name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
SIASA TANGULIZI Dira 2050 kuifanya Tanzania kuwa kinara uzalishaji wa chakula Duniani December 11, 2024 HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bashungwa apokelewa wizara ya Mambo ya Ndani Zanzibar December 10, 2024 ELIMU Tanzania yaandika historia: Wanafunzi wa Arusha Science wapata ushindi wa kimataifa December 10, 2024 HABARI...
null
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Desemba, 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Mapokezi hayo yamefanyika ka...
null
SIASA TANGULIZI Dira 2050 kuifanya Tanzania kuwa kinara uzalishaji wa chakula Duniani December 11, 2024 HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bashungwa apokelewa wizara ya Mambo ya Ndani Zanzibar December 10, 2024 ELIMU Tanzania yaandika historia: Wanafunzi wa Arusha Science wapata ushindi wa kimataifa December 10, 2024 HABARI...
null
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametangaza hatua muhimu zinazofuata katika mchakato wa kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 baada ya uzinduzi wa Rasimu ya Kwanza ya Dira hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Uzinduzi huo unafanyika Zanzibar tarehe 11 Des...
null
USHIRIKI wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU), umekuwa wa manufaa makubwa kwa Tanzania na Bara la Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil … (endelea). Mkutano huu ulitaw...
null
DK. Fredy Rutachunzibwa wa Kairuki hospitali ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound), ameeleza namna tiba hiyo inavyotolewa bila upasuaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). HIFU ni teknolojia ya kisasa inayotum...
null
WAKATI Afrika Kusini bendera yao inapepea dunia kwa kuwa na kivutio cha kipekee cha Kifaru mweupe Tanzania kwenye visiwa vya Mafia yupo Papa Potwe kwa kiingereza Whale Shark, watalii hutoka sehemu mbalimbali duniani kumfuata Potwe. Anaripoti Faki Sosi, Mafia … (endelea). Hatujamtanga vizuri, siku tukiamua kumtangaza tu...
null
Wikendi ndiyo hiyo inaanza leo hii ambapo nafasi ya kuibuka mshindi unayo mkononi kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Unasubiri nini?. Ingia na ubashiri hapa. Meridianbet inaanza kumulika ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA ambapo leo hii kutakuwa na mtanange mkali kabisa kati ya wenyeji VFB Stuttgart dhidi...
null
MKAGUZI maarufu wa mahesabu hapa nchini, Yona Hezekiah Malundo kupitia kampuni yake ya Y.H Malundo na wenzake wanne wametunukiwa udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Anaripoti Makuburi Ally, Dar es Salaam … (endelea). Tukio hilo la heshima lilifanyika mwishoni mwa wi...
null
MADAKTARI bingwa 20 kutoka hospitali kubwa nchini wamesafiri kwenda nchini Comoro kwaajili ya kuweka kambi ya wiki moja ya uchunguzi na utoaji huduma za kibingwa za magonjwa mbalimbali ikiwemo upasuaji wa moyo, saratani na ubongo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Madaktari hao wanatoka Hospitali ya ...
null
SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa nyuma kitaaluma na wenzao wa kike. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Aliyasema hayo jana wakati wa kongamano la sita kitaaluma lililoandaliwa na chuo hic...
null
This is an example page. It’s different from a blog post because it will stay in one place and will show up in your site navigation (in most themes). Most people start with an About page that introduces them to potential site visitors. It might say something like this: Hi there! I’m a bike messenger by day, aspiring ac...
null
Log In Powered by WordPress Username or Email Address Password Remember Me Lost your password? ← Go to Mwanahalisi Online Language English (United States) Kiswahili Notifications
null
Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi kadri iwezekanavyo, na ukifanikiwa, hautakosa mafanikio ya ajabu. Jisajili hapa ili usipitwe na mchezo huu. Bulls Eye Bells ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoletwa kwenu na mtengenezaj...
null
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Mohamed Said Dimwa, amemtembelea na kumjulia hali yake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja, Mwaka Mrisho Abdalla, anayeumwa kwa muda mrefu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Dk. Dimwa, alikwenda nyumbani kwake kijijini Ubago Wilaya ya Kati M...
