text stringlengths 1k 17.3k | label int64 0 5 |
|---|---|
HASSAN DAUDI NA MITANDAO ANAITWA Andre
Rush, umri wake ni miaka 45. Ni wananchi wachache wa Marekani wasiomfahamu huyu
jamaa. Licha ya
umaarufu alionao, majukumu yake ya kazi huishia jikoni tu. Hicho ndicho
kilichomweka ndani ya Ikulu ya Marekani, kuhakikisha milo mitatu inapatikana,
tena kwa wakati, kwa kila mfanyakaz... | 2 |
SERIKALI ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa (JICA) inakusudia kuipatia Tanzania mkopo nafuu na ruzuku wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 345 za Marekani, sawa na takriban Sh bilioni 794, kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya maendeleo.Miradi hiyo ni ukarabati wa barabara ya Arusha hadi Holi... | 3 |
ZIARA ya siku mbili nchini Namibia ya Rais, Dk John Magufuli imeelezwa kuanza kuonesha mafanikio baada ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupokea ugeni kutoka Kampuni ya Burmeister and Partners (PTY) Ltd inayomiliki kiwanda cha kuchakata nyama nchini humo iliyoonesha nia ya kuwekeza hapa nchini.Hayo yalithibitishwa na Katib... | 3 |
Na MWANDISHI WETU-ARUSHA MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru, Haliye Mabakwe
(32),amepandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashtaka mawili,
likiwemo la kuomba rushwa ya Sh 450,000 kwa wanafunzi ili awafaulishe katika
mitihani ya marudio. Jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Maha... | 3 |
HALI ya uchumi nchini imeendelea kuimarika ambapo kwa mwaka 2018 pato halisi la taifa lilikua kwa asilimia 7.0 na hivyo Tanzania kushika nafasi ya pili kwa ukuaji uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki, huku Rwanda ikishika nafasi ya kwanza kwa uchumi wake kukua kwa asilimia 8.6.Halikadhalika, nchi ya Kenya imeshika nafa... | 5 |
Shein kauli hiyo aliitoa jana mara baada ya kuchukuwa fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar baada ya waandishi wa habari kutaka kujua msimamo wa Serikali na mgogoro wa chama hicho ambao sasa umegonga hodi mahakamani.Alisema kuwa hatua ya mambo ya michezo kuyapeleka mahakamani haileti taswira nzuri na wala haite... | 4 |
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Tanga (Takukuru) imetoa onyo kwa wagombea uongozi katika nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani ambao watajitoa dakika za mwisho.Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga, Christopher Mariba alitangaza kiama kwa wagombea hao wakati ... | 3 |
BERLIN, UJERMANI KANSELA Angela Merkel, ametoa wito wa kutafakari upya mtazamo wa Serikali ya Ujerumani kwa Uturuki baada ya taifa hilo kuwakamata raia wao wawili zaidi. Uhusiano kati ya nchi hizo mbili umelegelega tangu jaribio lililoshindwa la mapinduzi mwaka 2016. “Hakuna msingi wa kisheria wa kukamatwa ... | 2 |
LONDON, ENGLAND KLABU ya soka ya Manchester United ipo katika mipango ya kupata saini ya mchezaji wa kimataifa wa nchini Italia na kiungo wa timu ya Paris Saint Germain (PSG), Marc Verratti, ili kutua katika dimba la Old Trafford. Kocha mpya wa klabu hiyo, Jose Mourinho, amepanga kukitengeneza kikosi mahiri cha timu hi... | 4 |
BERLIN, UJERUMANI RIPOTI iliyotolewa na Shirika la Waandishi wasio na Mipaka (RSF) imemtuhumu Rais wa Marekani, Donald Trump na mataifa ya Urusi na China kuwa tishio kwa uhuru wa vyombo vya habari duniani. Aidha ripoti hiyo ya mwaka 2018 imesema kushamiri kwa siasa za kizalendo barani Ulaya kumechangia kudhoofisha uhu... | 2 |
WASHINGTON, MAREKANI RAIS mteule Donald Trump huenda akamtangaza ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya mafuta ya Exxon Mobil mwenye uhusiano wa karibu na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa mwanadiplomasia namba moja Marekani. Jina la Ofisa Mkuu Mtendaji huyo wa Exxon, Rex Tillerson lilijitokeza Ijumaa iliyopita kama mtu an... | 2 |
Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Watimanywa alisema ingawa hakushinda, lakini anashukuru hapo alipofika.“Nawashukuru Watanzania kwa kunipigia kura na kuwa mshindi wa pili anayependwa duniani, bila wao nisingefika hapo,” alisema na kuongeza kuwa siri kubwa ya kufanya v... | 4 |
