name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Kenya yachaguliwa kuwa mjumbe kwenye baraza la Umoja wa Mataifa Kenya imetangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya mjumbe asiye wa kudumu katika Barazala la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) baada ya kupata kura 129 dhidi ya Djibouti iliyopata kura 62. Katika mzunguko wa pili wa kura uliofanyika Juni 18, 2020 jumla ya nchi 1...
null
Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bilioni 500 ujenzi wa miundombinu Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa zaidi ya Shilingi Bilioni 500 kwa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu mkoani Dar es Salaam. Licha y...
null
Serikali imesema hakuna mwanafunzi ambaye amepelekwa kwenye vyuo vya kati bila yeye mwenyewe kupenda, bali wanafunzi wenyewe walifanya machaguo hayo ambayo yalionekana kwenye mfumo. Amebainisha hayo Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI, David Silinde alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Ndoa miaka 14: BAKWATA yaelezea kwa kina March 26, 2023 - Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi...
null
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020: Wasifu wa Profesa Makame Mbarawa Na Wahida Omari, Zanzibar Waziri wa Maji na kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Makame Mbarawa amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Zanzibar 2020. Tukio hilo limefanyika leo Juni 19 majira ya saa nne asubuhi katika Ofis...
null
Kutokana na idadi ya wanaume wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kuongezeka nchini kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa afya ikiwemo magonjwa, msongo wa mawazo, ulaji na mengineyo, hali ambayo inazidi kuleta athari kubwa kijamii na kihisia. Akizungumza na Swahili Times, Mwanasaikolijia kutoka ...
null
Tanzania, Burundi, na DRC zasaini makubaliano ya ujenzi wa SGR Tanzania, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Jumanne Disemba 3, 2019 zilisaini makubaliano ya kujenga reli ya kisasa (SGR) itakayounganisha nchi hizo tatu, kwa lengo la kurahisishsa usafiri. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amesema r...
null
Benki ya NMB imekamilisha zoezi la kuunganisha mfumo wake mkuu wa kibenki na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya dhamira ya benki hiyo kuimarisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wanafunzi katika vyuo vikuu kupata bidhaa za k...
null
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Dkt. Inmi Patterson anatarajia kuondoka nchini Tanzania hivi karibuni. Patterson anaondoka baada ya kuuongoza ubalozi huo hapa nchini kwa kipindi cha miaka mitatu. Katika salamu yake ya kuaga amewashukuru wale wote aliokutana nao na kufanya nao kazi hapa nchini ikiwa ni sehemu ...
null
Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Kisiwani Zanzibar imepiga marufuku upigaji wa muziki katika viwanja mbalimbali vya kusheherekea sikukuu ya Eid-el-fitri. Akizungumza na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa Ayoub Muhamed Mahmoud amesema kuwa ni marufuku kupiga muziki katika viwanja vya wazi katika kusheherekea sikukuu h...
null
Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri la madai ya talaka akitaka...
null
Utaratibu wa kufuata unapopoteza kitambulisho chako cha taifa nchini Tanzania Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya. NIDA imelazimika kutoa maelezo hayo baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii kuhoji...
null
Mwanasiasa anayetuhumiwa kwa mauaji nchini Kenya, Didmus Wekesa Barasa ametetea kiti chake cha ubunge kwa tiketi ya chama cha United Demokratic Alliance. Barasa ambaye anatuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi msaidizi wa mpinzani wake, Brian Khaemba wa chama cha DAP-K Jumanne jioni, amepata kura 26,000 dhidi ya kura 9000...
null
Kuanza biashara na mtaji mdogo inaweza kuwa changamoto kutokana na aina ya biashara unayopanga kufanya. Hata hivyo, kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza kuwa ngumu zaidi na hata kushindwa kufanikiwa ikiwa utaanza na mtaji mdogo kutokana na biashara hizo kuhitaji uwekezaji mkubwa. Hapa kuna baadhi ya biashara ambazo ...
null
Ni wazi kuwa hakuna mtu anayependa kuwa na chunusi usoni, ndio maana baadhi huenda mbali na kutumia gharama kubwa kununua vipodozi vitakavyowawezesha kuwa na ngozi nyororo yenye kupendeza. Katika meza ya afya leo tumekuja na jawabu la tatizo lako kwani hauhitaji kutumia gharama kubwa kupata ngozi nyororo, sasa utahitaj...
