": [
"Nairobi"
]
} |
0175_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI KENYA
Barabara! Duru yangu imenijuvya ya kwamba ajali ni tukio lenye madhara linalotokea ghafla bin vuu na haina kinga wala kafara. Ama kweli farasi huenda mbio hujulikana katika mashindano na katika ajali, ajali ya barabarani ndiyo ina peleka wen... | Watu wapunguze safari za msimu gani | {
"text": [
"wa masika"
]
} |
0176_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Aghalabu elimu hujulikana kama mfumo unaotumika kuwafundisha binadamu mambo yatakayowasaidia aushini mwao kupitia masomo mbalimbali. Masomo ni ya aina mbili nazo ni: ya kiakademia na ya kiufundi. Masomo ya kiakademia hupigiwa debe hadharani i... | Mfumo wa kufundisha binadamu unaitwaje | {
"text": [
"Elimu"
]
} |
0176_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Aghalabu elimu hujulikana kama mfumo unaotumika kuwafundisha binadamu mambo yatakayowasaidia aushini mwao kupitia masomo mbalimbali. Masomo ni ya aina mbili nazo ni: ya kiakademia na ya kiufundi. Masomo ya kiakademia hupigiwa debe hadharani i... | Kuna ukosefu wa nini shuleni | {
"text": [
"Vifaa"
]
} |
0176_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Aghalabu elimu hujulikana kama mfumo unaotumika kuwafundisha binadamu mambo yatakayowasaidia aushini mwao kupitia masomo mbalimbali. Masomo ni ya aina mbili nazo ni: ya kiakademia na ya kiufundi. Masomo ya kiakademia hupigiwa debe hadharani i... | Msisitizo mkubwa upo katika masomo yepi | {
"text": [
"Kiakademia"
]
} |
0176_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Aghalabu elimu hujulikana kama mfumo unaotumika kuwafundisha binadamu mambo yatakayowasaidia aushini mwao kupitia masomo mbalimbali. Masomo ni ya aina mbili nazo ni: ya kiakademia na ya kiufundi. Masomo ya kiakademia hupigiwa debe hadharani i... | Kuna mtazamo upi kwa baadhi ya masomo ya kiufundi | {
"text": [
"Hasi"
]
} |
0176_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Aghalabu elimu hujulikana kama mfumo unaotumika kuwafundisha binadamu mambo yatakayowasaidia aushini mwao kupitia masomo mbalimbali. Masomo ni ya aina mbili nazo ni: ya kiakademia na ya kiufundi. Masomo ya kiakademia hupigiwa debe hadharani i... | Masomo ya ufundi yana umuhimu upi | {
"text": [
"Hupunguza visa vya uhalifu na kuimarisha ubunifu"
]
} |
0179_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni, vyuoni na maishani. Masomo ni mafunzo ya kutafuta ubingwa wa fani fulani maalumu. Masomo ya kiakademia ni mafunzo yanayotoa elimu au utaalamu maalum. Masomo ya kiufundi ni ma... | Masomo hufanyika wapi? | {
"text": [
"Shuleni"
]
} |
0179_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni, vyuoni na maishani. Masomo ni mafunzo ya kutafuta ubingwa wa fani fulani maalumu. Masomo ya kiakademia ni mafunzo yanayotoa elimu au utaalamu maalum. Masomo ya kiufundi ni ma... | Masomo ya kifundi ni yapi? | {
"text": [
"Mikono"
]
} |
0179_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni, vyuoni na maishani. Masomo ni mafunzo ya kutafuta ubingwa wa fani fulani maalumu. Masomo ya kiakademia ni mafunzo yanayotoa elimu au utaalamu maalum. Masomo ya kiufundi ni ma... | Masomo hukuza vipawa ya kina nani? | {
"text": [
"Vijana"
]
} |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.