name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 20.11.2024 20 Novemba 2024 Chadema walalamika wagombea wake kuenguliwa kiholela Ruka sehemu inayofuata R...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Waliofariki ajali ya Kariakoo waagwa Waliofariki ajali ya Kariakoo waagwa Rais...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Tatu Yahaya Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Tatu Yahaya Taarifa zilizoonesha na Tatu Yahaya Tanzania: Vitendo vya kikatili dhidi ya wana...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kampeni za uchaguzi wa mitaa zakamilika Tanzania Kampeni za uchaguzi wa mitaa ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Watu 16 waokolewa baada ya boti ya utalii kuzama Misri Ruka sehemu inayofuata...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Watu 16 waokolewa baada ya boti ya utalii kuzama Misri Ruka sehemu inayofuata...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Lubega Emmanuel Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel Biashara Uganda zaathirika na ma...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Kiongozi wa upinzani Tanzania Freeman Mbowe ameachiliwa 20.11.2024 20 Novemba...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Yakub Talib Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Yakub Talib Taarifa na Yakub Talib Manusura wa Kariakoo asimulia alivyookolewa Manusura wa Kariakoo asimu...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Wasichana wa Chibok Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 18.11.2024 18 Novemba 2024 Idadi ya waliokufa baada ya jengo kuanguka yafikia 13 13.11.2024 13 Novemba 2...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Chadema yasema afisa wake mkuu alitekwa na kuumizwa vibaya Chadema yasema afis...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Mbowe: Mifarakano ya CHADEMA ni jambo la kawaida Mbowe: Mifarakano ya CHADEMA ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 Rais Xi ahimiza amani Ukraine na usitishaji mapigano Gaza 16.11.2024 16 Novem...
null
Vijana Mubashara To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 16.11.2024 16 Novemba 2024 Wachimbaji madini Afrika Kusini bado wakwama chini Ruka sehemu inayofuata Rip...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 16.11.2024 16 Novemba 2024 Wachimbaji madini Afrika Kusini bado wakwama chini Ruka sehemu inayofuata Rip...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Julius Malema Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Je matumaini mapya yemechomoza Ethiopia? Je matumaini mapya yeme...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Fathiya Omar Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Fathiya Omar Taarifa na Fathiya Omar Narcolepsy ni ugonjwa unaosababisha kulala sana Narcolepsy ni ugonj...
null
Picha: Hawa Bihoga/DWMsichana JasiriKipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 09.11.2024 9 Novemba 2024 Mafuriko yaathiri watu milioni 1.4 Sudan Kusini Ruka sehemu inayofuata Ripoti ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Maelfu wakumbwa na mafuriko ya kimbunga nchini Uingereza 24.11.2024 24 Novemb...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Biashara Ujerumani zatiwa hofu na mafanikio ya AfD Mashariki Biashara Ujeruman...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 12.11.2024 12 Novemba 2024 Steinmeier aahirisha safari kushughulikia mzozo wa nyumbani 09.11.2024 9 Nove...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 1 iliyopita Saa 1 iliyopita Guterres: Mitandao ya kijamii na AI inazidisha chuki Ruka sehemu inayofu...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Nomfusi: Jinsi huzuni na masaibu yaweza kuchochea ufanisi Ji...
null
Mtindo wa maishaTanzaniaIpi sababu ya kijana kusoma vitabu vya hadithi kuliko dini?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:46Mtindo wa maishaTanzaniahttps://p.dw.com/p/4jSXZNakili kiunganishiMatangazo
null
Mnamo wiki iliyopita maafisa wa usalama waliuvamia mgahawa mmoja katika mji wa pwani wa Libya wa Zuwara, ulioko karibu na mpaka wa Tunisia ambako kundi kubwa la wahamiaji lilikuwa limepiga kambi kusubiri kuomba kazi. Watu hao ambao ni wanaume walikusanywa pamoja na kukamatwa. Michael Shira aliye na miaka 19, anaetokea ...