null
Mabelya: Wananchi wako tayari kupokea mikopo ya asilimia 10 ili kujikomboa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, ameeleza kwamba mpango mpya wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu utaimarisha usalama wa fedha za serikali huku ukihakiki...
null
Mfumo wa LIPA wa Vodacom M-Pesa unaleta mapinduzi katika mifumo ya malipo Tanzania Dar es salaam: Kampuni ya mawasiliano ya simu inayoongoza Tanzania, Vodacom Tanzania PLC leo imezindua huduma yake ya LIPA KWA SIMU katika gulio la M-pesa lililofanyika Mlimani City Mall jijini Dar es salaam. Gulio hilo lina lengo la kuo...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Idadi ya waathirika wa corona Tanzania yafikia 480 April 29, 2020 - Yanga yamtaka Fei Toto kuripoti ...
null
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wamesema kuna uwezekano mkubwa wa panya wakatumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19. Hayo yamebainishwa na Mtafiti Mwandamizi na Meneja Mradi wa Utafiti wa Panya wa SUA-APOPO, Dkt. Georgies Mgode kwenye Maonesho y...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani 7, amemuongezea muda Jaji wa Mahakama ya Rufani 1 na ameteua Majaji wa Mahakama Kuu 21. Majaji wa Mahakama ya Rufani walioteuliwa ni; - Patricia Saleh Fikirini ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa Jaji Mfawidhi – ...
null
Kikundi cha G20, au Kundi la Mataifa 20, kinajumuisha nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani na kinatambulika kama jukwaa muhimu kwa majadiliano ya masuala ya kiuchumi na kifedha ya kimataifa. Kiliundwa mwaka 1999 kama jibu kwa mgogoro wa kifedha uliotokea Asia ya Mashariki mwishoni mwa miaka ya 1990. Lengo la awali lilik...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Nigeria kuzifunga akaunti za benki zilizotumika wakati wa maandamano November 8, 2020 - Magazeti ya ...
null
Wakati hoja ya Katiba Mpya ikitawala mijadala na hotuba za viongozi mbalimbali katika Baraza Kuu la CHADEMA, mwanasiasa wa upinzani kutoka nchini Uganda ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye baraza hilo amesema katiba mpya pekee haiwezi kuwa mwarobaini wa matatizo. Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ambaye ni kiongozi wa ...
null
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9 amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua. Akizungumza na viongozi na watendaji wa MSD baada ya kutembelea viwanda vya kutengeneza b...
null
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vunjabei Group Limited, Fred Ngajiro amesema sababu kubwa ya kuchelewa kufika kwa jezi za Simba SC msimu wa 2022/23 ni mkataba mpya wa udhamini wa M-BET kuchelewa kuidhinishwa, hivyo akawa na muda mchache wa kutengeneza. Akizungumza na E-Fm, mfanyabiashara huyo maarufu kwa jina la Fred Vunjabei a...
null
Baba mzazi wa Waziri wa Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema yupo kwenye mchakato wa kuomba hati ya kusafiria (passport) ya Ufaransa ili kuendeleza ukaribu wake na Umoja wa Ulaya (EU) baada Uingereza kujitoa. Stanley Johnson amesema kuwa anataka kuwa raia wa Ufaransa kutokana na kuwa na historia ya kifamilia na tai...
null
Serikali yazuia ndege za Kenya kutua Tanzania Tanzania imezuia ndege za Kenya kutua nchini kwa kufuta kibali kilichokuwa kinazipa ruhusa ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuingia #Tanzania. Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA) inaeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa baadabL ya Kenya kutoijumuisha Tan...
null
More News - Magazeti ya Tanzania leo Mei 13, 2020 May 13, 2020 - Serikali yaruhusu wenye visima kusambaza maji October 27, 2022 Yaliyojiri - Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024 - Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024 - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Corona: Shirika la Fedha Duniani laisamehe Tanzania deni la bilioni 33 Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisamehe Tanzania deni lenye thamani ya $14.3 milioni (TZS 33.1 bilioni) ambalo lilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo, kuanzia Juni 10, 2020 hadi Oktoba 13, 2020. IMF imechukua hatua hiyo kupitia mfuko wake w...
null
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule za msingi kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa mapema Aprili, 2023. Kupitia fedha hizo kazi zitakazofanyika ni ujenzi wa shule mpya za msingi 302 ambazo zitakuwa na jumla y...
