text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
WAZIRI wa Maji, Profesa Makame Mbarawa ametishia kumweka ndani kwa siku tano Mhandisi wa Maji, Geofrey Oyao kutoka kampuni ya Orientation Construction Ltd anayetekeleza mradi wa maji kutoka mji wa Isaka na Kagongwa kwa kusuasua kukamilisha mradi huo na kutoa ahadi za uongo kuukamilisha.Ilidaiwa kuwa mradi ulipangwa ku...
3
JULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO) MASHINDANO ya urembo ya Miss Tanzania yaliyofungiwa kwa muda wa miaka miwili yamepata ahueni baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kuipa kibali cha muda kampuni inayoendesha shindano hilo, International Agency Limited (LINO). Basata imetoa kibali hicho cha muda kisichozidi mi...
1
Na MWANDISHI WETU – ARUSHA MWANASIASA mkongwe ambaye alipata kuwa mwenyekiti wa kundi la wabunge waliohitaji muundo wa Serikali tatu (G55) wakati wa utawala wa awamu ya pili, Njelu Kasaka, amesema hakuna mtu aliye salama ndani au nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kauli hiyo aliitoa wakati wa mkutano mkuu wa k...
3
MTALII raia wa Ujerumani amekutwa amefariki dunia katika nyumba aliyokodi huko Kibweni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa mjini Magharibi Unguja, Awadh Juma Haji alithibitisha kufariki kwa Petern Lisches (43) aliyekuja mwaka huu.Mjerumani huyo alikodi nyumba ya kupumzika wageni inayomilikiwa na ...
3
Muungano wa Vodacom na Cavalry Holdings Limited iliyokuwa na asilimia 17.2 ya hisa za Vodacom Tanzania, unahusu huduma za mawasiliano ya simu baada ya Tume hiyo kuridhia bila masharti maombi ya kampuni hizo.Kwa muungano huo, sasa Vodacom Group na Cavalry zitakuwa na jumla ya hisa 82.2, kwani awali, Vodacom Tanzania il...
5
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya macho katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dk Frank Sandi amewasihi wananchi kukinga macho yao pindi wanapofanya shughuli ambazo zinaweza kusababisha majeraha kwenye macho.Akizungumza kwenye kambi maalumu ya macho, Sandi alisema majeraha kwenye macho ni moja ya matatizo ambayo wameyabaini ...
3
Ushindi huo unaifanya Simba izidi kujikita kileleni kwa kujikusanyia pointi 41 juu ya Azam na mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 34 na Azam yenye pointi 33. Iliichukua Simba dakika 37 kuandika bao pekee katika mechi hiyo ambayo vinara hao wa ligi walitawala zaidi kipindi cha kwanza.Okwi alifunga bao hilo baada ya k...
4
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM TIMU ya Simba imeanza kuipigia hesabu Mbeya City wanayotarajia kucheza nayo Oktoba 17 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, wekundu hao wamedai kuwa ili kuzoa pointi zote tatu wamepanga kufika mapema mkoani humo. Wachezaji wa Simba ambao hawamo kwenye timu za Taifa, wanatarajia kuan...
4
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema matumizi ya vitambulisho vipya vya kielektroniki vya Mzanzibari Mkaazi yataiwezesha serikali kuweka na kuhifadhi kumbukumbu za matukio ya watu wote katika Daftari la Usajili na Utambuzi.Dk Shein alisema hayo katika uzinduzi wa kadi mpya za kielektroniki za Mzanzibari mkaa...
3
HISTORIA ya Tanzania imesheheni matukio yanayoifanya iwe kati ya nchi zilizokuwa na ushawishi mkubwa kimataifa tangu uhuru ukilinganisha na nafasi yake kiuchumi na hata kijiografia.Ukweli huu ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na maono ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyeuambia ulimwengu baada ya uhuru kwamba uh...
3
MKOA wa Pwani umeidhinishiwa Sh bilioni 240.3 na Bunge kutekeleza mpango wa maendeleo, zikiwa ni bajeti ya sekretarieti ya mkoa na mamlaka za serikali za mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020.Hayo yalisemwa mjini Kibaha mkoa wa Pwani juzi na Katibu Tawala Msaidizi, Mipango na Uratibu, Edward Mwakipesile wakati wa kika...