null
Kulingana na ripoti ya taasisi hiyo yenye makao yake mjini Johannesburg Afrika Kusini, ambayo ilianzisha utafiti wa kukusanya maoni miongoni mwa vijana 5,604 wenye umri kati ya miaka 18 hadi 24, Ufisadi unaonekana kama kizingiti kikubwa zaidi wanachokabiliana nacho kufikia uwezo wao wenyewe na maisha bora. Ripoti hiyo ...
null
Matangazo Mkuu wa jeshi la anga la Ukraine amesema Urusi imefanya moja ya mashambulizi yake makubwa zaidi ya anga dhidi ya Ukraine tangu kuzuka kwa vita hivyo. Miundombinu ya nishati imelengwa na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini humo. Soma pia: Urusi yafanya mashambulizi makubwa dhidi ya U...
null
Matangazo Borrell amependekeza hayo leo kuelekea mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wanaokutana mjini Brussels Ubelgiji. Borrell amesema hatua hiyo inajiri baada ya Israel kupuuza kwa mwaka mzima, miito ya kuitaka kuheshimu sheria ya kimataifa katika vita vyake Gaza. Israel ilianza mashambulizi dhidi...
null
Matangazo Makumi ya jamaa na marafiki wa mateka pamoja na wafuasi wao wamemtaka Netanyahu kuhakikisha mateka wanaachiliwa huru. Kwenye taarifa, waandaaji wa maandamano hayo wamesema majira inayokaribia ya baridi kali yatosha kuelezea haja ya mateka kuachiliwa huru. Wamesema mateka hawataweza kunusurika baridi kali ndan...
null
Miongoni mwa wanaharakati hao, ni raia hawa wa Israel wenye asili ya Palestina ambao ni na Amira Mohammed na wamekuwa wakiandaa vipindi hivyo vya sauti vinavyofahamika kama "podcast" kwa lengo la kukabiliana na hali ya mgawanyiko wa kisiasa inayoshuhudiwa nchini humo. Wazazi wa mjasiriamali na mwanaharakati mwingine an...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii EU yataka usitishaji mara moja wa vita vya Israel-Hezbollah ...
null
Kwa mwaka wa pili mfulilizo, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atahudhuria mkutano huo, akishiriki katika mazungumzo hayo leo Alhamisi. Rais Zelensky amesema anatarajia "maamuzi muhimu" katika mkutano huo ambapo pia atatia saini makubaliano ya usalama na Japan na Marekani. Viongozi wa G7 wanatarajia kutangaza angalau...
null
Mawasiliano hayo yalimshawishi kutoa maoni yake kuhusu vita vya Urusi nchini Ukraine na kusikika akikiri kwa uwazi kwamba amechoshwa na vita hivyo. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni akiamini kuwa alikuwa akizungumza na maafisa wa Umoja wa Afrika, lakini badala yake yalikuwa ni mazungumzo baina yake na wachekeshaji w...
null
Hatua hiyo inayasogeza mbele makubaliano hayo ili yawe sheria ifikapo mwaka ujao. Wajumbe wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano hayo mjini Brussels Ubelgiji, dakika za mwisho baada ya Ujerumani na Italia kusuluhisha mzozo kati yao kuhusu mashirika ya misaada yanayowaokoa wahamiaji katika Bahari y...
null
Matangazo Mwenyeji wa mkutano huo Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni pia amewaalika, rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis pia atahuduria mkutano huo wa viongozi wa kundi la G7. Viongozi wa nchi saba tajiri wanatumai kukubaliana ju...
null
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni anaingia kwenye mkutano wa kilele wa G7 akiwa ameimarishwa na matokeo mazuri katika uchaguzi wa Ulaya Jumapili iliyopita. Italia ndiyo mwenyeji wa mkutano huo wa "Grande Sette", kama kundi la G7 linavyojulikana kwa Kiitaliano. Meloni mwenyewe alisaidia kuunda maelezo mengi mwenyewe ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mawaziri wa G7 wakutana kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine Wa...