null
Kufuatia malalamiko kuhusu ongezeko la viwango vya malipo ya kodi ya majengo katika ununuzi ya umeme kuanzia Julai 1, 2024, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko lolote llililofanyika kwenye viwango vya kodi ya majengo nchini isipokuwa ni madeni ya nyuma yaliyotakiwa kulipwa mwaka wa fedha 2023/2...
null
Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024Nafasi 38 za Ajira Serikalini December 2, 2024Nafasi 80 za Ajira Serikalini November 26, 2024 More News - Maelekezo ya Serikali kwa watu ambao hawajahesabiwa hadi sasa August 29, 2022 - Mikakati mitatu ya Rais Samia katika kukuza Sekta ya Kilimo October 31, 2024 Yaliyojir...
null
Kisa cha kustaajabisha kimetokea huko Bukwo nchini Uganda baada ya bwana harusi mmoja, Maikut Samuel (60) kukamatwa na familia ya mke wake kwa madai ya kwenda kwenye tukio la kujitambulisha bila kupeleka zawadi yoyote. Inasemekana Maikut aliwataarifu wakwe zake kwamba atakwenda kwa ajili ya kumtolea mahari binti yao ak...
null
Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Lazaro Msasalaga amesema kuwa magari mengi yanayoagizwa nchini yana matairi ambayo yamekwisha muda wake wa matumizi. Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa shirika hilo na wahariri wa vyombo vya habari, amesema matairi huandikwa tarehe ya kuisha muda...
null
Vita ya Ronaldo na Messi yahamishiwa Klabu Bingwa Ulaya Christiano Ronaldo na Lionel Messi watakutana tena katika mzunguko wa 16 bora wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) baada ya vilabu vya PSG na Manchester United kupangwa pamoja. Miamba hiyo miwili ya soka itakutana tena dimbani kutunishiana misuli wakikumbushiana zama za H...
null
Kuaminiana ni moja ya mambo muhimu katika uhusiano. Hutuwezesha kujisikia salama, hutoa ulinzi na kutusaidia kujenga na kuimarisha mahusiano. Ikiwa hamwamini mpenzi wako, inaweza kukufanya utilie shaka uhusiano huo na kufikiria mambo mengi mabaya kuhusu yeye. Hizi ni baadhi ya ishara zinazoonesha kwamba uko kwenye uhus...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Tuesday, December 10 Home › Habari › Ajira › Nafasi 93 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 93 za Ajira Serikalini swahilitimes October 21, 2024 0 57 POST: VOCATIONAL TEACHER II – (BUSINESS OPERATIO...
null
Rais Samia aeleza alivyowahi kukamatwa na polisi usiku Akifunga Mafunzo ya Uofisa Kozi Na. 01/2020/2021 (Warakibu Wasaidizi wa Polisi – ASP), Rais Samia Suluhu Hassan ametumia nafasi hiyo kutaka jeshi hilo lijirekebishe na kufanya shunguli zake kwa kufuata misingi na sheria za nchi. Amiri Jeshi Mkuu amesema kuwa kumeku...
null
Takribani wazikaji 3,000 wameandamana nchini Afrika Kusini wakitaka kulipwa vizuri pamoja na mazingira mazuri ya kufanya kazi yao. Wazikaji hao wamegoma kuchukua miili ya watu waliofariki majumbani mwao, hospitali pamoja na kuendesha shughuli za uzikaji wa miili hiyo. Waandamanaji hao wanaishinikiza serikali kuanzisha ...
null
50 Fascinating Things You Didn’t Know About The Statue of Liberty Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl...
null
Aliyekuwa mume na meneja wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, Peter Nwachukwu amehukumiwa kunyongwa mpaka kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Osinach Nwachukwu, kinyume na kifungu cha 221 cha kanuni ya adhabu. Inadaiwa kifo cha mwimbaji huyo kilitokana na kipigo kutoka kwa mumewe na kupelekea kulazwa ho...
null
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema katika kipindi cha ndani ya miezi mitatu ya mwisho wa mwaka 2023, kimesajili miradi yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.4 [takribani TZS trilioni 4]. TIC imesema hiyo ni ongezeko la asilimia 80 kulinganisha na miradi yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 769.6 [ta...
null
Experience The Highest Sun Wheel in The World Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided yie...
null
This Beachfront Restoration Is A Perfect Blend Of Old And New Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl the...
null
Kerala Tourism to Unveil World’s Largest Bird Sculpture Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re d...