Kwa miaka mingi, Uganda imekuwa ikisubiri medali kwa mchezaji mmoja mmoja katika mashindano hayo ya dunia ya nusu marathon, ambapo sasa itabidi kuendelea kusubiri medali hiyo hadi mwaka 2020 Gdynia, Poland.Kwa mara nyingine, taifa hilo la Afrika Mashariki limeshindwa kupata nafasi ya kupanda stejini kutokana na kuende... | 4 |
TIMU ya KMC, jana ilichomoza na ushindi wa pointi tatu muhimu dhidi ya Biashara United baada ya kuibanjua kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.Katika mchezo huo ushindi wa KMC ulipatikana kupitia mabao yaliyofungwa na wachezaji Serge Tape dakika ya 29, na la pilli likif... | 4 |
Mwandishi Wetu, Dar
es Salaam Rais John Magufuli
Rais amemualika, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuzindua kongamano la kwanza
la biashara kati ya nchi hizo mbili. Kongamano hilo la
biashara kati ya Tanzania na Uganda linatarajiwa kufanyika Septemba 6-7 mwaka
huu katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyer... | 3 |
Janeth Mushi, Namanga Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka wataalamu wa afya maeneo ya mipakani kote
nchini kuongeza umakini wakati wa ukaguzi kwa wasafiri wanaopita katika
maeneo yao na si kupima joto la mwili pekee. Waziri Ummy ameyasema hayo leo Jumatano Machi 18,
kat... | 0 |
RAIS John Magufuli ameitaja miradi 17 ambayo serikali inaitekeleza kwa maendeleo ya wananchi kutokana na kuzingatia nidhamu ya matumizi ya fedha. Alitoa kauli hiyo jana wakati akilifungua rasmi Jengo la Tatu la Abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.Rais Magufuli a... | 3 |
Avelyn Kitomari-Dar es Salaam ZAIDI ya Asasi za Kiraia (AZAKI) 200 kutoka maeneo yote nchini zimeshiriki kuandaa andiko la namna ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona lengo likiwa ni kuongeza ufanisi wa kukabiliana na janga hilo. Mratibu wa Kitaifa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)... | 0 |
Mbali na kutowasikiliza makocha, mwanariadha Failuna Abdi alionesha utovu mkubwa wa nidhamu timu hiyo ilipokuwa ikirejea nchini kwenye Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere mbele ya viongozi wa Riadha Tanzania (RT) pamoja na wale wa Kamati ya Olimpiki (TOC) baada ya kugoma kwenda kambini Kibaha na kutokomea kusikojulik... | 4 |
['Mkufunzi wa Man United Ole Gunnar Solskjaer anahofia kwamba hatma ya kazi yake itakuwa haijulikani iwapo timu yake itashindwa kwa mabao mengi ugenini Liverpool.(Mail)', 'Baadhi ya wachezaji wamepoteza matumaini na raia huyo wa Norway anaamini baadhi yao wamekataa kumsikiliza. (Sun)', 'Solskjaer anahitaji kitita cha £... | 4 |
SERIKALI imetakiwa kuleta mabadiliko ya sheria yatakayoiwezesha Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kuwa mamlaka ili isimamie sekta hiyo ipasavyo. Wabunge waliitaka serikali kuleta mabadiliko hayo wakati wakichangakia jana katika mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii.Mbunge wa Kaliua, Magdalena S... | 3 |
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM FAINALI ya Michuano ya Kombe la Azam, inatarajia kufanyika leo kwa timu ya Azam kukabiliana na Lipuli FC, katika mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Azam FC waliingia hatua ya fainali baada ya kuifunga KMC bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Uwanja wa Az... | 4 |
RAIS John Magufuli ameinyooshea kidole Wizara ya Maji na wakandarasi wa maji akisema inatumia mabilioni ya fedha kutekeleza miradi ya maji ambayo mingi haina matokeo mazuri, isiyokamilika na mingine imekuwa hewa.Aidha, amesema serikali ya sasa haina mpango wa kuongeza mkoa mwingine kiutawala kwa sababu hata iliyopo ba... | 3 |
KULWA MZEE -DAR ES SALAAM VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wanaokabiliwa na mashtaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78, wanaendelea kusota rumande wakisubiri majibu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nc... | 5 |
MWILI wa mwanafunzi Sperius Eradius aliyekufa Agosti 27, mwaka huu baada ya kupigwa viboko na Mwalimu Respicius Mtazangira Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, umezikwa Kijiji cha Kitoko Kata ya Mabunda wilayani Muleba, nyumbani kwa baba mzazi, Eradius Petro.Katika maziko hayo, serikali iliwakilish... | 3 |