null
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameungana na Rais Joe Biden wa Marekani na viongozi kutoka Italia, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Japan katika eneo la mapumziko la Borgo Egnazia mjini Puglia. Viongozi hao wamekubaliana kuhusu mkopo wa dola bilioni 50 kuisaidia Kyiv katika ulinzi, bajeti na kusaidia kwa ujenzi mpy...
null
Rutte alisema Uholanzi itasaidia kufadhili makombora laki nane kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya majeshi ya Urusi. Rutte alikutana na Rais Volodymyr Zelenskiy katika ziara ya kushtukiza huko Kharkiv na amekuwa kiongozi wa saba wa nchi za Magharibi kusaini mkataba wa usalama wa miaka kumi na Ukraine katika kipindi cha...
null
Matangazo Miongoni mwa mengi yaliyojadiliwa katika mkutano huo, ni pamoja na msaada zaidi kwa Ukraine, vita vya Gaza, teknolojia ya akili mnemba, mabadiliko ya hali ya hewa na uwezo wa kiviwanda wa China uliopitiliza. Hata hivyo kumeibuka migawanyiko kabla ya tamko rasmi la mkutano huo, kuhusu kutokubaliana juu ya kuju...
null
Akizungumza Jumatano katika mkutano na waandishi habari mjini Berlin, pamoja na Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni, Scholz amesema amemtolea Putin wito huo wakati wa mkutano wa kilele wa kundi la nchi zilizoendelea na zinazoinukia kiuchumi, G20, uliofanyika kwa njia ya video, ili hatimaye vita hivyo viweze kumalizik...
null
Matangazo Zaidi ya watu 60 waliripotiwa kupotea baada ya mashua yao kuzama katika pwani ya Calabria usiku wa Jumapili, ambapo watu 11 waliokolewa. Kulingana na walinzi hao wa pwani, msako wa angani na baharini bado unaendelea. Shirika la Madaktari wasio na Mipaka lilisema mapema weiki hii kwamba boti hiyo ilikuwa inato...
null
Uhispania imefuzu kwa duru ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la EURO 2024 kwa kuichapa Italia 1-0 katika mechi ngumu ya kundi B. Ushindi huo wa bao la pekee la Riccardo Calafiori dakika 10 baada ya kupindi cha pili kuanza una maana Uhispania inajiunga na wenyeji Ujerumani katika duru ya mtoano ikiwa ba...
null
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni, ambaye ni mwenyekiti wa kundi la G7 mwaka huu, ameihakikishia Ukraine kuhusu uungwaji mkono usioyumbayumba wa mataifa hayo. Viongozi wa Marekani, Canada, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani, Italia na Japan wamesema Urusi bado ni kizuizi pekee cha amani ya kudumu. Wamesema Urusi itaende...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mawaziri wa G7 wakutana kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine Wa...
null
Katika mechi iliyochezwa mjini Duesseldorf, Uhispania iliifunga Albania 1-0 na kukamilisha hatua ya makundi ya Euro 2024 kwa kushikilia nafasi ya kwanza ya kundi B, baada ya kushinda mechi zote tatu na kujikusanyia jumla ya alama 9. Bao la Uhispania lilipachikwa nyavuni na winga wa timu ya Barcelona Ferran Torres katik...
null
Waziri huyo wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kuleba, atafanya mazungumzo na mwenzake wa China Wang Yi katika ziara yake hiyo itakayoanza hapo tarehe 23 hadi tarehe 25 Julai. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine mazungumzo hayo yatazingatia jinsi ya kuvimaliza vita vya Urusi nchini Ukraine na juu ya uwezekan...
null
Mustakabali wa uhusiano kati ya Ulaya na Tunisia huenda ukaamuliwa ndani ya wiki mbilizi zijazo. Ndani ya muda huo, kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya mwishoni mwa mwezi Juni, Rais wa Tunisia, Kais Saied atalazimika kuamua iwapo ataukubali "Mpango wa Ushirikiano" uliopendekezwa na Rais wa Halmashauri Kuu ya U...