3
RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, amesoma bajeti ya wizara yake kwa mara ya kwanza tangu apandishwe kutoka naibu waziri na kuwa waziri kamili, ambapo amesema sheria mpya ya madini, ukuta wa Mererani, umeleta mapinduzi katika sekta hiyo. Akisoma bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2019/20 bungeni jijini...
3
WASHINGTON, Marekani OFISA wa ngazi ya juu wa intelijensia nchini hapa amesema   huenda Urusi inakiuka mkataba wa nyuklia kwa kufanya majaribio ya silaha zisizo na nguvu kubwa katika ene la Actic. Akizugumza   mjini hapa jana, Luteni Jenerali Robert Ashley ambaye ni  mkurugenzi wa taasisi ya intelijensia  amesema serik...
2
Arodia Peter, Dodoma Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, ameitaka Serikali kufuatilia na kutoa taarifa za kutekwa kwa kijana na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagawa ambaye anadaiwa kutekwa. Mdude anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana kwenye ofisi yake Mbozi, mkoani Songwe juzi, Mei 4...
3
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Nkone ni mwimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4, mwaka huu jijini Dar es Salaam na katika mikoa 10 mingine nchini.“Upendo Nkone amekubali kushiriki katika tamasha letu ...
4
JERUSALEM, Israel MAMLAKA za dola nchini hapa zimesema   zina ushahidi wa kutosha unaoonyesha Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu anahusika na vitendo vya rushwa na ufisadi ingawa yeye anakanusha akidai tuhuma hizo zinasambazwa na wapinzani wake wa siasa. Polisi hao walisema jana kwamba  uchunguzi wao unaonyesha  Waziri Mk...
2
Azam FC haikuwa na kazi nyepesi kwani katika dakika zote 90 timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1 na kuongezewa muda wa dakika 30 na kushindwa kutambia baada ya kutoka sare ya 2-2 kabla ya kupigiana penalti.Shujaa wa Azam FC alikuwa beki Aggrey Morris, aliyefunga penalti ya tano na kuamsha shangwe kwa wachezaji...
4
Aidha alisisitiza wafanyabiashara kuhakikisha kuwa sukari inaendelea kusambazwa na kuuzwa kwa wananchi bila kuihodhi. Awali, juzi alipozungumza na waandishi wa habari, Simwanza alisema bei elekezi ya sukari ilikuwa Sh 2,000 kwa Dar es Salaam na miji jirani.Kwa upande wa mikoa iliyo pembezoni, bei ilielekezwa iwe 2,200...
5
Rais John Magufuli amewakaribisha wananchi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waje kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ikiwemo saruji, sukari, mafuta, bidhaa za chuma, na vyakula yakiwemo mahindi.Rais Magufuli pia amewakaribisha wananchi wa DRC waje kuwekeza kwenye sekta ya viwanda, kilimo, uvuvi, utalii, mad...
5
Baada ya juzi wanariadha watatu kutwaa medali kwenye michezo hiyo inayofanyika Los Angeles, jana wanariadha watano waliibuka na medali.Akizungumza kwa njia ya mtandao jana, Mkuu wa msafara, Frank Macha alisema Tanzania imeendelea kujinyakulia medali baada ya juzi kupata medali tatu.“Wachezaji wetu wamefanikiwa kupata ...
4
Na MWANDISHI  MAALUM -HAVANA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba hapa nchini, Lucas Polledo, ambapo amewakaribisha wafanyabiashara wa nchi hiyo kuja kuwekeza nchini katika viwanda vya dawa. Alisema kwa sasa Serikali ya Tanzania inaagiza dawa kutoka nje ya nchi jambo ambalo l...
3
Na JOHANES RESPICHIUS-DAR ES SALAAM MWANAZUONI maarufu barani Afrika, Profesa Patrick Lumumba, amesema Rais Dk. John Magufuli na Rais wa Rwanda, Paul Kagame si madikteta bali wanachokifanya ni kuhakikisha kunakuwa na siasa za miiko na maadili. Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana katika Mkutano wa Pan African Humanit...
3
MKUU wa Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga, akimkabidhi panga, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya, Andrew Satta, kwa ajili ya kuendelea na oparesheni ya kufyeka mashamba 37 ya bangi wilayani humo. Picha na Shomari Binda NA SHOMARI BINDA, UONGOZI wa Wilaya ya Tarime umefyeka mashamba 37 ya bangi  yenye u...
