name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Watoto wanaosajiliwa na magenge ya silaha waongezeka Haiti Ruka sehemu inayof... |
null | Matangazo Takwimu hizo zimechapishwa katika makadirio ya kwanza ya kimataifa ya ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto kabla ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Msichana kesho Ijumaa. Data hizi zina maana kwamba msichana mmoja kati ya wanane ameathiriwa na aina hii ya unyanyasaji mbali na unyanyasaji wa kijinsia wa mta... |
null | Matangazo Takwimu hizo za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, zaidi ya shule 14,000 zilifungwa katika robo ya pili ya mwaka huu katika nchi 24 zilizo kati ya Sahara na Kongo. Takwimu za Umoja wa Mataifa zimebainisha kuwa, shule 1,457 zililazimika kufungwa tangu mwanzoni mwa mwaka. Jumla ya watotomilioni 57 wenye umri kat... |
null | Takwimu hizo za UNICEF zimekusanywa kutoka katika mataifa 100 kuanzia mwaka 2010 hadi 2023 na zilijumuisha aina zote za ukatili ikiwemo "adhabu za kimwili" na dhuluma za kisaikolojia. Shirika hilo linafasili ukatili wa kisaikolojia kuwa unajumuisha maneno ya kutwezwa kwa mtoto ikiwemo kuwapa majina yanayochukiza kwenye... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Mashirika ya kijamii nchini Kenya: Sheria kuhusu dhuluma za kijinsia zinawabag... |
null | Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni 400 walio chini ya umri wa miaka mitano, ikiwa sawa asilimia 60 ya wototo wote wa umri huo duniani kote wanakabiliwa na adhabu ya kipigo au kisaikolojia majumbani mwao, zikiwemo kuchapwa viboko hadi kutukanwa. Makadirio mapya... |
null | Matangazo Vijana hao waliuawa kutokana na makosa wanayodaiwa kuyatenda wakati walipokuwa chini ya umri wa miaka 18. Katika taarifa yake, UNICEF imesema hukumu ilitolewa na mahakama za kijeshi, ambazo hazina taratibu maalum zinazojali haki ya mtoto. Aidha, UNICEF imezitolea wito mamlaka za jimbo la Puntland kuwachukulia... |
null | Kulingana na ripoti ya UNICEF, watoto waliokimbia makazi yao ni zaidi ya nusu ya jumla ya watu 600,000 ambao wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na ghasia, hasa katika mji mkuu wa Port-au-Prince ambao sehemu kubwa inadhibitiwa na magenge ya uhalifu. Ripoti hiyo imedokeza kwamba idadi ya watoto waliokimbia makazi ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 20.09.2024 20 Septemba 2024 Watoto milioni sita waathiriwa na Kimbunga Yagi Ruka sehemu inayofuata Ripot... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Takriban mamluki 6 wa kundi la Wagner la Urusi wauawa Mali 23.11.2024 23 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Mawaziri wa G7 kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine 23.11.2024 23 Novemba 2024 E... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel Ruka sehemu inayofuata... |
null | Matangazo Mapigano yalizuka usiku wa kuamkia leo kati ya wanajeshi na wanamgambo hao katika jimbo la Khyber karibu na mpaka wa Afghanistan. Katika tukio jingine watu waliojihami kwa bunduki waliwateka nyara maafisa saba wa polisi kwenye kituo cha ukaguzi wa magari kwenye mkoa wa Bannuna msako unaendelea wa kuwatafuta w... |
null | Urusi imefyetuwa kombora la kuvuka mabara leo (Alhamisi) asubuhi kutokea mkoa wake wa kusini wa Astrakhan kuishambulia Ukraine, hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kutumia silaha zenye nguvu kubwa namna hiyo tangu ilipoanzisha vita hivyo. Jeshi la anga la Ukraine ambalo limetowa ripoti hiyo limesema kwamba shamb... |
