Datasets:
text stringlengths 1k 17.3k | label int64 0 5 |
|---|---|
MAADHIMISHO ya Siku ya Nyuki duniani, yameanza kuadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Nyerere Square jijini hapa huku yakibeba kauli mbiu ya ‘Tuwalinde Nyuki’.Akizungumza katika mahojiano jana, Mkurugenzi Msaidizi Uendelezaji Ufugaji Nyuki kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Allen Richard alisema hii ni mara ya kwa... | 3 |
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema serikali ina uwezo kutatua changamoto zikiwemo za uchakavu wa majengo zinazokabili kituo cha matunzo ya watu wenye ulemavu wa ukoma na wazee wasiojiweza cha Chazi ,wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wa... | 3 |
IDADI ya vifo vya waendesha bodaboda nchini vitokanavyo na ajali imepungua katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu kinachoanzia Januari hadi Machi, ikilinganishwa na idadi ya vifo vya bodaboda kwa kipindi kama hicho kwa mwaka jana. Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Afande Deusi Sokoni akizungumza na... | 3 |
WALIMU 21 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamesimamishwa kazi kwa kushindwa kuripoti kwenye vituo vya vipya vya kazi huku wengine wakiwa wamechukua posho ya kujikimu.Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Michael Magesa alibainisha hayo wakati alipokuwa akijibu hoja ya madiwani wa... | 3 |
ALGIERS, ALGERIA MFANYABIASHARA na
kiongozi wa upinzani nchini Algeria Rachid Nekkaz amekamatwa jana katika
hospitali mjini Geneva, Uswisi baada ya kutaka kumfikia rais Abdelaziz
Bouteflika anayepokea matibabu katika hospitali hiyo. Nekkaz anayetaka
kuwania urais dhidi ya Bouteflika katika uchaguzi ujao nchini humo am... | 2 |
Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa takwimu za ukatili wa kijinsia kwa watoto huku akitaja ubakaji kuongoza kutokana na kuongezeka kila mwaka. Waziri Ummy ametoa majibu hayo kwa njia ya maandishi akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Catherin... | 0 |
Ikiwa imebakia takribani miezi minne kueleka kwenye uchaguzi mkuu mwanamuziki Zuena Mohammed (Shilole) amesema kuwa anafikiria kwenda kugombea Ubunge kwenye jimbo la Igunga mkoani Tabora mambo yakikaa sawa. Akizungumza na kituo cha televisheni cha East Africa Shilole amesema anataka kuwapa wananchi kile ambacho yeye a... | 1 |
WABUNGE wamesisitiza haja ya serikali kuboresha huduma za matibabu katika hospitali, vituo vya afya na zahanati ili kulinda maisha ya Watanzania hususani wa vijijini na wasio na uwezo.Kwa nyakati tofauti, wakichangia bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, pamoja na kupongeza juhudi za s... | 3 |
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewapongeza wafanyabiashara wa Mkoa wa Kigoma kwa kuhakikisha wanatumia mashine za kielektroniki (EFDs) kila wafanyapo mauzo na kusema kuwa mfano wao unapaswa kuigwa.Meneja msaidizi anayesimamia madeni na makusanyo ya TRA mkoani hapa, Jeremia Maunde alisema hayo mwisoni mwa wiki. Alik... | 3 |
Ofisa Mwandamizi Mkuu Elimu wa TRA, Hamis Lupenja alisema hayo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyofanyika jijini hapa mwishoni mwa wiki.“Vituo vya mafuta hawatoi risiti za TRA licha ya baadhi yao kuwa mashine za EFD’s, katika kukabiliana na hilo utaratibu wa kufunga kifaa cha kodi ndani ya pampu ili kuondoa ... | 5 |
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji mstaafu Dk Steven Bwana amesema bado kuna watumishi wa umma ambao hawana maadili na amewataka kujirudi, kujisahihisha na kujirekebisha haraka.Aidha amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa wakati wote wanapotekeleza majukumu yao, na viongozi wasisite kuc... | 3 |
Yanga ilianza ligi kwa kishindo Jumapili baada ya kuishinda Coastal Union ya Tanga kwa mabao 2-0 na hivyo kukalia usukani wa ligi hiyo, wakati Prisons ilipoteza mechi yake ya kwanza dhidi ya Azam FC kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo leo inatafuta ushindi wa kwanza kwenye ligi hiyo.Kocha wa Prisons, Salum Mayanga aliliambia... | 4 |