3
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), imezindua muongozo wa huduma za tiba za dharura, uokoaji na usafirishaji wa majeruhi nje ya hospitali.Mwongozo huo unaelekeza jamii pembezoni mwa barabara kuu kutoa taarifa ya aj...
3
WATU sita wamekufa na wengine 24 wamejeruhiwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser kugongana uso kwa uso na gari aina ya toyota Hiace iliyokuwa imewabeba watu hao.Waliokufa ni Buruani Haule (32) na watoto wadogo watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka mitatu hadi mitano ambao h...
3
AGIZO la Rais John Magufuli la kutaka kila kijiji kupata umeme, limeungwa mkono na Mtanzania anayeishi nchini Poland, Julius Zellah, ambaye amejitolea kuzalisha nishati ya umeme katika eneo la Ilungu, Mbeya Vijijini.Kampuni ya Mtanzania huyo, ya Texpol Development Company (TDC) Limited, kwa kushirikiana na Light for A...
3
KATI ya nyota wa kigeni waliokuwa na wakati mgumu mara baada ya kusajiliwa katika kikosi cha Yanga ni Obrey Chirwa raia wa Zambia na mchezaji ghali katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) akitokea Platinum ya Zimbabwe. Mkali huyo alisajiliwa kwa dola za Kimarekani 100,000 sawa na Sh milioni 200, mara baa...
4
Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo Kanda ya Mashariki, Tulole Bucheyeki alisema hayo hivi karibuni, mjini Morogoro katika kikao cha mpango kazi kilichowakutanisha wataalamu wa sekta ya kilimo hapa nchini. Mbegu za zao la mtama zinazofanyiwa utafiti na mradi huo ni aina ya pato, tegemeo, hakika, wahi na macia.Mratibu n...
5
NAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi wa usambazaji wa umeme vijijini kwa viongozi wa vijiji na wananchi wa maeneo husika ili wafahamu hatua zaidi za utekelezaji wa miradi hiyo.Mgalu alisema hayo kwa nyakati tofauti juzi...
3
KOCHA wa Yanga Charles Mkwasa amesema licha ya wao kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT juzi katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, kazi haikuwa nyepesi.Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Mkwasa alisema JKT sio timu ya kubeza kwa kuwa waliwapa presh...
4
WATU 18 akiwemo mkuu wa shule ya Shule ya Sekondari Tumaini Lutheran Seminary iliyopo wilayani Malinyi, Mkoa wa Morogoro, baadhi ya walimu, wasimamizi wa mitihani na baadhi ya wanafunzi wamefi kishwa katika mahakama ya Wilaya ya Ulanga wakikabiliwa na makosa yanayohusu udanganyifu wa mitihani ya kidato cha nne.Kamanda...
3
Awali, Taifa Stars ilikuwa ipitie Muscat nchini Oman kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya nchi hiyo, lakini kutokana na Shirikisho la Soka la Oman kushindwa kukidhi mahitaji ya kanuni za FIFA za uandaaji wa mechi ya kimataifa za kirafiki, sasa mchezo huo hautakuwepo tena.Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzani...
4
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Maofisa Tawala Mikoa wapatao 52 kwa lengo la kuwapiga msasa juu ya namna ya kuongoza na kukusanya mapato.Mafunzo hayo ya uongozi ya aina yake ambayo hayajawahi kufanyika kabla, yatakuwa ya siku tano tangu leo hadi Desemba saba mwaka huu jij...
3
Mwandishi wetu, Tanga MKUU wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itawasaidia wafanyabiashara wanaokwepa kodi kuacha vitendo hivyo vya kuikosesha Serikali mapato. Shigela ameyasema hayo ofisini kwake alipotembelewa na maafisa wa TRAwana...
5
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Stella Ikupa amesema alichokipenda katika matembezi yake kwenye maonesho ya Utamaduni ya Jamafest ni kuona namna wasanii wenye ulemavu wakionesha ubunifu wao wa kutumia vifuu vya nazi kutengeneza pochi.Ikupa alitembelea maonesho hayo...
4
WASOMI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wakishirikiana na Umoja wa maveterani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemuomba Rais John Magufuli kuruhusu lugha ya Kiswahili kutumika kufundishia elimu ya sekondari nchini.Wasomi hao wakiongozwa na Profesa Aldin Mutembei walikutana jana Dar es Salaam na uongozi wa umoja huo ul...