null | Wakati wa mkutano huo wa mataifa 16 yanayozijumuisha Angola, Botswana, Visiwa vya Comoros, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Eswatini, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Msumbiji, Namibia, Ushelisheli, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, suala kuu katika agenda litakuwa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji. Piers... |
null | Viongozi wa kijeshi wa Kongo na wale wa kikosi cha mataifa ya Jumuiya ya mataifa ya kusini mwa Afrika SADC, wamefanya mkutano wa tahmini ya hali ya kiusalama jimboni Kivu ya Kaskazini. Kufuatia mkutano huo, Luteni Jenerali Fall Sikabwe, kaimu mkuu wa jeshi la Kongo amesema jeshi la FARDC na kikosi cha SADC maafuru SAMI... |
null | Kwenye mkutano huo wa Luanda, Angola , Marais wa Jumuiya ya SADC walipewa taarifa kuhusu hali ya usalama mashariki mwa Kongo na kuidhinisha kutumwa kwa wanajeshi wa nchi za SADC huko jimboni Kivu. Taarifa ya pamoja ya mkutao huo imesema marais wa jumuiya ya SADC wamesisitiza wito wao wa kuimarisha uratibu na uwianishaj... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Mapambano dhidi ya ufisadi Kenya Mapambano dhidi ya ufisadi Kenya EACC Kenya i... |
null | Wanadiplomasia wakuu kutoka Japan na China wamekutana kwa mazungumzo leo Jumamosi huku wakijaribu kusuluhisha mizozo kati ya mataifa hayo mawili ikiwa ni pamoja na marufuku ya China kuhusu uuzaji wa bidhaa za baharini za Japan. Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi amekutana na yule wa Japan Yoko Kamikawa katika mji ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Seoul: Urusi iliipa Korea Kaskazini mifumo ya ulinzi wa anga 16.11.2024 16 No... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Seoul: Urusi iliipa Korea Kaskazini mifumo ya ulinzi wa anga 19.11.2024 19 No... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Jopo la WHO lasema mpox bado ni kitisho cha afya duniani 15.11.2024 15 Novemb... |
null | Ghana imeshindwa kufuzu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2014 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Angola. Timu hiyo maarufu kama Black Stars ilihitaji ushindi katika mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi ili kufufua matumaini yao madogo ya kufuzu fainali ya michua... |
null | SiasaMatangazo ya Jioni 6.10.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video59:59Siasahttps://p.dw.com/p/4lSySNakili kiunganishiMatangazo |
null | Picha: picture-alliance/ dpaMatangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki) |
null | Mtawala wa kijeshi nchini Mali kanali Assimi Goita amekutana na maafisa wakuu wa kijeshi nchini humo ili kubadilisha mikakati, baada ya mashambulizi yaliofanywa na makundi ya watu wenye silahakatika mji mkuu Bamako. Mkutano huo umetoa fursa ya kuangazia upya mipango ya usalama na kuweka mipango ya ziada kuzuia mashambu... |
null | Matangazo Raia hao wamesema tangu mapinduzi ya mwaka 2020, kunashudiwa ongezeko la matatizo ya kiusalama, kiuchumi na pia tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara jambo linaloathiri shughuli za biashara. Tathmini ya Benki ya Dunia imeonyesha kuwa ukuaji wa uchumi wa Mali unatarajiwa kupungua hadi asilimia 3.1 mwaka h... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo |
null | Matangazo Mkutano huo unafanyika baada ya mwaka mmoja wa majanga ya hali ya hewa ambayo yamezipa matumaini nchi zinazoendelea katika madai yao ya ufadhili wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wajumbe kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni, wanakusanyika katika mji mkuu wa Azerbaijan, Baku, wakitumai kupata... |
