name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | JESHI la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Iran mapema Jumamosi, kujibu kile jeshi lake linakiita “miezi ya mfululizo wa mashambulizi ” kutoka Tehran na washirika wake. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa msaada wa BBC. (endelea). IDF – Jeshi la Ulinzi la Israel – linasema kuwa linafanya “mashambulizi mahu... |
null | KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na ufanisi kufuatia uwekezaji na maboresho makubwa yaliyofanyika bandarini hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam... |
null | WAPIGAKURA nchini Botswana wamekikataa chama tawala cha muda mrefu cha nchi hiyo (BDP) katika matokeo ambayo yanaashiria tetemeko la ardhi la kisiasa katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa wa almasi kusini mwa Afrika. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, GABORONE, Botswana … (endelea). BDP – Chama cha Kidemokrasia cha Bots... |
null | WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waziri Mhagama aliyasema hayo Ijumaa jion... |
null | MAMLAKA ya Usimamizi waBandari Tanzania (TPA) kwa mara ya tatu mfululizo imetangazwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kuwa ni mwajiri bora wa sekta ya umma na kupea Tuzo ya Mwanachama wa Kudumu kwa Taasisi za Umma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Da es Salaam … (endelea). Akikabidhi uongozi wa TPA tuzo za umahili mwishoni... |
null | WATU watatu ambao ni wamiliki wa jengo la Ghorofa la Kariakoo lilioporomoka Novemba 16 Mwaka huu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashataka 31 likimewo mauaji bila kukusudia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Leo tarehe 29 Novemba 2024 wakili wa serikali Adolf Lema,... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Jiji la wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa... |
null | MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ‘ameumizwa na kusikitishwa sana’ na tukio la kuuwawa kwa Ndugu Christina Alex Kibiki, aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa … (endelea). Hayo yamesemwa na Katib... |
null | KIONGOZI wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amezindua Ilani ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo imezinduliwa leo Novemba 17, 2024 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu ya ACT Wazalendo Magomeni Dar es salaam. Waliohudhuria katika u... |
null | MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari mapema leo ametoa taarifa ya maendeleo ya uokoaji ambapo amesema toka usiku hadi asubuhi ya saa moja kamili wameokolewa watu 5, tayari wameshapekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea... |
null | SERIKALI imekipa Chuo cha Kodi (ITA), jukumu la kufanya utafiti wa namna ya kuongeza idadi ya walipa kodi, kubaini vyanzo vipya pamoja na ukusanyaji wa kodi katika biashara za mitandaoni na zile za kimaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa leo katika mahafali ya 17 ya chuo hicho yaliy... |
null | Leo hii tarehe 25 Novemba Meridianbet inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake Kupitia Kampeni yao ya “PINGA UKATILI, SIMAMA NA MWANAMKE” Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet, imeungana na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, inayofanyika kila mwa... |
null | MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari amesema Serikali inatambua mchango wa wafanyabiashara wilayani humo katika kukuza uchumi wa wilaya na nchi kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu, Magu, Mwanza … (endelea). DC Nassari ameyasema hayo wakati akifungua kongamano la wafanyabiashara Wilayani Magu lilofanyika Novemba 07,2... |
null | MFUGAJI maarufu nchini pia Mmiliki wa Kampuni ya Vanilla Internation Ltd Simon Mkondya (40), ‘Dk Manguruwe’ na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 28. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Katika kesi hiyo, Mkondya na Mwenzake... |
null | SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea kuhamasisha wananchi, kutumia nishati safi ya kupikia ili kuwezesha utunzaji wa mazingira, kuboresha afya na ustawi wa jamii pamoja na kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mhandisi wa Mirad... |
null | KAMISHINA wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu, CP Suzan Kaganda ametoa uzoefu wa masuala ya Polisi Jamii yanavyosaidia kulinda amani katika maeneo yanayofanyika bila jeshi la Polisi kuwepo. Anaripoti Abel Paul, Chicago Marekani … (endelea). CP Kaganda ametoa uzoefu huo katika mafunzo kwa askari wa kike ... |
null | KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambao unatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii zinaendelea kupamba moto kwa kila mgombea kunadi sera zake ili achaguliwe kuwa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo, Sweetbert Nkuba, alisema mwis... |
null | RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kati ya Mwezi Mei/Juni 2025 mara baada ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuijadili na kuidhinisha Rasimu ya Dira ya Maendeleo 2050. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waziri... |
null | ALBAMU mpya ya staa wa muziki, Eric Bellinger inayokwenda kwa jina la ‘It’ll All Make Sense Later’ imewashirikisha mastaa kibao akiwemo Burna Boy ambaye ana Tuzo ya Muziki ya Grammy. Anaripoti Joseph Shaluwa, Dar es Salaam … (endelea). Mastaa wengine walioshirikishwa kwenye albamu hiyo ni pamoja na mkali wa RnB kutoka ... |
null | SHIRIKA La Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezindua programu yake ya elimu endelevu inayoitwa “Vijana kwa Utekelezaji wa Mabadiliko ya Tabianchi,” ambayo inalenga kutoa elimu na uelewa kwa watoto na vijana ili washiriki kikamilifu katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi visiwani Zanzibar. Ana... |
null | WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kufika mara moja katika Kisiwa cha Mafia kupiga kambi kusimamia matengenezo ya Kivuko cha MV Kilindoni na kuhakikisha hawatoki ... |
null | TUME ya Madini Tanzania imeendelea kurekodi mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo makusanyo ya maduhuli yanayochochewa na mazingira wezeshi ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini,Mhandi... |
null | TANZANIA na Pakistan, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa nchi hizo mbili, wakizingatia vipaumbele na manufaa ya wananchi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Wakizungumza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM), Waziri wa Mambo ya Nje na... |
null | Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah aliuawa mwishoni mwa Septemba, baada ya uvamizi wa Israel ambao ulilenga makao makuu ya Hezbollah yaliyopo Kusi... |
null | WIZARA ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Mtanzania, kubainika amepata maambukizi ya homa ya nyani (Mpox). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, imesema Tanzania iko salama na hakuna mgonjwa wa Mpox aliyebainika hapa nchini hadi sasa. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Roida Andus... |
null | Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahya Nawanda katika kesi ya kulawiti iliyokuwa inamkabili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Uamuzi wa kesi hiyo namba 1883/2024, umetolewa leo tarehe 29 Novemba 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Erick... |
null | MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, amepatikana usiku huu baada ya kutupwa karibu na makao makuu ya chama hicho, Magomeni, Dar es salaam, akiwa na majeraha na mahututi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea). Ado Shaibu, katibu mkuu wa chama hicho, amethibitisha kupatikana... |
null | WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la misingi la ujenzi wa mradi wa miundombinu ya Ngorongoro Lengai Geopark wenye thamani ya Sh. 25 bilioni unaofadhiliwa Serikali ya China kwa lengo la kuongeza zao la utalii wa Jiolojia nchini (Ngorongoro Lengai UNESCO Geopark). Anaripoti Mwandish... |
null | CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, imetoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali zilizotolewa hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hiko Tundu Lissu katika mikutano yake mbalimbali na wanahabari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Katika taarifa kwa umma, iliyotolewa hii leo tarehe 14 Nov... |
null | WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mohamed Mchengerwa amesema uchaguzi wa serikali za mitaa si huruma bali ni sheria na kanuni na atakayekwenda kinyume hatasalimika. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es Salaam … (endelea). Mchengerwa alitoa kauli hiyo leo jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchak... |
null | KIONGOZI wa Chama (KC) wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewaonya wagombea wa chama hicho watakaochaguliwa kuwa viongozi wa vitongoji, vijiji na mitaa watakaochaguliwa wasiwadhulumu wananchi kwa kudai fedha. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es Salaam … (endelea). Zitto amesema chama chake hakitasita kuwafukuza vion... |
null | TAKRIBANI majengo 100 ya ghorofa jijini Dar es Salaam, zilimejengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliyoundwa na aliyekuwa Waziri Mkuu na kujiuzulu, Edward Lowassa, kati ya ghorofa 505 ambazo zilikaguliwa, majengo 147 yamekutwa hayana nyaraka za ujenzi. Lowassa aliunda tume baada... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.