WAZIRI wa Nchi Ofi si ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (pichani) amewaasa watumishi wa ofi si yake kuendelea kuzingatia sheria na kanuni za utumishi wa umma katika utendaji kazi wao.Mhagama alitoa kauli hiyo jijini hapa wakati akifungua kikao c... | 3 |
BUENOS AIRES, ARGENTINA TIMU ya Taifa ya Argentina, ipo hatarini kukosa kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi baada ya mchezo wao wa juzi wa kuwania kufuzu kutoka suluhu dhidi ya wapinzani wao Peru. Kwa hatua waliyofikia, Argentina wanahitaji kushinda mchezo mmoja uliobaki ili kujihakikishia nafasi ya... | 4 |
Na TUNU NASSOR–DAR ES SALAM
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, ameonya tabia ya unyanyasaji dhidi ya wajane unaofanywa na baadhi ya wanafamilia pindi mume anapofariki.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam, wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la KKKT Usharika wa ... | 3 |
Na SAM BAHARI -SHINYANGA MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kishapu na Wilaya ya Kishapu Sulei- man Masoud (Nchambi) amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga na kusomewa mashitaka 12 ya uhujumu Uchumi. Akisoma Mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahaka- ma ya Wilaya ya Shinyanga, Ush... | 3 |
Na FLORENCE SANAWA-MTWARA ZAIDI ya wanafunzi 513 wa Shule ya Msingi Mbae iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, wanatumia matundu mawili ya choo. Akizungumza na MTANZANIA shuleni hapo wakati wa kuweka jiwe la msingi kwenye majengo ya vyoo vipya 10, Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Josephat Mussa, alisema tatizo hilo linaw... | 3 |
Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM JUMLA ya wagonjwa sita wamefanyiwa upasuaji wa
kurekebisaha viungo na makovu katika kambi maaalum ya upasuaji iliyofanyika kwa
siku tatu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila. Upasuaji huo ambao umefanywa na wataalamu wa ... | 3 |
KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema, kilichowafanya wapoteze mchezo wao mbele ya Lipuli FC ni wapinzani wao hao kuwazidi uwezo hivyo mbinu zao zote walizozitumia hazikufanya kazi.Yanga walifungwa mabao 2-0 na Lipuli katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, FA, uliopigwa katika Uwanja wa Sam... | 4 |
NA KOMBO ALI KOMBO, ZANZIBAR MASHABIKI wa timu ya Simba visiwani hapa wameanza kufurahishwa na viwango vya nyota wao wapya, Paul Kiongera na Hijja Ungando, wakidai wametengeneza kombinesheni nzuri. Ungando na Kiongera, aliyekuwa kwa mkopo KCB ya Kenya, wameanza kufanya vizuri kwenye maandalizi ya Simba kuelekea mchezo ... | 4 |
Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo vinatarajiwa kutoa msimamo endapo vitashiriki uchaguzi mdogo wa majimbo matatu Januari mwakani. Vyama hivyo vitatu ni Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, Majimbo hayo ni Songea Mjini (Ruvuma), Singida Kaskazini (Singida) na Longi... | 3 |
Akizungumza katika uzinduzi wa kitengo hicho jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, John Lwande alisema benki hiyo imekuwa ikifanya jitihada za kuanzisha huduma mbalimbali kwa lengo la kuboresha huduma zake kwa wateja.“Kuanzishwa kwa kitengo hiki ni moja ya hatua kubwa zilizofikiwa na ACB katika... | 5 |
SERIKALI imeiagiza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufuatilia kwa kina sakata la kushikiliwa kwa ndege ya serikali iliyoikodisha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Airbus 220-300 ikiwa nchini Afrika Kusini.Ndege hiyo ikiwa na abiria 83 kwa amri ya Mahakama ya Gauteng ya nchini humo, inashikiliwa tangu juzi... | 3 |
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amezitaka taasisi za umma na sekta binafsi kujitathmini ni kwa namna gani wataifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.Alisema maendeleo ya viwanda nchini ambayo yatasaidia kufikia uchumi wa kati yatachochewa na utekelezaji wa mradi wa Kaizen unaosimamiwa... | 5 |