null | Antonio Guterres amewatolea wito viongozi wa mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani wa G20 waliokusanyika nchini Brazil, kufanikisha mazungumzo ya hali ya hewa ya Umoja wa Mataifa ya COP29 yanayoendelea nchini Azerbaijan. Guterres, ambaye atahudhuria mkutano wa kilele wa G20 unaoanza hivi leo huko Rio de Janeiro, am... |
null | Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kwamba dunia haiko tayari kwa "janga" litakalosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi na inastahili kujiandaa kwa mikasa mibaya zaidi katika siku zijazo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya kila mwaka ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNE... |
null | Zaidi ya viongozi 90 wa dunia wamekusanyika leo katika siku ya pili ya mkutano huo wa COP29 . Viongozi ambao hawajahudhuria mkutano huo ni pamoja na Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye ahadi zake za kitaifa za kushughulikia mzozo wa mabadiliko ya tabianchi zinaweza kukwama chini ya uongozi mpya wa Rais mteule Donald Tru... |
null | Matangazo Maafisa wanne wa polisi waliuawa pamoja na wasaidizi wawili wa jeshi na raia wawili katika shambulio karibu na mpaka na Afghanistan. Taarifa ya polisi imesema watatu miongoni mwa watao waliojeruhiwa wako katika hali mbaya. Shambulio hilo lilidaiwa na kundi la wanamgambo wasiojulikana wanaojiita "Aswad ul-Harb... |
null | Matangazo Nchi hizo ni Uhispania, Ureno, Morocco, Uruguay, Argentina na Paraguay. Katika taarifa yake, FIFA imesema mechi zitakazochezwa Amerika Kusini, itakuwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 100 ya Kombe la kwanza la Dunia nchini Uruguay. Morocco itakuwa taifa la kwanza la Afrika Kaskazini kuwa mwenyeji wa michuano hi... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Saa 6 zilizopita ... |
null | Tangu kuanza kwa mzozo wa kivita nchini Sudan kati ya wanajeshi wa Sudan na kikosi cha wanamgambo wa RSF mnamo Aprili 15 Aprili, kikosi hicho na wapiganaji wengine washirika wa Kiarabu wameendesha mashambulizi ya mara kwa mara katika miji na vijiji kwenye jimbo la Darfur Magharibi. Mashambulizi haya yamelenga zaidi mae... |
null | Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yametoa taarifa ya pamoja inayosema wanaume waliokuwa na silaha, wengi wao wakiwa wamevalia magwanda ya kijeshi waliwashambulia wanawake na wasichana katika mji wa kaskazini mwa Sudan Kusini wa Bentiu, jimboni Unity. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto, UNICEF, la kut... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Seoul: Urusi iliipa Korea Kaskazini mifumo ya ulinzi wa anga 19.11.2024 19 No... |
null | Matangazo Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limesema mkataba huo "uliidhinishwa kama amri" ya Kim Jong Un, likimtaja kama "Rais wa Masuala ya Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea." Notisi hiyo inajiri baada ya wabunge wa Urusi kupiga kura kwa kauli moja wiki iliyopita kuuidhinisha mkataba huo, amb... |
null | Matangazo Hayo ni kwa mujibu wa mshauri wa uchumi wa Rais William Ruto, David Ndii. Kupitia jukwaa la X, Ndii amesema mkataba huo una thamani ya dola bilioni 1.3 na kwamba tayari makampuni hayo yameanza kuajiri watakaohusika kuutekeleza mradi huo. Soma zaidi: Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa JKIA nchini Kenya wagoma H... |
null | Matangazo Amenya alisema alikubali kufichuwa mpango huo kwa sababu hivi sasa yuko nchini Ufaransa anakosoma, lakini anaweza kulengwa na mahasimu wake hata akiwa nje ya Kenya. Ufichuzi wa Amenya ulichochea hasira nchini Kenya na kusababisha mgomo mkubwa uliofanywa na wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta pamoj... |