Ramadhani Hassan WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Serikali imekuwa ikichukua hatua bila kupendelea chombo chochote cha habari kinachobainika kukiuka sheria na taratibu ikiwamo kutoa habari za uongo. Hayo yalielezwa
bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza wakati akijibu
swali la... | 3 |
WIKI hii, Julai 1, Benki ya Dunia iliingiza Tanzania katika kundi la nchi zenye kipato cha kati. Hizi ni habari njema hata pamoja na kwamba wapo wanaoona kuna mapungufu fulani fulani katika utendaji. Hatua ya kutoka katika umaskini na kupanda kwenda katika hatua nyingine ya juu huusisha suala zima la uchumi au maendele... | 5 |
Na AVELINE KITOMARY-MOROGORO KATIKA kuhakikisha udhibiti wa vifaa bandia sokoni unafanikiwa, Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kwa mwaka wa fedha 2019/2020 iliondoa sokoni paketi 17,076 za kondomu kwa kushindwa kukidhi vigezo vinavyotakiwa. Hayo yalisemwa jana mkoani Morogoro na Kaimu Mkurugenzi wa Dawa na... | 3 |
Na ELIUD NGONDO, MBEYA
WATU wanne, wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa baada ya kufukiwa kwenye shimo walipokuwa wakichimba dhahabu.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya, Dhahiri Kidavashari, aliwaambia waandishi wa habari jana, kwamba tukio lilitokea eneo la Nanyuki, Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, W... | 3 |
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesisitiza kuchukua hatua kwa watendaji wa vijiji wanaopinga kuchangia masuala ya maendeleo badala yake kutengeneza migogoro ya ardhi.Aidha, ameagiza Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru kuhakikisha wanatoa vitabu kwa watendaji wa kata ili waandike majina ya wananchi wanachangia micha... | 3 |
WASHINGTON, MAREKANI Serikali ya Marekani imetishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wake. Mahakama hiyo kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Marekani kwa madai ya kuwatesa wafungwa nchini Afghanistan. Mshauri wa masuala ya... | 2 |
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Antony Mtaka (pichani) amewataka wanariadha kujitambua ili waweze kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es Salaam na Mtaka alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu sababu za Simbu kutofanya vizuri katika mashindano ya mwaka... | 4 |
SIMBA jana iliaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya TP Mazembe ya Congo DR.Wawakilishi hao wa Tanzania, walihitaji ushindi au sare yoyote ya mabao kusonga mbele baada ya kutoka suluhu nyumbani dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Afrika, lakini hali ilikuwa tofauti.Mchez... | 4 |
Alisema mradi huo wa nyumba unajengwa katika eneo la Iyumbu, karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma. Alisema hatua hiyo itapunguza uhaba wa nyumba za makazi na biashara katika manispaa ya Dodoma, kwa kuwa miradi mingine ya nyumba za biashara itajengwa katika eneo Meledeli.Akifafanua, Gambalagi alisema NHC itatekeleza miradi ... | 5 |
UFARANSA imefungua milango kwa Watanzania zaidi kusoma nchini kwao kwa serikali yake kuongeza nafasi za ufadhili kutoka 30 kwa mwaka mpaka 50.Aidha, serikali imetaka Ufaransa kuanza kufundisha lugha ya Kiswahili katika vyuo vikuu vyake zaidi ya 200 kutokana na kuwa ni chuo kikuu kimoja pekee ndicho kinachofundisha lug... | 3 |
TIMU ya Azam FC imelazimishwa suluhu ya bila kufungana na Mbao FC, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kuendelea kujiweka katika mazingira magumu kwenye mbio za kuwania ubingwa.Matokeo hayo yamewafanya Azam kufikisha pointi 63 baada ya kucheza michezo 30 katika muen... | 4 |
TAASISI ya Utafiti ya Wanyamapori (Tawiri) inajivunia kuratibu kongamano la 12 la tafiti za wanyamapori Tanzania wakihusisha watafiti wa ndani na nje ya nchi ambalo litajadili suala la utawala bora wa maliasili na ikolojia ya wanyamapori na mahusiano ya viumbe.Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika jijini Arusha, Desem... | 3 |