Michuano hiyo inayojulikana pia kama Kombe la FA imeingia hatua ya robo fainali, ambapo Jumamosi iliyopita timu ya Mwadui iliifunga Geita Gold Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza mabao 3-0 na kufuzu nusu fainali.Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Yanga itacheza Uwanja wa Taifa Dar es Sala... | 4 |
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imelieleza Bunge kuwa, inaanzisha kambi mpya za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika maeneo mbalimbali kwa awamu.Waziri wa wizara hiyo, Dk. Hussein Mwinyi amesema, Serikali inatambua hitaji kubwa la kuanzisha kambi za JKT kwenye mikoa na wilaya zisizo na kambi hizo."Jeshi la K... | 3 |
NEW YORK KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau na Waziri Mkuu wa Jamaica, Andrew Holness wameitisha mkutano wa pamoja na viongozi wa dunia, Mashirika ya Kimataifa katika mpango jumuishi wa kukabiliana na madhara ya kibinadamu na kiuchumi ya Covid-19. Mkutano huo u... | 2 |
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge ameshindwa kufi ka kijiji cha Iwondo kutokana na ubovu wa barabara uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha huku msafara wake ukikwama mara kwa mara.Msafara wa Dk Mahenge ulikwama zaidi ya mara tano na mara kadhaa kusimama ili kunasua magari yaliyokwama na safari kuende... | 3 |
Na MOHAMED KASSARA TIMU ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, imejikuta ikiangukia pua na kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Cape Verde katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Mataifa Afrika (Afcon) uliochezwa juzi Uwanja wa Taifa, jijini Praia. Kipigo hicho kimezidi kufifisha ndoto ya Tanzania kufuzu f... | 4 |
Yanga itacheza na Al Ahly Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Aprili 9 mwaka huu, lakini Yanga ikitakiwa kucheza mechi tatu za viporo vya Ligi Kuu ndani ya siku 11, jambo ambalo Pluijm ameliita ni kuwachosha wachezaji wake.Akizungumza na gazeti hili jana, Pluijm alisema ratiba hiyo mpya imevuruga mipango yake ya kuongeza u... | 4 |
NEW YORK, MAREKANI BIFU la mwanamitindo Blac Chyna na familia ya Kardashian, haliwezi kwisha baada ya mrembo huyo kuionya familia hiyo kutotumia jina la mtoto wake Dream katika kipindi chao cha runginga cha Keeping Up With The Kardashians. Blac alipata mtoto huyo mwenye umri wa miaka miwili sasa wakati yupo kwenye uhu... | 1 |
NA ZAINAB IDDY, LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17 unaoshirikisha timu 16, tayari umeanza kutimua vumbi tangu mwishoni mwa wiki iliyopita. Kwa sasa hivi mchezaji mmoja mmoja au timu kwa ujumla wapo katika vita ya kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi ya msimu uliopita. Kwenye ligi iliyopita tuliona jinsi kulivyokuwa ... | 4 |
BODI ya Ligi Kuu Tanzania imezipa muda klabu zinazowakilisha nchi kimataifa Simba na Mtibwa kujiandaa na michezo yao ya raundi inayofuata ili kufanya vizuri zaidi.Timu hizo zilizofanya vizuri katika michezo iliyopita ya Ligi ya mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika tayari zimerejea Dar es Salaam juzi. Katika michezo ... | 3 |
WAHADHIRI wa vyuo vya elimu ya juu wameunga mkono kauli ya Rais John Magufuli kwamba baadhi ya shahada zinazotolewa na vyuo vikuu sasa hazina hadhi bali wanafunzi wanamaliza vyuo ili kupata vyeti.Aidha wameshauri kufanyika kwa maboresho ya elimu na kuwe na msukumo wa kuwajali walimu kimaslahi lakini pia kuwaendeleza k... | 3 |
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko amewaonya baadhi ya askari wa Kituo cha Polisi Kata ya Salawe kutumiwa na viongozi kwenda kuvuruga amani kwa wananchi, kinyume cha maadili ya kazi yao inayowataka kulinda usalama wa raia na mali zao.Inadaiwa diwani wa kata hiyo, Joseph Buyugu anawatumia baadhi ya askari kuo... | 3 |