null | Matangazo Kwa mara nyingine umeakhirishwa ili kutowa nafasi ya kufanyika mazungumzo. Mgomo huo umeakhirishwa kwa siku saba. Wafanyakazi 10,000 wa chama wa muungano wa shirika la safari za anga Kenya,wanapinga mipango ya serikali ya nchi hiyo ya kutaka kuingia makubaliano ya uwekezaji na kampuni ya India ya Adani kutanu... |
null | Matangazo Hapo jana Jumapili, wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran pia waliripoti kufanya mashambulizi saba dhidi ya vikosi vya Israel katika eneo hilo hilo. Vyombo vya Habari nchini Lebanon vimeripoti kwamba jeshi la Israel limeanza upya mashambulizi ya angani na ardhini dhidi ya wanamgambo hao. Vita vya Lebanon vi... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 SADC kubakisha wanajeshi mashariki mwa DRC kwa mwaka mmoja 21.11.2024 21 Nove... |
null | Martin Fayulu, ambaye alikuwa kwenye nafasi ya tatu katika uchaguzi wa mwaka jana, amesema Katiba ya sasa haimzuii mtu yeyote kufanya kazi. Kiongozi huyo wa upinzani ametoa wito kwa raia wa Kongo kuwa tayari kuzuia jaribio lolote la magaeuzi ya katiba. Akiwa ziarani mjini Kisangani, Kaskazini-Mashariki mwa Kongo, Rais ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 SADC kubakisha wanajeshi mashariki mwa DRC kwa mwaka mmoja 21.11.2024 21 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Maporomoko ya ardhi yawaua watu tisa Kivu ya Kusini 21.11.2024 21 Novemba 202... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 SADC kubakisha wanajeshi mashariki mwa DRC kwa mwaka mmoja 21.11.2024 21 Nove... |
null | Picha: Marius Becker/dpa/picture allianceMatangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki) |
null | Matangazo Hii ni baada ya mapumziko ya wiki moja yaliyolenga kurekebisha masuala kadhaa ya kisheria na kiufundi. Hayo yameelezwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) ambalo husimamia harakati hizo. Umoja wa Mataifa ulisitisha Jumanne wiki iliyopita safari zake katika mji mkuu wa Haiti Port-au-Prince, siku moja... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 13 zilizopita Saa 13 zilizopita IOM: Zaidi ya watu 40,000 wakimbia machafuko Port-au-Prince 25.11.20... |
null | Matangazo Katika hotuba yake kupitia televisheni amesema ameamua kuingia katika kinyang'anyiro cha nafasi hiyo, akiweka wazi uvumi uliodumu kwa muda mrefu kuhusu nia yake hiyo. Aidha Rais Iohannis amesema Romania imekuwa nguzo ya utulivu kikanda na kuongeza kuwa imekuwa mstari wa mbele katika kuiunga mkono NATO dhidi y... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Ujerumani yatanua ukaguzi mipakani kudhibiti wahamiaji Ujerumani yatanua ukagu... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo Saa 13 zi... |
null | Wito wa mkuu huyo wa tume ya Ulaya wa kuanzishwa kwa ushirikiano mpya na bara la Afrika umetolewa wakati ambapo nchi za Ulaya zinajitahidi ili kupata suluhisho la pamoja kwa ajili ya kupunguza kasi ya mtiririko wa wahamiaji kutoka Afrika wanaotaka kuingia Ulaya huku wakihatarisha maisha yao kwa kuivuka bahari ya Medite... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Jean-Claude ataka kukomeshwa kwa ukaguzi wa mipaka katika EU Ruka sehemu inay... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo Saa 13 zi... |
null | Zelensky ametowa mwito huo katika hotuba yake aliyoitowa kwa njia ya video, mbele ya bunge la Ulaya kuhusu maadhimisho ya siku 1,000 tangu Urusi ilipoivamia nchi yake.''Kwa pamoja tumefanikisha mengi. Lakini hatupaswi kukhofia kuchukua hatua zaidi. Putin amewaleta wanajeshi 11,000 kutoka Korea Kaskazini na kuwapeleka k... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 Mkuu wa IAEA akaribisha uamuzi wa Iran kuhusu mpango nyuklia Ruka sehemu inay... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa ya Ulaya 22.11.2024 22 Novemba ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine 23.11.2024 23 Nov... |