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwa sasa kinaelekeza nguvu zake kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwakani wa madiwani, wabunge na Rais.Kimesema hakina mpango wa kufanya maandamano siku ya kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa keshokutwa, kama inavyovumishwa na baadhi ya watu na mitandao ya kijamii. Kw... | 3 |
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuacha kuwabeba wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao.Wametakiwa kutofanya hivyo kwa kilichodaiwa kuwa wakati wa kufanya kampeni kwa mujibu wa maelekezo ya chama hicho haujawadia. Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa alisem... | 3 |
Na Mwandishi Wetu –Dar es Salaam ZIKIWA ni siku chache tangu daladala zipigwe marufuku kusimamisha abiria, ikiwa ni njia ya kukabiliana na corona, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetoa wito kwa watu binafsi, shule na taasisi zenye mabasi ambayo hayajapangiwa njia kuomba leseni za muda mfupi ili watoe hud... | 3 |
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema itafanya uchunguzi ili kubaini sababu za Kampuni ya R& S Inter Trade ya Vingunguti jijini Dar es Salaam, kukutwa na shehena kubwa ya vipodozi vilivyokwisha muda wa matumizi.Meneja wa TFDA wa Kanda ya Mashariki jijini Dar es Salaam, Emmanuel Alfonce alisema hayo alipofanya maho... | 3 |
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuwepo kwa mfumuko huo wa bei kumetokana na fahirisi ya bei ya bidhaa mbalimbali kuongezeka hadi 150 mwezi Aprili mwaka huu kutoka 141.59 mwezi Aprili mwaka 2013.Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa NBS Ephraim Kwesigabo, alisema jana kuwa mfumuko wa bei wa m... | 5 |
KOCHA wa timu ya Yanga, Charles Mkwasa amesema ushindi walioupata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons umewapa nguvu ya kujipanga kuikabili Biashara United katika mchezo utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.Mkwasa alitoa kauli hiyo juzi baada ya kikosi chake kuibuka na u... | 4 |
Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa jana mjini Dodoma wakati akiahirisha mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti 2017/18. Alimwagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kulivunja.Alisema hawatafumbia macho usimamizi mbovu wa michezo usiojali maslahi ya Taifa. “Serikali ime... | 4 |
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar ipo katika mikakati ya kutekeleza uchumi wa buluu, ambayo itaiwezesha kuvuna rasilimali za baharini na kuongeza pato kwa wavuvi.Alisema hayo Malindi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la kisasa kwa ajili ya wavuvi. Dk ... | 3 |
Aveline Kitomary, Dar es salaam JUMLA ya Watoto 48 wenye magonjwa ya moyo wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa kufungua kifua
na upasuaji wa tundu dogo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI). Matibabu
hayo ya Moyo kwa watoto yamefanywa na madaktari bingwa kutoka Saudi Arabia
wanashirikiana na madaktari wa JKCI kat... | 0 |
TANGU kuanza kuadhimishwa kwa Siku ya Kimondo duniani idadi ya Watanzania wanaofi ka kutalii eneo la kimondo, katika eneo la Mbozi mkoani Songwe imeongezeka kutoka watalii 1,300 hadi kufi kia watalii 3,580 ambalo ni ongezeko la zaidi ya na asilimia 80 na idadi ya wageni toka nje ya nchi ikiwa 116. Kauli hiyo ilitolewa... | 3 |
WANANCHI wanaoishi Kata ya Murriet juu ya Kituo cha Afya cha Murriet wamelalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Auwsa) kwa kutopata huduma ya maji zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa. Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti mwishoni mwa wiki, wananchi hao walisema awali walipounganishiwa maji yaliku... | 3 |
WAKALA wa Serikali wa Mtandao nchini umebuni mfumo shirikishi wa kusimamia Shughuli na Rasilimali za Taasisi (ERMS) ambao unaunganisha shughuli za taasisi kuwa katika mfumo mmoja ambao utawezesha kufuatilia, kusimamia ukaguzi na tathimini ya utekelezaji kwa ufanisi.Katika mkutano wake na waandishi wa habari Mtendaji M... | 3 |
KAMPENI ya kuwastiri Watoto wa kike kupata nguo za ndani (chupi na sidiria), imezinduliwa jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kusaidia watoto 1,000 wa mkoani Lindi na Arusha hususani wilayani Karatu.Kampeni hiyo ya siku 40 inaendeshwa na mradi wa Girls in Action Initiative iliopo chini ya Kampuni ya Christom Soluti... | 3 |