KAMISHNA Jenerali wa Idara ya Uhamiaji, Anna Makakala amepewa salamu za heshima kutoka kwa mataifa mbalimbali kwa kuindoa Tanzania kuwa uchochoro wa vitendo vya rushwa na kupitisha dawa za kulevya kwenda Ulaya.Nchi zilizotoa pongeza na kumpa heshima kwa kutambua mchango wa Kamishna Makakala ni China, Marekani, India, ... | 3 |
Marekani Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Shirika la Kijasusi la nchi hiyo (CIA) halijahitimisha uchunguzi wake kwa kumlaumu mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, kuamuru mauaji ya mwandishi wa habari, Jamal Khashoggi. Kauli hiyo Rais Trump, ameitoa jana Novemba 22, wakati ambapo Bin Salman, ameanza ... | 2 |
VIONGOZI wa dini katika makanisa mbalimbali nchini, wametoa ujumbe mzito katika ibada ya Sikukuu ya Krismasi, huku wakitaka uwepo wa utawala wa kidemokrasia nchini. Pia wamekemea vitendo vya ukatili, ikiwamo matukio ya utekaji nyara na mauaji ya kinyama, hali inayotishia kutoweka kwa amani ya nchi iliyoasisiwa na waasi... | 3 |
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi ya ufanisi wa makusanyo ya asilimia 100.20 kwa mwezi tangu ianzishwe miaka 23 iliyopita, kwa kukusanya Sh trilioni 1.987 Desemba 2019 kutoka lengo la kukusanya Sh trilioni 1.983, ikiwa ni ongezeko la Sh bilioni tano.Kwa mara ya kwanza, TRA Septemba mwaka jana iliandika ... | 3 |
Na NORA DAMIAN-DAR ES SAALM SIKU chache baada ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61) kuhojiwa na Idara ya Uhamiaji kuhusiana na uraia wake, kiongozi huyo wa dini ametoa waraka unaohusu umuhimu wa Katiba mpya. Katika waraka huo alisisitiza kuwa maoni yake kuhusu... | 3 |
['Arsenal wapo tayari kumuuza mshambuliaji wao raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, lakini si kwa Manchester United ama Liverpool. (90min.com)', 'Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, ameiomba klabu yake ya Crystal Palace imruhusu ahamie Arsenal. Palace inamthaminisha streka huyo streka huyo kuwa na thama... | 4 |
Na JANETH MUSHI -ARUSHA UCHAGUZI wa viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Arusha Mjini umeanza kwa vurugu, baada ya baadhi ya wajumbe kupigana ngumi hadharani. Vurugu hizo zilijitokeza kabla ya kuanza kwa uchaguzi huo, uliowahusisha pia wajumbe wa mkutano wa wilaya wa UVCCM uliofanyika j... | 3 |
Msimu wa tisa wa Bongo Star Search (BSS) unatarajiwa kuanza mwishoji mwa mwezi huu huku Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) likiwasihi washiriki kujikita zaidi kwenye nyimbo zenye maudhui ya maendeleo ya taifa.Utekelezaji wa ajenda ya uchumi wa viwanda, serikali kuhamia makao makuu ya nchi-Dodoma, kupiga vita maabukizi ... | 3 |
RABAT, MOROCCO MAHAKAMA ya Morocco imewafunga jela watu 28 baada ya kuwatia hatiani kwa kughushi na kutoa nyaraka bandia kwa ajili ya kutengenezewa vitambulisho vya uraia, Wazayuni. Mahakama ya rufaa ya Morocco siku ya Alhamisi iliendelea kufuatilia kesi za watuhumiwa hao 28 waliokula njama za kuwapa vitambulisho vya... | 2 |
Na Mwandishi Maalumu – Pemba RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza rasmi kuwa kuanzia Julai Mosi, mwakani, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itatekeleza mpango wake wa kutoa elimu bure kwa shule za sekondari za Serikali na michango yote wanayotozwa wazazi haitokuwapo tena. Kauli hiyo aliitoa mjini ... | 3 |
Akizungumza jana kabla ya kukabidhi leseni kwa Kampuni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Bahati Nasibu Taifa Abbas Tarimba alisema kutokana na Kampuni hiyo kuwa na vifaa vya kisasa inategemea kuajiri Watanzania 200 kwa ajira za moja kwa moja na 1,000 ambao ni mawakala.Alisema pia, Serikali itanufaika na fedha za uw... | 5 |
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KOCHA Mpya wa Simba, Patrick Phiri, anatarajia kutua leo nchini na kukabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic, aliyefungashiwa virago vyake mwishoni mwa wiki iliyopita. Phiri anatarajia kuwasili majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la F... | 4 |