null
Jaji kesi ya Mbowe na wenzake ajitoa Jaji Elinaza Luvanda amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu, baada ya watuhumiwa hao kuieleza Mahakama Kuu kwamba hawana imani na jaji huyo katika kutenda haki kwenye kesi inayowakabili. Uamuzi huo umekuja wakati mahak...
null
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wameeleza azma yao ya kuimarisha uhusiano uliopo wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi hizo mbili wanachama wa SADC pamoja na kuimarisha Tume ya pamoja (BNC). Akizungumza katika Ofisi za Majengo ya Muungano, Pretoria nchini Afrika Kusini Rais Samia amese...
null
Taarifa ya Polisi kuhusu mwili wa Padri uliokutwa ndani ya tenki la maji Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linaendelea kuchunguza kwa kina kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis Kangwa (49), wilayani Ubungo, Dar es salaam. Padri hiyo raia Zambia alikutwa amefariki ndani ya tenki kubwa...
null
Mali za TZS bilioni 5 za mfanyausafi wa Magereza Kenya zashikiliwa Mahakama Kuu jijini Nairobi, Kenya inashikilia mali zenye thamani ya TZS bilioni 5.2 mali ya mwajiriwa wa Idara ya Magereza nchini humo, anayefanya kazi kama Msimamizi wa Wafanyausafi. Uamuzi huo umekuja ni baada ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisa...
null
Uongozi wa Kijiji cha Olevolosi, Kata ya Kimnyaki wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha umepiga marufuku kwa wasichana na wanawake kuvaa suruali za kubana na sketi fupi vinginevyo watajibika kulipa faini ya shilingi 50,000. Akizungumza katika mkutano mkuu wa kijiji hicho, Mtendaji wa Kata hiyo ya Kimnyak, Joshua Mollel, ame...
null
Mpiga kinubi maarufu kutoka nchini Ireland, Siobhan Brady ameweka rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kupiga kinubi kwa dakika 34 akiwa kileleni futi 19,000 juu ya Mlima Kilimanjaro. Mwanamuziki huyo maarufu awali alipiga kinubi akiwa futi 16,000 katika Mlima Himalaya nchini India mwaka 2018, ambapo aliweka rekodi kwa kupi...
null
Na Mwandishi Wetu, Hanang Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya bima ya Reliance Insurance wamekabidhi hundi ya shilingi milioni 270 zitakazotumika kuwalipa fidia wajasiriamali wadogo na wa kati 18 walioathirika na maporomoko ya matope yaliyotokea wilayani Hanang, mkoani Manayara Desemba 3, 2023 na kuwaacha watu ...
null
Inaweza kuonekana kama jambo la kawaida na lisilo na madhara kutumia muda mrefu unapokuwa maliwatoni. Hata hivyo, wataalamu wanaonya kuwa kukaa muda mrefu chooni kunaweza kuathiri afya yako. Kulingana na Dkt. Lai Xue, daktari bingwa wa upasuaji wa utumbo mpana katika Chuo Kikuu cha Texas Southwestern huko Dallas, tabia...
null
Mwanafunzi ampiga mwalimu hadi kupoteza fahamu Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike. Taarifa ya polisi inaeleza kuwa mwanafuzi alikwenda kumwona mhadhiri huyo kuhusu tasnifu yake ya mwaka wa mwisho, ndipo mvutano baina yao ukaibuka. Mwanafu...
null
Beti na Kitochi Meridianbet USSD ni rahisi kabisa! Usijali endapo hauna Intaneti Piga *149*10# BURE! Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine ya kuendelea kufurahia odds nono za soka kiganjani mwako. Jinsi ya K...
null
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Tume hiyo, Kailima Ramadhani imesema tume imepokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kuhusu uwepo wa nafasi wazi za madiwani...
null
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 [sawa na TZS trilioni 4.9] katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022 – Juni 2025) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotarajiwa kukuza uchumi wa nchi pamoja na kupungu...
null
Mpango wa Ponzi ni ulaghai wa uwekezaji ambao hulipa wawekezaji waliopo kwa fedha zinazokusanywa kutoka kwa wawekezaji wapya. Waandaaji wa mpango wa Ponzi mara nyingi huahidi kuwekeza pesa zako na kutoa faida kubwa bila hatari yoyote. Lakini katika miradi mingi ya ponzi, walaghai hawawekezi pesa hizo. Badala yake, wana...