KLABU ya Yanga imesema inaamini usajili wa wachezaji 26 iliofanya msimu huu utarejesha matumaini ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu soka Tanzania Bara.Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Dismas Ten amewaeleza waandishi wa habari kuwa, tayari wamemaliza usajili na sasa wanaendelea na maand... | 4 |
PATRICIA KIMELEMETA-DAR ES SALAAM MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha kifungu
cha sheria cha namba 7(1) na 7(3) kinachowaruhusu wakurugenzi wa majiji,
manispaa na halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi nchini. Kesi hiyo namba 8/2018, awali ilikuwa inasikilizwa
na jopo la majaji watatu, wakiongozwa na aliy... | 3 |
Timu hizo zilikwenda kujichimbia sehemu tofauti kujiandaa na mechi hiyo ambayo Yanga ilikuwa Mbeya na Azam ilikuwa Zanzibar.Azam iliwasili jana mchana na kwenda moja kwa moja kambini kwao Chamazi na Yanga ilitarajiwa kuwasili jana jioni na ambapo itajichimbia kwenye moja ya hoteli za Dar es Salaam.Zikiwa Zanzibar na M... | 4 |
NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM
ULAJI wa nyama choma na chipsi umetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazochochea watu wengi hasa vijana kupata shinikizo la juu la damu.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Pedr... | 3 |
MIRADI 47 ya uwekezaji imeibuliwa na kuanza kutekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (LIC) inayotekelezwa katika halmashauri za mikoa wa Dodoma na Kigoma.Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Charles Mhina ameyasema hayo wakati wa kue... | 5 |
Wakizungumza jana kwa nyakati tofauti, baadhi ya maofisa wa migodi ya madini nchini walisema kuna changamoto kadhaa ambazo zimechangia wawekezaji katika sekta ya madini kutowekeza kwenye utafutaji wa madini jambo ambalo linaweza kuifanya sekta hiyo kufa au kudumaa.Mwenyekiti wa Chama cha Madini na Nishati, Balozi Ami ... | 5 |
KAMPUNI ya Vodacom katika mwaka huu wa fedha ulioishia Machi 31, imefanikiwa kuongeza mapato yake ya huduma hadi kufikia Sh trilioni moja, sawa na ongezeko la asilimia 5.4.Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Hisham Hendi, ongezeko la mapato hayo limetokana na mapato kukua katika huduma za M-Pesa, huduma... | 5 |
VYOMBO vya habari na jamii kwa ujumla wameaswa uhuru wa habari usitumiwe kama kichochoro cha baadhi ya watu kutukana na kudhalilisha wengine, wakiwemo viongozi.Mwito huo ulitolewa bungeni wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyowasililishwa mwishoni mwa wiki na Waziri Harrison M... | 3 |
MBUNGE wa Chemba, Juma Nkamia (CCM) amesema ni aibu Tanzania kuchukua makocha kutoka nje huku kukiwa na wazawa wenye uwezo mkubwa.Akichangia taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2018-2019, Nkamia alisema ni aibu kwa kocha wa mpira wa miguu kutoka Bur... | 4 |
Na NORA DAMIAN – DAR ES SALAAM WAKATI mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwapata wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba ukitarajiwa kuanza kesho, joto linaonekana kuanza kupanda. Katika uchaguzi wa mwaka huu, mchuano mkali unatarajiwa kuwa ndani ya chama haswa kwenye nafasi... | 3 |
WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani, Donald Trump ameamua kuweka saini ya kuondoa baadhi ya marufuku ya kisheria ambayo mitandao ya kijamii inayo. Saini hiyo inampa mamlaka ya kuweka hatua za kisheria dhidi ya kampuni za mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter katika sheria walizoweka katika maudhui wanayocha... | 2 |
MVUA iliyonyesha kwa vipindi tofauti juzi na jana katika maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam, imekatisha kwa muda mawasiliano katika baadhi ya maeneo ikiwamo Barabara ya Morogoro hususani eneo la Jangwani.Hali hiyo imesababisha magari yanayotumia barabara hiyo, kutumia barabara mbadala ili kuendelea na safari.... | 3 |