Na MALIMA LUBASHA -SERENGETI FAMILIA ya watu watatu wa Mtaa wa Chamoto, Kata ya Stendi Kuu, Tarafa ya Rogoro wilayani Serengeti mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili watoto wawili wa kike kwa njia ya ukeketaji. Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Pascal Nkenyenge, mbele ya Hakimu Mkazi wa Mah... | 3 |
Mwandishi Wetu Mwaka 2008, Dunia ilikutana na Paul Karason, mwanamume aliyegeuka kuwa wa rangi ya bluu kutokana na kuzidisha dozi ya dawa aliyoinywa na kuipaka katika ngozi yake iliyolenga kutibu madoa madoa usoni. Miaka mitano baadaye, mtu huyo aliyekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuchomoza mbele ya dunia na katika ul... | 2 |
WABUNGE wameiomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kurudisha zana za wavuvi zilizochukuliwa na kukamatwa wakati wa Operesheni Nzagamba II na wale walioziingiza nchini nyavu zenye saizi hizo ndogo wachukuliwe hatua.Wakichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Waziri Luhaga Mpina, wabunge wamesema nyavu z... | 3 |
Uongozi wa Simba umesema jana watampitia Niyonzima kwao Rwanda timu yao itakaporejea Jumamosi kutoka Afrika Kusini ilikopiga kambi kujiandaa na Ligi Kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao.Niyonzima aliyemaliza mkataba na timu yake ya zamani ya Yanga amesaini mkataba wa miaka miwili Simba na kilichobaki ilikuwa kutambuli... | 4 |
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Mwanza, Septemba
4 mwaka huu, kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa raundi ya
kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco. Mchezo kati ya timu hizo unaotarajiwa kuchezwa
Septemba 13 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga i... | 4 |
NAIROBI, KENYA
NJAA na gharama za juu za maisha zimefanya wananchi kusahau janga la ufisadi linalolikumba taifa.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na Shirika la Kimataifa la Utafiti la Ipsos, yamebainisha idadi kubwa ya Wakenya wanaamini njaa na bei kubwa ya bidhaa muhimu ndiyo matatizo makuu zaidi yana... | 2 |
Kaijage aliyasema hayo juzi baada ya kumalizika kwa mchezo huo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.Alisema matokeo ya mchezo huo ni mazuri ingawa si mazuri sana, lakini cha msingi alikuwa akiangalia mambo ambayo anataka kuyafanya.Hivyo alisema k... | 4 |
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limesema litavifutia usajili vyama vyote vya michezo vilivyoshindwa kukidhi vigezo na sifa zilizowekwa kuendesha shughuli zao.Mwenyekiti wa BMT, Leodegar Tenga amesema jijini Dar es Salaam kuwa, sifa za vyama vya kitaifa ni pamoja na kuwa na ofisi inayotambulika, akaunti ya benki na mi... | 4 |
Na ATHUMANI MOHAMED ELIMU kuhusu mafanikio haina mwisho. Kila siku tunapaswa kujifunza. Tunapaswa kupanua mawazo yetu mara kwa mara ili kujua namna ya kujitanua kimafanikio. Kwa asiye nacho ni nafasi yake ya kujifunza mbinu za kupata lakini hata kwa yule ambaye tayari anacho, anatakiwa kujifunza namna ya kulinda kile a... | 0 |
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro ameomba Serikali ya Tanzania na Morocco kuongeza ushirikiano kwa kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja ili kuongeza kasi ya ushirikiano na kuwa jukwaa madhubuti la kusimamia utekelezaji wa mikataba iliyopo ya ushirikiano.Alisema hayo kweny... | 3 |
Na Johns Njozi Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) limetoa fomu maalumu kwa wale wanaohitaji kuwa mawakala wa wachezaji wa mpira wa miguu. Msemaji wa shirikisho hilo Clifford Ndimbo, amesema fomu hizo zinapatikana kwenye ofisi za (TFF) na tovuti ya shirikisho hilo na mtu anayetaka kuwa wakala wa mchezaji... | 4 |