null
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema endapo itatokea mtu hajahesabiwa hadi kufikia jioni ya leo Agosti 29, 2022 ambayo ni tarehe ya mwisho ya zoezi hilo, bado atakuwa na nafasi ya kuhesabiwa. Ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema taarif...
null
Wanafunzi watano wachoma shule moto na kusababisha hasara ya milioni 26 Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi watano waliochoma moto Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya zaidi ya TZS 26 milioni. RC Mwangela amesema wanafunzi Naftari Nganga na Collin ...
null
Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo. Ahadi hiyo imetolewa leo Septemba 26, 2022 na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Masamichi Terabatake mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyetembelea ofisi zao ili kuwahak...
null
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza fedha za motisha kwa timu ya Yanga kutoka TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa kila goli la ushindi katika michezo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Pia ametoa ndege itakayowapeleka na kuwarudisha wachezaji wa klabu ya Yanga pamoja na mashabiki katika mchezo huo nc...
null
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi; - Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo. - Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro. - Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi wa fitna. IMEBAINIK...
null
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema lengo la Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona kila mfanyabiashara nchini anafanya shughuli zake kwa uhuru na amani katika nchi yake bila kuwepo kwa vikwazo vyovyote. Ameyasema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo baada ya kutangaza mgomo ulioanza mapema le...
null
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia. Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo cha Sayansi na Elimu ya U...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 167 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 167 za Ajira Serikalini swahilitimes September 23, 2024 0 92 POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 9 POST Empl...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Rais Samia aondoa zuio la mikutano ya hadhara January 3, 2023 - Magazeti ya leo Agosti 6, 2020 Augus...
null
Rais Samia afanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa, akiwemo Makalla Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 December 10, 2024 - Rais Samia atoa msa...
null
Mwanasiasa mkongwe visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea na nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha. Balozi Amina ambaye alichukua fomu ya urais Zanzibar mwaka 2000 pamoja na fomu ya kuomba kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 102 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 102 za Ajira Serikalini swahilitimes April 3, 2023 0 24 POST: CHIEF INTERNAL AUDITOR – 1 POST Employer:...
null
Ili kuendana na kasi ya ujenzi wa madarasa mapya 15,000 yaliyojengwa nchini kote, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali inakusudia kuajiri walimu wapya wapatao 7,000. Rais ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza kwa simu na uongozi wa Shule ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam palipokuwa panafanya hafla...
null
Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa 23% Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa 23.3%. Mapendekezo hayo yaliyowasilishwa Ikulu ni mwendelezo wa kikao cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alichofanya hivi karibuni mkoani Dodoma na kupok...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema shirika limeweka mikakati kuhakikisha kuwa kufikia mwishoni mwa Machi 2024, tatizo la kukatika kwa umeme linamalizika. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, amesema kiwango cha upungufu cha megawati 400 katika...
null
Njia 6 za kutambua akaunti feki (parody) Twitter Njia rahisi kabisa ya kutambua kama akaunti fulani inamilikiwa na mhusika ni kama mtandao husika umeithibitisha (verify) akaunti hiyo. Lakini uhalisia ni kwamba sio akaunti zote zinazothibitishwa, bali tu zile za watu mashuhuri, taasisi/kampuni au nchi fulani. Kutokana n...
null
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 4.9 kwa mwaka ulioishia Januari, 2023 hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari. NBS imesema kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwaka ulioishia Februari 2023 kumechangiwa na kupungua kwa mfumuko wa bei kwa baa...
null
Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/VACANCIES-ANNOUNCEMENT-1.pdf” title=”VACANCIES-ANNOUNCEMENT (1)”]
null
Wanafunzi wanne wafariki baada ya kugongwa na gari wakivuka barabara Jeshi la polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa Ardhi wa Wilaya ya Nyag’hwale mkoani Geita, Agostino Sibeye kwa tuhuma ya kuwagonga na na kusababisha vifo vya gari Wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Ibambila iliyopo Kata ya Kharumwa. Tukio hilo limet...
null
Tume ya uchaguzi nchinj Ivory Coast imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili baada ya kupata asilimia 94 ya kura zote. Idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi huo uliosuswa na vyama vya upinzani ilikuwa takribani asilimia 54 ya watu wote waliojiandikisha. Hat...
null
Klabu ya Simba imesema mchezaji Henock Inonga hakupata majeraha makubwa baada ya kuumia katikati ya mchezo kati ya Simba SC na Coastal Union, hivyo ameruhusiwa kutoka hospitalini na kurejea nyumbani. Akizungumza na Swahili Times Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kwa mujibu wa ripoti ya daktari, Inonga amepat...