null
Badala yake, Waziri Mkuu Keir Starmer ameahidi "kuvunja magenge" yanayofaidika na wahamiaji wanaovuka ujia wa bahari wa English Channel kutoka kaskazini mwa Ufaransa, ambao mara nyingi hukumbwa na madhila. Waziri wa Mambo ya Ndani Yvette Cooper amesema hadi dola milioni 99 za mpango huo sasa zitawekezwa katika vifaa vy...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii EU yataka usitishaji mara moja wa vita vya Israel-Hezbollah ...
null
Baada ya miezi 10 ya vita, maafisa kutoka Marekani na wapatanishi wa mataifa ya Kiarabu ya Misri na Qatar walitarajiwa kukutana wiki hii mjini Cairo katika duru mpya ya mazungumzo, lakini bado hakuna uthibitisho wowote. Siku ya Jumatano, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alihitimisha ziara yake Masharik...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mawaziri wa G7 wakutana kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine Wa...
null
Msemaji wa jeshi la Uganda Brigedia Flavia Byekwaso amethibitisha kuwa wanamshikilia makamu wa chansela wa chuo kikuu cha Victoria cha mjini Kampala kwa madai ya kulifanyia ujasusi taifa la kigeni. Awali palikuwa na madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa msomi huyo Dkt. Lawrence Muganga ambaye inadaiwa ni raia wa Rwanda...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.10.2024 22 Oktoba 2024 Mahakama ya kijeshi Uganda yawatia hatiani wapinzani 16 Ruka sehemu inayofuata...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.10.2024 22 Oktoba 2024 Mahakama ya kijeshi Uganda yawatia hatiani wapinzani 16 Ruka sehemu inayofuata...
null
Kwa muda wa miaka 10 sasa, rais Museveni amekuwa akikariri mtazamo wake kuwa washukiwa katika hatia za mauaji, uhaini, ubakaji na unajisi wasipewe dhamana hata kidogo. Amefufua tena mjadala huo siku ya Jumatatu alipoongoza sherehe za kumbukumbu za marehemu jaji mkuu Benedicto Kiwanuka aliyeuawa katika utawala wa Iddi A...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 02.10.2024 2 Oktoba 2024 Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme Ruka sehemu inayofu...
null
Kwa mujibu wa agizo hilo la rais Yoweri Museveni linamaanisha kwamba mtu yeyote ambaye atahitaji huduma za serikali lazima awe amepata chanjo hiyo dhidi ya UVIKO-19. Kulingana na asasi za kiraia, agizo hilo litaweza kutumiwa vibaya katika ukiukaji wa haki za binadamu pale mtu ambaye atahitaji huduma za serikali akikose...
null
Katika uamuzi wa shauri lililowasilishwa na mwanaharakati anayetaka kufutwa kwa kifungu hicho cha sheria, Mahakama ya Kikatiba nchini Uganda ilikubaliana na ombi hilo, kwa kusema sheria hiyo ilikiuka katiba. Jaji wa mahakama ya Katiba nchini humo Kenneth Kakuru, aliyeuandika kwa niaba ya jopo la majaji watano, uamuzi w...
null
ICC imesema tarehe ya kusikilizwa hoja hizo itatolewa baadae. Kony mwenye umri wa miaka 63, amekuwa akisakwa na mahakama hiyo yenye makao makuu yake mjini The Hague tangu mwaka 2005. Soma pia: Mahakama Uganda yamfunga miaka 40 kamanda wa waasi wa LRA kwa uhalifu wa kivita Anasakwa kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uha...
null
Kulingana na wanasiasa wa upinzani, Uganda haiwezi kudai kutawaliwa kidemokrasia katika mazingira ya sasa ambapo katiba imefanyiwa mageuzi kwa ajili ya kuendeleza utawala wa Rais Yoweri Museveni. Museveni ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1986. Viongozi na wabunge wa vyama vya siasa vya upinzani wameshiriki mkutano wa si...