null
Alhamisi ya leo mechi mbalimbali zinaendelea ambapo nafasi ya wewe kuondoka na ushindi wa pointi 3 ni lazima. Tengeneza jamvi lako la ushindi leo na utusue mapene ya maana. Tukianza na EPL leo hii kuna mechi mbili za hela ambapo Fulham baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi y...
null
KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inashirikiana na watu duniani kote kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu inayoadhimishwa kila tarehe 3 Desemba ya mwaka, kumbukumbu muhimu ya kutetea haki, kuongeza uelewa, na kuimarisha ujumuishi kwa mamilioni ya watu wenye ulemavu duniani kote. Anaripoti Mwa...
null
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati ...
null
Kuna michezo mingi sana ya Kasino lakini sloti hii ya Book of Eskimo ni Zaidi ya mchezo ni uhalisia wa Maisha, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea sloti hii ya kijanja inayokupa uhalisia wa mazingira halisi mchezoni ambapo ushindi unapatikana kwa namna ambavyo wewe unaweza kuvumilia baridi kwenye mazingira ya...
null
Xmas Drop inaleta msisimko wa msimu wa sikukuu kwa wachezaji wote wa Meridianbet! Kwa jumla ya zawadi za TZS 16,000,000,000, promosheni hii inalenga kuleta furaha na ushindi wa kipekee. Masanduku ya siri 4,000 yanakusubiri, yakiwa na zawadi za pesa taslimu hadi €500. Shiriki kuanzia Novemba 29 hadi Desemba 29 kwa kuwek...
null
WAKATI serikali ikiendelea kuikuza sekta ya Sayansi na Teknolojia imesema panahitajika nguvu zaidi kutengeneza wataalam watakaoziendeleza rasilimali za taifa. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alipokuwa akifunga Kongamano na maon...
null
Hatimaye siku ya wewe kuondoka na pesa imefika kwani mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya leo hii zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Mapema kabisa leo hii saa 2:45 usiku, Liverpool atakuwa ugenini dhidi ya Girona ambao kwenye mechi zake 5 alizocheza ameshinda mechi moja pekee tuu. Jogoo yeye ...
null
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Saada Mkuya Salum amesema idadi kubwa ya wanawake wa visiwani Zanzibar walijitokeza kutoa maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikilinganishwa na makundi mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Dk. Mkuya ameeleza hayo mbele ya Rais wa Zanz...
null
Meridianbet inaleta msimu wa sikukuu wenye furaha kupitia promosheni ya Mwezi wa Pesa. Promosheni hii inalenga kutoa zawadi kubwa kwa wachezaji kupitia michezo maarufu ya sloti ya Playson. Kuanzia Desemba 1 hadi Desemba 25, wachezaji wanapewa nafasi ya kushinda zawadi za nasibu kwa kila dau linalokubalika kwenye michez...
null
WATAALAM 544 wa kada ya afya, katika nyanja ya sita ikiwamo ya watoto wachanga, afya ya akili, magonjwa yasiyoambukiza kama ya moyo na matibabu ya ubongo na mishipa ya fahamu, wametengewa Sh. 14 bilioni kujiendeleza kielimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Aidha, nyanja nyingine ni ugunduzi wa magonjwa ik...
null
TANZANIA imeandika historia kubwa baada ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha Science kushinda tuzo nne za heshima katika mashindano ya kimataifa ya Ufanisi kwa Vijana (Junior Achievement) yaliyofanyika nchini Mauritius, yakihusisha mataifa 11 kutoka barani Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Port Louis, Mauritius … ...
null
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Dk. Abbasi ameyasema hayo leo tarehe 10 Desemba, 2024, katika kikao na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi ...
null
SISI raia watatu – Bob Wangwe, Bubelwa Kaiza na Ananilea Nkya, katika shauri tulilofungua Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kwa niaba ya Raia wa Tanzania na tayari limeshasikilizwa na hukumu ni tarehe 25 Oktoba 2024, katika kuonyesha TAMISEMI haina mamlaka kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, mawakili wetu...
null
MTAALAMU bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani at...