null
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la kuiangamiza familia ya mbunge huyo. Katika taarifa iliyotolewa na ...
null
Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2023/first-selection/index.html
null
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’ ameihoji Serikali juu ya kuendelea kuwepo kwa kampuni inayoendesha mradi wa Stempu za Kodi za Kielektroniki (SICPA) kwa madai kuwa inaiibia nchi. Akizungumza bungeni jijini Dodoma Musukuma amesema kwenye mkataba wa Serikali na kampuni hiyo ulioingia miaka mita...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania itaendelea kuchangia katika juhudi za kuleta na kudumisha amani barani Afrika na kwingineko duniani na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza uungaji mkono katika mipango ya kikanda ya kuleta amani katika maeneo yenye vita barani Afrika. Akiihutubia Mkutano wa 7...
null
Ikiwa ni msimu wa tano wa kampeni kubwa inayoendeshwa na Kampuni ya kubashiri ya Betika inayojulikana kama kampeni ya Mtoko wa Kibingwa, sasa wameinogesha kampeni hiyo kwa kuja na ‘Mtoko wa Kibingwa Msimu wa Tano, Haina Mbambamba.’ Kampuni ya Betika ni kampuni ya kwanza na ya kipekee ambayo imetengeneza kampeni inayowa...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 Yaliyojiri - Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024 - Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya ...
null
NMB Yatoa Gawio la Tsh Bilioni 57.4 kwa Serikali Benki ya NMB imetoa gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma ya kuleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa 31.8% katika Benki yetu. Kwa mwaka huu, hili ni Gawio kubw...
null
Amani ni hali ya utulivu, usalama, na uhakika wa maisha bila vitisho vya ghasia au migogoro. Ni msingi muhimu wa maendeleo endelevu, ustawi wa jamii, na ukuaji wa uchumi. Amani sio tu kutokuwepo kwa vita au ghasia, bali pia ni hali ya usawa na haki katika jamii. Inajumuisha hali ya kuridhika, mshikamano wa kijamii, na ...
null
Soma hapa yaliyoandikwa na Forbes kuhusu utendaji wa Rais Samia Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Rekodi kubwa 8 za Yanga katika soka ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
ATCL kuingia makubaliano na Emirates na KLM Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ipo katika hatua za mwisho za kuingia makubaliano ya ushirikiano na mashirika ya Emirates na KLM ambayo yatawezesha kubadilishana abiria Marekani na Ulaya. Aidha, kampuni hiyo imeeleza kwamba ipo katika hatua za mwizo za mazungumzio na Mamlaka...
null
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 10 akiwemo kiongozi wa maandamano, Sheikh Ponda ambao walijitokeza katika viwanja wa Mnazi Mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano hadi Manzese, Dar es Salaam kama ilivyopangwa. Akizungumza na Swahili Times, Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es ...
null
Katika hali ya kushangaza kanisa moja huko Kisii nchini Kenya, limelazimika kuingilia kati na kufanya mazishi ya mwanaume mmoja ambaye mwili wake ulikaa katika chumba cha kuhifadhi maiti kwa muda wa wiki tatu kutokana na wakazi wa eneo hilo kususia msiba huo. Hiyo ni baada ya wakazi wa eneo hilo katika kijiji cha Mokon...
null
Hizi hapa bei za Redmi Note 13 Dar es Salaam. Kampuni ya Xiaomi inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki zikiwemo simu za mkononi imetaja bei za simu zake mpya za Redmi Note 13 nchini Tanzania zilizozinduliwa hivi karibuni. Xiaomi imesema imekuja na matoleo tofauti ya simu hizo ili kuwafanya wateja wak...
null
Rais Dkt. Mwinyi aanza kubana matumizi kwa kutoteua Naibu Mawaziri Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza Baraza la Mawaziri lenye wizara 15, akiwa amefanya mabadiliko ya baadhi ya wizara na kuhamishia wizara nyingine chini ya ofisi yake. Dkt. Mwinyi amesema kuwa hatoteua ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 276 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 276 za Ajira Serikalini swahilitimes April 17, 2023 0 28 POST: HEAD OF BUSINESS NAMES SECTION – 1 POST ...
null
Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/20230506111521TANGAZO-LA-KAZI-TBC.pdf” title=”20230506111521TANGAZO LA KAZI TBC”]