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) imesema fedha za kodi zinazokusanywa Zanzibar kutoka kwa wananchi na wafanyabiashara zinabakia visiwani kwa ajili ya shughuli za maendeleo.Hayo yalisemwa na Ofisa kodi TRA, Omar Abdalla Kirobo katika mkutano na masheha na madiwani kuwaeleza umuhimu wa kulipa kodi huko visiwani Pemba. Ali... | 3 |
YOKOHAMA, JAPAN KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling amesema alifurahi kuona klabu yake ya zamani ya Liverpool ikishinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita. Liverpool ilitwaa taji hilo, baada ya kuichapa Tottenham Spurs bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Wanda Metropolitano M... | 4 |
Mwanamuziki wa Rumba kutoka Congo DRC, Koffie Olomide ambaye amekuja hapa nchini kwa ajili ya shoo amesema Nandy ni miongoni mwa wasanii wa bongo wanaomkosha. Pamoja na Nandy Koffie amesema huwa anaufutilia mziki wa Tanzani na anamfahamu Diamond Platinumz. Katika mahojiano yake ya Clouds Fm Koffie amesema anavutia na w... | 1 |
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENKI ya I&M Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, lakini inang’ara kwa kutoa bidhaa na huduma za kipekee ambazo zinakidhi mahitaji yote ya mteja katika soko. I&M Tanzania ilitambulisha akaunti mpya ya wanawake ya Tunaweza inayotoa sulu... | 5 |
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo inatarajia kuwatunuku wanafunzi 29 waliofanya vizuri matokeo ya mitihani ya taifa mwaka 2018.Aidha, shule 40 ambazo zimetoa wanafunzi bora zaidi pia zitazawadiwa wakati wa kilele cha Wiki ya Elimu ikiwa ni kutambua jitihada zao katika maendeleo ya sekta ya elimu.Hayo yalielez... | 3 |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye Kata ya Mnacho wilayani Ruangwa washirikiane kujenga mabweni katika Shule ya Sekondari Mnacho ili kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea umbali mrefu kwenda shuleni hapo.Aliyasema hayo wakati alipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bweni, ... | 3 |
PYONGYANG, KOREA KASKAZINI KOREA Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia jaribio bomu la nyuklia, ambalo linaweza kuwekwa kwenye kombora la masafa marefu. Taifa hilo la kikomunisti lilisema jaribio hilo la sita la bomu la nyuklia, lilifanikiwa saa kadhaa baada ya mitetemeko mitatu kutambuliwa. Ilidai kulifanyia ... | 2 |
WAKUU wa nchi mbalimbali Afrika wamesema bara hilo limepoteza shujaa mkubwa wa harakati za ukombozi wa bara hilo, Robert Mugabe (pichani) na kutaka uzalendo na umoja wake uendelee kuenziwa huku Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa akitumia muda huo kuomba radhi kwa vurugu walizofanyiwa wageni Waafrika nchini mwake.A... | 3 |
Picha za harusi ya mapacha hao watatu wa kiume na wa kike. Picha: Hisani Mapacha hao waliandaa sherehe ya harusi katika jimbo la Enugu Nigeria Sherehe hiyo ya faragha ilhudhuriwa na waalikwa pekee Picha za harusi ya mapacha hao watatu wa kiume na wa kike zimeibua mjadala mkubwa mitandaoni Mitandao ya kijimaa iliwaka k... | 1 |
Na JANETH MUSHI-ARUSHA WABUNGE wa Chadema, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki),wanatarajia kuwasilisha ushahidi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Valentino Mlowola kuhusu madiwani wa chama hicho waliojiuzulu kutuhumiwa kupokea rushwa. Hatua hiyo,... | 3 |
Na JENNIFER ULLEMBO-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’, Sebastian Nkoma, amesema kuwa anatarajia kikosi chake kitapunguza idadi ya mabao ya kufungwa kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Nigeria, Jumapili Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na MTANZANIA jana, Nkoma al... | 4 |
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Leodogar Tenga amemtaka Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallence Karia kuacha kuliongoza shirikisho hilo kirafiki.Tenga amesema hayo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF uliofanyika Jijini Arusha na kuhudhuriwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho ... | 4 |
NA GEORGE KAYALA BAADA ya kupatikana washindi wa Miss Albino Kanda ya Mashariki na Kaskazini, kwa sasa shindano hilo linatarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa mwishoni mwa mwezi ujao jijini Mwanza ikiwa ni harakati za kuendelea kumsaka Miss Albino Tanzania 2016. Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, aliliambia MTANZAN... | 1 |