null
Akiwahutubia watu wa sehemu hiyo, Bobi Wine aliihimiza jamii ya Waankole kuondokana na kasumba kwamba watu wa jamii zingine za Uganda zina uhasama dhidi yao na Yoweri Museveni akiondoka madarakani watalipiza kisasi dhidi yao, akisema hiyo imekuwa mbinu ya Rais Yoweri Museveni kusababisha migawanyiko miongoni kwa raia i...
null
Taarifa hiyo ni kulingana na wakili wa upande wa utetezi Shamim Malende, ambaye amesema kesi hiyo ilikuwa na mashaka kutokana na jinsi ilivyosikilizwa na baadaye watuhumiwa kukubali makosa ambayo awali waliyakana. Upande wa mashtaka umedai kuwa wanachama 16 wa Jukwaa la Umoja wa Kitaifa (NUP), pamoja na wengine ambao b...
null
Afisa mmoja katika ofisi ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni, ameliambia shirika la habari la Ufaransa AFP kwamba ujumbe wa ngazi ya juu kutoka serikali ya Kongo na ule wa muungano wa makundi ya wapiganaji wa M23 na AFC wanakutana mjini Kampala kujadili njia za kuleta amani nchini Kongo. Kuundwa kwa AFC, au Alliance Fleu...
null
Hatua hiyo ilijiri siku mbili baada ya Rais Yoweri Museveni, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa mkono wa chuma kwa karibu miongo minne, kuonya kuwa Waganda wanaopanga kuandamana mitaani leo wanacheza na moto. Msemaji wa polisi ya Uganda Kituuma Ruspke amesema wabunge hao watatu na watu wengine saba walifikishwa mahakamani...
null
Matangazo Polisi imesema karibu wote waliokamatwa wameshtakiwa kwa makosa ya kuvuruga utulivu wa umma. Hii ni kwa mara ya kwanza polisi ya Uganda kutoa idadi ya waandamanaji waliokamatwa. Marekani na wanaharakati wa kutetea haki za binaadamu, wamekosoa hatua za serikali za kuyazima maandamano hayo na kutaja wasiwasi wa...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW/L. Richardson Grace Kabogo Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Grace Kabogo Taar...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii UN: Mahala pa hatari zaidi kwa wanawake ni nyumbani Waziri w...
null
Akizungumza katika kikao cha madiwani wa Halmshauri ya Wilaya ya Ludewa, jana Kamanda huyo wa Polisi amesema, ukipatikana na hatia ya kupekua simu ya mwenza wako, adhabu yake ni kuanzia Tsh milioni tano hadi milioni 20. "Ukipatikana na hatia kwa kupekuwa simu ya mwenza wako, adhabu yake ni tsh. milioni 5 hadi milioni 2...
null
Idara ya huduma ya hali ya hewa imetahadharisha kuhusu hatari ya kutokea mafuriko, maporomoko ya ardhi na mawimbi makubwa wakati taifa hilo linapoendelea kukumbwa na dhoruba hiyo kali. Zaidi ya watu milioni 1.2 walilazimika kuyakimbia maakazi yao mapema huku tahadhari kubwa ikitolewa na watabiri wa hali ya hewa juu ya ...
null
Serikali ya Ufilipino imesema vyombo vyake vya kiusalama havitosita kutoa ushirikiano ikiwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, itataka kukamatwa kwa Rais wa zamani Rodrigo Duterte. Hayo ni kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya vifo vilivyotokea wakati wa kampeni ya Durtete dhidi ya wauza mihadarati wakati alipokuwa ...
null
Matangazo Kikiwa na kasi ya upepo wa hadi kilomita 240 kwa saa, kimbunga hicho kinatarajiwa kutua mwishoni mwa wiki hii, kikigusa kisiwa cha Catanduanes na maeneo mengine yanayozunguka kisiwa hicho. Soma pia: Maelfu wahamishwa Ufilipino wakati kimbunga Man-yi kikaribia Zaidi ya watu 650,000 wamehamishwa, huku vituo vya...