null | Kikosi cha mamluki wa Urusi, Wagner ambacho kwa miaka mingi kimefahamika kwa shughuli za kijeshi barani Afrika kinaendelea kupanua wigo wa shughuli na kujumuisha harakati za kiuchumi, kitamaduni na kijamii kwa lengo la kutetea maslahi ya Urusi barani Afrika. Na tangu kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin, alipofariki ka... |
null | Mkutano huo unafanyika wakati Iran ikifahamisha kuwa, itachukua hatua za haraka za kukabiliana dhidi ya azimio lolote la bodi ya magavana ya IAEA linaloingia mpango wake wa nyuklia. Shirika la habari la Iran IRNA limeripoti kuwa Grossi, aliyewasili mjini Tehran jana jioni, anatarajiwa kujadiliana na maafisa wakuu wanao... |
null | Matangazo Iran imesema hatua iliyochukuliwa na mataifa hayo haina msingi. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran, Esmaeil Baghaei ameeleza kwenye taarifa, kwamba rais wa Ukraine amekiri hakuna makombora ya Iran yaliyosafirishwa Urusi, na kwa hivyo hatua iliyochukuliwa na Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuiwekea vikwa... |
null | Bunge hilo limesema pia kuwa viongozi wa Ulaya wanatakiwa kufanya kila liwezekanalo ili kumuwezesha kuchukua madaraka ifikapo Januari 10 mwakani. Kura hiyo iliyopingwa na vyama vya mrengo wa kushoto ilipitishwa kwa kura 309 dhidi ya 201 na iliwezeshwa kutokana na muungano wa vyama vya siasa za mrengo wa kulia. Soma zai... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 20.11.2024 20 Novemba 2024 Marekani yamtambua Urrutia kama rais mteule wa Venezuela Ruka sehemu inayofua... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 20.11.2024 20 Novemba 2024 Marekani yamtambua Urrutia kama rais mteule wa Venezuela Ruka sehemu inayofua... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Raia wa Romania wapiga kura katika uchaguzi wa rais 20.11.2024 20 Novemba 202... |
null | Umoja wa Mataifa na kundi la Madaktari nchini Sudan wamesema zaidi ya watu 120 waliuawa katika mji mmoja, wakati wa shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa RSF siku chache zilizopita. Hilo ni shambulizi la hivi karibuni kufanywa na RSF dhidi ya wanajeshi wa Sudan baada ya kukumbwa na msururu wa mashambulizi na kupotez... |
null | CHADEMA kimeeleza kuwa Bi Machano, ambaye ni Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la chama hicho kitaifa alitekwa katika eneo la Kibiti alikokwenda kikazi. Soma zaidi: Vyombo vya usalama vya Tanzania vyalaumiwa kwa mauaji Kupitia ukurasa wa X wa Chama hicho, imeelezwa kuwa Machano aliokotwa na waendesha pikipiki waliom... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu George Njogopa Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na George Njogopa Taarifa zilizoonesha na George Njogopa Nape akosolewa kwa matamshi yake ma... |
null | Matangazo Baada ya mkutano na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud mjini Berlin, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema viongozi hao walikubaliana kuwa wahamiaji wasiokuwa na haki ya kisheria kusalia Ujerumani "watarudishwa makwao haraka na kwa ufanisi." Scholz amesema watakaoathirika zaidi na hatua hiyo ya kufukuzw... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo 25.11.202... |