3
  ISLAMABAD, PAKISTAN MAHAKAMA  imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif kifungo cha miaka 10 gerezani kwa makosa ufisadi unaohusu majengo manne ya kifahari jijini London nchini Uingereza. Nawaz Sharif,ambaye kwa sasa yuko London alihukumiwa akiwa hayuko mahakamani, na mwenyewe alisema kuwa hukumu hiy...
2
SERIKALI imewataka wachezaji wa Taifa Stars kupambana kufa au kupona ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya timu ya taifa ua Uganda, The Cranes, katika mchezo utakaofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Akizungumza na wachezaji wa timu hiyo baada ya mazoezi yao jana kwenye Uwanja wa Taifa, Wazir...
4
    NA SHOMARI BINDA-SERENGETI MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kukamilisha haraka awamu ya kwanza ya ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo ili kuondoa adha ya wananchi kusafiri kwenda mikoa mingine kupata huduma ya afya. Agizo hilo alilitoa jana mji...
3
Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imewataka wamiliki wa majengo nchini kulipia kodi ya majengo ya mwaka 2017/18 hadi kufikia Juni 30, mwaka huu kwa njia ya elektroniki ambapo hakuna muda utakaoongezwa baada ya muda huo kupita. Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo, Charles Kichere amesema T...
3
Na SOSTHENES NYONI-DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa  Simba, Hamis Kilomoni, amesisitiza kuwa hakubaliani na mabadiliko ya mfumo wa  uendeshaji wa klabu hiyo. Klabu ya Simba juzi ilifanya mabadiliko rasmi ya uendeshaji wake ikitoka katika mfumo wa uanachama hadi kuwa wa hisa. Mabadiliko hayo...
4
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi ameihakikishia jumuiya za kimataifa kuwa Tanzania itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari uliojikita katika misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, kukuza demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu na muktadha wa nchi.Profesa ...
3
LEONARD MANG’OHA – DAR ES SALAAM       MWENYEKITI mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameanza kazi na kutoa maazimio matano yanayohusu uendeshaji wa chama hicho na hatima ya kisiasa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Maalim Seif alisema kuwa mkutano uliofanyika mwisho...
3
Na Hassan Bumbuli NAWASALIMU wapendwa wasomaji wa gazeti hili, hasa katika kipande hiki ambacho kinatupa wasaa za kuzungumzia masuala kadha wa kadha katika nyanja ya filamu hapa nchini. Nimekuwa nikiandika mambo mengi katika eneo hili na kwa hakika baadhi ya wadau wamekuwa na mrejesho mzuri kuhusu mada ninazoziandika. ...
1
AJUZA Magreth Sadanda (75) analala nje baada ya kutolewa kwenye nyumba aliyojenga na mumewe kwenye kiwanja cha familia kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.Mama huyo mwenye watoto sita, anayeomba msaada kwa serikali kumsaidia kupata haki yake, aliliambia gazeti hili kuwa Desemba 19, mwaka huu, alivamiwa na watu wa...
3
Na  PENDO FUNDISHA-MBEYA JESHI la polisi mkoani Mbeya limewafukuza kazi  polisi wawili  kwa   kukiuka maadili ya kazi baada ya kuwafanyia vitendo vibaya wanafunzi wa kike wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Isuto  iliyopo Mbeya vijijini. Askari hao ni PC Petro Mgana mwenye namba H 4925 wa kikosi cha kutuliza...
3
Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM IDARA ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam, imezipiga marufuku klabu za Simba, Yanga na Azam FC kuwatumia makocha na wachezaji  wa kigeni katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara hadi watakapokamilisha maombi ya vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini. Klabu hizo zinadaiwa kuwatumia wacheza...
4
KOCHA Mkuu wa timu ya Kagera Sugar, Mecky Maxime ameahidi ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika leo dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba hapa.Akizungumza na HabariLeo, Maxime alisema timu yake imejipanga vizuri kuhakikisha inapata ushindi katika mchezo huo ili iweze kujiweka katika n...