null
Mamlaka nchini Ufilipino zimeamuru meli zote kurejea ufukweni na watu katika maeneo ya pwani kuondoka kwenye makazi yao, wakati kimbunga Man-yi kikikaribia katika taifa hilo. Taifa hilo limekabiliwa na vimbunga vipatavyo vitano katika muda wa wiki tatu zilizopita, na kuwaua watu wasiopungua 163. Hali hiyo imeuchochea U...
null
Israel imeongeza mashambulizi yake nchini Syria tangu ilipofanya mashambulizi ya anga kwa kile ilichokisema inalengwa wanamgambo wa Hezbolllah wa Lebanon zaidi ya wiki mbili zilizopita, na hata kumuuwa kiongozi wake wa ngazi za juu. Shirika la ufuatiliaji wa haki za binadamu la Syria lenye makao yake makuu nchini Uinge...
null
Matangazo Idara ya huduma ya hali ya hewa imetahadharisha kuhusu hatari ya kutokea mafuriko, maporomoko ya ardhi na mawimbi makubwa wakati taifa hilo linapoendelea kukumbwa na dhoruba hiyo kali. Soma Pia: Mamia kwa maelfu wakimbia kimbunga Man-yi Ufilipino Kwa mujibu wa mtabiri wa hali ya hewa katika idara ya seriakli ...
null
Matangazo Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Uganda, Donald Rukare, amesema kwenye mtandao wa X kwamba tukio hilo la mwanariadha Cheptegei kuuliwa na mpenzi wake ni la unyanyasaji wa kijinsia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, huku wanaharakati wakitahadharisha kuhusu janga la mauaji ya wanawake. Kulingana na polisi ya K...
null
Familia ya Bibi Rosine Mwambutsa ni miongoni mwa watu zaidi ya 20,000 ambao walikimbia mapigano yaliyozuka baina ya jeshi la Kongo na kundi la waasi wa M23. Lakini sasa waasi hao wanazidi kusonga mbele katika maeneo kadhaa mkoani Kivu Kaskazini. Bi Rosine aliyepewa hifadhi katika kambi ya wakimbizi nje kidogo na mji wa...
null
Serikali ya nchi hiyotayari imeunda kamati hadi kwenye ngazi ya tarafa za kuwatega sikio wanawake wanaokumbwa na masaibu hayo. Kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za wanawake Giriteka wanawake elf 13 133 walikabiliwa na visa vya kudhalilishwa kijinsia mwaka jana. Mikoa ya Gitega, Ruyigi, Muyinga na Ngozi ikionekana k...
null
Katika ripoti yake, Human Rights Watch imesema visa vya unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana viliongezeka maradufu wakati serikali ya Kenya ilipoweka vizuizi vya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona. Ripoti yenye kurasa 61 iliyotolewa leo na kupewa jina "Sikuwa na mahali pa kwenda," imeainisha kasoro za serik...
null
Matukio ya hivi karibuni ni pamoja na lile la Januari 19, ambapo Shukrani Kamwela mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Ileje mkoani Songwe alimuua kwa kumchoma kisu mke wake aitwaye Subira Kibona mwenye umri wa miaka16 aliyekuwa ni mjamzito. Tukio jingine ni lile la Desemba 27, la mwalimu wa Sekondari mkoani Singida, Simo...
null
Wakati ripoti hiyo ikionyesha hayo, huko wilayani Kibondo, mkoani Kigoma Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Ali Khamisi alikutana na takwimu zinazofanana na hizo, zikionyesha kuwa wanafuzi 980 walipata mimba katika kipindi cha Januari hadi Juni 2021. Hayo yote yanajiri wakati dunia inaadhimisha siku 16 za kupinga ukatili w...
null
Mkuu wa shughuli za kibinadamu katika Umoja wa Mataifa Mark Lowcock amesema ukatili wa kijinsia na ubakaji unatumiwa kama silaha za vita katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray, ambapo wasichana wadogo wengine wenye umri wa miaka minane na wanawake wamebakwa. Lowcock amesema visa vingi vya ubakaji vimefanywa n...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 12.10.2024 12 Oktoba 2024 Washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel waonya juu ya nyuklia 12.10.2024 12 Oktoba ...