null
SERIKALI ya mitaa nchini Korea Kusini imefuta hafla kubwa ya kimataifa iliyokusudia kuwaleta pamoja washiriki 30,000 kutoka nchi 78, jambo ambalo limeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kidini duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kufutwa kwa mkutano wa viongozi wa kidini na sherehe ya kuhitimu h...
null
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa amemuhakikishia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi kuwa Kamati yake ya Uongozi ya maandalizi ya dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 itaendelea kufanya kazi na kutimiza majukumu yake kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili kuleta ufanisi kwenye kuij...
null
TAASISI ya Moyo ya (JKCI), imeanza kambi ya siku nne ya kupima na kutibu maradhi ya moyo kuanzia kesho kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk. Peter Kisenge alisema wameandaa kambi hiyo kwa kushirikiana na Arus...
null
Je unajua kuwa Jumamosi ya leo ni rahisi sana kupuna mpunga wako ukiwa na Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Ligi pendwa Duniani, EPL leo hii kuna mechi za kukata na shoka ambapo bingwa mtetezi Manchester City baada ya kushinda mechi yak...
null
KAMBI Tiba ya Madaktari Bingwa kutoka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Comoro … (endelea). Madaktari hao wa Tanzani wam...
null
MADAKTARI tari wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770 na kufanya upasuaji kwa wagonjwa saba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwenye kambi hiyo ya siku saba wameweza kubaini wagonjwa takriban 269 wanahitaji rufaa za matibabu zai...
null
Serikali ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mitaala mipya ya kada ya Uuguzi, Ukunga, Famasia na Fiziotherapia, itakayoanza kutumika mwaka ujao wa masomo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameyasema hayo leo Oktoba 18, 2024 kwenye kikao kilichozikutanisha k...
null
WANANDOA Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) wanaotuhumiwa kwa kesi ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi wameandika barua Mahakama Kuu kwa Jaji Mfawidhi wakiomba Mahakama ipitie mwendenendo wa kesi yao hiyo iliyopo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea...
null
Haiwezekani msimu huu wa Sikukuu Usiambulie chochote kutoka Meridianbet, ndugu jamaa na marafiki wafurahishe kwa kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya Bragg na ushinde mgao wa Tsh 4,000,000/= Promosheni inafanyika kwa mfumo wa mashindano kwenye michezo iliyochaguliwa iliyoandaliwa na Bragg (Gamomat, Atomic Slot Lab...
null
CHUO KIKUU cha Lead Impact cha nchini Marekani, kinatarajia kutunukuu Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa Watanzania wanne mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Chuo hicho ambacho kimekuwa kikiwatunukia watu wa kada mbalimbali Udaktari wa Hashima, kinatarajia kutoa shahada hiyo Desemba saba mwa...
null
Dhahabu ni moja kati ya utajiri wenye thamani kubwa sana, Mabenki na wafanyabiashara wakubwa hutumia dhahabu kutunza ukwasi wao, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni mgodi bora wa madhini yenye pesa kibao, cheza mchezo wa Black Gold uwe moja kati ya mabilionea wakubwa. Jisajili hapa kama hauna akaunti ya Meridianbet. Bla...
null
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari yake ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mafanikio baada ya uwekezaji mkubwa kufanyika katika bandari hiyo uliopeleka maboresho mbalimbali ya utendaji na utoaji huduma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endel...
null
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la mauaji ya Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Kamguna Simbayao kilichotokea baada ya kushambuliaji wa raia maeneo ya Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ili...
null
SERIKALI nchini imesema kuwa itazidi kuimarisha matumizi ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu hususan kwenye eneo la Utafiti ili kutatua changamoto za kiuchumi na za kijamii nchini. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 2 Desemba na Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko aliyemwakilisha Rai...
null
WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uharifu na kuepuka kujichukulia Sheria mkononi kwani sio jambo nzuri. Anaripoti Mwandish Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Dk Nchemba ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam mapema leo Desemba 8, 2025 wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mt...
null
PUMA Energy Tanzania imezindua kituo cha kwanza cha kuuza mafuta ya gari na huduma za ziada katika eneo la Fuoni visiwani Zanzibar kwa lengo la kusogeza huduma za nishati ya mafuta karibu na wananchi sambamba na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Zanzibar katika uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea)...