4
New York, Marekani MAREKANI imesema itazipiga marufuku kampuni 28 za China kununua bidhaa nchini humo kwa madai kuwa zinakiuka haki za binadamu na kuwanyanyasa watu wa kabila la Uighur na Waislamu wa jamii nyingine za wachache Jimbo la Xinjiang. Hata hivyo, Marekani imekanusha kuwa hatua hiyo inahusiana na mazungumzo ...
2
KAMPENI inayohimiza watafi ti kuandika upya historia ya ukombozi wa nchi na Afrika kwa ujumla imeanza, lengo likiwa ni kuwezesha wanafunzi kusoma historia ambayo haijapotoshwa kwa makusudi.Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2019/20 bungeni jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michez...
3
Tunu Nassor, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa), Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange, ameuagiza uongozi wa mamlaka hiyo kuongeza juhudi katika kujenga vituo vya uchakataji wa maji taka kwa maeneo ya pembezoni ili kutatua changamoto iliyopo. Akizungum...
0
CHRISTINA GAULUHANGA Na AVELLINE KITOMARY-DAR ES SALAAM SERIKALI imesema wagonjwa wa homa ya dengue wanazidi kuongezeka na hadi sasa wamefikia 1,901 huku Kata ya Ilala, Dar es Salaam ikiongoza kwakuwa na wagonjwa 235. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi...
3
KATIKA kuboresha na kuinua kiwango cha ufaulu, Shule ya Msingi ya Kiislamu ya Zamzam jijini Dodoma ina mpango wa kujenga madarasa manne, yatakayowezesha watoto wa mazingira magumu kutoka mikoa mbalimbali nchini, kupata fursa ya kusoma.Akizungumza wakati wa mahojiano, Mkurugenzi wa Dalai Islamic Centre, Rashidi Bura al...
3
Meneja Uhusiano wa Mikopo wa Kanda ya Kaskazini na Kati wa benki hiyo, Raymond Tonny alisema hayo jana alipotoa mada katika semina iliyowajumuisha wateja zaidi ya 250 kutoka Wilaya ya Babati waliounganishwa katika klabu ya biashara ya benki hiyo yenye lengo la kutoa elimu kuhusu huduma za kibenki, maboresho na kutoa m...
5
CHUO Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kimeanza ujenzi wa kiwanda cha kuchakata ngozi na kuzalisha bidhaa za ngozi katika kata ya Idifu, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma kitakacho gharimu zaidi ya Sh milioni 500.Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Hozen Mayaya wakati wa sherehe za mahafali ya 32 ya chu...
5
Yanga inahitaji pointi tatu katika mechi zake tatu dhidi ya Polisi Morogoro kesho Jumatatu, Azam FC Mei 6 au Ndanda FC Mei 9, mwaka huu, kutawazwa bingwa wa Bara kwa mara ya 25, lakini vita iko katika nafasi ya pili.Ikicheza kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba iliibamiza Ndanda FC ya Mtwara kwa mabao 3-0 huku...
4
CHAMA cha Wanafunzi wa Kiswahili wa Vyuo Vikuu vya Tanzania (CHAWAKITA) kimetoa Tuzo ya Heshima kwa Rais John Magufuli kutokana na mchango wake mkubwa wa kuthamini na kukuza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania.Tuzo hiyo kwa Rais imetolewa na chama hicho na kupokewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa n...
3
KITENDAWILI cha mrithi wa Gadiel Michael ambaye anatajwa kutua Simba akitokea Yanga kimejibiwa kwa Yanga kumsainisha beki wa kushoto wa Malindi ya Zanzibar, Muharami Salum ‘Marcelo’.Marcelo alisaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Yanga juzi usiku ikiwa ni siku chache baada ya beki huyo mwenye umri wa miaka 24 kusai...
4
Bodi ya Filamu Tanzania imemfungia muigizaji Wema Sepetu kwa muda usiojulikana.Katibu Mtendaji wa bodi hiyo, Joyce Fisoo ametangaza uamuzi huo leo jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa, Wema amewahi kuonywa lakini hajajirekebisha.Amesema, alichofanya Wema kimelidhalilisha Taifa, kimesababisha watazamaji waige tabia, m...
3
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amepiga marufuku Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kununua transfoma zinazotengenezwa nje badala yake, wanunue zinazotengenezwa nchini hususani kiwanda cha Tanelec Arusha.Waziri Kalemani alisema hayo juzi baada ya kutembelea kiwanda cha kutengenez...