Hamisa Mobetto aliiwasha mitandao kwa picha maridadi siku baada ya kuonekana na gari la Diamond Ni dhahiri kuwa Hamissa ni Mobetto ni kati ya wasichana warembo zaidi si humu nchini Tanzania tu bali pia katika kanda ya Afrika Mashariki kwa jumla Uhusiano kati yake na Diamond huenda hautaisha hivi karibuni licha ya wa... | 1 |
WAKAZI wa Makambako mkoani Njombe na viunga vyake wamejitokeza katika kupata namba za vitambulisho vya Taifa ili kukidhi matakwa ya usajili wa laini za simu kwa alama za vidole.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ipo katika Kampeni ya Mnada kwa Mnada ya uhamasishaji wa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole. ... | 3 |
BENJAMIN MASESE-MWANZA MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema kuwa imebaini
utapeli na ukiukaji mkubwa unaofanywa na
mawakala kutoka kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini wakati wa usajili wa laini za simu kwa
alama za vidole (biometric) unaoendelea. Kutokana na hali hiyo, TCRA imefanya operesheni ya
kush... | 3 |
SERIKALI kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) wamezindua mabaraza ya ujuzi ya kisekta ili kuwajengea uwezo wanavyuo kwenye soko la ajira.Akizindua mabaraza hayo Dar es Salaam jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako alisema mabaraza hayo yatasaidia kupunguza tatizo... | 3 |
Na LEONARD MANG’OHA DAR ES SALAAM LICHA ya taarifa za Benki ya Dunia (WB) kuonyesha kuwa pato la chini zaidi kwa mtu mmoja kwa mwaka linapaswa kuwa dola za Marekani 3,000, kwa hapa nchini pato hilo ni kati ya dola 900 na 1,000, hali inayotajwa kusababisha Watanzania wengi kulalamikia ugumu wa maisha. Kauli hiyo ilitol... | 3 |
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari UNAWEZA
kusema hali si shwari tena duniani kutokana na virusi vya corona kuendelea
kusambaa na kufika katika nchi takribani 40 huku mataifa mbalimbali yakionekana
kuchukua hatua za kujifungia mipaka. Athari pia
imeonekana wazi kwenye uchumi baada ya masoko kuendelea kuanguka katik... | 2 |
PARIS, UFARANSA MSHAMBULIAJI wa timu ya PSG, Neymar Jr, juzi aliungana na timu hiyo kwa mara
ya kwanza tangu kuanza kwa msimu huu na kufanikiwa kuifungia bao la pekee
katika dakika za lala salama kwenye mchezo dhidi ya Strasbourg. Neymar alikuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kutokana na kusumbuliwa na
majeruhi pamoja... | 4 |
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema Serikali itatumia muda mwingi kadri itakavyoona inafaa ili kujiridhisha na manufaa ambayo taifa litapata kabla ya kusaini mikataba ya sekta ya nishati, hususani ya mafuta na gesi.Ameyasema hayo wakati akizungumza na uongozi wa Kampuni ya Maurel & Prom kutoka Ufaransa, wana... | 5 |
Mwandishi Wetu, Mbeya RAIS Dk. John Magufuli, amewataka waajiri na
wamiliki wa sehemu za kazi wote kuzingatia utekelezaji wa Sheria ya Afya na
Usalama Mahali pa Kazi ya mwaka 2003 pamoja na sheria nyingine za kazi ili
kuboresha mazingira ya kazi hapa nchini. Kauli hiyo aliitoa wiki hii alipowahutubia
wafanyakazi na wa... | 3 |
['Vioja vya shabiki sugu wa timu ya taifa Tanzania katika mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika - Bongo Zozo amewaacha wengi hoi katika mitandao ya kijamii nchini humo baadhi wakiguswa na ushabiki wake kwa timu hiyo.', ' Ametoa matumaini kwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo licha ya kipigo cha 2-0 walichopoke... | 4 |
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma imeendesha kikao chake cha kwanza cha mashauriano na wadau tangu kuanzishwa kwake rasmi na Jaji Mkuu wa Tanzania kwa Tangazo la Serikali Namba 112 la Februari 1, 2019. Akifungua kikao hicho juzi katika Jengo la Hakimu Mkazi Kigoma, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, Ilvin Muget... | 3 |
Ramadhan hassan – Dodoma MKUU
wa Shule ya Sekondari Dodoma, Amani Mfaume, amesema hakuna mwanafunzi ambaye
atapata mimba katika shule hiyo na kuendelea na masomo. Kauli
hiyo imekuja kufuatia taarifa ambayo imekuwa ikisambazwa katika makundi ya WhatsApp