null
Takriban watu 41 wamekufa tangu kuanza kwa maandamano hayo, wengi wao wakiwa waandamanaji lakini wakiwemo pia maafisa wa usalama wa Iran. Hii ni kwa mujibu wa idadi rasmi iliyotolewa, ingawa vyanzo vingine vinasema idadi halisi ni kubwa zaidi. Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) lenye makao yake makuu mji...
null
Wengi wa wanawake na wasichana wa kabila hilo walitekwa na wapiganaji wa IS kwa takribani mwaka mzima, ambamo ndani ya kipindi hicho walikuwa wakibakwa, kudhalilishwa na kutumikishwa kazi za sulubu, kuku wengi wengine wakiuzwa utumwani, na wale wa kiume wakilazimishwa kujiunga na kundi hilo na wanaume wazee kuuwawa iwa...
null
Wanawake wanachangia zaidi ya nusu y wapigakura nchini Ujerumani, lakini uwakilishi wao bungeni hauwiani na wingi wao - chini ya theluthi moja ya wabunge ndiyo wanawake, uchache wa namna hii ulishuhudiw amara ya mwisho mwaka 1998. Hali ni mbaya zaidi hata katika mabunge ya majimbo ya shirikisho na manispaa za miji. Ofi...
null
Ripoti ya wizara ya familia nchini Ujerumani inakadiria kuwa idadi ya waathiriwa wa ukeketaji wa wanawake nchini Ujerumani imeongezeka kwa asilimia 44 kutoka mwaka 2017 na karibu wasichana elfu 15 huenda wanakabiliwa na hatari ya mila hiyo. Waziri wa wizara hiyo Franziska Giffey, amesema ongezeko hilo linatokana na wim...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 12 zilizopita Saa 12 zilizopita Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake 25.11.2024 25 Novemba 2...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine 25.11.2024 25 Nov...
null
Ni hali ngumu kwa mwanamke ambaye ni mjamzito na hataki mtu yeyote ajue linapokuja swala la kuzaliwa kwa mtoto wake hasa pale anapohitaji kujificha mimba hiyo kutoka kwa wazazi wanaowatesa au waume wanao wanaowadhalilisha. Wanawake wanakuwa na hofu na hawataki majina yao au anwani ya hospitali wanayojiandaa kwenda kuji...
null
Kwa sasa inakadiriwa familia zaidi ya 300 hazina mahapa pa kukaa baada ya kupoteza kila kitu ndani ya moto huo. Mwandishi wetu wa Bukavu Mitima Delachance anaeleza zaidi. Kwa mujibu wa mashuhuda mbalimbali, moto huo ulitoka kwenye kibanda ambacho chakula kilikuwa kikiandaliwa. Kambi hiyo ilijengwa na manusura waliopone...
null
Matangazo Mkuu wa wilaya hiyo, Thomas Bakenge amesema Jumatatu kuwa idadi ya waliokufa imefika 401, na ilitarajiwa kuongezeka kwa sababu shughuli ya kuwatafuta wahanga ilikuwa ikiendelea. Kulingana na duru kutoka eneo hilo, miili ipatayo 300 ya wahanga hao ilizikwa siku ya Jumapili. Mvua kubwa ilianza kunyesha wilayani...
null
Matangazo Mmoja wa hao waliofanikiwa kuwa kileleni katika makampuni makubwa ya kimataifa ni Amadou Diallo kutoka Senegal, ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa DHL Freight, tawi la kampuni kubwa ya kijerumani, Deutsche Post. Chiponda Chimbelu amekutana na Diallo katika ofisi yake, na katika mazungumzo yao Diallo anasimulia...
null
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesAsubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Mgombea wa mrengo wa kulia aongoza uchaguzi wa Romania 25.11.2024 25 Novemba ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Rais wa China Xi Jinping afanya ziara nchini Morocco 21.11.2024 21 Novemba 20...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Brexit Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Maelfu wakumbwa na mafuriko ya kimbunga nchini Uingereza 24.11.2024 24...