3
*Baada ya Dimpoz, awavuta G Nako, Joh Makini CHRISTOPHER MSEKENA KATIKA ukanda huu wa Afrika Mashariki, kuna idadi ndogo sana ya wasanii wakike wanaofanya muziki wa Hip hop kwa ukubwa unaostahili. Bado haijajulikana kwanini lakini waliopo wamefanikiwa kupenya na kujitengeneza mashabiki lukuki. Mwaka 1995, huko pwani ya...
1
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga SC, leo watakuwa na kibarua kizito pale watakapokuwa uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya, kucheza na wenyeji wao Gor Mahia.Yanga wataingia kwenye mchezo huo bila huduma ya baadhi ya wachezaji wake muhimu, akiwemo Kelvin Yondani na Hassan Ke...
4
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inathamini uwepo wa sekta binafsi nchini na inaendelea kushirikiana nayo katika kuboresha maendeleo ya Taifa.Aliyasema hayo jana wakati alipokutana na bodi mpya ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwenye makazi wa Waziri Mkuu, jijini Dar es Salaam.Majaliwa alimpong...
5
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya JKT Ruvu, umesema unakabiliwa na deni kubwa la kuhakikisha kikosi cha timu hiyo kinaimarishwa katika usajili wa dirisha dogo, ili kiweze kuanza mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara kikiwa na mabadiliko makubwa. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Constatine Masanja, a...
4
Na ELIZABETH HOMBO -DAR ES SALAAM MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya amesema tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961, Wizara ya Kilimo imekuwa ikiliangusha Taifa. Dk. Mzindakaya ambaye alipata kuwa mbunge wa muda mrefu aliyeingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 1965 akiwakilisha Jimbo la Kwela wakati huo...
3
Mwandishi Wetu -Singida BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 katika wilaya kadhaa nchini. Misaada iliyotolewa na benki hiyo inayoongoza kwa kutengeneza faida kati ya benki zote zinazofanya biashara humu nchini ndani ya miezi mitano mwaka huu, inahusisha vifaa vya ujen...
5
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamsaka Alex Makaptura kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe, mali ya mfugaji mkazi wa Pongwe Musungura wilaya ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo, Makundi Steti (49).Mfugaji huyo ameibiwa ng’ombe 21 wenye thamani ya Sh milioni 5.2 waliokuwa malishoni.Aidha, mtuhumiwa huyo alikutwa na ng’ombe wengine...
3
APRILI 26, 2018. Ni siku ya historia kwa wakazi wa mkoa wa Dodoma na Watanzania kwa jumla. Hii ni baada ya Rais John Magufuli kuitangaza Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji la Dodoma.“Nimejaribu kuangalia majiji yaliyopo nikaona kuna Jiji la Dar es Salaam, Jiji la Tanga, Jiji la Mbeya, Jiji la Mwanza, na kwa mamlaka niliyona...
3
FAINALI ya Kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuzikutanisha Simba na Mtibwa Sugar kuanzia saa 2:15 usiku.Simba ilifuzu fainali baada ya kuifunga Azam FC ambayo ilikuwa bingwa mtetezi kwa penalti 3-2 baada ya kumaliza dakika 90 kwa suluhu na Mtibwa Sugar ikaotoa Yanga kwa pe...
4
Masanii Gigy Money amesema ana wivu sana kwa mpenzi wake wa sasa na akishika tu simu inakodolea macho kama fundi saa. Katika ukurasa wa Instagram Gigy ameposti picha akiwa pamoja na mpenzi wake huyo wa sasa huku akiwa anachungulia simu yake. Binadamu tumeumbwa na wivu lakini wangu umezidi kila akishika simu mimi miji...
1
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
NA ALOYCE NDELEIO, UCHAGUZI wa Marekani  lilikuwa ni tukio moja ambalo lilitawala nyanja nzima ya habari hususani baada ya matokeo yake  kutangazwa na  kuibua picha tofauti na matarajio ya walio  wengi. Aidha wale wanaoegemea kutabiri masuala ya siasa za Marekani walibakia  kuegemea  umaarufu ambao uongozi unaomaliza m...
3
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
Na Christian Bwaya TUMEKUWA tukisikia matukio ya watoto kudhalilishwa na watu wao wa karibu. Hapa tunazungumzia matukio kama kuingiliwa kimwili, kushikwa isivyo stahili, kutomaswa na vitendo vingine vinavyoashiria ngono. Matukio kama haya huwaathiri mno watoto kimwili, kisaikolojia na hata kiroho. Watoto wengi wanaoing...