NA AYOUB HINJO KARIBUNI sana Kariakoo, Wabrazil. Karibuni Dar es Salaam kwa Mheshimiwa Paul Makonda, karibuni sana katika jiji la maajabu. Ni ardhi hii aliyozikwa Steven Kanumba na filamu zake, ni sehemu hii hii anapoteketea Chid Benz na umwamba wake, nini zaidi mnahitaji kujuzwa kuhusu Dar es Salaam? Kila mtu ana sura... | 4 |
MABINGWA wa kihistoria Yanga wamewasili Zanzibar jana kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 12:00 jioni, kisha baadaye watarudiana... | 4 |
MAKAMU wa Ris Samia Suluhu Hassan ameahidi viwanja vya kujengea nyumba kwa wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars endapo watafuzu michezo ya Olimpiki 2020, Japan.Twiga Stars ipo kwenye kinyang’anyiro cha kufuzu michuano hiyo, ambapo juzi ilicheza na Congo DR kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam na... | 4 |
MAPUTO, MSUMBIJI RAIS Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema kuwa jeshi la vikosi vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo limekabiliana vikali na wanamgambo vamizi baada ya kushambulia mji wa Macomia katika jimbo tajiri kwa gesi Kaskazini mwa nchi hiyo Alhamisi iliyopita. Mji wa Macomia unaopatikana umbali wa kilomita 230 kutoka... | 2 |
WINGI wa mechi za viporo za Simba umeonekana kumtesa na kumkatisha tamaa ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera.Wakati Yanga ikiwa imeshacheza mechi 30 na kubakiza mechi nane za kufunga msimu, Simba ina mechi 16 zinazoipa nafasi kubwa ya kutetea taji lake. Hiyo ni kutokana na ukweli k... | 4 |
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mahusiano wa Benki ya Standard Chartered Tanzania, Juanita Mramba ilisema katika ziara yake ofisa huyo ataonana na wadau mbalimbali wa ndani na nje wa benki hiyo. Mramba alisema lengo ni kujadili mikakati itakayowezesha benki hiyo kukua kibiashara na kusaidia kukua uchumi nchini.Taarifa ... | 5 |
NA EZEKIEL TENDWA
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa, amezitolea uvivu klabu za Simba na Yanga kusema hazina jipya.
Slaa alitoa kauli hiyo juzi Jumapili kwenye mkutano wa kumpongeza mwenyekiti mpya wa Serikali ya Kibwegere, Edson Nyingi, uliofanyika kwenye viwanja vya Makombe, Ki... | 4 |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kushirikiana na Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Tumaini Godfrey a.k.a. Dudu Baya kwa kukejeli na kumdhihaki hayati, Ruge Mutahaba.Msanii Dudubaya jana alijireko... | 4 |
Malkia wa uigizaji katika tasnia la filamu Bongo Move, Irene Uwoya, amewatolea povu wanaohoji mbona hajengi mara kila siku anakula bata amewajibu waendelee kupamba dunia kwa kujenga yeye atapaka rangi kwa bata. Mara nyingi msanii huyo amekuwa akionekana ni mpenda starehe kutokana na maisha yake kuyaweka katika mitanda... | 1 |
Hadi sasa Tanzania imewekeza katika ukanda huo kwa asilimia 45, huku India ikiwekeza kwa asilimia 21, China asilimia tisa na nchi nyingine mbalimbali kwa asilimia 25. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji, Uhamasishaji na Uwezeshaji wa EPZA, Zawadia Nanyaro jana Dar es Salaam wakati akitoa mafunzo kwa wanahabari k... | 5 |
WABUNGE wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (AEAC) kutoka Tanzania, wameeleza njia muafaka ya kuondoa vikwazo visivyo vya ushuru katika jumuiya hiyo ni uanzishwaji wa kamati ya kusimamia biashara.Aidha, wabunge wamepongeza jitihada za serikali katika kuharakisha kupitisha makubaliano, yanayofanywa kwenye jumuiya hiyo, huku... | 3 |
Baada ya kuchapisha na kutangaza habari za fursa za kibiashara na uwekezaji zilizopo mkoani Lindi kwa wiki tatu mfululizo, mkoa huo uliopo kusini-mashariki mwa Tanzania umefahamika kidunia, Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah ameeleza.Akizungumza katika Jukwaa la Fursa za Bia... | 3 |
VILIO vimetanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuwahukumu kifungo cha maisha jela washitakiwa nane, akiwemo Mwenyekiti wa kitongoji cha Bunju A, Yusuph Sungu (40), baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuchoma Kituo cha Polisi Bunju A.Washitakiwa wengine waliohukumiwa jana ni Juma Kozo(32), Rashid Liw... | 3 |