kwamba kuna wanafunzi nane katika shule hiyo wamepewa ujauzito. Aki... | 3 |
*Simba yatafuta pa kutokea kwa Stand baada ya kipigo NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka nchini, Yanga na Azam FC, leo watashuka dimbani katika viwanja tofauti kuendeleza dozi ya vipigo katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku majeruhi, Simba wakisaka pointi muhimu zitakazorejesha heshima baada ya kipi... | 4 |
HASSAN DAUDI NA MITANDAO HAIJALISHI una shida zinazoweza kujaza mfuko mkubwa kiasi gani,
linapokuja suala la uhai, acha kabisa. Kama hujui, hiyo si kwa binadamu tu,
hakuna kiumbe kisichoujua utamu wa kuendelea kuvuta pumzi. Kuliweka sawa hilo, ni tukio la hivi karibuni mjini Istanbul, Uturuki,
ambapo mbwa amejikuta aki... | 2 |
Katika mechi ya raundi ya kwanza iliyochezwa kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya, timu hiyo iliibuka kidedea dhidi ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu, Yanga. City iliweka kambi Sumbawanga ambapo imedai kambi ya huko inatosha kuwamaliza wapinzani wao.Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa Mbeya City Kinna Phiri alisema... | 4 |
Na TUNU NASSOR-DAR ES SALAAM
CHAMA Cha wafugaji Tanzania (CWT), kimeiomba Serikali kuwaruhusu kuingiza mifugo yao katika hifadhi za taifa kwa dharura ili kuinusuru kutokana na ukame unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.
Wafugaji hao walisema hali ya ukame imekuwa tishio na tayari wamepoteza mifugo ming... | 3 |
Nyemo Malecela-Bukoba WATOTO 301 wenye umri chini ya siku nane na mama 22
wamepoteza maisha katika kipindi cha Januari hadi Mei mwaka huu mkoani Kagera. Takwimu hizo zimetolewa na Mratibu wa Huduma za Afya za
Mama na Mtoto mkoani Kagera, Neema Kyamba alipokuwa akizungumza na MTANZANIA
katika mahojiano maalumu mjini hap... | 0 |
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, George Simbachawene amepongeza utendaji kazi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kulitaka kuendelea kusimamia sheria na taratibu katika kutekeleza majukumu yake ili kufi kia malengo ya taifa.Akizungumza na waandishi wa habar... | 3 |
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo watakuwa ugenini jijini Arusha dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema, atawapumzisha baadhi ya wachezaji waliocheza dhidi ya Yanga ili wawe fiti kwa mechi ijayo dhidi ya Azam FC.Simba ita... | 4 |
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu amesema wizara hiyo inatarajia kuisuka upya Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) ishirikiane moja kwa moja na wadau kutangaza utalii kimkakati.Alisema pia itaundwa bodi shirikishi ya kusimamia fedha za kuendeleza utalii nchini, Tourism Development Levy ( TDL) ili wadau... | 5 |
WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga hatua kubwa kupunguza vifo vya akinamama na watoto kwa kufikisha huduma za afya vijijini karibu na wananchi.Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Harusi Said Suleiman akijibu swali la nyongeza la Mwakilishi wa Viti maalumu Vijana na Wanawake, Viwe Khamis aliyetak... | 3 |
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ... | 5 |
Dataset for Swahili News Classification, categorized with 6 domains (Local News (Kitaifa), International News (Kimataifa), Finance News (Uchumi), Health News (Afya), Sports News (Michezo), and Entertainment News (Burudani)). Building and Optimizing Swahili Language Models: Techniques, Embeddings, and Datasets
| Task category | t2c |
| Domains | News, Written |
| Reference | https://huggingface.co/datasets/Mollel/SwahiliNewsClassification |
How to evaluate on this task
You can evaluate an embedding model on this dataset using the following code:
import mteb
task = mteb.get_task("SwahiliNewsClassification")
evaluator = mteb.MTEB([task])
model = mteb.get_model(YOUR_MODEL)
evaluator.run(model)
To learn more about how to run models on mteb task check out the GitHub repository.