0
NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM VYAMA nane vimefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kupinga Sheria ya Vyama vya Siasa iliyoanza kutumika rasmi mwaka huu. Vyama hivyo ni Chadema, NCCR – Mageuzi, NLD, UPDP, CCK, ACT – Wazalendo, Chaumma na DP. Akizungumza kwa niaba ya vyama hivyo, Mwenyekiti wa Chadema Taifa...
3
MENEJA wa Maabara wa Tume ya Madini, Dornald Joseph Njonjo (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuiba madini ya dhahabu kilogramu 6.244 yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 507, yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye Kasiki ya Ofisi za Wakala wa Madini, Dar es Salaam.Akizungumza n...
3
Kulwa Mzee – Dar es Salaam MWANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Lumola Kahumbi (30), amedai askari wa Kituo cha Polisi Oysterbay alichukua hela zake Sh 12,500, mwingine akamwambia ajiongeze naye akatoweka akiwa njiani kuelekea chooni alikokuwa anapelekwa. Shahidi huyo wa utetezi amedai alikuwa chini...
3
NA MWAMVITA MTANDA YANGA imezindua kwa kishindo tamasha lake lililopewa jina la Wiki ya Wananchi, ambapo wapenzi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo nchi nzima watafanya shughuli za kijamii. Tamasha hilo lililozinduliwa jana Dar es Salaam, litafikia tamati Agosti 4, Uwanja wa Taifa jijini humo, ambapo kikosi cha tim...
4
SERIKALI kupitia Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania (MSCL) kwa kushirikiana na Shirika la Reli Uganda wameweka utaratibu wa kuwa na kituo kimoja cha malipo ya mizigo inayosafirishwa kutoka Dar es Salaam kwenda Bandari ya Mwanza hadi Port Bell nchini Uganda, ili kuboresha huduma za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa ...
3
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi imewahukumu vigogo wa Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC na Kampuni ya Inventure Mobile Tanzania Limited T/A Tala Tanzania, kulipa faini ya zaidi ya Sh bilioni 6.012, waliyoisababisha kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Katika faini hiyo, Sh milioni 120 ni faini ya mashitaka saba yanayowak...
3
Na Dennis Luambano, Dar es Salaam RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump, ametoa mwelekeo wa namna atakavyoiendesha nchi hiyo ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la CCN, mwelekeo huo alioutoa New York juzi, umeashiria namna atakavyolegeza baadhi ya misimamo yake, ukiwamo wa kufut...
2
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri, Abdel Fattah Al-Sisi, ambapo wametumia fursa hiyo kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi zote mbili kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi.Mbali na kuzungumzia masuala hayo ya kuimarisha ushiri...
3
MADRID, HISPANIA KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Hispania, Luis Enrique, ameahidi kufanya mambo makubwa, ikiwamo kukisuka upya kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Enrique, ambaye alikuwa kocha wa Barcelona, amechukua mikoba ya aliyekuwa kocha wa Hispania, Fernando Hierro, ambaye alifukuzwa baada ya kufanya vibaya katika m...
4
Na TUNU NASSOR-DAR ES SALAAM WATAALAMU 11 kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamepelekwa katika Hospitali ya Apollo nchini India kwa mafunzo ya vitendo ya mwezi mmoja, ikiwa ni maandalizi ya hospitali hiyo kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa uloto mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari ...
0
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, ameipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Dar es Salaam miezi miwili na nusu hadi ifi kapo Desemba 31 mwaka huu, kuandaa na kuwasilisha wizarani orodha ya walipakodi, idadi ya majengo na mabango yote yaliyoko katika mkoa huo ili kupata takwimu sahihi za idadi ...
5
WASHITAKIWA walioandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kukiri makosa ya uhujumu uchumi yanayowakabili, kufuatia msamaha uliotolewa na Rais John Magufuli, wanazidi kujitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Miongoni mwa washitakiwa waliokiri na kuadhibiwa kulipa faini jana katika mahakama hiyo ni...