null | Matangazo Peskov alikuwa akitoa ufafanuzi kufuatia madai ya awali ya rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa sasa wa urais wa chama cha Republican, Trump kwamba angeweza kumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine ulioanzishwa na serikali ya Moscow kwa siku moja tu. Hata hivyo aliongeza kwa kusema ni jambo la kufikirika kwamba... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 19.11.2024 19 Novemba 2024 Kuna ongezeko la aina mpya ya mbu sugu Afrika Mashariki Ruka sehemu inayofuat... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 26.10.2024 26 Oktoba 2024 Zaidi ya wanawake, wasichana milioni 600 waathirika na vita Ruka sehemu inayof... |
null | Rais wa Urusi Vladmir Putin ameahidi kutowa msaada kamili kwa bara la Afrika. Ahadi hiyo imetolewa leo Jumapili katika mkutano kati ya maafisa wa bara la Afrika na Urusi huko Sochi, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Katika hotuba ya rais Putin iliyotolewa na waziri wake wa mambo ya nje Sergei Lavrov mbele ya mawaziri wa ... |
null | Viongozi hao kadhaa wa Afrika waliohutubia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni pamoja na rais wa Kenya William Ruto na rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Archange Toudera ambaye amezilaumu nchi za magharibi kwa kusababisha mgogoro wa wakimbizi kutokana na kupora raslimali za nchi za Afrika. Rais Touadera am... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Papa Francis kuzuru kisiwa cha Corsica Ufaransa 22.11.2024 22 Novemba 2024 Bo... |
null | Ni hatua ya hivi karibuni ya Iran katika kukiuka makubaliano ya nyuklia toka mwaka 2019 na ikiwa jibu kwa rais wa Marekani Donald Trump ambae alijiondoa kwenye makubaliano hayo Mei 2018 na Marekani kuiwekea vikwazo Tehran. Ali Rabiei ,msemaji wa serikali ,alinukuliwa na Televisheni ya taifa akisema utaratibu wa kurutub... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Marine Le Pen Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Papa Francis kuzuru kisiwa cha Corsica Ufaransa 22.11.2024 22 N... |
null | Katiku ujumbe kwa mataifa wanachama wa shirika hilo la Umoja wa Mataifa, IAEA imesema kuwa siku ya jumanne, wakaguzi wake walitembelea kinu cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordow na kuripoti kwamba hatua zimechukuliwa katika kinu hicho kurutubisha madini ya Urani kwa kutumia mitambo ya kisasa. Tangazo hilo lilioneka... |
null | Matangazo Ushindi wa RB Leipzig wa 3 - 1 dhidi ya Freiburg Jumamosi uliwaweka kileleni na pengo la pointi tatu lakini Bayern wamewapiku kwa tofauti ya mabao. Mabao ya Bayern yalifungwa na Michael Olise, Jamal Musiala, Leroy Sane, Harry Kane na Kingsley Coman. Soma pia: Miamba Bayern Munich yachapwa 4-1 na Barcelona Kwi... |
null | Matangazo Klabu ya Bayern Munich imeendelea kujiimarisha katika azma yake ya kutaka kufuzu kwa duru ya mtoano katika michuano ya kombe la mabingwa Ulaya, Champions, baada ya hapo jana kupata ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila dhidi ya Benfica Lisabon. Timu nyingine ya Ujerumani, Stuttgart, ilikula kichapo cha goli ... |
null | Matangazo Makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyodumu kwa wiki kadhaa yamevunjika baada ya kuanza mapigano mapya katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya waasi wa M23 na wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali. Duru za eneo hilo zimeeleza kuwa alfajiri ya jana Jumapili, waasi wa M23 walipa... |
null | Akianzisha rasmi uchunguzi huo, Mwendeshamashtaka mkuu wa mahakama ya ICC yenye makao yake mjini The Hague, Fatou Bensouda, amesema kesi hiyo itajikita katika mzozo wa mwaka 2014 kwenye Ukanda wa Gaza, ambao ulisababisha vifo vya watu zaidi ya 2000. Bensouda amesema amefikia suluhisho kuwa zipo sababu za kutosha kuzish... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi ICC: Bensouda hakufadhili kundi la waasi wa LRA ICC: Bensouda hakufadhili kund... |
null | Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel amestaafu tangu karibu miaka miwili na nusu. Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya YouGov ilifanya uchunguzi wakilishi kwa watu 2,300 nchini Ujerumani kutaka kufahamu namna wanavyomkumbuka. Asilimia 61 walisema hali ya nchi imekuwa mbaya tangu Merkel aondoke madarakani. Walipouli... |
null | Nishani hiyo yumkini itatoa nafasi kwa wafuatiliaji wa siasa za Ujerumani na umma wa taifa hilo kutathmini kwa kina urathi wa kiongozi huyo wa zamani. Hafla ya kutolewa nishani hiyo kwa Bibi Merkel inafanyika jioni ya leo mjini Berlin na itakabidhiwa na rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier. Rais wa U... |
null | Matangazo Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Jenerali Pat Ryder amethibitisha taarifa hizo mbele ya waandishi wa habari jana Jumanne na kuongeza kuwa walifanikiwa kuyazuia mashambulizi hayo. Hakuna meli iliyoharibiwa wala mtu aliyeumia. Tangu Novemba, 2023 waasi wa Houthi walianza kuzishambulia meli hizo kwenye Ba... |
null | Matangazo Khan yuko gerezani kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na kesi zaidi ya 150 zilizofunguliwa na mamlaka za nchi hiyo. Mkusanyiko huo wa jana ambao ni moja kati ya ile mikubwa kabisa iliyoandaliwa na chama cha Khan cha Tehreek-e-Insaf ulifanyika kwa amani ingawa kulitokea purukushani kidogo kati ya polisi na wana... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 18.09.2024 18 Septemba 2024 Rais wa Iran ateua gavana wa kwanza Msunni katika miaka 45 05.09.2024 5 Sept... |
null | Matangazo Chama hicho kimekuwa madarakani tangu nchi hiyo ilipopata uhuru wake mwaka 1975 kutoka Ureno. Mondlane, aliyeshinda kwa asilimia 20 katika uchaguzi wa Oktoba 9 kwa mujibu wa mamlaka inayosimamia uchaguzi, anadai kwamba uchaguzi huo uligubikwa na udanganyifu. Maandamano ya kupinga matokeo hayo tayari yameghari... |
null | Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC wanakutana kuanzia leo katika mji mkuu wa Zimbabwe Harare, kuujadili mzozo wa Msumbiji. Mzozo wa kisiasa na kijamii unaozidi kuongezeka Msumbiji utakuwa ndio ajenda kuu ya mkutano wa kilele wa SADC ulioitishwa baada ya matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 9 ku... |
null | Takwimu hizo ni za vifo vilivyotokea kati ya Oktoba 19 hadi Novemba 6 na hazijumuishi machafuko yaliyotokea Novemba 7 wakati polisi na wanajeshi walipowatawanya maelfu ya waandamanaji waliojitokeza katika mji mkuu Maputo. Huku hali ya machafuko ikizidi kushuhudiwa na serikali imewatuma wanajeshi mitaani kusaidia kureje... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 15.09.2024 15 Septemba 2024 Waziri Mkuu wa Jordan, Bisher Khasawneh ajiuzulu Ruka sehemu inayofuata Ripo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 10.11.2024 10 Novemba 2024 Marekani yashambulia maeneo ya waasi wa Kihouthi Yemen 05.11.2024 5 Novemba 2... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake Ruka sehemu inayof... |
null | Matangazo Hayo yameelezwa na mamlaka za nchi hiyo pamoja na shirika la misaada wakati jiji hilo likijiandaa kwa wiki nzima ya dhoruba kali. Taasisi ya kuratibu majanga huko Cape Town imekuwa katika hali ya tahadhari tangu Alhamisi wiki iliyopita. Mafuriko Afrika Kusini yasababisha vifo vya watu 22 Mamlaka ya hali ya he... |
null | Matangazo Naibu Mkuu wa Ujumbe huo, Lothar Jaschke amesema wao wanaunga mkono kikamilifu mazingira yatakayowezesha uchaguzi kufanyika kwa kuzingatia katiba na haki. Kiir amedai kwamba mataifa yenye nguvu ya Magharibi yanataka kuuchelewesha uchaguzi nchini mwake lakini hakueleza zaidi kinachofanyika. Kiongozi huyo wa Su... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.