Citation
If you use this dataset, please cite the dataset as well as mteb, as this dataset likely includes additional processing as a part of the MMTEB Contribution.
@inproceedings{davis2020swahili,
author = {Davis, David},
doi = {10.5281/zenodo.5514203},
publisher = {Zenodo},
title = {Swahili: News Classification Dataset (0.2)},
url = {https://doi.org/10.5281/zenodo.5514203},
year = {2020},
}
@article{enevoldsen2025mmtebmassivemultilingualtext,
title={MMTEB: Massive Multilingual Text Embedding Benchmark},
author={Kenneth Enevoldsen and Isaac Chung and Imene Kerboua and Márton Kardos and Ashwin Mathur and David Stap and Jay Gala and Wissam Siblini and Dominik Krzemiński and Genta Indra Winata and Saba Sturua and Saiteja Utpala and Mathieu Ciancone and Marion Schaeffer and Gabriel Sequeira and Diganta Misra and Shreeya Dhakal and Jonathan Rystrøm and Roman Solomatin and Ömer Çağatan and Akash Kundu and Martin Bernstorff and Shitao Xiao and Akshita Sukhlecha and Bhavish Pahwa and Rafał Poświata and Kranthi Kiran GV and Shawon Ashraf and Daniel Auras and Björn Plüster and Jan Philipp Harries and Loïc Magne and Isabelle Mohr and Mariya Hendriksen and Dawei Zhu and Hippolyte Gisserot-Boukhlef and Tom Aarsen and Jan Kostkan and Konrad Wojtasik and Taemin Lee and Marek Šuppa and Crystina Zhang and Roberta Rocca and Mohammed Hamdy and Andrianos Michail and John Yang and Manuel Faysse and Aleksei Vatolin and Nandan Thakur and Manan Dey and Dipam Vasani and Pranjal Chitale and Simone Tedeschi and Nguyen Tai and Artem Snegirev and Michael Günther and Mengzhou Xia and Weijia Shi and Xing Han Lù and Jordan Clive and Gayatri Krishnakumar and Anna Maksimova and Silvan Wehrli and Maria Tikhonova and Henil Panchal and Aleksandr Abramov and Malte Ostendorff and Zheng Liu and Simon Clematide and Lester James Miranda and Alena Fenogenova and Guangyu Song and Ruqiya Bin Safi and Wen-Ding Li and Alessia Borghini and Federico Cassano and Hongjin Su and Jimmy Lin and Howard Yen and Lasse Hansen and Sara Hooker and Chenghao Xiao and Vaibhav Adlakha and Orion Weller and Siva Reddy and Niklas Muennighoff},
publisher = {arXiv},
journal={arXiv preprint arXiv:2502.13595},
year={2025},
url={https://arxiv.org/abs/2502.13595},
doi = {10.48550/arXiv.2502.13595},
}
@article{muennighoff2022mteb,
author = {Muennighoff, Niklas and Tazi, Nouamane and Magne, Loïc and Reimers, Nils},
title = {MTEB: Massive Text Embedding Benchmark},
publisher = {arXiv},
journal={arXiv preprint arXiv:2210.07316},
year = {2022}
url = {https://arxiv.org/abs/2210.07316},
doi = {10.48550/ARXIV.2210.07316},
}
Dataset Statistics
Dataset Statistics
The following code contains the descriptive statistics from the task. These can also be obtained using:
import mteb
task = mteb.get_task("SwahiliNewsClassification")
desc_stats = task.metadata.descriptive_stats
{}
This dataset card was automatically generated using MTEB
- Downloads last month
- 1,959