3
MKAKATI wa Serikali kutafuta masoko ya bidhaa za Tanzania nje unaendelea kuzaa matunda ambapo kwa sasa vitunguu swaumu vimepata soko kwenye nchi tisa. Ilielezwa bungeni jana kuwa vinauzwa vikiwa ghafi.Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba ndiye aliyesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Mas...
3
Waandishi wetu-Iringa WAZIRI wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewataka wakurugenzi wa halmashauri kujitathmini katika idadi ya hati za ardhi wanazotoa kwa wamiliki wa ardhi kwenye halmashauri zao. Lukuvi alisema hayo jana katika mkutano wake wa kusikiliza na kutatua kero za ardhi kwa wananchi wa M...
3
Mafunzo hayo yatakuwa yakitolewa kwa wastani wa saa 56 ya mafunzo kwa maofisa wapya wa matawi mbalimbali ya benki, pamoja na saa 160 kwa mafunzo yatakayokuwa yakiendelea ya darasani kwa maofisa wote wa matawi ya benki hiyo, kila mwaka.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo uliofanyika katika kituo cha mafunzo ...
5
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya amewaasa vijana kutumia elimu yao katika kusaidia taifa na kudumisha amani ya nchi. Aidha, amezitaka familia kudumisha amani, jambo ambalo litasaidia kuwepo kwa amani ya nchi.Askofu Mkuu Kinyaiya aliyasema hayo wakati wa mkesha wa kuzaliwa Yesu iliyofanyika ...
3
Na JOSEPH SHALUWA MKONGWE kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kusema kuwa, wasanii  mahasimu wakubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba ndiyo wanauoa muziki wa Bongo Fleva. Profesa Jay ambaye ni Mbunge wa Mikumi, akiwa ameachia ngoma yake mpya ya Kibabe hivi karibuni  amef...
1
MWANDISHI WETU- DAR ES SALAAM WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kutumia ofisi zake za kanda kudhibiti usafirishwaji wa chuma chakavu maeneo yote ye mipaka. Akizungumza mwishoni mwa wiki mara baada ya ...
3
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafi ri Ardhini (LATRA) inatarajiwa kuingiza mfumo bora wa udhibiti wa mwendo kwa usafi ri wa mabasi nchini utakaosaidia kudhibiti uchezeaji wa vifaa hivyo unaofanywa na madereva.Akizungumza katika mkutano wa dharura ulioit ishwa na Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) kujadili kanuni za usafiris...
3
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jamii nzima kwa ujumla wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuendeleza amani na utulivu ili kujenga jamii bora yenye maendeleo.Hayo yamebainishwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole alipozungumza na gazeti hili jana kuhusu maadhimisho ya Miaka 42 ya Kuzali...
3
IMEELEZWA kuwa hakuna sheria yoyote inayokataza taarifa za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kujadiliwa Bungeni endapo mbunge ataona kuna jambo la kuibua kutoka kwenye taarifa iliyoibuliwa.Akijibu swali la mbunge wa Mgogoni Dk Suleiman Ally Yusuf (CUF), kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria, Naibu Waziri wa E...
3
Wakiingia bungeni mjini Dodoma jana wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu, wabunge mashabiki wa timu hiyo, waligonga meza na kwa muda wa dakika moja, shughuli za bunge zilisimama kupisha shamrashamra za mashabiki hao.Spika wa Bunge, Job Ndugai aliwauliza wabunge kwanini wanagonga meza, kuna nini kimetokea ndipo akab...
4
Simba inajiandaa kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na baada ya siku kadhaa za kujifua, timu hiyo itahamishia kambi yake Kisiwani Zanzibar kabla ya kuanza kwa ligi hiyo.Awali, kikosi hicho kilichokuwa kikifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo cha Magamba, kilijikuta kikihamishia mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha I...
4
KAMPENI za kuwania nafasi za uongozi katika Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) zinatarajiwa kuanza leo visiwani Zanzibar, huku wagombea hao wakihimizwa kufanya kampeni za kistaarabu.Uchaguzi wa ZFF unatarajiwa kufanyika Juni 2 mwaka huu, ambapo kampeni hizo zitafanyika kwa muda wa siku sita zitafungwa siku ya Juni Mosi...
4
MAMII MSHANA Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam, inatarajia kukabidhi jengo la Machinga Complex kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliendeshe baada ya kushindwa kurejesha mkopo waliochukua wakati wa ujenzi wa jengo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Meya wa J...
3