null
CHAMA cha upinzani nchini Namibia kimeomba zoezi la kuhesabu kura lisitishwe baada ya uchaguzi wa taifa kukabiliwa na changamoto za kiufundi huju upigaji kura ukiendelea baada ya muda wa kufungwa kwa vituo vya kupigia kura. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uchaguzi wa rais na bunge ni mtihani mkubwa kwa cha...
null
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji amehimiza mataifa yaliyoendelea kuunga mkono juhudi za nchi zinazoendelea ili ziweze kutekeleza kikamilifu agenda ya matumizi ya nishati safi ya kupikia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Baku, Azerbaijan … (endelea). Ametoa wito huo wakati akizun...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Brazil jana kuhudhuria mkutano wa Nchi Tajiri Duniani wa G20 imealikwa kwa mara ya kwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil … (endelea). Nchi wanachama wa G20 zinamiliki asilimia 85 ya uchumi wa dunia na Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini duniani. Ni kwa nin...
null
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameonyesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali mkoani humo ikiwemo kampuni ya Taifa Gas katika kufanikisha kampeni ya mabadiliko kuelekea matumizi ya nishati safi ya kupikia miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo taasisi za elimu na wafanyabiasha...
null
SERIKALI imesema kuwa ipo mbioni kukamilisha sera itayoiongoza sekta ya Bima nchini ili kuendeleza usanifu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa jana tarehe 22 Novemba 2024 na Hamad Chande, Naibu Waziri wa Fedha wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa Bima nchini ya mwaka 2023. Naibu ...
null
SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa kampuni zinazojihusisha na biashara ya kaboni nchini kujenga uwazi na kuhusisha jamii kwenye maeneo ya miradi ili wananchi wawe nba ufahamu wa biashara hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Baku, Azerbaijan … (endelea). Pia, imezitaka kampuni hizo kutimiza ahadi wanazoweka katika biashara...
null
JUKWAA la Wahariri nchini (TEF), linatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa nane utakaoanza kesho tarehe 7 na kutamatishwa tarehe 9 Novemba jijini Dar es Salaaam huku mgeni rasmi akiwa Jerry Silaa, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Anaripoti Faki Sosi Ubwa, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na w...
null
MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imetumbukia kwenye kashfa, baada ya viongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Kukopa – Harbors Sacco’s Limited – kudaiwa kutafuna taribani Sh. 174 milioni, mali za wanachama wake. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …(endelea). Wanaosema wanadai mamilioni hayo ya shilingi, ni waliokuw...
null
MAELFU ya wafugaji kutoka jamii ya Wamaasai kutoka vijiji 25, vilivyosajiliwa kisheria, ndani ya tarafa ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameandamana wiki hii, kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu. Anaandika Navaya ole Ndaskoi…(endelea). Wazee, vijana, wanawake – baadhi yao wakibeba vichanga migongoni mwao – walidamka ma...
null
WATUHUMIWA sita wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kivukoni iliyopo Kinondoni kwa kosa la kutaka kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Watuhumiwa ni pamoja na:- Bato Bahati Tweve, Nelson Elmusa, Anitha Alfred Temba, Isaack Mwaifuani, Fredrick Juma Msatu na...
null
Log In Powered by WordPress Username or Email Address Password Remember Me Lost your password? ← Go to Mwanahalisi Online Language English (United States) Kiswahili Notifications
null
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri pamoja na kubadilisha muundo Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambapo Sekta ya Habari ameirejesha kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo yamefanyika leo tare...
null
Leo unaweza kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kunako ligi kuu ya Uingereza pamoja na ligi zingine barani ulaya na mchezo ambao unakwenda kutupiwa macho zaidi ni kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United. Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United kwenye dimba lao la E...
null
WANAFUNZI wanaosomea fani ya ukarimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) sasa watapata mafunzo ya ziada ya miezi mitatu kutoka kwa watalaamu wa Serengeti Breweries Limited (SBL) huku kampuni hii ikilenga kusaidia kujenga kizazi kipya cha wataalamu wa sekta ya utalii na ukarimu inayokua kwa kasi nchini Tanzania. Anar...