Na Joyce Kasiki, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii, Nape Nnauye amesema anatamani bunge lisiwe la kutunga sheria tu bali pia lifute sheria za hovyo au kuzirekebisha. Pia Nape ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya uchambuzi wa sheria zake na kuangalia namna ya kuondoa sheri... | 3 |
LEONARD
MANG’OHA-DAR ES
SALAAM MKUU wa
Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro, ameagiza kukamatwa kwa mtu anayedaiwa kuwa
ni mume wa mtangazaji maarufu nchini, Zamaradi Mketema, ambaye ametajwa kwa
jina la Shaban kwa tuhuma za kumtishia
dereva mwenzake silaha aina ya bastola. Akizungumza
Dar es Salaam jana, Sirro alisema ... | 3 |
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema Sheria ya Huduma za Habari inayoanza utekelezaji mwaka huu itawabana wamiliki wa vyombo vya habari wanaowatumia waandishi bila kuwa na mkataba wa ajira.Alisema ni jambo la kushangaza kuona waandishi wa habari wanafanya kazi kwa miaka mingi bi... | 3 |
Okwi anayechezea Simba, anatarajiwa kwenda nchini Denmark kufanya majaribio katika Klabu ya Sonderjyske inayoshiriki Ligi Kuu ya huko kuanzia kesho.Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye tovuti ya Klabu ya Simba jana, majaribio hayo yatakuwa ya siku 14 kuanzia kesho na baada ya hapo klabu hiyo ya Sonderjyske itatuma ... | 4 |
KINSHASA, DRC SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imewafukuza kazi zaidi ya mahakimu 250 waliokuwa wameajiriwa kwa kutumia vyeti feki na wengine waliotuhumiwa kupokea hongo. Tume maalumu iliundwa kufuatilia maofisa katika idara mbalimbali, ambao hawana sifa ya kufanya kazi ya uhakimu au nyinginezo za k... | 2 |
KOCHA wa AFC Leopards Casa Mbungo ameondoka klabuni hapo baada ya kusitisha mkataba wake. Kocha huyo mnyarwanda jana alikwenda mazoezini na kuwaaga wachezaji na wafanyakazi wenzake.“Nitawakumbuka, nitaikumbuka Kenya. Tafadhali endeleeni kufanya kazi kwa bidii, hamuwezi kujua kitakachokuja mbele,” Mbungo aliwaambia wac... | 4 |
NAIROBI, KENYA WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Dk. Fred Matiang’i amesema mwanasiasa wa upinzani aliyetimuliwa nchini Kenya, Miguna Miguna atalazimika kuomba tena uraia. Waziri huyo amesema Miguna alipoteza uraia wake alipochukua wa Canada mwaka 1988, hivyo hawezi kuruhusiwa kuingia Kenya kama raia bila kuomba tena... | 2 |
Waziri Mkuu Majaliwa alisema kwa sasa serikali imejipanga katika msimu huu wa kilimo mazao yote ya biashara kuuzwa kupitia vyama vya ushirika. Kutokana na hilo, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha vyama hivyo vinakuwa na viongozi waadilifu na waaminifu.“Wakuu wa mikoa hakikisheni vyama vya ushirika vinakuw... | 5 |
BAADA ya Serikali kununua korosho zote kwa wakulima mikoa ya Kusini, Lindi, Mtwara na Ruvuma, imeanza kushughulikia zao la mahindi katika mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Songwe na Mbeya.Tanzania ni mzalishaji mkubwa wa mahindi Afrika Mashariki katika mikoa tajwa, lakini imeelezwa mahindi hayo kwa kiasi kikubwa yameko... | 3 |
Kampuni inayotoa huduma ya usafiri wa Taxi jijini Dar es Salaam, Uber Tanzania iko kwenye mchakato wa kufungua vituo kwa ajili ya kuhudumia wateja wasiokuwa na ‘smartphone’. Mkurugenzi wa Uber Tanzania, Alfred Msemo amesema vituo hivyo ni maalumu kwa wateja ambao hawana smartphone au ambao simu zao zimeisha chaji na k... | 3 |
NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM KWA mara ya kwanza Hospitali ya Aga Khan imeanza kufanya upasuaji wa kupandikiza matiti kwa wanawake wasiokuwa nayo baada ya kukatwa ili kutibiwa saratani ya matiti. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Bingwa wa Upasuaji wa Hospitali ya Aga Khan, Dk. Aidan Njau. Alisema madak... | 3 |
RAIS John Magufuli atakuwa na ziara ya kikazi mkoani Mtwara wiki ijayo, ambayo itahusisha uzinduzi pamoja na uwekaji na mawe ya msingi katika miradi mbali mbali ya maendeleo mkoani hapa.Hayo yalielezwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakati alipowasilisha taarifa hiyo kwa waandishi wa habari mkoani h... | 3 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.